J A R I D A L A W I K I Toleo namba 007 | Mei 15,2019 Samatta atwaa tunzo Ubelgiji yota ya nahodha wa timu ya taifa ya Taifa Stars ,Mbwana Samatta ‘Samagoal’, im- Neendelea kung’ara baada ya kufanikiwa kutwaa tunzo ya mchezaji bora wa mwaka mwenye asili ya Afrika; kwa wachezaji wanaocheza Ligi Kuu ya Ubelgiji maarufu kama ‘D’EBBEN Golden Shoe’ Samata amesema kwamba hawezi kuwa mchoyo wa fadhila,kwakuwa anafahamu asingeweza kufi kia hatua hiyo bila ya msaada wa wachezaji wenzake,benchi la ufundi,mashabiki na kila mmoja ndani na nje ya klabu yake ya KRC Genk pamoja na wale wote waliompigia kura. Nahodha huyo,pia aliwashukuru Watanzania kwa kuwa naye bega kwa bega siku zote ka- tika maombi na kumpa moyo kwa namna moja ama nyingine. Samatta amechukua tunzo hiyo kwa mara ya kwanza huku,mchezaji mwenzake wa Genk, Hans Vanaken akinyakua tunzo ya mchezaji bora wa mwaka wa Ligi Kuu ya Ubelgiji kwa mara ya pili mfululizo. Jarida la Wiki . Toleo la Saba . 1 DRFA yaandaa Mashindano ya U11 na U13 Kamati ya Soka la vijana chini ya Chama Cha Soka Mkoa wa Dar es Salaam (DRFA), yameandaa mashindano maalum ya wato- to chini ya umri wa miaka 11 na 13,ya- takayofanyika Mei 18,mwaka huu katika viwanja vya Jakaya Kikwete Youth Park. Mwenyekiti wa DRFA,Almasi Kasongo,alisema mashindano hayo yamekuja kama chachu ya kuwatengeneza watoto ambao kwa siku za usoni watakuwa tayari kushiriki mashindano ya NDONDO ACADEMY ambayo ni chini ya umri wa miaka 15 na 17. Alisema,kimsingi mashindano hayo, yanalenga zaidi kuwaibua watoto waliopo mashuleni (shule za msingi) na kwenye vituo vya kulelea watoto maarufu kama Akademi. Viingilio Mechi ya Simba na Sevilla vyatajwa Viingilio vya mchezo wa kirafiki wa kimataifa kati ya timu ya soka ya Simba dhidi ya Sevil- la ya Hispania utakaochezwa Mei 23,mwaka huu vimetajwa, akizungumza Mkurugenzi wa Fedha na Utawala wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) Cornel Barnabas,amevitaja viingilio hivyo, kuwa upande wa mzunguko itakuwa shilingi 5000,VIP B 15000 na kwa wale wataza- maji wa tiketi za Platinum itakuwa shilingi 100,000. Kwa upande wa Mkurugenzi wa Udhibiti na Utawala wa Sport Pesa ,amesema kwamba mchezo huo,unatarajiwa kuchezwa kuanzia saa moja kamili usiku katika dimba la uwanja wa taifa. 2 . Jarida la Wiki . Toleo la Saba Kikosi cha Sevilla (Hispania) Kikosi cha Simba SC (Tanzania) Stars yafungua dimba na Senegal Kikosi cha timu ya soka cha Taifa ‘Taifa Stars’ kina- tarajia kuanza kutupa karata yake ya kwanza ka- tika Michuano ya Mataifa Afrika dhidi ya Senegal. Mtanange huo wa kundi C unatarajiwa kuchezwa Juni 31katika dimba la 30 June,jijini Cairo,Misri. Kikosi cha Stars,kabla ya. kuivaa Senegal inat- arajia kucheza mchezo wa kirafi ki wa kimataifa dhidi ya wenyeji Misri Juni 13. CALENDRIERFIXTURE