UMOJA - ONE UN in Tanzania

Total Page:16

File Type:pdf, Size:1020Kb

UMOJA - ONE UN in Tanzania UMOJA - ONE UN in Tanzania UNIDO kuendeleza ushirikiano na Serikali kuhusu Toleo la. 77 uchumi wa viwanda March - April 2018 Vidokezo • Siku ya Kimataifa ya Wanawake • Vijana wa Kigoma waonja manufaa ya Msaada wa UN • UN & Wahariri watia saini makubaliano ya kanuni za ushirikiano alikutana na Makamu wa Rais, Mh. Samia Suluhu Hassan, na mawaziri kadhaa. Walifanya mazungumzo mapana kuhusu vipaumbele vya Serikali katika maendeleo ya viwanda na suluhu endelevu ambazo UNIDO inaweza kusaidia, hasa katika juhudi zinazoendelea nchini. Baadhi ya masuala yaliyojadiliwa, Mkurugenzi Mkuu wa UNIDO, LI Yong (kulia) na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya miongoni mwa mengine, ni Muungano wa Tanzania, Mh. Samia Suluhu Hassan (kushoto). Nyuma yao (kutoka umuhimu wa kuimarisha ushirika kushoto kwenda kulia) ni Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Mh. Charles Mwijage na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. na pande mbalimbali ili kuleta Augustine Mahiga. Picha| Ikulu ujumuishi na maendeleo endelevu ya viwanda, na nafasi ya ushirikiano wa viwanda kwa Mataifa ya Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la lengo la kuimarisha ushirikiano na Kusini-Kusini katika kuimarisha Umoja wa Mataifa la Maendeleo ushirika wa kimkakati na nchi hii. teknolojia na uhamishaji ujuzi. ya Viwanda (UNIDO), LI Yong, hivi Wakati wa ziara hiyo, tamko la karibuni alitembelea Tanzania kwa Wakati wa ziara yake, LI Yong Inaendelea Ukurasa wa 2 Kauli ya Serikali: “Ningependa kupongeza juhudi za viongozi vijana na wanaojitolea kutoka katika Chama cha Vijana wa Umoja wa Mataifa cha Tanzania kwa kuuleta pamoja mjumuiko huu wa vijana motomoto kutoka Tanzania nan je … Tunaamini kwamba mawazo yenu yatachangia katika juhudi za ‘kutekeleza ajenda ya 2030’. Tungependa kutambua msaada uliotolewa na waungaji mkono wote; hasa, Umoja wa Mataifa.” Mh. Anthony Mavunde, Naibu Waziri wa Nchi katika Ofisi ya Waziri Mkuu mwenye dhamana ya Sera, Masuala ya Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Walemavu mnamo Aprili 30, 2018 jijini Dodoma kwa niaba ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Samia Suluhu Hassan. Jarida hili linachapishwa na Kitengo cha Mawasiliano cha UN nchini Tanzania. Kujisajili na kutoa mrejesho, tafadhali wasiliana nasi kupitia: [email protected]. Tovuti: http://tz.one.un.org Simu: (+255) 22-219-5021 1 kutoka ukurasa wa 1 pamoja la kuimarisha ushirikiano unaofanywa na UNIDO katika wa vyama vya wachakataji kati ya UNIDO na Serikali ya kilimo cha mwani huko Zanzibar, ni wanawake Shirika lilitoa Tanzania lilitiwa saini ili kuunga ambapo zaidi ya asilimia 90 takribani Shilingi milioni 180 mkono utekelezaji wa Dira ya ya wakulima na wanachama (Dola za Marekani 80,000). Maendeleo ya Taifa ya 2025; Dira ya Zanzibar ya 2020; Mpango Endelevu wa Maendeleo ya Viwanda, na Mkakati Unganishi wa Tanzania wa Maendeleo ya Viwanda wa 2025 (IIDS 2025). Mikutano mingine iliyofanyika ilijumuisha ile ya pamoja na wawakilishi wa sekta binafsi, vyama vya kiraia na Timu ya Menejimenti ya Nchi ya Umoja wa Mataifa. Baada ya mikutano katika jiji la Dar es Salaam, Mkurugenzi Mkuu LI alielekea Zanzibar ambako alikutana na Rais Dkt. Ali Mohamed Shein na Waziri wa Viwanda, Biashara na Masoko, Mh. Amina Ali, kujadiliana umuhimu wa kuimarisha ushirikiano kwa lengo la kusukuma maendeleo ya viwanda yaliyo jumuishi na endelevu huko Zanzibar. Mkurugenzi Mkuu wa UNIDO, LI Yong (kushoto) alikutana na Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, H.E. Ali Mohamed Shein (kulia), Kama sehemu ya uungaji mkono Wakati wa ziara yake Tanzania. Picha | Ikulu / Zanzibar IOM yawarejesha wahamiaji sita wa Ethiopia waliokuwa wamefungwa, wengine 913 wangali katika magereza ya Tanzania Mnamo mwezi Machi, bani kwa Hiyari, yaani, Assisted Shirika la Umoja wa Voluntary Return and Reintegra- Mataifa la Wahamiaji tion (AVRR). Mpango huo ulifaniki- (IOM) nchini Tanzania wa kuwatambua na