Mwanza Urban Water Supply And Sanitation Authority

Mwanza Urban Water Supply And Sanitation Authority NEWS BULLETIN Oktoba 2019

NEWS BULLETIN toleo Namba: O5 OKTOBA, 2019 www.mwauwasa.go.tz TUNATEKELEZA KWA VITENDO ZIARA YA WAZIRI MBARAWA KWENYE PONGEZI KWA MRADI WA MAJI MHANDISI MSALALA uk 8 ANTHONY SANGA uk 4 SERIKALI YA DKT. MAGUFULI NI YA VITENDO- PROF MKUMBO MIRADI YA BILIONI 788 KUTEKELEZWA KANDA YA ZIWA VICTORIA uk 2 Mwanza Urban Water Supply And Sanitation Authority NEWS BULLETIN Oktoba 2019 MIRADI YA BILIONI 788 KUTEKELEZWA KANDA YA ZIWA VICTORIA erikali inatekeleza miradi 17 ya maji yenye thamani ya Shilingi Bil- ioni 788 ikiwa ni hatua mojawapo ya utatuzi wa changamoto ya upa- tikanaji wa maji kwa kutumia maji ya Ziwa Victoria. Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Profesa ali- yasema hayo Agosti, 2019 alipofa- nya ziara kwenye mradi wa maji wa Nyahiti, Wilaya Sya Misungwi Mkoani Mwanza kwa lengo la kujio- nea hatua iliyofikiwa ya utekelezwaji wake. Aliwaasa wananchi waendelee kuiamini Serikali ya Rais Dkt. John Pombe Magufuli kwani hatua mbalimbali zinaendelea kuchukuliwa na Serikali yake kupitia Wizara ya Maji ya kuhakiki- sha huduma ya maji inafika kwenye maeneo yote yenye changamoto. “Tunaendelea hatua kwa hatua kutatua changamoto ya maji kwenye mikoa yote ya Tanza- nia Bara na kwa upande wa Kanda ya Ziwa tunate- keleza miradi 17 inayotumia maji kutoka Ziwa Vic- toria yeye thamani ya Bilioni 788,” alisema Profesa Mkumbo. Akiuzungumzia mradi wa maji wa Nyahi- ti, Profesa Mkumbo alisema gharama za utekeleza- ji wake ni Bilioni 13 na umekamilka kwa asilimia 97 na kwamba hatua iliyopo ni ya kuwaungan- Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Profesa Kitila Mkumbo (kulia) akisikiliza maelezo ishia wananchi ambapo takriban wateja 2,150 ya utekelezaji wa mradi wa Nyahiti kutoka kwa aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wataunganishwa kwenye awamu ya kwanza. wa MWAUWASA, Mhandisi Anthony Sanga (kushoto) wakati wa ziara yake ya ku- Alisema mradi umesanifiwa kuhudumia kagua hatua mradi. Katikati ni Mbunge wa Jimbo la Misungwi, . wananchi wapatao 64,280 hadi ifikapo Mwaka 2040 waishio katika Mji Mdogo wa Misungwi na wake na pia fedha zitaendelea kutumika Kwa upande wake aliyekuwa Mku- Vitongoji vyake, kikiwemo kijiji cha Nyahiti ulipo kwenye uendeshaji wake. rugenzi Mtendaji wa MWAUWASA, Mhandisi mradi. Profesa Mkumbo aliipongeza Anthony Sanga alibainisha kwamba kukami- Aliwaasa wananchi kuhakikisha wanau- MWAUWASA kwa usimamizi mzuri wa mradi lika kwa mradi huo wa Nyahiti kutaongeza tunza mradi huo ili uwe endelevu kwa miaka 20 huo wa Misungwi na miradi mingine inayoi- upatikanaji wa majisafi na salama katika mji ijayo kama ulivyosanifiwa hasa ikizingatiwa kwam- simamia ikiwemo mradi wa Magu, Mkoani mdogo wa Misungwi na vitongoji vyake ku- ba Serikali imetumia fedha nyingi kwenye ujenzi Mwanza na Mradi wa Lamadi, Mkoani Simiyu. toka asilimia 42 ya sasa hadi asilimia 100.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Profesa Kitila Mkum- bo akitembelea eneo la kutibu maji la mradi wa maji O2 wa Nyahiti, Misungwi. Mwanza Urban Water Supply And Sanitation Authority NEWS BULLETIN Oktoba 2019

