UFAHAMU Soma Ufahamu Ufuatao Kisha Ujibu Mawali Yanayofuata

Total Page:16

File Type:pdf, Size:1020Kb

UFAHAMU Soma Ufahamu Ufuatao Kisha Ujibu Mawali Yanayofuata 1. SEHEMUA: UFAHAMU Soma ufahamu ufuatao kisha ujibu mawali yanayofuata. Huenda katika bara zima la Afrika, Kenya ndiyo nchi yen ye uwanja mpana sana wa aina ya muziki. Kenya ina makabila zaidi ya arobaini na kila kabila lina aina yake ya muziki. Hata hivyo, kwa muda mrefu sana wakenya hawakuuenzi muziki wa kikenya. Katika miaka ya sabini na themanini muziki uliovuma sana nchini ulikuwa ule wa kutoka taifa la kidemokrasia la Kongo au Zaire, kama ilivyojulikana wakati huo. Wanamuziki wa kutoka huko walivuma sana hapa nchini na hata vikundi vingi vya kutoka huko vilipiga kambi nchini humu na kubobea katika muziki huku ikiwa ndiyo njia yao ya kuzumbua riziki. Siku hizo wanamuziki kutoka Zaire walienziwa sana hapa nchini na walikuwa na soko kubwa sana la muziki wao hapa. Haikuwa ajabu kuwapata wakenya wakiimba muziki wa kizaire bila hata ya kujua maana ya maneno waliyokuwa wakiimba. Mwanamziki Franco ndiye aliyetambulika sana hasa kwa muziki wake taratibu na sauti yake nzuri iliyowaongoa watu wengi. Kila alipozuru Kenya kuimba wafuasi wake wengi walimiminika ili kumsikiliza na kuufurahia muziki wake. Popote alipoenda watu walifurika na kulipa pesa nyingi zilizotozwa kama kiingilio. Umaarufu wake ulikuwa kiasi kwamba kila alipozuru mji wa Kisumu, mashabiki wake waliuvunja ukuta wa uwanja wa mpira ili kupata kuingia. Wengine waliovuma ni Sam Mangwana, Tabu Ley, Mbilia Bel, Kanda Bongoman na Pepe Kalle. Hata hivyo katika miaka ya tisini, wingu jipya la muziki lilianza kuvuma kwani muziki wa kizaire ulianza kupoteza mvuto wake kwa wakenya. Waimbaji wengi hawakuweza kuvutia mashabiki kama ilivyokuwa awali na wengi walikata guu kukanyanga Kenya kwani pesa walixopata haiikuwa nyingi. Wingu hili Ulikuwa la wakenya kuanza kuuenzi muziki wao wenyewe. Wengi hasa vijana waliuonea fahari muziki wa Kenya na wakajitenga na nyimbo za kutoka Zaire. Muziki wa Kenya ukaanza kukua na hata kutawala katika vyombo vya habari kama redio, runinga na hata magazetini. Hapo ndipo kulipotokea vijana barobaro waliouteka uwanja wa muziki kwa vishindo. Vijana hawa ambao walifana sana katika muziki wa kufoka waliweza kujidhihirisha kama wanamuziki bora na wakawa na wafuasi wengi miongoni mwa vijana. Kwa mara ya kwanza, muziki ukaanza kuchukuliwa kama taaluma nyingine yoyote ambayo mtu angeweza kuitegemea ili kuzumbua riziki. Hapo ndipo kukatokea muziki wa genge na kapuka ulioasisiwa na vijana kutoka jijini Nairobi kama Jua Cali, Nonini, Jimwat, Bamboo, Nameless, Pilipili, Lady S, Jaguar na wengine. Muziki wao uliweza kuteka nyoyo za vijana kwa maana unaimbwa kwa lugha ya "Sheng" ambayo ni mchanganyiko wa Kiingereza na Kiswahili. Muziki huu ulichukua mtindo wa kufoka ambao unatumiwa sana na wanamuziki wengi wa Kimarekani ambao unawapendeza sana vijana. Isitoshe, vijana hawa waliimba