JAMHURI YA MUUNGANO WA

BUNGE LA TANZANIA

MKUTANO WA SABA

YATOKANAYO NA KIKAO CHA ISHIRINI NA TANO

15 MEI, 2017

MKUTANO WA SABA

KIKAO CHA ISHIRINI NA TANO TAREHE 15 MEI, 2017

I. DUA:

Saa 3:00 asubuhi Mhe. Mussa Azzan Zungu (Mwenyekiti) alisoma Dua na kuongoza Bunge.

Makatibu mezani:

1. Ndugu Charles Mloka 2. Ndugu Neema Msangi 3. Ndugu Joshua Chamwela

II. HATI ZA KUWASILISHA MEZANI

- Mhe. Hussein Ally Mwinyi aliwasilisha Mezani Randama ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa kwa Mwaka wa Fedha 2017/2018.

III. MASWALI

OFISI YA RAIS (TAMISEMI)

Swali Na. 200: Mhe. Leonidas Tutubert Gama

Nyongeza: Mhe. Leonidas Tutubert Gama Mhe. Sixtus Raphael Mapunda Mhe. Edward Franz Mwalongo Mhe. Mbaraka Kitwana Dau Mhe. Japhery Raphael Michael

WIZARA YA KILIMO, MIFUGO NA UVUVI

Swali Na. 201: Mhe. Martin Mtonda Msula

Nyongeza: Mhe. Martin Mtonda Msula

1

Mhe. Cecil David Mwambe Mhe. Desderuis John Mipata Mhe. Abdallah Khamis Ulega

WIZARA YA UJENZI, UCHUKUZI NA MAWASILIANO

Swali Na. 202: Mhe. Flatei Gregory Massay

Nyongeza: Mhe. Flatei Gregory Massay Mhe. Balozi Adadi Rajab Mhe. Nape Mosses Nnauye Mhe. Kasuku Samson Bilago

WIZARA YA NISHATI NA MADINI

Swali Na. 203: Mhe. Susan Limbweni Kiwanga

Nyongeza: Mhe. Susan Limbweni Kiwanga

WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI

Swali Na. 204: Mhe. Najma Murtaza Giga (liliulizwa na Mhe. Rashid Shangazi)

Nyongeza: Mhe. Rashid Abdallah Shangazi Mhe. Joseph Roman Selasini Mhe. Mariam Ditopile Mzuzuri

Swali Na. 205: Mhe. Hamidu Hassan Bobali

Nyongeza: Mhe. Hamidu Hassan Bobali Mhe. Joseph Roman Selasini Mhe. Atashasta Justus Nditiye

2

WIZARA YA VIWANDA, BIASHARA NA UWEKEZAJI

Swali Na. 206: Mhe. Latifah Hassan Chande

Nyongeza: Mhe. Latifah Hassan Chande Mhe. Zaynab Matitu Vullu Mhe. Khadija Nassir Ali Mhe. Sophia Hebron Mwakagenda

Swali Na. 207: Mhe. Mussa Ramadhani Sima

Nyongeza: Mhe. Mussa Ramadhani Sima Mhe. Zuberi Mohammed Kuchauka Mhe. Jumaa Aweso

Swali Na. 208: Mhe. Dkt. Dalaly Peter Kafuru (liliulizwa na Mhe. Munde Tambwe Abdallah)

Nyongeza: Mhe. Munde Tambwe Abdallah Mhe. Devotha Mathew Minja Mhe. Saada Mkuya Salum

IV. MATANGAZO

- Wageni walitangazwa.

- Bunge Sports Club matokeo ya Michezo ya kirafiki yalitangazwa.

MIONGOZO

1. Mhe. Joseph George Kakunda alitumia Kanuni ya 68(70 kuomba mwongzo kwamba majibu ya Waziri kwenye Swali Na. 208 yalikuwa ya mkato sana, Je, huo ni utaratibu?

Kiti kilitoa rai kwa Mbunge na Waziri kukutana na kupata maelezo zaidi.

3

2. Mhe. Cecil David Mwambe alitumia Kanuni ya 68(7) kuomba mwongozo kuhusu zoezi la uhakiki wa TIN linalofanywa na TRA na kuhoji uhalali wa zoezi hilo kutumika kudai malipo ya madeni na kuzuia mali za wahusika.

Kiti kilitoa rai kwa Mbunge kukutana na Waziri ili waliweke vizuri suala hili.

