Taifa Stars Yatakata Kenya

Total Page:16

File Type:pdf, Size:1020Kb

Taifa Stars Yatakata Kenya J A R I D A L A W I K I Toleo namba 011 | Agosti 06,2019 huku kikiwa kinajua kina deni kubwa kwa Taifa Stars Watanzania,kutokana na mchezo wa awali uliofanyika Tanzania kutoka suluhu ya bila yatakata Kenya kufungana. Kwa kutambua hilo,’Makamanda’ hao wali- Haukuwa mchezo rahisi kwa kikosi cha timu pambana kwa dakika zote 90 katika mtanange ya taifa Taifa Stars kuweza kuibuka na ush- huo,ambao Taifa Stars,ilipata ushindi wa pen- indi,lakini jitihada na kujituma zilikiwezesha alti zilizowekwa kimiani na Erasto Nyoni,Ga- kikosi hicho kuibuka na ushindi wa penalti diel Michael,Paul Godfey na Salum Aiyee. 4-1 dhidi ya Kenya,katika mchezo uliofanyika katika dimba la Moi International Sports Cen- Ushindi huo,unaifanya Taifa Stars kukutana ter,Kasarani,Kenya. na Sudan Septemba 22 nchini Tanzania,am- bapo baada ya mchezo huo mshindi atakuwa Kikosi hicho kinachonolewa na Kaimu Kocha amekata tiketi ya moja kwa moja ya kucheza Mkuu Ettiene Ndayiragije,kiliingia uwanjani michuano hiyo ya CHAN mwakani. Jarida la Wiki . Toleo la Kumi na Moja 1 Kenya VS Tanzania: Katika Picha 2 Jarida la Wiki . Toleo la Kumi na Moja Kaseja aibeba Tanzania Uzoefu,kutokata tamaa na ari ya kujituma ni mo- jawapo ya sifa kubwa ambayo imemfanya mlinda mlango wa timu ya taifa taifa Stars Juma Kase- ja,kuisaidia timu ya taifa kuibuka na ushindi wa penalti 4-1 dhidi ya kikosi cha Kenya ‘Harambee S t a r s’. Mkwaju wa penalti ambao ulipanguliwa na Kase- ja dhidi ya mchezaji wa Harambee Stars Michael Kibwage ulitosha kufufua matumaini ya ushindi na kuwapa nguvu zaidi wachezaji wenzake walio- enda kupiga mikwaju ya penalti iliyobakia. “Lengo la Watanzania wote ni kuweza kufuzu,tunamshukuru Mungu tumeweza kupita hatua hiy- o,siku zote huwa nasema nchi ya kwetu timu ya kwetu,tuendelee kuiunga mkono timu yetu ili na sisi tuweze kufika kule ambapo wenzetu wamefika,”alisema Kaseja mara baada ya mchezo. Ikumbukwe kuwa Kaseja aliitwa katika kikosi hicho na Kaimu Kocha Mkuu Ettiene Ndayiragije,iki- wa ni baada ya kupita kipindi cha miaka takaribani miaka mitano, lakini ameweza kuwa na mchango mkubwa katika kikosi hicho cha Ndayiragije. Nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars John Bocco, anamatumaini makubwa ya timu ya Bocco: Tanzania kufuzu kwa michuano ya CHAN hasa baa- Safari ya CHAN njia nyeupe, da ya ushindi wa mechi Jumapili dhidi ya Kenya wa penalti 4-1,uliofanyika katika Uwanja wa Moi Kasa- rani,nchini Kenya. “Awali ya yote Tunamshukuru Mungu,tumemaliza mchezo wetu dhidi ya Kenya salama pia nawashuku- ru wachezaji wenzangu kwa kuweza kupambana na kuweka nidhamu katika mikwaju ya penalti,pia nawashukuru Watanzania waliokuja kutuunga mkono,hawakuwa wengi sana lakini uungwaji mkono wao uliwafanya waonekane kuwa wapo wengi ,jambo ambalo lilitupa moyo zaidi,”alisema na kuongeza: “Kwahiyo kufuatia matokeo haya kwasasa tunajian- daa kwa mchezo unaokuja,pia nichukue nafasi hii kuwashukuru Watanzania na ningependa kuwaam- bia kuwa ushindi huu ni Watanzania wote, kwahi- yo nawaahidi tutaendelea kujipanga vizuri katika mchezo wetu unaofuata na naamini Mungu atatu- saidia kufuzu katika michuano hii ya CHAN.” Jarida la Wiki . Toleo la Kumi na Moja 3 TANZANITE Kikosi cha timu ya soka cha taifa cha Wanawake Tanzanite yatinga Nusu U20 ‘Tanzanite’, kimefanikiwa kutinga hatua ya Nusu fainali kwa kishindo baada ya kuwachakaza Fainali COSAFA kwa Eswatini kwa jumla ya mabao 8-0,katika mich- kishindo uano ya kombe la COSAFA U20,mchezo ambao Ushindi huo ni mwendelezo wa matokeo ma- ulifanyika katika dimba la Gelvalande,Port Eliza- zuri waliyoyapata Tanzanite katika mchezo wa beth,Afrika Kusini. kwanza baada ya kuitandika Botswana kwa mabao 2-0,matokeo ambayo yanaipeleka moja Mabao ya ushindi katika mchezo huo wa pili kwa moja hatua ya nusu fainali na kuungana na wa kundi B,yaliwekwa kimiani na Aisha Masa- Zambia. ka aliyefunga mabao matatu ‘hat-trick’ ikiwa ni ‘hat-trick’ ya kwanza kufungwa katika mashin- Matokeo mazuri ya kikosi hicho cha Tanza- dano hayo,huku mabao mengine yakifungwa na nite,kinaonesha mwanga mzuri kwa timu hiyo Enekia Kasonga Lunyamila mabao mawili pamo- kuweza kufanya vizuri zaidi katika mchezo wa ja na Esther Gindulya, Irene Kisisa na Shamimu Nusu fainali na kuweza kutwaa kombe hilo la Salum, COSAFA. 