Makinika Kuhusu Afya Na Matibabu

Makinika Kuhusu Afya Na Matibabu

Makinika kuhusu afya na matibabu A NATION MEDIA GROUP PUBLICATION ‘AFYA JAMII’ 11 - 16 Kiunjuri apigiwa debe kuwa SHINDANO LA UANDISHI UK 9 naibu wa Ruto 2022 - UK 5 WA INSHA Jumanne, Oktoba 8, 2019 KSh30 TSh500 RFr300 taifaleo.nation.co.ke No. 20368 Asema wanasiasa hawasaidii katika vita vya kukabiliana na matumizi ya mihadarati DAWA: MATIANG'I AKOSOA VIONGOZINA CECIL ODONGO WAZIRI wa Usalama wa Nchi, Fred Matiang'i amewakashifu viongozi wa Mo Technologies kisiasa ambao ni Waislamu kwa tatizo la matumizi ya dawa za kulevya katika maeneo yao. Waziri alisema viongozi hao hawafanyi lolote kupigana na matumizi ya mihadarati akisema wao ndio wa kulaumiwa kwa kukithiri kwa tabia hiyo. “Ni vyema tuambiane ukweli. Viongozi wenu hawajafanya la kutosha kuhakikisha kwamba vita dhidi ya matumizi ya dawa za kulevya vinafaulu. WAISLAMU ENDELEA Uk 2 SGR: Polisi wanasa waandamanaji MAAFISA wa poli- VIDOKEZO Korti yaagiza si wamnyanyua a sa wa kundi la kutetea haki za MKASA WA LIKONI binadamu la Haki ukaguzi KTDA Afrika alipoka- matwa wakati wa maandamano jiji- Wapiga mbizi baada ya kilio ni Mombasa jana. Maandamano wa Afrika Kusini hayo yaliitish- cha wakulima wa kulalamikia kucheleweshwa wa ka Mombasa NA NDUNGU GACHANE kwa utekelezaji wa agizo la UK 5 MAHAKAMA imeagiza ukaguzi kufa- kukubalia malori nyiwa rekodi za fedha za Mamlaka ya Ust- kubeba mizigo awishaji wa Majani Chai (KTDA) kufuatia kutoka Bandari ya MZOZO kushuka kwa mapato ya wakulima mwaka Mombasa. Picha/ huu. Laban Walloga. JAJI Kanyi Kimondo wa Mahakama ya Waumini Murang'a aliagiza Mkaguzi wa Hesabu za HABARI KAMILI Serikali kukagua mapato ya majani chai, UK 6 bonasi na mazao yaliyowasilishwa KTDA wakataa kutoka ENDELEA Uk 2 kituo cha polisi UK 3 UHALIFU: KORTI YAELEZWA WAKILI KIMANI NA WENZAKE WALIVYONYONGWA UK 4 2 Jumanne, Oktoba 8, 2019 | TAIFA LEO Anayedaiwa kuua mtoto wa mpenzi kukaa seli Korti yaagiza Na NICHOLAS KOMU akili ili kuthibitisha ikiwa ana akili timamu. mwanaume mwingine. “Mama ya mwendazake alishuku kuwa Muriuki anadaiwa kuua mwanafunzi wa Polisi walimnasa mshukiwa ambaye ba- mpenziwe wa zamani huenda alihusika ka- ukaguzi KTDA MWANAUME anayedaiwa kulipiza kis- darasa la sita, Gideon Kang’ethe ambaye adaye alifichua jinsi alivyomhadaa mwen- tika kutoweka kwa mtoto wake,” akasema asi kwa kuua mvulana wa miaka 10 baada alikuwa ameripotiwa kutoweka kabla ya dazake kwenda katika Msitu wa Mlima Kamanda wa Polisi wa Wilaya ya Mathira ya kutengana na mama yake, atafikishwa maiti yake kupatikana imezikwa ndani ya Kenya na kisha akamuua. Mashariki, James Barasa. mahakamani kesho. Msitu wa Mlima Kenya. Kulingana na polisi, Gedion alikuwa shu- Polisi walimkamata Muriuki na kumhoji kufuatia kilio Charles Muriuki, ambaye amekuwa ki- Inashukiwa alikuwa akilipiza kisasa baa- leni Septemba 21, lakini hakurejea nyum- katika Kituo cha Polisi cha Karatina am- zuizini, atafikishwa katika Mahakama ya da ya kuachwa na mama ya mwendazake, bani jioni. bapo alishikilia kuwa hakujujua lolote ku- Karatina, Kaunti ya Nyeri. Felista Waithera, anayedaiwa kuwa mpen- Bi Waithera alipiga ripoti katika kituo husu kutoweka kwa mvulana huyo. cha wakulima Jana alifikishwa kortini lakini Idara ya zi wake. cha polisi huku jamaa zake wakianzisha Polisi walipokuwa wakijiandaa kumwa- Kupeleleza Uhalifu (DCI) ikaomba Hakimu Kulingana na mashahidi, Bi Waith- msako wa kumtafuta kijijini. chilia huru mshukiwa, ushahidi mpya uli- KUTOKA Uk 1 