Bodi ya Uhariri Mohamed Saif Assistant Manager Public Relations MWAUWASA

Ikupa Enock Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Profesa Kitila Mkumbo akizungumza na wananchi wa Kisesa, Graphic Designer Wilayani Magu (hawapo pichani). SERIKALI YA DKT. MAGUFULI NI YA VITENDO- PROF MKUMBO meelezwa kuwa Serikali ya Rais Dkt. John ochukuliwa na Serikali za utatuzi wake si ahadi, Pombe Magufuli imedhamiria kumaliza kero inataka kupanua mtandao wa maji hapa Kisesa na ya maji kupitia miradi mbalimbali inayoende- kwingine ili kumaliza tatizo hilo lililodumu kwa mi- lea kutekelezwa kote nchini. aka mingi. Sisi watendaji tunatoa majibu kwa kute- Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Pro- keleza,” alisema Profesa Mkumbo. fesa Kitila Mkumbo aliyasema hayo Agosti, Profesa Mkumbo aliwaasa wananchi 2018 kwenye mkutano wa hadhara na wanan- waliopo kwenye maeneo yenye changamoto ya up- chi wa Kisesa, Wilaya ya Magu ambapo aliwa- atikanaji wa maji kuendelea kuwa na subira wakati toa hofu kuwa watapata huduma ya uhakika Serikali ikiendelea kupata ufumbuzi wa kudumu ya maji hivi karibuni baada ya kukamilika kwa mradi kupitia miradi mbalimbali inayoendelea kutekelez- Iambao unaendelea kujengwa. wa kote nchini. Alisema Serikali inatambua changamoto “Ni busara wananchi tukatazama tuliko- Limetolewa na: ya upungufu wa maji inayowakabili wananchi wa toka, tulipo na tunapokwenda. Serikali kwa kutam- Mamlaka ya Majisafi Kisesa, Bujora na Bukandwe na hatua za kuondoka- bua kero kubwa ya maji inayowakabili wananchi na nayo zimeanza kuchukuliwa ikiwemo ya ujenzi imeamua kutekeleza miradi 17 ya kimkakati Kanda na Usafi wa Mazingira wa tanki la lita milioni mbili hapo Kisesa ambalo ya Ziwa itakayogharimu Sh. bilioni 788 ili kutatua Jijini Mwanza litakamilika mapema 2020. changamoto hiyo kwa kutumia maji ya ziwa Victoria,” “Kero ya maji ni kubwa na hatua zinaz- alisema Profesa Mkumbo. (MWAUWASA).

0800110023

mwauwasatz

Baadhi ya wananchi wa Kisesa, Wilayani Magu wakimsikili- mwauwasa za Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Profesa Kitila Mkumbo (hayupo pichani). O3 Mwanza Urban Water Supply And Sanitation Authority NEWS BULLETIN Oktoba 2019 amlaka za maji zinazotumia bei za kukadiria (flat rates) kote nchini zimepewa miezi mitatu kuhakikisha zinawafungia dira Mza maji wateja wao wote ili kila mteja alipe gharama ya maji kwa kiasi ali- chotumia. Waziri wa Maji, Profesa Makame Mbarawa (Mb) alitoa agizo hilo Sep- temba 14, 2019 alipokuwa akizindua mradi wa maji wa Kijiji cha Shilima Kata ya Kikubiji, Wilaya ya Kwimba Mkoani Mwanza. Waziri Mbarawa alisema Serikali imetenga Bilioni moja kusaidia mamla- ka za maji ambazo hukadiria matumizi ya maji wateja wake badala ya kutumia dira ya maji ili kuepuka kumbebesha mteja mzigo usiyo kuwa wake. Waziri Mbarawa vilevile ameziagiza mamlaka za maji za mikoa kuhakiki- sha zinadhibiti upotevu wa maji kwani maji mengi yanapotea kabla ya kufika kwa wananchi sambamba na kuongeza Waziri wa Maji, Mhe. Prof. Makame Mbarawa (Mb) akikata utepe kuzindua rasmi mradi wa mtandao wa maji ili kuwaunganisha wa- maji wa Kijiji cha Shilima, Kata ya Kikubiji, Wilaya ya Kwimba, Mkoani Mwanza. nanchi wengi zaidi. Akizungumzia mradi wa maji wa Shilima, Profesa Mbarawa alisema ujen- zi wake ni utekelezaji wa Sera ya Maji pamoja na Ilani ya Chama Cha Map- MAAGIZO YA WAZIRI MBARAWA induzi inayoelekeza kuwapatia hudu- ma ya majisafi na salama kwa asilimia 85 wakazi wote waishio vijijini ifikapo mwaka 2020. KWA MAMLAKA ZA MAJI NCHINI Aliongeza kuwa uzinduzi wa mradi huo ni awamu ya kwanza ya utekelezaji kama alivyokuwa ameelekeza. ji wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi ni wastani wa watu 250 kwa kila wa mradi wa maji katika Vijiji vya Shili- Aidha, aliwaasa wananchi wa wa Mazingira Jijini Mwanza (MWAU- gati. ma, Mhande na Izizimba. Shilima kuhakikisha wanashirikiana WASA) ambaye alikuwa msimamizi Waziri Mbarawa tarehe 3 Julai, Alibainisha kwamba mradi wa maji kuulinda na kuutunza mradi kwa mkuu wa ujenzi, Mhandisi Anthony 2019 akiwa katika ziara ya kikazi wa Shilima ulianza kutekelezwa mwaka maslahi mapana ya sasa na ya vizazi Sanga alisema walizingatia agizo la Wilayani Kwimba alitoa ahadi ya ku- 2013 na ulitakiwa kukamilika katika kip- vijavyo. Waziri Mbarawa na kwamba mradi kamilisha mradi huo kwa kutumia indi cha miezi sita. Hata hivyo, kutokana “Itakua ni jambo la aibu sana huo ulikamilka tarehe 25 Agos- wataalamu wa ndani kwa kuhakiki- na udhaifu wa Mkandarasi aliyekuwa kama mtafanya uharibifu kwenye ti, 2019 kabla ya muda uliyokuwa sha wananchi wa Kijiji cha Shilima anautekeleza pamoja na usimamizi mb- miundombinu ya mradi huu kwani umeelekezwa. Kwa upande wake wanapata maji katika kipindi cha ovu haukuweza kukamilika kwa wakati. mmeteseka sana kuusubiri mradi Meneja wa RUWASA Wilaya ya miezi miwili, yaani hadi kufikia tare- Waziri Mbarawa aliwapongeza wote huu hivyo ni vyema mkashirikiana Kwimba, Mhandisi Boaz Matundalo he 3 Septemba, 2019, ahadi ambayo walioshiriki kwenye ujenzi wa mradi kwa kuutunza huu ni mradi wenu,” alise- alisema kuwa Kijiji cha Shilima kina hata hivyo ilikamilika tarehe 25 namna mbalimbali na kwa ushirikiano ma Profesa Mbarawa. wakazi wapatao 7,526 ambapo mra- Agosti, 2019 siku tisa kabla ya tare- waliotoa kwa kipindi chote cha ujen- Akizungumzia ujenzi wa mradi di huu wenye magati 35 una uwezo he ya makubaliano. zi wake hadi unakamilika kwa wakati huo, aliyekuwa Mkurugenzi Mtenda- wa kuhudumia wakazi 8.750 ikiwa

