Islam Ahmadiyya Ishara Ya Mbinguni
Total Page:16
File Type:pdf, Size:1020Kb
Gazeti la kwanza la Kiislam kutolewa kwa lugha ya Kiswahili - mwaka 1936 Nukuu ya Qur’an Tukufu Enyi mlioamini! Watu wasiwadhihaki watu wengine huenda wakawa ni bora kuliko wao; wala wanawake (wasiwadhihaki) wanawake huenda wakawa bora kuliko wao. Wala msisingiziane wala msiitane Mapenzi ya Mungu kwa majina mabaya. Ni jambo baya sana kujichumia sifa mbaya baada ya imani; Mapenzi kwa wote bila chuki kwa yeyote na wale wasiotubu hao ndio DAR ES SALAAM TANZANIA wadhalimu. (49:12) JUZU 76 No. 188 SAF./RAB1. 1438 AH JANUARI 2017 SULH 1396 HS BEI TSH. 500/= Khalifa Mtukufu awatanabahisha wapinzani: Islam Ahmadiyya Ishara ya Mbinguni Katika kipindi cha kudhihirisha mara nyingi, alitaja miujiza Na Mwandhisi wetu, ukweli wa Mitume wa Allah, mbalimbali na Ishara za Dar es Salaam Allah anawafaya watu hawa Allah ambazo zitadhirika juu kuwa ishara ya kuasa na onyo ya ukweli wa Ahmadiyya. Hadhrat Khalifatul Masih V kwa watu. Wapinzani wa Alipokuwa anazitaja Ishara (atba) alitoa hotuba katika Masih Aliyeahidiwa(a.s) nao hizi alikuwa anasema kwamba msikiti wa Baitul Futuh pia walikuwa kama hivi. Watu ishara hizi zilielezwa na mjini London, ambapo hawa pamoja na kuona Ishara kutabiriwa na Mtukufu aliwatahadharisha wapinzani nyingi za kweli za Masih Mtume(s.a.w) miongoni ya Jamaat Ahmadiyya juu ya Aliyeahidiwa(a.s) lakini bado mwa hizo ni kupatwa kwa upinzano wao usio wa haki. hawamuamini kwa sababu jua na mwezi. Kama ishara Baada ya Salamu, Tashahhud, ya ukaidi na ubishi wao. Au hii isingetimia viongozi wa Taaudh na kusoma Suratul wanaenda kinyume kabisa dini wangeonyesha hamaki Faatiha, Huzur Aqdas a.t.b.a. na zile ishara ambazo Allah na vurugu. Lakini pale alisema: amewaonyesha, basi Allah kwa ilipoonekana, sio mara moja Wako watu ambao hakika anawafaya wachache tu bali ni mara mbili, mara ya macho yao yamefungwa miongoni mwao kwa Ishara ya kwanza ilikuwa India na mara na ambao wameamua onyo. ya pili ilikuwa Marekani, watu kwamba hawataamini wala Masih Aliyeahidiwa(a.s) hawa walionyesha kuipuuza. hawatashuhudia juu ya aligusia ishara nyingi kuwa Masih Aliyeahidiwa(a.s) Ishara za kweli za Allah. Kwa zilikuwa zinahusu ukweli alisema mmoja wa rafiki zangu hakika hizi ni sifa na tabia wake na pia zilidhihirika alinieleza kuwa wakati Ishara za watu wasioamini mitume. kwa watu sawa na zile Ishara hii ilipotimia, Ghulam Murtaza Watu hawa hata baada ya za Masih Aliyeahidiwa(a.s) ambae alikuwa ni mmoja wa kushuhudia Ishara lakini bado ambazo zilielezwa na Mtume viongozi wa dini alionyeshwa wataendelea kutaka ushuhuda Mtukufu(s.a.w). Lakini kukatishwa tamaa sana na zaidi ambao utakuwa sawa viongozi mbalimbali wa dini alionyesha kuumizwa sana na na fikira zao. Kwa sababu ya wao wenyewe hawaziamini alitoa maoni yake kwamba sasa kuvuka kwao mipaka basi Allah Hadhrat Mirza Masroor Ahmad, na pia wanawazuia watu dunia inaenda kupotoka. Masih ameifunga mioyo yao. Na kisha Khalifatul Masih V a.t.b.a. wengine kuamini ukweli. Aliyeahidiwa(a.s) akasema wameshindwa kuifikia imani. Na wanaendelea kufanya hivi. Masih Aliyeahidiwa(a.s) Endelea uk. 3 Lukuvi: Naifahamu Jumuiya Ahmadiyya Na Jamil Mwanga, “Mwaka 1996 nikiwa Wizara Dar es Salaam ya Kazi nilikuja na marehemu Kinyondo, mlimpatia vitabu Waziri wa Ardhi, Nyumba vingi ambapo alichukua na Maendeleo ya Makazi, likizo na vilimchukua siku William Lukuvi amesema saba kuvisoma vitabu