Barazani Disemba 2020

Total Page:16

File Type:pdf, Size:1020Kb

Barazani Disemba 2020 Toleo la 84, September-Oktoba, 2010 Waliomeremeta Jarida la Baraza la Habari Tanzania Kukuza Uhuru wa Vyombo vya Habari na kuhakikisha Toleo la 160, Decemba, 2020 ISSN 0856-874X viwango vya juu kabisa vya weledi na uwajibikaji Ukiukaji wa uhuru wa habari waongezeka WACHANGAMKIA MACHAPISHO YA MCT MCT yaagizwa kusaidia Karibu Waziri CPJ, IPI kuinua uchumi Bashungwa lakini … yalaani vikali Uk 5 Uk 9 Uk 13 Jarida la Baraza la Habari Tanzania TAHARIRIWaliomeremeta Vyombo vya habari visibanwe Washiriki ya Maonyesho Maalumu ya Ujuzi wakichukua nakala za machapisho mbalimbali ya Baraza la Habari Tanzania. Habari na picha vikue kiuchumi zaidi uk. 8. iashara ya habari – kieletroniki , magazeti na mtandaoni inakabiliwa na hali ngumu ya uchumi. Wanahabari wana hali ngumu. BBaadhi ya vyombo vya habari vimeacha kufanyakazi, vingine vimejitosa mtandaoni na MCT, MSHINDI WA vilivyobaki vinachechemea. Hata hivyo njia mbadala ya mtandaoni TUZO YA IPI 2003 imeripotiwa kuwa siyo ya manufaa pia. FREE MEDIA Kutokana na hali ngumu kiuchumi , kupunguza wafanyakazi ndiyo njia PIONEER inayojitokeza zaidi kwa wamiliki wa vyombo vya habari na mamia ya wafanyakazi wa vyombo vya habari wanajikuta hawana kazi. Ni bahati mbaya sana wakati tasnia ya vyombo vya habari inasinyaa, mamia ama wanamaliza mafunzo katika vyuo vya habari ama wengine wanajiunga na wengine wapo kwenye vyuo hivyo. Wakati maendeleo ya kiuchumi na hata mabaa kama janga la COVID-19 yanaweza kuwa yamechangia katika matatizo ya kiuchumi ya tasnia ya habari, sheria zisizo rafiki zina mchango mkubwa katika utendaji dhaifu na kushuka kwa mapato kwa vyombo vya habari. Sheria kama ya Huduma ya Vyombo vya Habari ya mwaka 2016 zina vikwazo vinavyoathiri utendaji wa vyombo vya habari na zinajenga woga na hofu na kujidhibiti wenyewe. Makala za uchambuzi, habari za uchunguzi sasa ni mambo ya zamani na uoga ndiyo mwendo kwenye vyombo vya habari. Kusifu ndiyo kigezo katika vyombo vya habari huku vikipoteza wasomaji, watazamaji na BODI YA UHARIRI: wasikilizaji. Kajubi Mukajanga Katibu Mtendaji – MCT Juhudi za makundi ya kutetea haki za David Mbulumi Meneja Programu habari zenye kulenga kuleta mabadiliko na Hamis Mzee Mhariri kurekebisha sheria hizo mbovu zinakwama kutokana na kupuuzwa na wenye mamlaka. MAWASILIANO Ingawa kupitia mahakama baadhi ya sheria Kwa Maoni na Malalamiko: zinazopingwa na wadau ziliamriwa Katibu Mtendaji kurekebishwa, wenye mamlaka wameendelea Baraza la Habari Tanzani (MCT) kupuuza uamuzi huo. S.L.P. 10160, Dar es Salaam Maelekezo ya karibuni kwa Baraza la Simu: +255 22 27775728, 22 2771947 Habari kukutana na wadau kuchukua hatua Simu ya Kiganjani: +255 784 314880 za kuviondoa vyombo vya habari katika hali Fax: + +255 22 2700370 ngumu ya kiuchumi ni mwelekeo mzuri. Baruapepe: [email protected] Lakini wakati Baraza, viongozi na wamiliki Tovuti: www.mct.or.tz wa vyombo vya habari wanachukua hatua za Facebook:- www.facebook.com/ kuboresha uchumi wa vyombo vya habari, mediacounciltanzania Twiter:- www.twitter. wenye mamlaka nao waache kuvibana ili com/mctanzania vifanye kazi kwa uhuru. 