Stars Ya Kuf A, Kupona Yatajwa N MANASRAKITANA Mataifa Afrika

Total Page:16

File Type:pdf, Size:1020Kb

Stars Ya Kuf A, Kupona Yatajwa N MANASRAKITANA Mataifa Afrika Uhuru Date: 09.03.2019 Page 31&32 Article size: 270 cm2 ColumnCM: 60.0 AVE: 357420.0 (, Stars ya kuf a, kupona yatajwa n MANASRAKITANA Mataifa Afrika. amewaita kambini nyota 25 na Kalambo (Tanzania Prison), Metacha —— Stars na Uganda zitashuka dimbani kuwaacha wachezaji wenye majina Mnata (Mbao), Suleman Salula (Malindi KOCHA Mkuu wa timu ya Machi 22, mwaka huu katika mchezo makubwa ambao walikuwepo katika FC, Zanzibar), Vicent Philipo (Mbao FC)Vicent Philipo (Mbao FC) T^ifa Tanzania 'Taifa Stars', utakaofanyika Uwanja wa Taifa, Dar es kikosi kilichopita walipoivaa Lesotho na na Kennedy Wilson (Singida Utd).'ilson (Singida Utd). Kikosi kamili kilichotangazwa nanili kilichotangazwa na \SZhLJS^1!SlmJSV^ ^'Mchezo huo ndio utakaoamua " SSIzaji° waliotemwa ni Abdi kocha huyo ni Aishi Manulajohn Bocco,Aishi Manulajohn Bocco, SSka WfcSr IhaZTkwa S ya nafasi ya Stars kufuzu fainali hizo Banda, Ibrahim Ajib, Hassan Dilunga Jonas Mkude (Simba), Mnata, Philipo(Simba), Mnata, Philipo kuwlfu»hi_habaadhivawatu. zitakazofanyikaMisriJuni mwakahuu. na Erasto Nyoni anayesumbuliwa na (Mbao Fc), Salula (Malindi Fc), Hassanilula (Malindi Fc), Hassan "TSS&WSSSbkada Kocha /huyo alisema amekuwa majeraha beki Mohammed Hussein Kessy (Nkana, Zambia), Ally Mtoni va kutangaza kikosi kitakachoivaa akiita wachezaji ambao anaamini wana Tshabalala .... (Lipuli), Gadiel Michael, Kelvin Yondani, AndrewVicent, Feisal Salum (Yanga). Iffia^falrSrzrKombela lli kudhihirisha kauli hiyo, Amunike Amun.ke amewaita kambini AaronUganda kitika mchezo wa kundi L mchango katika timu na si ymginevyo. Licha kuwabwaga wachezaji hao, Gazeti hili hutolewa na Uhuru Media Group Limited, S.L.P9221 Dar es Salaam i . • £Starsyakufa, i kuponayatajwa j q INATOKAUK.32 Wengine ni Kennedy Wilson (Singida), Himid Mao (Petrojet) Mudathir Yahya, Aggrey Morris (Azam), Yahya Zayd (lsmaily),Mbwana Samatta (Genk), Thomas Ulimwengu (Al Hilal), Farid Mussa, Shaban Chilunda (Tenerife),. Shiza Ramadhan (Ennpi), Rashid Mandawa(Bdf) na Simon Msuva(AIJadida). Hadi sasa Stars inashika nafasi ya tatu kwenye msimamo ikiwa wa kundi L na pointi tano sawa na Lesotho inayoshika nafasi ya pili kwa tofauti ya uwiano wa mabao ya kufunga na kufungwa. Uganda inaongoza kundi ikiwa na pointi 13 na.tayari imeshafuzu fainali hizo wakati CapeVerde inashika mkia ikiwa /" na pointi nne. Ipsos Synovate Tanzania ­ Migombani Street, Regent Estate.
