JARIDA LA MTANDAONI

WIZARA YA ULINZI NA JESHI LA KUJENGA TAIFA

BURUJI NEWS TOLEO NAMBA 001 JULAI, 2021 www.modans.go.tz

Tanzania na Msumbiji Zaimarisha Ushirikiano

JARIDA MTANDAONI JULAI, 2021 PICHA YA JARIDA

JAMHURI YA MUUNGANO WIZARA YA ULINZI NA WA JESHI LA KUJENGA TAIFA

Jarida hili hutolewa na Ofisi ya Katibu Yaliyoandikwa kwenye Jarida hili ni Mkuu Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Mawazo ya Wandishi wetu, hayakusudii Kujenga Taifa, Kitengo cha Mawasiliano kuwasilisha sera, mtazamo wala maoni Serikalini. S.L.P. 2924 Dodoma, ya Uongozi wa Wizara Tanzania/+255 (26) 2350762/ Nukushi:+255 (26) 23515225

BODI YA UHARIRI YALIYOMO MHARIRI MKUU

Luteni Kanali Josephat Musira Tanzania na Msumbiji Zaimarisha Ushirikiano…………………………...5 Naibu Mhariri Mkuu Serikali yaahidi kuboresha Maslahi ya Wafanyakazi nchini…………...6 Kapten Mohamed Iddi Serikali yaahidi kuboresha Maslahi ya Wafanyakazi nchini…………...6 Wahariri Habari Kwandikwa Ainisha Vipaumbe vya Wizara ya Ulinzi na JKT………...7 Kapteni Mohamed Iddi Wanawake Waadhimisha siku yao kwa Kishindo ………...………...….9 Sajini Lazarus Masanja Waziri Kwandikwa amtembelea Jenerali “CHAKAZA”…………….…..10

Wandishi wa Habari Wazairi Kwandikwa atimiza ahadi ya kuwatembelea Wakuu wa Kapteni Mohamed Iddi Majeshi wastaafu…………………………………………………………………..11 Sajinitaji Subira Asukile Rais Samia atunuku Kamisheni kwa maafisa wapya………………...13

Sajini Lazarus Masanja Habari katika Picha………………………………………………………..14 –15

Sajini Peter Lusse Malenga wetu ………………………………………………………………..…...16

Wapiga Picha „Katumieni„Katumieni WelediWeledi mlioupatamlioupata Chuoni‟Chuoni‟ WaziriWaziri Kwandikwa………...18Kwandikwa………...18

Kapteni Mohamed Iddi Mjue Rais mwenye Umri Mdogo……………………………………………..19

Sajinitaji Subira Asukile Misingi ya Upigaji Picha na Matumizi yake……………………………….20 Sajini Lazarus Masanja Mahafali ya Tisa Chuo cha Taifa cha Ulinzi………………………………21 Sajini Peter Lusse Tovuti na Mitandao ya Kijamii Kapteni Mohamed Iddi Sajini Lazarus Masanja Sajini Peter Lusse Youtube - Ulinzi Channel Sajinitaji Subira Asukile Sajini Peter Lusse Graphics & Design Sajini Lazarus Masanja

3 JARIDA MTANDAONI JULAI, 2021

dugu msomaji na mpenzi wetu HISTORIA YA WIZARA YA ULINZI NA tunapenda kukukaribisha katika Toleo JESHI LA KUJENGA TAIFA letu la kwanza la Jarida Mtandaoni lijulikanalo kwa jina la ‘BURUJI NEWS’’ izara ya Ulinzi na Jeshi la Nlinalotayarishwa na kuhaririwa na kuchapishwa Kujenga Taifa ni miongoni na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini cha Wizara mwa Wizara kongwe zenye ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa. historia ndefu iliyosheheni Wmafanikio makubwa, Wizara hii ilianza Kuanzishwa kwa Jarida hili kunafungua ukurasa rasmi mara baada ya Uhuru mwaka mpya wa kuwapasha habari watanzania 1961 huku ikijulikana kwa jina la hususani watumishi waliopo chini ya Wizara WIZARA YA MAMBO YA NJE NA kujua nini kimefanyika na nini kinaendelea, ULINZI. lakini pia hata walioko nje ya Wizara yetu wa- tapata wasaa wa kujua nini tunakifanya.  Mwaka 1964 Wizara hii ilibadilish- wa jina na kuitwa WIZARA YA Kuanzishwa huku kwa Jarida hili pia kuna lengo ULINZI JKT NA VIJANA na la kupanua wigo kwa wasomaji na wasikilizaji kuhamishwa kwenda Ofisi ya wetu. Hapo awali walikuwa wakitufuatilia na Waziri Mkuu na Makamu wa Pili kutusoma ama kupitia Tovuti yetu ya Wizara wa Rais. www.modans.go.tz pamoja na Runinga Mtandao ya ‘Ulinzi Channel’.  Mwaka 1972 Wizara hii iliondole- wa Ofisi ya Waziri Mkuu na Katika kukidhi kiu na haja za wasomaji wetu, Makamu wa Pili wa Rais na kuwa Timu ya wahariri, Wandishi na wapiga picha Wizara inayojitegemea na kuitwa tamejipanga vilivyo kuhakikisha tunawafikia kwa WIZARA YA ULINZI NA JESHI LA kuwahabarisha wote popote walipo kupitia Jarida KUJENGA TAIFA. hili linalotarajiwa kuchapishwa mara moja kwa mwezi, kwa habari zilizohaririwa na kufanyiwa  Mwaka 1989 Wizara hii ilifanyiwa upembuzi yakinifu na wa kina na Wahariri wetu mabadiliko mengine kwa wabobezi. kuhamishiwa Ofisi ya Rais huku ikiendelea kuitwa WIZARA YA Jarida hili sehemu kubwa litakuwa katika ULINZI NA JESHI LA KUJENGA mtandao na nakala chache zitachapwa na TAIFA na hivyo kupelekea Waziri kusambazwa katika ofisi zetu za Wizara. wake atamkwe kama WAZIRI WA Ni matarajio yangu kuwa wasomaji na wasikilizaji NCHI KATIKA OFISI YA RAIS wetu watatuunga mkono kwa kufuatilia na kuso- ANAYESHUGHULIKIA WIZARA ma habari zetu zitakazokuwa zikichapishwa YA ULINZI NA JESHI LA kupitia Jarida hili na kisha kutoa maoni na KUJENGA TAIFA. ushauri wenye lengo la kuboresha machapisho  Mwaka 1995 Wizara hii ilifanyiwa yatakayoendelea kuchapishwa. mabadiliko tena kwa kuondolewa Kwa maoni na ushauri tafadhali wasiliana katika Ofisi ya Rais na kuwa nasi kupitia; WIZARA YA ULINZI NA JESHI LA [email protected], KUJENGA TAIFA hali inayoen- [email protected] delea hadi sasa. Katika Kipindi chote hiki Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa mambo mengi na yenye mafanikio makubwa huku ikiongozwa na Mawaziri 16 kwa DIRA YA WIZARA: nyakati tofauti, Manaibu Waziri 2 na Makatibu Wakuu Wakuu 19 Manaibu Kuwa Taasisi iliyotukuka ya kulinda na kudumisha Katibu Wakuu 4. amani na usalama wa Taifa letu. DHIMA YA WIZARA: Kwasasa Uongozi uliopo madarakani katika Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kuendelea kulinda Jamhuri ya Muungano wa Tanza- nia dhidi ya adui wa aina yoyote kutoka ndani na nje Kujenga Taifa ni Waziri ni Mheshimiwa ya nchi kwa kuhakikisha kuwa mamlaka na maslahi CPA Elias John Kwandikwa (Mb) na mapana ya nchi yetu yanakuwa salama. Katibu Mkuu ni Dkt. Faraji Kasidi Mnyepe

4 HABARI ZA KIMATAIFA JULAI, 2021

Waziri wa Ulinzi na JKT, Mheshimiwa Elias John Kwandikwa (Mb) wakipongezana na Waziri wa Ulinzi wa Msumbiji, Mheshimiwa Jaime Augusto Bessa Neto siku ya kufunga Mkutano wa Tatu wa Tume ya Kudumu ya Pamoja baina ya Tanzania na Msumbiji kuhusu Ulinzi na Usalama uliofanyika katika Ukumbi International Convention Centre (JNICC), Jijini Dar es Salaam.