2 Toleo la 84, September-Oktoba,Toleo la 160, Desemba, 20102020 WaliomeremetaHabari Matukio 43 ya ukiukaji uhuru wa habari yarekodiwa Na Mwandishi wa Barazani umla ya matukio 43 ya ukiuk- aji wa uhuru wa habari yameripotiwa katika Rejista Jya Ukiukaji wa Uhuru wa Habari inayosimamiwa na Baraza la Habari Tanzania. Ukiukaji huo ni pamoja na vitisho, mashambulizi, kunyimwa habari, mauaji na kufungiwa vyombo vya habari. Taarifa ya Ukiukaji wa Uhuru wa Habari imeeleza kuwa kulikuwa na matukio 13 ya kukamatwa, mawili ya mashambulizi, kumi ya na matatu ya kunyima taarifa. Ukiukaji mwingine ulioripotiwa unajumuisha matukio mawili ya kujibinya wenyewe, manne ya kufungiwa,mawili ya kusimamishwa, matano ya vitisho na tukio moja la hifadhi ya ukimbizi na kusimamishwa kipindi. Waandishi walikamatwa na polisi kutokana na maelekezo ya wenye mamlaka ama vyombo vya usimamizi kama vile Mamlaka ya Udhibiti Mawasiliano Tanzania katika maeneo mengi na kwa sababu mbalimbali. Januari 15, 2020 mwandishi anayeandikia gazeti la Mwananchi alikamatwa Mwanza kwa kupiga picha ndani ya Ofisi za Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA). Aliachiwa baadaye baada ya MCT, Umoja wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) Klabu ya Waandishi Mwanza na MCL Mtandaoni kuingillia. Waandishi watatu wa Njombe walikamatwa Februari 29 kwa Mwandishi Ansbert Ngurumo apewa hifadhi ya ukimbizi Sweden madai ya kuendesha runinga za mtandaoni kinyume kanuni za pamoja na mmiliki wa runinga ya maudhui ya mtandaoni bila leseni mwaka 2017 za sheria ya mtandaoni ya Njombe ambayo ni kinyume na kifungu 103 Mawasiliano ya Kieletroniki na walishitakiwa mbele ya Mahakama (1) cha Kanuni za 2018 za sheria ya Posta. ya Hakimu Mkazi ya Njombe. Mawasiliano ya Kieletroniki na Machi 4, 2020 waandishi hao Walishitakiwa kwa kosa la kutoa Endelea Ukurasa wa 4 3 Jarida la Baraza la Habari Tanzania WaliomeremetaHabari Matukio 43 ya ukiukaji uhuru wa habari yarekodiwa Inatoka Ukurasa wa 3 Posta pamoja na Kanuni 14(1) na (18). Kanuni hizo zinapingwa na MCT, Kituo cha Haki za Binadamu (LHRC) na THRDC katika Mahakama ya Rufaa. Waandishi wawili mmoja kutoka gazeti la Mwananchi na mwingine wa Runinga ya Global walishambuliwa na Polisi Februari 29, 2020 katika mkutano wa kisiasa uliohutubiwa na Mwenyekiti wa chama cha upinzani cha Chadema, Freeman Mbowe katika viwanja vya Nkoromu , wilaya ya Hai, mkoa Kilimanjaro. Ingawa waandishi wote walijitambulisha , polisi Mwandishi mkongwe Prince Bagenda alikamatwa waliwashambulia. Waandishi watano walizuiwa wa jumla wa Tuzo za Umahiri wa akimpinga Rais Magufuli amepewa kuingia mahakamani mjini Arusha Uandishi wa Habari Tanzania hifadhi ya ukimbizi Sweden. Machi 23, 2020 kuandika habari za (EJAT) aliachishwa kazi na gazeti la Ansbert Ngurumo ambaye kesi ya mauaji ya msichana wa kazi Mwananchi baada ya kutumikia alikimbia nchi Machi 2018 akihofia za nyumbani aliyekuwa kwa kipindi kifupi cha miezi mili maisha yake amepewa cheti cha akifanyakazi kwa polisi. Imedaiwa kutokana na kinachokisiwa kuwa ni hifadhi ya ukimbizi Machi 4, 2020. kuwa aliuawa kwa madai ya amri kutoka juu. Aprili 24, 2020 polisi kupigwa na mke wa askari huyo Runinga ya Mtandaoni ya walimkamata Prince Bagenda, aliyemtuhumu kuiba fedha. Kwanza imesimamishwa kwa miezi mwandishi mzoefu kwa tuhuma ya Matukio mbalimbali ya 11 na TCRA kwa madai ya kuandika kitabu kinachompinga wanahabari kukamatwa kutangaza habari