UMOJA - JARIDA

Toleo No. 93 SIMULIZI LA WINDA: KUKATAA UKEKETAJI Novemba - Desemba 2020

VIDOKEZO

• Vijana wawashawishi Wabunge juu ya ajenda yao ya mabadiliko

• Watoto mapacha wakimbizi wawa miongoni mwa waliopata vyeti vya kuzaliwa vya Tanzania

• SIDO: Mabadiliko ya mahali baada ya uwekezaji

• Kinga ya magonjwa: Watumishi wote wa UNFPA inasaidia juhudi za kuharakisha maendeleo kuelekea katika kutokuwa kabisa na ukeketaji ifikapo mwaka 2030 na kuwepo kwa dunia iliyo bora na mipakani wawe na yenye usawa zaidi kwa wasichana kama Winda. Picha: UNFPA Tanzania tahadhari

inda* alikuwa na hapana kwa ukeketaji. Lakini juhudi kukomesha vitendo Wumri wa miaka 13 na kwa upande wa Winda na hivyo, kam inavyoelezwa alikuwa tayari kujiunga na mamilioni ya wanawake na katika ajenda za maendeleo elimu ya sekondari pale wasichana kote duniani wana- za kitaifa, kikanda na dunia, oishi katika jamii ambako na kama inavyoshuhudiwa na baba yake alipomtaka ukeketaji unaonekana kupungua kwa vitendo hivyo kwenda kufanyiwa ukeketaji. kama hatua muhimu katika nchini. Hata hivyo, bado kuna “Aliniambia kuwa sasa safari ya kukua na ambako tofauti kutoka mkoa mmoja nimekua na kwamba ilikuwa wasichana wasiokeketwa hadi mwingine ambapo Mkoa ni lazima nifanyiwe ukeketaji wananyanyapaliwa na mara wa Mara alikozaliwa Winda ili familia yangu ijivunie nami nyingi hawawezi kuolewa asilimia 32 ya wanawake na kupata heshima katika kukataa kukeketwa maana wenye miaka 15 hadi 49 bado jamii,” anakumbuka. yke ni kupoteza jamii yako, wanakeketwa. familia yako na marafiki zako. Huku madhara ya ukeketaji Winda alipata elimu kuhusu yakiwa yanajulikana waziwazi Ukeketaji ni kitendo kilicho- madhara ya ukeketaji baada inaweza kuonekana kama haramishwa nchini Tanzania ya wanaharakati wa kukome- vile ni jambo jepesi kusema tangu mwaka 1998 na ser- sha ukeketaji ikali imekuwa ikifanya kila Inaendelea Ukurasa wa 2

This newsletter is published by the UN Communication Group in Tanzania. To subscribe and provide feedback, please contact us at: [email protected] | Website: tanzania.un.org | Tel: (+255) 22-219-5021

1 Kutoka ukurasa wa 1 ya Hope for Women and Girls, delea kuongeza juhudi za kutembelea shuleni Tanzania, (Matumaini kwa kufikia lengo la kukomesha alikokuwa akisoma. Alijua Wanawake na Wasichana) ukeketaji ifikapo mwaka 2030 kwamba endapo angalifany- huko Serengeti. Hivi sasa kuanzia kuimarisha mazin- iwa ukeketaji basi angalipatwa Winda ana umri wa miaka gira ya sera nchini Tanzania na madhara ya muda mfupi 17 na bado anaishi katika hadi kuvuka mipaka katika na muda mrefu, au hata makazi hayo salama. Anapata kuimarisha mifumo ya kinga kifo, na hayo yalimwogofya msaada wa kieleimu na na utoaji mwitikio; kuongeza sana. Aliwambembeleza anasema ndoto yake ni kuwa utoaji elimu katika jamii na wanafamilia yake wasim- daktari. shule na kupanua taratibu fanyie ukeketaji ambapo nyingine za hatua za makuzi aliungwa mkono na kaka Winda ni miongoni mwa ya mtu. yake lakini walikataa katakata wanawake vijana wengi kumsikiliza. wanaokataa ukeketaji nchini Tunapoelekea katika Siku Tanzania, na hayuko peke ya Kimataifa ya Kutovumilia Winda alifanya uamuzi wa yake. Vijana, wazazi na jamii Kabisa kwa wasichana kama kishujaa na kutoroka nyum- wamefanya uamuzi kwamba Winda na wengineo wengi bani kwao ambapo alitembea hawataki kuendelea vitendo kama yeye tunatoa wito unao- kwa siku tatu hadi Kituo cha hivyo ya ukeketaji, kwamba rindika kote duniani: “Huu si Polisi cha Mugumu. Hapo ali- wanapenda watoto wao wakati wa kutochukua hatua: kutana na Sijari, askari polisi wawe na hatma njema mais- Unganeni, toeni fedha na anayeshughulikia Dawati la hani dunia iliyo bora zaidi na chukueni hatua kukomesha Jinsia na Watoto, ambaye yenye usawa kwa binti zao. ukeketaji”. alimpeleka Winda katika makazi salama chini ya taasisi UNFPA imedhamiria kuen-

SIKU YA UKIMWI DUNIANI 2020: KUTUMIA UBUNIFU KATIKA HUDUMA ZA VVU ILI KUPANUA NA KUHAKIKISHA MATUNZO ENDELEVU YA VVU

unia imepiga hatua washirika, watekelezaji wa Dkubwa tangu miaka ya programu, vyama vya kiraia Waziri Mkuu, Mh. Kassim mwisho ya 1990, lakini tatizo na jamii kuwakumbuka wale Majaliwa, alikuwa mgeni la VVU bado ni kubwa katika wanaotoa huduma za VVU, na rasmi katika maadhimisho masuala ya afya ya jamii. Na katika kutoa wito kwa vion- yaliyofanyika Mkoa wa kama ilivyo kwa masuala gozi wa dunia na wananchi Kilimanjaro na kusema kwa mengine makubwa ya afya kuungana kwa ajili ya “umoja masikitiko kuwa vijana wenye ya jamii, titizo hili linaongeza wa kidunia” ili kudumisha umri kati ya miaka 15 na 24 changamoto ya ziada katika huduma muhimu za VVU ndiyo wanaochangia asilimia kipindi cha janga la COVID-19. katika kipindi cha janga la 80 ya maambukizi mapya. COVID-19 na baada ya hapo. Viwango vya juu vya maam- Mnamo Desemba Mosi, Ni wito wa kuwekea mkazo bukizi miongoni mwa vijana mashirika ya Umoja wa makundi yaliyo hatarini na ni changamoto kubwa katika Mataifa ya WHO, UNAIDS, kupanua utoaji wa huduma juhudi za Tanzania za kupiga UNESCO na UNICEF yaliun- kwa watoto na vijana walio hatua katika Malengo ya gana na Serikali ya Tanzania, katika umri wa balehe. Inaendelea Ukurasa wa 3

