J A R I D A L A W I K I Toleo namba 011 | Agosti 06,2019 huku kikiwa kinajua kina deni kubwa kwa Taifa Stars Watanzania,kutokana na mchezo wa awali uliofanyika Tanzania kutoka suluhu ya bila yatakata Kenya kufungana. Kwa kutambua hilo,’Makamanda’ hao wali- Haukuwa mchezo rahisi kwa kikosi cha timu pambana kwa dakika zote 90 katika mtanange ya taifa Taifa Stars kuweza kuibuka na ush- huo,ambao Taifa Stars,ilipata ushindi wa pen- indi,lakini jitihada na kujituma zilikiwezesha alti zilizowekwa kimiani na Erasto Nyoni,Ga- kikosi hicho kuibuka na ushindi wa penalti diel Michael,Paul Godfey na Salum Aiyee. 4-1 dhidi ya Kenya,katika mchezo uliofanyika katika dimba la Moi International Sports Cen- Ushindi huo,unaifanya Taifa Stars kukutana ter,Kasarani,Kenya. na Sudan Septemba 22 nchini Tanzania,am- bapo baada ya mchezo huo mshindi atakuwa Kikosi hicho kinachonolewa na Kaimu Kocha amekata tiketi ya moja kwa moja ya kucheza Mkuu Ettiene Ndayiragije,kiliingia uwanjani michuano hiyo ya CHAN mwakani. Jarida la Wiki . Toleo la Kumi na Moja 1 Kenya VS Tanzania: Katika Picha 2 Jarida la Wiki . Toleo la Kumi na Moja Kaseja aibeba Tanzania Uzoefu,kutokata tamaa na ari ya kujituma ni mo- jawapo ya sifa kubwa ambayo imemfanya mlinda mlango wa timu ya taifa taifa Stars Juma Kase- ja,kuisaidia timu ya taifa kuibuka na ushindi wa penalti 4-1 dhidi ya kikosi cha Kenya ‘Harambee S t a r s’. Mkwaju wa penalti ambao ulipanguliwa na Kase- ja dhidi ya mchezaji wa Harambee Stars Michael Kibwage ulitosha kufufua matumaini ya ushindi na kuwapa nguvu zaidi wachezaji wenzake walio- enda kupiga mikwaju ya penalti iliyobakia. “Lengo la Watanzania wote ni kuweza kufuzu,tunamshukuru Mungu tumeweza kupita hatua hiy- o,siku zote huwa nasema nchi ya kwetu timu ya kwetu,tuendelee kuiunga mkono timu yetu ili na sisi tuweze kufika kule ambapo wenzetu wamefika,”alisema Kaseja mara baada ya mchezo. Ikumbukwe kuwa Kaseja aliitwa katika kikosi hicho na Kaimu Kocha Mkuu Ettiene Ndayiragije,iki- wa ni baada ya kupita kipindi cha miaka takaribani miaka mitano, lakini ameweza kuwa na mchango mkubwa katika kikosi hicho cha Ndayiragije. Nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars John Bocco, anamatumaini makubwa ya timu ya Bocco: Tanzania kufuzu kwa michuano ya CHAN hasa baa- Safari ya CHAN njia nyeupe, da ya ushindi wa mechi Jumapili dhidi ya Kenya wa penalti 4-1,uliofanyika katika Uwanja wa Moi Kasa- rani,nchini Kenya. “Awali ya yote Tunamshukuru Mungu,tumemaliza mchezo wetu dhidi ya Kenya salama pia nawashuku- ru wachezaji wenzangu kwa kuweza kupambana na kuweka nidhamu katika mikwaju ya penalti,pia nawashukuru Watanzania waliokuja kutuunga mkono,hawakuwa wengi sana lakini uungwaji mkono wao uliwafanya waonekane kuwa wapo wengi ,jambo ambalo lilitupa moyo zaidi,”alisema na kuongeza: “Kwahiyo kufuatia matokeo haya kwasasa tunajian- daa kwa mchezo unaokuja,pia nichukue nafasi hii kuwashukuru Watanzania na ningependa kuwaam- bia kuwa ushindi huu ni Watanzania wote, kwahi- yo nawaahidi tutaendelea kujipanga vizuri katika mchezo wetu unaofuata na naamini Mungu atatu- saidia kufuzu katika michuano hii ya CHAN.” Jarida la Wiki . Toleo la Kumi na Moja 3 TANZANITE Kikosi cha timu ya soka cha taifa cha Wanawake Tanzanite yatinga Nusu U20 ‘Tanzanite’, kimefanikiwa kutinga hatua ya Nusu fainali kwa kishindo baada ya kuwachakaza Fainali COSAFA kwa Eswatini kwa jumla ya mabao 8-0,katika mich- kishindo uano ya kombe la COSAFA U20,mchezo ambao Ushindi huo ni mwendelezo wa matokeo ma- ulifanyika katika dimba la Gelvalande,Port Eliza- zuri waliyoyapata Tanzanite katika mchezo wa beth,Afrika Kusini. kwanza baada ya kuitandika Botswana kwa mabao 2-0,matokeo ambayo yanaipeleka moja Mabao ya ushindi katika mchezo huo wa pili kwa moja hatua ya nusu fainali na kuungana na wa kundi B,yaliwekwa kimiani na Aisha Masa- Zambia. ka aliyefunga mabao matatu ‘hat-trick’ ikiwa ni ‘hat-trick’ ya kwanza kufungwa katika mashin- Matokeo mazuri ya kikosi hicho cha Tanza- dano hayo,huku mabao mengine yakifungwa na nite,kinaonesha mwanga mzuri kwa timu hiyo Enekia Kasonga Lunyamila mabao mawili pamo- kuweza kufanya vizuri zaidi katika mchezo wa ja na Esther Gindulya, Irene Kisisa na Shamimu Nusu fainali na kuweza kutwaa kombe hilo la Salum, COSAFA. 4 Jarida la Wiki . Toleo la Kumi na Moja Msemwa atikisa Afrika Kusini Nyota ya mchezaji wa timu ya Taifa ya Wana- wake U20 ‘Tanzanite’, Diana Msemwa imeende- lea kung’ara baada ya kuibuka mchezaji bora wa mchezo katika michezo miwili mfululizo aliyo- cheza ya michuano ya COSAFA. Msemwa katika mchezo wa awali dhidi ya Botswa- na ambao Tanzanite iliibuka na ushindi wa mabo 2-0,alichaguliwa kuwa mchezaji bora wa mchezo huo.Pia katika mchezo wa pili dhidi ya Eswatin ambao Tanzanite imeibuka na ushindi mnono wa mabao 8-0,amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa mchezo. Mchango wa Msemwa na wachezaji wenzake waliopo chini ya kocha Mkuu Bakari Shime ume- kisaidia kwa kiasi kikubwa kikosi hicho cha Tan- zanite kutinga hatua ya Nusu fainali kwa kishindo katika kundi lao B,ambalo lina timu za Botswana- ,Zambia na Eswatina. Jarida la Wiki . Toleo la Kumi na Moja 5 Ngao Ya Jamii Kuelekea Mchezo Wa Ngao Ya Jamii Pazia la Ligi Kuu Tanzania Bara,linatarajia kufunguliwa rasmi Agosti 17 mwaka huu katika dimba la Uwanja wa taifa kwa mchezo wa ngao ya jamii kati ya Mabingwa wa msimu uliopita wa ngao hiyo ya Jamii Simba dhidi ya Wanalambalamba Azam. Ni mechi ambayo Simba inaingia uwanjani ikiwa inarekodi ya kutwaa ngao hiyo kwa mara nne huku Azam wakiwa wametwaa ngao hiyo mara moja tu.Rekodi ya Simba inaonekana kumbeba zaidi katika mtanange huo,ingawa rekodi na ushiriki wa Azam katika hatua hiyo unaufanya mchezo huo kuwa mgumu na wa ushindani zaidi. Hadi sasa timu ambayo imeweka rekodi ya kushinda ngao hiyo tangu ianzishwe mwaka 2009 ni Yanga Africans ,ambayo imeshashinda mara tano. 1. Yanga vs Simba 2-1 (2001) Mabao ya Yanga yalifungwa na Edibily Lunyamila na Ali Yusuph ‘Tigana’ huku Simba bao lao la kufutia machozi likifungwa na Steven Mapunda ‘Garincha’ 2. Mtibwa vs Yanga 1-0 (2009) Bao pekee la ushindi la Mtibwa Sugar liliwekwa kimiani na Rifat Hamis Msuya 3. Yanga vs Simba Penalti (2010) Penalti za Yanga zilifungwa na Geofrey Bonny (marehemu),Stephano Mwasika na Isack Boakye,huku Simba penalti yao pekee ikifungwa na Mohamed Banka na waliokosa ni Emmanuel Okwi,Uhuru Selemani na Juma Nyoso. 