4 Jarida la Wiki . Toleo la Kumi na Moja Msemwa atikisa Afrika Kusini Nyota ya mchezaji wa timu ya Taifa ya Wana- wake U20 ‘Tanzanite’, Diana Msemwa imeende- lea kung’ara baada ya kuibuka mchezaji bora wa mchezo katika michezo miwili mfululizo aliyo- cheza ya michuano ya COSAFA. Msemwa katika mchezo wa awali dhidi ya Botswa- na ambao Tanzanite iliibuka na ushindi wa mabo 2-0,alichaguliwa kuwa mchezaji bora wa mchezo huo.Pia katika mchezo wa pili dhidi ya Eswatin ambao Tanzanite imeibuka na ushindi mnono wa mabao 8-0,amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa mchezo. Mchango wa Msemwa na wachezaji wenzake waliopo chini ya kocha Mkuu Bakari Shime ume- kisaidia kwa kiasi kikubwa kikosi hicho cha Tan- zanite kutinga hatua ya Nusu fainali kwa kishindo katika kundi lao B,ambalo lina timu za Botswana- ,Zambia na Eswatina. Jarida la Wiki . Toleo la Kumi na Moja 5 Ngao Ya Jamii Kuelekea Mchezo Wa Ngao Ya Jamii Pazia la Ligi Kuu Tanzania Bara,linatarajia kufunguliwa rasmi Agosti 17 mwaka huu katika dimba la Uwanja wa taifa kwa mchezo wa ngao ya jamii kati ya Mabingwa wa msimu uliopita wa ngao hiyo ya Jamii Simba dhidi ya Wanalambalamba Azam. Ni mechi ambayo Simba inaingia uwanjani ikiwa inarekodi ya kutwaa ngao hiyo kwa mara nne huku Azam wakiwa wametwaa ngao hiyo mara moja tu.Rekodi ya Simba inaonekana kumbeba zaidi katika mtanange huo,ingawa rekodi na ushiriki wa Azam katika hatua hiyo unaufanya mchezo huo kuwa mgumu na wa ushindani zaidi. Hadi sasa timu ambayo imeweka rekodi ya kushinda ngao hiyo tangu ianzishwe mwaka 2009 ni Yanga Africans ,ambayo imeshashinda mara tano. 1. Yanga vs Simba 2-1 (2001) Mabao ya Yanga yalifungwa na Edibily Lunyamila na Ali Yusuph ‘Tigana’ huku Simba bao lao la kufutia machozi likifungwa na Steven Mapunda ‘Garincha’ 2. Mtibwa vs Yanga 1-0 (2009) Bao pekee la ushindi la Mtibwa Sugar liliwekwa kimiani na Rifat Hamis Msuya 3. Yanga vs Simba Penalti (2010) Penalti za Yanga zilifungwa na Geofrey Bonny (marehemu),Stephano Mwasika na Isack Boakye,huku Simba penalti yao pekee ikifungwa na Mohamed Banka na waliokosa ni Emmanuel Okwi,Uhuru Selemani na Juma Nyoso. 4. Simba vs Yanga 2-0 (2011) Mabao ya Simba yalifungwa na Haruna Moshi ‘Boban’ na Mzambia Felix Mumba Sunzu 5. Simba vs Azam 3-2 (2012) Mabao ya Simba yalifungwa na Daniel Akkufor,Emmanuel Okwi na Mwinyi Kazimoto,huku ya Azam yakifungwa na John Bocco na Kipre Tchetche. 6. Yanga vs Azam 1-0 (2013) Bao pekee la Yanga liliwekwa kimiani na Salum Telela 7. Yanga vs Azam 3-0 (2014) Mabao mawili ya Mbrazil Geilson Santos ‘Jaja’ na moja la Simon Msuva,yalitosha kuiwezesha Yanga kutwaa ngao hiyo kwa mara mbili mfululizo. 8. Yanga vs Azam Penalti 8-7 (2015) Yanga ilipata ushindi wa mara ya tatu mfululizo kwa ushindi wa Penalti zilizofungwa na Haruna Niyonzima,Deus Kaseke,Amissi Tambwe,Andrey Coutinho,Geofrey Mwashiuya,Thaban Kamusoko,Mbuyu Twite na Kelvin Yondan,huku zile za Azam zikifungwa na Kipre Tchetche,John Bocco,Himid Mao,Aggrey Morris,Jean Baptist Mugiraneza,Erasto Nyoni na Shomari Kapombe. 