Toleo la 84, September-Oktoba, 2010 Waliomeremeta Jarida la Baraza la Habari Tanzania Kukuza Uhuru wa Vyombo vya Habari na kuhakikisha Toleo la 160, Decemba, 2020 ISSN 0856-874X viwango vya juu kabisa vya weledi na uwajibikaji Ukiukaji wa uhuru wa habari waongezeka WACHANGAMKIA MACHAPISHO YA MCT MCT yaagizwa kusaidia Karibu Waziri CPJ, IPI kuinua uchumi Bashungwa lakini … yalaani vikali Uk 5 Uk 9 Uk 13 Jarida la Baraza la Habari Tanzania TAHARIRIWaliomeremeta Vyombo vya habari visibanwe Washiriki ya Maonyesho Maalumu ya Ujuzi wakichukua nakala za machapisho mbalimbali ya Baraza la Habari Tanzania. Habari na picha vikue kiuchumi zaidi uk. 8. iashara ya habari – kieletroniki , magazeti na mtandaoni inakabiliwa na hali ngumu ya uchumi. Wanahabari wana hali ngumu. BBaadhi ya vyombo vya habari vimeacha kufanyakazi, vingine vimejitosa mtandaoni na MCT, MSHINDI WA vilivyobaki vinachechemea. Hata hivyo njia mbadala ya mtandaoni TUZO YA IPI 2003 imeripotiwa kuwa siyo ya manufaa pia. FREE MEDIA Kutokana na hali ngumu kiuchumi , kupunguza wafanyakazi ndiyo njia PIONEER inayojitokeza zaidi kwa wamiliki wa vyombo vya habari na mamia ya wafanyakazi wa vyombo vya habari wanajikuta hawana kazi. Ni bahati mbaya sana wakati tasnia ya vyombo vya habari inasinyaa, mamia ama wanamaliza mafunzo katika vyuo vya habari ama wengine wanajiunga na wengine wapo kwenye vyuo hivyo. Wakati maendeleo ya kiuchumi na hata mabaa kama janga la COVID-19 yanaweza kuwa yamechangia katika matatizo ya kiuchumi ya tasnia ya habari, sheria zisizo rafiki zina mchango mkubwa katika utendaji dhaifu na kushuka kwa mapato kwa vyombo vya habari. Sheria kama ya Huduma ya Vyombo vya Habari ya mwaka 2016 zina vikwazo vinavyoathiri utendaji wa vyombo vya habari na zinajenga woga na hofu na kujidhibiti wenyewe. Makala za uchambuzi, habari za uchunguzi sasa ni mambo ya zamani na uoga ndiyo mwendo kwenye vyombo vya habari. Kusifu ndiyo kigezo katika vyombo vya habari huku vikipoteza wasomaji, watazamaji na BODI YA UHARIRI: wasikilizaji. Kajubi Mukajanga Katibu Mtendaji – MCT Juhudi za makundi ya kutetea haki za David Mbulumi Meneja Programu habari zenye kulenga kuleta mabadiliko na Hamis Mzee Mhariri kurekebisha sheria hizo mbovu zinakwama kutokana na kupuuzwa na wenye mamlaka. MAWASILIANO Ingawa kupitia mahakama baadhi ya sheria Kwa Maoni na Malalamiko: zinazopingwa na wadau ziliamriwa Katibu Mtendaji kurekebishwa, wenye mamlaka wameendelea Baraza la Habari Tanzani (MCT) kupuuza uamuzi huo. S.L.P. 10160, Dar es Salaam Maelekezo ya karibuni kwa Baraza la Simu: +255 22 27775728, 22 2771947 Habari kukutana na wadau kuchukua hatua Simu ya Kiganjani: +255 784 314880 za kuviondoa vyombo vya habari katika hali Fax: + +255 22 2700370 ngumu ya kiuchumi ni mwelekeo mzuri. Baruapepe: [email protected] Lakini wakati Baraza, viongozi na wamiliki Tovuti: www.mct.or.tz wa vyombo vya habari wanachukua hatua za Facebook:- www.facebook.com/ kuboresha uchumi wa vyombo vya habari, mediacounciltanzania Twiter:- www.twitter. wenye mamlaka nao waache kuvibana ili com/mctanzania vifanye kazi kwa uhuru. 