Ofisi Ya Taifa Ya Takwimu Wizara Ya Fedha Na Uchumi Dar Es Salaam

Total Page:16

File Type:pdf, Size:1020Kb

Ofisi Ya Taifa Ya Takwimu Wizara Ya Fedha Na Uchumi Dar Es Salaam JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA Ofisi ya Taifa ya Takwimu Wizara ya Fedha na Uchumi Dar Es Salaam Aprili, 2010 RAMANI YA TANZANIA MAKADIRIO YA IDADI YA WAPIGA KURA KWA MKOA, 2010 Yaliyomo Maelezo Ukurasa. Dibaji .......................................................................................................iii Muhtasari .......................................................................................................iv Jedwali Na 1: Idadi ya Watu kwa Eneo la Kilomita za Mraba na Makadirio ya Idadi ya Watu kwa Mkoa, 2010.........................1 Jedwali Na 2: Idadi ya Majimbo, Makadirio ya Idadi ya Wapiga Kura na Wapiga Kura Wapya kwa Mkoa, 2010 ............................2 Jedwali Na 3: Asilimia na Idadi ya Makadirio ya Wapiga Kura na Wapiga Kura Wapya kwa Mkoa, 2010.....................................4 Jedwali Na 4: Asilimia ya Makadirio ya Idadi ya Wapiga Kura na Wapiga Kura Wapya kwa Mkoa, 2010......................................5 Jedwali Na 5: Idadi ya Majimbo na Makadirio ya Idadi ya Wapiga Kura kwa Wilaya, 2010.....................................................8 Jedwali Na 6: Makadirio ya Idadi yaWapiga Kura Wapya kwa Wilaya, 2010 ................................................................................12 Jedwali Na 7: Makadirio ya Idadi yaWapiga Kura kwa Majimbo, 2010.............16 Jedwali Na 8: Asilimia na Idadi ya Makadirio ya Wapiga Kura kwa Majimbo, 2010..............................................................................................22 Jedwali Na 9: Makadirio ya Idadi ya Wapiga Kura kwa Kata, 2010...................34 Jedwali Na10: Makadirio ya Idadi ya Wapiga Kura Wapya kwa kata, 2010............................................................................108 Makadirio ya Idadi ya Wapiga Kura Tanzania Bara, 2010 Orodha ya Maumbo Umbo Na 1: Idadi ya Majimbo kwa Mkoa, 2010................................................... 3 Umbo Na 2: Makadirio ya Idadi ya Wapiga Kura kwa Mkoa , 2010................................................................................................... 6 Umbo Na 3: Makadirio ya Idadi ya Wapiga Kura Wapya kwa Mkoa, 2010 ....................................................................................... 7 Makadirio ya Idadi ya Wapiga Kura Tanzania Bara, 2010 Dibaji Kitabu cha Makadirio ya Idadi ya Wapiga kura, katika Majimbo ya Uchaguzi Tanzania Bara kwa mwaka 2010 ni moja kati ya taarifa nyingi zinazotolewa kutokana na uchambuzi wa taarifa za Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2002. Takwimu hizi zimetolewa katika ngazi ya Mkoa, Wilaya na Kata. Makadirio haya yametokana na Sensa ya Watu na Makazi iliyofanyika nchini mwaka 2002. Taarifa hii itawafaa sana Waheshimiwa Wabunge, Ofisi ya Bunge, Maafisa Mipango na wanaohusika na utayarishaji wa mipango ya maendeleo na uchumi katika maeneo mbali mbali. Taarifa hii, vilevile itaweza kusaidia Tume ya Taifa