ANNUUR 903.Indd
Total Page:16
File Type:pdf, Size:1020Kb
Sauti ya Waislamu Masheikh Dar wajifua kusimamia katiba mpya ISSN 0856 - 3861 Na. 999 RABBIUL AWWAL 1433, IJUMAA FEBRUARI 17 - 23, 2012 BEI TShs 500/=, Kshs 50/= Uk. 3 Baraza la Mitihani matatani Wazanzibari sasa wataka maelezo Ni kutokana na kufeli, kufutiwa matokeo Masheikh wataka Waziri Shaaban ajiuzulu Wadai anawatukanisha Waislamu WAZIRI wa Elimu Zanzibar, Ramadhan Abdallah Shaaban. Kuna jambo kubwa Katoliki hawajasema Wapo wangapi Baraza la Mitihani? Kwa nini wanampa Nyerere ‘utakatifu’? Unguja wanakosea kupinga muungano KATIBU Mtendaji Baraza la Mitihani, Dkt. Joyce Ndalichako. Japo wamebanwa na ‘kero’ za muungano ZANZIBAR imebanwa hakuchaguliwa Mzanzibari s a n a n a B a r a k i a s i hata mmoja. kwamba maendeleo yake Yaani kwa kitendo yamefubaa sana. hicho ni kuwa hata wao Liko hili moja ambalo watu wa Bara wanakubali Arusha si shwari linaweza kuonekana ni kuwa Wazanzibari sio upuuzi, lakini wao linatajwa Watanzania. Mchungaji achoma moto Qur’an kama ni mfano mmoja wa Haya wasomaji sio ya dharau waliyonayo Bara dhidi ya Zanzibar. kutunga, ni kweli kabisa Adai ‘hizo ni zana’ za shetani Nalo ni hili. Hata katika yanasemwa na wengi pale ile kamati ya kutafuta JAWS CORNER, Soko Mwaka jana mtu mmoja aliuwawa kwa mchezo kama huu vazi rasmi la kitaifa, Muhogo. (Soma Uk. 10) 2 AN-NUUR RABBIUL AWWAL 1433, IJUMAA FEBRUARI 17 - 23, 2012 TAHARIRI/HABARI AN-NUUR S.L.P. 55105, Simu: +022 2400786 Cel: 0784 370 208, 0713 110148, 0755 260 087, DSM. www.ipctz.org E-mail: [email protected] Ofisi zetu zipo: Manzese Tip Top Usangi House (Jengo dogo), barabara ya Morogoro, D'Salaam Arusha si shwari Na Mwandishi Wetu k u wa k u n a Q u r ’a n vya shetani, kwa hiyo ni MAONI YETU alifanya juhudi kuzima lazima viunguzwe. MCHUNGAJI mmoja moto kwa mchanga, lakini Hadi tunakwenda anayejulikana kwa jina hakuweza kufanikiwa m i t a m b o n i , m t u la Nehemia Martin, kwa sababu mchungaji anayedaiwa kuritadi amechoma Qur’an na alimsukuma na kumzuiya alikuwa hajulikani alipo Makabwela nao wawe na Appolo yao nchini vitabu vingine vya kuzima moto. baada ya kukimbia kijijini WAGONJWA wengi wa ya binadamu, inasikitisha Kiislamu akidai kuwa K u o n a h i v y o , B i hapo. Kitanzania katika miaka ya kuona kwamba sekta ya hizo ni zana za shetani. Zainabu alipiga kelele Taarifa zaidi zinasema hivi karibuni wamekuwa afya hapa nchini imekuwa wakafika watu ambapo wakikimbilia Hospitali haipewi nafasi inayostahili Mchungaji Nehemia k u w a m c h u n g a j i za India, ikiwa ni jitihada kana kwamba haihusiani wa kanisa la Calvary mchungaji naye baada ya kuona mkusanyiko wa N e h e m i a M a r t i n za kusaka tiba za uhakika na uhai wa watu. Hospitali A s s e m b l i e s o f G o d a m e k a m a t w a n a ili kuokoa maisha yao zilizopo nyingi hazina dawa (CAG) katika kijiji cha watu alikimbilia polisi na y a n a y o k u w a h a t a r i n i na vifaa vya kutosheleza kuomba msaada akidai kufunguliwa kesi katika k u t o k a n a n a m a r a d h i utoaji