Na Luteni Kanali Josephat Musira wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Bw. marisha ulinzi wa mpaka na kuanzisha Christopher Kadio, Mkuu wa Majeshi chombo maalum kitakachosaidia ahusiano baina ya Tanzania ya Ulinzi, Jenerali Venance Salvatory kupambana na uhalifu baina ya mataifa na Msumbiji yameendelea Mabeyo, Wakuu wengine wa Vyombo haya. kudumishwa katika nyanja vya Ulinzi na Usalama pamoja na mbalimbali za Ulinzi na Aidha, Tume hiyo ililaani vikali M Taasisi za Serikali. Usalama katika kubadilishana maarifa, mashambulizi ya kigaidi yaliyofanywa taarifa, mafunzo na mazoezi ya pamoja. Kwa upande wa Msumbiji katika jimbo la Cabo Delgado nchini ujumbe huo uliongozwa na Waziri wa Msumbiji, ambapo watu kadhaa wali- Hayo yamebainishwa wakati Ulinzi wa Msumbiji, Mheshimiwa poteza maisha, wengine kukimbia wa Mkutano wa Tatu cha Tume ya Jaime Augusto Bessa Neto, akiambat- makazi yao pamoja na uharibifu wa Kudumu ya Pamoja baina ya Tanzania ana na Waziri wa Mambo ya Ndani mali za umma na binafsi. Kwa kufanya na Msumbiji kuhusu Ulinzi na Usalama Mheshimiwa Amade Miquidade, Katibu hivyo, pande mbili hizi zimekubaliana (The Joint Permanent Commission on Mkuu wa Wizara ya Ulinzi wa Taifa, kushirikiana katika mapambano dhidi Defence and Security – JPCDS), kili- Bw. Casimiro Augusto Mueio na ya kikundi hiki cha kigaidi kwa ku- chofanyika katika Ukumbi Julius Nyere- viongozi wengine kutoka Taasisi za badilishana taarifa, maarifa pamoja na re International Convention Centre, Ulinzi na Usalama. mambo mengine mengi. Jijini Dar es Salaam kwa siku tatu mfululizo kuanzia tarehe 03 – 05 Juni, Mkutano huo ulipokea na Hii ni mara ya pili kwa mkuta- 2021. kujadili ripoti mbalimbali zilizowasilish- no kama huo kufanyika nchini Tanza- wa kutoka Kamati zake tatu yaani nia, Mkutano wa kwanza ulifanyika Dar Ujumbe wa Tanzania Ulinzi (Defence Committee), usalama es Salaam, Tanzania tarehe 04 - 06 uliongozwa na Waziri wa Ulinzi na JKT, wa raia (Public Security Committee) Februari, 2011 ambapo Tume hii ilian- Mheshimiwa Elias John Kwandikwa pamoja na ile ya usalama wa Taifa zishwa rasmi. Na mkutano wa pili uli- (Mb), akiambatana na Naibu Waziri wa (State Security Committee) na hati- fanyika Maputo Msumbiji tarehe 02 – Mambo ya Ndani ya Nchi, Mheshimiwa maye kupitisha maazimio yaliyohusu 04 Aprili, 2013 na mkutano ujao una- Hamza Khamis Chillo (Mb), Katibu Mkuu mafunzo na mazoezi ya pamoja baina tarajiwa kufanyika mwakani nchini wa Wizara ya Ulinzi na JKT, Dkt. Faraji ya majeshi ya nchi mbili hizi, kuonge- Msumbiji mwezi Juni kwa tarehe na Kasidi Mnyepe, Katibu Mkuu wa Wizara za shughuli za doria za mpakani, kui- mahali itakayopangwa hapo baadaye. 5 HABARI ZA NCHINI JULAI, 2021

Na Sajini Lazarus Masanja

erikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeahidi kuendelea kutatua kero na Changamoto S zinazowakabili Wafanyakazi na kuwafanya waweze kufanya kazi zao za kila siku kwa ufanisi. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tan- zania Mhe. ali- yasema hayo katika Uwanja wa CCM Kirumba alipokuwa akiwahutubia Maelfu ya Wafanyakazi katika siku ya Maadhimi- sho ya Wafanyakazi Duniani iliyofanyika Kitaifa Jijini Mwanza. “Serikali imeanza kuzitafutia ufumbuzi baadhi ya Changamoto zi- nazowakabili Wafanyakazi nchini ikiwemo Bima ya Afya ambapo kwa sasa ipo kati- ka mchakato wa kuanzisha Bima ya Afya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Hassan Suluhu kwa Wafanyakazi wote” Alisema Rais akihutubia Wafanyakazi siku ya Maadhimisho ya Sherehe za Mei Mosi Samia. Kitaifa katika uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza. Aidha, Sereikali imesikia kilio cha Wafanyakazi kuhusu ukomo wa Umri wa Tegemezi kwa ambapo kwa upande Kuhusu kupandisha Mshahara Mhe. Rais ambao wataigharimu Serikali Shilingi wa Bima ya Afya imeongeza Umri wa alisema “Mishahara haijaongezwa kwa Bilioni 449, kulipa malimbikizo Shilingi tegemezi kutoka miaka 18 hadi miaka muda mrefu kwa sababu mbalimbali iki- Bilioni 60, mabadiliko ya Kimuundo wa 21. wemo janga la ugonjwa wa Corona lakini Utumishi yatakayoigharimu Serikali Changamoto nyingine aliyoizun- nawaahidi mwakani tarehe kama ya leo Shilingi Bilioni 120 na pia kuajiri wa- guzia Mhe Rais ni makato ya Bodi ya nitapandisha Mishahara” tumishi wapya takribani elfu 40 katika Mikopo ambapo alisisitiza kuwa Serikali Mhe. Samia alisema Serikali Sekta ya Afya na Elimu, ajira hizi mpya imeamua kubakia na asilimia 15 anayo- katika mwaka mpya wa Fedha itapun- zitaigharimu Serikali Shilingi Bilioni katwa mdaiwa kwenye mshahara wake guza Kodi na kufuta tozo mbalimbali kwa 239”. na Serikali imefuta asilimia 6 iliyokuwa wafanyakazi. Akihitimisha Hotuba yake inakatwa kama adhabu kwa mdaiwa. “Tunakwenda kuboresha maslahi kwenye Mhe. Rais Samia alisema Jitihada hizi Mhe. Rais Samia pia amewasihi wanufai- mwaka ujao wa fedha ikiwemo kupandi- na nyinginezo zitasaidia kuwapunguzia ka wa mikopo hiyo kuendelea kulipa sha vyeo watumishi elfu 85mpaka elfu 91 Wafanyakazi ugumu wa Maisha. madeni hayo.

Sehemu ya Wafanyakazi wa Wizara mbalimbali wakiwemo wa Wizara ya Ulinzi na JKT wakipita mbele ya mgeni Rasmi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Hassan Suluhu siku ya Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi) iliyofanyika katika Uwanja wa CCM Kirumba Mwanza.

6 HABARI ZA NCHINI JULAI, 2021

Waziri Kwandikwa Ainisha Vipaumbe vya Wizara ya Ulinzi na JKT Alipokuwa akiwasilisha Bajeti ya Wizara Bungeni

Waziri wa Ulinzi na JKT, Mheshimiwa Elias John Kwandikwa (Mb) akiwasilisha Madirio ya Mapato na Matuzi ya Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa kwa Mwaka wa Fedha 2021/2022.