kuwathibitisha liliendesha mpango raia 919 wa Ethiopia—miongoni wa kubaini utaifa kwa mwao sita wakiwa wanawake. wahamiaji wasio ras- mi waliodaiwa kutoka Wahamiaji 300 walichaguliwa ili ku- Ethiopia waliokuwa pewa msaada huo wa kibinadamu wametiwa nguvuni wa kurejeshwa makwao mara moja katika magereza sita kwa kuanzia na raia wale sita wa ya Tanzania, yaani, Ethiopia wanawake ambao tayari magereza ya Buko- wamerejeshwa nchini kwao. ba, Kitengule Prison, Butimba, Maweni, Ki- Wahamiaji 294 wengine watasaidi- gongoni na Gereza la wa kurejea kwao mwezi Mei, 2018. Keko. IOM inaendelea na jitihada za ku- Lengo kuu la mpan- tafuta rasilimali zaidi ili kuweze- go huo lilikuwa kuth- sha usafirishwaji wa wahamiaji ibitisha utambulisho wengine 619 waliotambuliwa na wa wahamiaji ili ku- ambao bado wako katika magere- Wasichana sita raia wa Ethiopia waliokuwa wame- wasaidia warejee za huko Mwanza, Dar es Salaam, fungwa katika magereza nchini Tanzania waki- makwao chini ya Kagera, Tanga na Mkoa wa Pwani. wasili kiwanja cha ndege tayari kurejeshwa kwao. utaratibu wa Msaada Shirika la IOM liliwasafirisha kwa usalama raia hao wa Urejeshwaji Nyum- wa Ethiopia. Picha | IOM Tanzania UN na Wahariri kushirikiana katika kuandika habari za Malengo ya Dunia Kaimu Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania, Bw. Deodatus Balile (kushoto) na Mtaalamu wa Mawasiliano wa UN, Bi. Hoyce Temu (kulia) wakibadilishana hati za makubaliano ya kanuni za ushirikiano. Picha | Edgar Kiliba UNRCO Umoja wa Mataifa Tanzania (UN ili kuhakikisha kwamba utekelezaji Temu. Tanzania) na Jukwaa la Waha- wa Malengo ya Dunia unaripotiwa “Jukumu lenu kama wahariri ni riri Tanzania (TEF) zimetiliana katika ngazi ya mahalia. Hii itaju- kuangazia masuala yanayoikabi- saini makubaliano kuhusu kanuni muisha ziara katika miradi muhimu li nchi ni makubwa na yanastahili za ushirikiano ambazo kwazo zi- ya UN na Serikali ili kuangazia njia pongezi. Tunapoendelea kushiriki- taimarisha mawasiliano na utetezi bora zinazotumika na changamo- ana na Serikali kuboresha maisha kwa ajili ya utekelezaji wa Malengo to zilizopo katika utekelezaji wa ya jamii, tunatazamia kuimarisha ya Dunia nchini Tanzania. Malengo ya Dunia. Ushirikiano huo ushirika wetu na wadau wa vyombo Ushirikiano kati ya TEF na UN pia utaanzisha tuzo ya Umahiri wa vya habari kote nchini.” umedumu kwa zaidi ya miaka 5 Uandishi wa habari kwa waandishi sasa ambapo wakuu wa mashiri- watakaofanya vizuri katika kuandi- Kwa upande wake, Kaimu ka ya UN hukutana na waandishi ka habari za Malengo ya Dunia na Mwenyekiti wa TEF, Bw. Deoda- wa habari na wahariri waandamizi kazi za Umoja wa Mataifa nchini tus Balile, alisema makubalia- mara moja kwa mwaka. Ushirikiano Tanzania. no yataimarisha ushirika kati ya wa hivi karibuni unaendeleza ush- TEF na UN na kwamba mafunzo irika kwa lengo la kuandika habari Akizungumza kwa niaba ya Mra- kwa waandishi wa habari yatatoa za maendeleo katika muktadha wa tibu Mkazi wa UN katika Mkutano mchango mkubwa katika mikoa utekelezaji wa Malengo ya Dun- wa TEF, Mtaalamu wa Mawasiliano hiyo. ia kupitia Mpango wa Pili wa Taifa wa UN, Bi. Hoyce Temu, alianga- wa Maendeleo wa Miaka Mitano zia umuhimu wa kushirikiana kwa “Tunathamini kazi inayofanywa na Mpango wa Pili wa Msaada wa karibu kati ya vyombo vya habari ili Maendeleo wa Umoja wa Mataifa kuuelimisha umma kuhusu Malen- na vyombo vya habari katika ku- (UNDAP II). go ya Dunia. “Tunathamini kazi in- tambua kwamba wao ni wadau ayofanywa na vyombo vya habari muhimu katika kutoa taarifa juu Kupitia makubaliano hayo, UN na katika kutambua kwamba wao ni ya mafanikio katika utekelezaji wa TEF kwa pamoja zitajenga uwezo wadau muhimu katika kutoa taarifa Malengo ya Dunia,” wa waandishi kutoka katika mikoa il- juu ya mafanikio katika utekelezaji Bi. Hoyce Temu iyo kwenye kanda tano za Tanzania wa Malengo ya Dunia,” alisema Bi. Jarida hili linachapishwa na Kitengo cha Mawasiliano cha UN nchini Tanzania. Kujisajili na kutoa mrejesho, tafadhali wasiliana nasi kupitia: [email protected]. Tovuti: http://tz.one.un.org Simu: (+255) 22-219-5021 3 Vijana wa Kigoma wanufaika na Msaada wa awali wa UN Mwezi Aprili, Mkuu wa Wilaya ya Kigoma, Bw. Samson Anga; Mra- tibu Mkazi wa UN Tanzania, Bw. Alvaro Rodriguez; na Kikosi Kazi cha Mawasiliano cha UN (UNCG), maofisa kutoka mashirika 15 ya UN Tanzania; na vyombo vya habari wa- liwatembelea vijana na wanawake walionufaika na programu za pamo- ja za UN katika Mji wa Kigoma. Programu ya Pamoja ya Kigoma (KJP) inaongezea katika jitihada za kibinadamu za mkoani Kigoma na inaendeleza hatua zilizochuku- liwa hapo kabla na UN kama vile mradi wa pamoja wa Kigoma wa UN uliofadhiliwa na ILO, UNIDO, UN Women na FAO katika eneo la uwezeshaji vijana. Programu hii ya Mmoja wa watu walionufaika na programu ya pamoja ya awali ya UN pamoja iliendeshwa kwa ushirikiano katika Mji wa Kigoma akiwaonyesha wajumbe namna ya kukamua mafuta na AZISE ya mkoani humo ya Nyaki- kutoka kwenye biwi la miwese. Photo| Msafiri Manongi/KJP tonto Youth for Development Tanza- nia pamoja na Manispaa ya Kigoma. sabuni. Mkuu wa Wilaya, Bw. Sam- awali ya pamoja kati ya mashirika Zaidi ya vijana 110 walipata mafun- son Anga, aliwapongeza vijana kwa ya UN kwa kushirikiana na maonye- zo kuhusu uanzishaji na uendeshaji mafanikio yao na aliishukuru UN sho ya Nyakitonto, tunaweza kuleta biashara. Vijana waliopata mafunzo kwa kushirikiana na Serikali katika matokeo mazuri kwa kufanya kazi hivi sasa wanaendesha shughu- pamoja kwa karibu na kushirikiana li zao kama vile kilimo, kilimo cha juhudi za kunyanyua maisha ya vija- na jamii ya wenyeji mkoani hapa.” mbogamboga na matunda na uten- na. “Tumeona jinsi vijana hawa wa- Aliongeza, “Tunavyoendelea kute- genezaji sabuni. navyotengeneza sabuni. Na, tumeo- keleza Programu ya Pamoja ya Ki- Ziara za uwandani zilifanyika katika na pia changamoto wanazokabiliana goma, tunalenga kujenga mwitikio eneo la uzalishaji la vijana waliope- nazo—kuna haja ya sisi kuongeza huu na hatimaye kupanua KJP ili wa mafunzo na Kituo cha Vijana cha msaada zaidi kwao,” alisema. kuzifikia jamii za wenyeji nyingi zaidi Nyakitonto. Vijana hao waliopata Akizungumza wakati wa ziara hiyo mkoani hapa. Kwa kushirikiana na mafunzo chini ya programu hii wali- ya uwandani, Mratibu Mkazi wa Norway, KOICA na Sweden, UN onyesha baadhi ya shughuli zao za UN, Bw.
Recommended publications
  • Issued by the Britain-Tanzania Society No 114 May - Aug 2016
    Tanzanian Affairs Issued by the Britain-Tanzania Society No 114 May - Aug 2016 Magufuli’s “Cleansing” Operation Zanzibar Election Re-run Nyerere Bridge Opens David Brewin: MAGUFULI’S “CLEANSING” OPERATION President Magufuli helps clean the street outside State House in Dec 2015 (photo State House) The seemingly tireless new President Magufuli of Tanzania has started his term of office with a number of spectacular measures most of which are not only proving extremely popular in Tanzania but also attracting interest in other East African countries and beyond. It could be described as a huge ‘cleansing’ operation in which the main features include: a drive to eliminate corruption (in response to widespread demands from the electorate during the November 2015 elections); a cutting out of elements of low priority in the expenditure of government funds; and a better work ethic amongst government employees. The President has changed so many policies and practices since tak- ing office in November 2015 that it is difficult for a small journal like ‘Tanzanian Affairs’ to cover them adequately. He is, of course, operat- ing through, and with the help of ministers, regional commissioners and cover photo: The new Nyerere Bridge in Dar es Salaam (see Transport) Magufuli’s “Cleansing” Operation 3 others, who have been either kept on or brought in as replacements for those removed in various purges of existing personnel. Changes under the new President The following is a list of some of the President’s changes. Some were not carried out by him directly but by subordinates. It is clear however where the inspiration for them came from.
