Na Mikakati Ya Serikali Katika Kuinusuru

Total Page:16

File Type:pdf, Size:1020Kb

Na Mikakati Ya Serikali Katika Kuinusuru TOLEO NA. 35 JUNI - 2020 na mikakati ya Serikali katika Makamu wa Rais akutana na watendaji kuinusuru wa ofisi yake Ifahamu misingi ya Muungano Kikatiba na Kisheria Fahamu kuhusu hifadhi ya bioanuai nchini Tanzania Waziri Zungu atatua chanhamoto ya uchafuzi wa mifereji Ilala Jarida hili limetolewa na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini | S.L.P 2502, Dodoma, Tanzania Ofisi ya Makamu wa Rais ofisi_ya_makamu_wa_rais @vpo_tanzania TOLEO NA. 35 JUNI - 2020 Tahariri Dibaji ila Juni 17 Tanzania huungana na mataifa mengine kuadhimisha Siku ya ya Kimataifa ya Kupambana na Kuenea kwa Hali ya JangwaK na Ukame. Kaulimbiu katika maadhimisho ya mwaka huu ni “Tudhibiti Kuongezeka kwa Uzalishaji wa Chakula na Malighafi; Tukabiliane na Kuenea kwa Hali ya Jangwa na Ukame”. Kimsingi kaulimbiu hii inaelimisha jamii kuzalisha chakula na malighafi kwa njia endelevu ili kunusuru ardhi kutokana na hali ya Bodi ya Uhariri Jangwa na Ukame. Aidha, Jamii inaelimishwa juu ya uhusiano wa Uzalishaji, Ulaji na Matumizi ya Ardhi. Mwenyekiti Kuenea kwa hali ya jangwa na ukame ni moja ya changamoto za Emelda Teikwa hifadhi ya Mazingira inayotishia uzalishaji wa chakula, ustawi wa jamii na maendeleo ya kiuchumi duniani kote. Wajumbe Hivyo, maadhimisho haya yanahimiza kuwepo kwa uwiano mzuri wa njia za uzalishaji, aina ya mazao yanayozalishwa na tabia ya ulaji ili Julius Enock kuepuka uharibifu wa ardhi na kuenea kwa hali ya jangwa na ukame. Cesilia Nkwamu Aidha, Kauli mbiu hii inalenga kukuza uelewa na kuhamasisha Mugisha Kyamani jamii kubadili mazoea ya kufanya shughuli za uzalishaji na matumizi Obeid Ndahoze ya rasilimali yasiyo endelevu kama vile, kufyeka misitu na kuchoma moto hovyo maeneo makubwa kwa ajili ya kupata ardhi ya kilimo na Lulu Mussa hivyo kuchangia uharibifu wa ardhi na kuenea kwa hali ya jangwa na Monica Sapanjo ukame. Robert Hokororo Katika toleo hili la 35 la jarida la Ofisi ya Makamu wa Rais zipo makala mbalimbali kuhusu mazingira na Muungano ambazo zitamfanya msomaji aelimike na kuhabarika. Kwa mantiki hiyo toleo la jarida hili linatoa dondoo mbalimbali kuhusu utekelezaji wa shughuli na miradi kadhaa inayoratibiwa na Ofisi ya Makamu wa Rais. Aidha pamoja na changamoto mbalimbali wananchi wanaendelea kuaswa kuchukua tahadhari dhidi ya maambukizi ya virusi vya Corona vinavyosababisha ugonjwa wa Covid 19. Jikinge, Wakinge Wengine, CORONA INAZUILIKA. Tunawatakia usomaji mwema wa toleo hili la 35 la jarida la Ofisi ya Makamu wa Rais 2 Jarida la OFISI YA MAKAMU WA RAIS TOLEO NA. 35 JUNI - 2020 Habari Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi na watumishi waandamizi wa Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) na Baaraza la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) katika kikao kilichofanyika Juni 06, 2020 jijini Dodoma. wanawajibika moja kwa moja katika utunzaji na usimamizi wa mazingira, Makamu wa Rais akutana Mhe. Samia alisisitiza umuhimu wa kufanya kazi kwa kushirikisha Viongozi na watendaji wa Ofisi yake wa Serikali za Mitaa ili kuhakikisha kuwa takwimu za mazingira katika sekta akamu wa Rais wa Jamhuri mbalimbali zinawekwa sawa kuanzia ya Muungano wa Tanzania, ngazi za chini. Mhe.M Samia Suluhu Hassan Juni 6, 2020 Aidha, Mhe. Makamu wa Rais amekutana na viongozi na watumishi Ili kuweza kuratibu kwa alipongeza hatua zilizochukuliwa na waandamizi