2 Toleo la 84, September-Oktoba,Toleo la 160, Desemba, 20102020 WaliomeremetaHabari Matukio 43 ya ukiukaji uhuru wa habari yarekodiwa Na Mwandishi wa Barazani umla ya matukio 43 ya ukiuk- aji wa uhuru wa habari yameripotiwa katika Rejista Jya Ukiukaji wa Uhuru wa Habari inayosimamiwa na Baraza la Habari Tanzania. Ukiukaji huo ni pamoja na vitisho, mashambulizi, kunyimwa habari, mauaji na kufungiwa vyombo vya habari. Taarifa ya Ukiukaji wa Uhuru wa Habari imeeleza kuwa kulikuwa na matukio 13 ya kukamatwa, mawili ya mashambulizi, kumi ya na matatu ya kunyima taarifa. Ukiukaji mwingine ulioripotiwa unajumuisha matukio mawili ya kujibinya wenyewe, manne ya kufungiwa,mawili ya kusimamishwa, matano ya vitisho na tukio moja la hifadhi ya ukimbizi na kusimamishwa kipindi. Waandishi walikamatwa na polisi kutokana na maelekezo ya wenye mamlaka ama vyombo vya usimamizi kama vile Mamlaka ya Udhibiti Mawasiliano Tanzania katika maeneo mengi na kwa sababu mbalimbali. Januari 15, 2020 mwandishi anayeandikia gazeti la Mwananchi alikamatwa Mwanza kwa kupiga picha ndani ya Ofisi za Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA). Aliachiwa baadaye baada ya MCT, Umoja wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) Klabu ya Waandishi Mwanza na MCL Mtandaoni kuingillia. Waandishi watatu wa Njombe walikamatwa Februari 29 kwa Mwandishi Ansbert Ngurumo apewa hifadhi ya ukimbizi Sweden madai ya kuendesha runinga za mtandaoni kinyume kanuni za pamoja na mmiliki wa runinga ya maudhui ya mtandaoni bila leseni mwaka 2017 za sheria ya mtandaoni ya Njombe ambayo ni kinyume na kifungu 103 Mawasiliano ya Kieletroniki na walishitakiwa mbele ya Mahakama (1) cha Kanuni za 2018 za sheria ya Posta. ya Hakimu Mkazi ya Njombe. Mawasiliano ya Kieletroniki na Machi 4, 2020 waandishi hao Walishitakiwa kwa kosa la kutoa Endelea Ukurasa wa 4 3 Jarida la Baraza la Habari Tanzania WaliomeremetaHabari Matukio 43 ya ukiukaji uhuru wa habari yarekodiwa Inatoka Ukurasa wa 3 Posta pamoja na Kanuni 14(1) na (18). Kanuni hizo zinapingwa na MCT, Kituo cha Haki za Binadamu (LHRC) na THRDC katika Mahakama ya Rufaa. Waandishi wawili mmoja kutoka gazeti la Mwananchi na mwingine wa Runinga ya Global walishambuliwa na Polisi Februari 29, 2020 katika mkutano wa kisiasa uliohutubiwa na Mwenyekiti wa chama cha upinzani cha Chadema, Freeman Mbowe katika viwanja vya Nkoromu , wilaya ya Hai, mkoa Kilimanjaro. Ingawa waandishi wote walijitambulisha , polisi Mwandishi mkongwe Prince Bagenda alikamatwa waliwashambulia. Waandishi watano walizuiwa wa jumla wa Tuzo za Umahiri wa akimpinga Rais Magufuli amepewa kuingia mahakamani mjini Arusha Uandishi wa Habari Tanzania hifadhi ya ukimbizi Sweden. Machi 23, 2020 kuandika habari za (EJAT) aliachishwa kazi na gazeti la Ansbert Ngurumo ambaye kesi ya mauaji ya msichana wa kazi Mwananchi baada ya kutumikia alikimbia nchi Machi 2018 akihofia za nyumbani aliyekuwa kwa kipindi kifupi cha miezi mili maisha yake amepewa cheti cha akifanyakazi kwa polisi. Imedaiwa kutokana na kinachokisiwa kuwa ni hifadhi ya ukimbizi Machi 4, 2020. kuwa aliuawa kwa madai ya amri kutoka juu. Aprili 24, 2020 polisi kupigwa na mke wa askari huyo Runinga ya Mtandaoni ya walimkamata Prince Bagenda, aliyemtuhumu kuiba fedha. Kwanza imesimamishwa kwa miezi mwandishi mzoefu kwa tuhuma ya Matukio mbalimbali ya 11 na TCRA kwa madai ya kuandika kitabu kinachompinga wanahabari kukamatwa kutangaza habari isiyo na