Miradiya Bilioni 788 Kutekelezwa

Miradiya Bilioni 788 Kutekelezwa

Mwanza Urban Water Supply And Sanitation Authority Mwanza Urban Water Supply And Sanitation Authority NEWS BULLETIN Oktoba 2019 NEWS BULLETIN TOLEO NAMBA: O5 OKTOBA, 2019 www.mwauwasa.go.tz TUNATEKELEZA KWA VITENDO ZIARA YA WAZIRI MBARAWA KWENYE PONGEZI KWA MRADI WA MAJI MHANDISI MSALALA uk 8 ANTHONY SANGA uk 4 SERIKALI YA DKT. MAGUFULI NI YA VITENDO- PROF MKUMBO MIRADI YA BILIONI 788 KUTEKELEZWA KANDA YA ZIWA VICTORIA uk 2 Mwanza Urban Water Supply And Sanitation Authority NEWS BULLETIN Oktoba 2019 MIRADI YA BILIONI 788 KUTEKELEZWA KANDA YA ZIWA VICTORIA erikali inatekeleza miradi 17 ya maji yenye thamani ya Shilingi Bil- ioni 788 ikiwa ni hatua mojawapo ya utatuzi wa changamoto ya upa- tikanaji wa maji kwa kutumia maji ya Ziwa Victoria. Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Profesa Kitila Mkumbo ali- yasema hayo Agosti, 2019 alipofa- nya ziara kwenye mradi wa maji wa Nyahiti, Wilaya Sya Misungwi Mkoani Mwanza kwa lengo la kujio- nea hatua iliyofikiwa ya utekelezwaji wake. Aliwaasa wananchi waendelee kuiamini Serikali ya Rais Dkt. John Pombe Magufuli kwani hatua mbalimbali zinaendelea kuchukuliwa na Serikali yake kupitia Wizara ya Maji ya kuhakiki- sha huduma ya maji inafika kwenye maeneo yote yenye changamoto. “Tunaendelea hatua kwa hatua kutatua changamoto ya maji kwenye mikoa yote ya Tanza- nia Bara na kwa upande wa Kanda ya Ziwa tunate- keleza miradi 17 inayotumia maji kutoka Ziwa Vic- toria yeye thamani ya Bilioni 788,” alisema Profesa Mkumbo. Akiuzungumzia mradi wa maji wa Nyahi- ti, Profesa Mkumbo alisema gharama za utekeleza- ji wake ni Bilioni 13 na umekamilka kwa asilimia 97 na kwamba hatua iliyopo ni ya kuwaungan- Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Profesa Kitila Mkumbo (kulia) akisikiliza maelezo ishia wananchi ambapo takriban wateja 2,150 ya utekelezaji wa mradi wa Nyahiti kutoka kwa aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wataunganishwa kwenye awamu ya kwanza. wa MWAUWASA, Mhandisi Anthony Sanga (kushoto) wakati wa ziara yake ya ku- Alisema mradi umesanifiwa kuhudumia kagua hatua mradi. Katikati ni Mbunge wa Jimbo la Misungwi, Charles Kitwanga. wananchi wapatao 64,280 hadi ifikapo Mwaka 2040 waishio katika Mji Mdogo wa Misungwi na wake na pia fedha zitaendelea kutumika Kwa upande wake aliyekuwa Mku- Vitongoji vyake, kikiwemo kijiji cha Nyahiti ulipo kwenye uendeshaji wake. rugenzi Mtendaji wa MWAUWASA, Mhandisi mradi. Profesa Mkumbo aliipongeza Anthony Sanga alibainisha kwamba kukami- Aliwaasa wananchi kuhakikisha wanau- MWAUWASA kwa usimamizi mzuri wa mradi lika kwa mradi huo wa Nyahiti kutaongeza tunza mradi huo ili uwe endelevu kwa miaka 20 huo wa Misungwi na miradi mingine inayoi- upatikanaji wa majisafi na salama katika mji ijayo kama ulivyosanifiwa hasa ikizingatiwa kwam- simamia ikiwemo mradi wa Magu, Mkoani mdogo wa Misungwi na vitongoji vyake ku- ba Serikali imetumia fedha nyingi kwenye ujenzi Mwanza na Mradi wa Lamadi, Mkoani Simiyu. toka asilimia 42 ya sasa hadi asilimia 100. Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Profesa Kitila Mkum- bo akitembelea eneo la kutibu maji la mradi wa maji O2 wa Nyahiti, Misungwi. Mwanza Urban Water Supply And Sanitation Authority NEWS BULLETIN Oktoba 2019 Bodi ya Uhariri Mohamed Saif Assistant Manager Public Relations MWAUWASA Ikupa Enock Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Profesa Kitila Mkumbo akizungumza na wananchi wa Kisesa, Graphic Designer Wilayani Magu (hawapo pichani). SERIKALI YA DKT. MAGUFULI NI YA VITENDO- PROF MKUMBO meelezwa kuwa Serikali ya Rais Dkt. John ochukuliwa na Serikali za utatuzi wake si ahadi, Pombe Magufuli imedhamiria kumaliza kero inataka kupanua mtandao wa maji hapa Kisesa na ya maji kupitia miradi mbalimbali inayoende- kwingine ili kumaliza tatizo hilo lililodumu kwa mi- lea kutekelezwa kote nchini. aka mingi. Sisi watendaji tunatoa majibu kwa kute- Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Pro- keleza,” alisema Profesa Mkumbo. fesa Kitila Mkumbo aliyasema hayo Agosti, Profesa Mkumbo aliwaasa wananchi 2018 kwenye mkutano wa hadhara na wanan- waliopo kwenye maeneo yenye changamoto ya up- chi wa Kisesa, Wilaya ya Magu ambapo aliwa- atikanaji wa maji kuendelea kuwa na subira wakati toa hofu kuwa watapata huduma ya uhakika Serikali ikiendelea kupata ufumbuzi wa kudumu ya maji hivi karibuni baada ya kukamilika kwa mradi kupitia miradi mbalimbali inayoendelea kutekelez- Iambao unaendelea kujengwa. wa kote nchini. Alisema Serikali inatambua changamoto “Ni busara wananchi tukatazama tuliko- LIMETOLEWA NA: ya upungufu wa maji inayowakabili wananchi wa toka, tulipo na tunapokwenda. Serikali kwa kutam- Mamlaka ya Majisafi Kisesa, Bujora na Bukandwe na hatua za kuondoka- bua kero kubwa ya maji inayowakabili wananchi na nayo zimeanza kuchukuliwa ikiwemo ya ujenzi imeamua kutekeleza miradi 17 ya kimkakati Kanda na Usafi wa Mazingira wa tanki la lita milioni mbili hapo Kisesa ambalo ya Ziwa itakayogharimu Sh. bilioni 788 ili kutatua Jijini Mwanza litakamilika mapema 2020. changamoto hiyo kwa kutumia maji ya ziwa Victoria,” “Kero ya maji ni kubwa na hatua zinaz- alisema Profesa Mkumbo. (MWAUWASA). 0800110023 mwauwasatz Baadhi ya wananchi wa Kisesa, Wilayani Magu wakimsikili- mwauwasa za Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Profesa Kitila Mkumbo (hayupo pichani). O3 Mwanza Urban Water Supply And Sanitation Authority NEWS BULLETIN Oktoba 2019 amlaka za maji zinazotumia bei za kukadiria (flat rates) kote nchini zimepewa miezi mitatu kuhakikisha zinawafungia dira Mza maji wateja wao wote ili kila mteja alipe gharama ya maji kwa kiasi ali- chotumia. Waziri wa Maji, Profesa Makame Mbarawa (Mb) alitoa agizo hilo Sep- temba 14, 2019 alipokuwa akizindua mradi wa maji wa Kijiji cha Shilima Kata ya Kikubiji, Wilaya ya Kwimba Mkoani Mwanza. Waziri Mbarawa alisema Serikali imetenga Bilioni moja kusaidia mamla- ka za maji ambazo hukadiria matumizi ya maji wateja wake badala ya kutumia dira ya maji ili kuepuka kumbebesha mteja mzigo usiyo kuwa wake. Waziri Mbarawa vilevile ameziagiza mamlaka za maji za mikoa kuhakiki- sha zinadhibiti upotevu wa maji kwani maji mengi yanapotea kabla ya kufika kwa wananchi sambamba na kuongeza Waziri wa Maji, Mhe. Prof. Makame Mbarawa (Mb) akikata utepe kuzindua rasmi mradi wa mtandao wa maji ili kuwaunganisha wa- maji wa Kijiji cha Shilima, Kata ya Kikubiji, Wilaya ya Kwimba, Mkoani Mwanza. nanchi wengi zaidi. Akizungumzia mradi wa maji wa Shilima, Profesa Mbarawa alisema ujen- zi wake ni utekelezaji wa Sera ya Maji pamoja na Ilani ya Chama Cha Map- MAAGIZO YA WAZIRI MBARAWA induzi inayoelekeza kuwapatia hudu- ma ya majisafi na salama kwa asilimia 85 wakazi wote waishio vijijini ifikapo mwaka 2020. KWA MAMLAKA ZA MAJI NCHINI Aliongeza kuwa uzinduzi wa mradi huo ni awamu ya kwanza ya utekelezaji kama alivyokuwa ameelekeza. ji wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi ni wastani wa watu 250 kwa kila wa mradi wa maji katika Vijiji vya Shili- Aidha, aliwaasa wananchi wa wa Mazingira Jijini Mwanza (MWAU- gati. ma, Mhande na Izizimba. Shilima kuhakikisha wanashirikiana WASA) ambaye alikuwa msimamizi Waziri Mbarawa tarehe 3 Julai, Alibainisha kwamba mradi wa maji kuulinda na kuutunza mradi kwa mkuu wa ujenzi, Mhandisi Anthony 2019 akiwa katika ziara ya kikazi wa Shilima ulianza kutekelezwa mwaka maslahi mapana ya sasa na ya vizazi Sanga alisema walizingatia agizo la Wilayani Kwimba alitoa ahadi ya ku- 2013 na ulitakiwa kukamilika katika kip- vijavyo. Waziri Mbarawa na kwamba mradi kamilisha mradi huo kwa kutumia indi cha miezi sita. Hata hivyo, kutokana “Itakua ni jambo la aibu sana huo ulikamilka tarehe 25 Agos- wataalamu wa ndani kwa kuhakiki- na udhaifu wa Mkandarasi aliyekuwa kama mtafanya uharibifu kwenye ti, 2019 kabla ya muda uliyokuwa sha wananchi wa Kijiji cha Shilima anautekeleza pamoja na usimamizi mb- miundombinu ya mradi huu kwani umeelekezwa. Kwa upande wake wanapata maji katika kipindi cha ovu haukuweza kukamilika kwa wakati. mmeteseka sana kuusubiri mradi Meneja wa RUWASA Wilaya ya miezi miwili, yaani hadi kufikia tare- Waziri Mbarawa aliwapongeza wote huu hivyo ni vyema mkashirikiana Kwimba, Mhandisi Boaz Matundalo he 3 Septemba, 2019, ahadi ambayo walioshiriki kwenye ujenzi wa mradi kwa kuutunza huu ni mradi wenu,” alise- alisema kuwa Kijiji cha Shilima kina hata hivyo ilikamilika tarehe 25 namna mbalimbali na kwa ushirikiano ma Profesa Mbarawa. wakazi wapatao 7,526 ambapo mra- Agosti, 2019 siku tisa kabla ya tare- waliotoa kwa kipindi chote cha ujen- Akizungumzia ujenzi wa mradi di huu wenye magati 35 una uwezo he ya makubaliano. zi wake hadi unakamilika kwa wakati huo, aliyekuwa Mkurugenzi Mtenda- wa kuhudumia wakazi 8.750 ikiwa Waziri wa Maji, Mhe. Prof. Makame Mbarawa (Mb) akifungua bomba la Baadhi ya wananchi waliofika kushuhudia uzinduzi wa mradi wa maji wa Shilima O4 maji la mradi wa Shilima wakati wa uzinduzi wa mradi huo Septemba 14, 2019 Mwanza Urban Water Supply And Sanitation Authority NEWS BULLETIN Oktoba 2019 PONGEZI KWA MHANDISI ANTHONY SANGA Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Mhandisi Anthony Sanga kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji kati- ka hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam, Septemba 22, 2019. (Picha na Ikulu). Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Makamu wa Rais Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, O5 Viongozi wengine wa Serikali Kuu katika picha ya pamoja na viongozi waliopishwa Ikulu jijini Dar es Salaam, Septemba 22, 2019 (Picha na Ikulu). Mwanza Urban Water Supply And Sanitation Authority NEWS BULLETIN Oktoba 2019 KYAKA KUPATA HUDUMA YA MAJISAFI KUTOKA MTO KAGERA Watendaji na Wataalam kutoka Mamlaka za Maji Mwanza (MWAUWASA) na Buko- ba (BUWASA)

View Full Text

Details

  • File Type
    pdf
  • Upload Time
    -
  • Content Languages
    English
  • Upload User
    Anonymous/Not logged-in
  • File Pages
    19 Page
  • File Size
    -

Download

Channel Download Status
Express Download Enable

Copyright

We respect the copyrights and intellectual property rights of all users. All uploaded documents are either original works of the uploader or authorized works of the rightful owners.

  • Not to be reproduced or distributed without explicit permission.
  • Not used for commercial purposes outside of approved use cases.
  • Not used to infringe on the rights of the original creators.
  • If you believe any content infringes your copyright, please contact us immediately.

Support

For help with questions, suggestions, or problems, please contact us