    [Show full text]
  • Majadiliano Ya Bunge ______
    Hii ni Nakala ya Mtandao (Online Document) BUNGE LA TANZANIA ____________ MAJADILIANO YA BUNGE _________________ MKUTANO WA KUMI NA NANE Kikao cha Kumi na Tatu – Tarehe 10 Februari, 2010 (Kikao Kilianza Saa Tatu Asubuhi) D U A Spika (Mhe. Samuel J. Sitta) Alisoma Dua HATI ZILIZOWASILISHWA MEZANI Hati zifuatazo ziliwasilishwa Mezani na:- NAIBU WAZIRI WA FEDHA NA UCHUMI (MHE. OMAR YUSSUF MZEE): Taarifa ya Mwaka na Hesabu za Benki ya Posta Tanzania, kwa Mwaka 2008 [The Annual Report and Accounts of The Tanzania Postal Bank for the Year 2008]. The Mid-Term Review of the Monetary Policy Statement of The Bank of Tanzania for the Year 2009/2010. MWENYEKITI WA KAMATI YA NISHATI NA MADINI: Taarifa ya Kamati ya Nishati na Madini juu ya Taarifa ya Serikali Kuhusu Ubinafsishwaji wa Mgodi wa Kiwira. Taarifa ya Kamati ya Nishati na Madini Kuhusu Taarifa ya Serikali ya Utekelezaji wa Azimio la Bunge Kuhusu Mchakato wa Zabuni ya Kuzalisha Umeme wa Dharura Ulioipa Ushindi Kampuni ya Richmond Development Company LLC. Houston Texas - Marekani Mwaka 2006. MWENYEKITI WA KAMATI YA MIUNDOMBINU: Taarifa ya Kamati ya Miundombinu Kuhusu Taarifa ya Serikali ya Utekelzaji wa Azimio la Bunge Kuhusu Uendeshaji Usioridhisha wa Shirika la Reli Tanzania uliofanywa na Kampuni ya RITES ya India. 1 Taarifa ya Kamati ya Miundombinu Kuhusu Taarifa ya Serikali ya Utekelezaji wa Azimio la Bunge Kuhusu Utendaji wa Kazi Usioridhisha wa Kampuni ya TICTS. MASWALI NA MAJIBU Na. 145 Usimamizi wa Ukaguzi wa Fedha za Halmashauri MHE. HERBERT J. MNTANGI aliuliza:- Kwa kuwa, kiasi cha fedha kinachopelekwa katika Halmashauri za Wilaya, Manispaa na Jiji ni kikubwa na kinahitaji usimamizi wa ziada:- Kwa kuwa kitengo cha ukaguzi wa ndani kipo chini ya Mkurugenzi Mtendaji.
    [Show full text]
  • MAJADILIANO YA BUNGE ___MKUTANO WA KUMI NA TANO Kikao Cha Thelathini Na Sita
    NAKALA MTANDAO(ONLINE DOCUMENT) BUNGE LA TANZANIA _________ MAJADILIANO YA BUNGE _________ MKUTANO WA KUMI NA TANO Kikao cha Thelathini na Sita – Tarehe 27 Mei, 2019 (Bunge Lilianza Saa Tatu Asubuhi) D U A Spika (Mhe. Job Y. Ndugai) Alisoma Dua SPIKA: Waheshimiwa Wabunge, nawaomba tukae. Waheshimiwa Wabunge tunaendelea na Mkutano wetu wa 15, leo ni Kikao cha 36. Katibu! NDG. STEPHEN KAGAIGAI – KATIBU WA BUNGE: HATI ZILIZOWASILISHWA MEZANI Hati Zifuatazo Ziliwasilishwa Mezani na:- NAIBU WAZIRI WA NISHATI: Randama za Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Nishati kwa mwaka wa fedha 2019/2020. NAIBU WAZIRI WA MADINI: Hotuba ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Madini kwa mwaka wa fedha 2019/2020. 1 NAKALA MTANDAO(ONLINE DOCUMENT) MHE. CATHERINE V. MAGIGE - K.n.y. MWENYEKITI WA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA NISHATI NA MADINI) Taarifa ya Kamati ya Nishati na Madini Kuhusu utekelezaji na Majukumu ya Wizara ya Madini kwa mwaka wa fedha 2018/2019 pamoja na Maoni ya Kamati kuhusu Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara hiyo kwa Mwaka wa Fedha 2019/2020. MHE. TUNZA I. MALAPO - K.n.y. MSEMAJI MKUU WA KAMBI RASMI YA UPINZANI BUNGENI KUHUSU WIZARA YA MADINI: Taarifa ya Msemaji Mkuu wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni juu ya Wizara ya Madini kuhusu Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara hiyo kwa Mwaka wa Fedha 2019/2020. SPIKA: Ahsante sana Mheshimiwa Tunza Malapo, tunakushukuru. Katibu! NDG. STEPHEN KAGAIGAI – KATIBU WA BUNGE: MASWALI NA MAJIBU SPIKA: Tunaanza na TAMISEMI, swali la kwanza litaulizwa na Mheshimiwa Azza Hilal, Mbunge wa Viti Maalum - Shinyanga.