2 Kutoka ukurasa wa 2 kuandaa mwongozo wa ya utekelezaji kwa ajili ya Maendeleo Endelevu katika Kujipima VVU (HIV ST) ukaziaji, ulengaji na utoaji afya, ambayo yanalenga kama mkakati wa nyongeza kipaumbele kwa upimaji wa kupunguza maambukizi wa kupima VVU katika VVU kwa kuzingatia mzigo wa mpaya katika jamii, waki- makundi mbalimbali ya ugonjwa. wemo vijana. jamii. Mwongozo huo ume- tumika kama msingi wa Kwa upande wake, Mratibu Kazi ya Umoja wa Mataifa ya kuoanisha fedha na uombaji Mkazi wa Umoja wa Mataifa, kupambana na VVU/UKIMWI fedha katika Mfuko wa Dunia Zlatan Milisic, alirejea ahadi nchini Tanzania imekazia (Global Fund) kwa kipindi cha ya Umoja wa Mataifa wa kum- katika utungaji sera na kutoa 2021-2023. aliza kabisa UKIMWI. “Umoja miongozo inayolenga kupun- wa Mataifa unashirikiana guza ongezeko la maambukizi Katika mwaka 2020, Umoja kwa karibu na Serikali kwa mapya na kuhakikisha upa- wa Mataifa umekuwa na lengo la pamoja la kuhaki- tikanaji wa dawa a kufubaza mchango mkubwa katika kisha kunakuwa na ugawaji virusi (ARVs) kwa watoto, kusaidia tafsiri ya Mpango ulio sawa wa mafanikio ya vijana wa umri wa balehe na wa Uharakishaji Huduma za maendeleo katika nchi nzima, watu wazima wanaoishi na Upimaji VVU (Accelerated na kukomesha janga la VVU. Plan for HTS) katika ngazi UKIMWI ifikapo mwaka 2030, za mikoa na za chini zaidi jambo ambalo litakuwa na Umoja wa Mataifa, kwa ambako mikoa tisa yenye athari chanya kwa watu wa kushirikiana na washirika mzigo mkubwa wa VVU ili- Tanzania,” alisema. wake, imeisaidia Tanzania saidiwa kuandaa mipango

Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa, Zlatan Milisic (kushoto), akimkaribisha Waziri Mkuu (kulia) katika Banda la Umoja wa Mataifa katika maadhimisho ya Siku ya UKIMWI Duniani katika Wilaya ya Moshi, Mkoa wa Kiliman- jaro. Bw. Milisic alirejea ahadi ya Umoja wa Mataifa ya kuisadia Serikali ya Tanzania kupambana na VVU/UKIMWI. Picha: Deborah Kaluzi/UN Tanzania

3 WATOTO MAPACHA WAKIMBIZI WAWA MIONGONI MWA WALIOPATA VYETI VYA KUZALIWA VYA TANZANIA

Zeomary na mapacha wake wakiwa katika Kambi ya Wakimbizi ya Nduta katika Wilaya ya Kibondo, Mkoa wa Kigoma. Picha: Maimuna Mtengela/ UNHCR Tanzania

akati Zeomary Rudashi Belyce na Jaqueline ambao huwa na mashaka ikiwa Wakifanya haraka ndio kwanza wana wiki tatu watoto wake watatambuliwa kuelekea katika kituo cha tangu wazaliwe,” anasema kama raia wa Burundi wasije usajili kilicho katika Kambi huku akitabasamu wakati aki- kuishia kuwa watu wasio na ya Wakimbizi ya Nduta jiunga kwenye mstari ili kupat nchi. nchini Tanzania, furaha yake ahuduma. “Watapata vyeti haielezeki. Leo ni siku ya vya kuzaliwa. Sasa ninajihisi Lakini kwa sababu kuna kipekee, si joto la jua wala nini kama kuna mahali ambako mpango wa kusajili vizazi, kinachoweza kumwondelea wanapaita nyumbani.” unaosimamiwa na Wakawa furaha yake. wa Usajili wa Vizazi na Vifo Zeomary, ambaye ni mkimbizi na Nyaraka Mbalimbali Anainama kidogo ili kum- kutoka Burundi, ni mama wa (RITA), Wizara ya Mambo ya weka sawa mmoja wa watoto watoto saba na amekuwa akii- Ndani, Shirika la Kuhudumia wake mapacha, aliyefungwa shi katika Kambi ya Nduta kwa Wakimbizi (UNHCR), Baraza vizuri kwa mbeleko mgongoni miaka mitano sasa. Alikimbia la Wakimbizi la Norwaya kwake na kisha anamhimiza Burundi baada ya machafuko na wadau wengine, watoto binti yake mwenye umri wa ya kisiasa ya mwaka 2015, watatu wa Zumary waliozaliwa miaka saba aliyembeba mtoto na kutafuta usalama nchini nchini Tanzania watapata vyeti pacha mwingine. Tanzania. Kwa kuwa aliacha vyao vya kuzaliwa, pamoja na mali na nyaraka zote muhimu watoto wengine 13,500 wa “Leo ni siku kubwa kwa za familia yake kwao, daima wakimbizi walio na umri chini Inaendelea Ukurasa wa 5 4 Kutoka ukurasa wa 4 walikozaliwa, ambavyo ni ya miaka mitano. Hii n mara Mwakilishi wa UNHCR nchini vipengele muhimu katika ya kwanza ambapo utaratibu Tanzania, Antonio Jose kuthibitisha haii ya uraia huu unawajumuisha watoto Canhandula, ameipongeza katika Dola. kama wa Zumary. Serikali ya Tanzania kwa hatua ya kuwajumuisha wakim- Zoezi la usajili, ambalo lilifa- Kampeni ya #IBelong bizi katika juhudi hizi. “Haki nyika katika Kambi ya Nduta (inayoweza kutafsiriwa ya kupata jina, utambulisho kama majaribio, litaenea pia kama ‘Nina Kwetu’) inalenga na kizazi kusajiliwa ni haki katika kambi za Mtendeli kukomesha hali ya kuto- ya watoto waote,” alisema. na Nyarugusu. Kwa ujumla, kuwa na uraia ifikapo mwaka “Hatua hii chanya itawapatia watoto 55,000 hawana vyeti 2024 na tayari kampeni hiyo ulinzi muhimu wa kisheria.” vya kuzaliwa na hivyo hawa inatimiza miaka sita mwaka watanufaika. “Mapacha huu. Viongozi wa dunia Aliongeza kusema kwamba wangu wenye bahati wame- wanaaswa kuwajumuisha wakati ambapo ukosefu kuja na neema katika jamii. na kuwalinda watu wasio na wa usajili wa uzazi si jambo Yaani, nina hamu nifike uraia na kufanya maamuzi linalomnyima mtoto uraia, nyumbani haraka nimwonye- mazito na ya haraka ya kutokuwepo kwake kun- she mume wangu vyeti hivi,” kufutilia mbali ukosefu wa aweza kuwa kikwazo cha watu anasema kwa furaha. uraia. kudhitibisha asili na mahali

Zeomary akiwa katika mchakato wa kusajili vyeti vya kuzaliwa. Picha: Maimuna Mtengela/ UNHCR Tanzania

5 VIJANA WAWASHAWISHI WABUNGE JUU YA AJENDA YAO YA MABADILIKO

“Kama kijana, tuna wajibu wa kuhakikisha kwamba mifumo ya maji katika shule zetu na nchini kwetu inaendelezwa ili watoto walindwe dhidi ya magonjwa ya kuambukiza. Watoto wanaweza pia kuwa mashujaa wa Usafi wa Mazingra na Maji (WASH)!”- Rose Mweleka, Kijana Kinara wa UNICEF na Mhitimu wa Chuo Kikuu anasema wakati akihutubia Wabunge.

