jarida la Toleo la 09 WIZARA YA HABARI, UTAMADUNI, SANAA NA MICHEZO Limeandaliwa na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini - GCU | www.habari.go.tz | Juni Mwaka wa Vipaji Wizara HabariTz Wizara_habaritz Wizara_HabariTZ Wiza ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo SERIKALI KUBORESHA MAZINGIRA YA SANAA NA MICHEZO Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan katikati ya mwezi Juni 2021 akiwa Jijini Mwanza akizungumza na vijana alisema kuanzia mwezi Desemba mwaka huu wasanii wataanza kulipwa Mirabaha yao kupitia kazi za Sanaa zinazochezwa katika redio, runinga na mitandao ya kijamii. Kauli hiyo ya Mhe. Rais na Serikali imekuwa jibu la kilio cha wasani kwa muda mrefu, huku maamuzi hayo ya Serikali yamekuja wakati ambapo sekta ya Sanaa, Utamaduni na Michezo zinaa- jiri vijana wengi. “Tumeanzisha Mfuko wa Maendeleo ya Michezo ili kusaidia timu zetu za Taifa, tumefuta kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) katika nyasi bandia. Hivyo, majiji na Manispaa changamkieni fursa hii kupata viwanja bora”. Pia Mheshimiwa Rais alilipigia chapuo suala hili. Aidha, Mhe. Rais alitoa wito kwa Chama cha Mapinduzi (CCM) kutumia fursa hiyo kuboresha viwanja ambavyo inavimiliki katika mikoa na majiji yote nchini ili kuweka mazingira sahihi ya kuendesha michezo nchini. Sisi Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo tunayachukulia maagizo ya Mhe. Rais aliy- oyatoa kwa Wizara akiwa Jijini Mwanza kwa uzito wake kuanzisha vituo vya michezo (Sports Academy) kila Mkoa ili kukuza vipaji na Sekta ya Michezo hapa nchini. Tunaamini maagizo haya yamekuja wakati sahihi kwa mfano suala la mrabaha lililokuwa kero kubwa kwa wasanii, ni vizuri wafanyabiashara, wadau wa wasanaa na jamii kwa ujumla tushiriki- ane kuhakikisha wasanii wanapata haki zao ili kuikuza sanaa ya kitanzania na kuibua fursa nyingi zaidi za ajira. Kwa upande wa taasisi zinazomiliki viwanja vya michezo kama ilivyoagizwa na Mhe. Rais, wale wasio na uwezo wa kuboresha viwanja hivyo wawape fursa hiyo wenye uwezo wa kufanya hivyo huku kwa Upande wa Sport Academy, tayari suala hili limeshaingizwa katika bajeti ya mwaka wa fedha 2021/2022. Tunaimani kwa upande wetu sisi kama Wizara yenye dhamana ya sekta za Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo tutatoa ushirikiano wote unaohitajika kuhakikisha kuwa shabaha ya Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kuboresha mazingira ya michezo, sanaa na utamaduni yanaboreshwa inatimia kwa kila mdau kutimiza wajibu wake ipasavyo. www.habari.go.tz Wasanii kuanza kulipwa mibaha mwezi Desemba, 2021 Na Shamimu Nyaki, Dodoma Rais wa Jamhuri ya Muungano wa “Tumeanzisha Mfuko wa Maende- Utamaduni, Sanaa na Michezo Tanzania Mhe. Samia Suluhu leo ya Michezo ili kusaidia timu zetu kuanzisha vituo vya michezo Hassan amesema kuanzia mwezi za Taifa, tumefuta kodi ya Ongeze- (Sports Academy) kila Mkoa ili Desemba mwaka huu wasanii wata- ko la Thamani (VAT) katika nyasi kukuza vipaji na sekta ya michezo anza kulipwa mirabaha yao kupitia bandia, hivyo majiji manispaa chan- hapa nchini. kazi za Sanaa zinazochezwa katika gamkieni fursa hii kupata viwanja redio, runinga na mitandao ya bora” amesisitiza Mhe. Samia. Awali Waziri wa Habari, Utamad- kijamii. uni, Sanaa na Michezo Mhe. Inno- Aidha, Mhe. Rais