Recommended publications
  • Toleo Namba 009 | Juni 5,2019
    J A R I D A L A W I K I Toleo namba 009 | Juni 5,2019 Jarida la Wiki . Toleo la Tisa . 1 Stars yaanza kujiwinda rasmi na AFCON 2019 Kikosi cha timu ya soka cha taifa Taifa Stars,kime- ingia kambini Juni Mosi,katika hoteli ya White Sands,Kunduchi kujiwinda na michuano ya Matai- fa Afrika inayotarajia kuanza Juni 21 hadi Julai 19,mwaka huu nchini Misri. Kikosi hicho ambacho kitakuwa na jumla ya wachezaji 39 kabla ya kuchujwa na kubaki 32,kimeweka kambi ya siku tano,kabla ya ku- funga safari kuelekea nchini Misri kwa kambi ny- ingine katika mji wa Cairo,ambayo watakaa hadi muda wa mashindano utakapoanza rasmi. KIkosi hicho kinachonolewa na kocha Emmanuel Amunike,kinatarajia kucheza mchezo wa kirafiki Juni 13 dhidi ya wenyeji Misri ‘The Pharao’ katika mji wa Alexandrea,ikiwa ni mo- jawapo ya mchezo wa kujipima nguvu. Kambi ya timu ya taifa nchini imepata udhamini kutoka kwa Kampuni ya Motisun Group,am- bayo imejitolea kudhamini malazi ya timu hiyo kwa muda wote watakaokuwa kambini hadi watakapoondoka Juni 7,mwaka huu 2 . Jarida la Wiki . Toleo la Tisa Jarida la Wiki . Toleo la Tisa . 3 Azam yatwaa ubingwa wa ASFC ASFC Kikosi cha timu ya soka ya Azam maarufu kama Wanal- ambalamba,wamefanikiwa kutwaa kombe la Shirikisho la Soka Tanzania linalojulikana kama Azam Sports Federation Cup (ASFC),baada ya kuichapa Lipuli ya Iringa kwa bao 1-0,katika mchezo uliofanyika katika dimba la Uwanja wa Ilulu,mkoani Lindi. Mshambuliaji wa kimataifa wa Zambia,Obrey Chir- wa,alifunga bao safi katika dakika ya 64,ambalo lilidumu hadi kipyenga cha mwisho kinapulizwa na mwamuzi Hance Mabena kuifanya Azam FC kutawaz- wa kuwa mabingwa wapya wa ASFC.
    [Show full text]
  • Sama a Aendelea Kupeta Ulaya
    J A R I D A L A W I K I Toleo namba 008 | Mei 22,2019 Sama� a aendelea kupeta Ulaya ahodha wa timu ya soka ya Tanzania Taifa NStars na mshambuliaji wa klabu ya KRC Genk Mbwana Samatta, ameendelea kujiandikia historia mpya kila kukicha baada ya klabu yake kutwaa ubingwa wa Ubelgiji mwishoni mwa wiki iliyopita. Timu ya soka ya Genk,imefanikiwa kutwaa ubingwa huo baada ya kufi kisha alama …,ambazo zimewa- fanya wapate tiketi ya moja kwa moja kushiriki mi- chuano ya Klabu Bingwa Ulaya. Mwezi huu umekuwa mzuri kwa Samatta,baada ya kufanikiwa kutwaa tunzo ya mchezaji bora wa mwaka kwa kwa wachezaji wenye asili ya weusi katika Ligi Kuu ya Ubelgiji,huku pia akiwa kinara katika ufungaji kwa kuweka kibindoni mabao 23. Jarida la Wiki . Toleo la Nane . 1 Simba uso kwa uso na Sevilla Mei 23 Mabingwa wa soka nchini Simba SC wanaingia kati- ka mchezo wa kirafiki wa Kimataifa dhidi ya Sevilla wakiwa kileleni mwa Ligi Kuu Tanzania Bara. Ushindi wa mabo 2-0,walioupata dhidi ya Ndanda wanaifanya klabu hiyo kuingia uwanjani wakiwa na matumaini ya kufanya vizuri katika mchezo huo mgu- mu,dhidi ya miamba hiyo ya Hispania. Uwezo wa mchezaji mmoja mmoja na timu nzima ya Sevilla,unaufanya mchezo huo dhi- di ya Simba,kuwa mgumu na wa kuvutia,hasa ikizingatiwa Simba atakuwa nataka kuandika historia mpya kama atafanikiwa kuwafunga vijana hao wa Laliga. Mchezo huo,ambao umevuta hisia kubwa ku- toka kwa mashabiki ndani na nje ya mipaka ya Tanzania, unataraji kiuanza majira ya saa moja jioni katika dimba la Uwanja wa Taifa Dar es Salaam.