Waziri wa Maji, Mhe. Prof. Makame Mbarawa (Mb) akifungua bomba la Baadhi ya wananchi waliofika kushuhudia uzinduzi wa mradi wa maji wa Shilima O4 maji la mradi wa Shilima wakati wa uzinduzi wa mradi huo Septemba 14, 2019 Mwanza Urban Water Supply And Sanitation Authority NEWS BULLETIN Oktoba 2019 PONGEZI KWA MHANDISI ANTHONY SANGA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Mhandisi Anthony Sanga kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji kati- ka hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam, Septemba 22, 2019. (Picha na Ikulu).

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Makamu wa Rais Mheshimiwa , O5 Viongozi wengine wa Serikali Kuu katika picha ya pamoja na viongozi waliopishwa Ikulu jijini Dar es Salaam, Septemba 22, 2019 (Picha na Ikulu). Mwanza Urban Water Supply And Sanitation Authority NEWS BULLETIN Oktoba 2019 KYAKA KUPATA HUDUMA YA MAJISAFI KUTOKA MTO KAGERA

Watendaji na Wataalam kutoka Mamlaka za Maji Mwanza (MWAUWASA) na Buko- ba (BUWASA) alisisitiza kwamba Serikali ya Awamu ya Tano chini ya Rais Dkt. imedhamiria kuwaondolea wa- nanchi wake kero ya maji na aliwahaki- kishia wananchi wa Kyaka kwamba kero ya maji inakwenda kuwa historia. Profesa Mbarawa alisema Mkandarasi mahiri atapewa jukumu hilo la kujenga mradi wa maji na aliwasihi wananchi hao wa Kyaka kutakapojeng- wa chanzo cha maji kutoa ushirikiano kwa Mkandarasi atakayetekeleza mradi ili ukamilike kwa wakati na kwa kiwango. “Tumesema sasa imetosha wa- nanchi kuhangaika, tunawahakikishia wananchi wote wa Kyaka kuwa mtapa- ta majisafi na salama kutoka Mto Kag- era, tunajenga mradi mkubwa wa maji Waziri wa Maji, Profesa Makame Mbarawa akizungumza kwenye mkutano wa hadhara na wananchi ambao pia ni endelevu,” alisema Waziri wa Kyaka (hawapo pichani) ikiwa ni utekelezaji wa agizo la Rais Dkt. John Magufuli. Mbarawa.

aziri wa Maji, Profesa Makame Karagwe kuelekea Wilayani Chato, Rais Waziri Mbarawa alimuagiza Mbarawa amewahakikishia Magufuli alisimama katika Mji Mdogo Mkurugenzi Mtendaji wa MWAUWASA, wananchi wa Kyaka, Wilaya ya wa Kyaka kusalimiana na wananchi na wakati huo Mhandisi Anthony Sanga Misenyi Mkoani Kagera kupa- walimueleza kero ya muda mrefu ya (sasa ni Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Wta huduma ya majisafi na salama kutoka upatikanaji wa huduma ya majisafi na Maji) kushirikiana na Mkurugenzi wa Mto Kagera. salama. Maji Bukoba, Allen Marwa na wataalam Kauli hiyo aliitoa Julai 12, 2019 Rais Dkt. Magufuli alimuagiza wengine kutoka Wizara ya Maji kutath- wakati wa ziara yake Wilayani humo iki- Waziri Mbarawa kwa njia ya simu mbele mini na kuratibu haraka shughuli za wa ni utekelezaji wa agizo la Rais wa ya wananchi hao kufika eneo hilo siku ujenzi wa mradi. Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. iliyofuata kuzungumza nao na kuhakiki- Kukamilika kwa mradi huo ku- John Pombe Magufuli alilolitoa Julai 11, sha kero hiyo inatatuliwa. tanufaisha wananchi wa maeneo ya Kya- 2019. Katika utekelezaji wa agizo hilo, ka, Bunazi na maeneo mengine yanayo- Akiwa njiani akitokea Wilayani Waziri Mbarawa akiwa ameongozana na zunguka mradi.

Mu- onekano wa Mto Kagera kutokea eneo linal- opende- kezwa kujengwa tenki la maji Kyaka.

Waziri wa Maji, Profesa Makame Mbarawa (kulia) akitoa maelekezo ya utekelezaji wa mradi wa maji Kyaka kwa wataalam alipotembelea aneo O6 linalopendekezwa kujengwa tenki la maji. Kushoto ni aliyekuwa Mkuru- Baadhi ya wananchi wa Kyaka wakimsikiliza Waziri wa Maji, Profesa genzi Mtendaji wa MWAUWASA, Mhandisi Anthony Sanga ambaye sasa ni Makame Mbarawa (hayupo pichani). Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maji. Mwanza Urban Water Supply And Sanitation Authority NEWS BULLETIN Oktoba 2019

Mbunge wa Jimbo la Kwimba Mhe. Shanif Mansoor (CCM) (katikati) akiny- wa maji ya Mradi wa Kijiji cha Shilima wakati wa sherehe za kupokea mradi huo.

