Samatta Atwaa Tunzo Ubelgiji

Total Page:16

File Type:pdf, Size:1020Kb

Samatta Atwaa Tunzo Ubelgiji J A R I D A L A W I K I Toleo namba 007 | Mei 15,2019 Samatta atwaa tunzo Ubelgiji yota ya nahodha wa timu ya taifa ya Taifa Stars ,Mbwana Samatta ‘Samagoal’, im- Neendelea kung’ara baada ya kufanikiwa kutwaa tunzo ya mchezaji bora wa mwaka mwenye asili ya Afrika; kwa wachezaji wanaocheza Ligi Kuu ya Ubelgiji maarufu kama ‘D’EBBEN Golden Shoe’ Samata amesema kwamba hawezi kuwa mchoyo wa fadhila,kwakuwa anafahamu asingeweza kufi kia hatua hiyo bila ya msaada wa wachezaji wenzake,benchi la ufundi,mashabiki na kila mmoja ndani na nje ya klabu yake ya KRC Genk pamoja na wale wote waliompigia kura. Nahodha huyo,pia aliwashukuru Watanzania kwa kuwa naye bega kwa bega siku zote ka- tika maombi na kumpa moyo kwa namna moja ama nyingine. Samatta amechukua tunzo hiyo kwa mara ya kwanza huku,mchezaji mwenzake wa Genk, Hans Vanaken akinyakua tunzo ya mchezaji bora wa mwaka wa Ligi Kuu ya Ubelgiji kwa mara ya pili mfululizo. Jarida la Wiki . Toleo la Saba . 1 DRFA yaandaa Mashindano ya U11 na U13 Kamati ya Soka la vijana chini ya Chama Cha Soka Mkoa wa Dar es Salaam (DRFA), yameandaa mashindano maalum ya wato- to chini ya umri wa miaka 11 na 13,ya- takayofanyika Mei 18,mwaka huu katika viwanja vya Jakaya Kikwete Youth Park. Mwenyekiti wa DRFA,Almasi Kasongo,alisema mashindano hayo yamekuja kama chachu ya kuwatengeneza watoto ambao kwa siku za usoni watakuwa tayari kushiriki mashindano ya NDONDO ACADEMY ambayo ni chini ya umri wa miaka 15 na 17. Alisema,kimsingi mashindano hayo, yanalenga zaidi kuwaibua watoto waliopo mashuleni (shule za msingi) na kwenye vituo vya kulelea watoto maarufu kama Akademi. Viingilio Mechi ya Simba na Sevilla vyatajwa Viingilio vya mchezo wa kirafiki wa kimataifa kati ya timu ya soka ya Simba dhidi ya Sevil- la ya Hispania utakaochezwa Mei 23,mwaka huu vimetajwa, akizungumza Mkurugenzi wa Fedha na Utawala wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) Cornel Barnabas,amevitaja viingilio hivyo, kuwa upande wa mzunguko itakuwa shilingi 5000,VIP B 15000 na kwa wale wataza- maji wa tiketi za Platinum itakuwa shilingi 100,000. Kwa upande wa Mkurugenzi wa Udhibiti na Utawala wa Sport Pesa ,amesema kwamba mchezo huo,unatarajiwa kuchezwa kuanzia saa moja kamili usiku katika dimba la uwanja wa taifa. 2 . Jarida la Wiki . Toleo la Saba Kikosi cha Sevilla (Hispania) Kikosi cha Simba SC (Tanzania) Stars yafungua dimba na Senegal Kikosi cha timu ya soka cha Taifa ‘Taifa Stars’ kina- tarajia kuanza kutupa karata yake ya kwanza ka- tika Michuano ya Mataifa Afrika dhidi ya Senegal. Mtanange huo wa kundi C unatarajiwa kuchezwa Juni 31katika dimba la 30 June,jijini Cairo,Misri. Kikosi cha Stars,kabla ya. kuivaa Senegal inat- arajia kucheza mchezo wa kirafi ki wa kimataifa dhidi ya wenyeji Misri Juni 13. CALENDRIERFIXTURE DE LA CAN OF 2019 AFCON / FIXTURES 2019 OF AFCON 2019 Matches de groupe / Group matches No. Match Group(e) Date Time/Heure Venue/Lieu 1 EGYPT vs ZIMBABWE A Fri 21/06/19 22.00 Cairo 2 DR CONGO vs UGANDA A 16.30 Cairo 3 NIGERIA vs BURUNDI B Sat 22/06/19 19.00 Alexandria 4 GUINEA vs MADAGASCAR B 22.00 Alexandria 5 SENEGAL vs TANZANIA C 19.00 30 June Cairo 6 ALGERIA vs KENYA C Sun 23/06/19 22.00 30 June Cairo 7 MOROCCO vs NAMIBIA D 16.30 Al Salam Cairo 8 CÔTE D’IVOIRE vs SOUTH AFRICA D 16.30 Al Salam Cairo 9 TUNISIA