Hotuba Ya Bajeti 2020-2021
Total Page:16
File Type:pdf, Size:1020Kb
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI HOTUBA YA WAZIRI WA MIFUGO NA UVUVI MHESHIMIWA LUHAGA JOELSON MPINA (MB), KUHUSU MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA FEDHA YA WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI KWA MWAKA 2020/2021 Meli ya Buah Naga 1 iliyokamatwa ikifanya uvuvi haramu katika Ukanda wa Uchumi wa Bahari Kuu Tanzania i Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Luhaga Joelson Mpina (Mb) na Mhe. Jokate Mwegelo Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe wakati wa uzinduzi wa chanjo ya homa ya mapafu ya ng'ombe (CBPP) kitaifa tarehe 02 Septemba 2019, katika Wilaya ya Kisarawe, Mkoani Pwani. Dozi moja ya chanjo hiyo ni Shilingi 250. Katibu Mkuu Mifugo Prof. Elisante Ole Gabriel akizungumza mara baada ya kukagua shamba darasa la malisho bora ya mifugo katika Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi, Mkoani Singida na kuwaasa viongozi wa mikoa yote nchini kuhakikisha wanatenga maeneo na kushirikiana na wataalam wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi ili kuwapatia elimu wafugaji kuhusu kilimo bora cha malisho ii MHE. LUHAGA JOELSON MPINA WAZIRI WA MIFUGO NA UVUVI MHE. ABDALLAH HAMIS ULEGA NAIBU WAZIRI WA MIFUGO NA UVUVI PROF. ELISANTE OLE GABRIEL DKT. RASHID ADAM TAMATAMAH KATIBU MKUU MIFUGO KATIBU MKUU UVUVI iii HOTUBA YA WAZIRI WA MIFUGO NA UVUVI MHESHIMIWA LUHAGA JOELSON MPINA (MB) KUHUSU MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA FEDHA YA WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI KWA MWAKA 2020/2021 i YALIYOMO VIFUPISHO VYA MANENO.................................................................................... X A. UTANGULIZI............................................................................................................1 B. SEKTA YA MIFUGO (FUNGU 99) ...............................................................6 HALI HALISI YA SEKTA YA MIFUGO ........................................6 UTEKELEZAJI WA MPANGO NA BAJETI YA MWAKA 2019/2020 NA MPANGO NA BAJETI YA MWAKA 2020 /2021...................................................................................................10 Maeneo ya Kipaumbele katika Mwaka 2019/2020 .........................10 Makusanyo ya Maduhuli ....................................................................11 Fedha Zilizoidhinishwa kwa Ajili ya Matumizi ya Kawaida na Maendeleo 2019/2020 ..........................................................................11 Matumizi ya Bajeti ya Kawaida..........................................................12 Matumizi ya Bajeti ya Maendeleo......................................................12 Sera, Sheria na Kanuni Katika Sekta ya Mifugo..........................13 Sera, Mikakati na Programu ..................................................................13 Sheria na Kanuni....................................................................................14 Uzalishaji wa Mifugo wa Masoko .................................................17 Huduma ya Uhimilishaji.........................................................................17 Uzalishaji na Usambazaji wa Mitamba ..................................................19 Uzalishaji wa Kuku na Mayai.................................................................20 Uzalishaji wa Nguruwe ......................................................................22 Haki Miliki za Waboreshaji Mbari za Wanyama ........................24 Biashara ya Mifugo na Mazao Yake ..............................................25 Biashara ya Mifugo .............................................................................25 Udhibiti wa Biashara ya Mifugo na Mazao yake (Operesheni Nzagamba)...............................................................................................26 i Kodi, Ada na Tozo Katika Sekta ya Mifugo.................................28 Zao la Ngozi......................................................................................29 Machinjio ya Dodoma......................................................................32 Rasilimali za Malisho, Vyakula na Maji kwa Mifugo.................34 Malisho, Vyakula na Maji kwa Mifugo ..................................................34 Ustawi wa Wanyama.......................................................................37 Utatuzi wa Migogoro Baina ya Wafugaji na Watumiaji Wengine wa Ardhi...........................................................................38 Huduma ya Afya ya Mifugo ..........................................................49 Magonjwa ya Mifugo ..............................................................................49 Uzalishaji na Usambazaji wa Chanjo .....................................................53 Kuimarisha Uchunguzi na Upatikanaji wa Taarifa za Magonjwa ya Mifugo ...........................................................................54 