    [Show full text]
  • MKUTANO WA SABA Kikao Cha Ishirini Na Tano – Tarehe 15
    NAKALA YA MTANDAO(ONLINE DOCUMENT) BUNGE LA TANZANIA ____________ MAJADILIANO YA BUNGE ___________ MKUTANO WA SABA Kikao cha Ishirini na Tano – Tarehe 15 Mei, 2017 (Bunge Lilianza Saa Tatu Asubuhi) D U A Mwenyekiti (Mhe. Mussa A. Zungu) Alisoma Dua MWENYEKITI: Waheshimiwa Wabunge, tukae. Katibu! NDG. CHARLES MLOKA – KATIBU MEZANI: HATI ZILIZOWASILISHWA MEZANI Hati zifuatazo ziliwasilishwa Mezani na:- WAZIRI WA ULINZI NA JESHI LA KUJENGA TAIFA: Randama za Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa kwa Mwaka wa Fedha 2017/2018. MWENYEKITI: Ahsante. Katibu. NDG. CHARLES MLOKA – KATIBU MEZANI: Maswali. 1 NAKALA YA MTANDAO(ONLINE DOCUMENT) MASWALI NA MAJIBU Na. 200 Mgongano wa Kiutendaji – Hospitali ya Mkoa wa Ruvuma MHE. LEONIDAS T. GAMA aliuliza:- Wananchi wa Songea Mjini wamekuwa wakiitumia Hospitali ya Mkoa wa Ruvuma kama Hospitali yao ya Wilaya hivyo kufanya kuwepo na mgongano wa kiutendaji kati ya Mamlaka ya Mkoa inayoitambua Hospitali hiyo kama Rufaa ya ngazi ya Mkoa na Mamlaka ya Wilaya. Tarehe 10 Januari, 2016, Mheshimiwa Waziri wa Afya alifika kuona hali halisi na juhudi za wananchi wa Songea Mjini za kujenga Kituo cha Afya Mji Mwema ambacho kimefikia hatua kubwa, hivyo wakamwomba Waziri kituo hicho kipandishwe hadhi kuwa Hospitali ya Wilaya, Songea Mjini. (a) Je, Serikali haioni umuhimu wa kuiacha Hospitali ya Mkoa ifanye kazi ya Rufaa Kimkoa? (b) Je, Serikali haioni haja ya kupunguza msongamano katika hospitali hiyo kwa kuanzisha Hospitali ya Wilaya Songea Mjini? (c) Je, ni lini basi Serikali
    [Show full text]
  • Newsletter Issue 42
    ISSN 0856 - 9991 April - May 2018 Issue No. 42 Editorial Team Prof.F. Kahabuka, Dr. M. Mwangu, The Minister for Education, Science and Technology, Prof. Joyce Ndalichako and a delegation from the Hellen Mtui Government of Republic of Korea in a group photo with MUHAS Acting VC and Hospital Management Neema Edwin team during the Korean’s visit to MAMC THE MINISTER FOR EDUCATION COMMENDS KOREA’S SUPPORT TO MAMC The Minister for Education, of the National Assembly and Science and Technology, Prof. the Ambassador of the Republic This donation Joyce Ndalichako commended of Korea to Tanzania, just to the government of the Republic mention a few. shows their of Korea for their continuing support of the MUHAS In his welcoming remarks commitment Academic Medical Centre the Acting Vice Chancellor (MAMC). Prof. Appolinary Kamuhabwa in continuing thanked the Government of The Minister was speaking the Republic of Korea through support to this during the visit of the delegation their Honorable Members of from the government of Parliament and his Excellency institution Republic of Korea to MAMC on the Ambassador for their 7th March 2018. This delegation contribution in making this event comprised of three members of possible and also he appreciated parliaments, the Chief Adviser the Minister for Education, A University exceling in quality training of health professionals, research and public services with a conducive learning and working environment MUHAS MUHAS 2 Issue No. 42 Issue No. 42 3 between Tanzania and Republic 2018 with the aim of assessing of Korea. “Currently, there are the progress of the hospital THE CONSTRUCTION OF two doctors and one nurse from services since the official the Republic of Korea at MAMC opening.