vs ANGOLA E Mon 24/06/19 19.00 Suez 10 MALI vs MAURITANIA E 22.00 Suez 11 CAMEROON vs GUINEA-BISSAU F Tue 25/06/19 19.00 Ismailia 12 GHANA vs BENIN F 22.00 Ismailia 13 EGYPT vs DR CONGO A 22.00 Cairo 14 UGANDA vs ZIMBABWE A Wed 26/06/19 19.00 Cairo 15 NIGERIA vs GUINEA B 16.30 Alexandria 16 MADAGASCAR vs BURUNDI B 16.30 Alexandria 17 SENEGAL vs ALGERIA C Thu 27/06/19 19.00 30 June Cairo 18 KENYA vs TANZANIA C 22.00 30 June Cairo 19 MOROCCO vs CÔTE D’IVOIRE D 19.00 Al Salam Cairo 20 SOUTH AFRICA vs NAMIBIA D Fri 28/06/19 22.00 Al Salam Cairo 21 TUNISIA vs MALI E 16.30 Suez 22 MAURITANIA vs ANGOLA E 16.30 Suez 23 CAMEROON vs GHANA F Sat 29/06/19 19.00 Ismailia 24 BENIN vs GUINEA-BISSAU F 22.00 Ismailia 25 UGANDA vs EGYPT A 21:00 Cairo 26 ZIMBABWE vs DR CONGO A 21:00 30 June Cairo Sun 30/06/19 27 MADAGASCAR vs NIGERIA B 18:00 Alexandria 28 BURUNDI vs GUINEA B 18:00 Al Salam Cairo 29 KENYA vs SENEGAL C 21:00 30 June Cairo 30 TANZANIA vs ALGERIA C 21:00 Al Salam Cairo Mon 01/07/19 31 SOUTH AFRICA vs MOROCCO D 18:00 Al Salam Cairo 32 NAMIBIA vs CÔTE D’IVOIRE D 18:00 30 June Cairo 33 MAURITANIA vs TUNISIA E 21:00 Suez 34 ANGOLA vs MALI E 21:00 Ismailia Tue 02/07/19 35 BENIN vs CAMEROON F 18:00 Ismailia 36 GUINEA-BISSAU vs GHANA F 18:00 Suez A Cairo EGYPT DR CONGO UGANDA ZIMBABWE A B Alexandria NIGERIA GUINEA MADAGASCAR BURUNDI B C 30 June Cairo SENEGAL ALGERIA KENYA TANZANIA C D Al Salam Cairo MOROCCO CÔTE D’IVOIRE SOUTH AFRICA NAMIBIA D E Suez TUNISIA MALI MAURITANIA ANGOLA E F Ismailia CAMEROON GHANA BENIN GUINEA-BISSAU F Jarida la Wiki . Toleo la Saba . 3 CONFEDERATION AFRICAINE DE FOOTBALL 3 Abdel Khalek Tharwat Street, El Hay El Motamayez, P.O. Box 23 6th October City, Egypt - Tel.: +202 38247272/ Fax : +202 38247274 – [email protected] RCL TANZANIA FOOTBALL FEDERATION FINALS RCL 2019 GROUP A NO TEAMS P W D L GF GA GD PTS 1 BARIADI UNITED (SIMIYU) 1 1 0 0 2 0 2 3 2 ISANGA RANGERS (MBEYA) 1 1 0 0 2 0 2 3 3 DTB (DAR) 1 0 0 1 0 2 -2 0 4 TOP BOYS (RUVUMA) 1 0 0 1 0 2 -2 0 TANZANIA FOOTBALL FEDERATION FINALS RCL 2019 GROUP B NO TEAMS P W D L GF GA GD PTS 1 MJI MPWAPWA (DODOMA) 1 1 0 0 2 1 1 3 2 MBUNI FC (ARUSHA) 1 0 1 0 2 2 0 1 3 PAN AFRICAN (DAR) 1 0 1 0 2 2 0 1 4 MKURUGENZI (KATAVI) 1 0 0 1 1 2 -1 0 4 . Jarida la Wiki . Toleo la Saba Matukio katika Picha ya Ligi ya Vijana U20 Premier League Jarida la Wiki . Toleo la Saba . 5 U15 & U17 Katika Picha 6 . Jarida la Wiki . Toleo la Saba Beach Soccer TANZANIA FOOTBALL FEDERATION BEACH SOCCER LEAGUE 2019 STANDING Teams P W Wx Wp L GF GA GD PTS 1 Mburahati Fc 11 7 0 1 3 65 48 17 22 2 Buza Fc 11 6 1 0 4 53 48 5 20 3 Tanzania Prisons Fc 11 5 1 0 5 63 47 16 17 4 Friends Rangers Fc 11 5 0 2 4 48 45 3 17 5 Kijitonyama Sands Heroes 11 5 1 0 5 65 63 2 17 6 Friends Of Mkwajuni Sc 11 5 1 0 5 49 51 -2 17 7 Kisa Fc 11 5 0 1 5 57 47 10 16 8 Vingunguti Kwanza Fc 11 5 0 0 6 45 47 -2 15 9 Tabata Souls Sc 11 5 0 0 6 58 64 -6 15 10 Savannah Boys 11 3 0 1 7 35 52 -17 13 11 Six Home City Fc 11 3 0 1 7 41 47 -6 10 12 Ilala Fc 11 2 0 0 9 41 61 -20 6 132 56 4 6 66 620 620 0 185 Jarida la Wiki . Toleo la Saba . 