ya Uchaguzi kujua idadi halisi ya watu katika majimbo ya uchaguzi. Napenda kutumia nafasi hii kutoa shukrani kwa Shirika la Umoja wa Mataifa la Mfuko wa Idadi ya Watu (UNFPA) kwa kuwezesha matayarisho na uchapaji wa kitabu hiki. Shukurani pia ziwaendee wataalamu wa Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM) kwa msaada mkubwa wa kiufundi walioutoa wakati wa matayarisho ya kitabu hiki. Napenda kutoa shukrani za pekee kwa wafuatao kwa kushiriki katika utayarishaji na uandishi wa kijitabu hiki:- Prof. I. Ngalinda, Prof. M.J. Mbonile, Bw. N. Mbalilaki, Bw. I. Ruyobya, Bi. A. Chuma, Bw J. Mwaisemba, Bw David Danda na Bw Adolf Kinyero. Nakaribisha maoni yoyote kuhusu kitabu hiki pamoja na taarifa nyingine zinazotolewa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu. Maoni hayo yapelekwe kwa Mkurugenzi Mkuu, Ofisi ya Taifa ya Takwimu, S.L.P 796 Dar es Salaam, Barua pepe [email protected] . au Tovuti www.nbs.go.tz Albina A. Chuwa Mkurugenzi Mkuu Ofisi ya Taifa ya Takwimu Dar es Salaam Aprili, 2010 Makadirio ya Idadi ya Wapiga Kura Tanzania Bara, 2010 Muhtasari Kijitabu hiki kinatoa Takwimu za idadi ya wapiga kura katika majimbo ya uchaguzi Tanzania Bara kwa mwaka 2010. Takwimu hizi zimetolewa kwa Mkoa, Wilaya, Jimbo la Uchaguzi na Kata. Makadirio ya Idadi ya wapiga kura imezingatia idadi ya watu wenye umri wa miaka 18 na zaidi. Aidha, wapiga kura wapya ni wale wenye umri wa miaka 18 – 22. Inakadiriwa kuwa mwaka 2010 Tanzania Bara utakuwa na wapiga kura 20,445,725 . kati ya hao wapiga kura wapya ni 4,425,246 . Tanzania bara una jumla ya majimbo 182, Mkoa za Mwanza una idadi kubwa ya majimbo 13 katika Wilaya ya Geita, ina majimbo matatu, huku wilaya za Magu, Kwimba na Sengerema zina majimbo mawili kila moja, wilaya za Ukerewe, Nyamagana, misungwi na Ilemela zikiwa na jimbo moja moja. Asilimia ya watu wenye umri wa kupiga kura za wabunge katika mwaka 2010 inatofautiana kutoka jimbo moja la uchaguzi hadi jingine. Mkoa wa Dar Es Salaam una asilimia kubwa zaidi ya watu wenye umri wa kupiga kura (8.7 %) na mkoa wa Lindi una asilimia ndogo zaidi ya watu wenye umri wa kupiga kura (2.5%). Asilimia ya watu wanaostahili kupiga kura za wabunge inatofautiana kutoka wilaya hadi wilaya. Wilaya ya Mafia mkoa wa Pwani ina asilimia ndogo ya watu wanaostahili kupiga kura za Wabunge (0.12%) na wilaya ya Kinondoni mkoa wa Dar es salaam ina asilimia kubwa zaidi ya wapiga kura za wabunge (3.9%) . Jimbo la Ukonga katika wilaya ya Ilala Mkoa wa Dar Es Salaam linakadiriwa kuwa na idadi kubwa ya watu (366,495) na jimbo la uchaguzi la Mafia lililoko wilaya ya Mafia mkoa wa Pwani linakadiriwa kuwa na idadi ndogo ya watu (25,049). Makadirio ya Idadi ya Wapiga Kura Tanzania Bara, 2010 Jedwali Na 1: Idadi ya Watu kwa Eneo la Kilomita za Mraba na Makadirio ya Idadi ya Watu kwa Mkoa, 2010 Makadirio ya Idadi Idadi ya Watu Eneo la Kilomita ya Watu Mwaka Kwa Eneo la Mkoa za Mraba 2010 Kilomita Mraba Dodoma 42,385 2,111,764 50 Arusha 38,743 1,664,780 43 Kilimanjaro 13,219 1,635,870 124 Tanga 28,131 1,966,909 70 Morogoro 68,758 2,115,275 31 Pwani 31,676 1,062,574 34 Dar