Tanzania Page 1 of 21
Total Page:16
File Type:pdf, Size:1020Kb
Load more
Recommended publications
-
-
MAJADILIANO YA BUNGE MKUTANO WA TATU Kikao Cha Thelathini Na Saba
NAKALA YA MTANDAO (ONLINE DOCUMENT) BUNGE LA TANZANIA ____________ MAJADILIANO YA BUNGE ______________ MKUTANO WA TATU Kikao cha Thelathini na Saba – Tarehe 6 Juni, 2016 (Bunge Lilianza Saa Tatu Asubuhi) D U A Naibu Spika (Mhe. Dkt. Tulia Ackson) Alisoma Dua NAIBU SPIKA: Waheshimiwa Wabunge, tukae. Katibu! NDG. ZAINAB ISSA - KATIBU MEZANI: Maswali. MASWALI NA MAJIBU Na. 303 Upanuzi wa Hospitali ya Mkoa wa Pwani MHE. SILVESTRY F. KOKA aliuliza:- Upanuzi wa hospitali ya Mkoa ya Pwani ijulikanayo kama Hospitali ya Tumbi umesimama kwa takribani miaka mitatu, sasa nondo na zege la msingi na nguzo zinaoza:- Je, Serikali ina mpango gani wa kukamilisha ujenzi wa hospitali hiyo ili kuondoa hasara na kuleta tija katika huduma ya afya Kibaha? 1 NAKALA YA MTANDAO (ONLINE DOCUMENT) NAIBU WAZIRI, OFISI YA RAIS, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA: alijibu:- Mheshimiwa Naibu Spika, kwa niaba ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, TAMISEMI naomba kujibu swali la Mheshimiwa Silvestry Francis Koka, Mbunge wa Kibaha Mjini, kama ifuatavyo:- Mheshimiwa Naibu Spika, Serikali inatambua changamoto zinazoikabili hospitali ya rufaa ya Tumbi – Kibaha ambazo zimesababishwa kwa sehemu kubwa na ufinyu wa majengo ya kutolea huduma na uchache wa vifaa tiba. Hadi sasa Serikali imetumia shilingi bilioni 5.98 kwa ajili ya upanuzi wa hospitali hiyo. Mheshimiwa Naibu Spika, Serikali katika bajeti ya mwaka wa fedha 2016/2017 imetenga shilingi bilioni 1.4 kwa ajili ya kuendeleza upanuzi wa hospitali ya Tumbi Kibaha ili kuboresha huduma za afya kwa wananchi. NAIBU SPIKA: Mheshimiwa Silvestry Koka, swali la nyongeza. MHE. SILVESTRY F. KOKA: Mheshimiwa Naibu Spika, nashukuru. Pamoja na majibu mazuri ya Serikali na kwa niaba ya wananchi wa Kibaha nishukuru kwa kutupatia hiyo 1.4 bilioni katika upanuzi wa hospitali hii, nina maswali mawili ya nyongeza. -
Mwanza Environmental and Social Impact Assessment Report For
LVWATSAN – Mwanza Environmental and Social Impact Assessment Report for Construction and Operation of a Faecal Sludge Treatment Plant in Lamadi Town, Busega District, Simiyu Region – Tanzania Prepared for: Mwanza Urban Water Supply and Sanitation Authority (MWAUWASA) P.O. Box 317 Makongoro Road, Mwanza Prepared by: Mott MacDonald in association with UWP Consulting On behalf of ESIA Study Team: Wandert Benthem (Registered Environmental Expert), Mwanza Tel.: 0763011180; Email: [email protected] Submitted to: NEMC Lake Zone P.O. Box 11045 Maji Igogo, Mwanza Tel.: 0282502684 Email: [email protected] March 2017 LVWATSAN – Mwanza Environmental and Social Impact Assessment Report for Construction and Operation of a Faecal Sludge Treatment Plant in Lamadi Town, Busega District, Simiyu Region – Tanzania March 2017 Mwanza Urban Water Supply and Sanitation Authority (MWAUWASA) OPS/ASD/Technical Assistance Unit (TAU), 100 boulevard Konrad Adenauer, L-2950 Luxembourg The technical assistance operation is financed by the European Union under the Cotonou Agreement, through the European Development Fund (EDF). The EDF is the main instrument funded by the EU Member States for providing Community aid for development cooperation in the African, Caribbean and Pacific States and the Overseas Countries and Territories. The authors take full responsibility for the contents of this report. The opinions expressed do not necessarily reflect the view of the European Union or the European Investment Bank. Mott MacDonald, Demeter House, Station Road, Cambridge CB1 2RS, United Kingdom T +44 (0)1223 463500 F +44 (0)1223 461007 W www.mottmac.com Green corner – Save a tree today! Mott MacDonald is committed to integrating sustainability into our operational practices and culture. -
Geographic Distribution of Indigenous Rice-Cultivation Techniques and Their Expansion in Tanzania
