Bajeti Ya Wizara Ya Mifugo Na Uvuvi

Total Page:16

File Type:pdf, Size:1020Kb

Bajeti Ya Wizara Ya Mifugo Na Uvuvi 0 Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Mashimba Ndaki (wa kwanza kushoto), akifuatiwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji Mhe. Dkt. Christine Ishengoma wakipatiwa maelezo juu ya uzalishaji wa vifaranga vya samaki wakati kamati hiyo ilipotembelea kituo cha ukuzaji viumbe maji Kingolwira, Morogoro Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Mashimba Ndaki (aliyeshika fimbo) akiwaongoza ng’ombe katika josho la Kijiji cha Kinango kilichopo Wilaya ya Magu Mkoani Mwanza, wakati wa zoezi la kuogesha mifugo Mashimba Mashauri Ndaki Waziri wa Mifugo na Uvuvi Abdallah Hamis Ulega Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Prof. Elisante Ole Gabriel Dkt. Rashid Adam Tamatamah Katibu Mkuu Mifugo Katibu Mkuu Uvuvi YALIYOMO VIFUPISHO VYA MANENO ..................................................................vi A. UTANGULIZI................................................................................... 1 B. SEKTA YA MIFUGO (FUNGU 99)................................................ 6 HALI HALISI YA SEKTA YA MIFUGO................................................. 6 UTEKELEZAJI WA MPANGO NA BAJETI YA MWAKA 2020/2021 NA MPANGO NA BAJETI YA MWAKA 2021 /2022........................ 10 Maeneo ya Kipaumbele katika Mwaka 2020/2021.................................. 10 Makusanyo ya Maduhuli............................................................................. 11 Fedha Zilizoidhinishwa kwa Ajili ya Matumizi ya Kawaida na Maendeleo 2020/2021 .................................................................................. 12 Matumizi ya Bajeti ya Kawaida .................................................................. 12 Matumizi ya Bajeti ya Maendeleo .............................................................. 13 Sera, Sheria na Kanuni Katika Sekta ya Mifugo .................................. 13 Sera, Mikakati na Programu .......................................................................... 13 Sheria na Kanuni ............................................................................................. 14 Uzalishaji wa Mifugo na Masoko .......................................................... 16 Huduma ya Uhimilishaji ................................................................................. 16 Uzalishaji na Usambazaji wa Mitamba........................................................... 18 Uzalishaji wa Kuku na Mayai ......................................................................... 20 Uzalishaji wa Nguruwe .............................................................................. 21 Haki Miliki za Waboreshaji Mbari za Wanyama ................................ 23 Biashara ya Mifugo na Mazao Yake ...................................................... 24 Biashara ya Mifugo ..................................................................................... 24 Kodi, Ada na Tozo Katika Sekta ya Mifugo.............................................. 25 Zao la Ngozi.............................................................................................. 26 Machinjio ya Dodoma.............................................................................. 28 Rasilimali za Malisho, Vyakula na Maji kwa Mifugo......................... 29 Malisho, Vyakula na Maji kwa Mifugo........................................................... 29 Ustawi wa Wanyama............................................................................... 33 Utatuzi wa Migogoro Baina ya Wafugaji na Watumiaji Wengine wa Ardhi .......................................................................................................... 33 Huduma ya Afya ya Mifugo .................................................................. 34 Magonjwa ya Mifugo ...................................................................................... 34 Baraza la Veterinari Tanzania ..................................................................... 40 Utafiti, Mafunzo na Ugani ..................................................................... 42 Uratibu wa Utafiti wa Mifugo................................................................... 42 i Taasisi Zilizo Chini ya Sekta ya Mifugo ............................................... 45 Kampuni ya Ranchi za Taifa .................................................................... 