Jumbled School Ranking
Total Page:16
File Type:pdf, Size:1020Kb
Load more
Recommended publications
-
Ruaha Journal of Business, Economics and Management Sciences, Vol.1, Issue 1, 2018 Ms Hadija Matimbwa , Faculty of Business and Management Science, RUCU Iii
RUAHA JOURNAL of Business, Economics and Management Sciences Faculty of Business and Management Sciences Vol 1, Issue 1, 2018 A. Editorial Board i. Executive Secretarial Members Chairman: Dr. Alex Juma Ochumbo, Dean Faculty of Business and Management Sciences, RUCU Chief Editor: Prof. Robert Mabele, Faculty of Business and Management Sciences, RUCU Managing Editor: Dr.Venance Ndalichako, Faculty of Business and Management Sciences, RUCU Business Manager: Dr. Alberto Gabriel Ndekwa, Faculty of Business and Management Science, RUCU Secretary to the Board: Ms. Hawa Jumanne,Faculty of Business and Management Science, RUCU ii. Members of the Editorial Board Dr. Dominicus Kasilo, Faculty of Business and Management Science, RUCU Bishop Dr. Edward Johnson Mwaikali,Bishop of Mbeya, Formerly with RUCU Dr. Theobard Kipilimba, Faculty of Business and Management Science, RUCU Dr. Esther Ikasu, Faculty of Business and Management Science, RUCU ii Ruaha Journal of Business, Economics and Management Sciences, Vol.1, Issue 1, 2018 Ms Hadija Matimbwa , Faculty of Business and Management Science, RUCU iii. Associate Editors Prof. Enock Wicketye Iringa University,Tanzania. Dr. Enery Challu University of Dar es Dr. Ernest Abayo Makerere University, Uganda. Dr. Vicent Leyaro University of Dar es Salaam Dr. Hawa Tundui Mzumbe University, Tanzania. B. Editorial Note Ruaha Journal of Business, Economics and Management Sciences would like to wish all our esteemed readers on this first appearance A HAPPY NEW YEAR. We shall be appearing twice a year January and July. We hope you will be able to help us fulfill this pledge by feeding us with journal articles, book reviews and other such journal writings and stand ready to read from cover to cover all our issues. -
Issued by the Britain-Tanzania Society No 114 May - Aug 2016
Tanzanian Affairs Issued by the Britain-Tanzania Society No 114 May - Aug 2016 Magufuli’s “Cleansing” Operation Zanzibar Election Re-run Nyerere Bridge Opens David Brewin: MAGUFULI’S “CLEANSING” OPERATION President Magufuli helps clean the street outside State House in Dec 2015 (photo State House) The seemingly tireless new President Magufuli of Tanzania has started his term of office with a number of spectacular measures most of which are not only proving extremely popular in Tanzania but also attracting interest in other East African countries and beyond. It could be described as a huge ‘cleansing’ operation in which the main features include: a drive to eliminate corruption (in response to widespread demands from the electorate during the November 2015 elections); a cutting out of elements of low priority in the expenditure of government funds; and a better work ethic amongst government employees. The President has changed so many