    [Show full text]
  • Tarehe 4 Mei, 2021
    NAKALA MTANDAO(ONLINE DOCUMENT) BUNGE LA TANZANIA ________ MAJADILIANO YA BUNGE _________ MKUTANO WA TATU Kikao cha Ishirini na Mbili – Tarehe 4 Mei, 2021 (Bunge Lilianza Saa Tatu Asubuhi) D U A Spika (Mhe. Job Y. Ndugai) Alisoma Dua SPIKA: Waheshimiwa Wabunge, tukae. Tunaendelea na Mkutano wetu wa Tatu, leo ni Kikao cha Ishirini na mbili. Katibu! NDG. MOSSY LUKUVI – KATIBU MEZANI: HATI ZILIZOWASILISHWA MEZANI Hati zifuatazo ziliwasilishwa mezani na:- NAIBU WAZIRI WA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA: Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kwa mwaka wa fedha 2021/2022. MHE. HUSNA J. SEKIBOKO - K.n.y. MAKAMU MWENYEKITI WA KAMATI A KUDUMU YA BUNGE YA HUDUMA NA MAENDELEO YA JAMII: Taarifa ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii kuhusu utekelezaji wa majukumu ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kwa mwaka wa fedha 1 NAKALA MTANDAO(ONLINE DOCUMENT) 2020/2021 pamoja na Maoni ya Kamati kuhusu Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara hiyo kwa mwaka wa fedha 2021/2022. SPIKA: Ahsante sana, Mheshimiwa Husna Sekiboko kwa niaba ya Kamati. Katibu! NDG. MOSSY LUKUVI – KATIBU MEZANI: MASWALI NA MAJIBU SPIKA: Swali letu la kwanza leo tunaanza na Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, swali hilo litaulizwa na Mheshimiwa Hassan Selemani Mtenga Mbunge wa Mtwara Mjini. Mheshimiwa Mtenga tafadhali uliza swali lako. Na. 179 Kujenga Barabara za Lami-Kata za Manispaa ya Mtwara Mikindani MHE. HASSAN S. MTENGA aliuliza:- Je, Serikali ina mpango gani wa kujenga barabara za lami katika Kata za Ufukoni, Magomeni na shangani Manispaa ya Mtwara Mikindani.
    [Show full text]
  • AUDITED FINANCIAL STATEMENTS for the YEAR ENDED 30Th JUNE 2017
    THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA PRIME MINISTER’S OFFICE DRUG CONTROL AND ENFORCEMENT AUTHORITY (VOTE 091) AUDITED FINANCIAL STATEMENTS FOR THE YEAR ENDED 30th JUNE 2017 AUDITED FINANCIAL STATEMENTS 1 FOR THE YEAR ENDED 30th JUNE 2017 Drug Satchets VISION To have a society with zero tolerance on drug abuse and trafficking. MISSION To protect the well-being of Tanzanians against drug and related effects by defining, promoting and coordinating the Policy of the Government of the URT for the control of drug abuse and illicit trafficking. CORE VALUES In order to achieve the above Vision and Mission, the Authority has put forward core values, which are reliability, cooperation, accountability, innovativeness, professionalism, confidentiality, efficiency and effectiveness. Heroin Cocain Cannabis Miraa Precursor Chemicals AUDITED FINANCIAL STATEMENTS i FOR THE YEAR ENDED 30th JUNE 2017 THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA PRIME MINISTER’S OFFICE DRUG CONTROL AND ENFORCEMENT AUTHORITY (VOTE 091) TABLE OF CONTENTS List of Acronyms ......................................................................................................................iii General Information .................................................................................................................iv Statement from the Honorable Minister for State, Prime Minister’s Office; Policy, Parliamentary Affairs, Labour, Employment, Youth and the Disabled ..........................1 Statement by the Accounting Officer .......................................................................................3
    [Show full text]
  • Hii Ni Nakala Ya Mtandao (Online Document)
    Hii ni Nakala ya Mtandao (Online Document) BUNGE LA TANZANIA ____________ MAJADILIANO YA BUNGE ___________ MKUTANO WA NNE Kikao cha Ishirini na Nne – Tarehe 18 Julai, 2006 (Mkutano Ulianza Saa Tatu Asubuhi) D U A Spika (Mhe. Samuel J. Sitta) Alisoma Dua MASWALI NA MAJIBU SPIKA: Waheshimiwa Wabunge, kabla sijamwita muuliza swali la kwanza nina matangazo kuhusu wageni, kwanza wale vijana wanafunzi kutoka shule ya sekondari, naona tangazo halisomeki vizuri, naomba tu wanafunzi na walimu msimame ili Waheshimiwa Wabunge waweze kuwatambua. Tunafurahi sana walimu na wanafunzi wa shule zetu za hapa nchini Tanzania mnapokuja hapa Bungeni kujionea wenyewe demokrasia ya nchi yetu inavyofanya kazi. Karibuni sana. Wapo Makatibu 26 wa UWT, ambao wamekuja kwenye Semina ya Utetezi na Ushawishi kwa Harakati za Wanawake inayofanyika Dodoma CCT wale pale mkono wangu wakulia karibuni sana kina mama tunawatakia mema katika semina yenu, ili ilete mafanikio na ipige hatua mbele katika kumkomboa mwanamke wa Tanzania, ahsanteni sana. Hawa ni wageni ambao tumetaarifiwa na Mheshimiwa Shamsa Selengia Mwangunga, Naibu Waziri wa Maji. Wageni wengine nitawatamka kadri nitakavyopata taarifa, kwa sababu wamechelewa kuleta taarifa. Na. 223 Barabara Toka KIA – Mererani MHE. DORA H. MUSHI aliuliza:- Kwa kuwa, Mererani ni Controlled Area na ipo kwenye mpango wa Special Economic Zone na kwa kuwa Tanzanite ni madini pekee duniani yanayochimbwa huko Mererani na inajulikana kote ulimwenguni kutokana na madini hayo, lakini barabara inayotoka KIA kwenda Mererani ni mbaya sana