Na Luteni Kanali Josephat Musira za jitihada za utatuzi wa changa- Mheshimiwa Kwandikwa ames- aziri wa Ulinzi na Jeshi la moto za mipaka ya nchi yetu na ema Dira ya Wizara ni kuendelea Kujenga Taifa, Elias John nchi jirani; Kuboresha mazingira ya kuwa Taasisi iliyotukuka ya kulinda Kwandikwa (mb), kazi, makazi na kuimarisha upatika- na kudumisha amani na usalama wa ameainisha vipaumbele naji wa huduma stahiki na Kuen- Taifa letu. Aidha, Dhima ya Wizara W delea kujenga uwezo wa Jeshi la ni kuendelea kulinda Jamhuri ya vya wizara yake kwa Mwaka wa Fedha ujao wa 2021/2022. Kujenga Taifa kwa zana na vifaa Muungano wa Tanzania dhidi ya adui Mheshimiwa Kwandikwa vya kilimo ili liweze kujitosheleza wa aina yoyote kutoka ndani na nje ameyasema hayo alipokuwa akiwasi- kwa chakula na kuboresha miun- ya nchi kwa kuhakikisha kuwa mam- lisha Bungeni Hotuba ya Bajeti ya dombinu katika vikosi ili liweze laka na maslahi mapana ya nchi yetu Wizara yake kwa Mwaka Fedha kuchukua vijana wengi zaidi. yanakuwa salama. 2021/2022 tarehe 21 Mei, 2021 am- Maeneo mengine aliyoyain- Na mwisho, Mheshimiwa bapo pamoja na mambo mengine isha ni pamoja na Kuendeleza tafiti Waziri alimaliza kwa kubainisha ku- amesema, Mpango wa Wizara ya na uhawilishaji wa teknolojia kwa wa, katika kufanikisha Dira na Dhima, Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa katika ajili ya kuzalisha bidhaa na huduma Malengo ya Wizara yameendelea ku- Mwaka wa Fedha 2021/2022 ni ku- kwa matumizi ya kijeshi na kiraia; wa na Jeshi dogo lenye wataalamu, tekeleza majukumu yake kwa ufanisi Kuimarisha na kuratibu Mafunzo ya zana na vifaa vya kisasa; Kuendelea na ufasaha kulingana na Dira na Dhi- Jeshi la Akiba; Kuimarisha kuwapa Vijana wa Kitanzania ukaka- ma ya Wizara. ushirikiano na Jumuiya za Kimataifa, mavu, maadili mema, utaifa, moyo Mheshimiwa Waziri amesema Kikanda na nchi moja moja katika wa uzalendo na uwezo wa ku- Mwelekeo wa shughuli zinazokusudi- nyanja za kijeshi na kiulinzi; Kuen- jitegemea; Kujenga uwezo katika wa kufanyika katika Mwaka wa Fedha delea kushirikiana na Mamlaka za tafiti mbalimbali na uhawilishaji wa 2021/2022 utazingatia maeneo ya Kiraia; na Kufanya upimaji, uthamini teknolojia kwa matumizi ya Kijeshi na kipaumbele yakiwemo: Kuliimarisha na ulipaji fidia ya ardhi katika mae- Kiraia; Kuimarisha Jeshi la Akiba; Jeshi kwa kulipatia zana na vifaa vya neo yaliyotwaliwa kwa ajili ya ma- Kusaidia Mamlaka za Kiraia; na kisasa, mawasiliano, rasilimali watu tumizi ya jeshi. Kudumisha amani na usalama kwa pamoja na kutoa mafunzo; Kuendele- Aidha, Kuhusu Dira na dhi- kushirikiana na nchi ma ya Wizara ya Ulinzi na JKT, nyingine duniani. 7 JARIDA LA MTANDAONI JULAI, 2021

6 JULAI, 2021 HABARI ZA NCHINI

Na Sajinitaji Subira Asukile tunaweza na tuna nguvu na ndiyo mawaziri nyesha uwezo, maarifa na juhudi zetu wakuu wa kaya zetu zote, hivyo kila mwa- kwa maslahi mapana ya Taifa letu, tus- namke ajue kuwa yeye ni Kiongozi. ikubali kutumika kwa namna nyingine achi 8, 2021 ni Siku ya Wana- Amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muun- itakayotufanya kuonyesha udhaifu na wake Dunian ambapo Wana- gano wa Tanzania na Serikali yake kwa kusababisha matokeo mabaya ya wake wa Mkoa wa Dodoma wali- kuwaamini wanawake katika maeneo utendaji kazi”. M jitokeza kwa wingi na kuungana mengi muhimu serikalini, kwa upande wa Amepongeza Halmashauri ya Wilaya ya na Wanawake wengine duniani kote kuad- Elimu Wilaya ya Bahi ina wanafunzi 56 elfu Bahi kwa utekelezaji wa mkakati wa himisha siku ya Wanawake duniani kwa shule za Msingi 72, kati ya hao zaidi ya serikali kuyawezesha makundi maalum maadhimisho ambayo yalifanyika katika asilimia 55% ni watoto wa kike, hali hii ambayo ni wanawake, vijana na

Baadhi ya watumishi wa Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa katika picha ya pamoja siku ya maadhimisho ya Wanawake Duniani Kimkoa Wilayani Bahi Dodoma. walemavu kwa mapato yake ya ndani Wilaya ya Bahi Mkoani Dodoma. inasisimua na inatuambia tunaenda kwenye kwa asilimia 10%, Bahi imeweza kutoa Kila mwaka siku hii maalum ya wanawake mageuzi, katika Uongozi Kiongozi mkuu wa mikopo ya Sh. Milion 102.9 kwa vikundi duniani inakumbusha umuhimu wa mwa- Serikali wa Wilaya ni mwanamke, Mku- 72 ambapo vikundi 56 ni wanawake, namke katika jamii, kwa mambo mengi rugenzi mtendaji ni mwanamke na idara ambao wanaongoza kurejesha fedha yafanywa na mwanamke katika Nyanja tatu zinaongozwa na wanawake ikiwemo hizo kwa kuwa wamekuwa vizuri mbalimbali hususani kiuchumi, kisiasa na idara ya manunuzi ni wanawake wanaofan- kiuchumi na wanaendelea na ujasiliama- kijamii. ya kazi vizuri kwa uaminifu,hivyo tunahesh- li. Sherehe hii kwa Mkoa wa Dodoma iliambat- imu tumepewa nafasi, Agenda yetu kubwa Sherehe hizo zilihudhuriwa pia na Katibu ana na shamrashara ambazo zilifanyika ni lazima kuonyesha wanawake tunaweza, Mkuu wa Jumuiya ya Wanawake CCM- katika Wilaya ya Bahi ambapo mgeni rasmi na kwa mwaka huu Bahi imekuwa ya Taifa (UWT)Taifa, Mama Qeen Mulozi katika Maadhimisho hayo alikuwa Mkuu wa kwanza katika ufaulu wa watoto wa shule ambaye alisisitiza wanawake viongozi Wilaya ya Bahi Bi.Mwanahamisi Munkunda ya msingi Mkoani Dodoma. kuwashika mkono wanawake wengine ambapo Maadhimisho hayo yalichagizwa na Naye Mkuu wa Wilaya Bi. Mwanahamisi walioko ngazi zote, Mkuu wa Wilaya Kauli Mbiu isemayo “Wanawake katika Munkunda ambaye ndie Mgeni rasmi ames- Dodoma Mjini, viongozi wa Serikali, Uongozi ni chachu ya kufikia Dunia ema “Serikali inamkakati wa kuwawezesha Viongozi wa Vyama, viongozi wa taasisi yenye usawa”. wanawake kushiriki na kupewa madaraka mbalimbali na wadau wengine wa wana- Akitoa taarifa fupi ya wilaya ya Bahi katika makubwa na majukumu muhimu katika wake Mkoa wa Dodoma wameshiriki siku hiyo ya wanawake duniani, Mkurugenzi serikali ya awamu ya Sita kwa kuwa maadhimisho hayo. Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Bahi inawaamini wanawake, hivyo hatuna budi Dkt. Fatuma Mganga alisema “Wanawake wanawake kufanya kazi kwa bidii na kuo-