45 Bodi ya Nyama Tanzania.......................................................................... 46 Bodi ya Maziwa Tanzania ........................................................................ 49 Wakala wa Maabara ya Veterinari........................................................... 53 Taasisi ya Utafiti wa Mifugo (TALIRI) .................................................. 54 Wakala ya Mafunzo ya Mifugo (LITA)................................................... 58 C. SEKTA YA UVUVI (FUNGU 64) ...................................................... 60 HALI YA SEKTA YA UVUVI................................................................. 60 MAPATO NA MATUMIZI YA FEDHA KWA MWAKA 2020/202164 Makusanyo ya Maduhuli kwa Mwaka 2020/2021 ......................... 64 Makadirio ya Ukusanyaji wa Maduhuli kwa Mwaka 2021/202266 Matumizi ya Bajeti ya Kawaida............................................................ 67 Matumizi ya Bajeti ya Maendeleo....................................................... 67 UTEKELEZAJI WA MAJUKUMU KATIKA MWAKA 2020/2021 NA MPANGO WA MWAKA WA FEDHA 2021/2022 ............................. 68 Usimamizi wa Sera na Sheria............................................................... 68 Usimamizi wa Takwimu za Uvuvi..................................................... 72 Usimamizi na Udhibiti wa Rasilimali za Uvuvi.................................. 75 Uthibiti wa Ubora na Usalama wa Mazao ya Uvuvi.......................... 78 Hifadhi za Bahari na Maeneo Tengefu ................................................. 86 Usimamizi wa Uvuvi katika Bahari Kuu.............................................. 90 Ukuzaji Viumbe Maji............................................................................... 95 Huduma za Ugani wa Uvuvi ............................................................... 104 Wakala wa Elimu na Mafunzo ya Uvuvi – FETA ............................. 115 MIRADI YA MAENDELEO YA SEKTA YA UVUVI ....................... 121 CHANGAMOTO ZA SEKTA YA UVUVI.......................................... 125 MAENEO YA VIPAUMBELE KATIKA MPANGO NA BAJETI YA MWAKA 2021/2022...................................................................... 126 D. MASUALA MTAMBUKA KATIKA SEKTA ZA MIFUGO NA UVUVI...................................................................................................... 127 Dawati la Sekta Binafsi la Wizara ....................................................... 127 Utawala Bora, Jinsia na UKIMWI ........................................................ 130 Teknolojia ya Habari na Mawasiliano Serikalini............................... 131 Mazingira na Mabadiliko ya Tabianchi .............................................. 134 Ushirikiano wa Kikanda na Kimataifa................................................ 136 Uwekezaji na Uwezeshaji katika Sekta za Mifugo na Uvuvi .......... 141 ii Gawio la Serikali katika Sekta ya Mifugo........................................... 147 Michango katika Shughuli za Kijamii ................................................. 148 E HITIMISHO................................................................................... 148 Shukrani................................................................................................... 148 F. MUHTASARI WA MAOMBI YA FEDHA KWA MWAKA WA FEDHA 2021/2022 ......................................................................... 152 Fungu 99: Sekta ya Mifugo ................................................................... 153 Fungu 64: Sekta ya Uvuvi ..................................................................... 154 VIAMBATISHO...................................................................................... 155 iii ORODHA YA VIAMBATISHO Kiambatisho Na. 1: Uzalishaji wa Mazao ya Mifugo Kuanzia Mwaka 2014/2015 hadi 2020/2021 .................................................................................................................................155 Kiambatisho Na. 2: Viwanda vya Kusindika Maziwa kwa mwaka 2020/2021..........155 Kiambatisho Na. 3: Hali ya Uhimilishaji Nchini kwa Mwaka 2019/2020 na mwaka 2020/2021. ................................................................................................................................168 Kiambatisho Na. 4: Uanzishaji na Uendelezaji Wa Kambi za Uhimilishaji kwa Kipindi cha Kuanzia mwaka 2019/20 hadi Machi, 2020/2021 .......................................169 Kiambatisho Na. 5: Uzalishaji wa Mitamba katika Mashamba ya Serikali kuanzia mwaka 