policies and practices since tak- ing office in November 2015 that it is difficult for a small journal like ‘Tanzanian Affairs’ to cover them adequately. He is, of course, operat- ing through, and with the help of ministers, regional commissioners and cover photo: The new Nyerere Bridge in Dar es Salaam (see Transport) Magufuli’s “Cleansing” Operation 3 others, who have been either kept on or brought in as replacements for those removed in various purges of existing personnel. Changes under the new President The following is a list of some of the President’s changes. Some were not carried out by him directly but by subordinates. It is clear however where the inspiration for them came from. -
MKUTANO WA TATU Kikao Cha Kumi Na Tisa – Tarehe 29 Aprili, 2021
NAKALA MTANDAO(ONLINE DOCUMENT) BUNGE LA TANZANIA ________ MAJADILIANO YA BUNGE _________ MKUTANO WA TATU Kikao cha Kumi na Tisa – Tarehe 29 Aprili, 2021 (Bunge Lilianza Saa Tatu Asubuhi) D U A Naibu Spika (Mhe. Dkt. Tulia Ackson) Alisoma Dua NAIBU SPIKA: Waheshimiwa, tukae. Katibu. NDG. MOSSY LUKUVI – KATIBU MEZANI: HATI ZILIZOWASILISHWA MEZANI Hati Zifuatazo Ziliwasilishwa Mezani na:- NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI: Randama za Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kwa mwaka wa fedha 2021/2022. NAIBU WAZIRI WA MADINI: Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Madini kwa mwaka wa fedha 2021/2022. 1 NAKALA MTANDAO(ONLINE DOCUMENT) MHE. SAADA MONSOUR HUSSEIN - K.n.y. MWENYEKITI WA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA NISHATI NA MADINI: Taarifa ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini kuhusu utekelezaji wa Majukumu ya Wizara ya Madini kwa mwaka wa fedha 2020/2021 pamoja na Maoni ya Kamati kuhusu Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara hiyo kwa mwaka wa fedha 2021/2022. NAIBU SPIKA: Ahsante sana. Katibu. NDG. MOSSY LUKUVI – KATIBU MEZANI: MASWALI NA MAJIBU SPIKA: Waheshimiwa maswali, tutaanza na Ofisi ya Rais, TAMISEMI, Mheshimiwa Simon Songe Lusengekile, Mbunge wa Busega, sasa aulize swali lake. Na. 158 Serikali Kukamilisha Ujenzi wa Zahanati – Busega MHE. SIMON S. LUSENGEKILE aliuliza:- Wananchi wa Kata ya Imalamate Wilayani Busega wamejenga zahanati na kumaliza maboma manne kwa maana ya zahanati moja kila kijiji:- Je, Serikali ina mpango gani wa kuwasaidia wananchi hao kuezeka maboma hayo ili waweze kupata huduma za afya kwenye zahanati hizo? NAIBU SPIKA: Mheshimiwa Naibu Waziri wa TAMISEMI, Mheshimiwa Dkt. -
Tarehe 3 Februari, 2021
NAKALA MTANDAO(ONLINE DOCUMENT) BUNGE LA TANZANIA __________ MAJADILIANO YA BUNGE __________ MKUTANO WA PILI Kikao cha Pili – Tarehe 3 Februari, 2021 (Bunge Lilianza Saa Tatu Asubuhi) D U A Naibu Spika (Mhe. Dkt. Tulia Ackson) Alisoma Dua NAIBU SPIKA: Waheshimiwa Tukae. Katibu. NDG. RUTH MAKUNGU – KATIBU MEZANI: MASWALI NA MAJIBU NAIBU SPIKA: Waheshimiwa Wabunge, tunaanza na maswali Ofisi ya Rais TAMISEMI, Mheshimiwa Cosato David Chumi, Mbunge wa Mafinga Mjini, sasa aulize swali lake. Na. 16 Ujenzi wa Barabara za Lami - Mji wa Mafinga MHE. COSATO D. CHUMI aliuliza:- Je, ni lini Serikali itaanza Ujenzi wa Barabara za lami na kufunga taa za barabarani katika Mji wa Mafinga chini ya Mpango wa Uendelezaji Miji nchini? NAIBU SPIKA: Mheshimiwa Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, TAMISEMI, majibu. 