muziki uliosheheni mambo yanayowahusu vijana. Muziki wa genge na kapuka hauwavu'tii tu vijana pekee bali hata watu wenye umri wa makamo. Hivi sasa wengi wa waimbaji hawa wanautegemea muziki kuwapa pato na si Eleza maana ya msamiati ufuatavyo, kama ulivyotumiwa katika kifungu hiki. ( alama 4) (i) kubobea ' (ii) lliyowaongoa (iii) muzikiwa kufoka (iv) Kuzumbua 2. Muhutasari soma kifungu hiki kish aujibu maswliyanayofuata Mungu ameumba wanawake wote na hisia za uzazi na kila mwanamke huwa na hamu na ghamu ya kumkopoa mwana wake mwenyewe, kumpakata, kumnyonyesha na kumlea kwa vitanga vya mikono yake hadi ukubwani. Ni nadra sana kupata mwanamke asiye na hisia za uzazi. Mjo wa mtoto hubadilisha maisha ya mama milele kwani humbidi kila wakati kumwazia maslahi yake. Hata hivyo, japo kicheko cha mtoto ni anga la nyumba, kutojitayarisha kwa kuja kwa mtoto hufanya maisha yawe na ugumu. Sharti mama mjamzito ajiweke tayari kwa kumpokea yule malaika na ni jukumu la mume pamoja na jamii kurnsaidia mjazito yule. Sharti mjamzito awe amejitayarisha vilivyo kuibeba mimba na kuilea vizuri hadi kujifungua. Ni muhimu sana mama awe tayari kiakili na kihisia kwa sababu katika miezi tisa ya ujauzito mama hupitia mabadiliko mengi ya kimwili na kihisia. Tamaa ya chakula hubadilika na kuna baadhi ya vyakula ambavyo huvikataa huku akivipenda vingine kupindukia. Kukua vizuri kwa mtoto hutegemea sana hali ya afya na hisia za mama. Mama anopokaa katika mazingira yanayomhuzunisha kila mara basi mtoto huathirika. Mimba ina majukumu, matarajio na wajibu mwingi unaohitaji mtu kuwa tayari kwa mimba ile. Kwa hivyo, mama akiwa katika ndoa nzuri yenye furaha na mapenzi ya dhati basi mimba ile itakuwa bila matatizo. Hii ni kumaanisha kuwa iwapo mimba ilikuwa ya ajali huenda mjamzito hajaikubali na ujauzito ule huwa na change moto chungu nzima. Watafiti wanadai kuwa akiwa tumboni mtoto aweza kujua hisia za mamake kwa hivyo mama akifurahi yeye hufurahi na vivyo hivyo mama akihuzunika pia mwana huhuzunika. Pia, sharti mzazi awe na uwezo wa kiuchumi wa kushughulikia mimba na mtoto pia atakapozaliwa. Kinyume na- ijivyokuwa hapo awali, kupata mtoto kuna gharama kuu ( b ) Elez a mamb o ambay o mwanamk e mjamzit o anafa a kuzingatia . ( Manen o 55-60 ) ( alam a 5 ) Matayarish o Jib u 3 . Matumiz i y a lugh a ( a ) To a mfan o mmoj a wa : ( alam a 2 ) ( i ) kizui o - kwamiz a ( ii ) Kimadend e 7 ( ii ) Nomin o ( o ) Elez a matumiz i y a kiambish i 4 ku ' katik a sentens i ziftiatazo : ( alam a 2 ) ( i ) kuchez a kuzur i hutuzw a ( ii ) Mwalim u anakyjt a ( p ) Mshazar i hutumiw a katik a kuteng a tarehe , mwez i n a mwaka . Onyesh a matumiz i mengin e matat u y a mshazar i ( alam a 3 ) ( q ) Bainsish a mofim u katik a neno : ( alam a 2 ) Wataend a 5 4 . Isimujami i ( alam a 10) ( a ) Nin i maan a y a usanifishaj i 1 0 Elez a sabab u nn e zilizochangi a usanifishaj i w a lugh a y a Kiswahil i ( alam a 8 ) HU U NDI O UKURAS A W A MWICH O ULIOPIGW A CHAPA . .