2012/2013 hadi 2020/2021........................................................................................170 Kiambatisho Na. 6: Orodha ya Vitotoleshi vya Kuku na Mayai mwaka 2020/2021.171 Kiambatisho Na. 7: Orodha ya Mashamba ya Kuku Wazazi mwaka 2020/2021 .......172 Kiambatisho Na. 8: Maeneo ya Malisho yaliyotengwa kuanzia mwaka 2015-2020.173 Kiambatisho Na. 9: Orodha ya Viwanda vya Kuzalishia Vyakula vya Mifugo .......190 Kiambatisho Na. 10: Orodha ya Maeneo (Maduka) ya Kuuzia Vyakula vya Mifugo na Rasilimali za Vyakula Vya Mifugo yaliyopo mwaka 2020/2021 ............................197 Kiambatisho Na. 11: Mifugo iliyokamatwa kwenye Hifadhi na Mapori Tengefu mwaka 2020/2021...................................................................................................................205 Kiambatisho
Recommended publications
  • Tarehe 4 Aprili, 2019
    NAKALA MTANDAO(ONLINE DOCUMENT) BUNGE LA TANZANIA ________ MAJADILIANO YA BUNGE _________ MKUTANO WA KUMI NA TANO Kikao cha Tatu – Tarehe 4 Aprili, 2019 (Bunge Lilianza Saa Tatu Asubuhi) D U A Spika (Mhe. Job Y. Ndugai) Alisoma Dua SPIKA: Waheshimiwa Wabunge, naomba tukae. Leo ni kikao cha tatu cha Mkutano wetu wa Kumi na Tano. Katibu! NDG. STEPHEN KAGAIGAI – KATIBU WA BUNGE: HATI ZILIZOWASILISHWA MEZANI: Hati Zifuatazo Ziliwasilishwa Mezani na:- WAZIRI WA NCHI, OFISI YA WAZIRI MKUU, SERA, BUNGE, AJIRA, KAZI VIJANA NA WAZEE NA WENYE ULEMAVU: Taarifa ya Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu kwa mwaka wa fedha 2019/2020. MHE. MOHAMED O. MCHENGERWA - MWENYEKITI WA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA KATIBA NA SHERIA: Taarifa 1 NAKALA MTANDAO(ONLINE DOCUMENT) ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria kuhusu utekelezaji wa majukumu ya Ofisi ya Waziri Mkuu kwa mwaka wa fedha 2018/2019 pamoja na Maoni ya Kamati kuhusu Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi hiyo kwa mwaka wa fedha 2019/2020. MHE. HASNA S.K. MWILIMA (K.n.y. MWENYEKITI WA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA BAJETI): Taarifa ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti kuhusu utekelezaji wa Bajeti ya Mfuko wa Bunge kwa Mwaka wa Fedha 2018/2019 pamoja na Maoni ya Kamati kuhusu Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Mfuko huo kwa Mwaka wa Fedha 2019/2020. MHE. DKT. JASMINE T. BUNGA - MAKAMU MWENYEKITI WA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA MASUALA YA UKIMWI: Taarifa ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Masuala ya UKIMWI kuhusu utekelezaji wa Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu (Tume ya Uratibu na Udhibiti wa UKIMWI) kwa mwaka wa fedha 2018/2019 pamoja na Maoni ya Kamati kuhusu Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi hiyo kwa mwaka wa fedha 2019/2020.
    [Show full text]
  • FAO Tanzania Newsletter, 2Nd Quarter 2018
    1 FAO Tanzania Newsletter 2nd quarter 2018 - Issue#5 Fish stock survey to benefit Tanzania, boost industrialization Photo: ©FAO/Luis Tato Photo: ©FAO/Emmanuel Herman Inside this issue Message from FAO Representative 2 FAO hands over draft of Forest Policy 7 Fish stock survey to benefit Tanzania 3 Donors pledge support to ASDP II implementation 8 New Marine hatchery a boost to Zanzibar, East Africa 5 Media Coverage & Upcoming Events 9 Govt, FAO and USAID fight rabies in Moshi 6 Cover Photo: The Chief Secretary of the United Republic of Tanzania, HE Ambassador Eng. John William Kijazi, speaking at the Port Call Event of the Dr. Fridtjof 2 Message from FAO Representative Celebrating Achievements in Tanzania 2 Welcome! Dear partners, Once again welcome to another edition of the FAO following reports of the Tanzania newsletter. This covers the period between April outbreak of the disease in the and June this year. district. The campaign was Indeed this has been quite a busy but interesting time for funded by the US Agency for FAO in Tanzania. As you will see, a number of major International Development events significant to the agriculture sector in this country (USAID) and carried out by occurred during this time. One Health partners including We saw the visit by the Norwegian vessel Dr. Fridtjof FAO. It was launched by the Nansen that concluded a two week research on fishery Deputy Minister of Livestock resources and ecosystem on Tanzania’s Indian Ocean and Fisheries, Abdallah Hamis waters. This followed a request by the President of the Ulega in Dar es Salaam at the United Republic of Tanzania, Dr.