6 Jarida la Wiki . Toleo la Kumi na Moja 9. Azam vs Yanga Penalti 4-1 (2016) Dakika 90 zilimalizika kwa Azam kufunga mabao 2 ambayo yote yalifungwa na Donald Ngoma huku ya Azam yakifungwa na Shomari Kapombe na Michael Ballou. Kwa upande wa penalti Azam:Kapombe,Ballou,Himid Mao na John Bocco Yanga:Penalti pekee ilifungwa na golikipa Deogratius Munishi ‘Dida’ 10. Simba vs Yanga Penalti 5-4 (2017) Penalti za Simba:Method Mwanjali,Haruna Niyonzima,Emmanuel Okwi,Shiza Kichuya,Mohamed Ibrahim. Yanga:Papy Tshishimbi,Thaban Kamusoko,Ibrahim Ajibu na Donald Ngoma 11. Simba vs Mtibwa 2-1 (2018) Mabao ya Simba yalifungwa na Meddie Kagere na Hassan Dilunga,huku bao la Mtibwa la kufutia machozi likifungwa na Kelvin Sabato. 12. Simba vs Azam (2019) Nani mshindi ? Picha ya Ngao ya Jamii iliyopita,Simba akikabidhiwa ngao hiyo Jarida la Wiki . Toleo la Kumi na Moja 7 Ratiba ya Mechi za Klabu Bingwa Afrika Hatua ya Awali 2019/20 9/10/11.08.2019 Yanga SC (Tanzania) VS Township Rolles (Botswana) UD Songo (Msumbiji) VS Simba SC (Tanzania) 23/24/25.08.2019 Township Rolles (Botswana) VS Yanga SC (Tanzania) Simba SC (Tanzania) VS UD Songo (Msumbiji) Ratiba ya Mechi za Kombe la Shirikisho Hatua ya Awali 2019/20 9/10/11.08.2019 AS KIGALI (Rwanda) VS KMC (Tanzania) Ethiopia 1 (Ethiopia) VS Azam FC (Tanzania) 23/24/25.08.2019 KMC (Tanzania) VS AS KIGALI (Rwanda) Azam FC (Tanzania) VS Ethiopia 1 (Ethiopia) TANZANIA FOOTBALL FEDERATION Karume Memorial Stadium, Uhuru/ShauriMoyo Road-Ilala, P. O. BoX 1574 DAR ES SALAAM TeleFax: (255) 22 286 18 15, Email: [email protected], [email protected], Website: www.tff.or.tz TANZANIA PREMIER LEAGUE (TPL) 2019/2020 FIXTURE 23TH AUGUST 2019 - 24TH MAY 2020 NGAO YA JAMII - 17TH AUGUST,2019 ( SIMBA SC v AZAM FC) - SAMORA STADIUM(IRINGA) Day Match F i x t u r e Stadium Kick off Date No: Home Team Score Away Team Venue Time Full time IC PRELIMINARIES 2ND LEG (23 - 25 AUGUST,2019) 23.08.2019(Sat) 1 JKT TANZANIA FC Vs SIMBA SC UHURU 1600 HRS 24.08.2019(Sat) 2 MBAO FC Vs ALLIANCE FC CCM KIRUMBA 1600 HRS 24.08.2019(Sat) 3 MBEYA CITY FC Vs TANZANIA PRISONS FC SOKOINE 1600 HRS 24.08.2019(Sat) 4 NAMUNGO FC Vs NDANDA FC MAJALIWA 1600 HRS 24.08.2019(Sat) 5 POLISI TANZANIA FC Vs COASTAL UNION FC USHIRIKA 1600 HRS 24.08.2019(Sat) 6 BIASHARA UNITED FC Vs KAGERA SUGAR FC KARUME 1600 HRS 25.08.2019(Sun) 7 MWADUI FC
Recommended publications
  • Les Thèmes Dominants Du Discours Électoral
    Horaire des prières Fajr : 05h58 Dohr : 12h35 Asr : 15h15 Maghreb : 17h38 Isha : 19h02 DK NEWS MÉTÉO Alger : 17° 12° Oran : 19° 12° Annaba : 17° 13° QUOTIDIEN NATIONAL D’INFORMATION Béjaïa : 13° 09° Tamanrasset: 28° 09° Lundi 25 novembre 2019 - 27 Rabî`al-awwal 1441 - N° 2374 - 7e année - Prix : Algérie : 10 DA. France : 1€ www.dknews-dz.com GOUVERNEMENT TOURISME ALGÉRIE-CHINE : La situation des nouvelles villes Ouverture à Alger de la 20e Le SG du MAE en visite et pôles urbains au centre d'un édition du Salon international de travail à Pékin les Conseil interministériel du tourisme et des voyages 25 et 26 novembre P. 3 P. 3 P. 2 4 PRÉSIDENTIELLE DU 12 DÉCEMBRE : Après huit jours de campagne électorale Les thèmes dominants du discours électoral Après un départ timide, les cinq candidats à l’élection présidentielle du 12 décembre ont mis les bouchés doubles durant cette première semaine, sillonnant les différents contrées de l’Algérie profonde. En quête de l’assentiment des électeurs, chacun d’eux a décliné son programme et les décisions qu’il promet en mettre en œuvre s‘il est choisi. Compte tenu des contextes socioéconomique, politique et géopolitique dans lesquels évolue l’Algérie, quatre grandes thématiques se sont imposées d’elles-mêmes dans le discours électoral. P.p 4 à 6 DK news LE MINISTRE DE L’HABITAT, DE L’URBANISME COMMERCE EXTÉRIEUR: CONSEIL DE LA NATION : ET DE LA VILLE M.BELDJOUD À ADRAR: Arkab souligne «Rattraper les retards Déficit de 5,22 mds l'impératif de hausser et veiller à la qualité dollars durant les explorations dans la réalisation des les 9 premiers mois projets d’habitat» de 2019 P.