kuwa anaifahamu Jumuiya vya Ahmadiyya, kisha ya Waislamu Ahmadiyya akawaalika ofisini kwake kwa tangu mwaka 1996 wakati majadiliano akidai kuwa sasa alipohudhuria moja ya hafla ameshawafahamu” alisema, iliyoandaliwa na Jumuiya huku akicheka na kutabasamu. Ahmadiyya ambapo marehemu Kwa upande wake, Amir Sebastian Kinyondo alialikwa na Mbashiri Mkuu, Sheikh kama mgeni rasmi. Mahmood Tahir Chaundry Waziri Lukuvi aliyasema hayo akiielezea Jumuiya ya Waislam ofisini kwake hivi karibuni Ahmadiya, alisema kuwa alipokutana na uongozi ni Jumuiya ya kidini yenye wa Jumuiya ya Waislamu kiongozi mmoja duniani. Ahmadiyya ukiongozwa na “Ahmadiyya sio Jumuiya ya Amir na Mbashiri Mkuu, Sheikh kisiasa, hatufanyi biashara Mahmood Tahir Chaundry na tunatii sheria za nchi”, uliofika ili pamoja na mambo alisema na kuongeza kuwa mengine, kumsalimia na Jumuiya Ahmadiyya imekuwa kueleza shughuli zinazofanywa ikifanya mikutano ya mwaka na Jumuiya ya Ahmadiyya Amir na Mbashiri Mkuu Sheikh Tahir Mahmood Chaudhry akikabidhi vitabu kwa Mh. William nchini. Lukuvi wakati alipomtembela ofisini kwake, Dar es Salaam Endelea uk. 2 2 Mapenzi ya Mungu Januari 2017 Rabiu Thani 1438 AH Sulh 1396 HS MAKALA / MAONI Mapenzi ya Mungu Naifahamu Jumuiya Ahmadiyya Kutoka uk. 1 alisema kwa takriban miaka Lukuvi ambaye pia ni mbunge sita sasa Jumuiya imekuwa wa jimbo la Ismani mkoani Maoni ya Mhariri (Jalsa Salana) kwa lengo la ikiandaa mikutano ya amani Iringa alisema hata katika kukutana na kukumbushana nchini sawa na kauli mbiu jimbo lake eneo la Izazi wapo masuala ya imani ambapo isemayo: Amani kwa Wote bila waahmadiyya na kuiomba KARIBU MWAKA 2017 pia viongozi wa Serikali chuki kwa yeyote. Jamaat iangalie uwezekano wa wamekuwa wakialikwa. Kuhusu shughuli za kijamii kufikisha huduma za visima Hotuba ya Ijumaa iliyotolewa na kiongozi wetu Alisema kwa mfano, mwaka zinazofanywa na Jamaat vya maji katika eneo hilo. mpendwa Hadhrat Mirza Masroor Ahmad (atba) jana katika mkutano wa Ahmadiyya nchini, Amir Sahib Mwishoni, Amir na Mbashiri tarehe 30/12/2016 bila shaka itajipatia nafasi ya mwaka uliofanyika Kitonga, alisema kuwa mbali na huduma Mkuu alimkabidhi Waziri Dar es Salaam, rais mstaafu wa kipekee na ya kiheshima katika historia ya Jumuiyya za afya na elimu kwa msaada Lukuvi vitabu mbalimbali vya awamu ya pili, Mzee Ali Hassan wa taasisi ya ‘Humanity First’, Jamaat Ahmadiyya ikiwemo ya Ahmadiyya. Kila neno la hotuba hiyo ni lulu yenye Mwinyi pamoja na Naibu Jumuiya Ahmadiyya imesaidia tafsiri ya Qurani Tukufu kwa thamani na tunaomba kwa unyenyekevu mkubwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya kuchimba visima na kuweka lugha ya Kiswahili kabla ya kila Muaminio atafute fursa ya kuisoma kwa makini Nchi Mhandisi Hamad Yussuf pampu za maji katika maeneo kupata picha ya pamoja na na atafakari juu ya matone hayo ya asali yaliyomo Masauni walikuwa miongoni mbalimbali nchini. ujumbe wa Jamaat Ahmadiyya. mwa wageni waalikwa. Aidha, katika hotuba hiyo. Kuhusu huduma ya maji, Waziri Ni desturi ya binadamu kuanza mwaka mpya kwa mbwembwe na shamra shamra nyingi hadi kuwa kero na usumbufu kwa watu wengine. Furaha yako ikiwaletea maumivu watu wengine hiyo si furaha bali kayaya. Kiongozi wa Waaminio anataka tupeleke fikra zetu miezi 12 iliyopita. Je tulitimiza wajibu wetu sawasawa? Tulitekeleza masharti yaliyomo katika Baiat? Na kama tulipatikana na upungufu tumefanya nini ili kurekebisha upungufu huo? Mwanzo wa