Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
Total Page:16
File Type:pdf, Size:1020Kb
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA Kumb.NaEA.7/96/01/K/255 30 Julai, 2020 TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya “Land Transport Regulator Authority” (LATRA), “Tanzania Shipping Agencies Corporation” (TASAC), Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi (NAOT), Chuo Kikuu cha Mzumbe (MU), Mamlaka ya Elimu ya Mafunzo na Ufundi Stadi (VETA), “Livestock Training Agency” (LITA), Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS), Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH), “Tanzania Meteorology Authority” (TMA), Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE), Shirika la Mzinga, Taasisi ya Utafiti wa Misitu Tanzania (TAFORI) na “Institute of Accountancy Arusha” anapenda kuwataarifu waombaji kazi wote walioomba kazi kuwa usaili wa vitendo unatarajiwa kufanyika tarehe 6 - 21 Agosti, 2020, usaili wa kuandika unatarajiwa kufanyika tarehe 08- 14 Agosti, 2020 na kufuatiwa na usaili wa mahojiano ambao utafanyika tarehe 10-11 Agosti, 2020. Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:- i. Usaili wa vitendo utafanyika tarehe 6- 21 Agosti, 2020 kama ilivyooneshwa kwenye tangazo hili, muda na sehemu ambapo usaili huo utafanyika umeainishwa kwa Kada zinazohusika; ii. Usaili wa mchujo (kuandika) utafanyika tarehe 08 Agosti, 2020 kama ilivyooneshwa kwenye tangazo hili; muda na sehemu ambapo usaili utafanyika umeainishwa kwa kila Kada; 1 iii. Kila msailiwa ahakikishe anaingia kwenye akaunti yake na kunakili namba ya kufanyia mtihani kwa kuwa namba hizo hazitatolewa siku ya usaili; iv. Kila msailiwa anatakiwa kufika kwenye eneo la usaili akiwa amevaa Barakoa na kuzingatia masharti mengine ya kujikinga na COVID 19 kama yalivyoainishwa na Wizara ya Afya awapo eneo la usaili, v. Kila msailiwa anapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi; vi. Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na ama Kitambulisho cha Mkazi, Kitambulisho cha Mpiga kura, Kitambulisho cha kazi cha taasisi inayojulikana, Kitambulisho cha Uraia ,Hati ya kusafiria au Leseni ya Udereva; vii. Wasailiwa wanatakiwa kufika na vyeti vyao halisi, kuanzia cheti cha kuzaliwa, kidato cha IV, VI, Stashahada, Stashahada ya Juu, Shahada na kuendelea kutegemeana na sifa za Mwombaji; viii. Wasailiwa watakaowasilisha “Testimonials”, “Provisional Results”, “Statement