DE LA CAN OF 2019 AFCON / FIXTURES 2019 OF AFCON 2019 Matches de groupe / Group matches No. Match Group(e) Date Time/Heure Venue/Lieu 1 EGYPT vs ZIMBABWE A Fri 21/06/19 22.00 Cairo 2 DR CONGO vs UGANDA A 16.30 Cairo 3 NIGERIA vs BURUNDI B Sat 22/06/19 19.00 Alexandria 4 GUINEA vs MADAGASCAR B 22.00 Alexandria 5 SENEGAL vs TANZANIA C 19.00 30 June Cairo 6 ALGERIA vs KENYA C Sun 23/06/19 22.00 30 June Cairo 7 MOROCCO vs NAMIBIA D 16.30 Al Salam Cairo 8 CÔTE D’IVOIRE vs SOUTH AFRICA D 16.30 Al Salam Cairo 9 TUNISIA vs ANGOLA E Mon 24/06/19 19.00 Suez 10 MALI vs MAURITANIA E 22.00 Suez 11 CAMEROON vs GUINEA-BISSAU F Tue 25/06/19 19.00 Ismailia 12 GHANA vs BENIN F 22.00 Ismailia 13 EGYPT vs DR CONGO A 22.00 Cairo 14 UGANDA vs ZIMBABWE A Wed 26/06/19 19.00 Cairo 15 NIGERIA vs GUINEA B 16.30 Alexandria 16 MADAGASCAR vs BURUNDI B 16.30 Alexandria 17 SENEGAL vs ALGERIA C Thu 27/06/19 19.00 30 June Cairo 18 KENYA vs TANZANIA C 22.00 30 June Cairo 19 MOROCCO vs CÔTE D’IVOIRE D 19.00 Al Salam Cairo 20 SOUTH AFRICA vs NAMIBIA D Fri 28/06/19 22.00 Al Salam Cairo 21 TUNISIA vs MALI E 16.30 Suez 22 MAURITANIA vs ANGOLA E 16.30 Suez 23 CAMEROON vs GHANA F Sat 29/06/19 19.00 Ismailia 24 BENIN vs GUINEA-BISSAU F 22.00 Ismailia 25 UGANDA vs EGYPT A 21:00 Cairo 26 ZIMBABWE vs DR CONGO A 21:00 30 June Cairo Sun 30/06/19 27 MADAGASCAR vs NIGERIA B 18:00 Alexandria 28 BURUNDI vs GUINEA B 18:00 Al Salam Cairo 29 KENYA vs SENEGAL C 21:00 30 June Cairo 30 TANZANIA vs ALGERIA C 21:00 Al Salam Cairo Mon 01/07/19 31 SOUTH AFRICA vs MOROCCO D 18:00 Al Salam Cairo 32 NAMIBIA vs CÔTE D’IVOIRE D 18:00 30 June Cairo 33 MAURITANIA vs TUNISIA E 21:00 Suez 34 ANGOLA vs MALI E 21:00 Ismailia Tue 02/07/19 35 BENIN vs CAMEROON F 18:00 Ismailia 36 GUINEA-BISSAU vs GHANA F 18:00 Suez A Cairo EGYPT DR CONGO UGANDA ZIMBABWE A B Alexandria NIGERIA GUINEA MADAGASCAR BURUNDI B C 30 June Cairo SENEGAL ALGERIA KENYA TANZANIA C D Al Salam Cairo MOROCCO CÔTE D’IVOIRE SOUTH AFRICA NAMIBIA D E Suez TUNISIA MALI MAURITANIA ANGOLA E F Ismailia CAMEROON GHANA BENIN GUINEA-BISSAU F Jarida la Wiki . Toleo la Saba . 3 CONFEDERATION AFRICAINE DE FOOTBALL 3 Abdel Khalek Tharwat Street, El Hay El Motamayez, P.O. Box 23 6th October City, Egypt - Tel.: +202 38247272/ Fax : +202 38247274 – [email protected] RCL TANZANIA FOOTBALL FEDERATION FINALS RCL 2019 GROUP A NO TEAMS P W D L GF GA GD PTS 1 BARIADI UNITED (SIMIYU) 1 1 0 0 2 0 2 3 2 ISANGA RANGERS (MBEYA) 1 1 0 0 2 0 2 3 3 DTB (DAR) 1 0 0 1 0 2 -2 0 4 TOP BOYS (RUVUMA) 1 0 0 1 0 2 -2 0 TANZANIA FOOTBALL FEDERATION FINALS RCL 2019 GROUP B NO TEAMS P W D L GF GA GD PTS 1 MJI MPWAPWA (DODOMA) 1 1 0 0 2 1 1 3 2 MBUNI FC (ARUSHA) 1 0 1 0 2 2 0 1 3 PAN AFRICAN (DAR) 1 0 1 0 2 2 0 1 4 MKURUGENZI (KATAVI) 1 0 0 1 1 2 -1 0 4 . Jarida la Wiki . Toleo la Saba Matukio katika Picha ya Ligi ya Vijana U20 Premier League Jarida la Wiki . Toleo la Saba . 