*All Photos Credit: UNICEF Tanzania namo Novemba 20, Watoto na vijana iliandaliwa pamoja na Naibu Spika wa M2020, vijana nchini kwa mashauriano na zaidi ya Bunge la Jamhuri, Mh. Dkt. Tanzania waliadhimisha Siku watoto 34,000 mwaka 2019 Tulia Ackson, ambaye alitoa ya Mtoto Duniani pamoja kama sehemu ya maadhi- ahadi nzito zitakazofungua misho ya miaka 30 ya Mkataba milango kwa mazungumzo na zaidi ya Wabunge 300 wa Haki za Mtoto (CRC@30). ya kimkakati kwa ajili ya siku waliochaguliwa ambapo Zaidi ya watoto milioni 5 wal- zijazo. “Tumewasikia. Sisi waliwakabidhi wawakilishi ifikiwa kwa ujumbe kuhusu kama Wabunge, tunaelewa hao wa watu Ajenda yao CRC na haki zao kama sehemu kuwa tuna wajibu mkubwa ya mabadiliko, wakiwaasa ya maandalizi ya Ajenda iliy- wa kuhakikisha tunajadili- kuweka kipaumbele masuala ozinduliwa na Rais Mstaafu ana masuala yanayowaathiri muhimu kama vile elimu, Mh. . watoto wetu na kuisukuma usafi na mazingira (WASH) na serikali kuchukua hatua zin- ulinzi wa mtoto ili kuimarisha Tukio hilo lililoandaliwa azostahiki za kukabiliana chini ya ujumbe: ‘Reimagine na yote hayo. Tunaahidi ustawi wa watoto nchini. a Better World for Every kuiutumia ajenda ambayo Child,’ yaani ‘Fikiria Upya mmeiwasilisha kwetu na Watetezi vijana Abdullatif kuhusu Dunia Bora zaidi kwa tutaitumia kama rejea yetu Hassan (16), Agape Joster Kila Mtoto’, lilifanyika Jijini tunaposukuma masuala (13), Rose Mweleka (24) na Dodoma ambapo mgeni rasmi muhimu mliyoyapendekeza,” Mariam Mbaga (26) waliwas- alikuwa ni Spika wa Bunge alisema Mh. Ndugai. ilisha mapendekezo makuu la Jamhuri, Mh. . kutoka katika Ajenda ya Wengine waliohudhuria ni Katika maelezo yake, Mratibu Inaendelea Ukurasa wa 7 6 Kutoka ukurasa wa 6 wa Umoja wa Mataifa nchini

Tanzania, Bw. Zlatan Milisic, alisisitiza kwamba ili kufikia Malengo ya Maendeleo Endelevu mwaka 2030, ni lazima kuwela maslahi ya watoto mbele katika ajenda. “Tafsiri ya Maendeleo endelevu ni maendeleo yan- ayoweza kuendelezwa katika vizazi vijavyo. Kwa hiyo, kufa- nya maamuzi sahihi kwa ajili ya watoto ni suala muhimu katika utekelezaji wa ajenda ya SDG.”

Kwa upande wake, Mwakilishi wa UNICEF nchini Tanzania, Bi. Shalini Bahuguna, alisema “Wabunge wana mamlaka ya kuandaa dira ya nchi na kusimamia maendeleo SDGs yatafikiwa tu ikiwa sote yake. Maamumzi mnayofanya hapa leo yanaweza kuathiri moja kwa moja jinsi gani watoto wataendelezwa katika siku zijazo. Tunawaomba kutumia mamlaka tutashirikiana na kuweka hayo na kuwaweka watoto kwanza!” - Shalini Bahuguna, Mwakilishi wa UNICEF upya ahadi zetu kwa kuzinga- Tanzania, akizungumza katika siku ya maadhimisho ya Siku ya Mtoto Duniani tia kanauni na utekelezajiwa (WCD). CRC. “Kama Wabunge, mna watoto na kusimamia ute- na kuanzisha mijadala na wajibu muhimu wa kusaidia kelezaji wake katika majimbo kuchukua hatua kupitia sera, kufikiwa kwa malengo ya yenu. Mnaweza pia kuzung- sheria na uwekezaji wenye SDG. Mnaweza kutunga sera umza kwa niaba ya watoto tijia kwa manufaa ya watoto,” madhubuti na kujadili, na pale mnapoelewa masu- aliongeza. kutunga sheria zinazowalinda ala yanayoathiri ustawi wao

Kabla ya Maadhimisho ya Siku ya Watoto Duniani, Bunge Maadhimisho ya Siku ya Watoto Duniani yalifanyika mkoani la Tanzania lilingarishwa kwa rangi ya bluu ya UNICEF Dodoma ambapo mgeni rasmi alikuwa Mheshimiwa Job Tanzania kuonyesha kuunga mkono na ahadi ya kulinda Ndugai, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa haki za mtoto nchini. Kung’arisha kwa rangi ya bluu katika Tanzania. Katika siku hii Wabunge walisikiliza sauti za Siku ya Watoto Duniani ni ishara ya jukumu la UNICEF la vijana na kuungana na UNICEF katika kufikiria hatima kusimamia haki za kila mtoto na kupigania kuleta dunia bora ya watoto wa Tanzania. bora zaidi kwa kila mtoto.

Inaendelea Ukurasa wa 8 7 Kutoka ukurasa wa 7

“Waheshimiwa Wabunge, ninawaasa kusoma Ajenda ya Watoto. Sikilizeni yale wanayosema watoto hawa. Tuna wajibu wa kuchukua mapendekezo yao na kuyageuza kupata uhalisia na kujenga hatima njema ya kila mtoto wa Tanzania,” - Mh. Job Ndugai, Spika wa Bunge la Muungano.

Katika Maadhimisho ya Siku ya Watoto Duniani, Vinara wa UNICEF na Wabunge walisherehekea siku hii ya kipekee Bungeni na kutoa ahadi ya kuendeleza haki za watoto na pia kutimiza haki za kila mtoto.

