Mtume S.A.W. Ni Rehema Kwa Ulimwengu
Total Page:16
File Type:pdf, Size:1020Kb
Gazeti la kwanza la Kiislam kutolewa kwa lugha ya Kiswahili - mwaka 1936 Nukuu ya Qur’an Tukufu “Ewe Nabii, kwa yakini Sisi tumekutuma (ili uwe) shahidi na mtoaji wa habari nzuri, na Mwonyaji. Na mwitaji (wa watu) kwa Allah, kwa idhini Yake, na taa itoayo nuru. Mapenzi ya Mungu Na uwape habari njema waaminio ya kwamba wana fadhili kubwa Mapenzi kwa wote bila chuki kwa yeyote itokayo kwa Allah ” DAR ES SALAAM TANZANIA (33:46-48). JUZU 77 No. 192 RAB. II - JUM. I 1439 AH JANUARI 2018 SULHU 1397 HS BEI TSH. 500/= Khalifa Mtukufu awakumbusha Waislamu kutangaza kwa matendo: Mtume s.a.w. ni Rehema kwa Ulimwengu Na Mwandishi Wetu ni mfano bora kwenu kama alivyofafanua kuwa “Bila shaka Katika hotuba ya Ijumaa mnao mfano mwema katika ya tarehe 01 Disemba 2017, Mtume wa Allah, kwa mwenye Hadhrat Amir-ul Muminiin, kumwogopa Allah na siku Khalifatul Masih V a.t.b.a. ya mwisho na kumtaja Allah alisema kwamba kumbukumbu sana.” (33:22). ya kuzaliwa kwa Mtume s.a.w. Mtume wetu s.a.w. itumike katika kutangaza sifa alitufafanulia njia za kuweka ya Rehema ya Mtume s.a.w. Umoja wa Mungu, ibada na Baada ya Tashahhud, Taa’udh maadili bora ya kutimiza na Surat Fatihah Hadhrat Amir- haki za wanadamu. Ingawaje, ul Muminiin (atba) alisema: mwenendo wa Waislam wengi ni kinyume kabisa na mfano Mwezi 12 wa Rabi al - Awwal ni wake. siku ambayo Mtukufu Mtume s.a.w alizaliwa. Alishatajwa Mwezi 12 wa Rabi al-Awwal, kuwa ni taa inayoangaza badala ya kusambaza ujumbe mwanga mkali ulimwenguni wa huruma na wema mbalimbali kote kwa mwanga wa kiroho. wa Mtume s.a.w, Umma wa Kuhusu yeye ambaye Allah Kiislam umejawa na fujo na Mtukufu alisema, “Nasi machafuko. Hali ni mbaya sana Hatukukutuma ila uwe huko Pakistan ambapo huduma rehema kwa Ulimwengu” za simu kwa baadhi ya miji ya (21:108) Mafundisho yake ni Pakistan zimetakiwa kufungwa rehema kwa kila mtu hadi siku leo hii na kuna ulinzi mkali kila ya Kiyama. Allah Mtukufu Sehemu ya waumini ndani ya Baitul Futuh, msikiti uliopo jijini London ambao Hadhrat sehemu. Wanawafedhehesha aliwaambia wafuasi wake Khalifatul Masih V a.t.b.a. hutoa hotuba zake za Ijumaa na kurushwa duniani kote kwa kuwa Mjumbe huyu wa Allah njia ya satelaiti. Endelea uk. 3 Shani ya Jalsa Salana 2017 kupitia vyombo vya habari la kuharakisha utekelezaji wa Na Jamil Mwanga majukumu kwa ufanisi kwa njia iliyo bora. Sambamba Mkutano wa mwaka (Jalsa na hilo, katika Mkutano wa Salana) ni tukio adhimu la Mwaka wa 48 wa Jumuiya kidini katika mustakbali ya Waislamu Waahmadiyya ya Jumuiya ya Waislamu Tanzania ziliundwa kamati au Waahmadiyya. Mkutano huu idara mbalimbali. Miongoni ulianzishwa na mwanzilishi mwa idara hizo ni idara Mtukufu wa Jumuiya ya ya Vyombo vya Habari na Waislamu Waahmadiyya televisheni ya MTA. Hadhrat Mirza Ghulam Ahmad Idara ya habari ilipewa a.s. kwa lengo la kukuza Imani, majukumu kadhaa ikiwa kujiongezea maarifa na elimu ni pamoja na kuhakikisha ya kidini na kujenga udugu kuwa habari za Jalsa Salana na mapenzi miongoni mwa zinatangazwa vyema kwenye watu. Hata akasema kuwa vyombo vya habari ambapo mkutano huu usichukuliwe wajumbe wake walijitahidi kama mikusanyiko mingine ya kuhakikisha kuwa azma hiyo kawaida bali Allah mwenyewe inatia. huleta shani yake na msaada Kwa msaada wa Allah, wake. Ili kufanikisha mkutano ilishuhudiwa vyombo vya huu iwe katika ngazi ya habari vya redio, televisheni kimataifa, kitaifa au hata na magazeti