1 NAKALA MTANDAO(ONLINE DOCUMENT) NAIBU WAZIRI, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA (MHE. DKT. FESTO J. DUGANGE) alijibu:- Mheshimiwa Naibu Spika, kwa kuwa ni mara yangu ya kwanza kusimama mbele ya Bunge lako Tukufu, kwanza naomba nichukue nafasi hii kumshukuru Mwenyezi Mungu aliyenijalia mimi na Waheshimiwa Wabunge wote afya njema na kutuwezesha kuwa wawakilishi wa wananchi kupitia Bunge lako Tukufu. Mheshimiwa Naibu Spika, pili, naomba nichukue nafasi hii kumshukuru sana Mheshimiwa Rais, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli kwa imani kubwa aliyonipa kwa kuniteua kuwa Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, TAMISEMI. Namshukuru sana Mheshimiwa Rais. (Makofi) Mheshimiwa Naibu Spika, tatu, nawashukuru sana wananchi wa Jimbo la Wanging’ombe kwa kunichagua na kuchagua mafiga -
MKUTANO WA TATU Kikao Cha Kumi – Tarehe 15 Aprili, 2021
NAKALA MTANDAO(ONLINE DOCUMENT) BUNGE LA TANZANIA ________ MAJADILIANO YA BUNGE _________ MKUTANO WA TATU Kikao cha Kumi – Tarehe 15 Aprili, 2021 (Bunge Lilianza Saa Tatu Asubuhi) D U A Naibu Spika (Mhe. Dkt. Tulia Ackson) Alisoma Dua NAIBU SPIKA: Waheshimiwa, tukae. Katibu. NDG. NEEMA MSANGI – KATIBU MEZANI: MASWALI NA MAJIBU NAIBU SPIKA: Maswali Waheshimiwa Wabunge, tutaanza na Ofisi ya Rais - TAMISEMI, Mheshimiwa Vincent Paul Mbogo, Mbunge wa Nkasi Kusini sasa aulize swali lake. Na. 79 Kuongeza Vituo vya Afya Jimbo la Nkasi Kusini MHE. VICENT P. MBOGO aliuliza:- Jimbo la Nkasi Kusini lina Kata 11 na Kituo cha Afya kimoja pekee:- Je, Serikali ina mpango gani wa kuongeza Vituo vya Afya hasa katika Tarafa ya Chala, Kate, Myula, Sintali na Ninde? 1 NAKALA MTANDAO(ONLINE DOCUMENT) NAIBU SPIKA: Mheshimiwa Naibu Waziri Ofisi ya Rais, TAMISEMI, Mheshimiwa Dkt. Dugange, majibu. NAIBU WAZIRI, OFISI YA RAIS, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA (MHE. DKT. FESTO J. DUGANGE) alijibu: - Mheshimiwa Naibu Spika, kwa niaba ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-TAMISEMI, naomba kujibu swali la Mheshimiwa Vincent Paul Mbogo, Mbunge wa Nkasi Kusini, kama ifuatavyo:- Mheshimiwa Naibu Spika, Serikali imeendelea kuboresha huduma za afya katika Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi, ambapo katika mwaka wa fedha 2017/2018 hadi mwaka wa fedha 2019/2020, Serikali imejenga na kukarabati Vituo vya Afya vya Nkomolo na Kirando kwa gharama ya shilingi milioni 900. Aidha, katika mwaka wa fedha 2018/2019, Serikali imetoa shilingi bilioni 1.5 kwa ajili ya ujenzi wa Hospitali ya Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi. Mheshimiwa Naibu Spika, katika mwaka wa fedha 2020/2021, Serikali imetenga shilingi milioni 500 kwa ajili ya ujenzi wa wodi tatu na shilingi milioni 500 kwa ajili ya ununuzi wa vifaa tiba katika Hospitali ya Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi. -
Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA BUNGE LA TANZANIA MKUTANO WA KUMI NA SITA NA KUMI NA SABA YATOKANAYO NA KIKAO CHA SITA (DAILY SUMMARY RECORD OF PROCEEDINGS) 11 NOVEMBA, 2014 MKUTANO WA KUMI NA SITA NA KUMI NA SABA KIKAO CHA SITA – 11 NOVEMBA, 2014 I. DUA Saa 3.00 Asubuhi kikao kilianza kikiongozwa na Mhe. Naibu Spika (Mhe Job Y. Ndugai) na alisoma Dua. Makatibu Mezani 1. Ramadhani Abdallah Issa 2. Asia Minja 3. Hellen Mbeba II. MASWALI Maswali yafuatayo yaliulizwa na yalijibiwa:- 1. OFISI YA WAZIRI MKUU Swali . 67 – Mhe. Charles J.P. Mwijage Nyongeza (i) Mhe. Charles Mwijage (ii) Mhe. Joshua Nassari Swali. 68- Mhe. Hezekiah Chibulunje (K.n.y – Mhe. David Mallole) Nyongeza (i) Mhe. Hezekiah Chibulunje Swali. 69 – Mhe. Josephat Sinkamba Kandege Nyongeza (i) Mhe. Josephat Kandege 2. OFISI YA RAIS (UTAWALA BORA) Swali. 70 – Mhe. Amina Abdulla Amour 2 Nyongeza (i) Mhe. Amina Abdullah Amour 3. OFISI YA RAIS (MAHUSIANO NA URATIBU) Swali. 71 – Mhe. Leticia Mageni Nyerere Nyongeza i. Mhe. Leticia Nyerere ii. Mhe. Mohammed Habib Mnyaa 4. OFISI YA MAKAMU WA RIAS (MAZINGIRA) Swali. 72 – Mhe. Victor Kilasile Mwambalaswa Nyongeza i. Mhe. Victor Kilasile Mwambalaswa. 5. WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA Swali. 73 – Mhe. Diana Mkumbo Chilolo Nyongeza i. Mhe. Diana Mkumbo Chilolo 6. WIZARA YA ULINZI NA JESHI LA KUJENGA TAIFA Swali. 74 – Mhe. Sylvestry Francis Koka Nyongeza i. Mhe. Sylvestry Koka ii. Mhe. Salim Masoud 7. WIZARA YA UCHUKUZI Swali. 75 – Mhe. Prof. David Mwakyusa (k.n.y Mhe. Luckson Mwanjale). Nyongeza i. Mhe. Prof. David Mwakyusa. 3 Swali. 76 – Mhe. -
Tarehe 4 Aprili, 2017
NAKALA MTANDAO(ONLINE DOCUMENT) BUNGE LA TANZANIA ____________ MAJADILIANO YA BUNGE ___________ MKUTANO WA SABA Kikao cha Kwanza – Tarehe 4 Aprili, 2017 (Bunge Lilianza Saa Tatu Asubuhi) WIMBO WA TAIFA (Hapa Waheshimiwa Wabunge Waliimba Wimbo wa Taifa) D U A Spika (Mhe. Job Y. Ndugai) Alisoma Dua SPIKA: Waheshimiwa Wabunge, tukae. Natoa nafasi kwa Waheshimiwa Wabunge mnaoingia, naomba mfanye haraka kidogo. Waheshimiwa Wabunge, nawakaribisha kwenye Mkutano wa Saba, Kikao cha Kwanza, Katibu! (Vigelegele) DKT. THOMAS KASHILILAH – KATIBU WA BUNGE: KIAPO CHA UAMINIFU Mheshimiwa Mbunge afuatae aliapa Kiapo cha Uaminifu:- Mhe. Salma Rashid Kikwete. (Vigelegele/Makofi) SPIKA: Waheshimiwa Wabunge, nashukuru kwa makofi yenu. Tuendelee sasa maana nilikuwa nasubiri kidogo nione mama anakaa wapi ili akisimama kwenye maswali 1 NAKALA MTANDAO(ONLINE DOCUMENT) nijue yupo wapi maana leo nataka nimpe swali la kwanza. Katibu tuendelee! (Makofi/Kicheko/Vigelegele) DKT. THOMAS KASHILILAH – KATIBU WA BUNGE: TAARIFA YA SPIKA SPIKA: Waheshimiwa Wabunge, katika Mkutano wa Sita wa Bunge, Bunge lilipitisha Miswada ya Sheria ya Serikali miwili ifuatayo:- (i) Muswada wa Sheria ya Huduma ya Msaada wa Kisheria (The Legal Aid Bill, 2016); na (ii) Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria Mbalimbali Na.4 wa Mwaka 2016 (The Written Laws (Miscellaneous Amendment) No. 4 Bill 2016) Kwa Taarifa hii, napenda kuliarifu Bunge hili Tukufu kwamba tayari Miswada hiyo miwili imepata kibali cha Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kuwa sheria za nchi zinazoitwa:- (i) Sheria ya Huduma ya Msaada wa Kisheria Na.1 ya Mwaka 2017 (The Legal Aid Act No.1, 2017); na (ii) Sheria ya Marekebisho ya Sheria Mbalimbali Na.4 ya Mwaka 2017 (The Written Laws (Miscellaneous Amendment) No.4, Act No.2 2017). -
Maendeleo Ya Kilimo Na Ushirika Kwa Kipindi Cha Miaka 50 Ya Uhuru Wa Tanzania Bara (1961 - 2011)
MAENDELEO YA KLIMO NA USHIRIKA KWA KIPINDI CHA MIAKA 50 YA UHURU WA TANZANIA BARA (1961-2011) JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA KILIMO CHAKULA NA USHIRIKA MAENDELEO YA KILIMO NA USHIRIKA KWA KIPINDI CHA MIAKA 50 YA UHURU WA TANZANIA BARA (1961 - 2011) KILIMO KWANZA “Tumethubutu, Tumeweza, Tunazidi Kusonga Mbele” a kkilimoilimo mmiakaiaka 550.indd0.indd a 111/16/111/16/11 110:34:230:34:23 AAMM TUMETHUBUTU, TUMEWEZA, TUNAZIDI KUSONGA MBELE b kkilimoilimo mmiakaiaka 550.indd0.indd b 111/16/111/16/11 110:34:230:34:23 AAMM MAENDELEO YA KLIMO NA USHIRIKA KWA KIPINDI CHA MIAKA 50 YA UHURU WA TANZANIA BARA (1961-2011) KAULI YA WAZIRI Kwanza kabisa napenda kumshukuru Mwenyenzi Mungu kwa kunipa uhai na kuniwezesha kuungana na Watanzania wenzangu katika maadhimisho haya ya Miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania Bara. Katika kuadhimisha Miaka 50 ya Uhuru wa nchi yetu, hatuna budi kuwakumbuka waasisi na viongozi wa Taifa letu ambao wametoa mchango mkubwa katika maendeleo ya kilimo tunachojivunia leo. Tangu Uhuru wa Tanzania Bara upatikane nchi yetu imepitia awamu nne za uongozi. Awamu ya kwanza iliongozwa na Baba wa Taifa na Rais wa Kwanza Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ambaye alikuwa mstari wa mbele na mhimili mkubwa wa kuwaongoza Watanzania katika kudai Uhuru na hatimaye kuupata hapo Desemba 9, 1961. Mara baada ya nchi yetu kupata Uhuru, Serikali ilitoa kipaumbele cha kwanza katika kuendeleza kilimo kama uti wa mgongo wa uchumi wetu. Kilimo kiliajiri zaidi ya asilimia 90 ya wananchi wote na mazao ya katani, kahawa na pamba yaliongoza kulipatia Taifa fedha za kigeni. -
SELECTION UBUNGO 2019.Pdf
ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA MWAKA 2019 WILAYA YA UBUNGO - WASICHANA WALEMAVU WALIOPANGWA NA OR-TAMISEMI NAMBA YA NA JINA LA MWANAFUNZI SHULE ATOKAYO SHULE ALIYOPANGWA MTAHINIWA 1 PS0204107-026 JANETH LEANDRY MOSHA NABA JANGWANI 2 PS0204035-152 MARY WILLE JAMES MANZESE JANGWANI 3 PS0204021-164 WINEFRIDA JACKSON MKWAWI KIMARA BARUTI JANGWANI 4 PS0204115-062 ZAINABU BAKARI MBEGU ST. ANNE MARIE LUGOBA -PWANI 5 PS0204115-048 MARIAM IBRAHIM KHATIBU ST. ANNE MARIE LUGOBA -PWANI 6 PS0204119-039 MONIAISHI JOSEPH SELASINI ST. FELISTA MLINGANO TANGA 7 PS0204044-146 FATUMA SELEMANI ALLY MPAKANI MLINGANO TANGA 8 PS0204050-064 LEILA HALFAN MSOFFE MUGABE MUGABE 9 PS0204012-195 FARIDA OMARY BAKARI KAWAWA TANGA UFUNDI 10 PS0204034-300 