ametoa wito kwa cent Bashungwa ametoa wito kwa Mhe. Samia amesema hayo Juni 15, Chama cha Mapinduzi kutumia wafanyabiashara na watoa huduma 2021 Jijini Mwanza alipokuwa fursa hiyo kuboresha viwanja kutumia wasanii katika kutangaza anazungumza na vijana wa Mkoa ambavyo inavimiliki katika mikoa huduma na biashara zao kwa kuwa huo kwa niaba ya vijana wote na majiji yote nchini ili kuweka wasanii wana wafuasi na ushawishi nchini, ambapo amesema Sekta ya mazingira sahihi ya kuendesha mkubwa katika jamii, huku akisisiti- Sanaa, Utamaduni na Michezo inaa- michezo nchini. za vijana ambao wanavipaji kuvi- jiri vijana wengi hivyo Serikali inen- onyesha ili viwapatie ajira. delea kuimarisha sekta hizo. Vilevile ameiagiza Wizara ya Habari 01 WHUSM | JUNI 2021 SEKTA YA HABARI Tanzania yamlilia Kaunda Adeladius Makwega, DODOMA Rais wa Jamhuri ya Muungano wa vuguvugu za ukombozi wa Bara kuwa mzee amefariki dunia, Tanzania Samia Suluhu Hassan zima la Afrika kwa kushirikiana kwa ninawaomba tumuombee.” ametoa pole kwa Rais wa Zambia karibu na Rais wa Kwanza wa Edgar Lungu kutokana na msiba wa Tanzania Julius Nyerere pamoja na Msiba huo umewagusa watu Rais wa Kwanza wa Taifa la hilo viongozi wengine wa Afrika wa mbalimbali akiwamo nahodha wa Keneth Kaunda. wakati huo. zamani wa timu ya Taifa ya Zambia (K.K Eleven) Kalusha Bwalya “Nimesikitishwa na msiba huo wa Miaka ya 1950, Kaunda alikuwa mtu aliyenusurika kifo katika ajali ya Rais wa Kwanza wa Zambia muhimu katika vuguvugu la kupiga- ndege iliyogharimu maisha ya watu Kenneth Kaunda, Mungu amlaze nia uhuru wa Rhodesia ya Kaskazini 30 wakiwamo wachezaji 18 viongozi pahala pema peponi.” Taarifa hiyo (sasa Zambia) kutoka kwa Uingere- na makocha wa timu hiyo timu imemnukuu Mhe. Rais Samia. za. mwaka 1993 ambaye amewapa pole taifa lote la Zambia, familia ya Mzee Tanzania inamkumbuka Kenneth Kifo chake ni pigo kwa taifa lake na Kaunda, Wazambia wote na Waaf- Kaunda maarufu kama (KK) Afrika kwa ujumla ambapo Vyombo rika kwa ujumla na kuwaomba ambaye alikuwa Rais wa kwanza wa vya Habari na wengine wakinukuu wawe na faraja katika kipindi hiki Zambia, mzalendo, mwanaharakati ukurasa wa facebook wa mtoto kigumu. Apumzike kwa amani. za Ukombozi wa Bara na mwana mkubwa wa Mzee Kaunda anayefa- mwema wa Afrika aliyeipenda hamika kama Kambarage ambaye hatua iliyopelekea kuunga mkono anabainisha, “Nina huzuni kubwa WHUSM | JUNI 2021 02 Somo la Elimu kwa Michezo kufundishwa kwa wanafunzi wote nchini Na John Mapepele, Mtwara Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muun- Amesema, Serikali inaendelea na wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan gano wa Tanzania Mhe. Kassim jitihada za kuanzisha tahasusi za wa kuwahimiza wananchi kufanya Majaliwa ameelekeza somo la Elimu Michezo kwa wanafunzi wa Kidato mazoezi ili kuepuka magonjwa kwa Michezo lifundishwe kwa cha 5 na 6 ili kupata mafaniko katika yasiyo ya kuambukizwa, huku wanafunzi wote katika Shule za sekta na kuchangia katika maende- akisisitiza kuendelea kuunda vikun- Msingi na Sekondari. leo ya uchumi wa viwanda. di vya mazoezi ya ukakamavu (Jog- ging) na matamasha mbalimbali ya Waziri Mkuu ametoa maelekezo “Nasisitiza Wizara husika kuangalia michezo pamoja na kujijengea hayo Juni 08, 2021 Mkoani Mtwara mitaala iliyopo kama inakidhi mahi- utamaduni