na hata kupitia Waziri Mkuu akiwahutubia waumini wa Jumuiya ya Waislamu Waahmadiyya katika kimkoa mara nyingi huundwa mitandao ya kompyuta Mkutano wa Mwaka wa 48 uliofanyika katika eneo la Kitonga, Manispaa ya Ilala, Dar es Salaam. kamati mbalimbali kwa lengo Endelea uk. 2 2 Mapenzi ya Mungu Januari 2018 Rab. II - Jum. I 1439 AH Sulhu 1397 HS MAKALA / MAONI Mapenzi ya Mungu Shani ya Jalsa Salana 2017 kupitia vyombo vya habari Kutoka uk. 1 vyombo vingine vyote vya wa Jumuiya ya Waislamu Maoni ya Mhariri vikitangaza habari za mkutano habari ili viweze kutoa habari Waahmadiyya Duniani, siku chache kabla ya mkutano za mkutano huu, alisisitiza. Hadhrat Mirza Masroor na pia siku za mkutano. Kama alivyoagiza Waziri Ahmad a.t.b.a alipozuru KARIBU 2018 Vyombo hivyo vilitia fora Mkuu, kwa masaada wa Canada mnamo Oktoba- siku ya Jumapili ya tarehe 1 Allah jambo hili lilitekelezwa Novemba, 2016. Akiripoti tukio Ni vigumu, na kwa hakika haiwezekani kuzihesabu Oktoba, 2017 wakati Mgeni barabara. Ilishuhudiwa hilo, alisema kuwa vyombo neema za Allah Alizotupa sisi binadamu. Tizama Maalum, Waziri Mkuu wa vyombo vya habari vya redio vingi vya habari nchini Canada kwa jicho la yakini. Limeumbwa jua ili litutumikie Jamhuri ya Muungano wa na televisheni kuanzia jioni vilihudhuria na kuripoti kwa sisi na vitu vyote vimeumbwa virahisishe safari Tanzania alipofika kushiriki hadi usiku vikiwemo Redio shauku habari za Jalsa. Hata Clouds FM, Redio One, TBC hivyo, gazeti moja la Serikali ya binadamu ili kumuabudu Muumbaji wa Mkutano. Taarifa za habari za Taifa, ITV, Channel Ten, TBC1, (The Globe and Mail) lilikataa. mbingu na ardhi. Mengine yote hayana uzito redio na televisheni jioni hiyo Azam TV (kwa kutaja vichache Inasemikana gazeti hilo kuliko kumuabudu Allah na kumtegemea. zilipambwa na kuongoza kwa habari za mkutano wa mwaka tu) vilitoa habari za Jalsa lilihitaji kusikia habari kutoka kwenye Taarifa za Habari kwa kiongozi wa waislamu Ni masikitiko makubwa ya kwamba tunatumia wa Jumuiya ya Waislamu ambazo husikilizwa na watu ambaye anahamasisha muda mwingi kuyafanya yale yaliyotakiwa kuwa ya Waahmadiyya Tanzania achilia mbali magazeti mengi wengi zaidi hasa nyakati Amani na uvumilivu lakini mwisho kuwa ya kwanza. Aghalabu tunaacha kabisa ya siku iliyofuata ya tarehe 2 za jioni na usiku. Habari mara ilipopatikana fursa lile jambo la msingi na kama alivyowahi kusema Oktoba, 2017 ambapo habari hizo zilipewa umuhimu ya kusikiliza ujumbe wa mshairi wakandikaje kwa nje penye mwanya hupaoni. za Jalsa ziligonga vichwa vya wa mwanzo kabisa kwenye Khalifatul Masih wakaiacha habari vya magazeti hayo tena taarifa za habari za redio na bila kuiripoti. Inaelezwa kuwa Tunamshukuru sana Allah kutupa nguvu na afya ya katika kurasa za mbele. Kwa televisheni. Kama vile hiyo katika juma hilohilo la Jalsa kuingia katika mwaka mpya 2018. Wakati tunaingia kutaja machache, gazeti la haitoshi, matoleo ya magazeti gazeti likaamua kwenda kutoa katika mwaka mpya, inatubidi tukumbushane. Sala “Daily News” linalomilikiwa ya siku iliyofuata (Jumatatu habari kuhusu wakimbizi ni chakula cha roho. Ukikosa utakonda na hatimaye na Serikali liliandika “Peace tarehe 2 Oktoba, 2017) ya wa Syria ambapo waandishi kudhoofika. Ni chakula kinachotakiwa kuliwa mara Security in your hands”. Kiswahili na Kiingereza na wa gazeti hilo waliwauliza tano kwa siku. Na wakati dunia ipo kimya usiku Nalo “Habari Leo” ambalo yanayosomwa kwa wingi wakimbizi hao kuwa unaamka