Ofisi ya Taifa ya Takwimu Simu: +255 (0)22-2122722/3 18 Barabara ya Kivukoni, Nukushi: +255 (0)22-2130852 S.L.P. 796, Barua pepe:
[email protected] 11992 - Dar es Salaam Tovuti: www.nbs.go.tz TANZANIA. 30 Oktoba, 2017 WITO WA MAFUNZO YA KAZI Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) inapenda kuwatangazia matokeo ya usaili wa Utafiti wa Mapato na Matumizi ya Kaya Binafsi ( Household Budget Survey) ambao ulifanyika Mikoa yote ya Tanzania Bara. Watu wote waliochaguliwa katika usaili huo kama ilivyooneshwa hapo chini, wanatakiwa kufika Dodoma siku ya jumapili tarehe 05/11/2017 kwa ajili ya kuhudhuria mafunzo yatakayoanza rasmi tarehe 06/11/2017 siku ya Jumatatu katika Ukumbi wa Jengo la LAPF - Makao Makuu kuanzia saa 2:00 Asubuhi. Mafunzo hayo yatakua kwa muda wa wiki mbili (2). ANGALIZO : 1. Wote mliochaguliwa kuja kwenye mafunzo mnatakiwa kufika Dodoma tarehe 5/11/2017 mkiwa na Vitambulisho na Picha za rangi - Passport size mbili (2) zilizopigwa hivi karibuni, 2. Kila mmoja atatakiwa kutunza tiketi atakazo safiria kwa ajili ya kurejeshewa nauli alizotumia. (Usafiri wa ndege hautaruhusiwa), 3. Watakaofaulu mafunzo ndio watakaopewa Mkataba wa Kazi. Orodha ya wasailiwa waliochaguliwa ni kama ifuatavyo: NATIONAL BUREAU OF STASTITICS HOUSEHOLD BUDGET SURVEY RESULTS FOR TANZANIA MAINLAND ARUSHA SN AREA OF ENUMERATION NAME 1 Buger/Krash Joseph Paul Amnina 2 Endamaghang/Mang'ola Barazani Antonius L. Patrick 3 Baray/Matala Ezron Mayo Josephat 4 Endulen John Ntandu 5 Ganako (Sabato) + Karatu Mjini Asifiwe Elias Ndereka 6 Ketumbeine/Orkejuloongishu + Engarenaibor/Mairowa Mkare Leiya Olemasei 7 Kimunyaki/Olmringaringa + Kiranyi/Iikiurei Joshua Philipo 8 Maji Ya Chai/Imbaseni + Usa River Hainness Zephania Mollel 9 Mavurano/Leguruki Zakaria Kundael 10 Makiba/Patanumbe Nelson Paul 11 Meserani + Sepeko/Mti Mmoja Lemali M.