isiyo na Rais Magufuli. yameorodheshwa katika ripoti hiyo. ulinganishi kuhusu mlipuko wa Mwaka 2019 kulikuwa na Leseni ya gazeti la Mwananchi ugonjwa wa Covid-19 nchini matukio 73 ya ukiukaji wa uhuru mtandaoni ilisimamishwa kwa nusu Tanzania. wa habari ambapo 49 mwaka wakati mwandishi wa habari TCRA Aprili 2, 2020 iliamuru yalithibitishwa na kuchapishwa wa Zanzibar alisimamishwa makampuni matatu kuomba radhi katika Rejista ya Ukiukaji wa kufanyakazi kwa miezi sita kwa na kulipa faini ya sh. milioni tano Uhuru wa Habari (PFVR) ambapo madai ya kukiuka maadili ya kila mmoja katika kipindi cha siku mwaka 2018 jumla ya matukio 46 uandishi. 30 kwa madai ya kukiuka kanuni za ya ukiukaji wa uhuru wa habari Leseni ya gazeti la Tanzania utangazaji. yaliripotiwa ambapo 29 Daima ilifutwa Juni 23, kwa madai Mwandishi wa gazeti la Citizen yalithibitishwa na kuingizwa katika ya gazeti hilo kung’ang’ania aliachishwa kazi kwa kumpinga PFVR. kuandika habari zinazokera wenye Rais Magufuli kwenye akaunti Ripoti kamili ya ukiukwaji wa mamlaka. yake ya twitter. uhuru wa habari inapatikana katika Mhariri aliyewahi kuwa mshindi Mwandishi mwingine aliyekuwa tovuti ya MCT www.mct.or.tz 4 Toleo la 84, September-Oktoba,Toleo la 160, Desemba, 20102020 WaliomeremetaHabari Bodi ya Baraza la Habari Tanzania ikiwa katika kikao cha kwanza tangu ilipochaguliwa. Kikao hicho kilifanyika Desemba 21,2020. MCT yaagizwa kusaidia kuinua uchumi wa vyombo vya habari Na Mwandishi wetu Mukajanga ambaye pia ni Katibu Hata hivyo ilibainika wakati wa wa Bodi hiyo alisema kikao hicho cha majadiliano kuwa hata njia mbadala Bodi kilichifanyika chini ya ya mtandaoni haina mafanikio araza la Habari Tanzania Mwenyekiti wake ambaye pia ni Rais kichumi. (MCT) limepewa jukumu la mpya wa Baraza Jaji mstaafu Juxon Bodi pia imeelekeza Baraza kukutana na wadau wa Mlay ilieleza wasiwasi wake kuhusu liendeleze juhudi za kukutana na Bhabari, wahariri, mameneja na hali mbaya ya uchumi katika vyombo serikali kwa lengo la kuboresha wamiliki wa vyombo vya habari kuan- vya habari. mazingira ya vyombo vya habari galia mfumo mpya utakaosaidia kui- Bodi hiyo, alisema Mukajanga, kufanyakazi. nua uchumi wa tasnia hiyo. imeona kuwa katika hali ya sasa ya Licha ya kujadili kuhusu hali Katibu Mtendaji wa Baraza hilo, kijamii, kiuchumi na mazingira ya mbaya ya uchumi katika vyombo vya Kajubi Mukajanga amesema ni kisiasa nchini, ni muhimu Baraza habari, Bodi pia ilipokea Mpango kazi muhimu kwa Baraza hilo kuangalia kukutana na wadau na kujadili njia wa Baraza kwa mwaka 2021, taarifa njia mbadala za biashara hiyo ili bora za kuendesha biashara ya habari. ya Kamati ya Fedha na Utawala na kuweza kujikwamua na hali ngumu “ Ni muhimu tukaacha njia za taarifa ya Kamati ya Maadili kuhusu ya uchumi. kawaida za kutegemea matangazo na hali ya uhuru wa habari kwa mwaka Hatua ya kutaka kurekebisha hali mauzo”, Mukajanga alisema. 2020. ya uchumi ya vyombo hivyo ilifikiwa Kutokana na hali mbaya ya Wajumbe wa Bodi hiyo mpya katika kikao cha kwanza cha Bodi uchumi, baadhi ya vyombo vya habari walichaguliwa katika Mkutano Mkuu mpya ya Baraza kilichofanyika vimefunga
Recommended publications
  • 1458125471-Hs-6-8-20
    [Show full text]
  • TANZANIA GOVERNANCE REVIEW 2013: Who Will Benefit from the Gas Economy, If It Happens?