    [Show full text]
  • Tarehe 2 Novemba, 2016
    NAKALA YA MTANDAO (ONLINE DOCUMENT) BUNGE LA TANZANIA ___________ MAJADILIANO YA BUNGE __________ MKUTANO WA TANO Kikao cha Pili – Tarehe 2 Novemba, 2016 (Bunge Lilianza Saa Tatu Asubuhi) D U A Mwenyekiti (Mhe. Mussa A. Zungu) Alisoma Dua MWENYEKITI: Tukae. Katibu! NDG. CHARLES MLOKA - KATIBU MEZANI: MASWALI NA MAJIBU MWENYEKITI: Waheshimiwa kama kawaida tunaanza na Ofisi ya Waziri Mkuu. Mheshimiwa Ezekiel Maige, kwa niaba Mheshimiwa Mwambalaswa! Na. 16 Kuanzisha Mfuko wa Maafa Kitaifa MHE. VICTOR K. MWAMBALASWA (K.n.y. MHE. EZEKIEL M. MAIGE) aliuliza:- Kutokana na mabadiliko ya tabia nchi matukio ya majanga na maafa kama mvua za mawe pamoja na matetemeko ya ardhi yameanza kutokea mara kwa mara na mara zote Serikali imekuwa haina maandalizi ya kifedha na vifaa vya kusaidia wahanga kwa muda mfupi na muda mrefu na badala yake imekuwa ikitegemea zaidi wasamaria wema wa Mataifa mengine:- (a) Je, ni kwa nini Serikali imekuwa haisaidii kifedha na vifaa zaidi ya kuhamasisha wasamaria wema wasaidie na wenyewe kubaki na jukumu la kupeleka wataalam kama Madaktari na kuratibu misaada pekee? 1 NAKALA YA MTANDAO (ONLINE DOCUMENT) (b) Je, ni kwa nini Serikali isianzishe Mfuko wa Maafa Kitaifa ambao utakuwa unachangiwa wakati wote kwa njia endelevu? NAIBU WAZIRI, OFISI YA WAZIRI MKUU, WATU WENYE ULEMAVU alijibu:- Mheshimiwa Mwenyekiti, kwa niaba ya Mheshimiwa Waziri Mkuu, napenda kujibu swali la Mheshimiwa Ezekiel Magolyo Maige, Mbunge wa Msalala, lenye sehemu (a) na (b), kama ifuatavyo:- (a) Mheshimiwa Mwenyekiti, naomba kulifahamisha Bunge lako Tukufu kwamba, Serikali inatambua kuwa ni wajibu wake kusaidia wananchi pindi wanapokumbwa na maafa yanayoharibu mfumo wa maisha ya kila siku.
    [Show full text]
  • 20 MAY 2019.Pmd
    NAKALA MTANDAO(ONLINE DOCUMENT) BUNGE LA TANZANIA ________ MAJADILIANO YA BUNGE _________ MKUTANO WA KUMI NA TANO Kikao cha Thelathini na Moja – Tarehe 20 Mei, 2019 (Bunge Lilianza saa Tatu Asubuhi) DUA Spika (Mhe. Job Y. Ndugai) Alisoma Dua SPIKA: Waheshimiwa Wabunge, tukae. Waheshimiwa Wabunge, tunaendelea na Mkutano wetu wa 15, leo kikao cha 31. Katibu! NDG. RAMADHAN ISSA ABDALLAH – KATIBU MEZANI: TAARIFA YA SPIKA SPIKA: Waheshimiwa Wabunge, nasikitika kuwatangazia kifo cha mwanasiasa mkongwe na kiongozi aliyepata kuhudumia kwa muda mrefu hasa kule kwenye Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Marehemu Ally Juma Shamhuna. Waheshimiwa Wabunge, katika uhai wake, marehemu Ally Juma Shamhuma amepata kushika nyadhifa mbalimbali zikiwemo hizi zifuatazo; amepata kuwa Mkurugenzi wa Mifugo, amewahi kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, amewahi kuwa Katibu Mkuu, Export Processing Zone Zanzibar, amewahi kuwa Waziri wa Mipango, amekuwa Waziri wa Nchi, Afisi ya Waziri Kiongozi, aliwahi kuwa Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo na wakati huo huo akiwa ni 1 NAKALA MTANDAO(ONLINE DOCUMENT) Naibu Waziri Kiongozi, katika uhai wake amekuwa Waziri wa Ardhi, Maji na Nishati na alipata kuwa Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali. Aidha, Marehemu Mheshimiwa Shamhuna kwa muda mrefu alikuwa ni mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi kutokea Zanzibar na baadhi yenu humu Wabunge mtamkumbuka marehemu Mheshimiwa Shamhuna kama Mbunge wa Bunge la Katiba na alikuwa Mjumbe wa Kamati namba 8 kwenye Bunge la Katiba, Kamati ambayo nilikuwa Mwenyekiti wake. Kwa niaba yenu Waheshimiwa Wabunge, tunatoa pole kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi. Tunatoa pole kwa Wazanzibari wote na Watanzania wote kwa ujumla kufuatia kifo hicho na tunamuomba Mwenyezi Mungu aihifadhi roho yake mahali pema peponi, amina.
