TOLEO NA.3 JARIDA LA TUME YA UTUMISHI WA WALIMU TANZANIA (TSC) MEI 2021 MWL. NKWAMA AAPISHWA KUWA KATIBU TSC Mwl. Paulina Nkwama akila kiapo mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, kushika wadhifa wa Katibu wa Tume ya Utumishi wa Walimu (TSC), Aprili 6, 2021 Ikulu jijini Dar es Salaam. MAWASILIANO: Katibu, Ofisi ya Rais, Tume ya Utumishi wa Walimu, Mtaa wa Mtendeni S.L.P 353, DODOMA Simu: +255 (26) 2322402-4 Barua Pepe: [email protected] Tovuti: www.tsc.go.tz Tume ya Utumishi wa Walimu Tanzania tumeyautumishiwawalimutanzania TAHARIRI 2 TSC TUADHIMISHE MEI MOSI HII TUKIONGOZWA NA KAULIMBIU YA ‘KAZI IENDELEE’ eo familia ya Tume ya sekta ya umma. Tuendelee kuhakikisha haki inatendeka Utumishi wa Walimu kuhakikisha walimu pale wanapotuhumiwa (TSC) tunaungana na tunaowasimamia wanawalea kwa makosa mbalimbali. wafanyakazi wenzetu watoto wanaopita katika Kamwe tusiwe sehemu ya wa kada mbalimbali mikono yao kimwili, kiakili, kuwanyanyasa au kuwaonea Lduniani kote kuadhimisha kiroho na kijamii. walimu kwa namna yoyote. sikukuu ya wafanyakazi, Tuendelee kuwaongoza Tukumbuke kuwa TSC maarufu kama ‘Mei Mosi’ walimu katika kuhakikisha ilianzishwa kwa malengo Ziko namna nyingi hawageuki ‘miiba’ kwa ya kuongeza ufanisi katika za kuadhimisha sikukuu wanafunzi kwa kuenenda kuwahudumia walimu hii zikiwemo sherehe na kinyume na maadili yao na ambao ni kundi kubwa maandamano. Sisi familia ya kuwatendea yasiyopaswa linalochukua asilimia zaidi TSC, pamoja na kusherehekea kutendwa ikiwemo sikukuu hii adhimu, kujihusisha nao kimapenzi na ya 50 ya watumishi wa tunawiwa kuiadhimisha huku kuwa watoro kwa kufundisha umma. Hivyo, tunawajibika tukiongozwa na kaulimbiu vipindi vichache tofauti na kuhakikisha malengo husika ya Rais wetu mpendwa, wanavyotakiwa kufundisha. yanatekelezwa kikamilifu. Mheshimiwa Samia Suluhu Lakini pia, Kazi Iendelee Tunawatakia nyote Hassan ya ‘….Kazi Iendelee’ kwa kuhakikisha tunaendelea maadhimisho mema ya Kazi Iendelee kwa kushughulikia matatizo ya sikukuu ya wafanyakazi kuendelea kusimamia maadili walimu yaliyoainishwa katika duniani. TSC….Kazi mema kwa walimu wa majukumu yetu, ikiwemo Iendelee! Mwenyekiti Paulina Nkwama KATUNI Wajumbe Moses Chitama Christina Hape Richard Odongo Revocatus Misonge Mectildis Kapinga Lameck Mbeya Mhariri Mkuu Veronica Simba Mhariri Msaidizi Adili Mhina Msanifu Kurasa BODI YA UHARIRI BODI YA Lucas Gordon Wasiliana nasi kwa Simu: 0739-669610 & 0735-255238 Barua Pepe: [email protected] Au fika Ofisi ya Mawasiliano, Tume ya Utumishi wa Walimu (TSC), Mtaa wa Mtendeni, S.L.P 353, DODOMA. Tume ya Utumishi wa Walimu Tanzania tumeyautumishiwawalimutanzania HABARI 3 na wateule wenzake mbalimbali MWL. NKWAMA katika nafasi za Makatibu Wakuu, Naibu Makatibu Wakuu na Wakuu wa Taasisi. AAPISHWA KUWA Akizungumza mara baada ya kuwaapisha Viongozi hao, Rais Samia aliwataka kuhakikisha KATIBU TSC wanasimamia majukumu na kutekeleza wajibu wao ipasavyo kama ilivyoelekezwa katika Ilani ya Uchaguzi Mkuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ya mwaka 2020/25. Katika Sekta ya Elimu ambayo TSC inahusika nayo, Rais Samia alielekeza kuendeleza ujenzi wa miundombinu ya elimu, ikiwemo shule 26 za sekondari za wasichana pamoja na kujaza nafasi 