Recommended publications
  • Kaya Hip-Hop in Coastal Kenya: the Urban Poetry of UKOO FLANI
    Page 1 of 46 Kaya Hip-Hop in Coastal Kenya: The Urban Poetry of UKOO FLANI By: Divinity LaShelle Barkley [email protected] Academic Director: Athman Lali Omar I.S.P. Advisor: Professor Mohamed Abdulaziz S.I.T. Kenya, Fall 2007 Coastal Cultures & Swahili Studies Kaya Hip Hop in Coastal Kenya Fall 2007 ISP, SIT Kenya By: Divinity L. Barkley Page 2 of 46 Table of Contents Acknowledgements………………………………………..………………….page 3 Abstract……………………………………………..…………………………page 4 Introduction…………………………………..……………………………pages 5-8 Hip-Hop & Kenyan Youth Culture Research Problem Status of Hip-Hop in Kenya Hypotheses The Setting……………………………….………………………………pages 9-10 Methodology: Data Collection……………………………………..…pages 10-12 Biases and Assumptions………………………..………...…………...pages 13-14 Discussion & Analysis…………………………………………………pages 14-38 Ukoo Flani ni nani? Kaya Hip-Hop Traditional Role of Music in African Culture Genesis of Rap/Hip-hop in American Ghettoes The Ties That Bind Kenyan Radio The Maskani Ghetto Life Will the real Ukoo Flani please stand up? Urban Poetry: Analyzing Ukoo Flani’s Lyrics Conclusion…………………………..……………………….…………pages 38-42 Conclusion Part I: The Future of Ukoo Flani Conclusion Part II: Hypotheses Results Conclusion Part III: Recommendations for Future SIT Students Bibliography………………………………………………..…………..pages 43-44 Interview/Meeting Schedule………………………………………………page 45 ISP Review Sheet…………….……………………………………….……page 46 Kaya Hip Hop in Coastal Kenya Fall 2007 ISP, SIT Kenya By: Divinity L. Barkley Page 3 of 46 Acknowledgements First and foremost, I would like to thank the entire Ukoo Flani crew for their contributions to my project. I am fascinated by your amazing talent and dedication to making positive music to inspire future generations. I am amazed at what you have been able to accomplish despite limited access to resources.
    [Show full text]
  • Gender Dimensions in Emerging African Music Genres: a Case of Kenyan Local Hip Hop
    IOSR Journal Of Humanities And Social Science (IOSR-JHSS) Volume 24, Issue 5, Ser. 9 (May. 2019) 54-61 e-ISSN: 2279-0837, p-ISSN: 2279-0845. www.iosrjournals.org Gender Dimensions in Emerging African Music Genres: A Case of Kenyan Local Hip Hop Pamela N.Wanjala Shamberere Technical Training Institute P.o Box 1316, Kakamega, Kenya Abstract: The question of gender bias is now seen as a major challenge in almost every discipline that deals with human behavior, cognition, institutions, society and culture. Therefore, this paper was an attempt to investigate gender dimensions in the emerging African genres; a case study of local hip hop songs in Kenya. It discussed the extent to which hip hop language is gender biased. It focused on the popular local hip hop songs and video images that occur with the songs. The study used the Social Semiotic Theory in the theoretical framework. Ten hip hop songs and ten video excerpts were purposively selected for analysis. The hip hop songs were coded according to the name of the artist and year of production. The data was analyzed under three sections: Linguistic analysis, Image analysis and Gender analysis. The study revealed that indeed there is gender bias in the language of the favourite youth culture. This was revealed in the lexis that distinguishes gender, in the syntactic analysis and also in the image analysis. It was found that in hip hop music, men tend to be regarded higher in terms of roles, occupation and general human traits like strength and control than women. The study therefore recommends that radio and television stations, and other advertising agencies should join the battle for women liberation by using gender sensitive language and focusing on positive and constructive societal changes in terms of gender roles.