    [Show full text]
  • Egyptian Football Net ©2020
    شكة كرة القدم المة د/ طارق سعد - Egyptian Football Net ©2020 Ithad Scorers in Egyptian League (Last updated 28/8/2021) Including unfinished seasons, cancelled team results, goals removed, but not added as a disciplinary decision Player Goals Mohamed Diab El-Attar “Diba” 81 Ahmed Sary 40 Eid Ahmed 38 Abdel Fattah El-Garem 36 Shehta "Abdel Rehim Younis" 31 Raafat Ateya 26 Youssef Hamdi 26 Gaber El-Khawaga 25 Khaled Qamar 25 Ahmed Saleh I 24 Foad Morsi 24 Abdel Qader Kora 23 Abdel Raouf El-Morshedi 23 Abdul Razak Cissé 23 Hassan Adam 23 Mohamed Moussa 22 Chernor Mansaray 20 Ashraf Abdel Halim 19 Karam Morsi 18 Mohamed Nour 18 Adel El-Bably 17 Ahmed Yaqoub 17 Gamal Mosaed 17 Samir Fawzy 17 Samir Mekhaimar 17 Mohamed El-Morsi 16 Mohamed Sharaf 15 Fikry Morsi 14 Mohamed Hamdi Zaki 14 Rizk Nassar 14 Essam Shaaban 13 Mohamed Nagui "Geddo" I 13 Mohamed Nagui "Geddo" Jr. II 13 Saad Rashed 13 Kabongo Kasongo 12 Mohamed Abdel Nabi 12 Bobbo "Mohamed Ibrahim El-Mazzati" 11 Mohamed Omar 11 Ibrahim El-Shayeb 10 Mohamed Ibrahim I 10 Tarek El-Ashry 10 El-Hag Sheta 9 Ene Edet Otudor Otobong 9 Hossam Abdel Monem 9 Ibrahim Shaaban "Kareka" 9 Mabrouk El-Sisi 9 Maher Quassem 9 Mohamed Gaber I 9 Mohamed Ragab "Reao" 9 Abdel Hamid Hassan 8 Ahmed Abdel Baset Ali "Sherwaida" 8 Kamal El-Sabbagh 8 Khaled Metwalli "El-Ghandour" II 8 Khamis Hassan 8 Mahmoud Shaker Abdel Fattah 8 Mohamed Abdel Razek "Bazouka" 8 شكة كرة القدم المة د/ طارق سعد - Egyptian Football Net ©2020 Ithad Scorers in Egyptian League (Last updated 28/8/2021) Including unfinished seasons, cancelled
    [Show full text]
  • Toleo Namba 009 | Juni 5,2019
    J A R I D A L A W I K I Toleo namba 009 | Juni 5,2019 Jarida la Wiki . Toleo la Tisa . 1 Stars yaanza kujiwinda rasmi na AFCON 2019 Kikosi cha timu ya soka cha taifa Taifa Stars,kime- ingia kambini Juni Mosi,katika hoteli ya White Sands,Kunduchi kujiwinda na michuano ya Matai- fa Afrika inayotarajia kuanza Juni 21 hadi Julai 19,mwaka huu nchini Misri. Kikosi hicho ambacho kitakuwa na jumla ya wachezaji 39 kabla ya kuchujwa na kubaki 32,kimeweka kambi ya siku tano,kabla ya ku- funga safari kuelekea nchini Misri kwa kambi ny- ingine katika mji wa Cairo,ambayo watakaa hadi muda wa mashindano utakapoanza rasmi. KIkosi hicho kinachonolewa na kocha Emmanuel Amunike,kinatarajia kucheza mchezo wa kirafiki Juni 13 dhidi ya wenyeji Misri ‘The Pharao’ katika mji wa Alexandrea,ikiwa ni mo- jawapo ya mchezo wa kujipima nguvu. Kambi ya timu ya taifa nchini imepata udhamini kutoka kwa Kampuni ya Motisun Group,am- bayo imejitolea kudhamini malazi ya timu hiyo kwa muda wote watakaokuwa kambini hadi watakapoondoka Juni 7,mwaka huu 2 . Jarida la Wiki . Toleo la Tisa Jarida la Wiki . Toleo la Tisa . 3 Azam yatwaa ubingwa wa ASFC ASFC Kikosi cha timu ya soka ya Azam maarufu kama Wanal- ambalamba,wamefanikiwa kutwaa kombe la Shirikisho la Soka Tanzania linalojulikana kama Azam Sports Federation Cup (ASFC),baada ya kuichapa Lipuli ya Iringa kwa bao 1-0,katika mchezo uliofanyika katika dimba la Uwanja wa Ilulu,mkoani Lindi. Mshambuliaji wa kimataifa wa Zambia,Obrey Chir- wa,alifunga bao safi katika dakika ya 64,ambalo lilidumu hadi kipyenga cha mwisho kinapulizwa na mwamuzi Hance Mabena kuifanya Azam FC kutawaz- wa kuwa mabingwa wapya wa ASFC.