Baadhi ya wananchi wa Kijiji cha Shilima na vijiji vya jirani wakimsikiliza Mbunge wao Shanif Mansoor (hayupo pichani) wakati wa sherehe za kuupokea mradi wa maji wa Shilima. KERO ILIYODUMU KWA MIAKA ziri Mkuu alifika hapa na baadaye Waziri wa maji, waliahidi na wametimiza,” alisema Mhe. Mansoor. SITA YAWA HISTORIA Kwa upande mwingine Mhe. Mansoor ananchi wa Kijiji cha Shili- ilikuwa ni kubwa. aliipongeza Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa ma, Kata ya Kikubiji Wilaya ya Akizungumzia historia ya mradi huo, Mhe. Mazingira Jijini Mwanza (MWAUWASA) chi- Kwimba, Mkoani Mwanza wam- Mansoor alisema ulianza kutekelezwa mwaka ni ya aliyekuwa Mkurugenzi wake, Mhandisi eipongeza Serikali kupitia Mam- 2013 lakini Mkandarasi alikua akisuasua na Anthony Sanga ambaye sasa ni Naibu Katibu lakaW ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Jijini baada ya Waziri kufika kwenye eneo hilo ali- Mkuu wa Wizara ya Maji kwa kukamilisha Mwanza (MWAUWASA) kwa kukamilisha mradi fanikisha kuvunja mkataba na kazi ya ujenzi wa mradi huo kwa wakati kama ilivyokuwa ime- wa maji uliyokuwa umesimama kwa miaka sita mradi huo kukabidhiwa rasmi kwa MWAUWA- agizwa na Waziri wa Maji, Profesa Makame Mbunge wa Jimbo la Kwimba Mhe. Shanif SA. “Namshukuru sana Profesa Mbarawa, alifika Mbarawa. Mansoor (CCM) ametoa pongezi hizo kwa niaba hapa na kujionea hali halisi na hatimaye ali- “Kwakweli MWAUWASA inafanya kazi kub- ya wananchi hao Septemba 22, 2019 alipoju- fanikiwa kusitisha mkataba na Mkandarasi na wa na nzuri sana, kwa kipekee nampongeza muika nao kusherehekea kukamilika kwa mradi kukabidhi rasmi ujenzi wa mradi kwa MWAU- sana Mhandisi Sanga kwa kuusimamia mradi huo ambao ulipaswa kukamilika tangu mwaka WASA,” alisema. huu kwa weledi mkubwa na sasa umekami- 2013 lakini kutokana na udhaifu wa Mkandara- Mhe. Mansoor alitoa shukrani zake kwa Ser- lika,” alisema. si haukuweza kukamilika kwa wakati. ikali kwa niaba ya wananchi wa Shilima amba- Naye Diwani wa Kata ya Kikubiji, Alfred Alisema Serikali ya Awamu ya Tano chini ya po alielezea adha waliyokuwa wakiipata kabla Luteja aliipongeza Serikali ya Awamu ya Rais Dkt. John Pombe Magufuli ni ya vitendo, ya kukamilika kwa mradi huo, alisema shughuli Tano kupitia Wizara ya Maji ambayo ilieleke- ikiahidi inatimiza kwani ameshuhudia miradi nyingi za kimaendeleo zilisuasua kutokana na za mradi huo ukamilishwe na MWAUWASA. mingi ikitekelezwa kwa ufanisi na kwa wakati. kukosekana huduma ya maji ya uhakika kwani “Serikali yetu ni sikivu, tumeieleza na imesikia Mhe. Mansoor alisema kukamilika kwa mra- wananchi walitumia muda mwingi kufuata na imefanyia kazi kilio chetu, hatimaye sasa di huo ni kama ndoto ambayo wananchi wake maji umbali mrefu na hivyo kushindwa kushiri- tunatumia maji kutoka Ziwa Victoria,” alisema wamekuwa hawana uhakika wa lini itatokea ki kikamilifu shughuli nyingine za maendeleo. Luteja. Sherehe hizo za kupongeza mradi vi- hasa ikizingatiwa kwamba kero ya maji kwa “Kwa niaba ya wananchi wa Shilima nai- levile zilihudhuriwa na Kaimu Mkurugenzi wananchi wa Kijiji cha Shilima, Kata ya Kikubiji shukuru sana Serikali ya Awamu ya Tano, Wa- Mtendaji wa MWAUWASA, Meck Manyama, viongozi mbalimbali na wananchi wa vijiji vya jirani. Mradi wa Shilima ulizinduliwa rasmi na Waziri wa Maji, Profesa Makame Mbarawa Septemba 14, 2019 ikiwa ni utekelezaji wa Sera ya Maji pamoja na Ilani ya inayoelekeza kuwapatia huduma ya majisafi na salama kwa asilimia 85 wakazi wote waishio vijijini ifikapo mwaka 2020. Wananchi wa Shilima Kijiji cha Shilima ni moja ya Vijiji 12 wakijipatia huduma ya vilivyopo kwenye utekelezaji wa programu ya maji kutoka kwenye mradi maji na usafi wa Mazingira Vijijini Wilayani uliyozinduliwa hivi karibuni Kwimba. Katika utekelezaji wa program ambao unatoa maji kutoka hiyo, tayari vijiji vya Ishingisha, Mwabilanda, Ziwa Victoria. Nyambiti, Milyungu, Nyanhinga, Hungumalwa, Igunghya na Igumangobo vimeanza kutoa huduma ya maji na kusimamiwa na wananchi kupitia kamati zao za maji. Kijiji cha Shilima kilichopo kwenye Kata ya Kikubiji kina wakazi wapatao 7,526 ambapo mradi huu wenye magati 35 una uwezo wa kuhudumia wakazi 8,750 ikiwa ni wastani wa O7 watu 250 kwa kila gati. Mwanza Urban Water Supply And Sanitation Authority NEWS BULLETIN Oktoba 2019 TUNATEKELEZA KWA VITENDO ZIARA YA WAZIRI MBARAWA SERIKALI YAONGEZA FURAHA KWENYE MRADI WA MAJI MSALALA KWA WANANCHI KWIMBA aziri wa Maji, Profesa Makame Mbarawa alifanya ziara kwenye mradi wa maji wa pamoja un- aohusisha Halmashauri Tatu za WMsalala, Nyang’hwale na Shinyanga Vijiji- ni maarufu kama Joint Water Partnership Project (JWPP) kwa lengo la kujionea hat- ua iliyofikiwa ya utekelezwaji wake. Mradi huo utanufaisha zaidi ya wana- nchi 100,000 kutoka vijiji 14 ambavyo ni Mhando, Mwenge (Halmashauri ya Shinyanga vijijini), Nyugwa, Mwamakili- ga, Izunya, Karumwa, Kafita, Lushimba (Nyang’hwale) na Kakola Namba 9, Rwa- bakanga, Busindi, Bugarama, Bushing’we, Ilogi (Msalala). Katika ziara hiyo, Waziri Mbarawa aliambatana na aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Mamkala ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Jijini Mwanza (MWAUWA- SA), Mhandisi Anthony Sanga ambao ndio wasimamizi wa mradi kwa niaba ya Wiz- ara ya Maji.