wa huduma za utabibu Kigongoni, Mto wa mbu mahakama ya wilaya mbalimbali. kwa Watanzania. anatuhumiwa kufanya kuwa Bi Zainabu kafika K w a b a h a t i m b a y a , Mafao kidogo na kutojali nyumbani na kuanza tarehe 13, Februari, na tendo hilo tarehe 12 yupo rumande yupo wengi wanaomudu kwenda kumewafanya wafanyakazi Februari, 2012. kuwapiga watoto wake. Appolo ni vigogo, watawala wengi wa sekta ya utabibu Hata hivyo, wakati gereza la Arusha. na wafanyabiashara, ambao kutoa huduma hiyo kizembe, Mpasha habari wetu wana mafao chekwa, kiasi kivivu na kwa kujilazimisha. kutoka Arusha aliyefika bado polisi wakipokea Hili ni tukio la pili cha kuwawezesha kumudu Hali hii tunaona kuwa katika eneo la tukio taarifa, walifika Waislamu katika kipindi kisichozidi kwenda popote ilimuradi imechangia ongezeko kubwa n a k u r i p o t i k u w a anafahamisha kuwa, mwaka mmoja linaloleta panapatikana tiba za uhakika la mateso ya kuugulia na wanamtafuta mchungaji p a l e wa n a p o p a t wa n a kukosa afya kurejea katika m g o g o r o b a i n a ya mchungaji Nehemia huyo kwa kuchoma maradhi. kazi za kujikimu maisha. alipata Msahafu na vitabu Waislamu na Wakristo M a k a b w e l a b a d o Sisi tunaona kwamba Qur’an. mkoani Arusha ambapo w a n a s u k u m a n a udhaifu huu ndio sababu hivyo vya Kiislamu kutoka Polisi walifika eneo mwaka jana 2011 mwezi Mwanayamala, Amana, kubwa ya sehemu kubwa ya kwa mtu mmoja aliyetajwa l a t u k i o n a k u k u t a K C M C , B u g a n d o n a madaktari kukimbia nchini kama huu, mchungaji nyinginezo za hadhi hiyo na kwenda kufanya kazi nje kwa jina la Hassan bado moto ukiwaka na mikoani. Hospitali ambazo ambako huko wanafanya Jumanne ambaye ilidaiwa kushuhudia vipande vya Richard Chenge alifariki ndizo tunazoziona kwamba kazi katika mazingira sahihi, kuwa aliritadishwa na Qur’an vilivyosalimika. b a a d a ya k u p i g wa zina hadhi kwetu kwa hapa kwa maana ya kuwepo Nehemia. l i l i p o z u k a z o g o nchini. Tiba za hospitali vifaa, dawa na kipato, hali H a b a r i z a i d i z a u g h a i b u n i k a m w e inayowasukuma kutekeleza Taarifa zinaeleza kuwa zinafahamisha kuwa kutokana na mahubiri ya hawamudu. wajibu wao kwa nia ya siku ya tukio, Bi Zainabu mchungaji alipoulizwa kutukana na kukashifu Hata hivyo, tumeona India dhati na kwa moyo kiasi cha Juma, jirani ya mchungaji n a p o l i s i k wa n i n i Uislamu yaliyokuwa ndio imeshika chati na kuwa kuweza kutibu wagonjwa aliona vitabu vikichomwa kimbilio la awali kwa kuwa kwa uhakika. anachoma Qur’an alidai yakitolewa na baadhi ya si mbali sana ikilinganishwa Hivi sasa tunashuhudia moto na alipogundua kuwa hivyo vilikuwa vitu wachungaji. na ghaibu nyingine zinazotoa hospitali za India zikiwa tiba ya kiwango cha India na kimbilio la wagonjwa wengi gharama zake za matibabu wa Kitanzania wanaokwenda kidogo ni afadhali kuliko hizo huko kusaka tiba za uhakika nchi nyingine. ili kuokoa maisha yao. UBUNGO ISLAMIC HIGH SCHOOL Kama tunavyojua, na kwa Inawezekana hospitali za hakika ndivyo hali halisi India