    [Show full text]
  • Sama a Aendelea Kupeta Ulaya
    J A R I D A L A W I K I Toleo namba 008 | Mei 22,2019 Sama� a aendelea kupeta Ulaya ahodha wa timu ya soka ya Tanzania Taifa NStars na mshambuliaji wa klabu ya KRC Genk Mbwana Samatta, ameendelea kujiandikia historia mpya kila kukicha baada ya klabu yake kutwaa ubingwa wa Ubelgiji mwishoni mwa wiki iliyopita. Timu ya soka ya Genk,imefanikiwa kutwaa ubingwa huo baada ya kufi kisha alama …,ambazo zimewa- fanya wapate tiketi ya moja kwa moja kushiriki mi- chuano ya Klabu Bingwa Ulaya. Mwezi huu umekuwa mzuri kwa Samatta,baada ya kufanikiwa kutwaa tunzo ya mchezaji bora wa mwaka kwa kwa wachezaji wenye asili ya weusi katika Ligi Kuu ya Ubelgiji,huku pia akiwa kinara katika ufungaji kwa kuweka kibindoni mabao 23. Jarida la Wiki . Toleo la Nane . 1 Simba uso kwa uso na Sevilla Mei 23 Mabingwa wa soka nchini Simba SC wanaingia kati- ka mchezo wa kirafiki wa Kimataifa dhidi ya Sevilla wakiwa kileleni mwa Ligi Kuu Tanzania Bara. Ushindi wa mabo 2-0,walioupata dhidi ya Ndanda wanaifanya klabu hiyo kuingia uwanjani wakiwa na matumaini ya kufanya vizuri katika mchezo huo mgu- mu,dhidi ya miamba hiyo ya Hispania. Uwezo wa mchezaji mmoja mmoja na timu nzima ya Sevilla,unaufanya mchezo huo dhi- di ya Simba,kuwa mgumu na wa kuvutia,hasa ikizingatiwa Simba atakuwa nataka kuandika historia mpya kama atafanikiwa kuwafunga vijana hao wa Laliga. Mchezo huo,ambao umevuta hisia kubwa ku- toka kwa mashabiki ndani na nje ya mipaka ya Tanzania, unataraji kiuanza majira ya saa moja jioni katika dimba la Uwanja wa Taifa Dar es Salaam.
    [Show full text]
  • TFF Vodacom Wasaini Mkataba Wa Miaka 3
    J A R I D A L A W I K I Toleo namba 013 | Agosti 31,2019 TFF Vodacom wasaini mkataba wa miaka 3 hirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) na Kampuni ya simu za mkononi ya SVodacom, wamesaini mkataba wa miaka 3 wa udhamini wa Ligi kuu Tanzania bara. Rais wa TFF Wallace Karia akizungumza katika hafla ya utiaji saini alisema “Udhamini huu utaleta matokeo chanya na tunaahidi kutoa ushirikiano na Vodacom kwa muda wote wa mkataba” alisema Karia. Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe amei- pongeza TFF kwa hatua ya kusaini mkataba na kampuni ya Vodacom kudhamini ligi kuu. Mkataba huo unathamani ya Shilingi za Kitanzania bilioni 9 ambapo kila msimu utakuwa ni Shilingi bilioni 3,ambapo utaanza msimu wa 2019/2020,2020/2021 na 2021/2022. Jarida la Wiki . Toleo la Kumi na Tatu 1 Simba yaendeleza ubabe Ngao ya jamii labu ya soka ya Simba imedhihirisha ya kuwa ndio mbabe wa mechi za ngao Kya jamii hadi sasa,baada ya kutwaa ngao hiyo kwa mara ya tano mbele ya Azam Fc. Katika mchezo huo wa kiashiria cha ufunguzi wa pazia la Ligi Kuu Tanzania Bara,- Simba iliandika historia hiyo baada ya kuitandika Azam Fc kwa mabao 4-3.katika mchezo uliofanyika katika dimba la Uwanja wa Taifa Agosti 17 mwaka huu. Mabao ya Simba yaliwekwa kimiani na kiungo wao wa kimataifa Sharaf Eldin Shiboub,dakika ya 16,22 ambaye alifunga mabao mawili huku Clatous Chama dakika ya 56 na Francis Kahata dakika ya 83 wakifunga bao moja kila mmoja. Kwa upande wa Azam,mabao ya kufutia machozi yaliwekwa kimiani na Shaaban Idd dakika ya 13 Chilunda na Frank Domayo dakika ya 78.
