Mradi Wa Umeme Wa Rusumo Kukamilika Mwezi Desemba, 2021
Total Page:16
File Type:pdf, Size:1020Kb
HABARI ZA NISHATI Bulletin ToleoToleo NambaNamba 2221 28 DisembaJulaiJanuari 1 - 1-31,1-31, 31, 2021 20202021 WaziriRAISMRADI ALIELEZA na WA Naibu UMEME Waziri WA wa NishatiBUNGERUSUMO VIPAUMBELE wafanya KUKAMILIKA kikao cha UK. SEKTA YA NISHATI 7 MWEZIkwanza DESEMBA,na Bodi za Taasisi 2021 Watoa maelekezo mahususi Waziri Mkuu azindua Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt Medarduchepushwaji Kalemani (kushoto) na Naibu Waziri wa Nishati,wa Mhe. majiStephen Byabato Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Medard Kalemani, akizungumza na Waandishi wa Habari, mara baada ya Mawaziri wa nchi tatu za Tanzania, RwandaWAZIRI na Burundi KALEMANI zinazohusika na Mradi wa AUTAKA Umeme wa Rusumo UONGOZI kumaliza mkutano waoWA uliofanyika WIZARA tarehe 12 Juni, YA 2021 NISHATI baada ya kutembelea eneo la Mradi na kuridhishwaUK. na hatua ya ujenzi iliyofikiwa na wakandarasi. Kutoka kushoto ni Waziri wa Nishati Tanzania, Mhe.KUFANYA Dkt. Medard Kalemani, KAZI Waziri2 waKWA Miundombinukatika KASI, Rwanda, KWA Mhe. Balozimradi UBUNIFU Claver Gatete na Waziri NAwa wa KWA Nishati naJNHPP USAHIHIMigodi wa Burundi Mhe. Ibrahim Uwizeye. LIMEANDALIWA NA KITENGO CHA MAWASILIANO SERIKALINI, WIZARA YA NISHATI Wasiliana nasi kwa simu namba +255-26-2322018 Nukushi +255-26-2320148 au Fika Osi ya Mawasiliano, Mji Mpya wa Serikali Mtumba, S.L.P 2494, Dodoma HABARI 2 MRADI WA UMEME WA RUSUMO KUKAMILIKA MWEZI DESEMBA, 2021 Na Dorina G. Makaya - zinazohusika na Mradi Ngara wa Umeme wa Rusumo kilichofanyika katika aziri wa eneo la mradi la Rusumo. Nishati, Waziri Kalemani Mhe. alieleza kuwa, Mawaziri Dkt. wa nchi zote tatu Medard zinazohusika na Mradi WKalemani amesema, wa Rusumo, Waziri wa Mradi wa Umeme wa Nishati na Migodi wa Rusumo utakamilika Burundi, Mhe. Ibrahim Desemba, 2021. Uwizeye, Waziri wa Waziri Kalemani Miundombinu Mhe. alitoa taarifa hiyo tarehe Balozi Claver Gatete 12 Juni, 2021 katika pamoja na yeye mkutano na waandishi mwenyewe Waziri wa Waziri wa Nishati Tanzania, Mhe. Dkt. Medard Kalemani, akizungumza na Waandishi wa Habari, mara baada ya Mawaziri wa habari baada ya Nishati wa Tanzania, wa nchi tatu za Tanzania, Rwanda na Burundi zinazohusika na kumaliza kikao cha wameridhishwa na Mradi wa Umeme wa Rusumo kumaliza mkutano wao uliofanyika tarehe 12 Juni, 2021 mara baada ya kutembelea eneo la Mradi na pamoja cha Mawaziri wa maendeleo ya ujenzi wa kuridhishwa na hatua ya ujenzi iliyofikiwa na wakandarasi. nchi tatu za Tanzania, Mradi wa Umeme wa Kushoto kwa Waziri wa Nishati Tanzania, Mhe. Dkt. Medard Rwanda na Burundi Rusumo ambao ujenzi Kalemani, ni Waziri wa Miundombinu Rwanda, Mhe. Balozi Claver Gatete. Waziri wa Nishati Tanzania, Mhe. Dkt. Medard Kalemani, (wa Mawaziri wa nchi zinazohusika na Mradi wa Umeme wa Rusumo, pili kutoka kushoto) akimuuliza swali Mhandisi Mshauri Bosco wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kumaliza mkutano Mugabo anayesimamia ujenzi wa kituo cha kufua Umeme cha wa pamoja uliofanyika tarehe 12 Juni, 2021 katika eneo la Mradi la Rusumo kuhusu ukamilishaji wa ujenzi wa Bwawa la Mradi Rusumo. Kutoka kushoto ni Waziri wa Nishati Tanzania, Mhe. Dkt. wa Umeme wa Rusumo. Kulia kwa Dkt. Kalemani ni Waziri wa Medard Kalemani, Waziri wa Miundombinu Rwanda, Mhe. Balozi