8 MAADHIMISHO YA SIKU YA UKIMWI DUNIANI YAFANA

Mgeni Rasmi, Mh. Hemed Suleiman Abdulla, Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar akiwasalimia baadhi ya waandaaji (UNAIDS na ZAC) wa maadhimisho ya siku ya UKIMWI Duniani (WAD) nje ya Ukumbi wa Idris Abdul Wakil. Picha: Agnes Kenneth/UN Tanzania

esemba Mosi kila Suleiman Abdulla, Makamo nchini. Vilevile, alipendekeza Dmwaka, dunia hufanya wa Pili wa Rais wa Zanzibar. kwamba ni muhimu kuwepo kumbukumbu za Siku ya Ni muhimu kutambua na udhibiti zaidi katika UKIMWI Duniani. Watu kote kwamba, kwa upande wa matumizi ya mitandao ya kijamii, hasa kwa vijana. ulimwenguni huungana ili data kwa ujumla, Zanzibar iko katika mwelekeo sahihi kuonyesha uungaji mkono wa kufikia malengo yake ya Mwakilishi wa Umoja wa wao watu wanaoishi na 90-90-90 hadi mwishoni mwa Mataifa, Dkt. Loy George, walioathirika na VVU mwaka huu. Hadi sasa data alisisitiza umuhimu wa kui- na kuwakumbuka wale zinaonyesha kuna mafanikio marisha mshikamano na waliopoteza maisha yao kwa kiwango cha 90-93-95, kila mmoja kutimiza wajibu kwa sababu ya UKIMWI. ambapo programu ya taifa wake ili kukomesha UKIMWI Kwa upande wa Zanzibar, inafanya kazi ya kuchambua huko Zanzibar. Aliiasa serikali kumbukumbu hizo zilifanyika mafanikio haya ili kupata data na washirika wote kusaidia uwekjamii nchini na masuala katika Ukumbi wa Idris Abdul zenye mnyumbuliko zaidi zitakazosaidia kubaini paliko mengine yaliyo muhimu ili Wakil ambako viongozi wa na upungufu na kufanyiwa kukomesha UKIMWI ifikapo serikali na washirika wa kazi katika makundi rika yote, mwaka 2030. maendeleo walishirikiana hasa wale walio hatarini zaidi ili kuadhimisha mafanikio na ambao kuna uwezekano Mh. yaliyokwishapatikana na wa kubakizwa nyuma. alisisitiza juu ya ushirikiano kurejea upya ahadi zao za kati ya serikali na sekta binafsi kukomesha UKIMWI huko Mwenyekiti wa Tume ya ili kumaliza UKIMWI katika Zanzibar. Kumbukumbu hizo UKIMWI ya Zanzibar (ZAC), jamii yetu. Kwa kuongezea, aliwashukuru washirika wote zilizodumu kwa juma moja na Dkt. Salhia Ali Muhsin, alitoa wito kwa serikali na washirika kwa michango yao mbalim- siku ya kilele zilifanikishwa na kuongeza msaada na fedha bali katika kusaidia juhudi za UNAIDS, UNICEF, UNFPA na katika miradi inayolenga Zanzibar katika kukabiliana AMREF Africa, ambapo mgeni kumaliza VVU/UKIMWI na UKIMWI. rasmi alikuwa Mh. Hemed Inaendelea Ukurasa wa 10 9 Kutoka ukurasa wa 9

Mgeni Rasmi, Mh. Hemed Suleiman Abdulla, Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar akiwasalimia baadhi ya waandaaji (UNAIDS na ZAC) wa maadhimisho ya siku ya UKIMWI Duniani (WAD) nje ya Ukumbi wa Idris Abdul Wakil. Picha: Agnes Kenneth/UN Tanzania

Washiriki katika maadhimisho ya Siku ya UKIMWI Duniani huko Zanzibar, wakiwemo wawakilishi wa Serikali na Mashirika ya Umoja wa Mataifa. Picha: Agnes Kenneth/ UN Tanzania

10 JUHUDI ZA KUHAMASISHA BIASHARA YA MPAKANI

Justina Amato, mwuza nyanya katika Soko la Mpakani la Muhange, Kakonko, Kigoma. Picha: UNCDF Tanzania

oko la mpakani la liliisaidia Halmashauri ya kubwa.” SMuhange liko umbali Wilaya ya Kakonko kujenga wa kilometa 46 upande wa soko ambalo litakuza Licha ya kuwepo kwa biashara magharibi wa mji wa Kakonko mazingira ya biashara katika kubwa, bidhaa na huduma katika mpaka na nchi jirani eneo hilo la mpakani kwa ziliuzwa katika eneo la wazi na ya Jamhuri ya Burundi. lengo la kuleta mabadiliko hakukuwa na mahali pa kuhi- Kwa miaka mingi soko hili katika namna ya uendeshaji fadhia mizigo, vyoo, huduma limewavutia wafanyabiashara biashara unaohusisha kiasi za maji, na huduma nyingine kutoka katika maeneo ya cha wafanyabiashara 3,000, nyingi, mambo yaliyosababi- jirani ikiwemo eneo la ndani wengi wao wakiwa wanawake. sha kuenea kwa magonjwa linalokwenda hadi kilomita kama vile kipindupindu katika 200 katika kila nchi. Bidhaa Justina Amato, ambaye ni maeneo ya jirani na soko. na huduma zinazopatikana mama wa watoto 11 na ni Wanawake walikuwa katika ni pamoja na mifugo, kuku, mfanyabiashara katika Soko mazingira ya kunyanyaswa nafaka, bidhaa za matunda la Mpakani la Muhange kijinsia kwa sababu, katika na mbogamboga, vifaa vya anasema: “Hali katika soko baadhi ya nyakati, wali- ujenzi, nguo, vyakula na la zamani ilikuwa mbaya paswa kufanya biashara huku vinywaji. Kupitia Mpango hasa wakati wa mvua kwani wamewabeba watoto wao wa Pamoja wa Kigoma (KJP), hakukuwa na mapaa ya wachanga na kiusafi eneo lili- Shirika la Mitaji la UNCDF kutukinga dhidi ya mvua kuwa chafu. Inaendelea Ukurasa wa 12 11 Kutoka ukurasa wa 11 Wilaya ya Kakonko, Bi. Kwa sababu ya kukosekana Easter Jacob Jandi ni meneja Imelda Hokororo, alisema: kwa majengo ya kudumu wa Soko la Mpakani la “Soko humamasiha amani katika soko hilo, serikali hai- Muhange, yeye anasema: na usalama, halikujengwa kuweza kukusanya ushuru “Soko ni zaidi ya eneo la kuuza tu kwa ajili ya fursa za kazi na tozo mbalimbali kwa na kununua bidhaa, limekuwa bali pia kuhamasisha amani kiasi kikubwa, hivyo kusa- pahali pa burudani ambapo na utulivu kati ya mataifa babisha fursa za kiuchumi watu hukuana, kunywa, mbalimbali.” Aliongeza na kibiashara kupotea bure. kula na kujadiliana masuala kwamba, kabla ya mradi huo, Aliendelea kusema: “Bidhaa mbalimbali. Kwa soko hili kulikuwa na matukio mengi ya zetu zilikuwa zikiharibika la kisasa, wafanyabiashara ujambazi, wizi na mauaji yali- kwani zilizo nyingi ni zile zin- huchinji hadi kati ya ng’ombe yotolewa taarifa kwani watu azooza kama vile nyanya na 10 na 12 za zaidi pamoja na walikuwa wakifanya biashara matunda, yote haya yalitu- mbuzi na kondoo kila wiki. kienyeji pasipo kuwa na eneo sababishia hasara kubwa. Tunataraji kuwa biashara maalumu. Baada ya kupati- Soko hili ni la kihistoria kwetu itaongezeka mara baada ya kana kwa eneo hilo maalumu, kwani litatusaidia kuhifadhi mipaka kufunguliwa.” sasa kuna amani kubwa, na bidhaa zetu vizuri na kutu- wanafanyabiashara wana- punguzia mzigo wa kubeba Akizungumza wakati wa hakikishiwa usalama wao. mizigo yetu kila siku.” ziara, Ofisa Biashara wa

