Christian in Education and Devleopment Promotions (Cedp)

Total Page:16

File Type:pdf, Size:1020Kb

Christian in Education and Devleopment Promotions (Cedp)

CHRISTIAN IN EDUCATION AND DEVLEOPMENT PROMOTIONS (CEDP) P.O. B0X 1787, MBEYA TEL. NO 025 – 2560108, MOB 0759344938. MENEJA: KANISA LA MORAVIAN TANZANIA JIMBO LA KUSINI MAGHARIBI. SHULE YA SEKONDARI SWILLA

Website: www. Swillaschools.ac.tz E-mail: [email protected]

1. Jina la mwanafunzi (mwombaji) ______

2. Mwaka wa kuzaliwa ______

3. Jina la shule ya msingi alikomaliza darasa la saba ______4. Jina la mzazi ______anuani/simu______mwaka ______5. Ikiwa mtoto alimaliza elimu ya msingi nje ya Tanzania – mzazi /mlezi toa maelezo hapa:- ______6. Dini ya mwanafunzi ______7. Kukiri mzazi/Mlezi:- Mimi nikiwa mzazi/mlezi wa mtoto mtajwa hapo juu, ninakiri na kudhamiria kushirikiana na uongozi wa shule endapo mtoto wangu atapata nafasi. 8. Sahihi ya mzazi/mlezi ______9. Mtihani utafanyika tarehe 29/10/206 saa 1:30 (saa moja na nusu asubuhi) siku ya jumamosi katika kituo cha :-

i. SWILLA SEKONDARI, MBALIZI – MBEYA

FOMU ZINAPATIKANA KWA TSH 15,000/= KATIKA MAENEO YAFUATAYO:- 1. SHULE ZA SWILLA MBALIZI- MBEYA 0759344938/0769961163 2. MBEYA MJINI: TULU STATIONARY 0754-315980 3. NJOMBE: DUKA LA KUUZA COMPUTA- KKT JENGO LA WOSIA MASHARIKI MWA STENDI YA MABASI NJOMBE 0754-044393 4. DAR ES SALAAM: MSIMBAZI CENTRE CHUMBA NA 9. 0789887776 5. SUMBAWANGA: SHULE YA MSINGI MAJENGO 0755- 050814 6. DODOMA: BIBLE SOCIETY 0757- 657776 7. SONGEA: KITUO CHA SODA ZA JUMLA KWA MGOWOLE 0754-762484/ 0753-713700 8. MOROGORO: MZUMBE CHUO KIKUU KWA MRS KIHOMBO 0715-761953 9. IRINGA: MENAC GIFT SHOP JIRANI NA BANAS CAFÉ MKABALA NA BAY PORT 0763-751980

10. Siku hiyo ufike na picha ndogo (passport size 1) ambayo mwanafunzi amevaa shati nyeupe yenye kora (shati ya shule), asiwe amesuka/kuwa na nywele ndefu; Uje pamoja na hii fomu ikiwa imeambatanishwa na risiti uliyolipia (halisi/original). Unasisitizwa kujali muda wa kuanza mtihani. NB: Hatuna “special diet” - chakula maalum Shule inaendeshwa kwa kufuata maadili ya kikristo

Fomu imetolewa na kusainiwa na,

______ELIA MBWILE MKUU WA SHULE

Recommended publications