V. HOJA ZA SERIKALI

Hoja ya Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi uliendelea kama ifuatavyo:-

22. Mhe. Salma Rashid Kikwete - CCM 23. Mhe. Dotto Mashaka Biteko - CCM 24. Mhe. Almas Athumani Maige - CCM 25. Mhe. Maftah Abdallah Nachuma - CUF 26. Mhe. Susan Anselm Lyimo - CHADEMA 27. Mhe. Prof. Norman Sigallah King - CCM 28. Mhe. Agness Mathew Marwa - CCM 29. Mhe. Esther Alexander Mahawe - CCM 30. Mhe. Amina Saleh Mollel - CCM 31. Mhe. Ikupa Stella Alex - CCM 32. Mhe. Hamidu Mohammed Abdallah - CCM 33. Mhe. Tayhida Cassian Galos - CCM 34. Mhe. Othman Omar Haji - CUF 35. Mhe. Lucia Michael Mlowe - CHADEMA 36. Mhe. Pasal Yohana Haonga - CHADEMA 37. Mhe. Peter Joseph Serukamba - CCM 38. Mhe. Sixtus Raphael Mapunda - CCM 39. Mhe. Mohammed Omary Kigua - CCM 40. Mhe. Abdallah Haji Ali - CUF 41. Mhe. Mohamed Ally Keissy - CCM

VI. KUSITISHA BUNGE

Saa 7:00 mchana Mwenyekiti alisitisha Bunge hadi 11:00 jioni.

4

VII. BUNGE KURUDIA

Saa 11:00 jioni Bunge lilirudia, mjadala wa Hoja ya Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi iliendea kama ifuatavyo:-

42. Mhe. Grace Victor Tendega - CHADEMA 43. Mhe. Tunza Issa Malapo - CHADEMA 44. Mhe. Edwin Mgante Sannda - CCM 45. Mhe. Mashimba Mashauri Ndaki - CCM 46. Mhe. Mohammed Omary Mchengerwa - CCM 47. Mhe. AbdallahAlly Mtolea - CUF 48. Mhe. Kasuku Samson Bilago - CHADEMA 49. Mhe. Aisharose Ndongholi Matembe - CCM 50. Mhe. Fatma Hassan Toufiq - CCM 51. Mhe. Ashatu Kachwamba Kijaji - NW-FM 52. Mhe. George Boniface Simbachawene - WOR(TAMISEMI) 53. Mhe. Mwigulu Lameck Nchemba - WMNN 54. Mhe. Angellah Jasmine Kairuki - WNOR(UUB) 55. Mhe. Eng. - NW-ESTU

VIII. KUHITIMISHA HOJA

Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi (Mtoa Hoja) Mhe. Prof. Joyce Ndalichako alipewa muda wa kuhitimisha Hoja yake kwa kujibu mambo kadhaa yaliyochangiwa na Wabunge. Alitoa Hoja ambayo iliungwa mkono.

IX. KAMATI YA MATUMIZI

Bunge liliingia katika hatua ya Kamati ya Matumizi ili kupitia mafungu ya Wizara yenye mafungu mawili ya 46 na 18 kama ifuatavyo:-

5

FUNGU 46

Wizara ya Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi.

1. Mhe. Esther Michael Mmasi alitoa shilingi na kuchangiwa na:-

- Mhe. Augustino Philipo Mulugo - CCM - Mhe. Dotto Mashaka Biteko - CCM - Mhe. Susan Anselm Lyimo - CHADEMA - Mhe. James Francis Mbatia - ACT - Mhe. Japhet Ngailonga Hasunga - CCM - Mhe. Hamidu Hassan Bobali - CUF - Mhe. Peter Joseph Serukamba - CCM - Mhe. Dkt. Raphael Masunga Chegeni - CCM - Mhe. Mwita Mwikwabe Waitara - CHADEMA - Mhe. Ester Nicholas Matiko - CHADEMA - Mhe. Selemani Said Jafo - Waziri - Mhe. Charles John Mwijage - Waziri - Mhe. George Mcheche Masaju - AG

Baada ya mjadala huo shilingi ilirudishwa.

2. Mhe. Kiteto Zawadi Konshuma, alishika shilingi na kuchangiwa na:- - Mohammed Ally Keissy - CCM - Masoud Abdallah Salim - CUF

- Baada ya mjadala mtoa Hoja alirudisha shilingi.

- Bunge liliingia katika hatua ya guillotine na kuptisiha mafungu yote ya 46 na 18 kwa mkupuo.

- Mtoa Hoa alitoa Taarifa ya kazi ya Kamati, kutoa Hoja na Bunge likapitisha Bajeti baada ya kuhojiwa.

6

X. KUAHIRISHA BUNGE

Bunge liliahirishwa saa 2:05 usiku mpaka kesho tarehe 15 Mei, 2017 saa 3:00 asubuhi.

7