Es Salaam 1,631 3,118,133 1912 Lindi 66,222 923,608 14 Mtwara 17,804 1,323,567 74 Ruvuma 64,228 1,375,017 21 Iringa 60,992 1,737,382 28 Mbeya 58,782 2,662,156 45 Singida 49,093 1,367,481 28 Tabora 77,569 2,349,374 30 Rukwa 68,207 1,503,184 22 Kigoma 40,204 1,814,158 45 Shinyanga 50,850 3,841,787 76 Kagera 29,990 2,563,870 85 Mwanza 19,404 3,566,263 184 Mara 21,540 1,822,866 85 Manyara 45,762 1,388,295 30 Jumla 895,189 41,914,313 47 Makadirio ya Idadi ya Wapiga Kura Tanzania Bara, 2010 Jedwali Na 2: Idadi ya Majimbo, Makadirio ya Idadi ya Wapiga Kura na Wapiga Kura Wapya kwa Mkoa, 2010 Idadi ya Wapiga kura Wapiga kura Wapya Idadi ya Mkoa Majimbo Jumla Me Ke Jumla Me Ke Dodoma 9 1,032,372 491,901 540,471 209,476 106,767 102,709 Arusha 7 831,827 404,205 427,622 157,083 79,313 77,770 Kilimanjaro 9 912,542 433,117 479,425 198,638 99,923 98,715 Tanga 11 1,031,239 487,479 543,760 215,371 109,607 105,764 Morogoro 10 1,122,583 556,325 566,258 212,276 107,438 104,838 Pwani 9 562,373 274,746 287,627 103,375 53,213 50,162 D'Salaam 7 1,786,290 903,772 882,518 252,143 121,503 130,640 Lindi 8 508,193 238,854 269,339 169,704 83,037 86,667 Mtwara 7 731,444 337,845 393,599 354,875 167,081 187,794 Ruvuma 6 710,579 341,971 368,608 137,906 68,675 69,231 Iringa 11 921,054 429,315 491,739 200,914 100,379 100,535 Mbeya 11 1,275,389 600,507 674,882 258,049 127,866 130,183 Singida 7 668,697 319,047 349,650 145,771 74,427 71,344 Tabora 9 1,000,091 485,084 515,007 208,192 106,015 102,177 Rukwa 7 668,817 321,264 347,553 145,433 72,299 73,134 Kigoma 7 768,797 352,858 415,939 170,977 84,878 86,099 Shinyanga 11 1,650,632 787,945 862,687 359,476 179,200 180,276 Kagera 10 1,155,770 564,660 591,110 249,312 126,160 123,152 Mwanza 13 1,659,641 815,313 844,328 365,918 182,892 183,026 Mara 7 813,330 376,482 436,848 182,393 91,626 90,767 Manyara 6 634,065 325,380 308,685 127,964 66,054 61,910 Jumla 182 20,445,725 9,848,070 10,597,655 4,425,246 2,208,353 2,216,893 Asilimia 100.0 48.2 51.8 100.0 49.9 50.1 Makadirio ya Idadi ya Wapiga Kura Tanzania Bara, 2010 Umbo Na 1: Idadi ya Majimbo kwa Mkoa, 2010 Mkoa wa Mwanza unaongoza kwa idadi kubwa ya majimbo ya uchaguzi wa wabunge ukifuatwa na Shinyanga, Mbeya, Iringa,na Tanga na mkoa wa mwisho ni Kusini Unguja. Makadirio ya Idadi ya Wapiga Kura Tanzania Bara, 2010 Jedwali Na 3: Asilimia na Idadi ya Makadirio ya Wapiga Kura na Wapiga Kura Wapya kwa Mkoa, 2010 Asilimia Asilimia Idadi ya Wapiga Mkoa Wapiga Kura Me Ke Kura Wapya Me Ke Dodoma 1,032,372 47.6 52.4 209,476 51.0 49.0 Arusha 831,827 48.6 51.4 157,083 50.5 49.5 Kilimanjaro 912,542 47.5 52.5 198,638 50.3 49.7 Tanga 1,031,239 47.3 52.7 215,371 50.9 49.1 Morogoro 1,122,583 49.6 50.4 212,276 50.6 49.4 Pwani 562,373 48.9 51.1 103,375 51.5 48.5 D'Salaam 1,786,290 50.6 49.4 252,143 48.2 51.8 Lindi 508,193 47.0 53.0 169,704 48.9 51.1 Mtwara 731,444 46.2 53.8 354,875 47.1 52.9 Ruvuma 710,579 48.1 51.9 137,906 49.8 50.2 Iringa 921,054 46.6 53.4 200,914 50.0 50.0 Mbeya 1,275,389 47.1 52.9 258,049 49.6 50.4 Singida 668,697 47.7 52.3 145,771 51.1 48.9 Tabora 1,000,091 48.5 51.5 208,192 50.9 49.1 