Trop. Agr. Develop. 63(1):18 - 26,2019 Geographic Distribution of Indigenous Rice-cultivation Techniques and Their Expansion in Tanzania Futoshi KATO* College of Bioresource Sciences, Nihon University, 1866 Kameino, Fujisawa, Kanagawa 252-0880, Japan Abstract In Tanzania, indigenous rice-cultivation productivity is generally lower than that of rice cultivation using modern irrigation systems, even though it is a nationwide practice. Practical improvements in indigenous rice cultivation are required to increase the productivity, stability, and sustainability of rice cultivation. Tanzania is a major rice-producing country in Africa and the demand for rice is continuously increasing; therefore, indigenous rice cultivation has also increased for more than 20 years. This study was focused on indigenous rice cultivation and aimed at elucidating the geographic distribution of indigenous rice cultivation and characterizing the techniques used. Fieldwork was conducted in Mwanza, Shinyanga, Tabora, Mbeya, Dodoma, Rukwa, Morogoro, and Dar es Salaam, which are the major rice-producing areas in Tanzania. Two basic rice-cultivation techniques are used in that country; one utilizes runoff from rainfall and the other uses floodwater from streams, rivers, and swamps. The former is practiced in northern and western Tanzania and is characterized by transplanting, building levees, and plowing with bullocks, while the latter is practiced in south-central Tanzania and is characterized by broadcasting seed, irrigating with floodwater, and using tractors. Furthermore, rice cultivation that utilizes runoff expanded from northern to southern regions of Tanzania in parallel with the migration of the Sukuma people; this has increased the diversification of Tanzanian rice cultivation. These indigenous rice-cultivation techniques were found to be affected by geographical, meteorological, and social conditions. -
TANZANIA GOVERNANCE REVIEW 2012: Transparency with Impunity?
TANZANIA GOVERNANCE REVIEW 2012: Transparency with Impunity? TANZANIA GOVERNANCE REVIEW 2012: Transparency with Impunity? With Partial Support from a TANZANIA GOVERNANCE REVIEW 2012: Transparency with Impunity? ACKNOWLEDGEMENTS This review was compiled and edited by Tanzania Development Research Group (TADREG) under the supervision of the Steering Group of Policy Forum members, and has been financially supported in part by Water Aid in Tanzania and Policy Forum core funders. The cartoons were drawn by Adam Lutta Published 2013 For more information and to order copies of the review please contact: Policy Forum P.O Box 38486 Dar es Salaam Tel: +255 22 2780200 Website: www.policyforum.or.tz Email: [email protected] ISBN: 978-9987 -708-09-3 © Policy Forum The conclusions drawn and views expressed on the basis of the data and analysis presented in this review do not necessarily reflect those of Policy Forum. Every effort has been made to verify the accuracy of the information contained in this review, including allegations. Nevertheless, Policy Forum cannot guarantee the accuracy and completeness of the contents. Whereas any part of this review may be reproduced providing it is properly sourced, Policy Forum cannot accept responsibility for the consequences of its use for other purposes or in other contexts. Designed by: Jamana Printers b TANZANIA GOVERNANCE REVIEW 2012: Transparency with Impunity? TABLE OF CONTENTS POLICY FORUM’s OBJECTIVES ............................................................................................................. -
Tanzania 2016 International Religious Freedom Report