    TANZANIA GOVERNANCE REVIEW 2013: Who will benefit from the gas economy, if it happens? TANZANIA GOVERNANCE REVIEW 2013: Who will benefit from the gas economy, if it happens? TANZANIA GOVERNANCE REVIEW 2013 Who will benefit from the gas economy, if it happens? Supported by: 2 TANZANIA GOVERNANCE REVIEW 2013: Who will benefit from the gas economy, if it happens? ACKNOWLEDGEMENTS Policy Forum would like to thank the Foundation for Civil Society for the generous grant that financed Tanzania Governance Review 2013. The review was drafted by Tanzania Development Research Group and edited by Policy Forum. The cartoons were drawn by Adam Lutta (Adamu). Tanzania Governance Reviews for 2006-7, 2008-9, 2010-11, 2012 and 2013 can be downloaded from the Policy Forum website. The views expressed and conclusions drawn on the basis of data and analysis presented in this review do not necessarily reflect those of Policy Forum. TGRs review published and unpublished materials from official sources, civil society and academia, and from the media. Policy Forum has made every effort to verify the accuracy of the information contained in TGR2013, particularly with media sources. However, Policy Forum cannot guarantee the accuracy of all reported claims, statements, and statistics. Whereas any part of this review can be reproduced provided it is duly sourced, Policy Forum cannot accept responsibility for the consequences of its use for other purposes or in other contexts. ISBN:978-9987-708-19-2 For more information and to order copies of the report please contact: Policy Forum P.O. Box 38486 Dar es Salaam Tel +255 22 2780200 Website: www.policyforum.or.tz Email: [email protected] Suggested citation: Policy Forum 2015.
    [Show full text]
  • MKUTANO WA TISA Kikao Cha Kumi Na
    Hii ni Nakala ya Mtandao (Online Document) BUNGE LA TANZANIA ____________ MAJADILIANO YA BUNGE ____________ MKUTANO WA TISA Kikao cha Kumi na Nne - Tarehe 16 Novemba, 2007 (Mkutano Ulianza Saa Tatu Asubuhi) D U A Spika (Mhe. Samuel J. Sitta) Alisoma Dua HATI ZILIZOWASILISHWA MEZANI Hati Zifuatazo Ziliwasilishwa Mezani na:- WAZIRI WA NCHI, OFISI YA WAZIRI MKUU (MHE. DR. BATILDA S. BURIAN):- Taarifa ya Hali ya Dawa za Kulevya kwa Mwaka 2006. NAIBU WAZIRI WA MIUNDOMBINU (MHE. DR. MAUA A. DAFTARI):- Taarifa ya Mwaka na Hesabu za Bodi ya Mfuko wa Barabara kwa Mwaka 2004/2005 (The Annual Report and Accounts of the Road Fund Board for the Year 2004/2005) . MASWALI NA MAJIBU Na. 187 1 Mahitaji ya Hospitali ya Wilaya – Kigoma Vijijini MHE. MHONGA S. RUHWANYA aliuliza:- Kwa kuwa, pamoja na juhudi mbalimbali za Serikali za kuboresha huduma za afya nchini, bado tatizo ni kubwa katika Mkoa wa Kigoma kutokana na kukosekana kwa hospitali ya Wilaya, hali inayosababisha hospitali ya Mkoa kuelemewa na wagonjwa wengi hivyo kushindwa kuwamudu na kusababisha vifo visivyo vya lazima vya watoto na akinamama wajawazito wanaohitaji upasuaji baada ya kushindwa kujifungua kwa njia ya kawaida. Je, Serikali haioni kuwa, kuna haja ya kujenga hospitali ya Wilaya ya Kigoma Vijijini ili kuondoa matatizo yanayoikabili hospitali ya Mkoa? NAIBU WAZIRI, OFISI YA WAZIRI MKUU, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA alijibu:- Mheshimiwa Spika, kwa niaba ya Mheshimiwa Waziri Mkuu, naomba kujibu swali la Mheshimiwa Mhonga Said Ruhwanya, Mbunge wa Viti Maalum, kama ifuatavyo:- Mheshimiwa Spika, Serikali inatambua hali halisi ya huduma za afya zinazotolewa kwa wananchi ikiwa ni pamoja na wakazi wa Wilaya ya Kigoma.