7 SWPL Msimamo wa Ligi Kuu ya Wanawake baada ya mzunguko wa 21 TANZANIA FOOTBALL FEDERATION WOMEN'S PREMIER LEAGUE 2018/2019 WPL - ROUND 21 NO TEAMS P W D L GF GA GD PTS 1 JKT QUEENS 21 21 0 0 123 5 118 63 2 SIMBA QUEENS 21 14 2 5 61 15 46 44 3 ALLIANCE GIRLS 21 14 2 5 60 20 40 44 4 MLANDIZI QUEENS 21 13 3 5 41 15 26 42 5 PANAMA FC 21 13 3 5 53 33 20 42 6 SISTERZ FC 21 8 4 9 32 33 -1 28 7 YANGA PRINCESS 21 8 1 12 30 54 -24 25 8 BAOBAB QUEENS 21 5 5 11 22 59 -37 20 9 TANZANITE SC 21 6 1 14 18 46 -28 19 10 MARSH QUEENS 21 3 6 12 20 60 -40 15 11 EVERGREEN QUEENS 21 2 4 15 11 64 -53 9 12 MAPINDUZI QUEENS 21 2 3 16 5 72 -67 9 TOTAL 126 54.5 17 54.5 476 476 0 360 Champions Relegation 8 . Jarida la Wiki . Toleo la Saba TPL Mchezaji Bora wa Mwezi Aprili Kocha Bora wa Mwezi Aprili John Bocco (Simba SC) Patrick Aussems(Simba SC) Msimamo wa TPL TANZANIA FOOTBALL FEDERATION STANDING TANZANIA PREMIER LEAGUE (TPL) 2018/2019 NO TEAMS P W D L GF GA GD PTS 1 YOUNG AFRICANS 36 26 5 5 55 25 30 83 2 SIMBA SC 33 26 4 3 69 14 55 82 3 AZAM FC 36 19 12 5 50 21 29 69 4 KMC 36 11 16 9 36 25 11 49 5 MTIBWA SUGAR 35 14 7 14 35 28 7 49 6 LIPULI 36 12 12 11 30 36 -6 48 7 NDANDA FC 36 12 11 12 23 31 -8 47 8 SINGIDA UNITED 36 11 12 13 30 37 -7 45 9 COASTAL UNION 35 10 14 11 31 41 -10 44 10 MBAO FC 36 11 11 14 26 38 -12 44 11 MBEYA CITY 34 12 7 15 35 36 -1 43 12 TANZANIA PRISONS 36 10 13 13 26 28 -2 43 13 KAGERA SUGAR 35 10 13 12 32 38 -6 43 14 RUVU SHOOTING 36 10 12 14 33 41 -8 42 15 ALLIANCE FC 35 10 11 14 29 39 -10 41 16 JKT TANZANIA 36 9 14 13 25 35 -10 41 17 STAND UNITED 35 11 8 16 33 44 -11 41 18 BIASHARA UNITED 34 10 10 14 25 30 -5 40 19 MWADUI FC 36 10 8 18 41 51 -10 38 20 AFRICAN LYON 35 4 10 21 20 46 -26 22 TOTAL 353.5 124 105 123.5 684 684 0 954 CAF Champions League(CL) PlayOff (Knockout) Jarida la Wiki .
Recommended publications
  • La RDC En Quête D'un Troisième Sacre Continental
    RD-CONGO L’ACTUALITÉ AU QUOTIDIEN 300 FC/200 CFA www.adiac-congo.com N° 3516 - VENDREDI 21 JUIN 2019 CAN/EGYPTE 2019 La RDC en quête d’un troisième sacre continental Les Léopards ont pris leur quartier à l’hôtel Méridien Héliopolis du Caire, en Egypte, où ils sont arrivés le 17 juin en provenance d’Espagne. Après seize jours de mise au vert à Marbella en guise de préparation de la phase finale de la 32e Coupe d’Afrique des nations (CAN) (21 juin-19 juillet) au pays des pharaons, les poulains de Jean Florent Ibenge affichent un moral haut. La sélection congolaise partage le site d’hébergement avec celle des Warriors du Zimbabwe. Au-delà de leurs deux sorties en amical sans victoire, les Léopards ont néanmoins toutes leurs cartes à jouer dans un groupe A plutôt équilibré où tout reste ouvert. La RDC retrouve la terre égyptienne avec de nouvelles ambitions, celles d’ajouter une troisième couronne continentale après celles de 1968 et de 1974. Page 12 Les Léopards du Congo INSTITUTIONS PUBLIQUES AMÉNAGEMENT DU TERRITOIRE Folles rumeurs sur le décès L’état des lieux de Kengo wa Dondo du secteur expliqué Hier matin, une folle rumeur a circulé à Kinshasa et sur les réseaux sociaux, annon- aux différentes çant la mort de Léon Kengo wa Dondo à la suite de l’intervention chirurgicale qu’il avait subie. Alors que certaines sources, citant un parties prenantes tweet de l’ancien ministre Tryphon Kin-Kiey Mulumba, ont confirmé le décès de l’an- Les différents acteurs impliqués dans le processus de la réforme cien président du Sénat, d’autres dont Top du secteur sont en atelier de restitution depuis hier à Kinshasa, Congo FM et la libre Belgique allèguent que au terme de la mission de consultation des acteurs provinciaux et l’homme politique congolais n’est pas mort de collecte des données.