TANZANIA 2016 INTERNATIONAL RELIGIOUS FREEDOM REPORT Executive Summary The constitutions of the union government and of the semiautonomous government in Zanzibar both prohibit religious discrimination and provide for freedom of religious choice. Three individuals were convicted and sentenced to life imprisonment for the arson of a church in Kagera. A Christian bishop in Dar es Salaam was arrested and accused of sedition for speaking on political matters from the pulpit. The church’s license was withheld while police continued to investigate at year’s end. The president and prime minister, along with local government officials, emphasized peace and religious tolerance through dialogue with religious leaders. Prime Minister Kassim Majaliwa addressed an interfaith iftar in July, noting his appreciation for religious leaders using their place of worship to preach tolerance, peace, and harmony. In May 15 masked assailants bombarded and attacked individuals at the Rahmani Mosque, killing three people, including the imam, and injuring several others. Arsonists set fire to three churches within four months in the Kagera Region, where church burning has been a recurring concern of religious leaders. The police had not arrested any suspects by the end of the year. Civil society groups continued to promote peaceful interactions and religious tolerance. The U.S. embassy began implementing a program to counter violent extremism narratives and strengthen the framework for religious tolerance. A Department of State official visited the country to participate in a conference of Anglican leaders on issues of religious freedom and relations between Christians and Muslims. Embassy officers continued to advocate for religious peace and tolerance in meetings with religious leaders in Zanzibar. -
Tanzania Human Rights Report 2008
Legal and Human Rights Centre Tanzania Human Rights Report 2008: Progress through Human Rights Funded By; Embassy of Finland Embassy of Norway Embassy of Sweden Ford Foundation Oxfam-Novib Trocaire Foundation for Civil Society i Tanzania Human Rights Report 2008 Editorial Board Francis Kiwanga (Adv.) Helen Kijo-Bisimba Prof. Chris Maina Peter Richard Shilamba Harold Sungusia Rodrick Maro Felista Mauya Researchers Godfrey Mpandikizi Stephen Axwesso Laetitia Petro Writers Clarence Kipobota Sarah Louw Publisher Legal and Human Rights Centre LHRC, April 2009 ISBN: 978-9987-432-74-5 ii Acknowledgements We would like to recognize the immense contribution of several individuals, institutions, governmental departments, and non-governmental organisations. The information they provided to us was invaluable to the preparation of this report. We are also grateful for the great work done by LHRC employees Laetitia Petro, Richard Shilamba, Godfrey Mpandikizi, Stephen Axwesso, Mashauri Jeremiah, Ally Mwashongo, Abuu Adballah and Charles Luther who facilitated the distribution, collection and analysis of information gathered from different areas of Tanzania. Our 131 field human rights monitors and paralegals also played an important role in preparing this report by providing us with current information about the human rights’ situation at the grass roots’ level. We greatly appreciate the assistance we received from the members of the editorial board, who are: Helen Kijo-Bisimba, Francis Kiwanga, Rodrick Maro, Felista Mauya, Professor Chris Maina Peter, and Harold Sungusia for their invaluable input on the content and form of this report. Their contributions helped us to create a better report. We would like to recognize the financial support we received from various partners to prepare and publish this report. -
Majadiliano Ya Bunge ______
Hii ni Nakala ya Mtandao (Online Document) BUNGE LA TANZANIA ___________ MAJADILIANO YA BUNGE ___________ MKUTANO WA NANE Kikao cha Thelathini na Tisa – Tarehe 2 AGOSTI, 2012 (Mkutano Ulianza Saa Tatu Asubuhi) DUA Spika (Mhe. Anne S. Makinda) Alisoma Dua HATI ZILIZOWASILISHWA MEZANI Hati ifuatayo iliwasilishwa Mezani na:- NAIBU WAZIRI WA USHIRIKIANO WA AFRIKA MASHARIKI: Randama za Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki kwa Mwaka wa Fedha 2012/2013. SPIKA: Waheshimiwa Wabunge, naomba mzime vipasa sauti vyenu maana naona vinaingiliana. Ahsante Mheshimiwa Naibu Waziri, tunaingia hatua inayofuata. MASWALI NA MAJIBU SPIKA: Leo ni siku