    [Show full text]
  • Conservation in East Africa TURKANA WATER, WATER EVERYWHERE but the PROSPECTS STILL LOOK BLEAK
    JANUARY-MARCH 2014 The Voice of Conservation in East Africa TURKANA WATER, WATER EVERYWHERE BUT THE PROSPECTS STILL LOOK BLEAK ANGOLA,GUINEA, CHINA AND CITES UNDER SPOTLIGHT THE NEW GENERATION OF CONSERVATIONISTS TALK The East African region is well known 1. Become a member Lewa Wildlife Conservancy and for the richness and beauty of its 2. Make a donation mail it to 38 Miller Ave, Mill Valley, biodiversity. It has been this that has 3. Leave a legacy in your will CA 94941 with EAWLS noted made the region a favourite destination on the memo line. Credit card for millions of visitors. But this precious 1. If you are interested in becoming a donations can be made by calling inheritance is under real pressure from member, then this can be done quite Lewa USA’s Executive Director, unplanned development, mismanagement, easily online by visiting our website: Ginger Thomson at 415.627.8187. corruption, population growth and a lack www.eawildlife.org; selecting the of understanding that good economic click here for more information • For UK, we have now registered growth depends on maintaining a healthy under the Subscribe or Renew East African Wild Life Society environment in all its attributes as the Membership title on the home (UK) as a UK Registered Charity platform for development. page, and following the procedures (Charity No. 1153041). Donations requested. would be entitled to tax relief. The East African Wild Life Society EAWLS (UK) has a dedicated is home grown. We are part of East 2. For a donation, we have now made it bank account and the details can African Society culture and future.
    [Show full text]
  • MKUTANO WA 18 TAREHE 5 FEBRUARI, 2015 MREMA 1.Pmd
    5 FEBRUARI, 2015 BUNGE LA TANZANIA _________________ MAJADILIANO YA BUNGE __________________ MKUTANO WA KUMI NA NANE Kikao cha Tisa – Tarehe 5 Februari, 2015 (Mkutano Ulianza Saa Tatu Asubuhi) D U A Spika (Mhe. Anne S. Makinda) Alisoma Dua MASWALI KWA WAZIRI MKUU SPIKA: Waheshimiwa Wabunge, Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni, leo sijamwona. Kwa hiyo tunaendelea na Maswali kwa Waziri Mkuu na atakayeanza ni Mheshimiwa Murtaza A. Mangungu. MHE. MURTAZA A. MANGUNGU: Mheshimiwa Spika, nashukuru. Mheshimiwa Waziri Mkuu, kwa vipindi tofauti vya Bunge Mheshimiwa Peter Msigwa, Mheshimiwa Mussa Zungu na hata Mheshimiwa Murtaza A. Mangungu wamekuwa wakiuliza swali kuhusiana na manyanyaso wanayoyapata wafanyabiashara Wadogo Wadogo pamoja na Mamalishe. Kwa kipindi hicho chote umekuwa ukitoa maagizo na maelekezo, inavyoonekana mamlaka zinazosimamia hili jambo haziko tayari kutii amri yako. 1 5 FEBRUARI, 2015 Je, unawaambia nini Watanzania na Bunge hili kwa ujumla? WAZIRI MKUU: Mheshimiwa Spika, naomba nimjibu Mheshimiwa Murtaza Mangungu swali lake kama ifuatavyo:- Suala hili la vijana wetu ambao tunawajua kama Wamachinga, kwanza nataka nikiri kwamba ni suala kubwa na ni tatizo kubwa na si la Jiji la Dar es Salaam tu, bali lipo karibu katika miji mingi. Kwa hiyo, ni jambo ambalo lazima twende nalo kwa kiwango ambacho tutakuwa na uhakika kwamba tunalipatia ufumbuzi wa kudumu. Kwa hiyo, ni kweli kwamba mara kadhaa kuna maelekezo yametolewa yakatekelezwa sehemu na sehemu nyingine hayakutekelezwa kikamilifu kulingana na mazingira ya jambo lenyewe lilivyo. Lakini dhamira ya kutaka kumaliza tatizo hili la Wamachinga bado ipo palepale na kwa bahati nzuri umeuliza wakati mzuri kwa sababu jana tu nimepata taarifa ambayo nimeandikiwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu TAMISEMI ambayo wanaleta mapendekezo kwangu juu ya utaratibu ambao wanafikiri unaweza ukatatua tatizo hili ambalo lipo sehemu nyingi.