    [Show full text]
  • The Thrilling Story of a Young Burundian Child Born With
    Rwanda: Former Amazing Grace Radio manager arrested over public order disturbance What you should know about the New Russian Rwanda former Amazing Grace radio Federation Ambassador station boss, Greff Schoof has been arrested for disturbing public order, in Burundi police have said as NewTimes reported. Uganda wins East Africa’s Got Talent PayPal pull out of an alliance that is trying to EVENTS: : TECHNEWS: with $50,000 cash prize launch Facebook’s digital currency Libra www.regionweek.com BURUNDI AND EAST AFRICA WEEKLY BRIEFING OCTOBER 12th 2019 $ 3.50 No 26 The thrilling story of a young Burundian child born with HIV Amanda Dushime, a young Burundian child has delivered a very thrilling story before the world leaders on the sidelines of the conference of Global Fund in a bid to fight against the HIV/AIDS disease. Ethiopia: Prime Minister Abiy Ahmed wins 2019 Nobel Peace Prize On Friday, October 11, the Norwegian be officially awarded at a ceremony in Nobel Committee announced from Oslo the Norwegian capital on December that the 2019 Nobel Peace Prize laureate 10th, the prize is worth nine million will be given to Ethiopian Prime Minister Swedish crowns (about £730,000; Abiy Ahmed for his efforts to reconcile $900,000). his country with Eritrea. The award will DR Congo President says to be ‘ready to die’ for peace in the Eastern part of the country In the South Kivu province, Bukavu, DR Congo president, Felix Thsisekedi promised to work hard to the recovery of peace, stability, and security in the eastern part of his country.
    [Show full text]
  • Samatta Atwaa Tunzo Ubelgiji
    J A R I D A L A W I K I Toleo namba 007 | Mei 15,2019 Samatta atwaa tunzo Ubelgiji yota ya nahodha wa timu ya taifa ya Taifa Stars ,Mbwana Samatta ‘Samagoal’, im- Neendelea kung’ara baada ya kufanikiwa kutwaa tunzo ya mchezaji bora wa mwaka mwenye asili ya Afrika; kwa wachezaji wanaocheza Ligi Kuu ya Ubelgiji maarufu kama ‘D’EBBEN Golden Shoe’ Samata amesema kwamba hawezi kuwa mchoyo wa fadhila,kwakuwa anafahamu asingeweza kufi kia hatua hiyo bila ya msaada wa wachezaji wenzake,benchi la ufundi,mashabiki na kila mmoja ndani na nje ya klabu yake ya KRC Genk pamoja na wale wote waliompigia kura. Nahodha huyo,pia aliwashukuru Watanzania kwa kuwa naye bega kwa bega siku zote ka- tika maombi na kumpa moyo kwa namna moja ama nyingine. Samatta amechukua tunzo hiyo kwa mara ya kwanza huku,mchezaji mwenzake wa Genk, Hans Vanaken akinyakua tunzo ya mchezaji bora wa mwaka wa Ligi Kuu ya Ubelgiji kwa mara ya pili mfululizo. Jarida la Wiki . Toleo la Saba . 1 DRFA yaandaa Mashindano ya U11 na U13 Kamati ya Soka la vijana chini ya Chama Cha Soka Mkoa wa Dar es Salaam (DRFA), yameandaa mashindano maalum ya wato- to chini ya umri wa miaka 11 na 13,ya- takayofanyika Mei 18,mwaka huu katika viwanja vya Jakaya Kikwete Youth Park. Mwenyekiti wa DRFA,Almasi Kasongo,alisema mashindano hayo yamekuja kama chachu ya kuwatengeneza watoto ambao kwa siku za usoni watakuwa tayari kushiriki mashindano ya NDONDO ACADEMY ambayo ni chini ya umri wa miaka 15 na 17. Alisema,kimsingi mashindano hayo, yanalenga zaidi kuwaibua watoto waliopo mashuleni (shule za msingi) na kwenye vituo vya kulelea watoto maarufu kama Akademi.