Mkuu Alice Mwangi kuiruhusu imzuilie era aliacha mshukiwa na kupendana na Baada ya kufanya uchunguzi kwa wiki patikana. kwa siku tatu zaidi ili ikamilishe uchungu- mwanaume mwingine. mbili, maafisa wa DCI walibaini kwamba Kamera za CCTV zilizoko katika duka katika mwaka wa 2018 na 2019. zi. Mshukiwa, mashahidi wanasema, alika- mzozo wa kimapenzi baina ya mshukiwa moja lililo nje ya shule ya Msingi ya Kirigu Hii ni baada ya Gavana wa Mu- Mshukiwa ambaye ni mfanyakazi wa sirishwa na hatua ya Bi Waithera kujihu- na Bi Waithera huenda ulichangia katika zilinasa mshukiwa akiwa amebeba mwen- rang’a, Mwangi Wa Iria kuwasilisha serikali ya Kaunti ya Nyeri pia atapimwa sisha katika uhusiano wa kimapenzi na kutoweka kwa Gideon. dazake kwenye pikipiki. ombi la kuwekwa wazi kwa umma akaunti za KTDA kutokana na ku- pungua kwa mapato ya majani chai. Asema viongozi hawasaidii kumaliza mihadarati Kwenye kesi kati ya serikali ya WIZI: Hutumia sumu kuibia wateja Kaunti ya Murang’a dhidi ya KTDA, utawala wa kaunti unataka akaunti hizo ziwekwe wazi kwa umma ikise- ma kuna tashwishi kuhusu ripoti ya ukaguzi wa hesabu iliyowasilishwa na mamlaka hiyo. Pengo la Sh2.6 bilioni kwenye Dawa: Waziri mapato ya mwaka wa 2018 na 2019, ambayo ni asilimia 36, ndiyo ndilo imechochea kaunti kutaka akaunti hizo zifanyiwe ukaguzi. Kulingana na KTDA, mapato ya majani chai mnamo 2018 yalikuwa akosoa wakuu Sh11.2 bilioni huku yale ya 2019 yaki- wa Sh8.9 bilioni. KUTOKA Uk 1 kisheria,” akasema Dkt Matiang’i. Mapato hayo yamesababisha “Watu wanaofanya biashara hii si watu malalamiko kutoka kwa wakulima Hili suala linahitaji uungwaji mkono wa vi- wa kawaida. Ni watu wenye hadhi ambao katika kaunti zinazokuza majani ongozi wote kwa ushirikiano na serikali,” wana uwezo mkubwa wa kusambaza miha- chai za Murang'a, Nyeri, Kiambu, akasema. darati hiyo," akaongeza. Kirinyaga, Meru, Embu, Nandi, Kisii, Eneo la Pwani, ambalo lina idadi kubwa Kiongozi wa Wengi Bungeni, Aden Duale Kericho, Bomet na Nyamira. ya viongozi Waislamu, ndilo linaloongoza aliomba serikali kuhakikisha marufuku ya Wakili Charles Njenga anaye- kwa idadi kubwa ya watu wanaotumia dawa uvutaji wa Shisha miongoni mwa Waisla- waongoza mawakili sita kwa niaba za kulevya nchini. mu imetekelezwa kikamilifu, akisema dawa ya wakulima, alieleza korti kwamba Miongoni mwa magavana wanne kati ya hiyo imewalemaza vijana hasa Pwani, Kas- suala hilo limevutia hisia za umma sita Pwani ni Waislamu. Hao ni Hassan Joho kazini Mashariki na Nairobi. na lisipoangaziwa kwa makini, (Mombasa), Salim Mvurya (Kwale), Fahim “Ukienda mitaa mbalimbali kwa mfano wakulima watang’oa majani chai Twaha na Dhadho Godana (Tana River). South C utawapata vijana wakivuta Shisha yao na hivyo kuathiri vibaya uchumi Katika kaunti ya Mombasa wabunge wote ambayo sasa ni dawa maarufu sana mion- wa taifa. ni Waislamu. goni mwa Waislamu. Naomba serikali ipige “Hii ni shida kubwa na isipotatuli- Akihutubu alipokutana na viongozi wa marufuku Shisha jinsi ilivyofanya kamari,” wa wakulima watang’oa majani chai Waislamu katika Msikiti wa Jamia jijini Nai- akasema Bw Duale. na hilo litaathiri vibaya uchumi wa robi jana, Dkt Matiang'i alisema hali jijini Akizungumzia suala la mauaji ya nchi,” akasema Bw Njenga. Mombasa ni ya kusikitisha kutokana na ma- washukiwa wa uhalifu Pwani, Dkt Matiang'i Jaji Kimondo alitaja kesi hiyo tumizi ya mihadarati. alisema serikali haihusiki kamwe na visa kama ya dharura na kusema katiba Alisema ziara yake majuzi katika mtaa hivyo. inampa