9 HABARI ZA NCHINI JULAI, 2021 Waziri Kwandikwa amtembelea Jenerali ‘CHAKAZA’

David Bugozi Musuguri Jenerali (Mstaafu ) Na Kapteni Mohamed Idd

uwezi kumsimulia Jenerali Katika ziara hii Waziri Kwandikwa alitu- Kagera na kushusha bendera mstaafu David Bugozi Musuguri mia wasaa huo kumkabidhi gari mpya ya Tanzania na kupandisha ya Uganda bila kuelezea Vita ya Kagera, aina ya Toyota Land Cruiser VXR kwa ajili huku akiitangazia Dunia kuwa sehemu H vita ambayo aliiongoza kupam- ya Matumizi yake ya kila siku. hiyo ni mali ya Uganda. bana na Iddi Amin Dada na kumpa jina Akizungumza wakati wakati wa Hapa ndipo Hayati Baba wa maarufu la Jenerali Chakaza. maongezi yao Waziri Kwandikwa Alisema Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nye- Kwakutambua mchango wake “nimejiwekea utaratibu wa kuwatem- rere akiwa Rais wa Jamhuri ya Muun- mkubwa kwa Taifa hili hivi karibuni Wa- belea Wastaafu hususani waliowahi gano wa Tanzania alipotangaza Vita ziri wa Ulinzi na JKT Mheshimiwa Elias kushika Wadhifa mkubwa Jeshini ambapo na Majeshi yetu ya Ulinzi yakiongozwa John Kwandikwa (Mb) alifanya ziara ya kwa kuanza nitatembelea Wakuu wa na Jenerali Musuguri kwa jina maarufu kumtembelea Mkuu huyo wa Majeshi Majeshi wastaafu ili niweze kuwaona, la Jenerali CHAKAZA. kuwajulia hali na waweze kunipa historia Mstaafu Jeneral David Bugozi Musuguri Hakika Jenerali CHAKAZA ya wapi tulipotoka, kwani hawa ni watu nyumbani kwake Butiana Mkoani Mara. alimchakaza Nduli Iddi Amin na kum- muhimu ambao wamelipigania taifa na fanya akimbilie Libya ambako aliishi Katika ziara hii Waziri Jeshi hili na kulifanya kuwa Jeshi la mfa- mpaka alipofariki. Kwandikwa alipata nafasi ya kumjulia hali no la kuigwa Barani Afrika na Duniani kwa mara ya kwanza tangu alipoapishwa kote. Jenerali Davidi Bugozi kuwa Waziri wa Ulinzi na JKT ambapo Musuguli alikuwa Mkuu wa Majeshi wa Wakati wa Vita ya Kagera iliyo- pamoja na mambo mengine alipata tatu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa husisha Majeshi ya Tanzania na Majeshi wasaa wa kuongea naye mambo mbalim- Tanzania JWTZ kuanzia mwaka 1980- ya Nduli Iddi Amin Dada wa Uganda am- bali na kubadilishana mawazo. hadi 1988. bapo mwaka 1978 Iddi Amin alivamia Hii ni ziara ya kwanza ku- watembelea waliowahi kuwa Wakuu wa Majeshi ya ulinzi kwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhesh- imiwa Elias John Kwandikwa tangu iingie madarakani.

Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga taifa Mheshimiwa Elias John Kwandikwa aki- wa nyumbani kwa Jenerali Mstaafu Da- vidi Musuguli alipomtembelea nyumbani kwake kumjulia hali

10 HABARI ZA NCHINI JULAI, 2021

Waziri Kwandikwa amtembelea Waziri Kwandikwa atimiza ahadi yake Jenerali ‘CHAKAZA’ Kuwatembelea Wakuu wa Majeshi Wastafu Jijini Dar es Salaam. Akiwa nyumbani kwa Jenerali (Mstaafu) Robert Mboma Mhe. Kwandikwa alisema licha ya kustaafu Majenerali hawa bado ni sehemu ya familia ya Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa kwa maana hiyo. “Licha ya kustaafu bado ninyi ni sehemu ya familia yetu, tukiwatembelea tunapata fursa ya kufungua mawasiliano kwa lengo la kutatua changamoto zilizopo”Alisema Waziri Kwandikwa.Naye Jenerali (Mstaafu) Robert Mboma alisema viongozi wanapowatembelea nao wanapata Waziri wa Ulinzi na JKT Mhe. Elias Kwandikwa(Mb) kushoto akiwa fursa ya kuongea. nyumbani kwa Mkuu wa Majeshi (Mstaafu) Jenerali Davis Mwamunyange “Mkitutembelea nasi tuna- siku alipomtembelea . pata fursa ya kuongea na kushauri baadhi ya mambo ambayo ni muhi- Na Luteni Kanali Josephat Musira wastaafu kuwajulia hali kwani kwa kufanya hivyo ni heshima kubwa mu kwa Taifa letu” Alisema Jenerali Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga kwao. (Mstaafu) Mboma. Taifa Mhe. Elias John Kwandikwa “Ni heshima kwetu ku- Ziara hii ya Mhe. Waziri ni (Mb) mwanzoni mwa Mwezi Julai tutembelea na kutujulia hali, kwakweli muendelezo wa Ziara zake za ku- alifanya ziara ya kuwatembelea tumepata faraja kubwa saana” watembelea Wakuu wa Majeshi Wakuu wa Majeshi wastaafu wali- Alisema Jenerali (Mstaafu) wastaafu ambapo ziara ya kwanza oko Dar es Salaam kama alivyoku- Mwamunyange aliifanya Wilayani Butiama ali- wa ameahidi hapo awali. Wakati huo huo Mhe. Waziri pomtembelea Jenerali (Mstaafu) Wa kwanza kutembelewa Kwandikwa amemtembelea Jenerali David Bugozi Musuguri na baadaye na Mhe. Waziri alikuwa ni Jenerali (Mstaafu) Robert Philimon Mboma Jenerali (Mstaafu) Mirisho Samhagai Davis Adolf Mwamunyange; Akiwa nyumbani kwake eneo la Tangi Bovu Sarakikya. nyumbani kwa Jenerali (Mstaafu) Mwamnyange katika Mitaa ya Kilongawima Jijini Dar es Salaam Mhe. Kwandikwa alisema amea- mua kufanya ziara za kuwatem- belea Wastaafu hawa ili kuwajulia hali na kwakutambua mchango wao mkubwa waliotoa kwa Jeshi letu tangu kuanzishwa kwake. “Tangu kuanzishwa kwa Jeshi letu tumeendelea kupata mafanikio makubwa kutokana na mchango wenu wa kuwafun- disha, kuwatayarisha na kuwasu- ka Wanajeshi wetu ambao wamekuwa wakifanya kazi nzuri” Alisema Waziri Kwandikwa. Kwa upande wake Jenerali (Mstaafu) Adolf Mwamnyange alimpongeza Mhe. Waziri Kwandikwa kwa uamuzi wake wa kutenga muda wake ku- Waziri wa Ulinzi na JKT Mhe. Elias Kwandikwa akiwa na Mkuu wa Majeshi mstaafu watembelea Wakuu wa Majeshi Jenerali (Mstaafu) Robert Mbomba alipomtembelea nyumbani kwake TangiBovu Jijini Dar es Salaam. 11 JARIDA LA MTANDAONI JULAI, 2021

11 HABARI ZA NCHINI JULAI, 2021 Rais Samia Atunuku Kamisheni kwa Maafisa Wapya

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Hassan Suluhu akitunuku Kamisheni maafisa wapya katika Vi- wanja vya Ikulu Chamwino Jijini Dodoma, pembeni ni maafisa wapya wakila kiapo cha Utii kwa Amiri Jeshi Mkuu

Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa 2 Tanzania Toleo la mwaka 1977 na Na Sajini Lazarus Masanja Jukumu la msingi la Chuo cha Maafisa kifungu cha 29 (5) ya Sheria ya wanafunzi Monduli ni kufundisha likuwa Aprili 17 2021 ambapo Ulinzi wa Taifa ya mwaka 1966. Maafisa wanafunzi (Officer Cadets) Historia ya Tanzania iliandikwa Akitoa taarifa fupi kwa Rais kuhusu kwa weledi na viwango vinavyo hitaji- baada ya Rais wa Jamhuri ya mafunzo, Mkuu wa Chuo cha ka kimataifa watakao kuwa tayari kuli- Muungano wa Tanzania na Amiri Maafisa, Brigedia Jenerali Jackson tumikia Jeshi na kulinda maslahi I Jairos Mwaseba alisema Jumla ya Jeshi Mkuu, Mheshimiwa Samia Suluhu mapana ya nchi yetu. Hassan kutunuku Kamisheni kwa wanafunzi wanaotarajia kupata Chuo ambacho kilianzishwa Maafisa wapya katika viwanja vya Ikulu kamisheni ni 386 kati yao 51 ni mwaka 1969 kama shule ya Maafisa ya Chamwino Jijini Dodoma. wanawake na wanaume 335 miongo- wanafunzi Kurasini huko Dar es sa- Sherehe hizo za Kamisheni zilifanyika ni mwao wapo Maafisa wanafunzi 17 laam ambacho kwa sasa ni Chuo Cha kwa mara ya kwanza jijini Dodoma ambao wamepata mafunzo kutoka Maafisa wa polisi. Makao Makuu ya nchi kabla ya hapo Nchi rafiki wakiwemo 1 kutoka Bu- Kabla ya kuanzishwa kwake sherehe hizi zilikuwa zikifanyika chuoni rundi, 2 kutoka China, 4 kutoka In- Maafisa wa Jeshi letu walikuwa – Monduli Mkoani Arusha kabla ya ku- dia, 5 kutoka Kenya, 1 kutoka Ma- wakipata mafunzo katika nchi mbalim- hamishiwa viwanja vya Ikulu - Dar es rekani, 2 kutoka Morocco,na 2 kuto- bali zikiwemo Canada, Ethiopia, India, Salaam. ka Ujerumani. Israel, Misri, Pakistan, Sudan, Uinger- Kabla ya kutunuku Kamisheni, Pia kuna wahitimu waliopata za na Urusi. Kutokana na kukua kwa Mheshimiwa Samia alipokea salamu ya mafunzo yao hapa Nchini kutoka Jeshi na kuongezeka majukumu ya heshima kwa Rais na kisha kukagua Nchi rafiki wakiwemo 2 kutoka Falme utendaji, umuhimu wa kuwaa na gwaride lililoandaliwa na Chuo cha za Eswatini na 5 kutoka Jamhuri ya maafisa waliofunzwa kwa kufuata Maafisa- Monduli chini ya usimamizi wa Kenya. Mafunzo hayo yamefanywa maadili ya Nchi yetu, kuliweka msuku- Mkuu wa Chuo hicho, Brigedia Jenerali kwa kushirikiana na Chuo cha Uhasi- mo wa kuanzisha chuo cha Maafisa Jairos Jacob Mwaseba. bu Arusha ambacho kinaipa hadhi ya wanafunzi kilichozinduliwa rasmi Mheshimiwa Rais na Amiri chuo cha Monduli kutoa Shahada tarehe 6 Februali 1969 na aliyekuwa Jeshi Mkuu ametunuku Kamisheni kwa kwa mwongozo wa TCU na NACTE. Rais wa Kwanza wa Jamhuri ya Muun- mara ya kwanza tangu aapishwe rasmi Mafunzo hayo yaligawanyika katika gano wa Tanzania, na Amiri jeshi tarehe 19 Machi, 2021 kuwa Rais wa makundi makuu mawili; moja likiwa mkuu Hayati Mwalimu Julias Kam- Awamu ya Sita kufuatia kifo cha Rais ni Kundi la 68 kozi ya Kawaida barage Nyerere na kuhamishiwa MON- wa Awamu ya Tano, Hayati John Pom- (Regular Course) mafunzo yaliyodu- DULI-ARUSHA Septemba 1976. Chuo be Joseph Magufuli kilichotokea tarehe mu kwa kipindi cha mwaka mmoja cha Kijeshi-Monduli kinaendelea 17 Machi, 2021 katika Hospitali ya yaliyoanza mwaka 2020, Kundi la Pili kudumisha kauli mbiu yake “DAIMA Mzena jijini Dar es Salaam. ni wale wa Shahada ya Sayansi ya MBELE”. Rais amepewa madaraka ya kutunuku kijeshi (Bachelor of Military Science) Kamisheni na ibara ya 148 (2)(a) ya 1/17 mafunzo yaliyodumu kwa kipin- di cha miaka mitatu kuanzia mwaka 13 HABARI KATIKA PICHA JULAI, 2021

Jaji Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Frof. Ibrahim Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hamis Juma akimuapisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Hassan akikagua gwaride maalumu katika viwanja vya Ikulu’ Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan Ikulu Dar es Salaam. Jijini Dar es Salaam muda mfupi baada ya kuapishwa.

Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Katibu Mkuu Wizara ya Ulinzi na JKT Dkt. Faraji Mnyepe Usalama (NUU) Mhe. Mussa Azzan Zungu akiwa ameambatana akielezea jambo wakati wa Mkutano wa Tatu wa Tume ya Kudu- na Kamati yake pamoja Waziri wa Ulinzi na JKT Mhe. Elias mu ya Pamoja baina ya Tanzania na Msumbiji kuhusu Ulinzi na Kwandikwa (Mb) walipotembelea Chuo Cha Mafunzo ya Kijeshi - Usalama (The Joint Permanent Commission on Defence and Secu- Monduli Jijini Arusha . rity Convention Centre – JPCDS), kilichofanyika katika Ukumbi wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam.

Waziri wa Ulinzi na JKT Mhe. Elias Kwandikwa(Mb) akiwasili Waziri wa Ulinzi na JKT Mhe. Elias Kwandikwa(Mb) akisalimiana katika Mahafali ya 35/20 katika Chuo cha Ukamanda nana Maafisa wa Vikosi vya Base ya Shinyanga alipofanya ziara Unadhimu (CSC) Duluti Jijini Arusha. Mkoani humo hivi karibuni

14 HABARI KATIKA PICHA JULAI, 2021

Vijana wa Jeshi la Kujenga Taifa (Service Girl) wakifanya usafi Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe. Elias Kwandikwa katika Kitalu cha Miche ya Michikichi katika Kikosi cha Bulombola Kigoma, pembeni ni kiongozi wao Sajini taji Mushi. (Mb) akiwa na mgeni wake Mkuu wa Majeshi ya Rwanda Jenerali Jean Bosco Kazura (kulia) alipotembelea nchini kulia ni Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi nchini Jenerali Venance Mabeyo.