5 U15 & U17 Katika Picha 6 . Jarida la Wiki . Toleo la Saba Beach Soccer TANZANIA FOOTBALL FEDERATION BEACH SOCCER LEAGUE 2019 STANDING Teams P W Wx Wp L GF GA GD PTS 1 Mburahati Fc 11 7 0 1 3 65 48 17 22 2 Buza Fc 11 6 1 0 4 53 48 5 20 3 Tanzania Prisons Fc 11 5 1 0 5 63 47 16 17 4 Friends Rangers Fc 11 5 0 2 4 48 45 3 17 5 Kijitonyama Sands Heroes 11 5 1 0 5 65 63 2 17 6 Friends Of Mkwajuni Sc 11 5 1 0 5 49 51 -2 17 7 Kisa Fc 11 5 0 1 5 57 47 10 16 8 Vingunguti Kwanza Fc 11 5 0 0 6 45 47 -2 15 9 Tabata Souls Sc 11 5 0 0 6 58 64 -6 15 10 Savannah Boys 11 3 0 1 7 35 52 -17 13 11 Six Home City Fc 11 3 0 1 7 41 47 -6 10 12 Ilala Fc 11 2 0 0 9 41 61 -20 6 132 56 4 6 66 620 620 0 185 Jarida la Wiki . Toleo la Saba . 7 SWPL Msimamo wa Ligi Kuu ya Wanawake baada ya mzunguko wa 21 TANZANIA FOOTBALL FEDERATION WOMEN'S PREMIER LEAGUE 2018/2019 WPL - ROUND 21 NO TEAMS P W D L GF GA GD PTS 1 JKT QUEENS 21 21 0 0 123 5 118 63 2 SIMBA QUEENS 21 14 2 5 61 15 46 44 3 ALLIANCE GIRLS 21 14 2 5 60 20 40 44 4 MLANDIZI QUEENS 21 13 3 5 41 15 26 42 5 PANAMA FC 21 13 3 5 53 33 20 42 6 SISTERZ FC 21 8 4 9 32 33 -1 28 7 YANGA PRINCESS 21 8 1 12 30 54 -24 25 8 BAOBAB QUEENS 21 5 5 11 22 59 -37 20 9 TANZANITE SC 21 6 1 14 18 46 -28 19 10 MARSH QUEENS 21 3 6 12 20 60 -40 15 11 EVERGREEN QUEENS 21 2 4 15 11 64 -53 9 12 MAPINDUZI QUEENS 21 2 3 16 5 72 -67 9 TOTAL 126 54.5 17 54.5 476 476 0 360 Champions Relegation 8 . Jarida la Wiki . Toleo la Saba TPL Mchezaji Bora wa Mwezi Aprili Kocha Bora wa Mwezi Aprili John Bocco (Simba SC) Patrick Aussems(Simba SC) Msimamo wa TPL TANZANIA FOOTBALL FEDERATION STANDING TANZANIA PREMIER LEAGUE (TPL) 2018/2019 NO TEAMS P W D L GF GA GD PTS 1 YOUNG AFRICANS 36 26 5 5 55 25 30 83 2 SIMBA SC 33 26 4 3 69 14 55 82 3 AZAM FC 36 19 12 5 50 21 29 69 4 KMC 36 11 16 9 36 25 11 49 5 MTIBWA SUGAR 35 14 7 14 35 28 7 49 6 LIPULI 36 12 12 11 30 36 -6 48 7 NDANDA FC 36 12 11 12 23 31 -8 47 8 SINGIDA UNITED 36 11 12 13 30 37 -7 45 9 COASTAL UNION 35 10 14 11 31 41 -10 44 10 MBAO FC 36 11 11 14 26 38 -12 44 11 MBEYA CITY 34 12 7 15 35 36 -1 43 12 TANZANIA PRISONS 36 10 13 13 26 28 -2 43 13 KAGERA SUGAR 35 10 13 12 32 38 -6 43 14 RUVU SHOOTING 36 10 12 14 33 41 -8 42 15 ALLIANCE FC 35 10 11 14 29 39 -10 41 16 JKT TANZANIA 36 9 14 13 25 35 -10 41 17 STAND UNITED 35 11 8 16 33 44 -11 41 18 BIASHARA UNITED 34 10 10 14 25 30 -5 40 19 MWADUI FC 36 10 8 18 41 51 -10 38 20 AFRICAN LYON 35 4 10 21 20 46 -26 22 TOTAL 353.5 124 105 123.5 684 684 0 954 CAF Champions League(CL) PlayOff (Knockout) Jarida la Wiki .
Details
-
File Typepdf
-
Upload Time-
-
Content LanguagesEnglish
-
Upload UserAnonymous/Not logged-in
-
File Pages11 Page
-
File Size-