wa Ofisi ya Makamu wa ufanisi shughuli za binadamu Ofisi hiyo katika usimamizi wa katazo la Rais (Muungano na Mazingira) na zinazochangia kwenye uharibifu matumizi ya mifuko ya plastiki. Pia alioa Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi maagizo kwa Ofisi hiyo kwa kushirikiana wa Mazingira (NEMC) jijini Dodoma. wa mazingira kuna umuhimu na TAMISEMI kukamilisha mchakato Katika kikao hicho ambacho ni wa kufanya mapitio ya Sera ya wa kupatikana na kupewa mafunzo mwendelezo wa Maadhimisho ya Siku Mazingira ili kuja na mkakati stahiki Wakaguzi wa Mazingira katika ya Mazingira Duniani yanayofanyika utakaoainisha majukumu, Halmashauri zote nchini. kila mwaka ifikapo Juni 5, Mhe. Samia Aliwataka viongozi na watumishi amezungumzia tathmini ya utekelezaji changamoto na maono ya kuendelea kushiriki kikamilifu katika wa majukumu ya Ofisi hiyo kwa Ofisi kwa kushirikiana na utekelezaji wa miradi mikubwa ya kipindi cha miaka mitano tangu aingie sekta mbalimbali kimkakati kama vile ujenzi wa Reli ya madarakani. SGR na Bwawa la Kuzalisha Umeme la Lengo ni kuona tunaposherehekea takwimu na tathmini zinazoonesha Mwalimu Nyerere, ili kuendelea kutoa Siku ya Mazingira Duniani, Ofisi uhalisia wa uchafuzi wa mazingira ushauri wa kitaalamu. Makamu wa imekuwa ikisimamia vipi suala zima unaotokana na shughuli za binadamu Rais pia amekemea tabia ya baadhi la uratibu wa udhibiti wa uchafuzi wa kwa mfano ukataji wa miti kiholela, ya watumishi kushiriki vitendo vya mazingira ili kuhakikisha rasilimali uchimbaji wa mchanga na vifusi, ubadhirifu ambavyo vimekuwa vikiitia zilizopo zinatumika kwa uendelevu. utiririshaji wa maji sumu na maji taka doa Ofisi. Kwa mfano, usimamizi wa miradi kutoka kwenye migodi kwenda kwenye Alisisitiza suala la kufanya tathmini ya maendeleo inayolenga kurekebisha vyanzo vya maji, mito na maziwa. katika maeneo yote ya migodi na mifumo ikolojia na bioanuai, kupunguza Pia alielekeza kuwa ili kuweza wachimbaji wadogo ili kubaini kiwango gesijoto na kuhakikisha tunapanda miti kuratibu kwa ufanisi shughuli za cha uharibifu wa mazingira na kuchukua ili kunyonya hewa ukaa, kupunguza binadamu zinazochangia kwenye hatua stahiki na kwa wakati kabla ukame na kuhakikisha usalama wa uharibifu wa mazingira kuna umuhimu madhara kwa binadamu na mazingira chakula, kurekebisha mazingira katika wa kufanya mapitio ya Sera ya Mazingira hayajatokea. migodi kwa kuhakikisha uoto wa asili ili kuja na mkakati utakaoainisha Hivyo Mhe. Samia aliwataka unarejeshwa mara baada ya migodi hiyo majukumu, changamoto na maono viongozi na watumishi kuendelea kutoa kufungwa. ya Ofisi kwa kushirikiana na sekta elimu zaidi kwa umma ili kuongeza Aidha, Mhe. Makamu wa Rais mbalimbali. uelewa kwa wananchi katika masuala ya alisisitiza umuhimu wa Ofisi kuwa na Ili kuhakikisha kuwa wananchi utunzaji na uhifadhi wa mazingira 3 Jarida la OFISI YA MAKAMU WA RAIS TOLEO NA. 35 JUNI - 2020 Makala 22 ya mwaka 1964 (The Union of Tanganyika and Zanzibar Act, 1964 [Act No. 22 of 1964] Ifahamu misingi ya ili kuuridhia Mkataba huo. Vilevile, kwa upande wa Zanzibar, Baraza la Mapinduzi lilitunga Sheria ya Muungano Kikatiba Muungano wa Zanzibar na Tanganyika, (The Union of Zanzibar and Tanganyika Law, 1964) ambayo ilichapishwa katika Gazeti na Kisheria la Serikali ya Muungano Na. 243 la tarehe 1 Mei, 1964. Hivyo, sheria za Muungano (Acts of Union) pamoja na Mkataba wa Muungano (Articles of Union) zimekuwa sehemu ya sheria za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuanzia tarehe 26 Aprili, 1964. Mara baada ya kukamilika kwa taratibu za kisheria za kuridhiwa kwa Hati ya Makubaliano ya Muungano, Hati hiyo iliwasilishwa kwa Katibu Mkuu waUmoja wa Mataifa kuiarifu jumuiya ya Kimataifa na kuomba kutambuliwa kwa Dola ya Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar mahali pa zilizokuwa Jamhuri ya Tanganyika na Jamhuri ya Watu wa Zanzibar. Aidha, sheria ya Muungano katika kifungu cha 5(1) ilitamka bayana kuwa katika kipindi cha mpito Katiba ya Tanganyika ndiyo itakuwa Katiba ya Jamhuri ya Muungano kwa kadri itakavyorekebishwa ili kutoa mamlaka kwa Bunge na Serikali Hayati Mwalimu Julius Nyerere na hayati Sheikh Abeid Karume wakiweka ya Muungano kwa Mambo ya Muungano saini kwenye hati ya Muungano mwaka 1964. ambayo ni Katiba ya Tanzania na Serikali ya Jamhuri ya Muungano, Mambo ya Nchi za Na Cesilia Nkwamu Nje, Ulinzi na Usalama, Polisi na Mamlaka juu ya mambo yanayohusika na hali ya amhuri ya Muungano wa Tanzania hatari. iliundwa Aprili 26, 1964 kufuatia Pia Uraia, Uhamiaji, Mikopo na MuunganoJ wa hiari wa nchi huru Kwa mujibu wa Hati ya Biashara ya Nchi za Nje, Utumishi katika mbili ambazo ni iliyokuwa Jamhuri Makubaliano ya Muungano na Serikali ya Jamhuri ya Muungano, Kodi ya Tanganyika na Jamhuri ya Watu wa sheria zilizoridhia Hati hiyo, Katiba ya Mapato inayolipwa na watu binafsi na Zanzibar. Viongozi waasisi wa Muungano mashirika, ushuru wa forodha na ushuru huu ni Mwl. Julius K. Nyerere na Sheikh ya Mpito ilipaswa kutumika kwa wa bidhaa zinazotengenezwa nchini Abeid Amani Karume. kipindi cha mwaka mmoja na Tanzania unaosimamiwa na Idara ya Kabla ya Muungano huo, kulikuwa baada ya hapo Rais wa Jamhuri Forodha,Bandari, mambo yanayohusika na na nchi mbili zilizojitegemea, Jamhuri ya usafiri wa anga, posta na simu. Watu wa Zanzibar iliyoundwa mara baada ya Muungano kwa kushauriana na Sheria ya Muungano pia ilitambua ya Mapinduzi ya Januari 12, mwaka 1964 kukubaliana na Rais wa Zanzibar uwepo wa Baraza la Wawakilishi na Serikali na Jamhuri ya Tanganyika iliyoundwa walitakiwa kuitisha Bunge Maalum ya Zanzibar kwa mujibu wa Sheria za mwaka 1962 baada ya kupata uhuru Zanzibar na kwa mambo ambayo siyo ya tarehe 9 Desemba, 1961. Kila nchi ilikuwa ili kutunga Katiba ya Kudumu ya Muungano. Vilevile sheria za Muungano na mipaka, Katiba na Serikali yake, na Jamhuri ya Muungano. zilimtaka Rais kutoa Amri (Decrees) ili iliendesha shughuli zake kwa kujitegemea kuirekebisha Katiba ya Tanganyika iweze kiutawala. kukidhi matakwa ya Hati za Muungano na kisheria lazima utungiwe sheria mahsusi ya kuweza kuiongoza Jamhuri ya Muungano. Muungano Kikatiba na Kisheria kuufanya kuwa sehemu ya sheria za nchi. Rais pia kwa mujibu wa kifungu cha 10 cha Hati ya Makubaliano ya Muungano (The Mfumo huo unajulikana kama “dualism”, sheria ya Muungano alipaswa kuziwasilisha Articles of Union) iliyosainiwa Aprili 22, na unatambua kuwa sheria za kimataifa na Amri hizo Bungeni kwa taarifa. 1964 na kuridhiwa na Bunge kwa upande sheria za kitaifa ni mifumo miwili tofauti, Kwa mujibu wa mamlaka hayo, Mei wa Jamhuri ya Tanganyika na Baraza la hivyo, ni lazima Mkataba wa Kimataifa mosi, 1964 Rais wa Jamhuri ya Muungano Mapinduzi kwa upande wa Jamhuri ya Watu upate ridhaa ya Bunge kwa kutungiwa sheria kwa kushauriana na kukubaliana na Rais wa Zanzibar ndio msingi mkuu kiKatiba na mahsusi ili kuufanya Mkataba huo kuwa na wa Zanzibar alitoa Amri mbili zilizoweka kisheria wa kuasisiwa kwa Muungano.
