NHIF Yafungua Milango Kwa Wananchi Wote

NHIF Yafungua Milango Kwa Wananchi Wote

NHIFISBN NO. 798-9987-9484 AFYA | TANZANIA | TOLEONJEMA MAALUM | JAN. 2019 NHIF yafungua milango kwa wananchi wote. • Machinga na Bodaboda wajivunia kutambuliwa na NHIF. • Watu binafsi sasa kujiunga kwa urahisi. www.nhif.or.tz | info@nhif. Jarida la YALIYOMO NHIF AFYA NJEMA Maoni ya Mhariri.................................................................. 3 Neno la Mkurugenzi Mkuu ................................................ 4 Wasemavyo Wadau ............................................................ 5 NHIF Yafungua Milango kwa Wananchi Wote............... 6 Machinga Wajivunia Kutambuliwa na Nhif.................... 8 JARIDA HILI HUTOLEWA Boda Boda Kujiunga na NHIF kwa Gharama Nafuu... 9 NA KUCHAPISHWA NA MFUKO WA TAIFA WA BIMA YA AFYA Kauli za Wakuu wa Mikoa................................................. 10 S.L.P 1437 DODOMA TANZANIA Matukio Mbalimbali Katika Picha................................... 12 BODI YA UHARIRI Vifurushi Dodoma............................................................... 14 Mwenyekiti Vifurushi Mbeya.................................................................. 16 Anjela Mziray Vifurushi Mtwara................................................................ 18 WAJUMBE Celestin Muganga Vifurushi Lindi..................................................................... 20 David Sikaponda Vifurushi Kigoma................................................................ 22 Victor Wanzagi Rose Temba Vifurushi Mwanza.............................................................. 24 Cosmas Mogasa Derick Ndyetabula Vifurushi Arusha................................................................. 26 Vifurushi Kilimanjaro......................................................... 28 MHARIRI WA HABARI Grace Michael Vifurushi Tanga.................................................................. 30 MSANIFU KURASA Charles Madangi 2 NHIF AFYA NJEMA | JANUARI - 2020 [email protected] | www.nhif.or.tz | @NHIFTZ Maoni ya Mhariri VIFURUSHI NI MKOMBOZI KWA WATANZANIA Kwa muda mrefu kundi kubwa la Watanzania lilikuwa nje ya Mfumo wa bima ya afya hali iliyoibua malalamiko mengi ndani ya jamii kutokana na ukweli kwamba gharama za matibabu ni kubwa kwa mwananchi ambaye hana bima ya afya. Hali hiyo ilijenga dhana kwamba wanaostahili kuwa na bima ya afya ni watu wenye uwezo huku kundi lingine la Watanzania wakibaki kutamani kuwa nazo lakini wakajikuta wakikwama kwa kushindwa kutimiza vigezo au kumudu gharama zilizokuwepo. Kutokana na mahitaji hayo na kilio hicho kusikika kwa mamlaka mbalimbali ikiwemo Mfuko wa Taifa wa Bima ya “ Mwishoni mwa mwezi Novemba Afya, ambao umepewa dhamana ya kuhakikisha unaweka tunategemea kuanza huduma za utaratibu rahisi kwa wananchi kujiunga na bima ya afya, bima ya afya zitakazomwezesha mpango kabambe wa vifurushi vya bima ya afya uliandaliwa. kila Mtanzania kujiunga na bima ili Mpango huo wenye vifurushi vya Najali Afya, Wekeza Afya Watanzania wote waweze kuhudumiwa na Timiza Afya uliozinduliwa mwishoni mwa mwaka jana mkoani Dar es Salaam, umetoa fursa kwa mwananchi yeyote kwa kutumia bima .” kuwa na uwezo wa kujiunga na bima ya afya kulingana na Mhe. Kassim Majaliwa (Mb) mahitaji yake. Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kutokana na kuzinduliwa rasmi kwa mpango huo ni wazi 14 Novemba, 2019 kuwa milango sasa iko wazi kwa kila mwananchi kujiunga na akajihakikishia upatikanaji wa huduma za matibabu wakati wowote. Pamoja na kuanzishwa kwa mpango huu unaolenga kuwakomboa wananchi na kuwaondolea adha ya kukosa matibabu kwa kushindwa kumudu gharama za matibabu, wapo baadhi ya wananchi ambao wanapotosha jamii wakieleza kwamba mpango huu ni wa gharama kubwa na uko kibiashara. Upotoshaji huu unalenga kuwaumiza zaidi wananchi na kuwachelewesha kufanya maamuzi ya msingi ya kujiunga na huduma za bima ya afya. Hakuna ubishi kuwa viwango vya michango vilivyowekwa kwa sasa ni nafuu kwa mwananchi ukilinganisha na gharama za matibabu kwa sasa. Michango hiyo ambayo huanzia Sh. 192,000 kwa mtu “Sisi kama Wizara ya Afya, Maendeleo mmoja kwa mwaka ni sawa na takriban Sh. 500 tu kwa siku, ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kiwango ambacho kila mwananchi anaweza kujiwekea na tunaamini kuwa bima ya afya ndio hatimaye akawa ndani ya mfumo wa bima ya afya. Jambo la msingi ni kwa wananchi kuelimika na kuona umuhimu wa njia sahihi ya wananchi kupata suala hili kwa faida yao na taifa kwa ujumla. huduma za matibabu kiurahisi. Matibabu ni gharama na bima ya afya Hakuna mwananchi anayeweza kufanya shughuli zake ndio njia sahihi.” za kila siku bila kuwa na afya njema hivyo kupitia vifurushi hivi Mhe. Ummy Mwalimu ni vyema kila mmoja akatoa kipaumbele ili aweze kujizatiti Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, kwa kuwa na bima ya afya maana ugonjwa huja bila hodi. Jinsia, Wazee na Watoto NHIF tunasema TUMEKUSIKIA, JIPIMIE. 20 Januari, 2020 [email protected] | www.nhif.or.tz | @NHIFTZ NHIF AFYA NJEMA | JANUARI - 2020 3 Bw. Bernard Konga Mkurugenzi Mkuu NHIF ‘VIFURUSHI NI FURSA KWA KILA MTANZANIA KUWA NA BIMA YA AFYA’ Wasomaji wa Jarida letu Mwishoni mwaka jana, NHIF na uimarishaji wa mifumo yetu ya la NHIF AFYA NJEMA, nitumie tulizindua mpango wa vifurushi kuhuduma ikiwemo ya utambuzi wa fursa hii kumshukuru Mungu kwa vipya vya Bima ya Afya ambavyo wanachama, mifumo ya mawasiliano kutuwezesha kukutana tena katika vinajulikana kwa majina ya Najali na mifumo ya ulipaji madai. safu hii tukiwa na lengo moja tu la Afya, Wekeza Afya na Timiza Afya kuelimishana, kuhamasishana juu ya ambavyo mwananchi anajiunga kwa Kwa kuwa dhamira kubwa ya umuhimu wa kuwa na bima ya afya ili hiari kulingana na mahitaji yake. Mfuko ni kuhakikisha kila Mtanzania kujihakikishia upatikanaji wa huduma anakuwa ndani ya huduma za NHIF, za matibabu wakati wowote. Katika kuandaa vifurushi hivi niwahakikishie kuwa tutaendelea na mambo ya msingi yaliyozingatiwa uhamasishaji na kampeni mbalimbali Naamini kila mmoja wetu ni pamoja na ukubwa wa familia, za kuwafikia wananchi katika maeneo anaafiki kuwa suala la afya ni gharama za huduma lakini lengo yao ili kila mwananchi apate elimu ya suala nyeti na ambalo halitakiwi kubwa likiwa ni kumhakikishia bima ya afya na hatimaye achukue kuchanganywa na kitu chochote kwa mwananchi upatikanaji wa matibabu hatua za kujiunga. kuwa bila afya njema huwezi kushiriki wakati wowote. jambo lolote lile liwe na kijamii ama Mfuko unaendelea kuimarisha la kimaendeleo. Tangu kuzinduliwa kwa ofisi zake za mikoa ambazo zina lengo mpango huu, kumekuwa na mwitikio la kusogeza huduma kwa wananchi Kutokana na umuhimu huo, wa wananchi kujiunga hali inayotupa ili kuepukana na changamoto Chama Tawala cha Mapinduzi nguvu ya kuendelea kuhamasisha na za wanachama kukosa huduma kupitia Ilani yake ya mwaka 2015 kuwafikia wananchi katika maeneo wanapohitaji. ilielekeza kuwekwa utaratibu rahisi yao. utakaomuwezesha kila mwananchi Kutokana na haya yote, nitoe rai kujiunga na bima ya