    [Show full text]
  • Liste Pays Can2019
    Afrique du Sud # Nom Maillot Position Date de Club (pays) naissance 1 DARREN KEET Keet GK 05.08.1989 Bidvest Wits(Afrique Du Sud) 2 BUHLEBUYEZA WILSON MKHWANAZI Mkhwanazi DF 01.02.1990 Bidvest Wits(Afrique Du Sud) 3 SAKHILE INNOCENT FRANCES MAELA Maela DF 14.08.1992 Orlando Piates(Afrique Du Sud) 4 DANIEL ANTONIO CARDOSO Cardoso DF 06.10.1988 Kaizer Chiefs(Afrique Du Sud) 18.08.1988 Cape Town City(Afrique Du 5 THAMSANQA INNOCENT MKHIZE Mkhize DF Sud) 6 RAMAHLWE MPHAHLELE Mphehlele DF 01.02.1990 Kaizer Chiefs(Afrique Du Sud) 17.09.1994 Mamelodi Sundowns(Afrique Du 7 LEBOHANG KGOSANA MABOE Maboe FW Sud) 8 BONGANI ZUNGU Zungu MF 09.10.1992 Amiens SC FC(France) 28.01.1996 Racing Club de Strasbourg 9 LEBO MOTHIBA Mothiba FW FC(France) 10 THULANI CALEB SERERO Serero MF 11.04.1990 SBV Vitesse FC(Pays-Bas) 03.08.1989 Mamelodi Sudowns(Afrique Du 11 THEMBA ZWANE Zwane MF Sud) 12 KAMOHELO MOKOTJO Mokotjo MF 11.03.1991 Brentford FC(Angleterre) 17.04.1988 Mamelodi Sudowns(Afrique Du 13 SAMUEL TIYANI MABUNDA Mabunda MF Sud) 14 THULANI HLATSHWAYO Hlatshwayo DF 18.12.1989 Bidvest Wits(Afrique Du Sud) 22.06.1988 Supersport United(Afrique Du 15 DEAN FURMAN Furman MF Sud) 16 BRUCE HLAMULO BVUMA Bvuma GK 15.05.1995 Kaizer Chiefs(Afrique Du Sud) 29.12.1989 Mamelodi Sudowns(Afrique Du 17 SIBUSISO VILAKAZI Vilakazi FW Sud) 18 SANDILE S'FISO HLANTI Hlanti DF 05.01.1990 Bidvest Wits(Afrique Du Sud) 19 PERCY MUZI TAU Tau FW 13.05.1994 Royal Union Saint FC(Belgique) 23.05.1985 Mamelodi Sundowns(Afrique Du 20 HLOMPHO APHENUS KEKANA Kekana MF Sud) 21 LARS VELDWIJK
    [Show full text]
  • Accord Trouvé Sur La Répartition Des Ministères Régaliens
    RD-CONGO L’ACTUALITÉ AU QUOTIDIEN 300 FC/200 CFA www.adiac-congo.com N° 3515 - JEUDI 20 JUIN 2019 FORMATION DU GOUVERNEMENT RÉFORME DE L’AMÉNAGEMENT DU TERRITOIRE Accord trouvé Restitution de la mission sur la répartition de consultation des ministères régaliens des acteurs provinciaux Le ministère de tutelle va organiser, à partir d’aujourd’hui jusqu’à demain, en partenariat avec le Programme des Nations unies pour le développement, un atelier pour présenter les résultats du travail effectué sur le terrain, dans le cadre des changements envisagés dans le secteur. La rencontre mettra en présence toutes les parties prenantes impliquées dans le processus de la réforme de l’aména- gement du territoire. L’objectif est de produire une synthèse des rapports des missions déployées dans les vingt-six provinces pour collecter les données sur les problématiques de l’aménagement du territoire. Page 3 JUSTICE Le viol collectif d’une mineure de 13 ans jette Kinshasa dans l’émoi L'Hôtel du gouvernement à Kinshasa-Gombe Les tractations autour de la formation du gouver- dés. C’est ce qui ressort des couloirs de l’hôtel du nement entre les deux composantes majeures fleuve où les délégués des deux camps ont pris de la coalition, en l’occurrence le Front commun leur quartier. pour le Congo et le Cap pour le changement, sont Actuellement, à en croire des sources, les négo- en passe d’atteindre leur dénouement. Les der- ciations se trouveraient à l’étape de l’harmonisa- niers points de désaccord portant notamment tion des noms qui doivent occuper les différents sur la répartition des ministères régaliens entre ministères.