zinashika chati za juu ilivyo, afya kwa kiumbe kwa wateja wengi kutoka mwanadamu ni jambo la Tanzania kwa sasa. msingi zaidi kuliko jambo Tuna hakika kwamba Mafunzo maalum kwa wanaorudia kufanya jingine lolote katika suala fedha nyingi za Watanzania zima ya uhai. Mwanadamu zinazotozwa na hospitali mgonjwa au asiyekuwa za India kama gharama za hana hali nzuri kiafya, huwa matibabu zinajazwa Appolo mtihani wa Kidato cha Nne, Oktoba 2012 kiumbe kilichokosa uwezo wa h u k u M u h i m b i l i ye t u kufanya jambo jingine lolote ikiendelea kuwa hoi. Tunaona Ubungo Islamic High school inawatangazia wanafunzi Waislamu wote kuwa linalohusiana na maisha yake kama vile Muhimbili yetu imeandaa mafunzo maalum kwa wale wanaotarajia kurudia kufanya mtihani hapa duniani. imegeuzwa kuwa ofisi ya Mwanadamu afya yake kutoa ruhusa na ushauri wa wa kidato cha Nne, Oktoba 2012. inapokuwa na matatizo kwenda kutibiwa Appolo yanayotokana na maradhi, badala ya Hospitali ya kwanza atakosa raha ya Rufaa. Mafunzo hayo yatasimamiwa na waalimu maalum wenye sifa na uwezo wa maisha, atajiona mpweke, Pamoja na zile za mikoani kuhakikisha kuwa mwanao anapata Elimu bora na malezi mema. atakosa nafasi ya kufikiri kufanywa Hospitali za rufaa, juu ya maisha yake, hawezi bado hazijakidhi haja za kuzalisha au kufanya shughuli wagonjwa kwa kuwa hakuna Masomo yanayofundishwa ni: Elimu ya Dini ya Kiislamu, Arabic, Civics, zinazoweza kumuingizia huduma sahihi ya kitabibu. Mathematics, English, Kiswahili, History, Geography, Physics, Chemistry, kipato cha kuendesha Matatizo ni yale yale ya vifaa, maisha yake. Hufikia wakati dawa, uhaba wa madaktari Biology, Commerce na Book-Keeping. mwingine hukata tamaa na na wauguzi n.k. kutamani kufa ili aondokane Tuseme tu kwamba sasa Masomo yataanza tarehe 01/03/2012 hadi 31/08/2012. Ni mafunzo maalum na mateso ya maradhi inatosha. Serikali ifungue yanayomsibu. macho na ione kwamba afya kwa muda wa miezi sita. Akiwa katika maradhi, mtu za watu ni muhimu zaidi yuko radhi kutumia rasilimali kuliko jambo lolote. Ifahamu Fika ofisi ya Mkuu wa Shule upate fomu yako kwa bei ya Tsh 10,000/=. zote alizo nazo kusaka tiba kwamba bila nguvu kazi za ya maradhi yanayomsibu watu wenye afya, maendeleo hadi dakika ya mwisho. ya kweli itaendelea kuwa ni Kwa mawasiliano zaidi: 0754 260241 Sote tuna hakika kwamba porojo. Ikiwa itakuwa sikivu binadamu anapokuwa katika na bunifu na kutambua maradhi, hawezi kuwaza umuhimu wa afya za watu, Mlete mwanao! Asipoteze nafasi hii adhimu wala kutafakari kitu kingine basi itawekeza vya kutosha zaidi ya kuugulia na kufikiri katika sekta ya afya. Ifike juu ya tiba kwanza. mahali sasa Muhimbili iwe Pamoja na umuhimu wa ndio Appolo yetu hapa MKUU WA SHULE matibabu katika maisha nchini. HABARI RABBIUL AWWAL 1433, IJUMAA FEBRUARI 17 - 23, 2012 AN-NUUR 3 Masheikh Dar wajifua kusimamia katiba mpya ya makundi yote pasi ya ndio waandaaji wa Semina wake ili waweze kuwa Na Bakari Mwakangwale fursa kwa kila Muislamu hiyo iliyo wajumuisha kutoa mapendekezo yenye kubagua.