afya. Mbali na Pamoja na mafanikio haya kwa wananchi wote kutumia fursa hii agizo hilo, Rais wetu Dkt. John Pombe ambayo tunayaona kupitia mpango ya mpango wa vifurushi vya Bima ya Magufuli naye amekuwa mstari huu, kumekuwepo na upotoshaji Afya ili upate huduma za matibabu wa mbele kuhamasisha wananchi unaofanywa na baadhi ya watu kupitia utaratribu wa bima ya afya kuchukua hatua za kujiunga na bima wachache juu ya mpango huu, lakini ambao ndio utaratibu bora na nafuu. ya afya. nikiwa Mtendaji Mkuu wa Taasisi hii Aidha niwaombe sana watoa huduma niwahakikishie kuwa mpango wa kuhakikisha mnatoa huduma bora Mfuko wa Taifa wa Bima ya vifurushi umezingatia hali halisi ya kwa wanachama wetu, mnatoa Afya ambao tumepewa jukumu la mahitaji yaliyopo kwa sasa. ufafanuzi sahihi pale inapotokea kusimamia suala hii, tumetekeleza changamoto na kuzingatia maagizo hayo kwa kuyaweka kwa Mfuko pia umejipanga katika makubaliano baina yetu. vitendo ili kila mwananchi wa kada kuhakikisha huduma kwa wanachama yoyote awe na fursa ya kujiunga pale wake zinapatikana kiurahisi na kwa anapohitaji. ubora zaidi ambapo tumeendelea 4 NHIF AFYA NJEMA | JANUARI - 2020 [email protected] | www.nhif.or.tz | @NHIFTZ WASEMAVYO WANACHAMA WA VIFURUSHI VYA BIMA YA AFYA “Mimi nimehamasika kujiunga na kifurushi hiki kwa sababu mchango kwa mwaka ni rahisi sana. Nimehamasika kwani nikiingia hospitalini bila bima ya afya nitatumia si chini ya laki mbili na bado huduma haijakamilika. Kwahiyo mimi nimehamasika kujiunga na kifurushi hiki.” Muhamed Dauda Mwanza “Kadi hii inamwezesha mwanamke yeyote kupata matibabu. Inakusaidia kupata matibabu kokote nchini wakati wowote maradhi yakikupata hata kama huna hela kwa ajili ya matibabu.” “Kwa miaka minne sijawahi kulazwa wala Tausi Kitumbo kuumwa lakini najihisi kuwa nina tatizo kama Kigoma sina Bima ya Afya.” Yusuph Musa Tanga “Ni bima ambayo nina hakika itanisadia nikiwa na pesa au sina pesa. Lakini pia ni bima itakayoniondolea hofu ya maisha “Kwetu sisi afya ni kila kitu maana binadamu kwa kipindi kirefu.” kama huna afya hakuna kitakacho endelea mbele. Afya ndo mwanzo wa maisha na ndio Aloyce Tibilaba maana mimi na familia yangu yote tumeona Mwananchi Kigoma tukate bima ya afya.” Mwasa Jingi Lindi [email protected] | www.nhif.or.tz | @NHIFTZ NHIF AFYA NJEMA | JANUARI - 2020 5 NHIF YAFUNGUA MILANGO KWA WANANCHI WOTE Matukio ya uzinduzi wa Vifurushi vya Bima ya Afya Mnazi Mmoja, Dar es salaam - Novemba 28, 2019 Katika jitihada za Mpango huu ulizinduliwa hatua iliyosababisha kundi kubwa kuhakikisha Watanzania wengi rasmi Novemba 28, mwaka jana la wananchi takribani asilimia 92 zaidi wanapata huduma za afya na Mwenyekiti wa Bodi ya NHIF, kuwa nje ya utaratibu

View Full Text

Details

  • File Type
    pdf
  • Upload Time
    -
  • Content Languages
    English
  • Upload User
    Anonymous/Not logged-in
  • File Pages
    34 Page
  • File Size
    -

Download

Channel Download Status
Express Download Enable

Copyright

We respect the copyrights and intellectual property rights of all users. All uploaded documents are either original works of the uploader or authorized works of the rightful owners.

  • Not to be reproduced or distributed without explicit permission.
  • Not used for commercial purposes outside of approved use cases.
  • Not used to infringe on the rights of the original creators.
  • If you believe any content infringes your copyright, please contact us immediately.

Support

For help with questions, suggestions, or problems, please contact us