Rukwa 668,817 48.0 52.0 145,433 49.7 50.3 Kigoma 768,797 45.9 54.1 170,977 49.6 50.4 Shinyanga 1,650,632 47.7 52.3 359,476 49.9 50.1 Kagera 1,155,770 48.9 51.1 249,312 50.6 49.4 Mwanza 1,659,641 49.1 50.9 365,918 50.0 50.0 Mara 813,330 46.3 53.7 182,393 50.2 49.8 Manyara 634,065 51.3 48.7 127,964 51.6 48.4 Jumla 20,445,725 48.2 51.8 4,425,246 49.9 50.1 Makadirio ya Idadi ya Wapiga Kura Tanzania Bara, 2010 Jedwali Na 4: Asilimia ya Makadirio ya Idadi ya Wapiga Kura na Wapiga Kura Wapya kwa Mkoa, 2010 Asilimia Mkoa Wapiga Kura Wapiga Kura Wapya Dodoma 5.0 4.7 Arusha 4.1 3.5 Kilimanjaro 4.5 4.5 Tanga 5.0 4.9 Morogoro 5.5 4.8 Pwani 2.8 2.3 D'Salaam 8.7 5.7 Lindi 2.5 3.8 Mtwara 3.6 8.0 Ruvuma 3.5 3.1 Iringa 4.5 4.5 Mbeya 6.2 5.8 Singida 3.3 3.3 Tabora 4.9 4.7 Rukwa 3.3 3.3 Kigoma 3.8 3.9 Shinyanga 8.1 8.1 Kagera 5.7 5.6 Mwanza 8.1 8.3 Mara 4.0 4.1 Manyara 3.1 2.9 Jumla 100.0 100.0 Makadirio ya Idadi ya Wapiga Kura Tanzania Bara, 2010 Umbo Na 2: Makadirio ya Idadi ya Wapiga Kura kwa Mkoa, 2010 Mkoa wa Dar Es Salaam unaongoza kuwa na idadi ya Wapiga Kura wengi ukifuatiwa na Mwanza, Shinyanga na mkoa wa mwisho ni Lindi.
Recommended publications
  • Taarifa Ya Mwaka Ya Baraza La Madiwani Ikielezea Uendeshaji Na Uwajibikaji Wa Halmashauri Kwa Mwaka Wa Fedha 2016/2017
    HALMASHAURI YA WILAYA YA MONDULI TAARIFA YA MWAKA YA BARAZA LA MADIWANI IKIELEZEA UENDESHAJI NA UWAJIBIKAJI WA HALMASHAURI KWA MWAKA WA FEDHA 2016/2017 i TAARIFA YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MONDULI YA UENDESHAJI NA UWAJIBIKAJI KIPINDI CHA KUISHIA TAREHE 30 JUNI, 2017 UTANGULIZI Halmashauri yetu ina ina ukubwa wa kilometa za mraba 6,419 na mwaka huu ina jumla ya watu 177,346. Wilaya ina tarafa 3, kata 20, vijiji 62 na vitongoji 236. Makao makuu ya Wilaya yapo katika mji wa Monduli. Wilaya ina jimbo moja la uchaguzi, ina Mbunge 1 na madiwani 27. Madiwani wakuchaguliwa ni 20 na wa viti Maalumu ni 7. Mipango ya Halmashauri imeendelea kujikita katika kutimiza Dhamira ya Halmashauri ya kutekeleza Dira, Kauli Mbiu na Utekelezaji Malengo ya Halmashauri ya 2015/2016 na mpango wa mwaka unaofuata. UENDESHAJI WA HALMASHAURI (VIKAO VYA KISHERIA NA USIMAMIZI WA MAJUKUMU YA MSINGI YA HALMASHAURI) Uendeshaji wa Halmashauri Baraza la Madiwani liliundwa baada ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika tarehe 25 Oktoba, 2015 baadaye Baraza la Madiwani liliunda Kamati za Kudumu 4 (Fedha Utawala na Mipango, Huduma za Jamii, Uchumi Ujenzi & Mazingira na Kamati Shirikishi ya Kudhibiti UKIMWI, Kamati ndogo ya Ardhi na Kamati Ndogo ya Maadili, Kamati Ndogo ya Mfuko wa Jimbo). Katika ngazi ya Kata shughuli za maendeleo zilisimamiwa na Kamati za Maendeleo ya Kata (WDC) kwa utaratibu ule ule wa vikao kama ilivyo ngazi ya wilaya. Kamati hizi zilitekeleza wajibu wake kwa kufanya vikao vya kisheria kwa mwaka huu kama ifuatavyo:- VIKAO VYA KISHERIA NGAZI YA KATA. Katika ngazi ya kata, Halmashauri ilisimamia utekelezaji wa malengo na kuhakikisha ufanisi wa mtiririko wa taarifa kushuka ngazi za vijiji na kupeleka ngazi ya wilaya kupitia vikao vya Kamati za Maendeleo za Kata (WDC).