    [Show full text]
  • The Thrilling Story of a Young Burundian Child Born With
    Rwanda: Former Amazing Grace Radio manager arrested over public order disturbance What you should know about the New Russian Rwanda former Amazing Grace radio Federation Ambassador station boss, Greff Schoof has been arrested for disturbing public order, in Burundi police have said as NewTimes reported. Uganda wins East Africa’s Got Talent PayPal pull out of an alliance that is trying to EVENTS: : TECHNEWS: with $50,000 cash prize launch Facebook’s digital currency Libra www.regionweek.com BURUNDI AND EAST AFRICA WEEKLY BRIEFING OCTOBER 12th 2019 $ 3.50 No 26 The thrilling story of a young Burundian child born with HIV Amanda Dushime, a young Burundian child has delivered a very thrilling story before the world leaders on the sidelines of the conference of Global Fund in a bid to fight against the HIV/AIDS disease. Ethiopia: Prime Minister Abiy Ahmed wins 2019 Nobel Peace Prize On Friday, October 11, the Norwegian be officially awarded at a ceremony in Nobel Committee announced from Oslo the Norwegian capital on December that the 2019 Nobel Peace Prize laureate 10th, the prize is worth nine million will be given to Ethiopian Prime Minister Swedish crowns (about £730,000; Abiy Ahmed for his efforts to reconcile $900,000). his country with Eritrea. The award will DR Congo President says to be ‘ready to die’ for peace in the Eastern part of the country In the South Kivu province, Bukavu, DR Congo president, Felix Thsisekedi promised to work hard to the recovery of peace, stability, and security in the eastern part of his country.
    [Show full text]
  • Civil Works Contractor Class I
    CIVIL WORKS CONTRACTOR CLASS I SN Company Name Registration Number Managing Director Postal Address Town Phone Email Physical Address 1 ALPHA LOGISTICS TZ LIMITED C1/0062/10/2009 SREEKUMAR KESAVAN P.O. BOX 8316 DAR ES SALAAM +255 22 2128828 / 2128854 / [email protected] MAFIA 0784 900701 JEMBO AREA WITHIN ALPHACRUST SHRIMP FARM 2 BAM INTERNATIONAL BV C1/0087/02/2014 ROYAL GROUP NV P.O.BOX 78809 DSM DSM 02226000540744896975 [email protected] CHOLE ROAD, MASAKI AREA PLOT NO. 1119, MSASANI . 3 BEIJING CONSTRUCTION ENGINEERING C1/0065/08/2010 BEIJING MUNICIPAL P.O.BOX 80208 DAR ES SALAAM +255 22 2850722/0762 bayou7984@hotma NATIONAL STADIUM GROUP CO. LIMITED GOVERNMENT 890896 il.com MANDELA ROAD . 4 CHINA CIVIL ENGINEERING C1/0059/03/2009 GOVERNMENT REPUBLIC P. O. BOX 4083 DAR ES SALAAM 255754039168 ccecc- KURASINI CONSTRUCTION CORPORATION OF CHINA [email protected] OFF MANDELA ROAD m DSM 5 CHINA COMMUNICATIONS C1/0067/09/2010 CHINESE GOVERNMENT P.O. BOX 105999 DAR ES SALAAM +255 22 2601809/0764 [email protected] PLOT NO 1007, CONSTRUCTION COMPANY LIMITED 758118 MASAKI MASAKI DSM 6 CHINA GEO-ENGINEERING C1/0031/4/2000 TIAN CHAO P. O. BOX 76459 DSM +255 022-2780289 / 0769- cgc- PLOT 1494 MSASANI CORPORATION 463209 eastafrica@hotmail. MSASANI STREET com MASAKI - DSM 7 CHINA NEW ERA INTERNATIONAL C1/0084/11/2013 CHINESE GOVERNMENT P.O. BOX 9011 DAR ES SALAAM 0752-600358 - MWAI KIBAKI ENGINEERING CORPORATION STREET, MIKOCHENI B AREA PLOT NO. 108 NEAR MLALAKUWA JUNCTION 8 CHINA RAILWAY SEVENTH GROUP CO. C1/0081/05/2013 CHINA RAILWAY LIMITED P.O.BOX 1912 DSM 2552226006680766214435 NA PLOT NO.
