Advancedaudioblogs1#1 Top10kenyanholidaysand
Total Page:16
File Type:pdf, Size:1020Kb
LESSON NOTES Advanced Audio Blog S1 #1 To p 10 Kenyan Holidays and Festivals: Concours D’Elegance CONTENTS 2Swahili 2 English 3 Vocabulary 3 Sample Sentences 4 Cultural Insight # 1 COPYRIGHT © 2013 INNOVATIVE LANGUAGE LEARNING. ALL RIGHTS RESERVED. SWAHILI 1. Tamasha la Concours D’ Elegance. 2. Tamasha la Concours D’ Elegance linahusu mashindano ya uzuri wa magari kukiwamo maonyesho ya magari ya kifahari na pikipiki. Pia mna muziki na burudani isiyo na kikomo kwa watoto. Maonyesho haya hufanyika kila mwaka, mwezi wa Septemba katika uwanja wa ‘Race Course’ jijini Nairobi. Tamasha hii inayondaliwa na wanaomiliki klabu ya Alfa Romeo ilianza California mwaka wa 1910 na kisha nchini kenya baada ya miaka ishirini. Ni tamasha la kifahari zaidi na la aina yake ulimwenguni. Huonyesha uzuri na upekee iliyo katika magari ya zamani na pia iliyo kwenye bidhaa mengine ya magari ya kisasa. Wakati unaposalia, maonyesha haya yamevutia washiriki kutoka Australia, Uingereza, Ujerumani, Mauritius, Zimbabwe likiwa Afrika Kusini, Tanzania na Uganda. Tamasha hili linalojulika hasa kwa mtindo na historia unapenyeza modeli ya magari yaliyoundwa yapata miaka ya 1920. Ni katika tamasha hii pekee tunapoweza kuona magari ambayo huonyeshwa kwenya sinema pekee na ambazo hazitaweza kupatikana kwenye barabara za Kenya. Wanaomiliki baadhi ya magari haya na pikipiki hufurahia kuendesha magari yao mbele ya umati wa watazamaji waliofurika uwanjani. Gari la kifahari na pikipiki hunandaliwa kwenye uwanja wa mashindano kabla ya tamasha hili la magari; hivyo basi, kuwapa fursa nzuri watu wanaotaka kuuza magari yao kwa wanoataka kununua. Tukio hili huipa Taifa la Kenya jukwaa ya kuonyesha muktadha wa kimataifa kuwa kando na kuwa na mwamba mzuri na mambuga ya wanyama pori, una uwezo wa kuandaa matukio ya msimamo wa kimataifa. Tukio hili kubwa na ambalo huchukua siku moja huisha kwa kuwatangaza washindi kwenye vikundi mbalimbali. Kuna mshindi wa jumla na washindi katika viwango vingine kulingana na miundo na wakati wa kutengenezwa. Tathmini huanza kwa kuangalia upande wa chini, ikifuatwa na jinsi nje ilivyomaliziwa, kisha upande wa ndani na hatimaye mitambo. ENGLISH 1. Concours D'Elegance CONT'D OVER SWAHILIPOD101.COM ADVANCED AUDIO BLOG S1 #1 - TOP 10 KENYAN HOLIDAYS AND FESTIVALS: CONCOURS D’ELEGANCE 2 2. This is a beauty contest for vehicles. It involves the showcasing of classic and vintage cars and motorcycles coupled with live music and nonstop entertainment for children. It takes place at the Nairobi Race Course every year in the month of September. This festival, organized by the Alfa Romeo owners club, began in California in 1910 and in Kenya twenty years later. It is rated as the most prestigious and varied event of its type in the world. It showcases the beauty and uniqueness of the old—school classic and also of some of the new motor products. Over time, it has attracted entries from Australia, England, Germany, Mauritius, South Africa, Zimbabwe, Tanzania, and Uganda. This event, termed as "all about style and history," has entries of vehicle models made as early as the 1920s. It is only in this festival that we get to see cars that we only see in movies and would probably never ride on the Kenyan roads. The proud owners