    [Show full text]
  • Kuitwa Kwenye Usaili Mamlaka Ya Hifadhi Ya Ngorongoro (Ncaa)
    MAMLAKA YA HIFADHI YA NGORONGORO Kumb.NA. CA.13/158/01/30 01 Aprili, 2019 TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI Mhifadhi wa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) anapenda kuwataarifu waombaji kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 6, 8, 9, na 10 Aprili, 2019 na hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo. Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:- i. Usaili wa Vitendo utafanyika tarehe 8 na 9 Aprili , 2019 na usaili wa mahojiano kama ilivyoainishwa kwenye tangazo hili, muda na sehemu usaili ambapo utafanyika umeainishwa kwa Kada husika ; ii. Kila msailiwa anapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi; iii. Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na:- Kitambulisho cha Mkazi, Kitambulisho cha Mpiga kura, Kitambulisho cha kazi, Kitambulisho cha Uraia au Hati ya kusafiria; iv. Wasailiwa wanatakiwa kufika na VYETI VYAO HALISI, kuanzia cheti cha kuzaliwa, kidato cha IV, Kidato cha VI, Vyeti vya mafunzo ya Udereva, leseni ya udereva na kuendelea kutegemeana na sifa za Mwombaji kwa kada hii. v. Wasailiwa watakaowasilisha“Testimonials”, “Provisional Results”, “Statement of results”, hati za matokeo za kidato cha IV na VI (form iv and form vi results slips) HAVITAKUBALIWA NA HAWATARUHUSIWA KUENDELEA NA USAILI, (ISIPOKUWA WAOMBAJI WALIOHITIMU MWAKA 2018) vi. Kila msailiwa atajigharamia kwa chakula, usafiri na malazi; vii. Kila Msailiwa azingatie tarehe na mahali alipopangiwa kufanyia usaili; viii. Kwa waombaji waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe Vyeti vyao vimehakikiwa na kuidhinishwa na mamlaka husika (TCU na NECTA); na ix. Waombaji kazi ambao majina yao hayaonekani katika tangazo hili watambue kuwa hawakukidhi vigezo. Hivyo, wasisite kuomba tena pindi nafasi za kazi zitakapotangazwa na kuzingatia mahitaji ya tangazo husika.
    [Show full text]
  • Individual 729 Tz - Questionnaire
    Individual 729 Tz - Questionnaire Individual 729 Tz 18 July 2007, 09:31 Questionnaire QUESTIONNAIRE OPTIONS Option Setting Parent Name single item Child Name multiple items Max user text length 50 Min user text length 0 Text Conversion None INDIVIDUAL (Directed) 0. Individual ID Number (wid) - number, identifier Precision: 99999999999999., Size check: None 1. start stopwatch - stopwatch, none 2. Automatic date (interviewdate) - auto date, single item 3. Automatic start time (interviewstarttime) - auto date, single item 4. Personal details/history (Directed) 5. Education (Directed) 6. Jobs (Directed) 7. Health (Directed) 8. Health Knowledge (Directed) 9. MIGRATION (Directed) 10. Subjective Well-Being (Directed) 11. Miscellaneous (Directed) 12. Skills Tests (Directed) 13. stopwatch end (timeravens) - stopwatch, single item 14. Automatic end time (endtime) - auto time, single item 15. The END - message, none JOB (Directed) 1. Enumerator: is this the current/primary activity or a second/past job? (jcurrentpast) - menu, multiple items Single select Items Jump to Current, primary activity Current, secondary activity Please describe your activity Past job Please describe your activity 2. In the last 7 days, have you done any work for pay profit or gain, even if for one hour? (jilodefinition) - menu, multiple items Single select Items Jump to Yes Even if you did not work in the last 7 days, No do you have a job or work that you will definitely return to? 3. Please describe your activity (jwageself) - menu, multiple items file:///Q|/DataLib/Tanzania/TZA_2006_UHPS/TZA_2006_UHPS_v01_M/Doc/Questionnaires/2006%20Questionnaire_Tanzania_html.html[10/4/2013 10:09:42 AM] Individual 729 Tz - Questionnaire Single select Items Jump to Wage job Wage Employment Self-employed business Self Employment 4.