    [Show full text]
  • East African Journal of Interdisciplinary Studies, Volume 3, Issue 1, 2021 Article DOI
    East African Journal of Interdisciplinary Studies, Volume 3, Issue 1, 2021 Article DOI: https://doi.org/10.37284/eajis.3.1.312 c-light-blue-500 East African Journal of Interdisciplinary Studies eajis.eanso.org EAST AFRICAN Volume 3, Issue 1, 2021 NATURE & SCIENCE Print ISSN: 2707-529X | Online ISSN: 2707-5303 ORGANIZATION Title DOI: https://doi.org/10.37284/2707-5303 Original Article Relationship between Watching ‘Gengetone’ Music and Drug Abuse among the Youth in Uasin Gishu County, Kenya Leonard K. Koech1* 1 Bomet University College, P. O. Box 701-20400, Bomet, Kenya. ORCID: https://orcid.org/0000-0002- * Author for Correspondence email: [email protected] Article DOI: https://doi.org/10.37284/eajis.3.1.312 Date Published: ABSTRACT 01 April 2021 Drugs, substance and alcohol abuse by many youths is as a result of various factors. Research conducted in the past have looked at how mass Keywords: media channels (video and TV) and their influence on abuse of drugs and other substances among the youth. The purpose of this paper is to Gengetone, investigate how drug-related information portrayed on Gengetone music Music, influences drugs and substance abuse among youths in Eldoret town. Drugs, The research objectives were to investigate how the acceptability level of ‘Gengetone’ music and videos among youths, to examine ways in Substance, which ‘Gengetone music lyrics communicate information on drugs, Abuse, substance and alcohol abuse and establish the effect of listening of Youths. Gengetone music on drugs and substance abuse among youths in Uasin Gishu County. The study adopted George Gerbner’s Cultivation Theory.
    [Show full text]
  • The Challenges of Reinvigorating Democracy Through Visual Art in 21St Century Nairobi
    The challenges of reinvigorating democracy through visual art in 21st century Nairobi Craig Campbell Halliday 30 September 2019 Dissertation Submitted in Partial Fulfilment for the Degree of Doctor of Philosophy Sainsbury Research Unit for the Arts of Africa, Oceania & the Americas School of Art, Media and American Studies University of East Anglia, Norwich This copy of the thesis has been supplied on condition that anyone who consults it is understood to recognise that its copyright rests with the author and that use of any information derived therefrom must be in accordance with current UK Copyright Law. In addition, any quotation or extract must include full attribution. 1 Abstract This study examines the potential for contemporary visual art to reinvigorate democracy in 21st century Nairobi, Kenya, through an interdisciplinary investigation. The new millennium ushered in fresh hope for democratisation in the postcolonial East African country. In 2002, Daniel arap Moi’s 24 years of authoritarian rule ended. The opposition were victorious at the ballot box, instilling a belief amongst the electorate that formal political processes could bring change. However, the post-election violence of 2007/8 shattered such convictions. But, from this election result came a progressive Constitution and with it possibilities for creating change. These momentous events underscore Kenya’s topsy-turvy path towards democracy – a path whose trajectory is charted in the experience of ordinary Kenyans who believe in democracy’s value and their right to participate in politics and civil life. Artists, too, have been at the forefront of this ongoing struggle. This study draws on empirical research to demonstrate contemporary visual art’s capacity to expand ways of practising, experiencing and understanding democracy.
    [Show full text]
  • 17 Verbal Fluidities and Masculine Anxieties of the Glocal Urban
    17 Verbal Fluidities and Masculine Anxieties of the Glocal Urban Imaginary in Kenyan Genge Rap1 Chris Wasike Masinde Muliro University of Science and Technology This chapter tracks the emergence of a rap genre dubbed ‘genge’ rendered in sheng- an urban slang which is a mixture of Swahili, English and other local dialects. Positioning genge within the milieu of cultural expressions that give voice to marginalized urban youths, the article examines how several genge rappers appropriate urban spaces, delineate them as sites of masculine domination, contestation and urban cosmopolitanism within the larger glocal imaginary desires. The analysis uses lyrics of songs by Jua Cali, Nonini and others, to illustrate how their deployment of poetic lyricism romanticizes the Nairobi city spaces as melting pots of masculine fears, tensions and anxieties. Key words: genge rap, urban slang, identity, masculine domination, cosmopolitanism, Nairobi Introduction: Popular Culture in the Kenya Context Riding on the crest of his recent crown as the ‘undisputed king’ of genge, Jua Cali (real name Peter Anunda) is one of Kenya’s foremost artistes in the now popular, rapid genre of hard core rap. His lyrical personality and the genre of music he produces have continued to endear him to party-loving youths and a huge chunk of young adults. In this essay, I argue that Jua Cali’s genge rap style is not just fluid but is inundated with discourses of ur- ban masculinities and anxieties of the glocal urban imaginaries. In addition, the style and thematic preoccupation in his songs appears to be subtended by desires of the American dream which situates this localized version of hard core rap within the binarity of local and global, or simply glocal.