of results”, hati za matokeo za kidato cha IV na VI (form V and form VI results slips) HAVITAKUBALIWA NA HAWATARUHUSIWA KUENDELEA NA USAILI; ix. Kila msailiwa atajigharamia kwa chakula, usafiri na malazi; x. Kila Msailiwa azingatie tarehe na mahali alipopangiwa kufanyia usaili; xi. Kwa waombaji waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe Vyeti vyao vimehakikiwa na kuidhinishwa na Mamlaka husika (NECTA, NACTE au TCU); xii. Waombaji kazi ambao majina yao hayaonekani katika tangazo hili watambue kuwa hawakukidhi vigezo. Hivyo, wasisite kuomba tena pindi nafasi za kazi zitakapotangazwa na kuzingatia mahitaji ya tangazo husika. xiii. Kwa kada ambazo wanatakiwa kusajiliwa na Bodi zao za Kitaaluma wanapaswa kuja na vyeti vyao Halisi vya Usajili pamoja na Leseni za kufanyia kazi. 2 RATIBA YA USAILI NA. TAASISI KADA TAREHE YA TAREHE YA MAHALI TAREHE YA MAHALI USAILI WA USAILI WA USAILI WA MCHUJO VITENDO MAHOJIANO 1 LATRA ROAD LICENSING 08-08-2020 HAKUNA CHUO KIKUU 10-08-2020 PSRS AND MONITORING KISHIRIKI CHA OFFICER II ELIMU DAR ES (REGIONAL SALAAM OFFICES) (DUCE) DRIVERS II HAKUNA 07-08-2020 VETA 10-08-2020 (REGIONAL CHANG’OMBE OFFICES) 2 TASAC CLEARING AND 08-08-2020 HAKUNA DUCE 10-08-2020 PSRS FORWARDING OFFICERS GRADE II CLEARING AND HAKUNA HAKUNA HAKUNA 10-08-2020 PSRS FORWARDING OFFICERS GRADE I 3 NAOT ICT OFFICER (ICT 08-08-2020 09-08-2020 DUCE 10-08-2020 PSRS SECURITY FORENSIC AUDITOR) 4 CHUO KIKUU ARTISAN HAKUNA HAKUNA HAKUNA 10-08-2020 MZUMBE MZUMBE (MASONRY) II MOROGORO (MU) JANITOR II HAKUNA HAKUNA HAKUNA 10-08-2020 MZUMBE MOROGORO 5 VETA ASSISTANT HAKUNA 06-08-2020 VETA 11-08-2020 PSRS VOCATIONAL CHANG’OMBE TEACHER – MOTOR VEHICLE MECHANICS ASSISTANT HAKUNA 06-08-2020 VETA 11-08-2020 PSRS VOCATIONAL CHANG’OMBE TEACHER - PLUMBING AND PIPE FITTING VOCATIONAL HAKUNA 07-08-2020 VETA 11-08-2020 PSRS TEACHER II – CHANG’OMBE PLUMBING AND PIPE FITTING VOCATIONAL HAKUNA 06-08-2020 VETA 11-08-2020 PSRS TEACHER II IN CHANG’OMBE SECRETARIAL STUDIES 3 NA. TAASISI KADA TAREHE YA TAREHE YA MAHALI TAREHE YA MAHALI USAILI WA USAILI WA USAILI WA MCHUJO VITENDO MAHOJIANO ASSISTANT HAKUNA 08-07-2020 VETA 11-08-2020 PSRS VOCATIONAL CHANG’OMBE TEACHER – WELDING AND FABRICATION VOCATIONAL HAKUNA 06-08-2020 VETA 11-08-2020 PSRS TEACHER II – CHANG’OMBE CARPENTRY AND JOINERY 6 LITA MKUFUNZI MIFUGO 08-08-2020 HAKUNA DUCE 11-08-2020 PSRS DARAJA LA II 7 TFS BEEKEEPING HAKUNA HAKUNA HAKUNA 11-08-2020 