kumshukuru Allah. Hiyo ndiyo njia pekee ya pia linamilikiwa na Serikali yaliripoti habari za Jalsa tena watakuwa wakishughulika na kukabiliana na madhila na maumivu yanayotukabili liliandika “Viongozi wa kidini katika kurasa za mbele, huku nini mwishoni mwa juma. Kwa hivi leo. Mahangaiko yamezidi. Wasiwasi umetanda wapewa maagizo mazito mengi yakimkariri Waziri bahati waandishi hao ikatokea kila mahali. Vita na uhasama vimeifunika dunia. ya kiusalama”. Gazeti la Mkuu aliyehamasisha suala wakawasiliana na baadhi ya Ni wapi pa kukimbilia kama si kwa Allah? “Nipashe” liliandika “Majaliwa la umuhimu wa taasisi na wakimbizi wa Kiahmadiyya. ataja dawa wavurugaji”. madhehebu ya dini kuhubiri Kwa hakika haikuwa bahati Wewe unadhani mashaka aliyoyakabili Mtukufu Kwa upande wake, “Tanzania Amani ya nchi. Ujumbe huo bali ilikuwa mipango ya Allah, Mtume Muhammad s.a.w angeyawezaje bila Daima” lilijinadi “Majaliwa: wa Waziri Mkuu kwa hakika wakimbizi hao walisema silaha ya sala. Mipango ilifanywa ya kumdhuru Wapigeni vita wanaotaka uliendana na kaulimbiu ya kuwa watatumia siku zao za mkutano wa mwaka huu mwishoni mwa juma kushiriki akatoka Makka, akaingia pango la Thaur na kuvuruga Amani”. “Uhuru” isemayo “Muislamu wa kweli katika Jalsa Salana ya Canada kufika Madina salama salimini. Siri yake ni nalo halikubaki nyuma ni yule ambaye watu wengine na hivyo wakamwalika nini kama sio sala za vilio machozi kutiririka. kwani katika ukurasa wake wa mbele liliongozwa na wote wako salama dhidi ya mwandishi huyo aungane nao shari ya ulimi wake na mikono kushiriki Jalsa Salana hiyo. Maadui hawakumuacha. Walimfuata hadi habari “Majaliwa aagiza yake.” Hivyo, mwandishi Patrick Madina na akalazimika kulinda uhuru wa wanaovuruga Amani wafichuliwe”. Kama hiyo Magazeti yaliyotoa habari za Collins alihudhuria Jalsa na kuabudu. Watu 313 dhaifu, wasio na silaha, haitoshi gazeti la Habari leo Jalsa siku ya Jumatatu tarehe aliandika makala ambayo wasio na uzoefu wa vita wakawachakaza katika ukurasa wake wa 2 Oktoba, 2017 ni pamoja na ilieleza kwa kina kuhusu Jalsa mahodari wa vita. Siri yake ni nini? Sala za vilio. mbele lilipambwa na picha magazeti ya kiingereza Daily Salana ambapo pia kwenye ya Waziri Mkuu akipokea News na Citizen, magazeti makala hayo alitoa picha ya Watu wa Uarabuni walikuwa wameharibik mno, ulevi zawadi ya kitabu kutoka kwa ya Kiswahili Nipashe, Uhuru, Khalifa Mtukufu a.t.b.a. Aidha, na madhambi mengine makubwa, hata uturi wote wa katibu wa malezi wa Jumuiya Tanzania Daima, Mtanzania, aliandika kuwa wakimbizi Uarabuni usingeweza kuondoa uvundo uliokuwa ya Waislamu Waahmadiyya Mwananchi na Habari Leo. wa Syria wanashukuru kuwa umetapakaa. Masihi Aliyeahidiwa Hadhrat Mirza Tanzania, Mahmood Ingawa siku Waziri Mkuu wameweza kukimbia nchi yao Ghulam Ahmad a.s. anaeleza vizuri hali yao: Hamsin Mubiru huku kulia alipohudhuria kwenye Jalsa yenye vita na kuja kukutana na Uliwakuta vinyesi, kwa kuzingwa na maasi, akionekana Amir na Mbashiri vilikuwepo vyombo vya habari Imamu wao mpendwa kwenye vichache vilivyofika kuripoti Jalsa Salana. Gazeti hilo hilo Lakini kwa sala za vilio: Mkuu Sheikh Tahir Mahmood Chaudhry. habari za Jalsa, lakini baadaye ambalo halikupenda kuandika Akawafanya fususi, za dhahabu za thamani. asilimia kubwa ya vyombo habari za Jalsa likajikuta vya habari viliripoti habari za likiishia kuandika moja ya Mtume Muhammad (s.a.w.) akawafanya Waarabu Gazeti la Mtanzania lilitoa picha Jamaat kama tulivyoona.