Waziri wa Ulinzi na JKT Mhe. Elias Kwandikwa(Mb) na Katibu Mkuu Wizara ya Ulinzi na JKT Dkt. Faraji Mnyepe katika picha Watumishi wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya pamoja na Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi la Wizara waliohudhuria mafunzo ya JKT katika Kikosi cha JKT- hiyo Magadu Mess Morogoro. Makutupora hivi karibuni

Mkuu wa Utumishi Jeshini Meja Jenerali Paul Kisesa Simuli Kamishna wa Sera na Mipango Wizara ya Ulinzi na JKT Bw. Akikagua Gwaride Rasmi Lililoandaliwa na Askari wapya Kundi Obed Sayore akimkadhi zawadi Bi. Mariam Mwinjuma ali- Maalum 05/21 Wakati wa Kufunga Mafunzo hayo Katika Shule yekuwa akifanyia kazi katika Idara yake katika hafla fupi ya ya Mafunzo ya Awali ya Kijeshi RTS– Kihangaiko Mkoani Pwani. kumuaga baada ya kustaafu, Sherehe hiyo iliyofanyika katika Hoteli ya Simba Jijini Dodoma. 15 MASHAIRI JULAI, 2021 Malenga wetu

KIBURI NYUMBA YA GIZA KILA LA KHERI KWANDIKWA 1. Mwanadamu hasifiki, Ushupavu na Kiburi, Kiburi huzaa chuki, majitapo si mazuri, 1. Ndimi sauti ya Lugha, naja kwenu wasifika, Ulimwengu hautaki, jambo lenye taksini, Nikiwa nayo furaha, kusema ya kusikika, Dawa Mirungi hatari, Wanajeshi tuyakane. Pasi kuwa na karaha, kunena ya kutukuka, Kila la kheri Kwandikwa, kwa yote unayotenda. 2. Si wajibu upasao,Vilema kuvikasiri, Hujajua maishao, Viweje yatashamiri, 2. Hakika nimeamua, kutoa yalo moyoni, Anayedharau hayo, Mwisho wake hula mori, Yaweze kusisimua, kwa wote wanazuoni, Dawa Mirungi hatari, Wanajeshi tuyakane. Nipate japo pumua, pamoja na ahueni, Kila la kheri Kwandikwa, kwa yote unayotenda. 3. Moyo unahangaika, Sijui nifanye nini, Kama ndege ningeruka,Kituo chngu Kambini, 3. Ni mengi twajionea, tangu ushike kijiti, Silaha ningejitwika, Kituo change Kambini, Mazuri watutendea, ukiwa hapa ulinzi, Dawa Mirungi hatari, Wanajeshi tuyakane. Mambo kadha yasogea, aliyoasisi Mwinyi, Kila la kheri Kwandikwa, kwa yote unayotenda. 4. Mimi Siro namba wani, Kila ninapomuwazia, Maisha kuyathamini, na mbinu zenye sheria, 4. Ni mengi ya kukumbuka, aliyoyaacha Mwinyi, Tumkabidhi manani, Juhudi nguvu na nia, Salama yaimarika, nayo mipaka ulinzi, Dawa Mirungi hatari, Wanajeshi tuyakane. Wanajeshi kutosumbuka, maslahi wayaenzi, Kila la kheri Kwandikwa, kwa yote unayotenda. 5. Tumela Jeshi imara, limeweza kuzuwia, Kwa vitendo na busara, Unyoofu na tabia, 5. Mazoezi na mafunzo, hakika vyatekelezwa, Sio Jeshi la ujura, Litwishwe na kula dawa, Nadharia kwa vitendo, pamoja vinafundishwa, Dawa Mirungi hatari, Wanajeshi tuyakane. Shule pamoja na vyuo, navyo vinaimarishwa, Kila la kheri Kwandikwa, kwa yote unayotenda. 6. Japo niko mbali nanyi, Kufika kila Kikosi, Ninao wenge rafiki, Kwa maandiko nipateni, 6. Nayo malezi vijana, hakika hukuyasaza, Teja hasiwe Jeshini, Neleza wazi wazi, Jeshi Kujenga Taifa, malezi kuyasambaza, Dawa Mirungi hatari, Wanajeshi tuyakane. Nayo mali kuzalisha, nao ulinzi Taifa, Kila la kheri Kwandikwa, kwa yote unayotenda. 7. Makamanda ngazi zote, Seksheni kuanzia, Hii vita yetu sote, Hadi ngazi ya Taifa, 7. Mahusiano kujenga, mataifa duniani, Watenda tuwamulike, Biashara kukomesha, Amani inadumishwa, kwa nchi zisizo amani, Dawa Mirungi hatari, Wanajeshi tuyakane. Askari Makamanda, kwa ustadi washiriki, Kila la kheri Kwandikwa, kwa yote unayotenda. 8. Nimelia vyakutosha, Nitoe mapendekezo, Tuanze sema yatosha, Tena tuache mchezo, 7. Kuhawilisha tekno, watekelezwa kwa kina, Wengi waweza pisha, Tuzingatie vigezo, Nayo ya msingi mazao, kwa wingi yanazalishwa, Dawa Mirungi hatari, Wanajeshi tuyakane. Kwa kuchangia mapato, mashirika yasimamia, Kila la kheri Kwandikwa, kwa yote unayotenda. Sgt Joseph Isaka Siro (Mshika Pembe Mkuu) 9. Changamoto za bajeti, zote unazikabili, S.L.P. 928 Wazitatua kwa dhati, nasi pia twakubali, Pangawe, MOROGORO. Pasipo na kizingiti, tuweze kufika mbali, Kila la kheri Kwandikwa, kwa yote unayotenda.

10. Nashusha yangu kalamu, niweze kupumzika, Yabaki yalo muhimu, na yenye kuheshimika, Nao muda umetimu, maneno kupunguzika, Kila la kheri Kwandikwa, kwa yote unayotenda.

Luteni Kanali Josephat M. Musira, (Sauti ya Lugha) Sanduku la Posta 2924 Dodoma

16

HABARI ZA NCHINI JULAI, 2021 ‘Katumieni Weledi mlioupata Chuoni’ Waziri Kwandikwa Awaasa Wahitimu wa Ukamanda na Unadhimu-CSC

Na Sajinitaji Subira Asukile aziri wa Ulinzi na Jeshi la kiuchumi, kisiasa, kijamii na ki- sambamba na maarifa vyote Kujenga na Taifa Mhe. jeshi, yanayoleta changamoto za hivi vibaki katika fahamu na akili Elias John Kwandikwa Ulinzi na Usalama duni- zenu kuwa ni mtaji wa uwajibi- W (Mb) amewataka ani,wanatakiwa pia kuendana na kaji. Nendeni mkayatumie kwa Maafisa wakuu wanaobahatika ku- kasi ya mabadiliko hayo” Alisema faida ya nchi zenu” alitanabaisha Waziri Kwandikwa. Waziri Kwandikwa kwa wahitmu. Waziri pia pongezi kwa Kundi 35/20 limeju- Mkuu wa chuo hicho Brigedia muisha wahitimu kutoka Nchi Jenerali Silvester Ghuliku saba (7) ukianza na Tanzania kwakufanikisha mafunzo hayo kwa wenyewe, Falme ya Eswatini, maafisa Wakuu hao na pia aka- , Misri, Kenya, Malawi na kipongeza Chuo cha Uhasibu Uganda. Arusha kwa kushiriki katika kutoa mafunzo ya kimkakati ya Ukaman- Nchi za Afrika zimekuwa da na Unadhimu. Pia akawaponge- wadau wakubwa kwa kuleta za Wahitimu kwa kutimiza ndoto Maafisa Wakuu wa Majeshi yao zao kumaliza na kufuzu mafunzo ili kupata mafunzo ya Kimkakati hayo. ya Ukamanda na Unadhimu, hii inatokana na Ubora wa mafunzo Chuo cha Ukamanda cha yanayotolewa na Chuo hiki nchi- Unadhimu tangu kuanzishwa ni hapa kwake kililenga kutoa ujuzi na maarifa ya Kijeshi kwa majukumu Chuo cha Ukamanda na ya ngazi za juu kwa Maafisa Unadhimu (CSC) kilichopo Duluti Wakuu huku kikilenga kuleta Jijini Arusha, tangu kuanzishwa uwajibikaji makini, uamuzi sahihi kwake mwaka 1979 miezi na utatuzi wa migogoro bila ku- michache baada ya kumalizika tumia nguvu, kuwa na mahusiano kwa Vita ya Kagera, kimeendelea pata Mafunzo ya Ukamanda na na ushirikiano mzuri Kimataifa. kuwa na rekodi nzuri na kubaki Unadhimu (CSC) Duluti, kutumia kuwa Kitovu cha Ujuzi na vizuri maarifa na ujuzi wanaoupata “Mmepata ujuzi mkubwa Maarifa ya Kijeshi Afrika ili kuleta tija kiutendaji na mahitajio mapya ya Kijeshi Mashariki na Afrika nzima. katika nyadhifa zao kijeshi. Waziri Kwandikwa aliyasema hayo Juni 19, 2021 katika Mahafali ya Chuo hicho alipokuwa mgeni rasmi ambaye pamoja na mambo men- gine alifunga mafunzo ya Ukamanda na Unadhimu Kundi 35/20 katika Chuo cha Ukamanda na Unadhi- mu (CSC) Duluti Jijin Arusha. Mafunzo yaliyodu- mu kwa muda wa mwaka mmoja. “Maarifa na ujuzi wa Kijeshi unaotolewa hapa kwa Maafisa wakuu wa Jeshi, mara zote umekuwa ukileta tija katika utendaji kazi kwa nyadhifa wanazokwenda kuzitu- mikia, hasa kwa wakati huu wa mabadiliko ya Wakuu wa Bodi ya Chuo cha Ukamanda na Unadhimu siku ya Mahafali Chuoni hapo