of the various vehicles and motorcycles delight in driving their well— prepared cars in front of the crowded racecourse grandstands. A classic car and motorcycle sale is usually held in the racecourse prior to this festival for cars made some decades back. This oers a good chance for owners of unwanted cars and motorcycles to sell them to enthusiasts. This event provides our nation with a platform to showcase Kenya in the global context— not only as a holiday destination with wildlife and beaches—but also as one that organizes events of international standing. This great, one—day event ends with crowning the winners in the various categories. There is an overall winner and winners in other makes classied according to the year of make. The assessment starts with a check on the underside, which is followed by checks on external nish, interiors, and engines. VOCABULARY Swahili English Class kugombea contest noun kale vintage, ancient adjective mshabiki enthusiast noun pikipiki motorcycle noun muktadha wa kimataifa global context phrase SAMPLE SENTENCES SWAHILIPOD101.COM ADVANCED AUDIO BLOG S1 #1 - TOP 10 KENYAN HOLIDAYS AND FESTIVALS: CONCOURS D’ELEGANCE 3 Ugombeaji wa warembo wa Mavi ya kale hayanuki (methali dunia nzima utaf anyika mwezi ya Kiswahili) ujao huko Oslo. "Old dung has no stench (a "The world beauty contest will Swahili proverb)." be held next month in Oslo." Magari ya kale ni ghali zaidi Mashabiki wa mpira wa kikapu kuliko gari mpya; ila tu, kasi yao watakuwa wakitazama mechi ya ni ya chini. nali siku ya Jumapili. "Vintage cars are more "Basketball enthusiasts will be expensive than a new car, wat ching t he nal match on although their speed is lower." Sunday." Usalama wa mwimbaji ulikuwa Umaskini katika muktadha wa na msururu wa magari kumi na kimataif a ni moja ya malengo pikipiki sita. ambayo serikali zinaf aa zitilie maanani. "The singer's security detail consisted of a motorcade of "Poverty in the global context ten cars and six motorcycles." is one of the millennium goals that governments have to deal wit h." CULTURAL INSIGHT Jambo la Kuf urahisha Kuhusu Tamasha la Concours D' Elegance Mtalii mmoja wa Marekani alijiuliza kwa nini Kenya husisitiza kuhifadhi tamasha la Elegance D Concours. Kwa upande wake, aliamini kwamba baadhi ya magari ya kale kamwe hayawezi endeshwa katika barabara mbovu za Kenya. Naam, alikuwa sahihi; mengi ya barabara ya Kenya yako katika hali mbaya. Hata hivyo alitishwa kuona idadi kubwa ya watazamaji ambao walika kwanye tamasha hilo. Wakenya hupenda magari. Kama nchi hii inaweza kuwa na uwezo wa kiufundi na mtaji mkubwa unaohitajika kuanzisha viwanda vya kuunda magari; basi magari yenye utaalamu mkubwa yangekuwa yakiagizwa kutoka Kenya. Isitoshe, tulikuwa na gari letu la kwanza 'Gari la Kenya' mwaka wa 1986 lakini kwa bahati mbaya iliharibika baada ya robo saa ikiwa imekisha mwendo wa juu zaidi wa kilomita 21 kwa saa. Fu n Fa c t About Concours SWAHILIPOD101.COM ADVANCED AUDIO BLOG S1 #1 - TOP 10 KENYAN HOLIDAYS AND FESTIVALS: CONCOURS D’ELEGANCE 4 D'Elegance An American tourist wondered why Kenya insisted on preserving the Concours D' Elegance festival. She reasoned that some of the antique cars could never be driven on the poor roads of Kenya. Well, she was right—most of the Kenyan roads are in a poor state. She was shocked, however, to