HAWA SULEMANI MTEMBA MALAMBAMAWILI TANGA UFUNDI WALEMAVU WALIOPANGWA NA MKOA NAMBA YA NA JINA LA MWANAFUNZI SHULE ATOKAYO SHULE ALIYOPANGWA MTAHINIWA 1 PS0204062-202 JACKLINE JOHN KAVISHE UPENDO FAHARI 2 PS0204062-246 PATRICIA WILLSON MPANGALA UPENDO FAHARI 3 PS0204003-083 BAHATI HASSAN MAULID BRYCESON JANGWANI 4 PS0204041-094 ELIZABETH THOMAS BENEDICTOR MIANZINI JANGWANI 5 PS0204053-230 LIGHTNESS EVANCE MARIKI SARANGA KIMBIJI HOSTEL 6 PS0204012-317 SALMA WAZIRI WASIYU KAWAWA MABIBO 7 PS0204031-225 REHEMA RASHID MAPUGE MAKOKA MAKOKA 8 PS0204041-097 FAIDHA AMRI ABDALLAH MIANZINI MAKURUMLA 9 PS0204022-067 HAPPINESS DANIEL SIMON KING'AZI MALAMBAMAWILI 10 PS0204051-046 JULIANA JACOB ERASTO MUUNGANO MBURAHATI 11 PS0204008-103 NEEMA JUMANNE MAIGE IDRIS ABDUL WAKIL MPIJI MAGOHE 12 PS0204008-118 -
Tanzania Human Rights Report 2015 Tanzania Mainland Legal and Human Rights Centre (LHRC) Tanzania Human Rights Report 2015
Tanzania Human Rights Report 2015 Tanzania Mainland Legal and Human Rights Centre (LHRC) Tanzania Human Rights Report 2015 Publishers Legal and Human Rights Centre Justice Lugakingira House, Kijitonyama P.O. Box 75254, Dar es Salaam, Tanzania Tel: +255222773038/48, Fax: +255222773037 Email: [email protected] Website: www.humanrights.or.tz Partners - LHRC Accountability in Tanzania (AcT) The Embassy of Norway The Embassy of Sweden ISBN: 978-9987-740-25-3 © LHRC 2016 - ii - Tanzania Human Rights Report 2015 Editorial Board Dr. Helen Kijo-Bisimba Adv. Imelda Urrio Ms. Felista Mauya Adv. Anna Henga Mr. Castor Kalemera Researchers/Writers Mr. Paul Mikongoti Mr. Pasience Mlowe Mr. Fundikila Wazambi Design & Layout Mr. Rodrick Maro - iii - Tanzania Human Rights Report 2015 Acknowledgement Legal and Human Rights Centre (LHRC) has been producing the Tanzania Human Rights Report, documenting the situation in Tanzania Mainland since 2002. In the preparation and production of this report LHRC receives both material and financial support from different players, such as the media, academic institutions, other CSOs, researchers and community members as well as development partners. These players have made it possible for LHRC to continue preparing the report due to its high demand. In preparing the Tanzania Human Rights Report 2015, LHRC received cooperation from the Judiciary, the Legislature and the Executive arms of the State. Various reports from different government departments and research findings have greatly contributed to the finalization of this report. Hansards and judicial decisions form the basis of arguments and observations made by the LHRC. The information was gathered through official correspondences with the relevant authorities, while other information was obtained online through various websites. -
Majadiliano Ya Bunge