    [Show full text]
  • Tarehe 28 Juni, 2017
    NAKALA MTANDAO(ONLINE DOCUMENT) BUNGE LA TANZANIA ____________ MAJADILIANO YA BUNGE ___________ MKUTANO WA SABA Kikao cha Hamsini na Tano – Tarehe 28 Juni, 2017 (Bunge Lilianza Saa Tatu Asubuhi) D U A Naibu Spika (Tulia Ackson) Alisoma Dua NAIBU SPIKA: Waheshimiwa tukae. Katibu. NDG. THEONEST RUHILABAKE – KATIBU MEZANI: HATI ZILIZOWASILISHWA MEZANI Hati ifuatayo iliwasilishwa Mezani na:- MHE. GEORGE M. LUBELEJE (K.n.y. MHE. KAPT. MST. GEORGE H. MKUCHIKA - MWENYEKITI WA KAMATI YA HAKI, MAADILI NA MADARAKA YA BUNGE): Taarifa ya Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge kuhusu Shauri la Kudharau Mamlaka ya Spika linalomhusu Mheshimiwa Joshua Samwel Nassari, Mbunge na Shauri la Kusema Uwongo Bungeni linalomhusu Mheshimiwa Conchesta Leonce Rwamlaza, Mbunge. NAIBU SPIKA: Ahsante sana. Katibu. 1 NAKALA MTANDAO(ONLINE DOCUMENT) NDG. THEONEST RUHILABAKE – KATIBU MEZANI: MASWALI NA MAJIBU NAIBU SPIKA: Waheshimiwa Wabunge, maswali tutaanza na Ofisi ya Waziri Mkuu. Mheshimiwa Mgeni Jadi Kadika, Mbunge wa Viti Maalum, kwa niaba yake Mheshimiwa Mheshimiwa Mwanne Mchemba. Na. 452 Mradi wa MIVARF MHE. MWANNE I. MCHEMBA (K.n.y. MHE. MGENI JADI KADIKA) aliuliza:- Mradi wa MIVARF ni wa Muungano na Makao Makuu yapo Arusha ambapo kazi yake kuu ni kujenga masoko, miundombinu ya barabara, kuongeza thamani na kupeleka maendeleo vijijini:- Je, ni kwa kiasi gani mradi huu umechangia kuleta maendelezo Zanzibar? NAIBU WAZIRI, OFISI YA WAZIRI MKUU (KAZI, VIJANA NA AJIRA) alijibu: Mheshimiwa Naibu Spika, kwa niaba ya Mheshimiwa Waziri Mkuu, napenda kujibu swali la Mheshimiwa Mgeni Jadi Kadika, Mbunge wa Viti Maalum, kama ifuatavyo:- Mheshimiwa Naibu Spika, MIVARF ni programu inayohusika na miundombinu ya masoko, uongezaji thamani ya mazao na huduma za kifedha vijijini.
    [Show full text]
  • Tarehe 27 Mei, 2021
    NAKALA MTANDAO(ONLINE DOCUMENT) BUNGE LA TANZANIA ________ MAJADILIANO YA BUNGE _________ MKUTANO WA TATU Kikao cha Thelathini na Nane – Tarehe 27 Mei, 2021 (Bunge Lilianza Saa Tatu Asubuhi) D U A Spika (Mhe. Job Y. Ndugai) Alisoma Dua SPIKA: Waheshimiwa Wabunge, tunaweza tukakaa. Waheshimiwa Wabunge, tunaendelea na Mkutano wetu wa Tatu, leo ni Kikao cha thelathini na Nane, Katibu. NDG. NENELWA MWIHAMBI – KATIBU WA BUNGE: HATI ZILIZOWASILISHWA MEZANI Hati zifuatazo ziliwasilishwa Mezani na:- NAIBU WAZIRI WA MIFUGO NA UVUVI: Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi kwa Mwaka wa Fedha 2021/2022. MHE. JANEJELLY J. NTATE (K.n.y. MWENYEKITI WA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA KILIMO, MIFUGO NA MAJI): Taarifa ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji kuhusu utekelezaji wa majukumu ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi kwa Mwaka wa Fedha 2020/2021 pamoja na Maoni ya Kamati kuhusu Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara hiyo kwa Mwaka wa Fedha 2021/2022. 1 NAKALA MTANDAO(ONLINE DOCUMENT) SPIKA: Ahsante sana Mheshimiwa Janejelly Ntate, Katibu. NDG. NENELWA MWIHAMBI – KATIBU WA BUNGE: MASWALI KWA WAZIRI MKUU SPIKA: Mheshimiwa Waziri Mkuu karibu. Tunaanza kipindi cha maswali na Mheshimiwa Festo Richard Sanga, Mbunge wa Makete. MHE. FESTO R. SANGA: Mheshimiwa Spika, ahsante kwa kunipa nafasi ya kuuliza swali kwa Mheshimiwa Waziri Mkuu. Mheshimiwa Spika, naomba kuuliza swali ambalo limejikita kwenye usalama. Siku za karibuni hapa nchini kumekuwa na changamoto ya wimbi la ujambazi ambalo linaendelea hasahasa Mikoa ya Dar es Salaam, Dodoma, Mbeya, Mwanza na Arusha kitu ambacho kimekuwa kikihatarisha usalama wa wafanyabiashara wetu lakini mali pamoja na usalama wa wananchi wetu.