    [Show full text]
  • MKUTANO WA NANE Kikao Cha Ishiri
    Hii ni Nakala ya Mtandao (Online Document) BUNGE LA TANZANIA ____________ MAJADILIANO YA BUNGE ________________ MKUTANO WA NANE Kikao cha Ishirini na Nne – Tarehe 16 Julai, 2007 (Mkutano ulianza Saa Tatu Asubuhi) D U A Spika (Mhe. John S. Sitta) Alisoma Dua MASWALI NA MAJIBU SPIKA: Kabla sijamwita Mwuliza swali la Kwanza, ninapenda mtambue tu kwamba kwa sasa hivi, Kaimu Kiongozi wa Shughuli za Serikali humu Bungeni ni Waziri wa Fedha, Mheshimiwa Zakhia Meghji. Na. 214 Kuifanya Vunjo kuwa Wilaya MHE. ALOYCE B. KIMARO aliuliza :- Kwa kuwa wananchi wa Moshi vijijini wameridhia kupitia Baraza la Madiwani kuwa Vunjo ifanywe Wilaya na Makao Makuu yake Makuu yawe Himo Njia Panda; na kwa kuwa wananchi wanangojea kwa hamu tamko la Serikali kuhusu suala hili: Je, Serikali inasemaje kuhusu ombi hilo? NAIBU WAZIRI, OFISI YA WAZIRI MKUU, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA alijibu:- Mheshimiwa Spika, kwa niaba ya Mheshimiwa Waziri Mkuu, naomba kujibu swali la Mheshimiwa Aloyce B. Kimaro, Mbunge wa Vunjo, kama ifuatavyo:- Mheshimiwa Spika, uundwaji au ugawaji wa maeneo mapya ya kiutawala hapa nchini unatawaliwa na Sheria ya Serikali za Mitaa Na.7 (Mamlaka za Wilaya) na Sheria Na.8 (Mamlaka za Miji) za mwaka 1982 na Sheria ya taratibu za uanzishwaji wa Mkoa na Wilaya Na.12 ya mwaka 1994. 1 Kadhalika, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ndiye mwenye mamlaka ya kugawa maeneo ya utawala ya Mikoa, Wilaya pamoja na Tarafa. Aidha, viko vigezo muhimu vinavyotumika kuanzisha maeneo ya utawala, vigezo hivyo ni pamoja na:- § Ukubwa wa eneo la kilomita za mraba zisizopungua 5,000; § Idadi ya Kata zisizopungua 15; § Idadi za vijiji visivyopungua 50; § Idadi ya watu wasiopungua 100,000; § Eneo lenye Jiografia inayozuia huduma kuwafikia wananchi kwa urahisi kama vile milima, miti, misitu mikubwa, visiwa na kadhalika.
    [Show full text]
  • Majadiliano Ya Bunge ______
    Hii ni Nakala ya Mtandao (Online Document) BUNGE LA TANZANIA _________________ MAJADILIANO YA BUNGE _________________ MKUTANO WA ISHIRINI Kikao cha Ishirini na Saba - Tarehe 9 Julai, 2010 (Mkutano ulianza Saa Tatu Asubuhi) D U A Naibu Spika (Mhe. Anna S. Makinda) Alisoma Dua HATI ZlLIZOWASILISHWA MEZANI: Hati Zifuatazo ziliwasilishwa Mezani na:- NAIBU WAZIRI WA NISHATI NA MADINI: Hotuba ya Bajeti ya Waziri wa Nishati na Madini kwa Mwaka wa Fedha, 2010/2011. MHE. WILLIAM H. SHELLUKINDO - MWENYEKITI WA KAMATI YA NISHATI NA MADINI: Taarifa ya Kamati ya ya Nishati na Madini Kuhusu Utekelezaji wa Majukumu ya Wizara ya Nishati na Madini kwa Mwaka wa Fedha 2009/2010 Pamoja na Maoni ya Kamati Kuhusu Makadirio ya Matumizi ya Wizara hiyo kwa Mwaka wa Fedha 2010/2011. MHE.SAVELINA S. MWIJAGE (K.n.y. MSEMAJI MKUU WA KAMATI YA UPINZANI KUHUSU WIZARA YA NISHATI NA MADINI): Taarifa ya Msemaji wa Mkuu wa Kambi ya Upinzani Kuhusu Makadiro ya Matumizi ya Wizara ya Nishati na Madini kwa Mwaka wa Fedha 2010/2011. NAIBU WAZIRI WA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI (MHE. MWANTUMU BAKARI MAHIZA): 1 Randama za Makadiro ya Matumizi ya Wizara ya Elimu na Mfunzo ya Ufundi kwa Mwaka wa Fedha 2010/2011. NAIBU WAZIRI WA FEDHA NA UCHUMI (MHE. OMAR YUSSUF MZEE): Taarifa ya Majumuisho ya Mpango Mkakati wa Kujibu Hoja za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali kwa Hesabu za Wizara, Idara za Serikali na Mikoa kwa Mwaka wa Fedha 2008/2009. MASWALI NA MAJIBU Na. 191 Kuhusu Barabara ya Makutupa Bumila Jimbo la Mpwapwa MHE. GEOREGE M.