JAMHURI YA KOREA YATOA MSAADA WA CHUKULA KUSAIDIA WAKIMBIZI

apema mwezi Desemba, MUbalozi wa Jamhuri ya Korwa ulikabidhi msaada wa chakula kwa Mpango wa Chakula Duniani (WFP). Tukio hilo lilifanyika katika Bandari ya Dar es Salaam na lilihudhuriwa na Mkuu wa Utendaji katika Ubalozi wa Korea, Bi. Heashin Ahn, Mkurugenzi wa Nchi na Mwakilishi wa WFP, Bi. Sarah Gordon-Gibson na Mkurugenzi Mtendaji wa Bandari ya Dar es Salaam, Bw. Elihuruma Lema.

Bidhaa hizo za chakula zilinunuliwa kwa Dola za Mkurugenzi wa Nchi na Mwakilishi wa WFP Bi. Sarah Gordon-Gibson pamoja na Makamu Mkuu wa Ubalozi, Bi. Heashin Ahn na Mkurugenzi wa Bandari, Bw. Marekani 300,000 zikiwa Elihuruma Lema, wakibeba mifuko yenye nafaka ya Super pamoja na sukari msaada kwa WFP uliotolewa katika Ghala la WFP katika Bandari ya Dar es Salaam. PIcha: WFP/Janet Muya na Ubalozi wa Korea. WFP ili- nunua tani 292 za Nafaka Kuu (Super Cereal) Inaendelea Ukurasa wa 13

12 Kutoka ukurasa wa 12 pamoja na sukari, vyakula vilivyoongezewa virutubisho, ili kutoa msaada katika kazi ya kuhudumia Wakimbizi nchini Tanzania.

Akizungumza katika hafla hiyo, Bi. Gordon-Gibson alisisitiza shukrani zake kwa msaada huo akisema: “chakula hiki kitakuwa msaada mkubwa sana kwa wakimbizi ambao wanat- Ofisa wa bandari, akipakia chakula cha msaada katika Ghala la WFP katika egemea kwa asilimia zote Bandari ya Dar es Salaam. Chakula hicho kimenunuliwa kwa fedha zilizotolewa na Korea kwa ajili ya kazi ya kuhudumia wakimbizi. Picha: WFP/Janet Muya msaada wa WFP katika kambi za wakimbizi.” Aliongeza kuona ushirikiano wetu kwa ajili ya bidhaa zake za kwamba Nafaka Kuu iliy- ukizidi kuimarisha na kupa- misaada ya kiutu katika otolewa itakidhi mahitaji yao nuka, ambapo mchango wa Bandari ya Dar es Salaam. kwa siku 24, hiyo ikiwa ni hivi karibuni wa serikali ya “Tumetoa ghala moja pamoja na bidhaa nyingine za Korea wa Dola za Marekanai maalumu, ambalo sasa lina- chakula—unga wa mahindi 300,000 kwa WFP Tanzania julikana kama ghala la WFP wenye virutubisho, kunde, utawasaidia sana wakimbizi kwa kutambua umuhimu wa mafuta ya mbogambofa na wanaoishi nchiin Tanzania,” kazi za kiutu zinazofanywa na chumvi. alieleza Bi. Ahn. shirika hili hapa nchini,” Bw. Lema alisema akimwakilisha Akizungumza, Mkuu wa Alieleza matumaini yake Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Operesheni katika Ubalozi kuwa msaada huo wa chakula Injinia Deusdedit Kakoko, wa Korea, Bi. Heashin Ahn, utatoa msaada wa kuoakoa katika sherehe hizo. alisema kama nchi ambayo uhai kwa wakimbizi nchini zamani ilikuwa ikipokea mis- Tanania, hasa katika kip- aada na hivi sasa inatoa indi hiki cha misukosuko ya “Ninarudia ahadi ya seri- misaada, Korea daima ime- janga la COVID-19 duniani. kali ya Korea katika kuen- kuwa ikiongeza msaada wake “Ninarudia ahadi ya serikali delea kusaidia maendeleo wa maendeleo na imekuwa ya Korea katika kuendelea na kuimarisha maisha ikishirikiana na WFP katika kusaidia maendeleo na kuim- ya watu nchini Tanzania safari yake ya maendeleo. arisha maisha ya watu nchini na kwa kushirikiana na “Nchi yako iko tayari kuondoa Tanzania na kwa kushirikiana washirika watu kukabili njaa kote duniani,” alisema na washirika watu kukabili changamoto mbalimbali Bi. Ahn. changamoto mbalimbali nzito za kiutu,” nzito za kiutu,” alisisitiza. Aliishukuru serikali ya Korea Bi. Heashin Ahn, kwa utayari wake wa kutoa Mwishoni, Mkurugenzi wa Mkuu wa Operesheni mwitikio na katika kuwekeza Bandari ya Dar es Salaam, katika Ubalozi wa katika jamii zilizo hatarini Bw. Elihuruma Lema, alisema Korea zaidi, hasa wanawake na Mamlaka ya Bandari Tanzania watoto. “Ninafurahi sana (TPA) imeipa WFP ghala moja Inaendelea Ukurasa wa 14 13 Kutoka ukurasa wa 13

Timu ya WFP katika bandari, Makamu Mkuu wa Ubalozi wa Korea Bi. Heashin Ahn, Mkurugenzi wa Bandari, Bw. Elihuruma Lema, wakiwa katika hafla ya kukabidhi msaada wa chakula katika Bandari ya Dar es Salaam. Picha: WFP/Janet Muya