Recommended publications
  • Hotuba Ya Waziri Mkuu Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania, Mhe. Kassim M
    HOTUBA YA WAZIRI MKUU WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MHE. KASSIM M. MAJALIWA (MB) WAKATI AKISHUHUDIA ZOEZI LA UCHEPUSHAJI WA MAJI YA MTO RUFIJI ILI KUPISHA UJENZI WA TUTA KUU LA BWAWA LA JULIUS NYERERE TAREHE 18 NOVEMBA, 2020 Mhandisi Zena Said, Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati; Dkt. Alexander Kyaruzi, Mwenyekiti wa Bodi ya Nishati; Dkt. Asim Abdelhamid Elgazar, Waziri wa Nyumba; Dkt . Mohamed Elmarkabi, Waziri wa Nishati wa Misri; Dkt. Medard Kalemani, Waziri Mstaafu wa Nishati; Dkt. Hamdy Loza, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Misri; Makatibu Wakuu, Naibu Katibu Wakuu na Viongozi wengine wa Serikali; -Dkt Damas Ndumbaro, Katibu Mkuu Ofisi ya Rais (Utawala Bora); -Prof Sifuni Mchome, Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria; -Dkt. Moses Kusiluka, Katibu Mkuu - IKULU; -Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge, Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje; -Dkt. Hassan Abbas, Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo; -Naibu Makatibu Wakuu mliopo; Dkt. Alexander Kyaruzi, Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya TANESCO; Balozi Mohamed Elwafa, Misri nchini Tanzania; Bw. Mohamed Abdelwahab, M/kiti Bodi ya Uwekezaji ya Arab Contractors (Misri); Bw. Sayed Elbaroudy, Mwenyekiti Bodi ya Arab Contractors (Misri); Bw. Sadek Elsewedy, Mwenyekiti Kampuni ya Elsewedy Electric (Misri); Bw. Hesham Okasha, Mwenyekiti Bodi ya Benki ya Ahly (Misri); Jen. Kamal Barany, Msaidizi wa Mkuu wa Kikosi cha Uhandisi katika Mamlaka ya Jeshi (Misri) Dkt. Tito Mwinuka, Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO; 1 Mha. Kashubila, Mhandisi Mkazi wa Mradi; Wafanyakazi wa TANESCO, TECU
    [Show full text]
  • Online Document)
    NAKALA YA MTANDAO (ONLINE DOCUMENT) BUNGE LA TANZANIA ________ MAJADILIANO YA BUNGE _________ MKUTANO WA KUMI NA NANE Kikao cha Sita – Tarehe 4 Februari, 2020 (Bunge Lilianza Saa Tatu Asubuhi) D U A Mwenyekiti (Mhe. Najma Murtaza Giga) Alisoma Dua MWENYEKITI: Waheshimiwa tukae. Katibu tunaendelea Waheshimiwa Wabunge na Mkutano wetu wa Kumi na Nane, kikao cha leo ni kikao cha tano, Katibu NDG. RAMADHANI ISSA ABDALLAH – KATIBU MEZANI: HATI ZA KUWASILISHA MEZANI Hati Zifuatazi Ziliwasilishwa Mezani na:- WAZIRI WA NCHI, OFISI YA WAZIRI MKUU, SERA, BUNGE, KAZI, AJIRA, VIJANA NA WENYE ULEMAVU: Taarifa ya Matoleo ya Gazeti la Serikali pamoja na Nyongeza zake yaliyochapishwa tangu Mkutano wa Bunge uliopita kama ifuatavyo:- (i) Toleo Namba 46 la tarehe 8 Novemba, 2019 (ii) Toleo Namba 47 la tarehe 15 Novemba, 2019 (iii) Toleo Namba 48 la tarehe 22 Novemba, 2019 (iv) Toleo Namba 49 la tarehe 29 Novemba, 2019 (v) Toleo Namba 51 la tarehe 13 Desemba, 2019 (vi) Toleo Namba 52 la tarehe 20 Desemba, 2019 (vii) Toleo Namba 53 la tarehe 27 Desemba, 2019 (viii) Toleo Namba 1 la tarehe 3 Januari, 2020 (ix) Toleo Namba 2 la terehe 10 Januari, 2020 (x) Toleo Namba 3 la tarehe 17 Januari, 2020 (xi) Toleo Namba 4 la terehe 24 Januari, 2020 MHE. JASSON S. RWEIKIZA – MWENYEKITI WA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA UTAWALA NA SERIKALI ZA MITAA: Taarifa ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za MItaa kuhuus shughuli za Kamati hii kwa Mwaka 2019. MHE. MOHAMED O. MCHENGERWA – MWENYEKITI WA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE KATIBA NA SHERIA: Taarifa ya Kmaati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria kuhusu shughuli zilizotekelezwa na Kamati hiyo kwa kipindi cha kuanzia Februari, 2019 hadi Januari, 2020.