    [Show full text]
  • Toleo Namba 009 | Juni 5,2019
    J A R I D A L A W I K I Toleo namba 009 | Juni 5,2019 Jarida la Wiki . Toleo la Tisa . 1 Stars yaanza kujiwinda rasmi na AFCON 2019 Kikosi cha timu ya soka cha taifa Taifa Stars,kime- ingia kambini Juni Mosi,katika hoteli ya White Sands,Kunduchi kujiwinda na michuano ya Matai- fa Afrika inayotarajia kuanza Juni 21 hadi Julai 19,mwaka huu nchini Misri. Kikosi hicho ambacho kitakuwa na jumla ya wachezaji 39 kabla ya kuchujwa na kubaki 32,kimeweka kambi ya siku tano,kabla ya ku- funga safari kuelekea nchini Misri kwa kambi ny- ingine katika mji wa Cairo,ambayo watakaa hadi muda wa mashindano utakapoanza rasmi. KIkosi hicho kinachonolewa na kocha Emmanuel Amunike,kinatarajia kucheza mchezo wa kirafiki Juni 13 dhidi ya wenyeji Misri ‘The Pharao’ katika mji wa Alexandrea,ikiwa ni mo- jawapo ya mchezo wa kujipima nguvu. Kambi ya timu ya taifa nchini imepata udhamini kutoka kwa Kampuni ya Motisun Group,am- bayo imejitolea kudhamini malazi ya timu hiyo kwa muda wote watakaokuwa kambini hadi watakapoondoka Juni 7,mwaka huu 2 . Jarida la Wiki . Toleo la Tisa Jarida la Wiki . Toleo la Tisa . 3 Azam yatwaa ubingwa wa ASFC ASFC Kikosi cha timu ya soka ya Azam maarufu kama Wanal- ambalamba,wamefanikiwa kutwaa kombe la Shirikisho la Soka Tanzania linalojulikana kama Azam Sports Federation Cup (ASFC),baada ya kuichapa Lipuli ya Iringa kwa bao 1-0,katika mchezo uliofanyika katika dimba la Uwanja wa Ilulu,mkoani Lindi. Mshambuliaji wa kimataifa wa Zambia,Obrey Chir- wa,alifunga bao safi katika dakika ya 64,ambalo lilidumu hadi kipyenga cha mwisho kinapulizwa na mwamuzi Hance Mabena kuifanya Azam FC kutawaz- wa kuwa mabingwa wapya wa ASFC.
    [Show full text]
  • Africa Cup of Nations 2013 Media Guide
    Africa Cup of Nations 2013 Media Guide 1 Index The Mascot and the Ball ................................................................................................................ 3 Stadiums ........................................................................................................................................ 4 Is South Africa Ready? ................................................................................................................... 6 History ........................................................................................................................................... 9 Top Scorers .................................................................................................................................. 12 General Statistics ......................................................................................................................... 14 Groups ......................................................................................................................................... 16 South Africa ................................................................................................................................. 17 Angola ......................................................................................................................................... 22 Morocco ...................................................................................................................................... 28 Cape Verde .................................................................................................................................