wa kufanya mazoezi alipofungua mashindano ya taji ya sasa na kuchukua hatua stahi- mara kwa mara. Michezo na Taaluma kwa Shule za ki pale ambapo kutaonekana kuna Msingi na Sekondari (UMI- upungufu, nihimize kuboreshwa TASHUMTA na UMISSETA) ambapo kwa vyuo vya ualimu ili viimarishe amesema matarajio ya Serikali ni masomo ya Elimu kwa Michezo kuona wanafunzi wakionyesha hatua itakayomuwezesha kila uwezo na nidhamu ya hali ya juu ili mhitimu kuwa na ujuzi wa ufundis- kuleta mafanikio kwa taifa. haji wa michezo”amesisitiza Waziri Mkuu. Pia Mhe. Majaliwa amesisitiza wito 03 WHUSM | JUNI 2021 SEKTA YA HABARI Mhe. Majaliwa: Tufanye mazoezi tuimarishe Afya zetu Na Shamimu Nyaki, DODOMA Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe. ya kutuhamasisha umuhimu wa Aidha, Mhe. Majaliwa ametoa rai Kassim Majaliwa Majaliwa amewaa- kufanya mazoezi ili kuimarisha afya kwa watanzania kushiriki mazoezi, sa watanzania kujijengea utaratibu na hatimaye kuongeza ufanisi kuzingatia mlo sahihi kwakua kinga wa kufanya mazoezi mara kwa katika kazi zetu, pamoja na kujikin- ni bora kuliko tiba ambapo pia ame- mara ili kujiepusha na magonjwa ga na magonjwa yasiyoambukiza sisitiza kuundwa kwa vikundi vya pamoja na kuimarisha afya zao. ambayo wengi tumekua wahan- mazoezi ya ukakamavu (Jogging) ga”amesema Mhe. Majaliwa. pamoja na kushiriki matamasha Waziri Mkuu ameyasema hayo, Juni mbalimbali ya michezo. 12, 2021 Jijini Dodoma alipozindua Waziri Mkuu ameongeza kuwa, Bonanza la Michezo (Pamoja magonjwa hayo ambayo Bonanza) lilioandaliwa na Benki ya yanachangiwa kwa kiasi kikubwa na CRDB kwa kushirikiana na Bunge la matumizi ya vilevi, kutoshiriki Tanzania ambalo limehusisha mbio mazoezi au kufanya shughuli za fupi, mazoezi ya viungo pamoja na kutumia nguvu pamoja na kutozin- michezo mbalimbali katika Uwanja gatia lishe bora yamekua chanzo wa Jamhuri Jijini hapo. cha gharama kubwa za afya kwa Serikali na kupoteza nguvu kazi ya “Bonanza hili limeandaliwa kwa ajili Taifa. WHUSM | JUNI 2021 0204 Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa akifanya mazoezi kwenye Bonanza la Michezo (Pamoja Bonanza) lilioandaliwa na Benki ya CRDB kwa kushirikiana na Bunge la Tanzania hivi karibuni. SEKTA YA HABARI Serikali kuanzisha Kituo cha Michezo katika Chuo cha Michezo Malya Na John Mapepele, MTWARA Waziri wa Habari, Utamaduni, Habari, Utamaduni, Sanaa na vya Michezo vya Kitaifa, vilabu, Sanaa na Michezo Mhe. Innocent Michezo, Ofisi ya Rais, TAMISEMI watalaam wa kuvumbua vipaji Bashungwa amesema Wizara na Wizara ya Elimu, Sayansi na (scouters) kutoka Taasisi ya inatarajia kuanzisha kituo maalum Teknolojia katika ngazi mbalimbali Mbwana Samatta pamoja na wata- cha kuendelezea michezo katika kuanzia ngazi ya mawaziri, makati- laam kutoka Sweden wamealikwa ili Chuo Cha Maendeleo ya Michezo bu wakuu na wataalam" amesema kupata fursa ya kuona vipaji katika Malya ili kuendeleza vipaji vina- Waziri Bashungwa. mashindano hayo. vyopatikana. Waziri Bashungwa amesema, Katika ufunguzi huo, Naibu Waziri Waziri Bashungwa amesema hayo matarajio ya Serikali ni kusimamia Ofisi Ya Rais TAMISEMI Mhe. David Juni 08, 2021 Mkoani Mtwara michezo vizuri katika ngazi
Details
-
File Typepdf
-
Upload Time-
-
Content LanguagesEnglish
-
Upload UserAnonymous/Not logged-in
-
File Pages21 Page
-
File Size-