    [Show full text]
  • Tanzania Human Rights Report 2012
    Tanzania Human Rights Report 2012 Part One: Tanzania Mainland – Legal and Tanzania Human Human Rights Centre (LHRC) Rights Report 2012 Part Two: Zanzibar – Zanzibar Legal Services Centre (ZLSC) Tanzania Human Rights Report 2012 ii Publishers Legal and Human Rights Centre Justice Lugakingira House, Kijitonyama P.O Box 75254, Dar es Salaam, Tanzania Tel: +255222773038/48, Fax: +255222773037 Email: [email protected] Website: www.humanrights.or.tz & Zanzibar Legal Services Centre P.O Box 3360, Zanzibar, Tanzania Tel: +2552422384 Tanzania Fax: +255242234495 Human Email: [email protected] Rights Website: www.zlsc.or.tz Report Partners 2012 Embassy of Sweden Accountability in Tanzania Foundation for Civil Society ISBN: 978-9987-432-97-4 Printer Togo Systematic Investment © LHRC & ZLSC 2013 iii Editorial Board – Part One Dr. Helen Kijo-Bisimba Adv. Harold Sungusia Ms. Rose Mwalongo Mr. Rodrick Maro Researchers Mr. Onesmo Olengurumwa Mr. Pasience Mlowe Tanzania Writers Human Mr. Onesmo Olengurumwa Rights Report Mr. Pasience Mlowe Mr. Joseph Parsambei 2012 Layout & Design Mr. Rodrick Maro iv Acknowledgements The continued preparation of the Tanzania Human Rights Report for the past ten years now has been possible with the contribution from a number of players. These players have jontly made it possible to come up with the report and signify its validity to its users as a reference book, authority in courts of law and informative depicting the human rights situation in the country for a particular year. As for the 2012 Tanzania Human Rights Report, Legal Human Rights Centre (LHRC) and the Zanzibar Legal Services Centre (ZLSC) would like to acknowledge the following for their tireless dedication and devotion to this work.
    [Show full text]
  • Tanzania 2012 Human Rights Report
    TANZANIA 2012 HUMAN RIGHTS REPORT EXECUTIVE SUMMARY The United Republic of Tanzania is a multiparty republic consisting of the mainland and the semiautonomous Zanzibar archipelago, whose main islands are Unguja and Pemba. The union is headed by a president, who is also the head of government. Its unicameral legislative body is the National Assembly (parliament). Zanzibar, although part of the union, has its own government with a president, court system, and legislature, and exercises considerable autonomy. Tanzania held its fourth multiparty general elections in 2010 in which voters on mainland Tanzania and Zanzibar elected a union president (Jakaya Kikwete) and their respective representatives in the union legislature. The Zanzibari electorate chose Ali Mohamed Shein as president of Zanzibar. The union and Zanzibari elections were judged to be largely free and fair. Union security forces reported to civilian authorities, but there were instances in which elements of the security forces acted independently of civilian control. The three most widespread and systemic human rights problems in the country were excessive use of force by security forces resulting in deaths and injuries, restrictions on political expression, and lack of access to justice as well as a related continuation of mob violence. Other human rights problems included harsh and life-threatening prison conditions; lengthy pretrial detention; some restrictions on religious freedom; restrictions on the movement of refugees; official corruption; societal violence against women and persons with albinism; child abuse, including female genital mutilation/cutting (FGM/C); and discrimination based on sexual orientation. Trafficking in persons, both internal and international, as well as child labor were also problems.
    [Show full text]
  • Tanzania Human Rights Report 2012
    Tanzania Human Rights Report 2012 Part One: Tanzania Mainland – Legal and Tanzania Human Human Rights Centre (LHRC) Rights Report 2012 Part Two: Zanzibar – Zanzibar Legal Services Centre (ZLSC) Tanzania Human Rights Report 2012 ii Publishers Legal and Human Rights Centre Justice Lugakingira House, Kijitonyama P.O Box 75254, Dar es Salaam, Tanzania Tel: +255222773038/48, Fax: +255222773037 Email: [email protected] Website: www.humanrights.or.tz & Zanzibar Legal Services Centre P.O Box 3360, Zanzibar, Tanzania Tel: +2552422384 Tanzania Fax: +255242234495 Human Email: [email protected] Rights Website: www.zlsc.or.tz Report Partners 2012 Embassy of Sweden Accountability in Tanzania Foundation for Civil Society ISBN: 978-9987-432-97-4 Printer Togo Systematic Investment © LHRC & ZLSC 2013 iii Editorial Board – Part One Dr. Helen Kijo-Bisimba Adv. Harold Sungusia Ms. Rose Mwalongo Mr. Rodrick Maro Researchers Mr. Onesmo Olengurumwa Mr. Pasience Mlowe Tanzania Writers Human Mr. Onesmo Olengurumwa Rights Report Mr. Pasience Mlowe Mr. Joseph Parsambei 2012 Layout & Design Mr. Rodrick Maro iv Acknowledgements The continued preparation of the Tanzania Human Rights Report for the past ten years now has been possible with the contribution from a number of players. These players have jontly made it possible to come up with the report and signify its validity to its users as a reference book, authority in courts of law and informative depicting the human rights situation in the country for a particular year. As for the 2012 Tanzania Human Rights Report, Legal Human Rights Centre (LHRC) and the Zanzibar Legal Services Centre (ZLSC) would like to acknowledge the following for their tireless dedication and devotion to this work.