6,000 zilizoachwa wazi na walimu waliostaafu. Mwl. Nkwama aliteuliwa na Mheshimiwa Rais Machi 29, 2021 ambapo aliripoti ofisini na kuanza kazi mara moja hapo Aprili 1, mwaka huu, akichukua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia nafasi ya Winfrida Rutaindurwa Suluhu Hassan akitia saini hati ya kiapo ya Katibu wa Tume ya ambaye amemaliza muda wake. Utumishi wa Walimu (TSC), Mwl. Paulina Nkwama, Aprili 6, 2021 Ikulu jijini Dar es Salaam. Na Veronica Simba atibu mpya wa Tume ya Utumishi wa Walimu (TSC), Mwl. Paulina Nkwama, aliyeteuliwa na Rais wa Jamhuri Kya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan hivi karibuni, ameapishwa rasmi kushika madaraka hayo. Mwl. Nkwama aliapishwa na Katibu wa Tume ya Utumishi wa Walimu (TSC), Mwl. Paulina Rais Samia, Aprili 6 mwaka huu Nkwama, akisaini kiapo alichoapa mbele ya Rais wa Jamhuri ya katika hafla iliyofanyika Ikulu Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan kushika jijini Dar es Salaam, sambamba wadhifa huo, Aprili 6, 2021 Ikulu jijini Dar es Salaam. JARIDA LA TUME YA UTUMISHI WA WALIMU TANZANIA (TSC) MEI 2021 HABARI 4 MAAFISA ELIMU KATA WAASWA KUSIMAMIA UBORESHAJI ELIMU Akifafanua, Mwl. Lwikolela alitoa mfano wa kosa la utoro kwa walimu kuwa pamoja na kuathiri utoaji elimu lakini limekuwa halitiliwi maanani kwa kuchukuliwa kama halina uzito. “Wako baadhi ya Walimu hata hawaandai Mpango wa Somo (Lesson Plan) na wanafundisha vipindi vichache tofauti na walivyopangiwa lakini wanaachwa tu. Ni wajibu wenu kuwafuatilia hao na kushirikiana na Wakuu wa Shule katika kuwarudisha kwenye mstari.” Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Hata hivyo, akitoa ufafanuzi (TAMISEMI), David Silinde, akifungua Mkutano wa Viongozi wa zaidi katika masuala ya nidhamu Maafisa Elimu Kata, Aprili 8, 2021 jijini Dodoma. kwa walimu, Mkurugenzi Msaidizi, Ajira na Maendeleo Na Veronica Simba na ujifunzaji wa wanafunzi katika ya Walimu, Mectildis Kapinga, shule za msingi na sekondari alisema endapo Mwalimu aafisa Elimu huku akieleza kuwa imebainika atabainika kutenda kosa, Kata kote nchini baadhi ya Maafisa hao anayepaswa kutoa adhabu wametakiwa hawasimamii shule za sekondari. kwake kwa mujibu wa sheria kutimiza wajibu “Mnajikita zaidi katika ni Mamlaka yake ya Nidhamu wao wa kutoa shule za msingi na kujisahau ambayo ni Tume ya Utumishi wa Mmsaada wa kitaaluma ili kusimamia shule za sekondari. Walimu (TSC), na siyo vinginevyo. kuwawezesha walimu katika Kote ni wajibu wenu na hakuna Hivyo aliwatahadharisha maeneo yao kufundisha kwa mtu anayepaswa kuwazuia. Maafisa Elimu Kata kutojichukulia ufanisi na hivyo kuboresha Akijitokeza wa kuwazuia tupeni sheria mkononi badala yake, kiwango cha elimu. taarifa tutamchukulia hatua,” ikitokea wamebaini Mwalimu Wito huo umetolewa na alisisitiza. anakiuka maadili ya kazi yake, Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Akiwasilisha mada kuhusu washirikiane na Mkuu wa Shule Tawala za Mikoa na Serikali za majukumu ya Tume ya Utumishi kumkanya ili abadili mwenendo Mitaa (TAMISEMI) David Silinde, wa Walimu katika Mkutano huo, wake na asipojirekebisha alipokuwa akifungua Mkutano Mkurugenzi Msaidizi, Maadili wamripoti kwa Mamlaka yake ya wa Viongozi wa Maafisa Elimu na