Waziri wa Maji, Profesa Makame Mbarawa (kushoto) akisikiliza maelezo ya utekelezaji wa mradi wa maji wa Msalala kutoka kwa O8 aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa MWAUWASA, Mhandisi Antho- ny Sanga (katikati). Mwanza Urban Water Supply And Sanitation Authority NEWS BULLETIN Oktoba 2019 SERIKALI YAONGEZA FURAHA KWA WANANCHI KWIMBA ara baada ya kukamilika Mbarawa kwa kuamua kufuta mka- kwa mradi wa maji wa Shil- taba na mkandarasi huyo na kuwapa ima, MWAUWASA Bulletin, kazi MWAUWASA ambao wameute- ilizungumza na wanufaika keleza kwa miezi miwili tu. Mambao walieleza hali ilivyokuwa na namna ambavyo wameupokea mra- Angelina Lugembe di huku pongezi nyingi zikitolewa Kukamilika kwa mradi huu ni fa- kwa Serikali kupitia MWAUWASA. raja hasa kwetu sisi wanawake na wasichana maana wakati mwingine Alfred Luteja, mabinti walilazimika kuacha kwen- Diwani Kata ya Kikubiji da shule ili kuwasaidia mama zao Tangu tunazaliwa hatukuwahi kufuata maji na walikuwa wakiku- kuwa na maji safi na salama katika tana na changamoto mbalimbali nji- kijiji chetu tulikuwa tukitumia maji ani ikiwemo kukimbizwa na vibaka ya kwenye mito na mabwawa hadi na baadhi yao walishawishiwa na mwaka 2014 tulipoletewa visima wavulana njiani na kujiingiza katika saba vya hesawa katika vijiji vinne mapenzi wakiwa na umri mdogo. ambavyo ni Ikubiji, Mwabayanda, Mwalubunzwe na Shilima ndiyo Antony Nyanda vikawa mkombozi wetu lakini navyo Tunaishukuru sana Serikali yetu havikudumu sana baadhi viliharib- kwa kutumalizia kero hii ya maji ika na vingine havitoi maji kutoka- ambayo ilitusumbua sana. Tulikuwa na na mabadiliko ya tabia nchi hasa tunafuata maji kutoka mbali sana wakati wa kiangazi hadi sasa vime- kwenye Kijiji cha Nyabusalu nah baki viwili tu. ii ilituchukulia muda wetu mwin- Tungepata maji tangu Desemba gi hali ambayo ilisababisha tush- 2017 lakini mkandarasi aliyepewa indwe kujikita kwenye shughuli za kazi hiyo naye akawa kikwazo kikub- kimaendeleo. Kwa sasa ni kufanya wa tunashukuru maamuzi ya Waziri kazi tu kujiletea maendeleo kwani Mkuu, Mhe. na Wa- hatusumbuki tena kutembea umbali ziri wa Maji, Mhe. Profesa Makame mrefu kufuata maji Angelina Lugembe

Alfred Luteja O9 Antony Nyanda Mwanza Urban Water Supply And Sanitation Authority NEWS BULLETIN Oktoba 2019

