Availability of Small Arms and Perceptions of Security in Kenya
Ripoti Maalum Upatikanaji wa Silaha Ndogo ndogo na Hisia za Usalama nchini Kenya: Ukadiriaji Manasseh Wepundi, Eliud Nthiga, Eliud Kabuu, Ryan Murray, na Anna Alvazzi del Frate Ripoti Maalum Juni 2012 Upatikanaji wa Silaha Ndogo Ndogo na Hisia za Usalama nchini Kenya: Ukadiriaji Manasseh Wepundi, Eliud Nthiga, Eliud Kabuu, Ryan Murray, na Anna Alvazzi del Frate Uchunguzi uliofanywa na Shirika la Uchunguzi wa Silaha Ndogo Ndogo, Small Arms Survey, na Shirika la Kitaifa la Kushughulikia silaha Ndogo Ndogo na Silaha Nyepesi, Kenya National Focus Point on Small Arms and Light Weapons, kwa usaidizi kutoka kwa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Denmark Haki Miliki Kimechapishwa nchini Switzerland na shirika la Small Arms Survey © Shirika la Small Arms Survey, Taasisi ya Masomo ya Juu ya Kimataifa na Maendeleo, Geneva 2012 Chapisho la kwanza Juni 2012 Haki zote zimehifadhiwa. Kitabu hiki au visehemu vyake vyovyote havi paswi kutolewa kwa namna yoyote ile, au kuhifadhiwa kwa mtambo wowote ule utakaovitoa, au kurushwa hewani kwa namna au njia yoyote ile bila ya kuwa na idhini iliyoandikwa kutoka kwa shirika la Small Arms Survey, au ilivyobainishwa kisheria, au chini ya masharti yaliyokubaliwa na shirika linalohusika na haki za utoleshaji. Maswali yanayohusu utoaji ulio nje ya upeo ulioshughulikiwa hapo juu yanapaswa kutumwa kwa Meneja wa Uchapishaji, Small Arms Survey, katika anwani iliyopo hapo chini. Small Arms Survey Graduate Institute of International and Development Studies 47 Avenue Blanc, 1202 Geneva, Switzerland Kimetafsiriwa na Joan Simba Kimehaririwa na Esther Munguti Usanifu wa ramani umefanywa na Jillian Luff, MAPgrafix Utayarishaji chapa umefanywa na Frank Benno Junghanns Kimepigwa chapa na GPS mjini France ISBN 9782970077183 ISSN 16614453 2 Small Arms Survey Ripoti Maalum Wepundi et al.
[Show full text]