ya Alhamisi lakini tulishatoa taarifa kwamba Waziri Mkuu yuko safarini kwa hiyo kama kawaida hatutakuwa na kipindi cha maswali hayo. Maswali ya kawaida yapo machache na atakayeuliza swali la kwanza ni Mheshimiwa Vita R. M. Kawawa. Na. 310 Fedha za Uendeshaji Shule za Msingi MHE. VITA R. M. KAWAWA aliuliza:- Kumekuwa na makato ya fedha za uendeshaji wa Shule za Msingi - Capitation bila taarifa hali inayofanya Walimu kuwa na hali ngumu ya uendeshaji wa shule hizo. Je, Serikali ina mipango gani ya kuhakikisha kuwa, fedha za Capitation zinatoloewa kama ilivyotarajiwa ili kupunguza matatizo wanayopata wazazi wa wanafunzi kwa kuchangia gharama za uendeshaji shule? NAIBU WAZIRI, OFISI YA WAZIRI MKUU, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA (ELIMU) alijibu:- Mheshimiwa Spika, kwa niaba ya Mheshimiwa Waziri Mkuu, naomba kujibu swali la Mheshimiwa Vita Rashid Kawawa, Mbunge wa Namtumbo, kama ifuatavyo:- Mheshimiwa Spika, Serikali kupitia Mpango wa Maendeleo ya Elimu ya Msingi (MMEM) imepanga kila mwanafunzi wa Shule ya Msingi kupata shilingi 10,000 kama fedha za uendeshaji wa shule (Capitation Grant) kwa mwaka. -
Tenure Issues in REDD+ Pilot Project Sites in Tanzania
Forests 2014, 5, 234-255; doi:10.3390/f5020234 OPEN ACCESS forests ISSN 1999-4907 www.mdpi.com/journal/forests Article Tenure Issues in REDD+ Pilot Project Sites in Tanzania Therese Dokken 1,*, Susan Caplow 2,3, Arild Angelsen 1,4 and William D. Sunderlin 4 1 School of Economics and Business, Norwegian University of Life Sciences, PB 5003, 1432 Ås, Norway; E-Mail: [email protected] 2 Curriculum for the Environment and Ecology, University of North Carolina, Chapel Hill, NC 27599-3135, USA; E-Mail: [email protected] 3 Carolina Population Center, University of North Carolina, Chapel Hill, NC 27516-2524, USA 4 Center for International Forestry Research (CIFOR), P.O. Box 0113 BOCBD, Bogor 16000, Indonesia; E-Mail: [email protected] * Author to whom correspondence should be addressed; E-Mail: [email protected]; Tel.: +47-9053-6572; Fax: +47-6496-5701. Received: 27 November 2013; in revised form: 27 January 2014 / Accepted: 12 February 2014 / Published: 20 February 2014 Abstract: REDD+ has been proposed as a viable option for addressing climate change in the near term, and at relatively low cost. There is a broad consensus that clearly defined tenure rights are important for the implementation and success of REDD+, both to manage forests effectively and to protect local communities’ livelihoods. We use primary data from 23 villages in six REDD+ pilot sites in Tanzania to identify causes of deforestation and forest degradation, and tenure rights issues, at the village level prior to project implementation. Further, interviews with project proponents and examination of project documents yields insights into how the proponents plan to address tenure issues. -
MKUTANO WA 18 TAREHE 3 FEBRUARI, 2015 MREMA 1.Pmd
3 FEBRUARI, 2015 BUNGE LA TANZANIA _______________ MAJADILIANO YA BUNGE _______________________ MKUTANO WA KUMI NA NANE Kikao cha Saba - Tarehe 3 Februari, 2015 (Mkutano Ulianza Saa Tatu Asubuhi) D U A Spika (Mhe. Anne S. Makinda) Alisoma Dua HATI ZILIZOWASILISHWA MEZANI Hati Zifuatazo Ziliwasilishwa Mezani na:- SPIKA: Hati za kuwasilisha mezani, Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama au kwa niaba yake Mheshimiwa Capt. John Chiligati. MHE. CAPT. JOHN Z. CHILIGATI (K.n.y. MWENYEKITI WA KAMATI YA ULINZI NA USALAMA): Taarifa ya Mwaka ya Shughuli za Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ulinzi na Usalama Katika Kipindi cha Januari, 2014 hadi Januari, 2015. MHE. SELEMANI S. JAFO (K.n.y. MWENYEKITI WA KAMATI YA MAMBO YA NJE YA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA): Taarifa ya Mwaka ya Shughuli za Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Katika kipindi cha Januari, 2014 hadi Januari, 2015. 