KINGA YA MAGONJWA: WATUMISHI WOTE WA MIPAKANI WAWE NA TAHADHARI

Kufuatia ongezeko la utole- ambapo vituo vyote rasmi vya mipakani katika Nyanda waji wa mara kwa mara na 56 vya mipakani vimepa- za Juu Kusini mwa Tanzania dharua za taarifa za tahadhari tiwa wafanyakazi wa afya na vya mikoa ya Rukwa, Katavi, za magonjwa ya kuambukiza mafunzo zaidi kuhusu udhibiti Songwe na Mbeya. nje ya mipaka na ndani, ili kunoa ujuzi wao pamoja Wizara ya Afya, Maendeleo na mbinu za kung’amua Msaada huo wa uangalizi na ya Jamii, Jinsia, Wazee na mapema katika itifaki ya mafunzo kwa vitendo vili- Watoto (MOHCDGEC) ime- kuwapokea waingiao nchini wajengea uwezo watumishi kuwa ikishirikiana na Shirika yanaendelea. walio katika vituo vya mipa- la Afya Duniani (WHO) na kani ili kubaini, kuwaenga washirika wengine ili kuimar- Katikati ya mwezi Novemba, na kuwapa rufaa wote isha ufuatiliaji katika maeneo kwa msaada wa fedha kutoka wanaoshukiwa na kuwa na ya kuingilia nchini ya bandari, Shirika la Ushirikiano wa magonjwa na papo hapo viwanja vya ndege na mipaka Kimataifa la Japan (JICA) na kujilinda wenyewe wasiweze ya barabara. WHO ulisaidia kutoa mafunzo kuambukizwa ugonjwa huo. kwa vitendo kwa watumishi Juhudi hizi zimezaa matunda wa bandari katika vituo tisa Kwa mujibu wa Mratibu wa Inaendelea Ukurasa wa 15 14 Kutoka ukurasa wa 14 maeneo ya mipakani wali- Afya katika Bandari katika jifunza kwa vitendo jinsi ya Kwa kuongezea, maofisa wa Nyanda za Juu Kusini, Dkt. kutumia mwongozo ulioan- bandarini walijifunza na kufa- Deodatus Kilamlya, licha daliwa na Wizara ya Afya na nyia marekebisho itifaki za ya mafunzo na kuweka Shirika la Umoja wa Mataifa kutenga na kutoa rufaa kwa watumishi afya katika ban- la Kushughulikia Wahamiaji washukiwa wa ugonjwa, zoezi dari, bado Wizara ya Afya (IOM) ili kubaini wasafiri ambalo walikuwa hawali- ilibaini upungufu katika ute- ambao wangaliweza kuwa na jui kabla ya mafunzo hayo. kelezaji. “Watumishi wa kada dalili za ugonjwa. “Usalama wa watumishi wetu nyingine katika bandari wali- vilevile ni muhimu kama ilivyo kuwa wakiacha masuala yote “Kwa mfano, bawaba kudhibiti uingizwaji wa ugon- ya afya katika mikono ya anaweza kuona kwamba jwa wa kuambukza katika maofisa afya pekee, na wali- msafiri fulani anakwenda mipaka yetu. Kwa hiyo, tun- kuwa na ulewa finyu kuhusu uani kila baada ya muda awataka watumishi wote magonjwa yanayoambukiza mfupi na kuhisi kwamba huyo wa mipakani kuunganisha kwa kasi,” alisema. Mara anasumbuliwa na kuharisha. utaratibu wa kila mara wa nyingi eneo la ukaguzi lili- Mfagizi anaweza kumwomba usafi binafsi katika mienendo kuwa mahali pasipofaa hivyo msafiri huyo aketi katika yao wawapo kazini na waji- wageni walichanganyika ovyo eneo lililojitenga na kumwita shughulishe katika kubaini kabla mtaalamu hajabaini mtumishi kwa hatua zaidi,” wasafiri wanaoonekana kuwa nani anashukiwa kuwa na alisema Dkt. Clara Jones, ofisa na dalili za ugonjwa,” alisema ugonjwa na nani hashukiwi. wa kituo cha mpakani kutoka Dkt. Jones. WHO pia ilisam- Makao Makuu ya Wizara ya baza zana hiyo katika vituo Wakati wa utoaji msaada huo Afya ambaye alikuwa mion- vingine vya mipakani. wa uchunguzi watumishi wa goni mwa wato mafunzo kwa afya na wasio wa afya katika vitendo.

Itifaki ya ukaguzi wa udhibiti na kuzuia maambukizi katika vituo vya mipakani ni muhimu sana ili kuzuia mzunguko wa kuenea kwa magonjwa ya kuambukiza ukiwemo COVID-19. Picha/WHO Tanzania

15 MSAADA KWA SERIKALI ILI KUFUFUA UPYA SEKTA YA UTALII

atika mwitiko wa utayari Kwa dharura wa Serikali na juhudi zinazoratibiwa na Umoja wa Mataifa katika kukabiliana na COVID-19, Shirika la Mpango wa Maendeleo (UNDP) hivi karibuni lilinunua vifaa tiba ili kuisaidia Serikali ya Zanzibar. Vifaa tiba hivyo vilivyonunuliwa, vikiwa na thamani ya Dola za Marekani 117,441, vinalenga kuimarisha mwitikio wa sekta ya afya dhidi ya COVID-19 na dharura nyingine za kiafya. Vifaa hivyo vinajumuisha Vifaa vya Kujikinga Mtu Binafsi (PPE) zikiwemo mavazi marefu ya kitabibu, barakoa za kitabibu, glavu za uchunguzi na vifaa Meneja Uendeshaji wa UNDP, Jeremiah Mallongo (kushoto) akikabidhi vifaa vya kuhudumia wagonjwa tiba kwa Dkt. Juma Mambi (Kulia), ambaye ni Kaimu Mkurugenzi wa Wizara y kama Mashine za Kusukuma Afya, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Watoto. Picha: Agnes Kenneth/UN Tanzania. Hewa katika Chumba cha Dharura, Vifaa vya Kupumulia utalii wametengeneza thamani wa utalii, kwa hiyo na Mitungi ya Oksijeni. Vifaa ‘Mradi Fungamanishi wa kutengeneza nafasi za ajira hivyo pia vitachangia katika Ufufuaji Utalii na Kujinusuru na hatimaye kuchangia katika utekelezaji wa Mwongozo wa Zanzibar’. Mradi huo kupunguza umaskini nchini. wa Utoaji Huduma (SOPs) unasisitiza umuhimu wa kwa COVID-19 ambao kuchukua hatua za haraka Sekta ya utalii ya Zanzibar utawaongoza watoa huduma na fungamanishi katika mwi- inachangia karibu theluthi kwa watalii, watumishi wa tikio wa kufufua mnyororo moja ya Pato Ghafi lake, asili- afya na jamii katika kuzingatia wa thamani wa utalii ulio mia 89 ya mapato yake na kanuni za usalama dhidi ya imara na kuaminika huko ndiyo sekta inayoajiri watu COVID-19. Zanzibar. Zaidi ya hayo, wengi zaidi visiwani humo. mradi huo unatarajiwa kuwa Kwa sababu hii, janga la Kufuatia hatua za hivi kari- na matokeo bora makubwa COVID-19 limeangusha kwa buni za kulegeza masharti ya katika kufufua sekta ya utalii kiasi kikubwa sana ukuaji na safari na kufunguliwa upya iliyo imara na endelevu zaidi maendeleo ya mchangiaji kwa maeneo ya utalii huko na pia kuimarisha ushin- mkubwa katika uchumi wa Zanzibar; UNDP kwa kushirik- dani na ufungamanishaji wa taifa. iana na Tume ya Utalii ya Biashara Ndogo na za Kati Zanzibar na wadau wengine (SMEs), wakiwemo wanawake muhimu katika sekta ya na vijana katika mnyororo wa

16 VINARA WA MABADILIKO WANAOPAMBANA NA UKATILI WA KIJINSIA NCHINI TANZANIA

Based Violence (MKUKI) kwa ufadhili wa UNFPA na Ubalozi wa Denmark nchini Tanzania kama sehemu ya maadhimisho ya Siku 16 za Uanaharakati wa Kukomesha Ukatili dhidi ya Wanawake.