    [Show full text]
  • An Interrogation of the Rise of Video Vixens in Kenya and Their
    AN INTERROGATION OF THE RISE OF VIDEO VIXENS IN KENYA AND THEIR INFLUENCE ON THE YOUNG WOMEN: A CASE OF NAIROBI COUNTY SURE VICTORIA ADHIAMBO M10/88696/2016 A RESEARCH PROJECT SUBMITTED IN PARTIAL FULFILMENT FOR THE AWARD OF THE DEGREE OF MASTER OF ARTS IN WOMEN LEADERSHIP AND GOVERNANCE IN AFRICA AT THE UNIVERSITY OF NAIROBI, AFRICAN WOMEN'S STUDY CENTRE. 2018 DECLARATION This proposal is my original work and has not been presented for a degree in any other University Signature ……………………………………. Date. ………………… VICTORIA SURE: M10/88696/2016 This proposal has been submitted for examination with approval as University Supervisor(s) Signature......................................................... Date................13/12/2018..... Dr. Lanoi Maloiy Signature ……………………………………. Date. ………………… Thiong'o Joseph Signature ……………………………………. Date. ………………… Dr. Mary Goretti Akinyi ii ACKNOWLEDGEMENTS I acknowledge that this work is my original piece and it has been through hard work and dedication. I thank all those who made it possible to complete the assignment, especially my lecturers, colleagues, friends and family. I am also grateful to all those with whom I had the privilege to work with during the entire project and other related projects. Everybody who played a part in this piece is equally important and I cannot thank you enough, especially the University of Nairobi Library Services staff, my supervisors Dr. Mary Gorreti Akinyi, Dr. Lanoi Maloy and Dr. Kanyi Thiongo, Video Vixens Vera Sidika, and Bridget Achieng. iii DEDICATION I dedicated the entire project to the Almighty God for the gift of life and good health. I also dedicate the work to my family members who stood by me during the entire work and friends who offered their pieces of advice and time to be with me throughout.
    [Show full text]
  • Kenyan Hip-Hop Artists' Theories of Multilingualism, Identity And
    “HATUCHEKI NA WATU”: KENYAN HIP-HOP ARTISTS’ THEORIES OF MULTILINGUALISM, IDENTITY AND DECOLONIALITY By Esther Milu A DISSERTATION Submitted to Michigan State University in partial fulfillment of the requirements for the degree of Rhetoric and Writing - Doctor of Philosophy 2016 ABSTRACT “HATUCHEKI NA WATU”: KENYAN HIP-HOP ARTISTS’ THEORIES OF MULTILINGUALISM, IDENTITY AND DECOLONIALITY By Esther Milu This is a qualitative research study that constellates several theoretical and methodological approaches to understand why and how three Kenyan Hip-hop artists, Jua Cali, Nazizi Hirji and Abbas Kubbaff, engage in translingual communicative practices. A variety of data types including in-depth phenomenologial interviews, lyrical content and multimodal compositions were evaluated to understand how and why the artists used particular linguistic and semiotic resources in composing their texts and in their everyday communication. A translingual analytical framework was applied to examine these resources across various modalities of communication: verbal, written, audio, visual, performative and embodied. Findings from the study indicate that the artists translingual practices are aimed at : 1) constructing various ethnicities and indentities based on their everyday language use and not on dominant language ideologies or theories of race and ethnicity in the country; 2) engaging in language activism work by raising critical language awareness within dominant institutions, and by actively participating in the preservation of youth languages and cultures; 3) theozing and practicing diverse options for cultural and linguistic decolonization. The study concludes by proposing a translingual pedagogy that challenges students to demonstrate critical awareness of the “linguistic culture” surrounding the languages, codes and symbolic practices they use in their translingual composing.
    [Show full text]
  • And Their Hold on East Africa's Popular Musical
    The ‘Waswahili’ and Their Hold on East Africa’s Popular Musical Culture By Stanley Gazemba Port cities are melting pots of culture world over. They spur the evolution of new cultures, languages and act as gateways to the world. It is within this context therefore that taarab, a distinct music form that defines East Africa internationally, found fertile ground along the vast coastal strip that was previously the domain of the Sultan of Zanzibar. The East African Coast has had a profound effect on the hinterland in terms of trade and cultural development and is home of the Swahili civilisation that came into strength during the Daybuli period between AD 900 and AD 1200. It is the Swahili who controlled the region’s trade from AD 1200 and bequeathed modern East Africa its lingua franca, the Swahili language and left their mark on the musical cultures of the inland indigenous peoples. A sensuous melodic music deriving from diverse cultures that impacted the coastal culture over the years, taarab easily takes centre-stage in Swahili culture. While it is not necessarily amongst the oldest music forms in the region, given that ethnic groups in the hinterland had been creating music on reed flutes and thumb pianos for generations, taarab is amongst the earliest to be recorded commercially and exported from the region. Performed and recorded for nearly a century now, taarab, which has its origins in the Arab court music of nineteenth-century Zanzibar, owes its development to the political class of Zanzibar. Sultan Said Barghash, who ruled Zanzibar between 1870 and 1888, is credited with introducing taarab to the East African coast and shepherding its growth into the cross-cultural mélange it has become today.