    [Show full text]
  • Tarehe 3 Februari, 2021
    NAKALA MTANDAO(ONLINE DOCUMENT) BUNGE LA TANZANIA __________ MAJADILIANO YA BUNGE __________ MKUTANO WA PILI Kikao cha Pili – Tarehe 3 Februari, 2021 (Bunge Lilianza Saa Tatu Asubuhi) D U A Naibu Spika (Mhe. Dkt. Tulia Ackson) Alisoma Dua NAIBU SPIKA: Waheshimiwa Tukae. Katibu. NDG. RUTH MAKUNGU – KATIBU MEZANI: MASWALI NA MAJIBU NAIBU SPIKA: Waheshimiwa Wabunge, tunaanza na maswali Ofisi ya Rais TAMISEMI, Mheshimiwa Cosato David Chumi, Mbunge wa Mafinga Mjini, sasa aulize swali lake. Na. 16 Ujenzi wa Barabara za Lami - Mji wa Mafinga MHE. COSATO D. CHUMI aliuliza:- Je, ni lini Serikali itaanza Ujenzi wa Barabara za lami na kufunga taa za barabarani katika Mji wa Mafinga chini ya Mpango wa Uendelezaji Miji nchini? NAIBU SPIKA: Mheshimiwa Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, TAMISEMI, majibu. 1 NAKALA MTANDAO(ONLINE DOCUMENT) NAIBU WAZIRI, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA (MHE. DKT. FESTO J. DUGANGE) alijibu:- Mheshimiwa Naibu Spika, kwa kuwa ni mara yangu ya kwanza kusimama mbele ya Bunge lako Tukufu, kwanza naomba nichukue nafasi hii kumshukuru Mwenyezi Mungu aliyenijalia mimi na Waheshimiwa Wabunge wote afya njema na kutuwezesha kuwa wawakilishi wa wananchi kupitia Bunge lako Tukufu. Mheshimiwa Naibu Spika, pili, naomba nichukue nafasi hii kumshukuru sana Mheshimiwa Rais, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli kwa imani kubwa aliyonipa kwa kuniteua kuwa Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, TAMISEMI. Namshukuru sana Mheshimiwa Rais. (Makofi) Mheshimiwa Naibu Spika, tatu, nawashukuru sana wananchi wa Jimbo la Wanging’ombe kwa kunichagua na kuchagua mafiga
    [Show full text]
  • Tarehe 4 Juni, 2021
    NAKALA MTANDAO(ONLINE DOCUMENT) BUNGE LA TANZANIA ________ MAJADILIANO YA BUNGE _________ MKUTANO WA TATU Kikao cha Arobaini na Nne – Tarehe 4 Juni, 2021 (Bunge Lilianza Saa Tatu Asubuhi) D U A Naibu Spika (Mhe. Dkt. Tulia Ackson) Alisoma Dua NAIBU SPIKA: Waheshimiwa Wabunge, tukae. NDG. BAKARI KISHOMA – KATIBU MEZANI: HATI ZA KUWASILISHA MEZANI NAIBU SPIKA: Hati za Kuwasilisha Mezani, Waziri wa Maliasili na Utalii. Kwa niaba yake Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Mheshimiwa Mary Masanja. Hati zifuatazo ziliwasilishwa Mezani na:- NAIBU WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII: Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Maliasili na Utalii kwa Mwaka wa Fedha 2021/2022. NAIBU SPIKA: Ahsante sana. Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii, kwa niaba yake Mheshimiwa Munira. 1 NAKALA MTANDAO(ONLINE DOCUMENT) MHE. MUNIRA MUSTAPHA KHATIB K.n.y. MWENYEKITI WA KAMATI YA KUDUMU YA ARDHI, MALIASILI NA UTALII: Taarifa ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii kuhusu utekelezaji wa majukumu ya Wizara ya Maliasili na Utalii kwa Mwaka wa Fedha 2020/2021 pamoja na Maoni ya Kamati kuhusu Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara hiyo kwa Mwaka wa Fedha 2021/2022. NAIBU SPIKA: Ahsante sana. Waheshimiwa Wabunge, tunaendelea. Katibu. NDG. BAKARI KISHOMA – KATIBU MEZANI: MASWALI NA MAJIBU Na. 367 Tatizo la Ajira kwa Vijana Nchini MHE. VEDASTUS M. MANYINYI aliuliza:- (a) Je, Serikali ina mkakati gani mahususi wa kupunguza tatizo la ukosefu wa ajira kwa vijana wanapomaliza vyuo vikuu? (b) Je, ni kwa nini vijana hao wasitumie vyeti vyao kama dhamana kupata mikopo ili wajishughulishe na shughuli mbalimbali za kiuchumi.
    [Show full text]
  • Thesis Law 2019 Lihiru Victoria.Pdf
    Participatory Constitutional Reforms vs. Realization of Equal Representation of Men and Women in the Parliaments: A Study of Kenya, Rwanda and Tanzania By Victoria Melkisedeck Lihiru- LHRVIC001/1555440 Thesis Submitted for the Degree of DOCTOR OF PHILOSOPHYTown in the Department of Public Law, Faculty of Law of the UNIVERSITY OF CAPE TOWN. August 2019Cape of University Supervisor: Associate Professor Waheeda Amien The copyright of this thesis vests in the author. No quotation from it or information derived from it is to be published without full acknowledgementTown of the source. The thesis is to be used for private study or non- commercial research purposes only. Cape Published by the University ofof Cape Town (UCT) in terms of the non-exclusive license granted to UCT by the author. University COPYRIGHT The copyright of this thesis vests in the author. No quotation from it or information derived from it is to be published without full acknowledgement of the source. The thesis is to be used for private study or noncommercial research purposes only. Published by the University of Cape Town (UCT) in terms of the non-exclusive license granted to UCT by the author. i DECLARATION I, Victoria Melkisedeck Lihiru, hereby declare that the work on which this thesis is based is my original work (except where acknowledgments indicate otherwise) and that neither the whole work nor any part of it has been, is being, or is to be submitted for another degree in this or any other university. I authorise the university to reproduce for the purpose of research either the whole or any portion of the contents in any manner whatsoever.