    [Show full text]
  • Mazembe Désillusionné À Domicile Par Sfax Vainqueur Samedi 30 Novembre Dant À Mazembe
    L’ACTUALITÉAUQUOTIDIEN 300 FC www.lesdepechesdebrazzaville.com N°1877 LUNDI 2 DÉCEMBRE 2013 COUR PÉNALE Disparition INTERNATIONALE Des ONG inquiètes du « péril » Tabu Ley n’est plus de la justice La Fédération internationale des ligues des droits de l’homme (FIDH) Malade depuis un peu plus de deux ans, le fonda- et la Kenya human rights Commission teur de l'orchestre Afrisa International a rendu (KHRC) se disent inquiètes des mo- l’âme le samedi 30 novembre à Bruxelles alors qu’il difications que les États parties au était entré dans un coma profond. À en croire des Statut de Rome ont apporté au règle- sources dans la capitale belge, l’icône de la musique ment de procédure et de preuves de congolaise moderne a succombé de suite de diabète la Cour pénale internationale (CPI). après avoir été terrassé par un accident cardiovas- Ces ONG ont noté que ces modifica- culaire. C’est au lendemain de son plébiscite tions autorisent des fonctionnaires de comme meilleur artiste Caraïbe-Afrique au Festival haut rang accusés de crimes interna- mondial de la musique organisé à Varadero à Cuba tionaux à être absents lors de leur en 2008 que Pascal Tabu Ley a vu son état de santé procès devant la CPI, permettant se dégrader progressivement jusqu’à ce jour fati- ainsi leur participation au procès par dique. Quatre de ses fils, Pegguy Tabu, Abel l’utilisation de la vidéo. De telles déci- Tabu, Philémon et Youssoupha, ont percé dans le sions politiques, pensent-elles, com- milieu de la musique en tant que chanteur.
    [Show full text]
  • Upcoming Female Photographers Workshop Report -2020
    UPCOMING FEMALE PHOTOGRAPHERS WORKSHOP REPORT -2020 VENUE: NAFASI ARTS SPACE, DAR ES SALAAM, TANZANIA DATE: FROM 03RD TO 07TH AUGUST, 2020 FACILITATORS: APPROVED BY IMANI NSAMILA FEMALE PHOTOGRAPHERS FRANCISCA DAMIAN PROGRAM - TEAM INTRODUCTION SUMMARY The 1st female photographers workshop was planned and organized in collaboration between LADIES JOINT FORUM (LJF), which is an NGO from TanzaniaMORE on THAN the side JUST of implementingTHE partners together with a professional NUMBERS, DIGITAL photographer Imani Selemani Nsamila also from Tanzania. On the other side MARKETERS MUST ALSO there was NGO FRIENDS OF DAR ES SALAAM - HAMBURG from Germany, which CREATE A CONCISE YET has resources and technical advisory partners. The initial stages of the planning EFFECTIVE SOCIAL started early March 2020 and later the workshop was implemented in Dar es MEDIA REPORT. Salaam from 03rd to 07th August, 2020. The main target of the workshop was to enable girls from marginalized communities with passion for photography as a career to explore their talents and learn technical and creativity in photography. Another target was to build a new network of female photographers. Therefore this workshop successfully provided basic training on photography, life skills, career development, entrepreneurship skills and business management. The trainers were ensuring that the training which was given to them were preparing these young women to initiate their own employment out of their photography talent. For the five days of learning these young women were taken to field learning to different media companies and famous photographers, famous models and celebrities to inspire them and build confidence for them to see opportunities in self-employment within the field of photography.
    [Show full text]
  • Sama a Aendelea Kupeta Ulaya
    J A R I D A L A W I K I Toleo namba 008 | Mei 22,2019 Sama� a aendelea kupeta Ulaya ahodha wa timu ya soka ya Tanzania Taifa NStars na mshambuliaji wa klabu ya KRC Genk Mbwana Samatta, ameendelea kujiandikia historia mpya kila kukicha baada ya klabu yake kutwaa ubingwa wa Ubelgiji mwishoni mwa wiki iliyopita. Timu ya soka ya Genk,imefanikiwa kutwaa ubingwa huo baada ya kufi kisha alama …,ambazo zimewa- fanya wapate tiketi ya moja kwa moja kushiriki mi- chuano ya Klabu Bingwa Ulaya. Mwezi huu umekuwa mzuri kwa Samatta,baada ya kufanikiwa kutwaa tunzo ya mchezaji bora wa mwaka kwa kwa wachezaji wenye asili ya weusi katika Ligi Kuu ya Ubelgiji,huku pia akiwa kinara katika ufungaji kwa kuweka kibindoni mabao 23. Jarida la Wiki . Toleo la Nane . 1 Simba uso kwa uso na Sevilla Mei 23 Mabingwa wa soka nchini Simba SC wanaingia kati- ka mchezo wa kirafiki wa Kimataifa dhidi ya Sevilla wakiwa kileleni mwa Ligi Kuu Tanzania Bara. Ushindi wa mabo 2-0,walioupata dhidi ya Ndanda wanaifanya klabu hiyo kuingia uwanjani wakiwa na matumaini ya kufanya vizuri katika mchezo huo mgu- mu,dhidi ya miamba hiyo ya Hispania. Uwezo wa mchezaji mmoja mmoja na timu nzima ya Sevilla,unaufanya mchezo huo dhi- di ya Simba,kuwa mgumu na wa kuvutia,hasa ikizingatiwa Simba atakuwa nataka kuandika historia mpya kama atafanikiwa kuwafunga vijana hao wa Laliga. Mchezo huo,ambao umevuta hisia kubwa ku- toka kwa mashabiki ndani na nje ya mipaka ya Tanzania, unataraji kiuanza majira ya saa moja jioni katika dimba la Uwanja wa Taifa Dar es Salaam.