    [Show full text]
  • Current Affairs Quiz March 2021
    Current Affairs Quiz 2021 Current Affairs Quiz March 2021 1. Who is Velcheru Narayana, recently seen in news? A. Professor B. Athletics C. Movie Director D. None of these Explanation: A distinguished scholar, writer, translator and critic, Professor Velcheru Narayana Rao has been elected honorary fellow of Sahitya Akademi. The election of Narayana Rao has been made based on his contribution to the Telugu literature. DISCUSSION 2. Magh Purnima is falls during the Gregorian calendar month of A. January Only B. February Only C. January or February D. None of these Explanation: Prime Minister Narendra Modi has greeted the people on the occasion of Magh Purnima. Maghi Purnima is also known by the name of Magha Purnima. It is known to be a day of the full moon that occurs during the Hindu calendar month of Magh. This day falls during the Gregorian calendar month of January or February. DISCUSSION 3. When National Science Day is celebrated? A. 25 February B. 26 February C. 27 February D. 28 February Explanation: National Science Day is celebrated in India on 28 February each year to mark the discovery of the Raman effect by Indian physicist Sir C. V. Raman on 28 February 1928. On this day, Physicist CV Raman announced the discovery of the 'Raman Effect' for which he was awarded the Nobel Prize Page | 1 Report Errors in the PDF – [email protected] ©All Rights Reserved by Gkseries.com Current Affairs Quiz 2021 in 1930. The day is aimed at spreading the message of the importance of science and its application in human life.
    [Show full text]
  • Tarehe 4 Aprili, 2017
    NAKALA MTANDAO(ONLINE DOCUMENT) BUNGE LA TANZANIA ____________ MAJADILIANO YA BUNGE ___________ MKUTANO WA SABA Kikao cha Kwanza – Tarehe 4 Aprili, 2017 (Bunge Lilianza Saa Tatu Asubuhi) WIMBO WA TAIFA (Hapa Waheshimiwa Wabunge Waliimba Wimbo wa Taifa) D U A Spika (Mhe. Job Y. Ndugai) Alisoma Dua SPIKA: Waheshimiwa Wabunge, tukae. Natoa nafasi kwa Waheshimiwa Wabunge mnaoingia, naomba mfanye haraka kidogo. Waheshimiwa Wabunge, nawakaribisha kwenye Mkutano wa Saba, Kikao cha Kwanza, Katibu! (Vigelegele) DKT. THOMAS KASHILILAH – KATIBU WA BUNGE: KIAPO CHA UAMINIFU Mheshimiwa Mbunge afuatae aliapa Kiapo cha Uaminifu:- Mhe. Salma Rashid Kikwete. (Vigelegele/Makofi) SPIKA: Waheshimiwa Wabunge, nashukuru kwa makofi yenu. Tuendelee sasa maana nilikuwa nasubiri kidogo nione mama anakaa wapi ili akisimama kwenye maswali 1 NAKALA MTANDAO(ONLINE DOCUMENT) nijue yupo wapi maana leo nataka nimpe swali la kwanza. Katibu tuendelee! (Makofi/Kicheko/Vigelegele) DKT. THOMAS KASHILILAH – KATIBU WA BUNGE: TAARIFA YA SPIKA SPIKA: Waheshimiwa Wabunge, katika Mkutano wa Sita wa Bunge, Bunge lilipitisha Miswada ya Sheria ya Serikali miwili ifuatayo:- (i) Muswada wa Sheria ya Huduma ya Msaada wa Kisheria (The Legal Aid Bill, 2016); na (ii) Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria Mbalimbali Na.4 wa Mwaka 2016 (The Written Laws (Miscellaneous Amendment) No. 4 Bill 2016) Kwa Taarifa hii, napenda kuliarifu Bunge hili Tukufu kwamba tayari Miswada hiyo miwili imepata kibali cha Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kuwa sheria za nchi zinazoitwa:- (i) Sheria ya Huduma ya Msaada wa Kisheria Na.1 ya Mwaka 2017 (The Legal Aid Act No.1, 2017); na (ii) Sheria ya Marekebisho ya Sheria Mbalimbali Na.4 ya Mwaka 2017 (The Written Laws (Miscellaneous Amendment) No.4, Act No.2 2017).