    [Show full text]
  • MKUTANO WA KUMI NA MOJA Kikao Cha Nane – Tarehe 12 Aprili, 2
    NAKALA MTANDAO(ONLINE DOCUMENT) BUNGE LA TANZANIA ____________ MAJADILIANO YA BUNGE ___________ MKUTANO WA KUMI NA MOJA Kikao cha Nane – Tarehe 12 Aprili, 2018 (Bunge Lilianza Saa Tatu Asubuhi) D U A Spika (Mhe. Job Y. Ndugai) Alisoma Dua SPIKA: Waheshimiwa Wabunge, tukae. TAARIFA YA SPIKA SPIKA: Waheshimiwa Wabunge, naomba niwape taarifa. Kama mlivyoona leo tumeingia hapa Bungeni kwa utaratibu mpya tofauti na ilivyozoeleka. Kanuni ya 20(1)(c) ya Kanuni za Bunge inaeleza kwamba Spika ataingia na kutoka ndani ya ukumbi wa Bunge akiongozana na mpambe wa Bunge lakini haitoi maelezo ya mlango gani utumike wakati wa kuingia au kutoka Bungeni. (Makofi/Kicheko) Katika Mabunge mengi ya Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Madola (Commonwealth) na nchi nyingine, utamaduni uliozoeleka ni kwa Spika wa Bunge kuingia ndani ya ukumbi wa Bunge akitokea chumba maalum cha Spika (Speaker’s Lounge). Baadhi ya nchi zenye utamaduni huo ambazo mimi na misafara yangu mbalimbali tumewahi kushuhudia ni India na Uingereza, wana utaratibu kama huu tuliotumia leo. Kwa kuwa tumekuwa tukiboresha taratibu zetu kwa kuiga mifano bora ya wenzetu, kuanzia leo tutaanza kutumia utaratibu huu mpya tulioutumia asubuhi ya leo kwa misafara 1 NAKALA MTANDAO(ONLINE DOCUMENT) ya Spika, Naibu Spika na Wenyeviti wa Bunge kuingia na kutoka Bungeni kwa kutumia mlango wa kuelekea Speakers Lounge, ni kuingia na kutoka kwa utaratibu huu hapa. Waheshimiwa Wabunge, mlango mkuu wa mbele utaendelea kutumiwa na Waheshimiwa Wabunge kama kawaida yenu na Spika na msafara wake watautumia mlango huu mkuu wakati wa matukio maalum ya Kibunge kama vile wakati wa kufunga au kufungua Bunge au tunapokuwa na ugeni wa Kitaifa kama Mheshimiwa Rais akitutembelea tutaingia kwa lango lile kuu, katika siku za kawaida zote tutafuata utaratibu huu mliouona hapa mbele.
    [Show full text]
  • MKUTANO WA KWANZA Kikao Cha Tatu – Tarehe 12 Novemba, 2020
    NAKALA MTANDAO(ONLINE DOCUMENT) BUNGE LA TANZANIA ________ MAJADILIANO YA BUNGE _________ MKUTANO WA KWANZA Kikao cha Tatu – Tarehe 12 Novemba, 2020 (Bunge Lilianza Saa Tatu Asubuhi) D U A Spika (Mhe. Job Y. Ndugai) Alisoma Dua SPIKA: Waheshimiwa Wabunge, tunaweza kukaa. Waheshimiwa Wabunge, karibuni sana. Natumaini kupitia tablets zenu kila mmoja ameshaiona Order Paper ya leo yaani Orodha ya Shughuli za leo ambazo ni muhimu sana. Tutaanza na Kiapo cha Uaminifu kwa Waheshimiwa Wabunge ambao bado hawajaapa. Tuna Wabunge wanne wa ACT-Wazalendo na Mbunge mmoja wa Chama cha Mapinduzi. (Makofi) Bado sina hakika kama Wabunge wa ACT wapo, lakini sisi tutawataja kama utaratibu ulivyo hapa. Kama watakuwepo, basi tutawaapisha. (Makofi) Waheshimiwa Wabunge, ajenda itakayofuata ni uthibitisho ambao mtapaswa kuufanya kwa uteuzi wa Waziri Mkuu. Kwa hiyo, nawaomba Wabunge ambao wako nje au canteen na wapi, basi waingie ndani na ninyi mlioko ndani msitoke kwa sababu jambo hili ni kubwa na mkononi sina hilo jina hivi sasa, sina kabisa. Wakati ukifika basi Mpambe wa Mheshimiwa Rais tutamruhusu aingie hapa ndani na bahasha husika na nitakabidhiwa hapa mbele yenu. (Makofi) 1 NAKALA MTANDAO(ONLINE DOCUMENT) Candidates ni ninyi wote, kwa hiyo, kila mtu akae sawa, isipokuwa mimi na AG. Maana yake mliobaki wote ni ma-candidate. Sasa usije ukatuangukia hapa, aah! Halafu itakuwa taabu. Tunawatakia kila la heri wote muweze kuteuliwa. (Kicheko/Makofi) Baada ya hapo tutakuwa na Uchaguzi wa Mheshimiwa Naibu Spika na pia tutakuwa na Kiapo cha Mheshimiwa Naibu Spika. Baada ya hapo tutaelezana mambo mengine yanayoendana na hayo. Basi, tuanze haya mambo. Katibu. NDG. STEPHEN KAGAIGAI – KATIBU WA BUNGE: KIAPO CHA UAMINIFU KWA WABUNGE (Kiapo Kinaendelea) 355.