10 Mwanza Urban Water Supply And Sanitation Authority NEWS BULLETIN Oktoba 2019

11 Mwanza Urban Water Supply And Sanitation Authority NEWS BULLETIN Oktoba 2019

12 Mwanza Urban Water Supply And Sanitation Authority NEWS BULLETIN Oktoba 2019

13 Mwanza Urban Water Supply And Sanitation Authority NEWS BULLETIN Oktoba 2019

14 Mwanza Urban Water Supply And Sanitation Authority NEWS BULLETIN Oktoba 2019 WATUMISHI MWAUWASA WAPEWA SOMO

Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi MWAUWASA, Edith Mudogo (aliyesimama) akizungumza na watumishi wa MWAUWASA (hawapo pichani). Kushoto ni aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji, Mhandisi Anthony Sanga. Kutoka kulia ni Meneja Utawala na Rasilimali Watu wa MWAUWASA, Deogratias Magayane, Wajumbe wa Bodi, Denisa Pagula na Ellen Bogohe atumishi wa Mamlaka ya Majisafi Mhandisi Sanga aliwakumbusha watumishi chi wengi zaidi hususan wale wa maeneo ya pem- na Usafi wa Mazingira Jijini Mwan- hao jukumu lao kuu ambalo ni kuhakikisha wana- bezoni. za (MWAUWASA) wametakiwa nchi wanapata huduma ya maji na aliwataka ku- “Hapa tuna watumishi wa kada mbalimba- kushirikiana katika utekelezaji wa hakikisha wanatekeleza jukumu hilo kwa ufanisi li, sasa itapendeza kila mtumishi kwa kada yake majukumu yao na kufanya kazi kwa na ubunifu mkubwa ili kuwafikia wananchi wengi atazame ni vipi anaweza kuwa na mchango wa Wuadilifu. zaidi. kusambaza huduma hii ya maji kwa wananchi Wito huo ulitolewa na aliyekuwa Mkurugenzi Alibainisha kwamba endapo kila mtumishi waishio maeneo ya pembezoni,” alisema Mudogo. Mtendaji wa MWAUWASA ambaye sasa ni Naibu atatimiza majukumu yake kama inavyostahi- Aliwahakikishia ushirikiano kutoka kwa Bodi ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Mhandisi Anthony li, huduma itaboreka zaidi na maeneo mengi Wakurugenzi hasa ikizingatiwa kwamba dhamira Sanga wakati wa mkutano na wafanyakazi wote yatafikiwa hasa ikizingatiwa kwamba Jiji la Mwan- ya Bodi ni kuona wananchi wengi zaidi wanapata uliofanyikia kwenye ukumbi wa Mikutano wa za linakuwa kwa kasi. huduma ya maji bila kujali maeneo waliyopo. Mamlaka kwenye jengo la Maji House ikiwa ni “Tunapaswa kwenda na kasi ya ukuaji wa Jiji “Sisi kama Bodi matamanio yetu ni kuona wa- utaratibu aliyokuwa amejiwekea wa kuzungumza letu, hatupaswi kuachwa nyuma; kadri Jiji lina- nanchi wote wa Jiji la Mwanza wanapata huduma na watumishi wote kila mwezi. vyozidi kutanuka nasi hatuna budi kutanua hudu- ya maji kutoka MWAUWASA; hatupo tayari kuo- Mhandisi Sanga alisema ili kupata matokeo ma zetu na busara zaidi ni kufika mbali zaidi kwa na mnashindwa kutimiza majukumu yenu, tupo chanya, watumishi wote hawana budi kuhakikisha maana yakufika kwenye maeneo ambayo bado Jiji nanyi, tufanye kazi,” alisisitiza. wanafanya kazi kwa uadilifu na wanakuwa kitu ki- halijafika,” alisema Mhandisi Sanga. Aidha, mkutano huo ulitumika kutambua jiti- moja na kwamba kila mtumishi anapaswa kutam- Kwa upande wake Makamu Mwenyekiti wa hada za watumishi waliofanya kazi MWAUWASA bua na kuheshimu nafasi ya mwenzake kwenye Bodi ya Wakurugenzi, Edith Mudogo aliwaasa kwa miaka 15 ambapo watumishi sita walik- utekelezaji wa majukumu ya kila siku. watumishi wote kuwa wazalendo na aliwataka abidhiwa tuzo za utumishi wa muda mrefu ikiwa “Hakuna mtumishi aliyebora kumzidi mwen- watumie nafasi walizonazo kuhakikisha wananchi ni ishara ya kutambua jitihada zao za muda mrefu zake, sote tunahitajiana ili kutimiza majukumu wanapata huduma ya maji kama inavyostahili. katika kuwahudumia wananchi. yetu na ndiyo maana kukawa na mgawanyo wa Alisema MWAUWASA inawatumishi wa kada Tuzo hizo za utumishi wa muda mrefu hutole- majukumu. Yatupasa tufanye kazi kwa pamoja mbalimbali na kwamba yampasa kila mtumishi wa kila mwaka ambapo mtumishi anayetimiza mi- kwa kuzingatia umuhimu wa kila mmoja wetu,” kwa kada yake afikirie namna bora ya kuhakikisha aka 15 hukabidhiwa ikiwa ni ishara ya kutambua alisema Mhandisi Sanga. huduma ya maji inaimarika na kuwafikia wanan- utumishi wake kwa muda wote huo.