4. Simba vs Yanga 2-0 (2011) Mabao ya Simba yalifungwa na Haruna Moshi ‘Boban’ na Mzambia Felix Mumba Sunzu 5. Simba vs Azam 3-2 (2012) Mabao ya Simba yalifungwa na Daniel Akkufor,Emmanuel Okwi na Mwinyi Kazimoto,huku ya Azam yakifungwa na John Bocco na Kipre Tchetche. 6. Yanga vs Azam 1-0 (2013) Bao pekee la Yanga liliwekwa kimiani na Salum Telela 7. Yanga vs Azam 3-0 (2014) Mabao mawili ya Mbrazil Geilson Santos ‘Jaja’ na moja la Simon Msuva,yalitosha kuiwezesha Yanga kutwaa ngao hiyo kwa mara mbili mfululizo. 8. Yanga vs Azam Penalti 8-7 (2015) Yanga ilipata ushindi wa mara ya tatu mfululizo kwa ushindi wa Penalti zilizofungwa na Haruna Niyonzima,Deus Kaseke,Amissi Tambwe,Andrey Coutinho,Geofrey Mwashiuya,Thaban Kamusoko,Mbuyu Twite na Kelvin Yondan,huku zile za Azam zikifungwa na Kipre Tchetche,John Bocco,Himid Mao,Aggrey Morris,Jean Baptist Mugiraneza,Erasto Nyoni na Shomari Kapombe. 6 Jarida la Wiki . Toleo la Kumi na Moja 9. Azam vs Yanga Penalti 4-1 (2016) Dakika 90 zilimalizika kwa Azam kufunga mabao 2 ambayo yote yalifungwa na Donald Ngoma huku ya Azam yakifungwa na Shomari Kapombe na Michael Ballou. Kwa upande wa penalti Azam:Kapombe,Ballou,Himid Mao na John Bocco Yanga:Penalti pekee ilifungwa na golikipa Deogratius Munishi ‘Dida’ 10. Simba vs Yanga Penalti 5-4 (2017) Penalti za Simba:Method Mwanjali,Haruna Niyonzima,Emmanuel Okwi,Shiza Kichuya,Mohamed Ibrahim. Yanga:Papy Tshishimbi,Thaban Kamusoko,Ibrahim Ajibu na Donald Ngoma 11. Simba vs Mtibwa 2-1 (2018) Mabao ya Simba yalifungwa na Meddie Kagere na Hassan Dilunga,huku bao la Mtibwa la kufutia machozi likifungwa na Kelvin Sabato. 12. Simba vs Azam (2019) Nani mshindi ? Picha ya Ngao ya Jamii iliyopita,Simba akikabidhiwa ngao hiyo Jarida la Wiki . Toleo la Kumi na Moja 7 Ratiba ya Mechi za Klabu Bingwa Afrika Hatua ya Awali 2019/20 9/10/11.08.2019 Yanga SC (Tanzania) VS Township Rolles (Botswana) UD Songo (Msumbiji) VS Simba SC (Tanzania) 23/24/25.08.2019 Township Rolles (Botswana) VS Yanga SC (Tanzania) Simba SC (Tanzania) VS UD Songo (Msumbiji) Ratiba ya Mechi za Kombe la Shirikisho Hatua ya Awali 2019/20 9/10/11.08.2019 AS KIGALI (Rwanda) VS KMC (Tanzania) Ethiopia 1 (Ethiopia) VS Azam FC (Tanzania) 23/24/25.08.2019 KMC (Tanzania) VS AS KIGALI (Rwanda) Azam FC (Tanzania) VS Ethiopia 1 (Ethiopia) TANZANIA FOOTBALL FEDERATION Karume Memorial Stadium, Uhuru/ShauriMoyo Road-Ilala, P. O. BoX 1574 DAR ES SALAAM TeleFax: (255) 22 286 18 15, Email: [email protected], [email protected], Website: www.tff.or.tz TANZANIA PREMIER LEAGUE (TPL) 2019/2020 FIXTURE 23TH AUGUST 2019 - 24TH MAY 2020 NGAO YA JAMII - 17TH AUGUST,2019 ( SIMBA SC v AZAM FC) - SAMORA STADIUM(IRINGA) Day Match F i x t u r e Stadium Kick off Date No: Home Team Score Away Team Venue Time Full time IC PRELIMINARIES 2ND LEG (23 - 25 AUGUST,2019) 23.08.2019(Sat) 1 JKT TANZANIA FC Vs SIMBA SC UHURU 1600 HRS 24.08.2019(Sat) 2 MBAO FC Vs ALLIANCE FC CCM KIRUMBA 1600 HRS 24.08.2019(Sat) 3 MBEYA CITY FC Vs TANZANIA PRISONS FC SOKOINE 1600 HRS 24.08.2019(Sat) 4 NAMUNGO FC Vs NDANDA FC MAJALIWA 1600 HRS 24.08.2019(Sat) 5 POLISI TANZANIA FC Vs COASTAL UNION FC USHIRIKA 1600 HRS 24.08.2019(Sat) 6 BIASHARA UNITED FC Vs KAGERA SUGAR FC KARUME 1600 HRS 25.08.2019(Sun) 7 MWADUI FC
Details
-
File Typepdf
-
Upload Time-
-
Content LanguagesEnglish
-
Upload UserAnonymous/Not logged-in
-
File Pages9 Page
-
File Size-