PSRS ASSISTANT III RECEPTIONIST II HAKUNA HAKUNA HAKUNA 11-08-2020 PSRS 8 HOSPITALI MEDICAL HAKUNA HAKUNA HAKUNA 11-08-2020 PSRS YA SPECIALIST II MUHIMBILI 9 TMA METEOROLOGIST HAKUNA HAKUNA HAKUNA 11-08-2020 PSRS 10 CBE ASSISTANT HAKUNA HAKUNA HAKUNA 11-08-2020 CBE LECTURER- LAW 11 SHIRIKA LA TECHNICIAN 10-08-2020 HAKUNA SHIRIKA LA 11-08-2020 SHIRIKA LA MZINGA GRADE II MZINGA MZINGA (MECHANICAL) MOROGORO ARTISAN GRADE II HAKUNA 10-08-2020 SHIRIKA LA 11-08-2020 SHIRIKA LA (FITTER MZINGA MZINGA MECHANICS) MOROGORO SUPPLIES HAKUNA HAKUNA HAKUNA 11-08-2020 SHIRIKA LA ASSISTANT MZINGA MOROGORO ARTISAN GRADE II HAKUNA HAKUNA HAKUNA 11-08-2020 SHIRIKA LA (ELECTRICAL) MZINGA MOROGORO 12 TAFORI LABORATORY 10-08-2020 HAKUNA TAFORI 11-08-2020 TAFORI TECHNICIAN MAKAO GRADE II MAKUU MOROGORO LABORATORY HAKUNA HAKUNA HAKUNA 11-08-2020 TAFORI ASSISTANT GRADE MAKAO II MAKUU MOROGORO FORESTRY HAKUNA HAKUNA HAKUNA 11-08-2020 TAFORI ASSISTANT GRADE MAKAO II MAKUU 4 NA. TAASISI KADA TAREHE YA TAREHE YA MAHALI TAREHE YA MAHALI USAILI WA USAILI WA USAILI WA MCHUJO VITENDO MAHOJIANO MOROGORO PERSONAL HAKUNA 10-08-2020 TAFORI 11-08-2020 TAFORI SECRETARY MAKAO GRADE II MAKUU MOROGORO 13 TCAA AIR TRAFFIC 14-08-2020 17 - 21-8-2020 CHUO CHA PSRS MANAGEMENT USAFIRI WA OFFICERS II - CUM ANGA - TRAINING UWANJA WA (TRAINEES) NDEGE WA ZAMANI (TERMINAL ONE) KADA: ROAD LICENSING AND MONITORING OFFICER II (REGIONAL OFFICES) MWAJIRI: LAND TRANSPORT REGULATOR AUTHORITY (LATRA) TAREHE YA USAILI WA MCHUJO: 08 AGOSTI, 2020. MUDA: SAA 1:00 KAMILI ASUBUHI. MAHALI: CHUO KIKUU KISHIRIKI CHA ELIMU DAR ES SALAAM (DUCE) UKUMBI: LECTURE THEATRE “C” WASAILIWA NAMBA 1- 1000 TAREHE YA USAILI WA MAHOJIANO: 10 AGOSTI, 2020 MUDA: SAA 1:00 KAMILI ASUBUHI. MAHALI: OFISI ZA SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA JENGO LA UTUMISHI KIVUKONI NA JINA ANUANI NA JINA ANUANI 1 ABAS HUSSEIN P.O BOX 11827, 2 FENIAS FEDES P.O BOX 443, JUMA ARUSHA, ARUSHA RUHOTORA BUHIGWE, KIGOMA 3 ABASI HAMISI OMARI P.O BOX 657, 4 FERDINANT P.O BOX 55068, TANGA, TANGA FERDINANT UBUNGO, DAR ES POKELA SALAAM 5 ABBAS NURU P.O BOX 22638, 6 FESTO DAUDI P.O BOX 390, MTANDA ILALA, DAR ES SEJE MPWAPWA, SALAAM DODOMA 7 ABDALLAH ALLY P.O BOX 21968, 8 FESTO EMMANUEL P.O BOX 705, BENDERA ILALA, DAR ES LEBA UBUNGO, DAR ES SALAAM SALAAM 9 ABDALLAH HASSANI P.O BOX 8725, 10 FESTO PETER P.O BOX 2442, MACHILI TEMEKE, DAR ES MDIMI DODOMA, DODOMA SALAAM 5 NA JINA ANUANI