Jarida La Utumishi Januari 24, 2019
Total Page:16
File Type:pdf, Size:1020Kb
UTUMISHI News Toleo Na.9 Januari-Juni, 2019 SERIKALI YAWATAKA WATANZANIA WOTE KUSHIRIKI KATIKA KUIMARISHA UTAWALA BORA ILI KUTOA MCHANGO KATIKA MAENDELEO YA TAIFA uk.1 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Kapt (Mst) George Mkuchika (Mb) Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dkt. Laurean Ndumbaro Mhe.Dkt. Mwanjelwa aelekeza kusimamisha mishahara ya waajiri na maafisa utumishi Serikali yawataka wakuu wa idara watakaowasilisha taarifa zisizo sahihi kwenye za Utawala na Usimamizi wa mfumo wa malipo ya mishahara (HCMIS)uk.10 Rasilimaliwatu serikalini kusimamia vizuri rasilimaliwatu uk.5 Hutolewa na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini , Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Barabara ya Mkalama, S.L.P 670, 40404,Dodoma, Barua Pepe:[email protected] Tovuti:www.utumishi.go.tz YALIYOMO uk. 1.Serikali yawataka watanzania kuimarisha utawala bora..........................................................................1-2 2. Watendaji katika sekta ya umma watakiwa kujiepusha na mgongano wa maslahi ili kujenga uchumi imara wa taifa........3-4 CHUMBA CHA HABARI 3. Serikali yawataka Wakuu wa Idara za Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu Serikalini kusimamia Vizuri rasilimaliwatu.............................................................5 4. Wakuu wa Idara za Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu Bodi ya Uhariri: serikalini watakiwa kuwatumikia watumishi wa umma wanaowasimamia ili kuwajengea ari ya utendaji kazi..6-7 Dkt. Laurean Ndumbaro 5. TAKUKURU yaelekezwa kuweka mkakati madhubuti kupambana Dkt. Francis Michael na rushwa kipindi cha uchaguzi wa serikali za mitaa...............8 Bi. Mary Mwakapenda 6.Ofisi ya Rais-Utumishi yakabidhi Kiwanja kwa TBA ili kuanza Bw. James Katubuka ujenzi wa ofisi................................................................9 Bi.Happiness Shayo 7.Dkt. Mwanjelwa aelekeza kusimamisha mishahara ya waajiri na maafisa utumishi watakaowasilisha taarifa zisizo sahihi kwenye mfumo wa malipo ya mishahara (HCMIS) .............10-11 Dira 8. Serikali yawapongeza wanufaika wa miradi ya maendeleo mkoani iringa kwa kutumia vizuri fedha za miradi ya Ofisi ya Rais- Menejimenti ya Utumishi wa maendeleo kujikwamua kiuchumi..............12-13 Umma na Utawala bora (OR-MUUUB) kuwa Taasisi itakayowezesha kuwa na Utumishi 9. Wakala wa Majengo Tanzania yatakiwa kumaliza kwa wakati ujenzi wa kituo cha Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa wa Umma uliotukuka kwa kutoa huduma cha kanda ya ziwa kinachojengwa Jijini Mwanza......13-14 bora kwa Umma na hivyo kuchangia katika kukuza uchumi, kupunguza umaskini na 10. Serikali yawapatia huduma ya usafiri wajane wa aliyekuwa Makamu wa Rais wa Tanzania, Hayati kuleta maisha bora kwa kila Mtanzania Alhaji Aboud Mwinyi Jumbe..........................15 ifikapo mwaka 2025. 11. Utumishi yaunga mkono kwa Vitendo kampeni ya Makamu wa Rais, Mhe. Samia Suluhu ya kulifanya jiji la Dodoma kuwa kijani kwa kupanda miti.............16 Dhamira 12. Serikali yawapandisha madaraja watumishi wa umma Kuhakikisha kuwa utumishi wa umma nchini 113,520 walioajiriwa tangu mwaka 2012........uk.17 unasimamiwa vizuri na kwa ufanisi kupitia 13. Wanufaika wa Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini usimamizi wa rasilimaliwatu, mifumo na mkoani Kilimanjaro watakiwa kutumia Vizuri fedha miundo ya kiutumishi za ruzuku ili Kuboresha maisha yao.........18-19 14. Uzingatiaji wa maadili na nidhamu ya kazi ndio msingi na nyenzo ya utendaji kazi kwa watumishi wa umma nchini.20-21 15. Serikali yawataka watumishi wa umma wilayani Kilolo kuishi maeneo wanayofanyia kazi ili kutekeleza Majukumu yao ipasavyo..22 16. Watumishi wa Umma watakiwa kuwa tayari kufanya kazi mahali popote nchini ili kuwahudumia wananchi........... 23-24 17. Naibu Katibu Mkuu-UTUMISHI aomba ushirikiano kutoka kwa watumishi wa ofisi yake ili kufikia malengo ya Mhe. Rais ya kutoa huduma bora kwa wananchi..............25 18. Matukio katika picha..............................................26-27 1 Serikali yawataka watanzania wote kushiriki katika kuimarisha utawala bora ili kutoa mchango katika maendeleo ya taifa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Kapt (Mst) George Mkuchika (Mb) akisoma Kauli Mbiu ya Siku ya Maadili na Haki za Binadamu Kitaifa mara baada ya kuzindua rasmi siku hiyo jijini Dodoma. Kushoto kwake ni Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Dkt. Mary Mwanjelwa (Mb). na kifikra kuhusu uzingatiaji wa maadili, erikali imewataka watanzania wote kushiriki nidhamu ya kazi, vita dhidi ya rushwa, katika kuimarisha utawala bora nchini ili haki za binadamu, uwazi na uwajibikaji, kutoa mchango wenye tija kwa maendeleo S na kusisitiza