    [Show full text]
  • Portrayal of Women in Selected Songs of Kenyan Male Artistes
    Pathways to African Feminism and Development- Journal of African Women’s Studies Centre, University of Nairobi (http://www.uonbi.ac.ke/journals/) Volume 1, Issue3, December 2015 ISSN 2309-3625 Portrayal of Women in Selected Songs of Kenyan Male Artistes -Kanyi Thiong’o1 Abstract This article analyses how Kenyan male artistes portray and appear to view women as evidenced in their songs about women. An application of social realism, Judith Butler’s theory of performativity, Derrida’s approach of alterity, and Lakoff’s theory of metaphor informs the analysis. Songs mark almost all spheres of life in Kenya. It is therefore, necessary to examine how the male artistes in the Kenyan society construct women in their songs. This can provide a window through which a better examination and understanding of the self and the other can be achieved by examining the gender discourse that prevails in the unconscious expressions of the artiste. This is because songs can be viewed as honest confessions of what usually remains concealed in the self, about the other. It is hereby observed that male artistes are always engaged in an internal dialogue that attempts to define women from masculine precincts. These masculine dialogues manifest themselves in songs where the subsumed addressee is a plurality of the self (the male artiste) and the other (the women subject). The song is therefore, an interchange of a gendering process that voices its inner tensions, arguments, fears, hopes, dilemmas and ambitions through the song. Key Words: Men, Women, Songs, Viewership, Metaphor Introduction This article analyses how different Kenyan male artistes view and define women in their songs and is based on the premise that women form one of the major themes in the songs of most Kenyan male artistes.
    [Show full text]
  • Identity Politics in Nairobi Matatu Folklore Mbugua Wa-Mungai
    Identity Politics in Nairobi Matatu Folklore Mbugua Wa-Mungai To cite this version: Mbugua Wa-Mungai. Identity Politics in Nairobi Matatu Folklore. Philosophy. Department of Jewish and Comparative Folklore The Hebrew University of Jerusalem, 2003. English. tel-01259814 HAL Id: tel-01259814 https://halshs.archives-ouvertes.fr/tel-01259814 Submitted on 21 Jan 2016 HAL is a multi-disciplinary open access L’archive ouverte pluridisciplinaire HAL, est archive for the deposit and dissemination of sci- destinée au dépôt et à la diffusion de documents entific research documents, whether they are pub- scientifiques de niveau recherche, publiés ou non, lished or not. The documents may come from émanant des établissements d’enseignement et de teaching and research institutions in France or recherche français ou étrangers, des laboratoires abroad, or from public or private research centers. publics ou privés. Identity Politics in Nairobi Matatu Folklore A dissertation presented to the Senate of the Hebrew University of Jerusalem, for the award of the degree degree of doctor of philosophy Mbugua wa-Mungai Department of Jewish and Comparative Folklore The Hebrew University of Jerusalem 11 1FRA 1111111 111 1111 111 IIIIII IF RA002891 Wow 3o1. March 2003 Declaration This dissertation is my original work and has not been submitted for any academic award, or other credit, in any other institution. The writing has been done under the supervision of Professor Gain. Hasan-Rokem, Department of Jewish and Comparative Folklore and Dr. Hagar Salmon. Departments of Jewish and Comparative Folklore and Middle Eastern and African Studies. Dedication To the MbuQua clan, my wife Wanibui, and our children Mun.gai and Njeri, in appreciation for the life that we share, for braving the lonely years and for keeping my place by the fireside as I went matatu-chasing.