    [Show full text]
  • La Sopéco De Nouveau Sur La Sellette
    CONGO L’ACTUALITÉ AU QUOTIDIEN 200 FCFA www.adiac-congo.com N° 3515 - JEUDI 20 JUIN 2019 REVENDICATIONS SOCIALES La Sopéco de nouveau sur la sellette A l’issue d’une assemblée générale extraordinaire tenue le 18 juin à Brazzaville, le personnel de la Société des postes et de l’épargne du Congo (Sopéco) a revendiqué le paiement de seize mois d’arriérés de salaire, ainsi que d’autres droits sociaux. « La direction générale demande aux agents de travailler pour avoir des recettes, mais en contrepartie, ces derniers ne perçoivent pas leurs salaires », a déploré le secrétaire général de la Fédération des syndicalistes de la poste, Franck Siassia Mikouiza. Page 3 La direction générale de la grande poste LUTTE CONTRE LA SÉCHERESSE FAUNE ET FLORE La FAO incite à une agriculture Le Congo et les Etats- moins dévastatrice Unis s’unissent pour S’exprimant, le 17 juin, à l’occasion de la Journée le potentiel des innovations agricoles, que ce mondiale de lutte contre la désertification et la soit des solutions simples ou des technologies la préservation de la sécheresse, le directeur général de l’Organisation satellitaires, contribuera à empêcher la séche- des Nations unies pour l’alimentation et l’agri- resse de se transformer en famine et évitera biodiversité culture (FAO), José Graziano da Silva, a invité à non seulement la désertification mais aussi l’utilisation des outils de hautes technologies pour des déplacements forcés des populations », a-t- se prévenir contre l’aridité des sols. « Exploiter il rappelé. Page 4 IFC Nouvel hommage à Georges Balandier Le parc national de Nouabalé-Ndoki Les deux parties ont salué, le 18 juin à Brazzaville, leur partenariat en matière de conservation et de gestion durable des écosystèmes fores- tiers.
    [Show full text]
  • Letter from Cairo 35 Issue
    Africa 2019 1 Board Chairman Diaa Rashwan Editor-in-Chief 06 stadiums Africa 2019 Abdelmoeti Abuzaid 6 with international standards 4 Governorates hosting Egypt has identified six venues for the tournament: Cairo Internation- 2019 AFCON al Stadium, Al Salam Stadium, 30 June Stadium, Alexandria Stadium, Ismailia Stadium and Suez Stadium. The 2019 Africa Cup of Nations Cairo is held in June 2019 with the participation of 24 teams divided into six groups for the first time in the history of the tournament. Cairo International Stadium Editor Cairo Stadium is one of the best 38.000 square meters, a tennis complex stadiums in the world. It hosts AFCON and a squash court that includes a main Nashwa Abdel-Hamid 2019’s quarter-finals, matches of playground and four training grounds. Egyptian national team, The Pharaohs, The Stadium’s secondary sports Cairo is the capital of the Arab Republic passing through the ancient city of Cairo. It alongside the opening, closing and official facilities include four football fields, a of Egypt. It is the largest city in the Arab is also the largest open Islamic museum in ceremonies of the AFCON tournament. swimming pool complex, hockey and world and Africa in terms of population the world. Besides, it is a creative artistic Cairo International Stadium, is an horseback riding stadiums, as well as an (about 10 million people). It is an ancient city center for festivals and artistic and cultural Olympic-standard, The architect of the international cycling stadium currently with a prominent position among the world activities. In addition, it is home to a large capitals.