Vinara hao 16 wa maba- diliko, waliochaguliwa kupitia mchakato wa upende- kezwaji, walitokea katika nyanja mbalimbali za maisha na wana hamasa tofauti inayowasukuma kutaka kushiriki katika kukome- sha ukatili kwa msingi wa kijinsia lakini wana kitu kin- Kala Jeremiah, ambaye ni msanii wa hip hop, mwanaharakati wa kijamii na achofanana: wote ni watu kinara wa mabadiliko akitoa changamoto dhidi ya Ukatili wa Kijinsia kupitia wa kawaida wanaofanya muziki wake. Picha: UNFPA Tanzania mambo ya kipekee, ambapo wanatumia vipawa vyao kuk- Rahabu alikuwa na umri Leo hii, Rahabu ana kipindi abiliana na ukatili wa kijinsia wa miaka 17 pale alipopata chake cha redio na ni mwa- na wanongezea idadi ya vugu- mimba na kuacha shule, naharakati, akiwaelimisha vugu lenye nguvu la kitaifa. jambo lililokatisha ndoto wanarika wenzake kuhusu Kuanzia kiongozi wa kiroho yake ya kuja kuwa mwalimu. umuhimu wa wasichana wa Zanzibar, kijana mwana- Alirejea kwao katika maji kuendelea na masomo shu- harakati wa Shinyanga hadi wa Kahama akiwa na miaka leni. Anatoa changamoto msanii wa hip hop wa jijini 22, baada ya kuachana na kwa mitazamo waliyo nayo Dar es Salaam ujumbe wa mumewe aliyekuwa akim- vijana katika jamii yake vinara hawa kwa pamoja ni tesa na sasa akiambatana huko Kahama, akiwasaidia mkubwa na wa wazi kama na watoto wawili na alishiriki kuhojji imani kwamba mwa- tukishirikiana, tutafikia katika na kuhitimu katika Mradi wa namume ana haki ya kutenda mabadiliko tunayotaka dunia Wasichana wa Umri wa Balehe ukatili au ikiwa msichana iliyo sawa zaidi kwa kila mwa- ambayo ni programu iliyoan- ananyanyaswa, basi alitenda namke na kila msichana zishwa na Kiota Women’s kitu kilichomchokoza mtesi kokote ulimwenguni. Health and Education wake. (KIWOHEDE) kwa msaada wa Licha ya maendeleo yaliyop- UNFPA. Mradi huo unalenga Rahabu alikuwa mmoja wa atikana nchini Tanzania, data kuwasaidia wasichana walio- vinara 16 waliopata tuzo zinaonyesha kwamba ukatili katisha masomo yao katika katika sherehe zilizofanyika dhidi ya wanawake na watot Mkoa wa Shinyanga, kwani mapema Desemba jijini Dar es bado uko katika viwango vya mkoa huo ni miongoni mwa Salaam katika tukio lililoanda- juu visivyovumilika; kukabili- mikoa yenye viwango vya liwa na mashirika ya Women ana na tatizo kubwa kiasi hiki juu vya watoto wanaokatisha in Law & Development kunahitaji mwitikio mkubwa maomo yao nchini Tanzania. in Africa (WiLDAF) na vilevile. Kama sehemu ya Coalition Against Gender- maadhimisho ya Siku 16, Inaendelea Ukurasa wa 18 17 Kutoka ukurasa wa 17 Tanzania. Viongozi wa kidini 2030 unazidi kukaribia, UNFPA WiLDAF na MKUKI kwa mara waliotoa ahadi ya pamoja ili- inaendelea kuazimia kufikia nyingine wakiwa wanafadhi- yotiwa saidi ikiahidi kuongeza katika ahadi yetu ya dunia na liwa na UNFPA na Ubalozi juhudi za kukomesha ukatili tutaendelea kusaidia juhudi wa Denmark nchini Tanzania wa kijinsia na vitendo vyote za jamii; kwa kushirikiana, pia waliandaa majadiliano ya vinavyoleta madhara katika kutumia rasilimali, kufanya kidini huko Zanzibar kwa ajili jamii zao. zaidi na zaidi na kufanya vizuri ya wazee wa kutoka imani zaidi ili kufikia hatma tunayoi- zote ambao hawa ni washirika Tunapoingia mwaka 2021, taka: dunia iliyo salama zaidi, muhimu katika kusukuma ambapo tarehe ya ukomo wa bora zaidi kwa kila mwana- maendeleo ya haki za wan- utekelezaji wa Malengo ya mke na msichana. awake na wasichana nchini Maendeleo Endelevu mwaka

IOM YASHIRIKIANA NA WIZARA YA AFYA KATIKA MWITIKIO KWA COVID-19 NA MASUALA MENGINE YA AFYA YA JAMII

hirika la Kimataifa la SWahamiaji (IOM) nchini Tanzania, ambalo ni Shirika la Umoja wa Mataifa, kwa kushirikiana na Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, liliandaa na kutoa mwitikio kwa vitisho vya sasa vinavyosababishwa na ugonjwa wa virusi vya Corona wa 2019 (COVID-19) na Matukio Mengine ya Afya ya Jamii katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

IOM Tanzania inashirikiana kwa karibu na mashirika ya Timu ya wataalamu wa ufundi kutoka katika Wizara ya Afya wakipitia Miongozo ya Uendeshaji ya 3. Picha: IOM Tanzania Umoja wa Mataifa na imetam- bua Nguzo ya Uongozi katika Maeneo ya Mipaka (PoE) licha ya kusaidia Utoaji Taarifa Juni 2021 katika Jamhuri ya katika Mwitikio wa Umoja za Hatari na Ushirikishwaji Muungano wa Tanzania. IOM wa Mataifa kwa matukio wa Jamii (RCCE) pamoja na iligharimia uandaaji, upitiaji ya masuala ya afya ya jamii Nguzo za Kilojistiki. na usambazaji wa ‘kanuni za nchini. Kwa namna ya kipe- jumla za uendeshaji’ (SOPs) kee, IOM Tanzania inaongoza IOM ilitekeleza mwitikio dhidi kuhusu upimaji wa COVI-19 katika hatua za kuimarisha ya COVID-19 kwa kuzingatia wakati wa kutoka na kuingia ufuatiliaji katika Vituo vya malengo maalumu ya Vituo pamoja na Masuala mengine Mipakani, Kuzuia na Kudhibiti vya Mipakani vya Mpango ya Afya ya Jamii katika Vituo Maambukizi (IPC) na Usafi wa wa Taifa wa Mwitikio dhidi ya vya Mipakani. COVID-19 wa Julai, 2020 hadi Mazingira na Maji (WASH), Inaendelea Ukurasa wa 19