    [Show full text]
  • Intellectual Property Rights in Kenya
    INTELLECTUAL PROPERTY RIGHTS IN KENYA Edited By Moni Wekesa and Ben Sihanya Published by: Konrad Adenauer Stiftung Rule of Law Program for Sub-Saharan Africa Mbaruk Rd, Hse No. 27 P.O Box 66471-00800, Nairobi, Kenya Telephone: 254 20 2725957 / 278035 Fax: 254 20 2724902 Head office: Klingelhöferstr.23D-10785, Berlin Tel: 030/26996-0 Fax: 030/26996-3217 www.kas.de and SportsLink Limited Jameson Court Suite D-13, Ngong Road P.O Box 4701-00100 Telephone:+254 20-359-840, +254 -722521146, Nairobi Kenya Email: [email protected] www.moniwekesa-advocates.com Layout and cover design by Dotline Graphic Arts ISBN: 9966-7412-0-8 © Konrad Adenauer Stiftung , SportsLink Limited and authors 2009 All rights reserved. No reproduction copy or transmission of this publication or part of it may be made without the written permission of both the authors and the publishers. Any person who does any unauthorized act in relation to this publication may be liable to criminal prosecution and civil claims for damages. The views expressed herein are those of individual authors which the publishers- Konrad Adenauer Stiftung and SportsLink Limited do not necessarily subscribe to. Konrad Adenauer Stiftung Dedication to The late Dr. Adronico Aduogo Adede and the late Prof. Hastings W.O. Okoth-Ogendo both of whom have left an indelible mark on the legal landscape both in Kenya and internationally. Table of Contents About The Authors .........................................................................................i Executive Summary .......................................................................................iv
    [Show full text]
  • KAMP YEAR 2016 ROYALTY DISTRIBUTION BASED on MONITORED MEDIA PLAYLIST LOGS Song Name Main Artist Name Simama Zureya Voice Over Z
    KAMP YEAR 2016 ROYALTY DISTRIBUTION BASED ON MONITORED MEDIA PLAYLIST LOGS Song Name Main Artist Name Simama Zureya Voice Over Zureya Tetemesha Zureya Kipusa Zulu Krew Salama Zoe Phyllis One Day Zman Siku Njema Zippy Kaba Kwihokeka Zipporah Wahu Sema Zippie Gachengo Niwanyonire Zippie Gachengo Hutaniacha Zippie Gachengo Badilisha Zippie Gachengo Wi Ngai Zippie Gachengo Upo Juu Zig Zag & Kim J Upo Juu Zig Zag & Kim J Najilaumu Mwenyewe Zig Zag & C Jay Baba Yupo Zig Zag Lets Get Down Zapiano Hoping And Stepping (Remix) Zapiano Life So Good Zapiano Maisha Yangu Zapiano My Love Zapiano Plan Ya Time Zapiano Taratibu Zapiano Umoja Ni Nguvu Zapiano Venye Inafaa Zapiano Wabadilishe Zapiano Working Nation Zapiano Hoping And Stepping Zapiano Heshima Rafiki Zapiano Everyday Pray Zapiano Freedom Fighter Zapiano Bad Mind Tear Gas Zapiano Enjoy Life Carefully Zapiano African Party Zapiano Supa Dada Zapiano Kaa Macho Commercial Zapiano Kongole Zapiano Life Story Zapiano Machakoz Anthem City Zapiano Represent Zapiano Choose You Zangi Furaha Yangu Zakaria Gachango Down 2 Earth Zakah Agenda Zakah Ule Msee Zakah Praise The Lord Zakah Maandishi Ndani Zakah I Will Never Zakah Nitatii Zak Mtumishi Never Close Zak Mtumishi Nakuinua Zak Mtumishi Fear Not Zak Mtumishi Yote Kwa Yote Zak Mtumishi Yesu Ameniokoa Zak Mtumishi Tumsujudieni Zak Mtumishi Queen Esthers Generation Zak Mtumishi Ishara Mtayaona Zachary Wagaka Ndevanga Zachary Wafula Obukhana Zachary Wafula Hamba Wikanile Zachary Wafula Semenya Zach Kawangari Rangi Ya Pesa Zach Kawangari Maitu Ni Sorry Zach Kawangari Muhiki Ma Ngari Zach Kawangari Ndukanerihirie Zach Kawangari Ngira Ni Mbiri Zablon K. Ndale Mimi Ni Mzabibu Zablon K.
    [Show full text]