see the number of spectators who turned up to grace the occasion. Kenyans love cars. If only the country had the technical capabilities and the huge capital required to start its own car manufacturing factory, then the most technically developed cars would be imported from Kenya. We even had our rst 'All Kenyan' car in 1986, but unfortunately, it broke down after exactly a quarter of an hour at a maximum speed of twenty-one kilometers per hour. SWAHILIPOD101.COM ADVANCED AUDIO BLOG S1 #1 - TOP 10 KENYAN HOLIDAYS AND FESTIVALS: CONCOURS D’ELEGANCE 5 LESSON NOTES Advanced Audio Blog S1 #2 To p 10 Kenyan Holidays and Festivals: Heroes' Day CONTENTS 2Swahili 2 English 3 Vocabulary 3 Sample Sentences 4 Cultural Insight # 2 COPYRIGHT © 2013 INNOVATIVE LANGUAGE LEARNING. ALL RIGHTS RESERVED. SWAHILI 1. Siku ya mashujaa 2. Kwa kizazi kipya, siku kuu ya Kenyatta itabaki likizo ya umma ya kihistoria. Katiba mpya ilibadilisha jina la likizo hili na kulibandika sikukuu ya Mashujaa. Kwa miaka arobaini na moja iliyopita, siku hii imekuwa ikiadhimisha siku rais wa kwanza alitoka gerezani baada ya kumaliza kifungo chake cha miaka saba. Pia inakumbuka watu wengine saba waliodaiwa kuwa viongozi wa mstari wa mbele wa dini iliyopigwa marufuku. Wasomi wengi wamesema kuwa tukio hili halikustahili kuwa likizo ya kitaifa. Watu hawa walikuwa wamekana kuhusika kwao katika jeshi la uasi ambalo lilisababisha vita vya ugaidi vilivyo mshinda mzungu. Baada ya uhuru kutangazwa, wasomi katika jamii walichukua kwa haraka viti vya juu serikalini na kutangaza kuanzishwa kwa likizo hii katika taifa nzima. Kwa maoni yangu, siku hii inapaswa iwe jumuisho la heshima kwa wanaume na wanawake wote, watoto na wazee ambao wamechangia kuzaliwa kwa taifa hii. Basi ilikuwa wazo kipaji kuibadlilisha siku hiyo kuwa siku ya mashujaa ya waliopigania uhuru na pia kuzingatia Wakenya wa kisasa ambao wameendelea kufanya nchi ing’ae kimataifa.Kila Oktoba 20, Wakenya hukaa chini na kutafakari kuhusu wanaume na wanawake jasiri walio changia kuwasaidia wakenya kujivunia utamaduni, uhuru, urithi na amani yao. Orodha ya mashujaa haina mwisho, hii ina maana kwamba Wakenya zaidi watakuwa wakiongezeka masiku yakizidi. Ingawa hakuna vigezo vya uteuzi wa mashujaa wa kweli, ni wazi kwamba Wakenya wengi wanathibitishia ulimwengu kwamba wao pia wanauwezo wa kujenga historia. ENGLISH 1. To the new generation, Kenyatta Day will remain a historic public holiday. The new constitution has renamed the holiday to "Heroes' Day." For the last forty- one years, the day commemorated the day that the rst president was released from prison after completing his seven—year sentence alongside seven others for allegedly being a ring leader of an underground sect. Many scholars have argued that the event did not deserve to be a national holiday. The men had denied their involvement in the guerrilla warfare that nally brought the white man down. CONT'D OVER SWAHILIPO D101.CO M ADVANCED AUDIO BLOG S1 #2 - TOP 10 KENYAN HOLIDAYS AND FESTIVALS: HEROES' DAY 2 2. After independence was declared, the social elites were quick to take top seats in the government and declared the day that they left prison a public holiday. In my opinion, the day was supposed to be integrated to honor all men and women, children, and the old who contributed to the birth of a nation.