kuwa mabadiliko haya yawe ya taifa badala ya kuviachia jukumu hilo vyombo ndio utamaduni wa mtanzania wa kila siku. vinavyosimamia masuala ya utawala bora. Mhe. Mkuchika alifafanua kuwa, duniani Wito huo ulitolewa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya kote, suala la utawala bora linapewa Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na kipaumbele, kwasababu bila nchi kuwa na Utawala Bora, Mhe. Kapt (Mst) George Mkuchika mfumo madhubuti wa maadili kuanzia ngazi wakati akizindua maadhimisho ya Siku ya Maadili ya familia haiwezi kufanikisha vita dhidi ya na Haki za Binadamu Kitaifa, jijini Dodoma. mmomonyoko wa maadili. Aidha, alitoa wito kwa watanzania wote nchini kuwa waadilifu Mhe. Mkuchika alisema, ili kuwa na utawala bora ili kuwa mfano wa kuigwa na vizazi vijavyo. katika nchi yetu, watanzania wote wanahusika kwa maana ya wale waliopewa dhamana ya Naye, Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya kusimamia utawala bora na wananchi wa kawaida, Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Dkt. kwani wenye dhamana ya kusimamia utawala Mary Mwanjelwa (Mb) aliwataka watanzania bora wanahitaji ushirikiano kutoka kwa wananchi kuwa wazalendo kwa kutanguliza masilahi ili waweze kutekeleza majukumu yao kikamilifu. ya umma kwa ajili ya maendeleo ya taifa. Mhe. Mkuchika aliongeza kuwa, mtanzania Mhe. Dkt. Mwanjelwa alisema, kupitia kauli wa kawaida anatakiwa abadilike kimtazamo 2 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Kapt (Mst) George Mkuchika (Mb), akizungumza na wadau wa maadili na haki za binadamu wakati wa uzinduzi wa maadhimisho ya Siku ya Maadili na Haki za Binadamu Kitaifa, jijini Dodoma. mbiu ya maadhimisho ya Siku ya Maadili na Haki za Binadamu ya mwaka huu inayosema “Udhibiti wa Mgongano wa Masilahi-Nguzo ya Maadili ya Viongozi wa Umma, Mamlaka ya Muhimu Kujenga Utawala Bora” ni vema kwa Udhibiti wa Manunuzi ya Umma, Ofisi ya Taifa kila mtanzania kutanguliza masilahi ya umma ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali, Tume ya mbele badala ya masilahi binafsi ili kufikia Utumishi wa Umma, Tume ya Haki za Binadamu lengo la uchumi wa kati wa viwanda kama na Utawala Bora na Ofisi ya Mwanasheria Mkuu inavyohimizwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Serikali, lengo likiwa ni kuhamasisha uadilifu, wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli. uwazi, uwajibikaji na utawala bora nchini. Mhe. Dkt. Mwanjelwa aliongeza kuwa, utekelezaji wa kauli mbiu hii ni muafaka kwasasa kwani taifa liko katika utekelezaji wa miradi mikubwa ya maendeleo ambapo uzalendo na uadilifu ni nguzo kuu itakayowezesha utekelezaji wa miradi hiyo. Awali, akitoa neno la utangulizi, Kamishna wa Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma, Jaji Mstaafu Harold Nsekela alisema, maadhimisho ya Siku ya Maadili na Haki za Binadamu Kitaifa ni muhimu kwani yanahimiza na kutukumbusha kuzingatia misingi ya maadili, haki za binadamu, uwajibikaji, mapambano dhidi ya rushwa hasa kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Kapt (Mst) George Mkuchika (Mb) na Naibu watumishi wa umma ambao jukumu lao Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala kubwa ni kutoa huduma kwa wananchi. Bora, Mhe. Dkt. Mary Mwanjelwa (Mb) wakimkabidhi zawadi Mlezi wa Klabu ya Maadili wa shule ya Sekondari Dodoma, Mwalimu Marco Maadhimisho ya Siku ya Maadili na Haki Benedict Magwa, mara baada ya kuzindua maadhimisho ya Siku za Binadamu Kitaifa huratibiwa na Ofisi ya Maadili na Haki za Binadamu Kitaifa, jijini Dodoma. Kushoto ni Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Mhe. Patrobas Katambi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa, Sekretarieti 3 Watendaji katika sekta ya umma watakiwa kujiepusha na mgongano wa maslahi ili kujenga uchumi imara wa taifa Jaji Mkuu Mstaafu wa Tanzania, Mhe. Mohamed Chande Othman, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Kapt (Mst) George Mkuchika (Mb) na Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Dkt. Mary Mwanjelwa (Mb) wakifuatilia mada wakati wa mjadala kwenye maadhimisho ya Siku ya Maadili na Haki za Binadamu Kitaifa, uliofanyika jijini Dodoma. Wa kwanza kulia ni Kamishna wa Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma, Mhe. Jaji Mstaafu Harold Nsekela. iongozi, watumishi na kwani unailetea sifa mbaya atakaloenda kulitolea maamuzi wataalam mbalimbali serikali, taasisi, idara na sekta badala ya kungoja kuambiwa Vnchini, wametakiwa binafsi ambazo mgongano ajiuzulu na kushutumiwa kujiepusha na mgongano wa maslahi unajitokeza, na kuwa na mgongano wa wa maslahi kwa kutotumia kuongeza kuwa unamletea maslahi kwenye suala nyadhifa zao au ofisi zao pia sifa mbaya ya kiutendaji aliloshiriki kutoa maamuzi. kujinufaisha wao wenyewe, kiongozi au mtumishi kwenye kuwanufaisha ndugu zao au fani au taaluma aliyobobea.