    [Show full text]
  • Original : English 10Th Ordinary Plenipotentiary Conference 24-25
    Original : English 10th Ordinary Plenipotentiary Conference 24-25 June, Victoria Falls, Zimbabwe PAPU/PC/X/2021 – Doc. No.12 1. Subject References/Paragraphs Observations PAPU House Project Appeal Fund 32nd Ordinary Administrative Council Resolution No01/PAPU/AC/XXXII/2013 Resolution No10/PAPU/PC/IX/2015 of the 9th Ordinary Plenipotentiary 2. Decisions Expected Conference Note the progress achieved so far Resolution No03/PAPU/PC- EXTRA/2018 of the 5th Extra- Donate generously towards the realization of ordinary Plenipotentiary the equity cash to be contributed by the Union Conference 1 1. Historical background The PAPU House project has been in the pipeline since the creation of the Union in 1980. The host country of PAPU, Tanzania, allocated land to PAPU for the construction of the headquarters building, in fulfillment of one of the conditions for hosting the Union. It may be recalled that part of the original land allocated to PAPU was erroneously left out when the first certificate of occupancy was issued in 1998. However, due to persistent appeals over the years and the intervention of the then Government of Tanzania led by His Excellency, President John Pombe Magufuli, the original land that was allocated by President Julius Nyerere was restored to PAPU. This generous gift led to the current aggressive efforts aimed at implementing the project. The two plots of land previously located on plots 111 and 113/2 measuring 9448 square metres are now amalgamated and has a single certificate of occupancy assigned with plot number 114. 2. Brief Update on the PAPU House project 2.1 Conclusion of procurement The procurement exercise for the selection of the Main as well as Sub-contractors was concluded in December 2019.
    [Show full text]
  • Hotuba Ya Mheshimiwa Doto Mashaka Biteko (Mb.), Waziri Wa Madini Akiwasilisha Bungeni Makadirio Ya Mapato Na Matumizi Ya Fedha Kwa Mwaka 2019/20
    JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA HOTUBA YA MHESHIMIWA DOTO MASHAKA BITEKO (MB.), WAZIRI WA MADINI AKIWASILISHA BUNGENI MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA FEDHA KWA MWAKA 2019/20 DODOMA MEI, 2019 Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa akimpongeza Waziri wa Madini Mhe. Doto M. Biteko wakati wa uzinduzi wa Soko la madini ya dhahabu mkoani Geita mwezi Machi, 2019. HOTUBA YA MHESHIMIWA DOTO MASHAKA BITEKO (MB.), WAZIRI WA MADINI AKIWASILISHA BUNGENI MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA FEDHA KWA MWAKA 2019/20 VIONGOZI WA WIZARA Mheshimiwa Doto Mashaka Biteko (Mb.) Waziri wa Madini Mheshimiwa Stanslaus Haroon Nyongo (Mb.) Naibu Waziri wa Madini Prof. Simon Samwel Msanjila Katibu Mkuu YALIYOMO A. UTANGULIZI ..................................................................................... 1 MAJUKUMU NA MALENGO YA WIZARA .................................................... 5 B. MAPITIO YA UTEKELEZAJI WA MPANGO NA BAJETI YA WIZARA KWA MWAKA 2018/19 ................................................ 7 I. MIPANGO YA SERIKALI NA VIPAUMBELE VYA WIZARA VILIVYOZINGATIWA ............................................................................. 7 II. MAPATO NA MATUMIZI YA WIZARA YA MADINI KWA MWAKA 2018/19 ............................................................................................ 8 III. MCHANGO WA SEKTA YA MADINI KWENYE PATO LA TAIFA KWA MWAKA 2018/19 ............................................................................. 9 IV. UENDEL EZAJI WA UCHIMBAJI MDOGO WA MADINI ......................