    [Show full text]
  • Samatta Atwaa Tunzo Ubelgiji
    J A R I D A L A W I K I Toleo namba 007 | Mei 15,2019 Samatta atwaa tunzo Ubelgiji yota ya nahodha wa timu ya taifa ya Taifa Stars ,Mbwana Samatta ‘Samagoal’, im- Neendelea kung’ara baada ya kufanikiwa kutwaa tunzo ya mchezaji bora wa mwaka mwenye asili ya Afrika; kwa wachezaji wanaocheza Ligi Kuu ya Ubelgiji maarufu kama ‘D’EBBEN Golden Shoe’ Samata amesema kwamba hawezi kuwa mchoyo wa fadhila,kwakuwa anafahamu asingeweza kufi kia hatua hiyo bila ya msaada wa wachezaji wenzake,benchi la ufundi,mashabiki na kila mmoja ndani na nje ya klabu yake ya KRC Genk pamoja na wale wote waliompigia kura. Nahodha huyo,pia aliwashukuru Watanzania kwa kuwa naye bega kwa bega siku zote ka- tika maombi na kumpa moyo kwa namna moja ama nyingine. Samatta amechukua tunzo hiyo kwa mara ya kwanza huku,mchezaji mwenzake wa Genk, Hans Vanaken akinyakua tunzo ya mchezaji bora wa mwaka wa Ligi Kuu ya Ubelgiji kwa mara ya pili mfululizo. Jarida la Wiki . Toleo la Saba . 1 DRFA yaandaa Mashindano ya U11 na U13 Kamati ya Soka la vijana chini ya Chama Cha Soka Mkoa wa Dar es Salaam (DRFA), yameandaa mashindano maalum ya wato- to chini ya umri wa miaka 11 na 13,ya- takayofanyika Mei 18,mwaka huu katika viwanja vya Jakaya Kikwete Youth Park. Mwenyekiti wa DRFA,Almasi Kasongo,alisema mashindano hayo yamekuja kama chachu ya kuwatengeneza watoto ambao kwa siku za usoni watakuwa tayari kushiriki mashindano ya NDONDO ACADEMY ambayo ni chini ya umri wa miaka 15 na 17. Alisema,kimsingi mashindano hayo, yanalenga zaidi kuwaibua watoto waliopo mashuleni (shule za msingi) na kwenye vituo vya kulelea watoto maarufu kama Akademi.
    [Show full text]
  • African Cup of Nations All Time Country Scorers Last Updated 19/7
    African Cup of Nations All Time Country Scorers Last updated 19/7/2019 Players Country Goals (1667) Riyad MAHREZ Algeria 6 Djamel MENAD Algeria 5 Lakhdar BELLOUMI Algeria 5 Rabah MADJER Algeria 5 Islam SLIMANI Algeria 4 Adam Ounas Algeria 3 Billal DZIRI Algeria 3 Djamel AMANI Algeria 3 Hacène LALMAS Algeria 3 Salah ASSAD Algeria 3 Tedj BENSAOULA Algeria 3 Abdelhafid TASFAOUT Algeria 2 Ali MESSABIH Algeria 2 Baghdad Bounedjah Algeria 2 Chérif OUDJANI Algeria 2 El Arabi Hillel SOUDANI Algeria 2 Hocine ACHIOU Algeria 2 Hocine BENMILOUDI Algeria 2 Moussa SAIB Algeria 2 Nasser BOUICHE Algeria 2 Youcef Belaïli Algeria 2 Abdelkader FERHAOUI Algeria 1 Abdelmalek CHERRAD Algeria 1 Ali FERGANI Algeria 1 Boualem AMIROUCHE Algeria 1 Brahim ZAFOUR Algeria 1 Chaabane MERZEKANE Algeria 1 Chérif El OUAZZANI Algeria 1 Djamel ZIDANE Algeria 1 Faouzi GHOULAM Algeria 1 Farid GHAZI Algeria 1 Fawzi MOUSSOUNI Algeria 1 Hameur BOUAZZA Algeria 1 Hocine YAHI Algeria 1 Karim MAROC Algeria 1 Karim MATMOUR Algeria 1 Khaled LOUNICI Algeria 1 Madjid BOUGHERRA Algeria 1 Mamar MAMOUNI Algeria 1 Mokhtar KHALEM Algeria 1 Nabil BENTALEB Algeria 1 Nasreddine KRAOUCHE Algeria 1 Nassim AKROUR Algeria 1 Rachid MAATAR Algeria 1 Rafik HALLICHE Algeria 1 Sofiane FEGHOILI Algeria 1 Sofiane Feghouli Algeria 1 Sofiane Hanni Algeria 1 Tarek LAZIZI Algeria 1 Own Goal "William Troost-Ekong from Nigeria Algeria 1 Own Goal “Thulani HLATSHWAYO from South Africa” Algeria 1 Mateus Alberto Contreiras Gonçalves MANUCHO Angola 9 FLÁVIO Amado Angola 7 QUINZINHO “Joachim Alberto Silva” Angola
    [Show full text]
  • Hodgson Snubsrio Again
    NNewew VVisionision SPORT Tuesday, June 5, 2012 41 Seven reasons why Li crashes French Open Selected results Women’s singles, round 4 Cranes drew in WC tie Y. Shvedova bt L. Na 3-6 6-2 6-0 No crisis M. Sharapova bt Tactics spot on Williamson adopted a K. Zakopalova more cautious approach, 6-4 6-7(5) 6-2 deploying a 1-4-2-2-1 forma- Today: Men’s singles BY FRED KAWEESI IN tion designed to suffocate Angola through the middle quarter-fi nal LUANDA, ANGOLA of the park and capitalise on Hodgson snubs Rio again N. Djokovic v Jo-W. Tsonga occasional attacks. ith the dust Williamson’s template had LONDON fast settling on a back fi ve of Walusimbi, PARIS Uganda Cranes Wasswa, Masaba and Henry England manager Roy landmark 1-1 Kalungi with team captain Defending champion and W Hodgson has insisted he will world number seven Li Na draw against Angola in a Andrew Mwesigwa behind World Cup qualifi er on be able to fi eld a competitive of China crashed out of the the two central defenders side in their Euro 2012 open- Sunday and attention now Kalungi and Wasswa in a French Open on Monday, being switched to Saturday’s er against France despite losing 3-6, 6-2, 6-0 to unseed- withdrawn role. an injury crisis and a fresh explosive fi xture against With Mudde Musa absent ed Yaroslava Shvedova of Ka- Senegal, I will take you storm over Rio Ferdinand’s zakhstan in the fourth round for this fi xture, Williamson exclusion.