    [Show full text]
  • TFF Vodacom Wasaini Mkataba Wa Miaka 3
    J A R I D A L A W I K I Toleo namba 013 | Agosti 31,2019 TFF Vodacom wasaini mkataba wa miaka 3 hirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) na Kampuni ya simu za mkononi ya SVodacom, wamesaini mkataba wa miaka 3 wa udhamini wa Ligi kuu Tanzania bara. Rais wa TFF Wallace Karia akizungumza katika hafla ya utiaji saini alisema “Udhamini huu utaleta matokeo chanya na tunaahidi kutoa ushirikiano na Vodacom kwa muda wote wa mkataba” alisema Karia. Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe amei- pongeza TFF kwa hatua ya kusaini mkataba na kampuni ya Vodacom kudhamini ligi kuu. Mkataba huo unathamani ya Shilingi za Kitanzania bilioni 9 ambapo kila msimu utakuwa ni Shilingi bilioni 3,ambapo utaanza msimu wa 2019/2020,2020/2021 na 2021/2022. Jarida la Wiki . Toleo la Kumi na Tatu 1 Simba yaendeleza ubabe Ngao ya jamii labu ya soka ya Simba imedhihirisha ya kuwa ndio mbabe wa mechi za ngao Kya jamii hadi sasa,baada ya kutwaa ngao hiyo kwa mara ya tano mbele ya Azam Fc. Katika mchezo huo wa kiashiria cha ufunguzi wa pazia la Ligi Kuu Tanzania Bara,- Simba iliandika historia hiyo baada ya kuitandika Azam Fc kwa mabao 4-3.katika mchezo uliofanyika katika dimba la Uwanja wa Taifa Agosti 17 mwaka huu. Mabao ya Simba yaliwekwa kimiani na kiungo wao wa kimataifa Sharaf Eldin Shiboub,dakika ya 16,22 ambaye alifunga mabao mawili huku Clatous Chama dakika ya 56 na Francis Kahata dakika ya 83 wakifunga bao moja kila mmoja. Kwa upande wa Azam,mabao ya kufutia machozi yaliwekwa kimiani na Shaaban Idd dakika ya 13 Chilunda na Frank Domayo dakika ya 78.
    [Show full text]
  • The Thrilling Story of a Young Burundian Child Born With
    Rwanda: Former Amazing Grace Radio manager arrested over public order disturbance What you should know about the New Russian Rwanda former Amazing Grace radio Federation Ambassador station boss, Greff Schoof has been arrested for disturbing public order, in Burundi police have said as NewTimes reported. Uganda wins East Africa’s Got Talent PayPal pull out of an alliance that is trying to EVENTS: : TECHNEWS: with $50,000 cash prize launch Facebook’s digital currency Libra www.regionweek.com BURUNDI AND EAST AFRICA WEEKLY BRIEFING OCTOBER 12th 2019 $ 3.50 No 26 The thrilling story of a young Burundian child born with HIV Amanda Dushime, a young Burundian child has delivered a very thrilling story before the world leaders on the sidelines of the conference of Global Fund in a bid to fight against the HIV/AIDS disease. Ethiopia: Prime Minister Abiy Ahmed wins 2019 Nobel Peace Prize On Friday, October 11, the Norwegian be officially awarded at a ceremony in Nobel Committee announced from Oslo the Norwegian capital on December that the 2019 Nobel Peace Prize laureate 10th, the prize is worth nine million will be given to Ethiopian Prime Minister Swedish crowns (about £730,000; Abiy Ahmed for his efforts to reconcile $900,000). his country with Eritrea. The award will DR Congo President says to be ‘ready to die’ for peace in the Eastern part of the country In the South Kivu province, Bukavu, DR Congo president, Felix Thsisekedi promised to work hard to the recovery of peace, stability, and security in the eastern part of his country.