18 HABARI ZA KIMATAIFA JULAI, 2021

`

Alikuwa Rais Akiwa na Umri wa Miaka 25 Rekodi yake bado haijavunjwa Alikuwa Rais kati ya Mwaka 1992-1996 Akiwa na Cheo cha Kapteni

Na Kapteni Mohamed Idd ya Foday Sankoh. Serikali ya Sierra Leone alentine Melvine Strasser kwa jina walishindwa kuwalipa wanajeshi mishahara maarufu alijulikana kama Valen- kwa wakati na kupelekea wanajeshi tine Strasser ni Rais ambaye ali- waliongozwa na kapteni Strasser kuanda- wahi kutawala akiwa na umri wa V mana kuelekea mji Mkuu wa Freetown miaka 25 nchini Sierra Leone. Valentine wakiwa wamevaa sare za kijeshi. Strasser alizaliwa tarehe 26 Aprili, 1967 Waandamanaji walikuwa wanadai Mjini Freetown Nchini Sierra Leone, akitokea malipo ya malimbikizo ya Mishahara na kwenye kabila Creole linalopatikana kusahauliwa kwao wakati wapo uwanja wa mashariki mwa mji mkuu wa Sierra Leone. vita dhidi ya RUF chini ya Foday Sankoh. Wakati strasser anazaliwa Sierra Leone Kundi hii lililongozwa na Strasser akiwa na ilikuwa nchi inayoongozwa kwa mvumo wa shida na dhihaka nyingi kutoka kwa watu Kapteni Sahr Sandy na Sajini Solomon Mu- Serikali ya Kibunge. mbalimbali na wengine walimuita Rais sa, maandamano ya askari katika mji wa Valentine Strasser alipata elimu maskini kuliko wote Duniani. Mkuu Freetown yalipelekea Rais Momoh katika shule za kidini za Kianglikana hadi Kwa Bahati nzuri waswahili kukimbilia uhamishoni katika mji wa Cona- kufikia mwaka 1985 alihitimu masomo ya wanasema kabla ya hujafa haujaumbia kry nchini Guinea. Sekondari katika shule ya Grammar iliyopo Strasser ameishi kwa shida lakini baada ya Hali hii ikapelekea Valentine Freetown akiwa na umri wa Miaka 18. dhiki ni faraja. Rafiki yake Brigedia Jenerali Strasser kushika madaraka akiwa na Umri Strasser wakati anahitimu Shule ya Sek- aliyempindua mwaka1996 mdogo wa miaka 25 na kuwa Rais mdogo ondari alikuwa Mwanafunzi bora katika naye hakudumu katika nafasi hiyo aliyodu- kuliko wote Duniani kwa Wakati huo, pia masomo ya Sayansi na Hesabati. mu kwa takriban miezi miwili kuanzia Janu- rekodi yake haijawahi kuvunjwa na kiongozi Wakati anamaliza masomo yake ari 16, 1996 hadi Machi 29, 1996 naye yeyote aliyewahi kushika madaraka akiwa ya sekondari alipata bahati ya Kuandikish- akapinduliwa. Mabadiliko ya kisiasa chini ya Umri wa Valentine Strasser. wa Jeshi la Ulinzi la Sierra Leone akiwa na yakafanyika nchini Sierra Leone na Strasser alikuwa kiongozi wa Serikali ya Umri wa Miaka 19. Baada ya kuhitimu ma- kupelekea Uchanguzi huru wa Mwaka 2018 Mpito ya Kijeshi ya Sierra Leone kati ya funzo ya awali ya kijeshi Valentine Strasser wa vyama vingi vya kisiasa na kupelekea mwaka 1992 hadi kufikia mwaka 1996 ali- alipata tena nafasi ya kujiunga na mafunzo Brigedia Julius Maada Bio kuwa Rais kuto- popinduliwa na washirika wake wa karibu ya Uafisa mwanafunzi katika Chuo cha ka kwenye muunganiko wa vyama vya wakiongozwa na Msaidizi wake Brigedia Maafisa wa Kijeshi Benguema nje kidogo Upinzani. Jenerali Julius Maada Bio, kwa kushirikiana mwa Mji wa Freetown. Rais Maada Bio wakati wa na Kanali Tom Nyuma, Kapteni Komba Baada ya kuhitimu na kutunukiwa kampeni za Uchaguzi wa Mwaka 2018 Mondeh ambao hawakufurahishwa na Kamisheni na Kuwa Afisa wa Jeshi, alipan- moja ya ahadi yake kwa wananchi wa uongozi wake jinsi alivyoshughulikia masu- giwa kufanya kazi katika kambi ya kijeshi Sierra Leone ni kumuangalia tena Kapteni ala ya amani katika kurudisha utawala wa ya Daru Wilayani Kailahun Mashariki mwa Strasser kwani alikuwa kiongozi mzalendo kiraia. Sierra Leone. Mwaka 1992 Vuguvugu la na mpenda nchi yake kwa kupigania amani Januari 1996 Kapteni Valentine Waasi lilianza kufanya mashambulizi wakati wa Vuguvugu la Uasi wa Mwaka Strasser alipinduliwa katika mapinduzi ya yalioongozwa na Foday Sankoh na kikundi 1992. kijeshi na kuwa mwisho wa Utawala wake. chake kilichojiita “Revolutionary United Kwasasa Kapteni Valentine Strasser aliweza kuomba hifadhi kwa Umoja Front” (RUF) Wilayani Kailahun katika vijiji Strasser anapatiwa staihi zote kama wa Mataifa uliompatia nafasi ya kipekee vya Buedu ambapo Kapteni Valentine kiongozi mstaafu wa Sierra Leone, Rais kwenda Nchini Uingereza kwenda kusoma Strasser alikokuwa akifanyia kazi. Strasser Maada Bio ameweza kumjengea makazi ya shahada ya Sheria katika Chuo Kikuu cha na Wanajeshi Wengine waliopo Wilayani kudumu nje kidogo na mji mkuu wa Sierra Warwick Mjini Coverty. Kwa Bahati Mbaya Kailahun walianza kupambana na waasi wa Leone. Rais Maada Bio hakuishi hapo Strasser aliweza kusoma kwa miezi 18 na RUF chini ya Kiongozi wao Foday Sankoh. kumsaidi rafiki yake ambaye walipigana na kushindwa kulipia gharama za masomo. Wakati wa Vita Wilayani Kailahun, Waasi wa RUF kwa matibabu ya Mguu Valentine Strasser aliamua kurudi Serikali ya Sierra Leone iliyokuwa ambao aliyeruhiwa wakati wa mapambano. kwao Nchini Sierra Leone katika kijiji alichoz- ikiongozwa na Rais Joseph Saidu Momoh Valentine Strasser amefanyiwa matibabu ya aliwa. Serikali ya Sierra Leone kwa wakati walishindwa kutoa mahitaji muhimu kama mguu wa kushoto ambao umepelekea huo haikumpa mahitajio na huduma kama vifaa na zana kwa ajili ya wanajeshi ambao kukatwa na kwa sasa Kapteni Strasser ame- Rais Mstaafu, Kapteni Strasser aliishi kwa wanapambana na kundi la waasi RUF chini bakia na mguu mmoja wa kulia.