Miundombinu Rwanda, Mhe. Balozi Claver Gatete na Waziri wa Claver Gatete na Waziri wa Nishati na Migodi wa Burundi Mhe. Nishati na Migodi wa Burundi Mhe. Ibrahim Uwizeye. Ibrahim Uwizeye JARIDA LA WIZARA YA NISHATI | Julai 1 - 31, 2021 TAHARIRI HABARI ZA NISHATI HABARI ZA HABARI ZANISHATI Toleo Namba 15 NISHATI BulletinToleo Namba 14 BulletinBulletin 3 Toleo Namba 19 WAZIRIOktoba 1-31, 2020 NA W KALEMANI AKANDMRADI W Mei 1-31, 2020 Juni 1-30, 2020 Mradi wa Umeme Rusumo KUMEKUCHAKUJ A UMEME W Apongeza uADILIt UMEMEJULIUSARASI VIJIJINI AKUW T MRADI WA BOMBAREA, LA MAFUTA A TANESC endaji kazi w ANA Tanzania, JPM asema utekelezwaji Museveni aeleza O na Kalemani NYERERE W a HA Uganda wasaini wake ni ushindi kwa kufurahishwa na abainishaakanda Tranzania UJ A REA makubaliano Watanzania na Waganda itapata trilioniasi 7.5 Asema AW hist REA AHI oria T imet KUSIMAMA – WanzaniaAZIRIengeneza Muda KALEMANIw miradi haujabadilikaa kukamilisha ni mkombozi wa uhakika Wa jumb Dkt. Medarde w aKa Bodil y Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pomkbielic Mhagufuli na Rais wa Jamhuri ya Uganda, Yoweri Kaguta ofa a Wakur UK. Museveni wakishuhudia Mawaziri wa Nishati wa nchi zao, Mary Gorneytikati K jijiniituemt ua wa Uganda (kushoto) na Dkt. Medard ni (kul ugenz 2 Kalemani wa Tanzania (kulia) wakitia saini Mkataba wa kuanza haraka Mradi wDaodoma, Ujenzia)i Mw naa BomWaki wabaa Wakala la Mafuta w kutoka Hoima (Uganda) hadi Tanga (Tanzania) kwenye sherehe fupi iliyofanyika Uwanja wa Ndegeei 21, w a2020 Chanda tkujaro mkoani Geita Jumapili Septemba 13, 2020. Dkt.Kalemani: asi w a Nishat a i Vijijini (ms naotek kukamilisha REA kukatwadili ma 10%eleza M rya malipo yake ende tari w le adi wUK.a mb Juni o ya Mr a Umeme eVijijini,le Aw Waziri w adi huo.5 ), wak ku a Nisha30,t ishir WAZIRI KALEMANI AZINDtengen i Dkt UMedardA Kal iki kikao cha Wa UK. ka eza kok 2020, amu y zi kukag oto zita emani (m a T ua ma kaz omkandarasitu we atu, Mz ziri w 2 endele mika nye shat ung a Nishat o ya Mr katika i la bluu) na Ujumb uko w adi huo, Ap ujenzi w i REA KITONGOJI KWA KITONGOJIril a M r a Kw i 5, 2020. adi wa e wake, akanza, GGM kutumia umemeatakayeshindwa wa UGridimeme ya ite remka kut wa Jul ius Nye oka kat rere (JN ika Mashine maalumu y LIMEANDALIWA NA KITENGO CHA HPP). W MAWASILIANOLIMEANDALIWA SERIKALINI, NA KITENGOWIZARA YA CHA NISHATI aziri JENZI wa Mradi wa Umeme MAWASILIANO SERIKALINI, WIZARA YA NISHATI aliku a W wa kat asiliana ika ziar Wasiliana nasi kwa simu namba +255-26-2322018 Nukushi +255-nasi 26-2320148 au UK. a ya kwa simu 16 namba + Taifa Juni 2020 255 -26- JARIDA HILI HUTOLEWA NA KITENGO CHA 232 UK. 2018MAWASILIANO SERIKALINI, WIZARA YA NISHATI Nukushi +255-26-2320148 au 6 Wasiliana nasi k wa Rusumo umefikia asilimia wa simu namba +255-26-2322018 katika sekta ya nishati ya umeme na Nukushi +255-26-2320148 au 80 na unatarajiwa kukamilika kuwa faraja ya kiuchumi kwa eneo hili la Desemba mwaka huu, kwa Afrika Mashariki. mujibu wa taarifa ya Waziri wa BODI YA UNishati, Dk Medard Kalemani aliyoitoa Kwa vyovyote vile, mradi huu kwa wanahabari Juni 12 mwaka huu. unakwenda kuwa injini ya maendeleo Waziri Kalemani kwa uhakika na ya si tu mtu mmoja mmoja wa nchi UHARIRI kujiamini, alisema hayo baada ya hizi tatu, lakini ni kwa mataifa hayo kumaliza kikao chake na mawaziri matatu kwa ujumla, kwani utawezesha wenzake kutoka nchi tatu za