Hii ni Nakala ya Mtandao (Online Document) BUNGE LA TANZANIA _________________ MAJADILIANO YA BUNGE _________________ MKUTANO WA ISHIRINI Kikao cha Ishirini na Nane – Tarehe 12 Julai, 2010 (Mkutano ulianza Saa Tatu Asubuhi) D U A Spika (Mhe. Samuel J. Sitta) Alisoma Dua HATI ZILIZOWASILISHWA MEZANI: Hati Zifuatazo Ziliwasilishwa Mezani na: NAIBU WAZIRI WA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI (MHE. MWANTUMU B. MAHIZA): Hotuba ya Bajeti ya Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi kwa Mwaka 2010/2011. Taarifa ya Mwaka ya Mamlaka ya Elimu Tanzania kwa Mwaka 2008/2009 [The Annual Report of Tanzania Education Authrority for the Year 2008/2009]. MHE. OMARI SHABANI KWAANGW’ - MWENYEKITI WA KAMATI YA HUDUMA ZA JAMII: Taarifa ya Kamati ya Huduma za Jamii Kuhusu Utekelezaji wa Majukumu ya Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi kwa Mwaka wa Fedha 2009/2010 pamoja na maoni ya Kamati Kuhusu Makadirio ya Matumizi ya Wizara hiyo kwa Mwaka wa Fedha, 2010/2011. MHE. NURU AWADH BAFADHIL K.n.y. MSEMAJI MKUU WA KAMBI YA UPINZANI KUHUSU WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI: Taarifa ya Msemaji Mkuu wa Kambi ya Upinzani Kuhusu Makadirio ya Matumizi ya Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi kwa Mwaka wa Fedha 2010/2011. NAIBU WAZIRI, OFISI YA WAZIRI MKUU, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA: 1 Taarifa ya mwaka na Hesabu zilizokaguliwa za Mfuko wa Pensheni wa Serikali za Mitaa kwa Mwaka 2008/2009 [The Annual Report and Audited Accounts of the Local Authorities Pensions Fund (LAPF) for the Year 2008/2009]. NAIBU WAZIRI WA FEDHA NA UCHUMI (MHE. OMAR YUSSUF MZEE): Randama za Makadirio ya Matumizi ya Wizara ya Fedha na Uchumi kwa Mwaka wa Fedha 2010/2011. -
Uongozi Kuanzia 1961
UONGOZI KATIKA SEKTA YA MAJI TANZANIA BARA KUANZIA UHURU MWAKA 1961 HADI LEO Utangulizi: Orodha ya Uongozi katika Sekta ya Maji Tanzania bara kuanzia mwaka 1961 mpaka sasa. Kuanzia mwaka 1961 Tanzania ilipopata NA WAZIRI MWAKA NA KATIBU MKUU MWAKA uhuru wake, Sekta ya Maji imekuwa chini 1 Dereck Bryeson 1961 - 1964 1 Ibrahim Sapi Mkwawa 1962 - 1964 ya wizara mbalimbali. Jumla ya Wizara 2 Alhaji Tewa S. Tewa 1964 - 1966 2 Dickson A. Nkembo 1964 - 1965 3 Cleopa D. Msuya 1965 - 1967 20 ziliundwa kwa nyakati tofauti katika 3 Said A. Maswanya 1966 - 1968 4 Ernest A. Mulokozi 1967 - 1968 kipindi hicho ili kusimamia Sekta ya Maji. 5 David A. Mwakosya 1968 - 1968 Mwanzoni baada ya Uhuru, katika 4 Abdurahman Mohamed Babu 1968 - 1970 6 Awinia Mushi 1968 - 1969 muundo sekta ya maji ilikuwa ni Idara ya 7 Timothy Apiyo 1969 - 1970 Maji na Umwagiliaji ikiwa chini ya Wizara 5 Dkt. Wilbert Chagula 1971 - 1974 6 E. Elinawinga 1974 - 1975 8 Frederick Rwegarulila 1970 - 1978 ya Ardhi,Upimaji Ramani na Maji Dkt. Wilbert Chagula 1976 - 1978 (Ministry of Lands, Survey and Water) na E. Elinawinga 1978 - 1982 9 Harith B. Mwapachu 1978 - 1981 1981 - 1984 mwaka 1961 ilihamishiwa Wizara ya 7 Al Noor Kassum 1982 - 1986 10 Athumani Janguo 11 Fulgence M. Kazaura 1984 - 1985 Kilimo. 12 H. Z. Talawa 1985 - 1987 8 Dkt. Pius Yasebasi Ng’wandu 1986 - 1990 13 N. K. Nsimbira 1987 - 1990 Mwaka 1970 sekta ya maji iliweka 9 Christian Kisanji 1990 - 1990 14 Paul J. Mkanga 1990 - 1990 10 Jakaya Mrisho Kikwete 1990 - 1995 15 Prof.