    [Show full text]
  • Majadiliano Ya Bunge Mkutano Wa Kumi Na Sita
    Hii ni Nakala ya Mtandao (Online Document) BUNGE LA TANZANIA _______________ MAJADILIANO YA BUNGE _________________ MKUTANO WA KUMI NA SITA _________________ Kikao cha Kumi na Tano – Tarehe 27 Juni, 2009 (Mkutano Ulianza Saa Tatu Asubuhi) D U A Mwenyekiti (Mhe. Zubeir Ali Maulid) Alisoma Dua HATI ZILIZOWASILISHWA MEZANI Hati zifuatazo ziliwasilishwa Mezani na:- WAZIRI WA NCHI, OFISI YA MAKAMU WA RAIS (MAZINGIRA NA MUUNGANO):- Randama za Ofisi ya Makamu wa Rais, (Mazingira na Muungano) kwa Mwaka wa Fedha 2009/2010. HOJA ZA SERIKALI Makadirio ya Matumizi ya Fedha kwa Mwaka 2009/2010 Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora (Majadiliano yanaendelea) MWENYEKITI: Waheshimiwa Wabunge jana wakati Mheshimiwa Spika anamalizia shughuli, jana jioni alitawangazia wachangiaji watatu watakaomalizia mchango leo asubuhi. Kwa hiyo naomba nimwite Mheshimiwa Magdalena Hamis Sakaya, atafuatiwa na Mheshimiwa Magale John Shibuda na Mheshimiwa Estherina Kilasi, hivyo ajiandae. MHE. MAGDALENA H. SAKAYA: Mheshimiwa Mwenyekiti, naomba nichukue nafasi hii kukushukuru sana kwa kunipa nafasi ili niweze kuchangia hoja iliyoko mbele yetu. Pia nawapongeza Waheshimiwa Mawaziri wote wa Menejimenti ya 1 Utumishi wa Umma, pamoja na Utawala Bora kwa kuweza kuandaa hotuba hii na kuileta hapa Bungeni ili tuweze kuijadili. Mheshimiwa Mwenyekiti, niende moja kwa moja kwenye mchango wangu, mchango wa kwanza unaenda kwenye utendaji wa watumishi hasa Serikalini, imekuwa ni jambo la kawaida kwamba kuna utendaji duni sana kwa watumishi umma usiokuwa na tija kwa taifa. Watumishi wanafanya kazi bila malengo mkuu wa kitengo anakaa mahali mwezi mzima kwenye idara yake hajawa na malengo kwamba amelenga wapi kwa hiyo mwanzo wa mwezi hana malengo kwamba mwisho wa mwezi atakuwa amezalisha kitu gani.
    [Show full text]
  • MKUTANO WA TATU Kikao Cha Arobaini Na Sita –Tarehe 20 J
    NAKALA YA MTANDAO (ONLINE DOCUMENT) BUNGE LA TANZANIA ___________ MAJADILIANO YA BUNGE _________________ MKUTANO WA TATU Kikao cha Arobaini na Sita –Tarehe 20 Juni, 2016 (Bunge lilianza Saa Tatu Asubuhi) D U A Naibu Spika (Dkt. Tulia Ackson) Alisoma Dua NAIBU SPIKA: Waheshimiwa Wabunge tukae. Katibu! NDG. RAMADHAN ISSA ABDALLAH- KATIBU MEZANI: Maswali. MASWALI NA MAJIBU NAIBU SPIKA: Ofisi ya Rais TAMISEMI, Mheshimiwa Victor Kilasile Mwambalaswa Mbunge wa Chunya, sasa aulize swali lake. Na. 389 Tatizo la Ukosefu wa Chumba cha Kuhifadhia Maiti MHE. VICTOR K. MWAMBALASWA aliuliza:- Kituo cha Afya Chunya kilipandishwa hadhi kuwa hospitali ya Wilaya mwaka 2008 lakini kuna tatizo la ukosefu wa chumba cha kuhifadhia maiti:- Je, ni lini Serikali italitatua tatizo hilo? NAIBU WAZIRI, OFISI YA RAIS, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA alijibu:- Mheshimiwa Naibu Spika, kwa niaba ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI naomba kujibu swali la Mheshimiwa Victor Kilasile Mwambalaswa, Mbunge wa Chunya, kama ifuatavyo:- 1 NAKALA YA MTANDAO (ONLINE DOCUMENT) Mheshimiwa Naibu Spika, Serikali tayari imeanza mchakato wa ujenzi wa chumba cha kuhifadhia maiti katika hospitali ya Wilaya ya Chunya ambacho kinatarajiwa kugharimu shilingi milioni 230 hadi kukamilika. Ujenzi wa jengo utagharimu shilingi milioni 60 na majokofu yatagharimu shilingi milioni 160. Katika bajeti ya mwaka wa fedha 2016/2017 zimetengwa shilingi milioni 50 kwa ajili ya ujenzi wa chumba cha kuhifadhia maiti yaani mortuary. Mheshimiwa Naibu Spika, katika hospitali ya Wilaya ya Chunya kwa sasa kipo chumba maalumu ambacho kimetengwa kikiwa na uwezo wa kuhifadhia maiti mbili tu. Chumba hicho hakitoshelezi huduma hiyo hali ambayo inawalazimu wananchi kufuata huduma ya aina hiyo katika hospitali ya rufaa ya Mkoa wa Mbeya.