    [Show full text]
  • Kuwait Democracy on the Line, Oppn Warns
    SUBSCRIPTION SUNDAY, JUNE 16, 2013 SHAABAN 7, 1434 AH www.kuwaittimes.net Kuwaiti jihadist Protesters 25 die as Brazil defeats Al-Bathali defiant; Erdogan militants Japan in killed in delivers storm Pakistan opener Syria 3 ultimatum8 hospital13 20 Kuwait democracy on Max 44º Min 32º the line, oppn warns High Tide 05:12 & 16:10 Court ruling could determine future of Kuwait Low Tide 10:48 & 23:03 40 PAGES NO: 15841 150 FILS By B Izzak Rohani wins Iran presidential vote KUWAIT: The Constitutional Court is scheduled today to issue its long-awaited verdict on the controversy over Amir powers under article 71 of the constitution to Reformist-backed cleric trounces conservative rivals issue “emergency” legislation in the absence of the National Assembly in a ruling described as “historical” DUBAI: Moderate cleric Hassan Rohani won Iran’s and could determine the future course of democracy in presidential election yesterday, the interior ministry Kuwait. said, scoring a surprising landslide victory over con- The controversy began last October when His servative hardliners without the need for a second Highness the Amir Sheikh Sabah Al-Ahmad Al-Sabah round run-off. The outcome will not soon transform issued a decree to amend the electoral constituency law Iran’s long tense relations with the West, resolve an of 2006 under which the number of candidates a voter international crisis over its pursuit of nuclear power or can pick up was reduced from a maximum of four to lessen its support of Syria’s president in the civil war just one. The opposition said the amendment was ille- there - matters of national security that remain the gal and breached the constitution because there was domain of Supreme Leader Ayatollah Ali Khamenei.
    [Show full text]
  • Rendre Disponibles Les Médicaments Dans Les Structures Hospitalières
    L’ACTUALITÉ AU QUOTIDIEN CONGO 200 FCFA www.adiac-congo.com N° 3513 - MARDI 18 JUIN 2019 SANTÉ PUBLIQUE Rendre disponibles les médicaments dans les structures hospitalières La Centrale d’achat des médicaments essentiels et produits de santé s’est fixée comme objectifs, entre autres, de fournir des médicaments à tous les centres de santé du pays. « Il s’agit de rendre dispo- nibles les médicaments et autres produits de santé sur toute l’étendue du territoire national au profit de la population », a indiqué la ministre de la Santé et de la population, Jacqueline Lydia Mikolo, lors de la réception d’un entrepôt réhabilité de la centrale d’achat. La ministre de la Santé et les partenaires inaugurant les entrepôts réhabilités Page 3 AGRICULTURE COMMERCIALE INTÉGRATION Plus de quatre cents Les infrastructures permettront millions francs CFA au à l’Afrique centrale de réaliser profit des producteurs un bond qualitatif Trois conventions d’une valeur de plus de quatre cents millions En marge des Assemblées annuelles de la Banque africaine de développement qui se sont tenues, du 11 au 14 juin, à Malabo, francs CFA ont été signées à titre symbolique entre le coordonna- en Guinée équatoriale, la ministre congolaise du Plan, de la teur du Projet d’appui au développement de l’agriculture commer- statistique et de l’intégration régionale, Ingrid Olga Ghislaine ciale, Isidore Ondoki, et les premiers bénéficiaires de ce projet des Ebouka Babackas, a souligné, dans une interview accordée localités de Brazzaville, d’Ollombo, d’Ignié, de Ngabé et de Ngo. aux Dépêches de Brazzaville, la nécessité pour la sous-région « Nous sommes satisfaits d’avoir été choisis.
    [Show full text]