NA JINA ANUANI 11 ABDALLAH KHALID P.O BOX 12717, 12 FIDEA ONESMO P.O BOX 354, MASSA ILALA, DAR ES HEMA KASULU, KIGOMA SALAAM 13 ABDALLAH P.O BOX 2372, 14 FIDELIS BEDA P.O BOX 10320, NYAKYOMA ARUGA ILEMELA, MSUYA ARUSHA, ARUSHA MWANZA 15 ABDUL ALLY BAKARI 16 FILBERT FRANK P.O BOX 2070, KIWELU TEMEKE, DAR ES SALAAM 17 ABDUL ALLY P.O BOX 361, 18 FILBERT WILBERT P.O BOX 6885, DIHENGA MBEYA, MBEYA KISANGA KINONDONI, DAR ES SALAAM 19 ABDUL ATHUMAN P.O BOX 902, 20 FLAVIA KARUNGI P.O BOX 20395, UKWAMA DODOMA, FAUSTIN ILALA, DAR ES DODOMA SALAAM 21 ABDUL HAMISI P.O BOX 9141, 22 FLORA AIDANO P.O BOX 5128, MELLIA ILALA, DAR ES MKOMWA ILALA, DAR ES SALAAM SALAAM 23 ABDUL RAMADHAN 24 FLORA DOGLAS P.O BOX 45912, PEMBE CLEMENT UBUNGO, DAR ES SALAAM 25 ABDUL RASHID P.O BOX 6319, 26 FLORA JOSHUA P.O BOX -9522, KONDO MHUNZI KINONDONI, DAR BENJAMINI TEMEKE, DAR ES ES SALAAM SALAAM 27 ABDULAZIZ HAMZA P.O BOX 705, 28 FLORA PATRICK P.O BOX 9412, LWAYO UBUNGO, DAR ES MASAI ILALA, DAR ES SALAAM SALAAM 29 ABDULKARIM AWADI P.O BOX 30072, 30 FLORA PROTAS KWEKA KIBAHA, PWANI MADAFU 31 ABDULRAHMAN P.O BOX 78167, 32 FLORA ROBERT P.O BOX 593, DAVID RUHALALA ILALA, DAR ES MSUYA KINONDONI, DAR ES SALAAM SALAAM 33 ABDULWAHIDI 34 FLORA ZAKARIA P.O BOX 705, RASHID RAMADHANI MPANGALALA KINONDONI, DAR ES SALAAM 6 NA JINA ANUANI NA JINA ANUANI 35 ABED PETER P.O BOX 200, 36 FLORAH P.O BOX 2539, MHAMBULE MUFINDI, IRINGA DEOGRATIUS KINONDONI, DAR ES MASSAWE SALAAM 37 ABEDNEGO BENSON 38 FLORAH JOHN P.O BOX 1245, MAKURI KESSY ARUSHA, ARUSHA 39 ABEL BARNABAS 40 FORTUNATA P.O BOX 72072, MAYALAMA ARESTARK ILALA, DAR ES ANTHONY SALAAM 41 ABEL FRANCIS P.O BOX 35546, 42 FORTUNATUS P.O BOX 218, MWANG'ONDA UBUNGO, DAR ES AGUSTINI ROMBO, SALAAM IGNATUS KILIMANJARO 43 ABIHUD MOHAMED P.O BOX 3612, 44 FORTUNATUS P.O BOX 39864, CHAWA ILALA, DAR ES TIBRUS MASSAWE ILALA, DAR ES SALAAM SALAAM 45 ABRAHAM DANIEL P.O BOX 21439, 46 FORTUS FESTO P.O BOX 79824, TAGORA ILALA, DAR ES KAJIWE KINONDONI, DAR ES SALAAM SALAAM 47 ABRAHAM RHYMOS 48 FRANCIS GERVAS P.O BOX 1591, KINABO SWAI ILALA, DAR ES SALAAM 49 ABRAHAM ZACHARIA P.O BOX 28011, 50 FRANCIS MIRAJI P.O BOX 738, NNKO KISARAWE, PWANI KALINDIMYA MOROGORO, MOROGORO 51 ABUBAKAR HAMISI P.O BOX 17912, 52 FRANCISCO HAMADI KINONDONI, DAR MICHAEL OMBENI ES SALAAM 53 ABUUBAKAR 54 FRANCISCO P.O BOX 30105, ABDALLA KHAMIS XAVIER KIBAHA, PWANI MWASIKWILA 55 ADAM GODWIN P.O BOX 9522, 56 FRANK CHIRIAKUS NTALINDANYA