    [Show full text]
  • MKUTANO WA KUMI NA MOJA Kikao Cha Sita
    Hii ni Nakala ya Mtandao (Online Document) BUNGE LA TANZANIA _______________ MAJADILIANO YA BUNGE ______________ MKUTANO WA KUMI NA MOJA Kikao cha Sita – Tarehe 15 AprilI, 2008 (Mkutano Ulianza Saa Tatu Asubuhi) D U A Naibu Spika (Mhe. Anne S. Makinda) Alisoma Dua HATI ZILIZOWASILISHWA MEZANI Hati ifuatayo iliwasilishwa Mezani na:- NAIBU WAZIRI WA FEDHA NA UCHUMI (MHE. OMAR YUSSUF MZEE): Taarifa ya Mwaka na Hesabu za Tume ya Rais ya Kurekebisha Mashirika ya Umma kwa Mwaka ulioishia tarehe 30 Juni, 2007 (The Annual Report and Accounts of Presidential Parastatal Sector Reform Commission for the year ended 30th June, 2007) MASWALI NA MAJIBU Na. 68 Fedha za Misaada MHE. MGANA I. MSINDAI aliuliza:- Kwa kuwa ni ukweli usiopingika kuwa, fedha nyingi zinazotolewa na TACAIDS, Global Fund na Mashirika mengine kupitia Halmashauri za Wilaya bado haziwafikii walengwa kama waathirika wa UKIMWI, Watoto Yatima hasa wanaoishi vijijini kama ilivyothibitika katika ripoti ya CAG kwa baadhi ya Wilaya hapa nchini; na kwa kuwa fedha hizo bado zinatumika kwa semina, makongamano hasa maeneo ya Wilayani:- (a) Je, Serikali ina mkakati gani kuhakikisha hizo fedha zinawafikia walengwa? 1 (b) Je, Serikali haioni kuwa ni busara kutumia Special Audit Report ya CAG iwe kama mwongozo wa kusahihisha makosa ambayo bado yanaendelea kwenye Halmashauri nyingi za Wilaya hapa nchini? (c) Je, Serikali haioni kuwa umefika wakati ambapo ni lazima watoe mwongozo thabiti kama ule wa Basket Fund ili fedha zisiendelee kutumiwa na Wilaya zaidi kwa kulipana posho, nauli na vitafunwa? WAZIRI WA NCHI, OFISI YA WAZIRI MKUU – SERA NA URATIBU NA BUNGE alijibu:- Mheshimiwa Naibu Spika, napenda kujibu swali la Mheshimiwa Mgana I.
    [Show full text]
  • Tanzania 2013 Human Rights Report
    TANZANIA 2013 HUMAN RIGHTS REPORT EXECUTIVE SUMMARY The United Republic of Tanzania is a multi-party republic consisting of the mainland region and the semiautonomous Zanzibar archipelago, whose main islands are Unguja and Pemba. The union is headed by a president, who is also the head of government. Its unicameral legislative body is the National Assembly (parliament). Zanzibar, although part of the union, has its own government with a president, court system, and legislature, and exercises considerable autonomy. Tanzania held its fourth multi-party general elections in 2010 in which voters on mainland Tanzania and Zanzibar elected a union president (Jakaya Kikwete) and their respective representatives in the union legislature. The Zanzibari electorate chose Ali Mohamed Shein as president of Zanzibar. The union and Zanzibari elections were judged to be largely free and fair. Union security forces reported to civilian authorities, but there were instances in which elements of the security forces acted independently of civilian control. Security forces at times committed human rights abuses. The three most widespread and systemic human rights problems in the country were excessive use of force by security forces resulting in deaths and injuries, gender-based violence including female genital mutilation/cutting (FGM/C), and lack of access to justice as well as a related continuation of mob violence. Other human rights problems included harsh and life-threatening prison conditions, lengthy pretrial detention, some restrictions on religious freedom, restrictions on the movement of refugees, official corruption, restrictions on political expression, child abuse, and discrimination based on sexual orientation, and societal violence against persons with albinism.
    [Show full text]