Tanzania, Mwenyekiti kuendesha mitambo na viwanda Mhandisi L Rwanda na Burundi zinazohusika na eonar ambavyo vina mchango mkubwa kwa Katibu Mkuu d Masanja kilichofanyika eneo la mradi la Rusumo. jamii. Mawaziri hao wa nchi tatu zinazohusika na mradi huo, pamoja Kama alivyoasa Dk Kalemani, Makamu Mw wananchi amabo ndio walengwa, Kheri Mahimbalienyekiti na yeye ni wa Nishati na Migodi wa Burundi, Mhe. Ibrahim Uwizeye, na wa wanapaswa kuwa makini na mradi huu Miundombinu wa Rwanda, Mhe. Balozi hususan walioko Ngara, na kuhakikisha Claver Gatete ambao kwa pamoja, kuwa unapata maji muda wote, kwa Mhariri waliridhishwa na maendeleo ya ujenzi. kuwa maji ndiyo hasa mhimili mkuu Dorina G. Maka wa kuendesha mitambo na kuzalisha y Kwa mujibu wa Waziri Kalemani, njia a za kusafirisha umeme zitagharimu dola nishati hiyo. za Marekani milioni 113.2 na baada ya Wanapaswa pia kuelewa, kwamba kukamilika ujenzi, zitaokolewa dola nchi hizi zinatumia fedha katika kujenga Waandishi milioni 25 zitakazotumika kujengea njia miradi ya kimkakati kama hii kwa zingine ya umeme kwa nchi zote tatu, matarajio kwamba katika siku zijazo, Teresia Mhagama ili kuimarisha upatikanaji umeme wa itasaidia kuendesha viwanda na kuinua Zuena Msuya uhakika katika nchi hizo. uchumi na hatimaye mataifa haya kuwa Hafsa Omar Lakini akabainisha, kuwa Sh bilioni ya viwanda. 10 zimetumika kwa miradi ya kijamii Inafahamika, kuwa nchi yoyote tajiri wilayani Ngara, Tanzania, ikihusisha Msanifu Kurasa duniani, iliyoendelea kiviwanda, haiwezi ujenzi wa vituo vya afya viwili, zahanati kufikia hatua hiyo, bila kuwa na nishati Lucas Gordon mbili, sekondari tatu, shule za msingi mbili, chuo cha ufundi stadi, miradi ya umeme, hivyo kwa kuwa Rusumo Wasiliana nasi kwa simu miwili ya maji na ya kilimo na ufugaji kuna maeneo rafiki ya kuzalisha nishati namba +255-26-2322018 nyuki. hiyo, ni vema ikatumika kwa uangalifu ili mradi kuwa endelevu. Nukushi: +255-26-2320148 Ili kuhakikisha kwamba mradi huo au wa umeme haupungukiwi maji, Dk Ulinzi wa mradi huo sharti uendelee Kalemani aliwataka watumiaji maji ya kubaki mikononi mwa wananchi wenyewe, ambao hakika wakilihakikisha Fika Ofisi y mito ya Rubuvu na Kagera, kutumia a Mawasiliano maji ya mito hiyo kwa uangalifu na hilo, kama ambavyo Waziri Kalemani Mitumba Dodoma, kutunza vyanzo. amekuwa akisisitiza katika ziara zake S.L.P 2494, Dodoma Kama alivyosema Waziri za kukagua miradi, hakika watanufaika Kalemani, mradi huo ni muhimu na matunda yake, na kujinasua katika sana na kukamilika kwake kutaondoa umasikini. changamoto za umeme, si kwa Tanzania Kukamilika kwa mradi wa umeme peke yake bali pia majirani wa Burundi wa maji wa Rusumo, kutakuwa na Rwanda, na kuwawezesha kukuza kumechangia kwa kiasi kikubwa uchumi kwa ajili ya maendeleo yao. si tu maendeleo ya kiuchumi, bali Kwani mradi huo ulioanza Machi hata mapato ya nchi kutokana na 2017 utazalisha MW 80 na kufanya nchi hizo tatu kupata mgao sawa wa MW 27, uzalishaji wa uhakika, ambao utakuwa zitakazoingizwa kwenye gridi za mataifa umetokana na miradi mingine, hayo, na kutoa mchango mkubwa inayotegemea umeme huo. Hivyo JARIDA LA WIZARA YA NISHATI | Julai 1 - 31, 2021 huu ni ukombozi wa kiuchumi kwa Watanzania, Warundi na Wanyarwanda. HABARI 4 MRADI WA UMEME WA RUSUMO KUKAMILIKA MWEZI DESEMBA, 2021 INATOKA UK.2 katika kujengea njia wake umefikia zaidi ya nyingine ya umeme asilimia 80.