    [Show full text]
  • Lire Le Journal En
    ENTRETIEN CRÉDIT À LA ALI BENFLIS : NOUREDDINE BENISSAD, CONSOMMATION, PRÉSIDENT DE LA LADDH : ENDETTEMENT, SUBVENTIONS «L’opposition «Seule une justice algérienne est indépendante porteuse d’une peut garantir l'exercice Les précisions alternative des libertés» Entretien réalisé par Brahim politique» Taouchichet. (P 8 et 9) PAGE 4 PAGE 3 Edition du Centre - ISSN IIII - 0074 de Benkhalfa l IL EST DE RETOUR EN ALGÉRIE Rebrab a-t-il reçu PAGE 3 Le Bonjour du «Soir» des garanties ? l LE PETIT AMINE LIBÉRÉ PAR LES GENDARMES Chassez le naturel, il revient… APRÈS AVOIR ÉTÉ KIDNAPPÉ PAR UN AMI DE SON PÈRE à St-Eugène ! J’avais tapé le billet avant de le titrer «Houmisme, quand tu nous tiens !», et de l’enregistrer, me disant qu’il fallait attendre le milieu de l’après-midi pour l’expédier. Finalement, aux environs de 15h30, je me mis à écrire un autre texte. Je ne voulais pas être un oiseau de mauvais augure, ni un trouble- HAPPY fête. Pourtant, quelque chose me disait que ce stade de St- Eugène, vestige d’une autre époque et qui aurait dû être fermé depuis longtemps, allait achever les chances de l’USM Après quatorze jours de Alger ! Jouer une finale continentale en 2015 dans cette disparition, le petit Amine enceinte surmenée, digne d’un END musée, est un autre paradoxe de Yarichène a été retrouvé sain cette Algérie malade de ses contradictions, qui ne veut pas et sauf. La famille, les voisins, décoller, ne veut pas se les amis et tout le quartier de moderniser, ne veut pas entendre raison.
    [Show full text]
  • Taifa Stars Yatakata Kenya
    J A R I D A L A W I K I Toleo namba 011 | Agosti 06,2019 huku kikiwa kinajua kina deni kubwa kwa Taifa Stars Watanzania,kutokana na mchezo wa awali uliofanyika Tanzania kutoka suluhu ya bila yatakata Kenya kufungana. Kwa kutambua hilo,’Makamanda’ hao wali- Haukuwa mchezo rahisi kwa kikosi cha timu pambana kwa dakika zote 90 katika mtanange ya taifa Taifa Stars kuweza kuibuka na ush- huo,ambao Taifa Stars,ilipata ushindi wa pen- indi,lakini jitihada na kujituma zilikiwezesha alti zilizowekwa kimiani na Erasto Nyoni,Ga- kikosi hicho kuibuka na ushindi wa penalti diel Michael,Paul Godfey na Salum Aiyee. 4-1 dhidi ya Kenya,katika mchezo uliofanyika katika dimba la Moi International Sports Cen- Ushindi huo,unaifanya Taifa Stars kukutana ter,Kasarani,Kenya. na Sudan Septemba 22 nchini Tanzania,am- bapo baada ya mchezo huo mshindi atakuwa Kikosi hicho kinachonolewa na Kaimu Kocha amekata tiketi ya moja kwa moja ya kucheza Mkuu Ettiene Ndayiragije,kiliingia uwanjani michuano hiyo ya CHAN mwakani. Jarida la Wiki . Toleo la Kumi na Moja 1 Kenya VS Tanzania: Katika Picha 2 Jarida la Wiki . Toleo la Kumi na Moja Kaseja aibeba Tanzania Uzoefu,kutokata tamaa na ari ya kujituma ni mo- jawapo ya sifa kubwa ambayo imemfanya mlinda mlango wa timu ya taifa taifa Stars Juma Kase- ja,kuisaidia timu ya taifa kuibuka na ushindi wa penalti 4-1 dhidi ya kikosi cha Kenya ‘Harambee S t a r s’. Mkwaju wa penalti ambao ulipanguliwa na Kase- ja dhidi ya mchezaji wa Harambee Stars Michael Kibwage ulitosha kufufua matumaini ya ushindi na kuwapa nguvu zaidi wachezaji wenzake walio- enda kupiga mikwaju ya penalti iliyobakia.
    [Show full text]