19 SAUTI KUTOKA CHUMBA CHA HABARI JULAI, 2021

Misingi ya Upigaji Picha na Matumizi yake

Na Luteni Kanali Josephat Musira kuonyesha uhalisia (mood). Tofauti na mkononi zenye uwezo wa kupiga, pigaji picha ni njia moja- mandishi yanayotumika kufafanua au kuhifadhi na kutuma picha wapo ya mwasiliano kati- kusistiza jambo ambapo msomaji anawe- (smartphones). za kuchukua muda mrefu kidogo kuvuta ka maisha ya kila siku ya Hivi sasa kila mtu anaweza hisia za kile kilichoaandikwa ili aweze U mwanadamu. Mawasiliano kujiita mpigapicha pasipo kuzingatia kumwelewa mwandishi kuhusu tukio kwa njia ya picha yameanza kutumi- maadili, kanuni, misingi na taratibu za husika. Lakini matumizi ya picha ka tangu miaka 1840 baada ya upigaji pamoja na matumizi ya picha. yanashawishi na kuvutia maana picha kuvumbuliwa kwa kamera. Matumizi Mfano ni upigaji picha majeruhi wa ajali, moja inao uwezo wa kuongea maneno ya njia hii ya kupashana habari mtu anakula, n.k. na kuzirusha kwa mtu zaidi ya elfu moja kwa wakati mmoja. imeshika kasi kwa siku za karibuni mwingine ama makundi ya WhatsApp, kwa kuwa ni njia rahisi na ya haraka Katika kuandika habari za picha Tovuti, mitandao ya kijamii, n.k. kwa kwa watumiaji kwa wale wanaojua ama matukio katika picha ni sharti mpi- lengo la kutoa taarifa, kuelimisha, kubu- kusoma na kuandika na hata kwa gapicha awe na uwezo pamoja na uelewa rudisha, kukosoa, na kadhalika. wale wasiojua kusoma wala kuandi- katika kukusanya na kuandika habari hiyo Mpigapicha anatakiwa ka. Kwa kufanya hivyo wanataka kwa njia ya picha. Aidha, habari katika kuzingatia maadili ya kazi yake kwa ku- hata kuwapiku waliosomea taaluma picha ni lazima izingatie 5W+H; Nani wasilisha uhalisia wa tukio ili aweze ku- ya habari hususan wapigapicha. amehusika katika tukio?; Wapi tukio lime- jenga mahusiano mazuri na jamii inayo- tokea?; Kwa nini limetokea?; Nini ki- Mpigapicha anaporipoti mzunguka kwani watu wanaamini kuwa metokea?; Lini tukio limetokea?; na kwa habari yake kupitia picha ama an- kamera haiwezi kuongopa. Hata kama namna gani tukio hilo limetokea? aripoti uhalisia wa tukio lenyewe kwa ataichezea picha lazima watu wataamini njia ya picha. Na picha nzuri ni ile Mpigapicha mzuri ni yule anaye- kuwa kuwa picha iko sahihi, japo siku ambayo inaripoti maisha ya mwana- zingatia matumizi mazuri ya kamera na hizi kuna baadhi ya watu wanaweza damu vizuri zaidi kuliko kuongea namna inavyofanya kazi kwa kuzingatia kutofautisha picha halisi na isiyo halisi. ama kuandika. „rule of third‟. Kutokana na kukua kwa Picha zinazopigwa hazina budi sayansi na teknolojia pamoja na kusha- Picha inao uwezo wa kuangukia katika makundi haya picha za miri kwa matumizi makubwa ya simu za kufafanua tukio ikiwa ni pamoja na kihabari; picha za kimakala; picha za kimichezo; na matukio katika picha.

Mpiga picha wa Gazeti la The Guardian Tanza- nia Bi. Halima Kambi akionesha umahiri wake katika Upigaji picha

22 HABARI ZA NCHINI JULAI, 2021 Waziri Mkuu Aitaka NDC kujiwekea Malengo endelevu Ni katika Mahafali ya Tisa Chuo cha Taifa cha Ulinzi mkono chuo cha NDC kwa kuendelea Na Sajini Lazarus Masanja yanayowajengea uwezo Viongozi na Watendaji mbalimbali kwenye masuala kuleta maafisa wao wandamizi ili wapate mafunzo. aziri Mkuu wa Jamhuri ya ya usalama na mikakati” Alisema Waziri Mkuu wa Chuo cha Taifa cha Muungano wa Tanzania Mkuu. Ulinzi Meja Jenerali Michael Muhona Mhe. Alisema, mpaka sasa maafisa aliwapongeza wahitimu woote kwa ameutaka uongozi wa Wandamizi 300 kutoka katika Vyombo W vya Ulinzi na Usalama ndani na nje ya kukamilisha mafunzo yao kwa weledi Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC) kuji- mkubwa na akatumia wasaa huo ku- wekea malengo endelevu yataka- nchi na wengine kutoka katika Taasisi za wapongeza kwa nidhamu nzuri wali- yokifanya kiwe Chuo bora chenye umma za kiraia wamenufaika na mafunzo yoonesha kwa kipindi chote cha ma- kutegemewa na Taifa katika masuala haya yanayotolewa nan a Chuo hiki. funzo walipokuwa Chuoni hapo. ya Ulinzi kwa ujumla katika ukanda wa Waziri Mkuu pia amekitaka Chuo hiki Jumla ya nchi saba zimeleta Afrika Mashariki na Kati. kuhakikisha kinatoa mafunzo na utaalamu Maafisa wao wandamizi katika Program Waziri Mkuu aliyasema hayo ambao utasaidia katika kukabiliana na hii ya mafunzo yaliyohitimishwa leo, Julai 22,2021 katika Mahafali ya tisa ya matishio ya kiusalama ya karne ya 21 nchi hizi ni , Burundi, Ken- Chuo cha Taifa cha Ulinzi kilichopo sambamba na vitendo vya ugaidi, usafiri- ya, Nigeria, Malawi, Uganda na Zam- Kunduchi nje kidogo ya Jiji la Dar es shaji haramu wa binadamu, madawa ya bia. Salaam ambapo kozi ya masuala ya kulevya, janga la ugonjwa wa UVIKO-19 Awali akimkaribisha Waziri Ulinzi, Usalama na Mikakati ilihitimu na uhalifu wa kimtandao. Mkuu ili awahutubie wahitimu wa kozi mafunzo hayo. Alisema Chuo hiki kimeendelea hiyo ya mwaka mmoja Kansela wa Alisema Serikali itahakikisha kuwa miongoni mwa sehemu muhimu Chuo hicho Balozi Dkt. Martin Lum- kuwa Chuo hicho kinakuwa ni kituo cha katika ujenzi na uimarishaji mahusiano ya banga alisema kuwa wataendelea ufahari katika kutoa elimu ya juu kwa mtu mmoja mmoja kwa Washirika wa kusimamia ubora wa masomo yanayo- maafisa watendaji kutoka katika vyom- mafunzo yake sambamba kuimarisha tolewa na chuo hicho ili kukifanya bo vya Ulinzi na Usalama na Watumishi mahusiano ya kimataifa kwa maslahi kiendelee kuwa na hadhi ya kimataifa wa Umma. m a p a n a y a n c h i y e t u katika utoaji wa elimu bora. Hii ni ma- “Serikali inatambua mchango Akizishukuru nchi washiriki Waziri Mkuu hafali ya 9 tangu Chuo hiki wa Chuo hiki katika kutoa mafunzo alezitaka nchi hizo kuendelea kukiunga kianzishwe.

Sehemu ya Wahitimu wa Chuo Cha Ukamanda na Unadhimu wakiwa wamesimama wakati Wimbo wa Taifa ukipigwa ambapo Mgeni Rasmi alikuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassimu Majaliwa Kassim 23 JARIDA LA MTANDAONI JULAI, 2021

15