1 3 FEBRUARI, 2015 MHE. DUNSTAN L. KITANDULA (K.n.y. MWENYEKITI WA KAMATI YA UCHUMI, VIWANDA NA BIASHARA): Taarifa ya Mwaka ya Shughuli za Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uchumi, Viwanda na Biashara Katika Kipindi cha Januari, 2014 hadi Januari, 2015. MASWALI NA MAJIBU SPIKA: Waheshimiwa Wabunge tumeletewa taarifa kwamba kwa sababu mgeni tulionao ndani ya nchi hii Rais wa Ujerumani vipindi vya TBC asubuhi hii vitakuwa kwenye TBC 2 na siyo TBC1, kwa sababu kule kuna mapokezi huko uwanja wa Taifa kule. Kwa hiyo, tutarudia tena baada ya mapokezi hayo kumalizika. Lakini pia jioni kwa sababu kutakuwa na dhifa ya kitaifa, pia matangazo hayatakuwa kwenye TBC1 na siyo vinginevyo. -
Hii Ni Nakala Ya Mtandao (Online Document)
Hii ni Nakala ya Mtandao (Online Document) BUNGE LA TANZANIA ____________ MAJADILIANO YA BUNGE ___________ MKUTANO WA NNE Kikao cha Ishirini na Nne – Tarehe 18 Julai, 2006 (Mkutano Ulianza Saa Tatu Asubuhi) D U A Spika (Mhe. Samuel J. Sitta) Alisoma Dua MASWALI NA MAJIBU SPIKA: Waheshimiwa Wabunge, kabla sijamwita muuliza swali la kwanza nina matangazo kuhusu wageni, kwanza wale vijana wanafunzi kutoka shule ya sekondari, naona tangazo halisomeki vizuri, naomba tu wanafunzi na walimu msimame ili Waheshimiwa Wabunge waweze kuwatambua. Tunafurahi sana walimu na wanafunzi wa shule zetu za hapa nchini Tanzania mnapokuja hapa Bungeni kujionea wenyewe demokrasia ya nchi yetu inavyofanya kazi. Karibuni sana. Wapo Makatibu 26 wa UWT, ambao wamekuja kwenye Semina ya Utetezi na Ushawishi kwa Harakati za Wanawake inayofanyika Dodoma CCT wale pale mkono wangu wakulia karibuni sana kina mama tunawatakia mema katika semina yenu, ili ilete mafanikio na ipige hatua mbele katika kumkomboa mwanamke wa Tanzania, ahsanteni sana. Hawa ni wageni ambao tumetaarifiwa na Mheshimiwa Shamsa Selengia Mwangunga, Naibu Waziri wa Maji. Wageni wengine nitawatamka kadri nitakavyopata taarifa, kwa sababu wamechelewa kuleta taarifa. Na. 223 Barabara Toka KIA – Mererani MHE. DORA H. MUSHI aliuliza:- Kwa kuwa, Mererani ni Controlled Area na ipo kwenye mpango wa Special Economic Zone na kwa kuwa Tanzanite ni madini pekee duniani yanayochimbwa huko Mererani na inajulikana kote ulimwenguni kutokana na madini hayo, lakini barabara inayotoka KIA kwenda Mererani ni mbaya sana -
MKUTANO WA KUMI Kikao Cha Nne – Tarehe 1 Fe
Hii ni Nakala ya Mtandao (Online Document) BUNGE LA TANZANIA _______________ MAJADILIANO YA BUNGE ________________ MKUTANO WA KUMI Kikao cha Nne – Tarehe 1 Februari, 2013 (Mkutano Ulianza Saa Tatu Asubuhi) D U A Naibu Spika (Mhe. Job Y. Ndugai) Alisoma Dua NAIBU SPIKA: Waheshimiwa Wabunge, Asalaam alleykum! Amani ya Bwana iwe nanyi! Heri ya mwaka mpya! Katibu tuendelee. MASWALI NA MAJIBU Na. 40 Ukamilishaji wa Ujenzi wa Zahanati ya Nalasi MHE. MTUTURA A. MTUTURA aliuliza:- 1 Zahanati ya Nalasi katika kijiji cha Nalasi, Jimbo la Tunduru Kusini, iliishapandishwa hadhi kuwa Kituo cha Afya kuanzia mwaka 2010 kufuatia ahadi aliyoitoa Mheshimiwa Rais kwa wananchi:- (a) Je, Serikali imefikia wapi katika utekelezaji wa ujenzi wa kituo cha afya? (b) Je, Serikali inatoa kauli gani kwa nguvu za wananchi kufyatua matofali zaidi ya 300,000 ilihali utekelezaji wa agizo hilo unachelewa? NAIBU WAZIRI, OFISI YA WAZIRI MKUU, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA (TAMISEMI) alijibu:- Mheshimiwa Naibu Spika, kwa niaba ya Mheshimiwa Waziri Mkuu, naomba kujibu swali la Mheshimiwa Mtutura A. Mtutura, Mbunge wa Jimbo la Tunduru Kusini, lenye sehemu (a) na (b) kama ifuatavyo:- (a) Mheshimiwa Naibu Spika, ni kweli mnamo tarehe 12 Oktoba, 2010 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiwa katika ziara wilayani Tunduru aliahidi kufanya upanuzi wa Zahanati ya Nalasi iliyopo katika Kata ya Nalasi, kuwa kituo cha afya. Mheshimiwa Naibu Spika, ili kutekeleza agizo la Mheshimiwa Rais, Halmashauri katika mwaka wa fedha 2012/2013 iliwasilisha maombi maalum kwa Wizara ya Fedha ili kupata shilingi bilioni 2.4 zinazohitajika kujenga 2 majengo 12 na nyumba 14 za Watumishi katika kituo hicho lakini hazikupatikana.