    [Show full text]
  • African Media Barometer
    AFRICAN MEDIA BAROMETER The first home grown analysis of the media landscape in Africa TANZANIA 2015 AFRICAN MEDIA BAROMETER The first home grown analysis of the media landscape in Africa TANZANIA 2015 Published by: Friedrich-Ebert-Stiftung (FES) fesmedia Africa Windhoek, Namibia Tel: +264 (0)61 417500 E-mail: [email protected] www.fesmedia-africa.org © This work is licensed under the Creative Commons’ Attribution-NonCommercial - ShareAlike 2.5 Licence. ISBN No.978-99945-77-25-5 The sale or commercial use of all media published by the Friedrich- Ebert-Stiftung (FES) and Media Institute of Southern Africa (MISA) is prohibited without the written consent of the FES and MISA. The findings, interpretations and conclusions expressed in this volume do not necessarily reflect the views of the Friedrich-Ebert-Stiftung or fesmedia Africa. fesmedia Africa does not guarantee the accuracy of the data included in this work. CONTENT SUMMARY: 7 SECTOR 1: 11 Freedom of expression, including freedom of the media, is effectively protected and promoted. SECTOR 2: 27 The media landscape, including new media, is characterised by diversity, independence and sustainability. SECTOR 3: 45 Broadcasting regulation is transparent and independent; the state broadcaster is transformed into a truly public broadcaster. SECTOR 4: 55 The media practise high levels of professional standards. WAY FORWARD: 67 The African Media Barometer (AMB) The African Media Barometer (AMB) is an in-depth and comprehensive description and measurement system for national media environments on the African continent. Unlike other press surveys or media indices the AMB is a self- assessment exercise based on home-grown criteria derived from African Protocols and Declarations like the Declaration of Principles on Freedom of Expression in Africa (2002) by the African Commission for Human and Peoples’ Rights.
    [Show full text]
  • Machi 2020 Special Edition
    Free Copy ISSN: 0856 -8030 | ISSUE NO. 1/2020 January-March 2020 Quarterly magazine of the Tanzania Communications Regulatory Authority SPECIAL EDITION Delivering Beyond Promises MAKALA MAALUM Mawasiliano Tanzania: 2015 – 2019 ICTS vs. COVID-19 TANZANIA COMMUNICATIONS REGULATORY AUTHORITY CORE VALUES Professionalism: We maintain the highest degree of professionalism and ethical standards, building value-added relationships with customers and stakeholders to deliver quality services. Respect: We are an organization that values its employees and respects its customers. Empowerment: We believe in empowerment and effective delegation enabling employees to make decisions and take challenges commensurate with their levels of responsibility. Innovation: We encourage creativity and innovation leading to enhancement of our capacity in handling regulatory issues. Integrity: We believe in integrity and we are determined to treat customers and each other with trust, confidentiality and honesty. Accountability: We are accountable, undertaking our duties fairly, with care and transparency. Teamwork: We benefit from teamwork, putting together diverse expertise to achieve success. Objectivity: We undertake our activities objectively and we are result-oriented. Efficiency: We believe in efficiently providing regulatory services. Non-discrimination: We believe in equal opportunity and treatment for our internal and external stakeholders and do not discriminate against gender, religion, race, affiliation and origin. CONTENTS 5 | 2 | Letter from the Editor 3 | ICT awards to evaluate service quality 5 | Delivering beyond promises 7 | 7 | PAPU turns 40 with new strategies 8 | Postal Networks for financial inclusion 9 | Digitizing the African Post 11 | 11 | Arusha Postal Declaration 13 | Technology and the Corona Virus 14 | Digital solutions against COVID-19 15 | 15 | WHO tips on protection against COVID-19 16 | Minimum security guidelines for ISPS 19 | KISWAHILI SECTION EDITORIAL BOARD Chairman/ Editor Members Production Editor Dr.
    [Show full text]
  • Hotuba Ya Bajeti Wizara Ya Katiba Na
    HOTUBA YA MHESHIMIWA PROF. PALAMAGAMBA JOHN AIDAN MWALUKO KABUDI (MB), WAZIRI WA KATIBA NA SHERIA AKIWASILISHA BUNGENI MPANGO NA MAKADIRIO YA BAJETI YA WIZARA KWA MWAKA WA FEDHA 2018/2019 A. UTANGULIZI 1. Mheshimiwa Spika, kufuatia taarifa zilizowasilishwa leo katika Bunge lako tukufu na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti, naomba kutoa hoja kwamba Bunge lako sasa likubali kupokea, kujadili na kupitisha Mpango na Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Fedha ya Wizara ya Katiba na Sheria kwa Mwaka wa Fedha 2018/2019. Shukrani na Pole 2. Mheshimiwa Spika, awali ya yote napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu Rahim kwa wingi wa rehema zake na kwa kuniruzuku uhai na kunipa afya njema iliyoniwezesha kusimama mbele ya Bunge lako tukufu kuwasilisha Mpango na Makadirio ya Bajeti ya Wizara ya Katiba na Sheria kwa Mwaka wa Fedha 2018/2019. Aidha, kipekee kabisa napenda kumshukuru Mheshimiwa Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa kuendelea kuniamini katika kuitumikia Serikali ya Awamu ya Tano katika nafasi ya Waziri wa Katiba na Sheria. Naahidi nitaendelea kuitumikia nafasi hiyo kwa uadilifu, uaminifu, unyenyekevu na namwomba Mwenyezi Mungu anijalie hekima na busara niweze kutimiza wajibu wangu kwa maslahi mapana ya Taifa na wananchi wote. 3. Mheshimiwa Spika, kwa majonzi makubwa nikupe pole wewe, Bunge lako tukufu, familia na wananchi wote wa Jimbo la Songea Mjini kwa kuondokewa na mwenzetu Mhe. Leonidas Tutubert Gama aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Songea Mjini, kupitia Chama cha Mapinduzi. Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi, Amina.
    [Show full text]