    [Show full text]
  • Tanzania School Location & Performance
    Tanzania School Location & Performance code name district region PS0302-105 Saint Gaspar Dodoma Municipal Dodoma PS0508-098 Irene And Rebeca Primary Missenyi Kagera School PS1305-120 Isela Primary School Misungwi Mwanza PS1009-002 Bujesi Primary School Busokelo Mbeya PS1601-090 Mitomoni Primary School Mbinga Ruvuma PS2701-002 Bariadi Alliance Eng Med Bariadi Simiyu School PS1701-082 Kagera Primary School Kahama Shinyanga S3787 Mabui Secondary School Musoma Mara PS1705-111 Puni Primary School Shinyanga Shinyanga PS1803-040 Mayuta Primary School Singida Singida S5043 Mwaselela Secondary School Mbeya Municipal Mbeya PS1902-069 Mahene Primary School Nzega Tabora PS2001-098 Nkumba Primary School Handeni Tanga PS2001-192 Kwachigwe Primary School Handeni Tanga PS2003-102 Mkulumuzi Primary School Lushoto Tanga PS2403-011 Golden Valley Primary School Geita Geita PS2404-062 Katoma Primary School Geita Geita Page 1 of 2904 10/02/2021 Tanzania School Location & Performance percentage_pass national_rank 100 245 100 517 44.73684211 6132 30.6122449 9056 11.76470588 13129 100 9 0 14925 61 3441 68.18181818 4175 66.66666667 4396 27 4027 0 15561 40 10517 64 3966 48.38709677 6797 100 48 50 7031 Page 2 of 2904 10/02/2021 Tanzania School Location & Performance candidates_last number_pass_last 35 0 32 13 40 8 32 15 50 1 20 2 37 22 Page 3 of 2904 10/02/2021 Tanzania School Location & Performance percentage_pass_last national_rank_last 0 14644 40.625 20 3663 7315 46.875 3460 2 14607 10 12068 59.45945946 2736 Page 4 of 2904 10/02/2021 Tanzania School Location &
    [Show full text]
  • EPI Post IMC Evaluation Report April 2012.V02 Final
    Post integrated measles campaign and routine immunization coverage evaluation survey 2011 Post Campaign Evaluation Report April, 2012 MINISTRY OF HEALTH AND SOCIAL WELFARE 1 Table of contents Post integrated measles campaign and routine immunization coverage evaluation survey 2011 1 Table of contents .............................................................................................................................. 2 Acronyms ........................................................................................................................................... 6 Executive summary .......................................................................................................................... 7 Background .................................................................................................................................... 7 Methods ......................................................................................................................................... 8 Results ........................................................................................................................................... 8 Discussion ..................................................................................................................................... 9 Conclusion ....................................................................................................................................... 10 Acknowledgements ........................................................................................................................
    [Show full text]
  • 2012 Population and Housing Census
    The United Republic of Tanzania 2012 POPULATION AND HOUSING CENSUS Population Distribution by Administrative Areas National Bureau of Statistics Ministry of Finance Dar es Salaam and Office of Chief Government Statistician President’s Office, Finance, Economy and Development Planning Zanzibar March , 2013 Foreword The 2012 Population and Housing Census (PHC) for United Republic of Tanzania was carried out on the 26th August, 2012. This was the fifth Census after the Union of Tanganyika and Zanzibar in 1964. Other Censuses were carried out in 1967, 1978, 1988 and 2002. The 2012 PHC, like others, will contribute to the improvement of quality of life of Tanzanians through the provision of current and reliable data for development planning, policy formulation and services delivery as well as for monitoring and evaluating national and international development frameworks. The 2012 PHC is unique in the sense that, the information collected will be used in monitoring and evaluating the Development Vision 2025 for Tanzania Mainland and Zanzibar Development Vision 2020, Five Year Development Plan 2011/12 – 2015/16, National Strategy for Growth and Reduction of Poverty (NSGRP) commonly known as MKUKUTA and Zanzibar Strategy for Growth and Reduction of Poverty (ZSGRP) commonly known as MKUZA. The census will also provide information for the evaluation of the Millennium Development Goals (MDGs) in 2015. The Poverty Monitoring Master Plan, which is the monitoring tool for NSGRP and ZSGRP, mapped out core indicators for poverty monitoring against the sequence of surveys, with the 2012 Census being one of them. Several of these core indicators for poverty monitoring will be measured directly from the 2012 Census.