Baadhi ya watumishi wa MWAUWASA wakimsikiliza liyekuwa Mku- rugenzi Mtendaji, Mhandisi Anthony Sanga (hayupo pichani) wakati wa mkutano wa watumishi wote uliofanyikia kwenye ukumbi wa Baadhi ya watumishi wa MWAUWASA wakimsikiliza Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi MWAUWASA, Edith Mudogo (hayupo pichani) wakati wa mkutano. mikutano wa mamlaka maarufu kama Maji House 15 Mwanza Urban Water Supply And Sanitation Authority NEWS BULLETIN Oktoba 2019 WAKANDARASI MRADI WA MAJI SAME- MWANGA WATAKIWA KUONGEZA KASI

akandarasi wanaotekeleza mra- di wa maji wa Same-Mwanga wametakiwa kuongeza kasi ya utekelezaji wake ili ukamilike Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Mhandisi Anthony Sanga (wa pili kushoto) akitembelea kituo cha tiba ya maji Wkwa wakati. cha mradi wa Same-Mwanga kinachojengwa na Kampuni ya M.A Kharafi & Sons. Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Mhandisi Anthony Sanga ametoa Mhandisi Sanga aliwataka Wakandarasi vumilia mkandarasi ambaye anachelewesha maelekezo hayo Septemba 28, 2019 wakati kuwa wepesi kwenye kufanya mawasiliano mradi bila ya kuwa na sababu za msingi. wa ziara yake iliyolenga kukagua hatua ya na Wizara kila wanapokutana na changamo- “Wanachohitaji wananchi ni maji, Serikali ujenzi iliyofikiwa na Wakandarasi wanaote- to yoyote ambayo ipo nje ya uwezo wao ili haitomvumilia Mkandarasi ambaye atash- keleza mradi huo ambao ni kampuni ya M.A ufumbuzi upatikane haraka bila kuchelewe- indwa kwenda na kasi inayokubalika,” ali- Kharafi & Sons na kampuni ya Badr East sha shughuli za ujenzi wa mradi. bainisha Mhandisi Sanga. Africa Enterprises. “Sijaridhishwa na kasi yenu ya ujenzi wa Mhandisi Sanga vilevile aliwakumbusha Mara baada ya kujionea shughuli mradi. Kama kuna changamoto mnakutana wakandarasi hao kuhakikisha manunuzi zilizokuwa zikiendelea na kupokea taari- nazo zilizo nje ya uwezo wenu mhakikishe ya vifaa vinavyohitajika kwenye ujenzi wa fa ya mradi kutoka kwa wakandarasi hao, mnawasiliana na Wizara mapema iwezeka- mradi huo yanafanyika hapa nchini badala Mhandisi Sanga alieleza kutoridhishwa na navyo ili tupate ufumbuzi,” alisema Mhandisi ya kuagiza kutoka nje ya nchi hasa ikizinga- kasi ya utekelezwaji wake na aliwasisitiza Sanga. tiwa kwamba vingi vinapatikana hapa hapa kuhakikisha kuwa mradi unakamilika kwa Aliongeza kwamba Serikali inachohita- Nchini. wakati. ji ni kuona matokeo na haipo tayari kum- INAENDELEA UK 16

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Mhandisi Anthony Sanga (mbele) Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Mhandisi Anthony Sanga (katikati) akitembelea akikagua ujenzi wa kituo cha kusukuma maji (booster station) cha mradi kituo cha tiba ya maji cha mradi wa Same-Mwanga kinachojengwa na Kampuni ya M.A 16 wa Same-Mwanga kinachojengwa na Kampuni ya Badr East Africa Kharafi & Sons. Enterprises. Mwanza Urban Water Supply And Sanitation Authority NEWS BULLETIN Oktoba 2019 WAKANDARASI MRADI WA MAJI SAME- MWANGA WATAKIWA KUONGEZA KASI

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Mhandisi Anthony Sanga (wa tatu kutoka kulia) alipotembelea eneo la chanzo cha maji (Bwawa la Nyumba ya Mungu) cha mradi wa Same- Mwanga akimsikiliza Mratibu wa Mra- di kutoka Wizara ya Maji, Mhandisi Emma Magembe.

WAKANDARASI MRADI WA MAJI SAME-MWANGA WATAKIWA KUONGEZA KASI INATOKA UK 16 kwa siku ambayo ni zaidi na mahitaji yali- yopo kwa sasa ya lita milioni 78.38 kwa Wakandarasi hao kwa nyakati tofau- kutumia maji kutoka kwenye Bwawa la ti walimuahidi Naibu Katibu Mkuu Sanga Nyumba ya Mungu na utanufaisha jumla ya kuongeza kasi ya utekelezaji wa mradi sam- wananchi wapatao 438,931 kutoka Wilaya bamba na kuzingatia maelekezo aliyoyatoa. za Same, Mwanga na baadaye Korogwe. Akiwasilisha taarifa ya mradi, Mratibu Mhandisi Magembe alisema mradi un- wa Mradi kutoka Wizara ya Maji, Mhandisi atekelezwa kwa awamu mbili, awamu ya Emma Magembe alisema mradi umesani- kwanza ikihusisha ujenzi wa miundombinu fiwa kuzalisha kiasi cha lita milioni 103.68 ya uzalishaji maji na usambazaji kwenye Mji

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Mhandisi Anthony Sanga (kushoto) akimsikiliza Mtaalam Mshauri kutoka Kampuni ya ECG anayesimamia ujenzi wa chanzo cha maji na kituo cha tiba ya maji Mhandisi Nabil Fathy. wa Same na Mwanga na huku awamu ya pili ikihusisha usambazaji wa maji kwenye vijiji 29 vya Wilaya za Mwanga, Same na Korog- we vilivyopo kwenye eneo la mradi. Mradi wa Same-Mwanga ni miongoni mwa miradi mikubwa inayotekelezwa na Serikali kwa lengo la kuondoa kero ya maji kwa wakazi wa Miji ya Same na Mwanga, Mkoani Kilimanjaro na baadaye Korogwe Mkoani Tanga. Ziara hiyo ya Naibu Katibu Mkuu Sanga kwenye mradi huo ni ya kwanza tangu ame- teuliwa na kuapishwa kushika wadhifa huo Septemba 22, 2019