    [Show full text]
  • Konya Yenigün Gazetesi
    www.konyayenigun.com • 18 MAYIS 2021 SALI • 1,5 TL • FİLİSTİN’DE FELAKETİN BOYUTU ARTIYOR TAM AÇILDIK! 17 günlük tam kapanmanın ardından başlayan kontrollü normalleşme süreci, tam bir açılmaya dönüştü. Konya’nın cadde ve sokakları dolup taşarken, zaman zaman kurallar unutuldu, vatandaşların rehavete kapıldığı görüldü ŞEHİRDE YOĞUNLUK! ESNAF KEPENK AÇTI Tüm Türkiye'de 29 Nisan Perşem- Pazartesi günü itibariyle yaşanan be günü uygulamaya konulan tam yoğunluk, şehrin dört bir köşe- kapanma, dün saat 05.00 itibariyle sinde ilginç görüntüler oluşturdu. İsrail'in abluka altındaki Gazze'ye yönelik saldırıları bir sona erdi. Tam kapanma döne- Banka, postane gibi kurumların haftayı geride bırakırken, saldırılarda 200 Filistinlinin minin ardından ise İçişleri Bakan- önlerinde uzun kuyruklar oluştu. hayatını kaybetmesi ve 1307 kişinin yaralanması insani lığı yeni genelde yayımlayarak, Uzun bir aradan sonra dükkanlarını felaketin boyutunu gösteriyor. n HABERİ SAYFA 12’DE kontrollü normalleşme sürecinin açan esnaf ise oldukça mutluydu. başlatıldığını duyurdu. Tam Yeniden “Bismillah” diyen esnaf, kapanmanın sona ermesini fırsat 17 günün ardından asıl bayramını ALICI: SANATÇI bilen vatandaşlar, Konya’da soluğu yaşadığını bildirdi. Ancak şehir- sokakta aldı. 17 günün ardından deki yoğunluk, zaman zaman va- HALKIN SESİDİR dışarı çıkan vatandaşlar parklarda, tandaşlara sosyal mesafe, maske, çarşı-pazarda, cadde ve sokaklar- temizlik kurallarını unutturdu. da yoğunluğa neden oldu. n HABERİ SAYFA 2’DE Bozkır’da 8 Başkan Kavuş ‘Zulmün Sular çekildi derslikli okul personelle karşısında bakraçlar tamamlandı bayramlaştı durduk’ devreye girdi n HABERİ SAYFA 3’TE n HABERİ SAYFA 4’TE n HABERİ SAYFA 5’TE n HABERİ SAYFA 9'DA Selçuklu’da Sahnelerin renkli sesi, Konya folklorunun önemli ismi, öğretmen, kimyacı, ziraatçı, şair ve ses sanatçısı Ahmet bayramlaşma Alıcı ile hayat hikayesini konuştuk.
    [Show full text]
  • Başkan Yüce Talimat Verdi
    116 yaşında Sakarya'da 7 araç birbirine girdi:7 Yaralı koronavirüsü yendi Sakarya’nın Sapanca Korona virüse yakalandıktan bir ilçesinde, TEM Oto- süre sonra Eskişehir Şehir Hasta- yolu'nda 2 otobüs, 2 nesi’nde tedavi altına alınan 116 otomobil, 2 hafif ticari yaşındaki Ayşe Karatay, yoğun araç ve bir TIR'ın karış- bakım tedavisinin ardından virüsü tığı zincirleme kazada 10 yenerek servise gönderildi. 2'DE kişi hafif yaralandı. 3'TE Milletimiz için tarihi bir dönüm noktasıdır Cumhurbaşkanı Recep Tayyip Erdoğan, Sivas Kongresi’nin 102. yıl dönümü dolayısıyla bir mesaj yayımladı. 5'TE 5 EYLÜL 2021 PAZAR www.haberfokus.com Yıl: 1 Sayı: 164 UZMANLAR Sarı'dan İnsana dokunan bir proje Karasu Belediye Başkanı İshak Sarı ilçede yaşayan ve Koronavirüs vaka sayılarındaki son 4 haftaki yükseliş endişe yaratırken yeni bebek sahibi olan ailele- UYARIYOR ! re ‘Hoş geldin Bebek’ projesi pazartesi günü başlayacak yüz yüze eğitim öncesi uzmanlar uyarıyor. kapsamında ziyaretlerde bu- lunmaya devam ediyor. 8'DE VAKA SAYISI 25 BİNE DAYANDI Son 24 saatte son 283 kişi hayatını kaybederken yeni vaka sayısı ise 23 bin 496 olarak açıklandı. Dün hayatını kaybedenlerin sayısı 283 ile 9 Mayıs'tan bu yana en yüksek sevi- yede gerçekleşti. Günlük ölümler ise 15 gündür 200'ün üzerinde bulunuyor 6 Eylül'de başlayacak olan yüz yüze eğitimle birlikte 4. pik riskiyle karşı karşıya olduğumuzun altını çizen uzmanlar bu gidişle yine kapanabile- Ak Parti'li Savaş'tan ceğimiz konusunda uyarıyor.. Sivas Kongresi mesajı TBMM KİT Komisyonu Başkanı ve AK Parti Aydın 4 HAFTADAKİ YÜKSELİŞ Milletvekili Mustafa Savaş, Başkan Yüce talimat verdi Sivas Kongresi’nin 102.yıl- DİKKAT ÇEKİYOR Başkan Ekrem Yüce’nin talimatlarıyla afet bölgesi ilan edilen Sakar- dönümü dolayısıyla bir mesaj ya’dan Kastamonu’nun Bozkurt ilçesine doğru 2 kombi kanal, 3 ekip yayımladı.