    [Show full text]
  • Nachingwea Jkt - Lindi
    MAJINA YA VIJANA WALIOCHAGULIWA KWENDA NACHINGWEA JKT - LINDI S/NO JINA LA SHULE JINSIA MAJINA KAMILI 1 NJOMBE SECONDARY SCHOOL M ALFRED CHARLES MBALALE 2 BWIRU BOYS SECONDARY SCHOOL M ALFRED CLEMENT LIFA 3 MTERA SECONDARY SCHOOL M ALFRED DANIEL NYEREGETHI 4 MAGU SECONDARY SCHOOL M ALFRED EMMANUEL WILLIAM 5 GALANOS SECONDARY SCHOOL M ALFRED ESAU MBUNGANI 6 TARIME SECONDARY SCHOOL M ALFRED F KAZIMOTO 7 KABUNGU SECONDARY SCHOOL M ALFRED FELICIAN SILAS 8 MSUFINI SECONDARY SCHOOL M ALFRED FRANK KWEKA 9 MUHEZA HIGH SCHOOL M ALFRED G SIMKONDA 10 GALANOS SECONDARY SCHOOL M ALFRED GWANCHELE DOTTO 11 MARIAN BOYS' SECONDARY SCHOOL M ALFRED H MSAKY 12 KALIUA SECONDARY SCHOOL M ALFRED JOHN MASANJA 13 NDANDA SECONDARY SCHOOL M ALFRED JOSEPH KOMBA 14 NDANDA SECONDARY SCHOOL M ALFRED JOSEPH MTULA 15 KISOMACHI SECONDARY SCHOOL M ALFRED JOSEPH SHIJA 16 WAJA BOYS SECONDARY SCHOOL M ALFRED KAFULA ARON 17 SWILLA SECONDARY SCHOOL M ALFRED LABAN MWAKANYAMALE 18 WIZA SECONDARY SCHOOL M ALFRED LAURENT RUSOKOZA 19 KISOMACHI SECONDARY SCHOOL M ALFRED LAURENTI TESHA 20 ALFAGEMS SECONDARY SCHOOL M ALFRED LUCAS NGALIHYA 21 SUMBAWANGA SECONDARY SCHOOL M ALFRED M BUNDALA 22 UMBWE SECONDARY SCHOOL M ALFRED M PAULO 23 ST.JOSEPH'S CATHEDRAL SECONDARY SCHOOL M ALFRED MABULA MAYIKU 24 MARIAN BOYS' SECONDARY SCHOOL M ALFRED MACKDONALD NCHIMBI 25 MWANDIGA SECONDARY SCHOOL M ALFRED MAKOLE AMRI 26 ALPHA SECONDARY SCHOOL M ALFRED MARCO CHILYA 27 LUKOLE SECONDARY SCHOOL M ALFRED MATHIAS HERMAN 28 TOSAMAGANGA SECONDARY SCHOOL M ALFRED MELKION KILUMILE 29 BIHAWANA SECONDARY SCHOOL
    [Show full text]
  • MKUTANO WA KUMI NA TANO Kikao Cha Ishirini Na Tano
    NAKALA MTANDAO(ONLINE DOCUMENT) BUNGE LA TANZANIA ________ MAJADILIANO YA BUNGE _________ MKUTANO WA KUMI NA TANO Kikao cha Ishirini na Tano – Tarehe 10 Mei, 2019 (Bunge lilianza Saa Tatu Asubuhi) D U A Naibu Spika (Mhe. Dkt. Tulia Ackson) Alisoma Dua NAIBU SPIKA: Tukae, Katibu. NDG. RUTH MAKUNGU – KATIBU MEZANI: Maswali. MASWALI NA MAJIBU NAIBU SPIKA: Maswali, Waheshimiwa Wabunge tutaanza na Ofisi ya Rais TAMISEMI. Mheshimiwa Joel Mwaka Makanyaga Mbunge wa Chilonwa, sasa aulize swali lake. Na. 200 Kukamilisha Ujenzi wa Zahanati ya Kijiji – Chilonwa MHE. JOEL M. MAKANYAGA aliuliza:- Je, Serikali ina mpango gani wa kukamilisha ujenzi wa Zahanati ya Kijiji cha Chilonwa iliyoanzishwa kwa nguvu za wananchi ambayo kwa sasa imefikia kwenye linta? NAIBU WAZIRI, OFISI YA RAIS, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA (MHE. MWITA M. WAITARA) alijibu:- 1 NAKALA MTANDAO(ONLINE DOCUMENT) Mheshimiwa Naibu Spika, ahsante. Kwa niaba ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, TAMISEMI naomba kujibu swali la Mheshimiwa Joel Mwaka Makanyaga, Mbunge wa Chilonwa, kama ifuatavyo:- Mheshimiwa Naibu Spika, Kata ya Chilonwa ni miongoni mwa Kata 36 za Wilaya ya Chamwino, ina vijiji viwili vya Nzali na Mahama, Kata ina huduma za Zahanati moja iliyopo katika Kijiji cha Nzali. Wananchi wa kijiji cha Mahama walianzisha ujenzi wa Zahanati ya Kijiji ambayo kwa sasa jengo limefikia hatua ya lInta. Katika kuunga mkono juhudi za wananchi, Halmashauri ya Chamwino katika mwaka wa fedha 2019/2020 kupitia mapato yake ya ndani imetenga shilingi milioni 30 kwa ajili ya kukamilisha ujenzi wa zahanati hiyo katika Kijiji cha Mahama. Ahsante. NAIBU SPIKA: Mheshimiwa Joel Makanyaga, swali la nyongeza.