    [Show full text]
  • Joyce Lazaro, Ndalichako
    University of Dar es Salaam Our July 2021 UDSM Alumna This is a “light corner” on the UDSM portal intended to feature for one month in turns two among many of the University’s graduates— alumni—since its foundation in 1961. The corner is designed to inform the public and the University itself, without prejudice in terms of historical precedence but guided only by professional information search, on the past graduates of the University, their whereabouts, their current position or engagement, what is remembered of them as past ‘boys’ and ‘girls’ of their time and, finally, on what is reckoned about their contribution to their Alma Mater, their nation, the Africa region and/or the wider world. Joyce Lazaro NDALICHAKO Year of Matriculation: 1987 Year of Graduation: 1991 Award: B. Ed. (Science), The University of Dar es Salaam (1991) More info: • PhD in Educational Psychology (University of Alberta, Canada, 1997). UDSM’s ‘Alumna of the Month’ for July 2021 is Joyce Lazaro Ndalichako, Minister only of academic and research training of personnel at home but also of being called for Education, Science and Technology (MoEST) since 2015 and elected Member of upon internationally for conferences and working seminars, in this particular case on Parliament since 2020. Professor Ndalichako was born in Musoma, in Mara region, educational statistics, measurement and assessment with various groups far beyond on the 21st day of May in 1964. She had her primary education at Karuta Primary her Dar es Salaam base. At AKU, Professor Ndalichako served also as deputy head School in Ujiji, Kigoma, from 1971 to 1978 and her secondary education at Tabora for research.
    [Show full text]
  • Nakala Ya Mtandao (Online Document) 1 MAJADILIANO YA BUNGE
    Nakala ya Mtandao (Online Document) MAJADILIANO YA BUNGE __________ MKUTANO WA ISHIRINI __________ Kikao cha Ishirini na Moja - Tarehe 5 Juni, 2015 (Kikao Kilianza Saa Tatu Asubuhi) D U A Spika (Mhe. Anne S. Makinda) Alisoma Dua SPIKA: Waheshimiwa Wabunge, napenda kuchukua nafasi hii kuwapa pole wote kwa msiba uliotupata, msiba ulitokea wakati nikiwa Geneva ambapo tulikuwa na kikao cha Kamati Ndogo ya maandalizi ya Mkutano Mkuu wa Maspika wote duniani utakaofanyika mwezi wa Nane, sasa kuna Maspika kumi ndiyo tupo kwenye maandalizi ya mkutano huo na kilikuwa ni kikao chetu cha mwisho kabla ya mkutano huo. Kwa hiyo, wakati msiba unatokea nilikuwa huko, nilipewa taarifa na nilisikitika sana. Kwa hiyo, tutatangaza baadaye mchana, ni akina nani watakaokwenda kuzika kesho. Katibu! HATI ZILIZOWASILISHWA MEZANI Hati Zifuatazo Ziliwasilishwa Mezani na:- NAIBU WAZIRI WA NISHATI NA MADINI (MHE. CHARLES M. KITWANGA): Randama za Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Nishati na Madini kwa Mwaka wa Fedha 2015/2016. NAIBU WAZIRI WA MAJI: Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Maji kwa mwaka wa Fedha, 2015/2016. MHE. DAVID H. MWAKYUSA (k.n.y. MHE. PROF. PETER M. MSOLLA - MWENYEKITI WA KAMATI YA KILIMO, MIFUGO NA MAJI): Taarifa ya Mwenyekiti wa Kamati ya Kilimo, Mifugo na Maji kuhusu utekelezaji wa Majukumu ya Wizara ya Maji kwa Mwaka wa Fedha 2014/2015, pamoja na maoni ya Kamati kuhusu Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara hiyo kwa mwaka wa Fedha 2015/2016. MHE. RAJAB MBAROUK MOHAMMED (k.n.y. MHE. MAGDALENA H. SAKAYA - MSEMAJI MKUU WA KAMBI YA UPINZANI KWA WIZARA YA MAJI): Taarifa ya Msemaji Mkuu wa Kambi ya Upinzani kuhusu Makadirio ya Matumizi ya Fedha kwa Wizara ya Maji kwa Mwaka wa Fedha 2015/2016.
    [Show full text]