Baraza la Veterinari Tanzania.............................................................55 Utafiti, Mafunzo na Ugani .............................................................59 Uratibu wa Utafiti na Mafunzo..............................................................59 Huduma za Ugani wa Mifugo............................................................63 Taasisi Zilizo Chini ya Wizara .......................................................66 Kampuni ya Ranchi za Taifa...................................................................66 Bodi ya Nyama Tanzania ........................................................................68 Bodi ya Maziwa Tanzania.......................................................................70 Wakala wa Maabara ya Veterinari..........................................................74 Taasisi ya Utafiti wa Mifugo Tanzania ..................................................77 Wakala wa Mafunzo ya Mifugo..............................................................82 C SEKTA YA UVUVI (FUNGU 64) ...................................................85 HALI YA SEKTA YA UVUVI.........................................................85 MAPATO NA MATUMIZI YA FEDHA KWA MWAKA 2019/2020...........................................................................................89 ii Makusanyo ya Maduhuli kwa Mwaka 2019/2020 .................89 Makusanyo ya Maduhuli kwa Mwaka wa Fedha 2019/2020 (Pie Chart)...........................................................................................90 Makadirio ya Ukusanyaji wa Maduhuli kwa Mwaka 2020/2021..........................................................................................91 Fedha Zilizoidhinishwa.................................................................91 Matumizi ya Bajeti ya Kawaida....................................................91 Matumizi ya Bajeti ya Maendeleo...............................................92 MAENEO YA VIPAUMBELE KATIKA MPANGO NA BAJETI YA MWAKA 2020/2021.................................................93 UTEKELEZAJI WA MAJUKUMU KATIKA MWAKA 2019/2020 NA MPANGO WA MWAKA WA FEDHA 2020/2021...........................................................................................94 Sera, Sheria na Kanuni.........................................................................94 MWENENDO WA UVUNAJI WA RASILIMALI ZA UVUVI......98 USIMAMIZI NA UDHIBITI WA RASILIMALI ZA UVUVI NA MAPAMBANO DHIDI YA UVUVI HARAMU ................101 HIFADHI ZA BAHARI NA MAENEO TENGEFU ..................112 UVUVI KATIKA BAHARI KUU .................................................113 UJENZI WA BANDARI YA UVUVI ...........................................119 UKUZAJI VIUMBE MAJI..............................................................122 UTHIBITI WA UBORA NA USALAMA WA MAZAO YA UVUVI..............................................................................................126 HUDUMA ZA UGANI WA UVUVI...........................................129 TAASISI YA UTAFITI WA UVUVI TANZANIA – TAFIRI ...................................................................133 WAKALA WA ELIMU NA MAFUNZO YA UVUVI – FETA ...............................................................................137 iii MIRADI YA MAENDELEO YA SEKTA YA UVUVI ...............141 I Mradi wa Usimamizi Shirikishi wa Rasilimali za Uvuvi Kusini Magharibi mwa Bahari ya Hindi (SWIOFish)...................141 II Mradi wa Usimamizi wa Samaki wanaopatikana katika Tabaka la Juu la Maji..........................................................................143 D MASUALA MTAMBUKA KATIKA SEKTA YA MIFUGO NA UVUVI..............................................................................................146 Dawati la Sekta Binafsi la Wizara...............................................146 Utawala Bora, Jinsia na UKIMWI ................................................149 Teknolojia ya Habari na Mawasiliano ........................................151 Mawasiliano Serikalini ..................................................................154 Mazingira na Mabadiliko ya Tabianchi ......................................155 Ushirikiano wa Kikanda na Kimataifa........................................157 Uwekezaji na Uwezeshaji katika Sekta ya Mifugo na Uvuvi..160 Gawio la Serikali katika Sekta ya Mifugo...................................166 Michango katika Shughuli za Kijamii.........................................167 E HITIMISHO.....................................................................................168 Shukrani...........................................................................................168 F MUHTASARI WA MAOMBI YA FEDHA KWA MWAKA WA FEDHA 2020/2021.........................................................................171 Fungu 99: Sekta ya Mifugo ...........................................................174 Fungu 64: Sekta ya Uvuvi .............................................................174