    [Show full text]
  • Tarehe 22 Mei, 2017
    NAKALA YA MTANDAO(ONLINE DOCUMENT) BUNGE LA TANZANIA ____________ MAJADILIANO YA BUNGE ___________ MKUTANO WA SABA Kikao cha Thelathini na Moja – Tarehe 22 Mei, 2017 (Bunge Lilianza Saa Tatu Asubuhi) D U A Mwenyekiti (Mhe. Andrew J. Chenge) Alisoma Dua MWENYEKITI: Waheshimiwa Wabunge tukae, Katibu! NDG. RAMADHANI ISSA ABDALLAH – KATIBU MEZANI: HATI ZA KUWASILISHA MEZANI Hati zifuatazo ziliwasilishwa mezani na:- NAIBU WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII: Randama za Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Maliasili na Utalii kwa mwaka wa fedha 2017/2018. MWENYEKITI: Ahsante, Katibu!! 1 NAKALA YA MTANDAO(ONLINE DOCUMENT) NDG. RAMADHANI ISSA ABDALLAH – KATIBU MEZANI: MASWALI NA MAJIBU Na. 244 Malipo ya Wenyeviti wa Mitaa na Madiwani MHE. VEDASTUS M. MANYINYI aliuliza:- Wenyeviti wa Mitaa, Madiwani, Wabunge na Rais huchaguliwa na watu wanaoishi katika eneo la mipaka yake na wote hawa wanafanya kazi ya kuwahudumia wananchi katika maeneo yao. Je, Serikali imeridhika na malipo wanayopata Wenyeviti wa Mitaa pamoja na Madiwani? NAIBU WAZIRI, OFISI YA RAIS, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA alijibu:- Mheshimiwa Mwenyekiti, kwa niaba ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, TAMISEMI, naomba kujibu swali la Mheshimiwa Vedastus Mathayo Manyinyi, Mbunge wa Musoma Mjini kama ifuatavyo:- Mheshimiwa Mwenyekiti, Serikali inatambua kazi kubwa inayofanywa na Waheshimiwa Madiwani na Wenyeviti wa Mitaa na Vijiji katika kusimamia shughuli za maendeleo. Majukumu yanayotekelezwa na viongozi hao ni utekelezaji wa dhana ya ugatuaji wa madaraka kwa wananchi ambapo mipango yote na usimamizi yanafanywa katika ngazi za msingi za Serikali za Mitaa. Mheshimiwa Mwenyekiti, Serikali imekuwa ikiboresha maslahi ya Waheshimiwa Madiwani kadri uchumi wa nchi unavyoruhusu. Kwa mfano posho ya Madiwani ilipandishwa mwaka 2015 kutoka shilingi 120,000 hadi shilingi 350,000 kwa mwezi.
    [Show full text]
  • The Proceeding of the Seminar for All Parliamentarians and White Ribbon Alliance on Safe Motherhood Tanzania That Took Place in Dodoma on 7Th February 2017
    THE PROCEEDING OF THE SEMINAR FOR ALL PARLIAMENTARIANS AND WHITE RIBBON ALLIANCE ON SAFE MOTHERHOOD TANZANIA THAT TOOK PLACE IN DODOMA ON TH 7 FEBRUARY 2017 1 Contents 1. Introduction ........................................................................................................................................... 4 2. Opening of the Seminar ........................................................................................................................ 5 3. A brief Speech from the National Coordinator for WRATZ ................................................................ 5 4. Opening Speech by the Speaker of the Parliament ............................................................................... 7 5. A brief speech by a Representative from UNICEF ............................................................................... 8 6. Presentation by Dr. Ahmed Makuwani, ................................................................................................ 9 7. Hon. Dr. Faustine Ndugulile (MP) (CEmONC and Budget) .............................................................. 10 8. Hon. Dr. Jasmine Tisekwa Bunga (MP) (food and Nutrition) ............................................................ 10 9. Dr. Rashid Chuachua ( Under five years mortality) ........................................................................... 11 10. Hon. Mwanne Nchemba (MP)(Family Planning) .......................................................................... 11 11. Hawa Chafu Chakoma (MP) (Teenager pregnancies) ...................................................................
    [Show full text]