mwaka ni muda wa fikra nzito. Ni muda wa kujuta na kutathmini kuhusu ile shabaha kuu ambayo ni kumwabudu Allah na kutimiza wajibu wetu kwa viumbe wake. Mwanzoni mwa mwaka ni kukumbuka mahali gani tulipojikwaa. Na ni mahali gani tulipotumbukia katika shimo. Mwanzoni mwa mwaka unatakiwa uvae ile kanzu ya Mwaminio ambaye haanguki katika shimo lilelile mara mbili. Ukisha tathmini hayo yaliyopita kama anavyoshauri Picha ya pamoja kati ya Mh. Lukuvi na Amir Jamaat Ahmadiyya pamoja na msafara wake kiongozi wetu wa Waaminio ni jukumu lako kupiga walipomtembelea moyo konde na kuahidi kuwa yaliyopita si ndwele tugange yajayo. Sehemu ya pili ya hotuba hiyo muhimu ni kujipanga Makatibu wa Tahrik Jadid wa ili uweze kufanya vizuri zaidi na kuhakikisha kuwa kila hatua yako ni ya kuelekea kwenye kutafuta radhi ya Allah. Katika kuelekea kwenye shabaha hiyo matawi ya Dar wajiwekea mikakati kiongozi wa Waaminio ametushauri yafuatayo:- • Kujiwekea ahadi ya kutofanya jambo lolote la Na mwandishi wetu, na Aman lssa Mwakitalema kishirikina Dares Salaam. Sahib (Amani). Wengine ya Kinondoni). Picha ya pamoja ni ya washiriki hao na • Kila siku iwe dhihirisho ya mfano bora wa Mtukufu ni Nassir A Ndembo Sahib Baada ya kupata idhini ya (Mnazi Mmoja), Jalaluddin picha zingine ni za washiriki Mtume Muhammad (saw). Mheshimiwa Amir na Mbashiri M. Mbawala Sahib (Qadian), wakifuatilia kwa makini • Kutangaza umoja wa Allah Mkuu kikao cha makatibu Ridhiwani A Muhimu Sahib mjadala wa kikao hicho. • Kujilinda na uongo na kutembea kwenye njia ya wa Tahrik Jadid wa matawi (Temeke Mikoroshini), Ahmad Hali ya washiriki ilionekana ukweli. ya Mkoa wa Dar es Salaam Abdul Nasib Sahib (Magomeni wazi kuwa ni watu wenye kilifanyika Kaluta House kutafuta Radhi ya Allah • Kujikinga na aina zote za uonevu. Mikumi), Yahaya Mpate Sahib tarehe 14 Januari 2017 chini (Tabata). Fadhili A. Mshamu pekee kwa namna ya utulivu • Kusimamisha sala tano kila siku. ya Uenyekiti wa Naib Raisi Sahib (Kitanga), Muhsin A. walikokuwa nao na jinsi ya • Kusali sala za Tahajjudi kila siku wa Mkoa Bwana Mustafa Kaye Sahib (Mabibo). uzungumzaji wao. Karibu • Kumsalia sana Mtukufu Mtume Muhammad (saw) Abdu lmran. Makatibu kutoka Viongozi wengine kila mmoja alikuwa na jambo (Darood) matawi 16 walihudhuria kikao waliohudhuria ni Omari Mrisi Ia kuchangia. Hakukuwa na hicho ikiwa ni 59% ya matawi posho ya kikao wala fedha ya • Kuendelea kuomba maghofira Sahib (Naazim Tahrik Jadid yote ya Dar es Salaam. Dar Khudamul usafiri kila mmoja alijitolea • Kufuata amri zote za Qur’an Tukufu na mafundisho es salaam ina matawi 27 ya Ahmadiyya llaqa DSM), muda wake na fedha zake. ya Mtukufu Mtume Muhammad (saw). Jamaat. Pamoja na hao pia Mustafa Abdul lmran Allah Awe radhi nao, Amin. • Kujiepusha na maneno ya kuudhi walihudhuria Naazim Tahrik Sahib (Naib Raisi Mkoa wa Mkutano ulianza saa 11. 15 • Kujiepusha kusambaza siri za wengine Jadid Khudammul Ahmadiyya DSM), Amiri K. Abedi Sahib jioni kwa usomaji wa Kuruani llaqa DSM, Mwalimu wa Zone Tukufu na tafsiri iliyosomwa • Kuwasamehe waliotukosea (Katibu Taifa Tahrik Jadid} na na Katibu Taifa Tahrik Jadid. Mwalimu Ali Salehe Hassan na Mwalimu Ali Salehe • Kila kazi ianze kwa kumtukuza Allah Makatibu waliohudhuria na Sahib ( Mwalimu wa Zoni Endelea uk. 5 • Kujitolea kwa kazi za Jamaat matawi yao kwenye mabano • Kujikinga kutazama mambo machafu kwa njia za ni:- Luqmaan Jafar Malik Sahib BODI YA UHARIRI mitandao na Runinga.