    [Show full text]
  • Challenges Facing Community Based Tourism in Tanzania
    CHALLENGES FACING COMMUNITY BASED TOURISM IN TANZANIA: A CASE STUDY OF ARUMERU DISTRICT IN ARUSHA REGION ELISA JERO NGONYA A DISSERTATION SUBMITTED IN PARTIAL FULFILMENT FOR THE REQUIREMENT OF THE DEGREE OF MASTER TOURISM PLANNING AND MANAGEMENT OF THE OPEN UNIVERSITY OF TANZANIA 2015 ii CERTIFICATION The undersigned certifies that, he has read and recommends to the Open University of Tanzania a dissertation titled: “Challenges facing Community Based Tourism in Tanzania: A case study of Arumeru District in Arusha Region” submitted in partial fulfillment for the requirements of degree of Master of Tourism Planning and Management of the Open University of Tanzania. ___________________________ Dr. Emmanuel Patroba Mhache Supervisor ____________________________ Date iii COPYRIGHT No part of this dissertation may be reproduced, stored in any retrieval system or transmitted in any form by any means, electronic, mechanical, photocopying, recording or otherwise without the prior written permission of the author or The Open University of Tanzania on that behalf. iv DECLARATION I, Ngonya, Jero Elisa, do hereby declare that this dissertation is my own original work and that it has not been submitted for a any degree or similar award in any other Universities or Institution. ___________________________ Signature …___________________________ Date v ACKNOWLEDGEMENTS I would like to thank the managers of various institutions, CBT centers and other potential people for their positive contributions and cooperation When I was conducting my research in their respective study areas. First and foremost, I wish to extend my profound thanks to God who led me and protected me throughout my study. I am extremely conveyed my sincere thanks to my supervisor Dr.
    [Show full text]
  • Sifuni Daniel Pallangyo 13.11.2015
    1 ASSESSMENT OF THE ROLES OF TOURISM ACTIVITIES TOWARDS POVERTY ALLEVIATION IN RURAL AREAS: A CASE OF ARUMERU DISTRICT, ARUSHA REGION SIFUNI DANIEL PALLANGYO A DISSERTATION SUBMITTED IN PARTIAL FULFILLMENTS OF REQUIREMENTS FOR THE DEGREE OF MASTERS OF TOURISM MANAGEMENT AND PLANNING OF THE OPEN UNIVERSITY OF TANZANIA 2015 2 DECLARATION I, Pallangyo Sifuni Daniel, declare that this dissertation is my own original work and that it has not been presented and will not be presented to any other university for a similar or any other degree award. Signature ………………. Date …………………… 3 COPYRIGHT No part of this dissertation may be reproduced, stored in any retrieval system, or transmitted in any form by any means, electronic, mechanical, photocopying, recording or otherwise without prior written permission of the author or the Open University of Tanzania in that behalf. 4 ABSTRACT This study examines the roles of tourism activities on poverty alleviation in rural areas in Arumeru District. The objectives of this study was to identify contributions of tourism activities towards poverty alleviation in Arumeru District, to examine challenges facing tourism activities towards poverty alleviation, to identify and assess measures used to address challenges facing tourism activities in poverty alleviation. A researcher used case study design because it involves a careful and complete observation of social unit of a person, family, institutions and cultural groups. The target sample involved 19 respondents from local authority and 55 respondents from heads of household representatives in Arumeru District as a sample size . Four data collection methods were employed by a researcher during the study, interviews, observation, questionnaires and documentary reviews.
    [Show full text]
  • 7. Recommended Strategies for Environmental Management of TANAPA Road Improvements
    Programmatic Environmental Assessment for Road Improvements in Tanzania's National Parks Prepared by Raphael Mwalyosi, Ph.D., Team Leader, Director Institute of Resource Assessment, University of Dar es Salaam Weston Fisher, Associate Team Leader, Senior Scientist, Tellus Institute, and African Wildlife Foundation Consultant Joseph Kessy, TANAPA Senior Park Planner Emmanuel Gereta, TANAPA Senior Ecologist Richard L. Engle, U.S. National Park Service Park Engineer lshael J. Varoya, Roads InspectorlEngineer, Serengeti National Park Zafarani Athumani Madayi, EIA Specialist, Tanzania National Environment Management Council Alan Kijazi, Planner and EIA Specialist, African Wildlife Foundation For Tanzania ~ationalParks TANAPA USAlDlTanzania - Dar es Salaam, Tanzania The preparation of this PEA was supported jointly through funding provided by USAlDfranzania to the African Wildlife Foundation and by USAID's Bureau for Africa Regional Economic Development Support Office (REDSOIESA) and Office of Sustainable Development - Agriculture, Natural Resources and the Environment (AFRISDIANRE). REDSOIESA and AFRISDIANRE funding was provided through EPlQ Task Order #35 Contract No. PCE-I-00-96-00002-00. September 2001 Tanzania National Parks (TANAPA) USAlDlTanzania U.S. Agency for International Development Bureau for Africa REDSOIESA and AFRlSDlANRE African Wildlife Foundation EPlQ Contents Foreword .................................................................................. v Aknowledgements .................................................................
