UTUMISHI News Toleo Na.9 Januari-Juni, 2019 SERIKALI YAWATAKA WATANZANIA WOTE KUSHIRIKI KATIKA KUIMARISHA UTAWALA BORA ILI KUTOA MCHANGO KATIKA MAENDELEO YA TAIFA uk.1 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Kapt (Mst) George Mkuchika (Mb) Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dkt. Laurean Ndumbaro Mhe.Dkt. Mwanjelwa aelekeza kusimamisha mishahara ya waajiri na maafisa utumishi Serikali yawataka wakuu wa idara watakaowasilisha taarifa zisizo sahihi kwenye za Utawala na Usimamizi wa mfumo wa malipo ya mishahara (HCMIS)uk.10 Rasilimaliwatu serikalini kusimamia vizuri rasilimaliwatu uk.5 Hutolewa na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini , Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Barabara ya Mkalama, S.L.P 670, 40404,Dodoma, Barua Pepe:
[email protected] Tovuti:www.utumishi.go.tz YALIYOMO uk. 1.Serikali yawataka watanzania kuimarisha utawala bora..........................................................................1-2 2. Watendaji katika sekta ya umma watakiwa kujiepusha na mgongano wa maslahi ili kujenga uchumi imara wa taifa........3-4 CHUMBA CHA HABARI 3. Serikali yawataka Wakuu wa Idara za Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu Serikalini kusimamia Vizuri rasilimaliwatu.............................................................5 4. Wakuu wa Idara za Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu Bodi ya Uhariri: serikalini watakiwa kuwatumikia watumishi wa umma wanaowasimamia ili kuwajengea ari ya utendaji kazi..6-7 Dkt. Laurean Ndumbaro 5. TAKUKURU yaelekezwa kuweka mkakati madhubuti kupambana Dkt. Francis Michael na rushwa kipindi cha uchaguzi wa serikali za mitaa...............8 Bi. Mary Mwakapenda 6.Ofisi ya Rais-Utumishi yakabidhi Kiwanja kwa TBA ili kuanza Bw. James Katubuka ujenzi wa ofisi................................................................9 Bi.Happiness Shayo 7.Dkt.