Nidhamu, Mwalimu Robert Nidhamu ili imchukulie hatua. Kata, Aprili 8 mwaka huu, jijini Lwikolela aliwataka Maafisa Kwa upande wake, akitilia Dodoma. Elimu hao kushughulikia makosa mkazo suala la uwajibishaji Aidha, Naibu Waziri Silinde, yanayofanywa na walimu, walimu wanaokiuka maadili ya amewataka Maafisa Elimu Kata ambayo hayapewi umuhimu kwa kazi, Mkurugenzi wa Utawala kusimamia kikamilifu ufundishaji kudhaniwa ni madogo. na Rasilimaliwatu kutoka JARIDA LA TUME YA UTUMISHI WA WALIMU TANZANIA (TSC) MEI 2021 HABARI 5 MAAFISA ELIMU KATA WAASWA KUSIMAMIA UBORESHAJI ELIMU TSC, Moses Chitama, alishauri kabla ya mwalimu kuripotiwa kwa Tume, zifanyike jitihada katika ngazi ya shule na kata, kukaa na kuzungumza naye ili kumkanya, hususan kwa makosa madogomadogo ambayo yanarekebishika. Mkutano huo wa Maafisa Elimu Kata ulihitimishwa rasmi Aprili 9, 2021 ambapo Mgeni Rasmi alikuwa Waziri wa Nchi, Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa za Mitaa (TAMISEMI) anayeshughulikia Elimu, Gerald Mweli, na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), akizungumza wakati wa siku ya kwanza ya Mkutano wa Viongozi wa Ummy Mwalimu. Maafisa Elimu Kata, Aprili 8, 2021 jijini Dodoma. Mkurugenzi kutoka Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mkurugenzi Msaidizi, Maadili anayesimamia Elimu ya Awali na Mkurugenzi wa Utawala na na Nidhamu kutoka Tume ya Msingi ambaye pia ni Kamishna Rasilimaliwatu wa Tume ya Utumishi wa Walimu (TSC), wa Tume ya Utumishi wa Utumishi wa Walimu (TSC), Mwalimu Robert Lwikolela Walimu (TSC), Suzan Nussu, Moses Chitama akichangia akiwasilisha mada kuhusu akizungumza wakati wa siku ya mada katika siku ya kwanza ya majukumu ya Tume wakati wa kwanza ya Mkutano wa Viongozi Mkutano wa Viongozi wa Maafisa siku ya kwanza ya Mkutano wa wa Maafisa Elimu Kata, Aprili 8, Elimu Kata, Aprili 8, 2021 jijini Viongozi wa Maafisa Elimu Kata, 2021 jijini Dodoma. Dodoma. Aprili 8, 2021 jijini Dodoma. JARIDA LA TUME YA UTUMISHI WA WALIMU TANZANIA (TSC) MEI 2021 HABARI KATIKA PICHA 6 Mkurugenzi Msaidizi, Ajira na Maendeleo ya Mwenyekiti wa Walimu kutoka Tume Mwenyekiti wa Maafisa Maafisa Elimu Kata, Mwenyekiti wa Maafisa ya Utumishi wa Walimu Elimu Kata, Wilaya Wilaya ya Bagamoyo, Elimu Kata, Wilaya (TSC), Mectildis ya Kyerwa, Oscar Hamisi Mwanankuta, ya Muheza, Danstan Kapinga akichangia Tumwesige, akichangia akichangia mada wakati Mahiza, akichangia mada wakati wa siku ya mada wakati wa siku ya wa siku ya kwanza ya mada wakati wa siku ya kwanza ya Mkutano wa kwanza ya Mkutano wa Mkutano wa Viongozi kwanza ya Mkutano wa Viongozi wa Maafisa Viongozi wa Maafisa wa Maafisa Elimu Kata, Viongozi wa Maafisa Elimu Kata, Aprili 8, Elimu Kata, Aprili 8, Aprili 8, 2021 jijini Elimu Kata, Aprili 8, 2021 jijini Dodoma. 2021 jijini Dodoma. Dodoma. 2021 jijini Dodoma. Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), David Silinde (katikati) akiungana na Wajumbe wa Mkutano wa Viongozi wa Maafisa Elimu Kata, kuimba Wimbo wa Taifa, muda mfupi kabla ya kufungua Mkutano huo Aprili 8, 2021 jijini Dodoma. Kulia kwake ni Naibu Katibu Mkuu, TAMISEMI
Details
-
File Typepdf
-
Upload Time-
-
Content LanguagesEnglish
-
Upload UserAnonymous/Not logged-in
-
File Pages33 Page
-
File Size-