    [Show full text]
  • African Cup of Nations All Time Country Scorers Last Updated 19/7
    African Cup of Nations All Time Country Scorers Last updated 19/7/2019 Players Country Goals (1667) Riyad MAHREZ Algeria 6 Djamel MENAD Algeria 5 Lakhdar BELLOUMI Algeria 5 Rabah MADJER Algeria 5 Islam SLIMANI Algeria 4 Adam Ounas Algeria 3 Billal DZIRI Algeria 3 Djamel AMANI Algeria 3 Hacène LALMAS Algeria 3 Salah ASSAD Algeria 3 Tedj BENSAOULA Algeria 3 Abdelhafid TASFAOUT Algeria 2 Ali MESSABIH Algeria 2 Baghdad Bounedjah Algeria 2 Chérif OUDJANI Algeria 2 El Arabi Hillel SOUDANI Algeria 2 Hocine ACHIOU Algeria 2 Hocine BENMILOUDI Algeria 2 Moussa SAIB Algeria 2 Nasser BOUICHE Algeria 2 Youcef Belaïli Algeria 2 Abdelkader FERHAOUI Algeria 1 Abdelmalek CHERRAD Algeria 1 Ali FERGANI Algeria 1 Boualem AMIROUCHE Algeria 1 Brahim ZAFOUR Algeria 1 Chaabane MERZEKANE Algeria 1 Chérif El OUAZZANI Algeria 1 Djamel ZIDANE Algeria 1 Faouzi GHOULAM Algeria 1 Farid GHAZI Algeria 1 Fawzi MOUSSOUNI Algeria 1 Hameur BOUAZZA Algeria 1 Hocine YAHI Algeria 1 Karim MAROC Algeria 1 Karim MATMOUR Algeria 1 Khaled LOUNICI Algeria 1 Madjid BOUGHERRA Algeria 1 Mamar MAMOUNI Algeria 1 Mokhtar KHALEM Algeria 1 Nabil BENTALEB Algeria 1 Nasreddine KRAOUCHE Algeria 1 Nassim AKROUR Algeria 1 Rachid MAATAR Algeria 1 Rafik HALLICHE Algeria 1 Sofiane FEGHOILI Algeria 1 Sofiane Feghouli Algeria 1 Sofiane Hanni Algeria 1 Tarek LAZIZI Algeria 1 Own Goal "William Troost-Ekong from Nigeria Algeria 1 Own Goal “Thulani HLATSHWAYO from South Africa” Algeria 1 Mateus Alberto Contreiras Gonçalves MANUCHO Angola 9 FLÁVIO Amado Angola 7 QUINZINHO “Joachim Alberto Silva” Angola
    [Show full text]
  • Liste Pays Can2019
    Afrique du Sud # Nom Maillot Position Date de Club (pays) naissance 1 DARREN KEET Keet GK 05.08.1989 Bidvest Wits(Afrique Du Sud) 2 BUHLEBUYEZA WILSON MKHWANAZI Mkhwanazi DF 01.02.1990 Bidvest Wits(Afrique Du Sud) 3 SAKHILE INNOCENT FRANCES MAELA Maela DF 14.08.1992 Orlando Piates(Afrique Du Sud) 4 DANIEL ANTONIO CARDOSO Cardoso DF 06.10.1988 Kaizer Chiefs(Afrique Du Sud) 18.08.1988 Cape Town City(Afrique Du 5 THAMSANQA INNOCENT MKHIZE Mkhize DF Sud) 6 RAMAHLWE MPHAHLELE Mphehlele DF 01.02.1990 Kaizer Chiefs(Afrique Du Sud) 17.09.1994 Mamelodi Sundowns(Afrique Du 7 LEBOHANG KGOSANA MABOE Maboe FW Sud) 8 BONGANI ZUNGU Zungu MF 09.10.1992 Amiens SC FC(France) 28.01.1996 Racing Club de Strasbourg 9 LEBO MOTHIBA Mothiba FW FC(France) 10 THULANI CALEB SERERO Serero MF 11.04.1990 SBV Vitesse FC(Pays-Bas) 03.08.1989 Mamelodi Sudowns(Afrique Du 11 THEMBA ZWANE Zwane MF Sud) 12 KAMOHELO MOKOTJO Mokotjo MF 11.03.1991 Brentford FC(Angleterre) 17.04.1988 Mamelodi Sudowns(Afrique Du 13 SAMUEL TIYANI MABUNDA Mabunda MF Sud) 14 THULANI HLATSHWAYO Hlatshwayo DF 18.12.1989 Bidvest Wits(Afrique Du Sud) 22.06.1988 Supersport United(Afrique Du 15 DEAN FURMAN Furman MF Sud) 16 BRUCE HLAMULO BVUMA Bvuma GK 15.05.1995 Kaizer Chiefs(Afrique Du Sud) 29.12.1989 Mamelodi Sudowns(Afrique Du 17 SIBUSISO VILAKAZI Vilakazi FW Sud) 18 SANDILE S'FISO HLANTI Hlanti DF 05.01.1990 Bidvest Wits(Afrique Du Sud) 19 PERCY MUZI TAU Tau FW 13.05.1994 Royal Union Saint FC(Belgique) 23.05.1985 Mamelodi Sundowns(Afrique Du 20 HLOMPHO APHENUS KEKANA Kekana MF Sud) 21 LARS VELDWIJK
    [Show full text]