Rais Magufuli. yameorodheshwa katika ripoti hiyo. ulinganishi kuhusu mlipuko wa Mwaka 2019 kulikuwa na Leseni ya gazeti la Mwananchi ugonjwa wa Covid-19 nchini matukio 73 ya ukiukaji wa uhuru mtandaoni ilisimamishwa kwa nusu Tanzania. wa habari ambapo 49 mwaka wakati mwandishi wa habari TCRA Aprili 2, 2020 iliamuru yalithibitishwa na kuchapishwa wa Zanzibar alisimamishwa makampuni matatu kuomba radhi katika Rejista ya Ukiukaji wa kufanyakazi kwa miezi sita kwa na kulipa faini ya sh. milioni tano Uhuru wa Habari (PFVR) ambapo madai ya kukiuka maadili ya kila mmoja katika kipindi cha siku mwaka 2018 jumla ya matukio 46 uandishi. 30 kwa madai ya kukiuka kanuni za ya ukiukaji wa uhuru wa habari Leseni ya gazeti la Tanzania utangazaji. yaliripotiwa ambapo 29 Daima ilifutwa Juni 23, kwa madai Mwandishi wa gazeti la Citizen yalithibitishwa na kuingizwa katika ya gazeti hilo kung’ang’ania aliachishwa kazi kwa kumpinga PFVR. kuandika habari zinazokera wenye Rais Magufuli kwenye akaunti Ripoti kamili ya ukiukwaji wa mamlaka. yake ya twitter. uhuru wa habari inapatikana katika Mhariri aliyewahi kuwa mshindi Mwandishi mwingine aliyekuwa tovuti ya MCT www.mct.or.tz 4 Toleo la 84, September-Oktoba,Toleo la 160, Desemba, 20102020 WaliomeremetaHabari Bodi ya Baraza la Habari Tanzania ikiwa katika kikao cha kwanza tangu ilipochaguliwa. Kikao hicho kilifanyika Desemba 21,2020. MCT yaagizwa kusaidia kuinua uchumi wa vyombo vya habari Na Mwandishi wetu Mukajanga ambaye pia ni Katibu Hata hivyo ilibainika wakati wa wa Bodi hiyo alisema kikao hicho cha majadiliano kuwa hata njia mbadala Bodi kilichifanyika chini ya ya mtandaoni haina mafanikio araza la Habari Tanzania Mwenyekiti wake ambaye pia ni Rais kichumi. (MCT) limepewa jukumu la mpya wa Baraza Jaji mstaafu Juxon Bodi pia imeelekeza Baraza kukutana na wadau wa Mlay ilieleza wasiwasi wake kuhusu liendeleze juhudi za kukutana na Bhabari, wahariri, mameneja na hali mbaya ya uchumi katika vyombo serikali kwa lengo la kuboresha wamiliki wa vyombo vya habari kuan- vya habari. mazingira ya vyombo vya habari galia mfumo mpya utakaosaidia kui- Bodi hiyo, alisema Mukajanga, kufanyakazi. nua uchumi wa tasnia hiyo. imeona kuwa katika hali ya sasa ya Licha ya kujadili kuhusu hali Katibu Mtendaji wa Baraza hilo, kijamii, kiuchumi na mazingira ya mbaya ya uchumi katika vyombo vya Kajubi Mukajanga amesema ni kisiasa nchini, ni muhimu Baraza habari, Bodi pia ilipokea Mpango kazi muhimu kwa Baraza hilo kuangalia kukutana na wadau na kujadili njia wa Baraza kwa mwaka 2021, taarifa njia mbadala za biashara hiyo ili bora za kuendesha biashara ya habari. ya Kamati ya Fedha na Utawala na kuweza kujikwamua na hali ngumu “ Ni muhimu tukaacha njia za taarifa ya Kamati ya Maadili kuhusu ya uchumi. kawaida za kutegemea matangazo na hali ya uhuru wa habari kwa mwaka Hatua ya kutaka kurekebisha hali mauzo”, Mukajanga alisema. 2020. ya uchumi ya vyombo hivyo ilifikiwa Kutokana na hali mbaya ya Wajumbe wa Bodi hiyo mpya katika kikao cha kwanza cha Bodi uchumi, baadhi ya vyombo vya habari walichaguliwa katika Mkutano Mkuu mpya ya Baraza kilichofanyika vimefunga
Details
-
File Typepdf
-
Upload Time-
-
Content LanguagesEnglish
-
Upload UserAnonymous/Not logged-in
-
File Pages16 Page
-
File Size-