    [Show full text]
  • Technical and Operation Report
    Table of Contents i United Republic of Tanzania NATIONAL SAMPLE CENSUS OF AGRICULTURE 2002/2003 Volume I: TECHNICAL AND OPERATION REPORT National Bureau of Statistics, Ministry of Agriculture and Food Security, Ministry of Water and Livestock Development, Ministry of Cooperatives and Marketing, Presidents Office, Regional Administration and Local Government, Ministry of Finance and Economic Affairs – Zanzibar September 2006 Technical and Operational Report Table of Contents i TABLE OF CONTENTS Table of contents ........................................................................................................................................................... i Acronyms .......................................................................................................................................................... v Preface ......................................................................................................................................................... vi Chapter 1: General background................................................................................................................................ 1 1.1 Introduction .................................................................................................................................................... 1 1.2 Rationale of the Agriculture Sample Census .................................................................................................. 1 1.2.1 Census Objectives............................................................................................................................
    [Show full text]
  • Council Subvote Index
    Council Subvote Index 70 Arusha Region Subvote Description Council District Councils Number Code 2001 Arusha City Council 5003 Internal Audit 5004 Admin and HRM 5005 Trade and Economy 5006 Administration and Adult Education 5007 Primary Education 5008 Secondary Education 5009 Land Development & Urban Planning 5010 Health Services 5011 Preventive Services 5012 Health Centres 5013 Dispensaries 5014 Works 5017 Rural Water Supply 5018 Urban Water Supply 5022 Natural Resources 5027 Community Development, Gender & Children 5031 Salaries for VEOs 5033 Agriculture 5034 Livestock 5036 Environments 3006 Monduli District Council 5003 Internal Audit 5004 Admin and HRM 5005 Trade and Economy 5006 Administration and Adult Education 5007 Primary Education 5008 Secondary Education 5009 Land Development & Urban Planning 5010 Health Services 5011 Preventive Services 5012 Health Centres 5013 Dispensaries 5014 Works 5017 Rural Water Supply 5018 Urban Water Supply 5022 Natural Resources 5027 Community Development, Gender & Children 5031 Salaries for VEOs 5033 Agriculture 5034 Livestock 5036 Environments 3007 Ngorongoro District Council 5003 Internal Audit 5004 Admin and HRM 5005 Trade and Economy 5006 Administration and Adult Education 5007 Primary Education ii Council Subvote Index 70 Arusha Region Subvote Description Council District Councils Number Code 3007 Ngorongoro District Council 5008 Secondary Education 5009 Land Development & Urban Planning 5010 Health Services 5011 Preventive Services 5012 Health Centres 5013 Dispensaries 5014 Works 5017 Rural
    [Show full text]
  • Makadirio Ya Idadi Ya Watu Katika Majimbo Ya Uchaguzi Kwa Mwaka 2016, Tanzania Bara
    Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Makadirio ya Idadi ya Watu katika Majimbo ya Uchaguzi kwa Mwaka 2016, Tanzania Bara Ofisi ya Taifa ya Takwimu Wizara ya Fedha na Mipango Dar es Salaam April, 2016 Yaliyomo Ukurasa Orodha ya Majedwali ....................................................................................................................... ii Orodha ya Ramani .......................................................................................................................... iv Dibaji ................................................................................................................................................. vi Muhtasari ........................................................................................................................................ vii Utangulizi ........................................................................................................................................... 1 Mkoa wa Dodoma ........................................................................................................................... 12 Mkoa wa Arusha ............................................................................................................................. 20 Mkoa wa Kilimanjaro ..................................................................................................................... 27 Mkoa wa Tanga ............................................................................................................................... 34 Mkoa wa Morogoro .......................................................................................................................
    [Show full text]