mkaguzi mkuu mamlaka ya wa Kisauni jijini Mombasa ilimpa picha “Hakuna sera ya serikali ya kuwaua raia kukagua akaunti zote kisha kuwasil- halisi ya namna wakazi wametekwa na mi- wake. Kuna mwongozo wa kisheria wa ku- isha ripoti ya shirika lolote linalofa- hadarati, akisema watu mashuhuri wana- waadhibu wahalifu,” akasema. Mo Technologies dhiliwa na fedha za umma. oshiriki ulanguzi wa dawa za kulevya ndio Viongozi wa Waislamu waliohutubu “Nimeridhika kwamba suala hili wa kulaumiwa kwa janga hilo. waliomba serikali kukweza hadhi Chuo Ki- ni la dharura na tukisubiri kusikiz- Dkt Matiang’i alifichua kwamba uchun- kuu cha Umma na kukipa cheti kama vyuo wa kwa kesi hii, namwagiza mkagu- guzi unaendelea dhidi ya watu 30 maarufu vingine, jambo ambalo Dkt Matiang’i aliahi- zi akague vitabu vya KTDA kisha ku- wanaoshukiwa kushiriki biashara ya miha- di kwamba litatimizwa kabla ya kukamilika wasilisha ripoti hapa mahakamani darati katika eneo la Pwani. kwa mwezi huu. Vilevile alitangaza kwamba kabla ya Oktoba 28,” akaamuru. “Tunachunguza watu 30 mashuhuri serikali itafungua afisi za uhamiaji na usajili MSHUKIWA wa kuwapa watu sumu, Doris Kinya baada ya kukamatwa mjini Eldoret Kwa upande wake, KTDA ilisema wanaotoka Pwani ambao wanashiriki bi- mjini Garissa ili kuwazuia Waislamu kukon- jana. Mshukiwa alidaiwa kumtilia mteja wake sumu ndani ya chumba cha malazi na iko tayari kufanyiwa ukaguzi wa ashara chafu ya uuzaji wa mihadarati. gamano katika afisi zilizoko Nairobi kila kumwibia simu na pesa. Kamanda wa polisi wa Eldoret, Joshstone Ipara (kushoto) kifedha na kusisitiza kuwa shughu- Uchunguzi bado unaendelea na kikosi che- mwaka wanaposafiri hadi Saudi Arabia kwa alisema sumu hiyo hupagawisha wanaonyweshwa. Picha/Jared Nyataya li za mamlaka hiyo zinafanyika kwa tu kiko tayari kuhakikisha wanakabiliwa ajiri ya Hajj. uwazi. Ili kutolea maoni habari hii, nenda kwa taifaleo.nation. Msomi maarufu kimataifa wa dini afariki co.ke PNU kuwa na mwaniaji wa urais Na KITAVI MUTUA eneo la Mulango, Kaunti ya Kitui. Na STEVE NJUGUNA uchaguzi mkuu ujao. ULIMWENGU jana uliomboleza Alikuwa mfasaha wa lugha ya TANGAZO KWA UMMA CHAMA cha Party of National Unity Baada ya kuandaa Kikao cha Wajumbe kifo cha profesa wa masuala ya Kigiriki ambayo ni mojawapo ya Physical and Land Use Planning Act No. kidini, John Samuel Mbiti ambaye lugha za kwanza asili zilizotumiwa 13 of 2019 (PNU) kimezindua mikakati yake itakay- wa Chama (NDC) uwanjani Kasarani Uhalalishaji wa L.R. No. 29254 okiwezesha kupata uungwaji mkono mapema mwaka huu, vuongozi wa alikuwa maarufu kimataifa. kuandika Biblia. Prof Mbiti alifariki akiwa na umri Marehemu alitumia miaka 12 ya Kufuatia tangazo

View Full Text

Details

  • File Type
    pdf
  • Upload Time
    -
  • Content Languages
    English
  • Upload User
    Anonymous/Not logged-in
  • File Pages
    24 Page
  • File Size
    -

Download

Channel Download Status
Express Download Enable

Copyright

We respect the copyrights and intellectual property rights of all users. All uploaded documents are either original works of the uploader or authorized works of the rightful owners.

  • Not to be reproduced or distributed without explicit permission.
  • Not used for commercial purposes outside of approved use cases.
  • Not used to infringe on the rights of the original creators.
  • If you believe any content infringes your copyright, please contact us immediately.

Support

For help with questions, suggestions, or problems, please contact us