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Mhandisi Anthony Sanga (wa pili kushoto) akikagua moja ya tenki la maji la mradi wa Same-Mwanga linalojengwa na Kampuni ya Badr East Africa Enterprises. 17 Mwanza Urban Water Supply And Sanitation Authority NEWS BULLETIN Oktoba 2019

Washirika wa maendeleo wakiwa katika picha ya pamoja na watendaji Serikalini. Katikati waliokaa ni aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Mhandisi Em- manuel Kalobelo; kulia kwake ni Ofisa Mradi kutoka AFD, Katell Rivolet na aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Maji Jijini Mwanza (MWAUWASA), Mhandisi Anthony Sanga na kushoto kwake ni Mkuu wa Msafara wa AFD, Claire Fargeaudou na Mratibu mradi kutoka EIB, Raoul Pedrazzani.

enki ya Uwekezaji ya Ulaya (EIB) na Shirika la Maendeleo la Ufaransa (AFD) zimeipongeza Mamlaka ya WASHIRIKA WA MAENDELEO Majisafi na Usafi wa Mazingira- Ji Bjini Mwanza (MWAUWASA) kwa umakini wake kwenye usimamizi wa miradi in- zzaniWAIPONGEZA alisema miradi inayotekelezwa chini MWAUWASAbavyo Serikali inatekeleza miradi maeneo ayotekelezwa kupitia Programu ya Ubore- ya Programu ya LV WATSAN imeonyesha mbalimbali kote nchini. shaji wa Huduma ya Majisafi na Usafi wa mafanikio makubwa na kwamba MWAU- Naye aliyekuwa Afisa Miradi kuto- Mazingira ijulikanayo kama LV WATSAN. WASA inastahili pongezi kwa jukumu hilo ka AFD, Clement Kivegalo akizungumza Pongezi hizo zilitolewa na wawakilishi la kuisimamia miradi iliyopo kwenye pro- kwa niaba ya ujumbe alioambatana nao, wa washirika hao wa maendeleo wakati gramu hiyo kwa umakini na weledi mkub- alisema wameridhishwa na hatua ya ute- wa ziara yao kwenye mradi wa maji wa wa kwa niaba ya Wizara ya Maji. kelezaji wa mradi na kwamba AFD ita- Lamadi ambao ni moja ya miradi inayo- Pedrazzani alibainisha kwamba EIB ongeza udhamini kadri itakavyohitajika tekelezwa kupitia programu hiyo ya LV ina nia ya dhati ya kupanua ushirikiano kufanya hivyo. WATSAN. na Serikali ya Tanzania katika siku zi- Mratibu mradi kutoka EIB, Raoul Pedra- jazo kwani imeridhishwa na namna am- INAENDELEA UK 18

Ujumbe wa washirika wa maendeleo wakiwa katika picha ya pamoja na Watendaji kutoka Serikali kwenye eneo la chanzo cha maji cha maji mradi wa Lamadi. 18 Mwanza Urban Water Supply And Sanitation Authority NEWS BULLETIN Oktoba 2019 WASHIRIKA WA MAENDELEO WAIPONGEZA MWAUWASA INATOKA UK 18 Shilingi Bilioni 12.83. Mhandisi Sanga alisema mradi utazal- Kwa upande wake Mkuu wa Wilaya isha lita Milioni 3.3 za maji kwa siku am- ya Busega, Tano Mwera ambaye alikuwa bayo ni mara mbili ya mahitaji ya sasa ya mwenyeji wa ugeni huo wilayani hapo, wananchi wa Lamadi na maeneo jirani alisema mradi unatarajiwa kuleta maba- hasa ikizingatiwa kwamba mradi ume- diliko makubwa kwenye wilaya na husu- buniwa kuhudumia wananchi zaidi ya san katika mji wa Lamadi na alitoa wito 60,000. Aliongeza kuwa hatua ya kwanza kwa wawekezaji kujitokeza kwani maji ya ya maunganisho kwa wananchi; mradi uhakika yamepatikana na kwamba mi- utaunganisha kaya zipatazo 5000 na ali- undombinu mingine ipo vizuri ikiwemo wataka wananchi kuchangamkia mradi barabara na umeme wa uhakika. ili kujiletea maendeleo. Kwa upande wake aliyekuwa Mkuru- Kabla ya ziara hiyo, washirika hao Washiriki wa mkutano wakikagua miundombinu ya tiba ya genzi Mtendaji wa MWAUWASA, Mhandi- wa maendeleo walifanya mkutano Jijini maji kwenye mradi wa Maji wa Lamadi. Wa kwanza ni Mratibu si Anthony Sanga akiuelezea mradi alise- Mwanza na watendaji kutoka Serikalini mradi wa LV WATSAN kutoka EIB, Raoul Pedrazzani. ma unafadhiliwa na Serikali ya Jamhuri kwa ajili ya majadiliano na tathmni ya ya Muungano wa Tanzania kwa asilimia hatua za zilizofikiwa kwenye ujenzi wa mia moja kupitia mkopo wa masharti na- miradi ya maji inayotekelezwa chini ya fuu kutoka EIB na AFD kwa gharama ya Program ya LV WATSAN.

Muonekano wa baadhi ya maeneo ya mradi wa maji wa Lamadi Ujumbe wa washirika wa maendeleo ulitembelea maeneo mbalimbali ya mradi. Pichani ni sehemu ya eneo ambao ulitembelewa na ujumbe wa washirika wa maendeleo. la Tiba ya Maji.

19