18 Kutoka ukurasa wa 18 Kanuni hizo zinalenga kui- marisha Ufuatiliaji katika Vituo vya Mipakani ili kuzuia na kudhibiti uwezekano wa uingizwaji na upelekaji magonjwa na hatari nyingine za afya ya jamii katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kwa kuongezea, IOM iliimar- isha uwezo wa watumishi wa Wizara (watumishi 127 wa mipakani na katika bandari) ili kubaini mwitikio wa wag- onjwa wa COVID-19 katika Vituo vya Mipakani na hatua za kuimarisha Kuzuia na Kudhibiti Maambukizo, na Usafi wa Mazingira na Maji na kuimarisha Utoaji wa Taarifa za Hatari za Afya ya Jamii na

Ushirikishwaji wa Jamii katika Timu ya wataalamu wa ufundi kutoka katika Wizara ya Afya wakipitia Miongozo njia kuu za mikoa ya Mwanza, ya Uendeshaji ya 4. Picha: IOM Tanzania Mbeya, Dodoma, Arusha, Kilimanjaro, Dodoma, Tanga nan chi katika kukabiliana Mbele wakiwemo Maofisa wa na Dar es salaam. Kwa namna na COVID-19 na Matukio Afya wa Bandari wanahitaji ya pekee, IOM ilishughulika Mengine ya Afya ya Jamii. kupata taarifa sahihi na hatua na watumishi wa afya wa Mwisho, lakini si mwisho za haraka za lazima ili kupun- mipakani na bandari katika kabisa, IOM itato vifaa vya guza hatari ya maambukizi kuanzisha miitikio ya Utoaji kujikinga, vipima joto visivyo na ueneaji wa magonjwa ya Taarifa za Hatari ya Afya ya vya kugusa na vifaa vingine kuambukiza,” alisema Mkuu Jamii na Ushirikishwaji wa vya kufanyia mwitikio na vifaa wa Shirika la IOM katika Jamii katika maeneo yao ya katika Vituo vya Mipakani na Jamhuri ya Muungano wa kazi ya mipakani na Vituo kuwezesha mafunzo kwa Tanzania, Dkt. Qasim Sufi. Maalumu vya Kuingilia. vitendo na ya papo kwa papo Miitikio ilisambaza taarifa, kwa wafanyakazi walio mstari Shirika la IOM linatumia ushauri wa kuzuia na ushauri wa mbele katika Vituo vya muundo wa Usimamizi wa kuhusu ni wakati gani na jinsi Kimkakati vya Mipakani, vituo Afya, Mpaka na Uingiaji na ya kutafuta huduma za afya vya afya katika maeneo ya Utokaji (Health, Border, kwa wasafiri. mipaka, na katika vituo vya and Mobility Management rufaa vilivyo kwenye njia kuu. (HBMM)) ili kuimarisha uta- Zaidi ya hayo, IOM ilitoa yarifu wa jamii, mwitikio na miongozo ya kiufundi kuhusu Hatua hizi za mwitikio zina- kuzuia majanga, hasa kipindi ushirikiano katika mipango fadhiliwa kwa fedha kutoka hiki ambacho kuna maradhi ya uvukaji mipakani kupitia katika Serikali ya Denmark, ya virusi ya COVID-19 na uwezeshaji wa mikutano ya Sweden na Uingereza. Ebola. uratibu inayohusisha nchi “Maofisa walio Mstari wa

19 SIDO: MABADILIKO YA MAHALI BAADA YA UWEKEZAJI

hapo nilikuwa nikiuza nguo. Changamoto yetu kubwa ilikuwa muda tuliotumia kuanika mazao yetu, ili- chukua hadi siku 5 kwa mazao kukauka kabisa”. Anaongeza: “Siku za karibuni, biashara haikuwa nzuri, kwani hali ya hewa ilikuwa si nzuri, tuli- kuwa na mvua nyingi. Mbegu za miwese haikukauka kwa wakati, ilichukua takribani mwezi mzima. Vilevile ilikuwa vigumu kwetu kupata kuni za Mwanamke mfanyabiashara kutoka SIDO akianika mbegu za michikichi aki- kutusaidia katika uchakataji tumia kikaushia cha jua tayari kwa uchakataji wa mafuta kabla ya msaada wa wa mafuta. Nilishindwa kuuza UNCDF. Picha: Mariam Simba/UNCDF Tanzania bidhaa zangu kwa wakati ihistoria, zao la migazi liliisaidia eneo la viwanda la jambo lililonifanya kukosa fedha za kulipa karo ya shule ni zao la miaka mingi SIDO kubadili kabisa namna K ya mtoto wangu. katika Mkoa wa Kigoma. Zao ya kukausha mbegu za hili hutoa mawese ambayo mawese na uchambuzi kwa kutoa mashine ya kisasa ya Tabitha anaamaini kwamba ni mafuta ya kupikia na kiini kukaushia na kuchambulia hawatatumia tena muda cha mbegu yake hutumika mafuta. mrefu kukausha bidhaa kwa katika utengenezaji wa kutumia mbinu ya zamani ya sabuni. Katika Manispaa ya Tabitha Charles (42), ambaye jua ambayo haikuwa na ufanisi Ujiji Kigoma ndiko kuliko na ni mama wa watoto 2 kwa kulinganisha na mashine eneo la viwanda la SIDO, anayefanya kazi katika eneo za kisasa. “Uwezo wetu wa uzalishaji utaongezeka na tut- sehemu kubwa ya viini vya la viwanda la SIDO, alisema: aweza kununua mbegu zaidi mawese vinavyozalishwa “Nilijiunga SIDO miaka ili kuzalisha mafuta zaidi.” Kigoma Vijijini huchakatuliwa michache iliyopita, kabla ya SIDO. Inakadiriwa kwamba kilo tatu za mbegu hutoa lita moja ya mafuta. Humchukua mwanamke mchapakazi kati ya siku 4 hadi 7 ili kukausha kilo 660 za mbegu za miwese ili kutoa lita 220 za mafuta, ambapo uzalishaji wa kila siku katika eneo la viwanda ni kuchakata tani 3 kwa siku kwa mashine moja.

Kupitia Mpango wa Pamoja wa Kigoma, Shirika la Mitaji la Baada ya msaada wa UNCDF, sasa wanawake wafanyabiashara wanatumia Umoja wa Matiafa la UNCDF mashine za kisasa, ambazo zina kasi zaidi na zina ufanisi zaidi kulinganisha a mashine za kutumia jua. Picha / Mariam Simba/UNCDF Tanzania

20 SIKU ZIJAZO ZA UMOJA WA MATAIFA

February 4 - Siku ya Kimataifa ya Undugu wa Watu

February 6 - Siku ya Kimataifa ya Kutohimili Kabisa

Ukeketaji

February 13 – Siku ya Redio Duniani

February 20 - Siku ya Haki za Kijamii Duniani

UMOJA WA MATAIFA IMARA KWA DUNIA ILIYO BORA ZAIDI

TANZANIA

Umoja wa Mataifa Tanzania +255 22 219 5021 [email protected] Website: tanzania.un.org

This newsletter is published by the UN Communication Group in Tanzania. To subscribe and provide feedback, please contact us at: [email protected] | Website: tanzania.un.org | Tel: (+255) 22-219-5021

21