Linatolewa: Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza

Uwekezaji /Mwanzakwanza Miundobinu Toleo Namba 1 / 2020 Ujasiliamali

Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020 Ubunge, udiwani vyote JPM nambari CCM Mwanza ‘one’ Mwanza Na Mwandishi wetu agombea Ubunge wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa WMwanza wameibuka vinara katika Uchaguzi Mkuu wa wabunge mkoani hapa baada ya kujizolea kura za kutosha katika uchaguzi uliofanyika Jumatano wiki hii. Mmoja wa wagombea hao ni Dkt Angelina Mabula ambaye alikuwa Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya kazi ambaye ali- kuwa anagombea kwa mara ya pili katika jimbo la Ilemela. Dkt Mabula amepata kura 147,724 sawa na asili- mia 83.91 ya kura zote zilizopigwa katika jimbo lake. Wagombea wengine walioshinda katika kinyang’anyiro hicho ni Mhe. Bonaventura Kiswaga wa Jimbo la Magu aliyepata kura 139,975 sawa na asilimia 88.93 ya kura zote zili- zopigwa, Mhe. Joseph Mkundi wa Jimbo la Ukerewe aliyepata kura 91,893 sawa na asilimia 78.74% na Mhe. Eric Shigongo wa Jimbo la Buchosa aliyepata kura 79,950 sawa na asilimia 86.44. Wengine ni Mhe. Slanslaus Mabula aliyepata kura 73,591 sawa na asilimia 61.80, Mhe. Tabasamu Mwaguo aliyepata kura 59,734 sawa na asilimia 87.61, Mhe. Shanif Man- soor wa Jimbo la Kwimba aliyepata kura 57,943 sawa na asilimia 95.33 na Kasalali Mgeni wa Jimbo la Sumve aliyepata kura 31,373 sawa asilimia 81.74. Mgombea Ubunge wa Jimbo a Misungwi, inaendelea Uk 4

Mwanza tupo shwari - RC Mongella Ukurasa 2 habari 2

Ujumbe wa Mkuu wa Mkoa John Mongella

Wakati wa kampeni, viongozi mbalimbali aguzi itende haki kwa vyama na wagom- wa dini wamekuwa bea wote. Ihakikishe vituo vyote vya kupiga wakitoa matamko kura vinafunguliwa mapema na huku vituo hivyo vikiwa na vifaa vyote vinavyohitajika Mwanza tupo shwari mbalimbali bila kusahau mahitaji ya watu wenye uhitaji wakisisitiza maalum”, alisema Askofu Sekelwa. kuu wa Mkoa wa Mwanza, Mhe. John Mongella wagombea wa Kamati hiyo pia imewaomba wagombea Mongella amesema kwamba kampeni Mkoa wa Mwanza unajumla ya wapiga na wananchi wote kukubali matokeo kwani Mza uchaguzi mkoani humu ziliendesh- kura 1,844,641 wilaya saba na Halmashauri vyama mbalimbali katika ushindani ni lazima apatikane mshin- wa vizuri na kwa usalama, wagombea wote nane huku jumla ya majimbo tisa ambayo na wafuasi wao di na atakayeshindwa, na hii itaepusha vuru- wakibeba ajenda ya maendeleo ambayo kila yote kwa pamoja yanatengeneza jumla ya gu zitakazo pelekea uvunjifu wa Amani. mwananchi anayataka. vituo vya kupigia kura 4996. na wananchi kwa “Amani ikitoweka itaathiri watu wote bila Akizungumza mara baada ya kupiga kura Majimbo hayo ni Nyamagana ambayo jumla kuhakikisha kujali aliyeianzisha, aliyehamasisha na ata- katika kituo cha kupigia kura cha Kiseke imeandikisha wapiga kura wengi zaidi kuwepo kwa amani kayeivunja kwani hakutakuwa na shughuli Polisi, Mhe. Mongella amewaomba wana (348,891) na Sumve ambayo inawapiga kura zozote kiuchumi zitakazoweza kufanyika, Mwanza wote waendeleze kuwa watulivu wachache zaidi (94,029). Majimbo mengine na kutoshiriki katika biashara hazitafanyika, shule, hospital haku- kama wanavyojulikana. ni Kwimba, Misungwi, Sengerema, Ukerewe, vurugu. endeki, usafiri hautokuwepo kwani vituo vya “Niwaombe wana Mwanza wote kama Ilemela, Magu na Buchosa. mafuta havitafanya kazi”, Aliongeza. ambavyo tunajulikana wakati wote kuwa Wakati wa kampeni, viongozi mbalimbali Naye Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, na utulivu katika mkoa wetu, tuendelee wa dini wamekuwa wakitoa matamko mbal- ni Askofu Dkt. Charles Sekelwa ambaye ni Sheikh Hassan Kabeke akizungumza kati- kuwa watulivu tufuate sheria tufuate tara- imbali wakisisitiza wagombea wa vyama Mwenyekiti Mwenza wa Kamati ya Amani ka mkutano huo amewataka wazazi wakae tibu zinazotuongoza. Ajenda ya mwaka huu mbalimbali na wafuasi wao na wananchi kwa ya viongozi wa dini mkoani Mwanza aliitaka na vijana wao na kuwaelezea umuhimu wa kama wagombea wenyewe wote wame- jumla kuhakikisha kuwepo kwa amani na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kutenda amani na kujizuia kuingia katika mambo yoy- sisitiza, hakuna aliyesisitiza vinginevyo ni kutoshiriki katika vurugu. haki kwenye uchaguzi. ote yanayoweza kuleta vurugu na kupelekea kutaka maendeleo makubwa zaidi”, alisema Mmoja ya viongozi wa dini aliyetoa tamko “Tume ya Taifa ya Uch- uvunjifu wa amani.

Gazeti hili linatolewa: Ofisi ya Mkuu wa Katibu Tawala: Emmanuel Tutuba +255 028 2501037 Mkoa wa Mwanza Kitengo Cha Habari: Abel Ngapemba 0784 273 588 Regional Drive Mkabala na Ofisi za TRA Remija Salvatory 0783 317 188 P.O. Box 119, Mwanza Usanifu Kurasa / Matangazo: Barnabas Mkwayu 0657 929 650 +255 028 2501037 [email protected] mwanza.go.tz habari 3 /Mwanzakwanza Toleo: Novemba, 2020

Na Mwandishi wetu

ananchi wa mkoa wa Mwanza wameonyesha imani kubwa Wkwa Mgombea wa Chama cha Mapinduzi (CCM) katika Uchaguzi Mkuu, Mhe. John Pombe Magu- JPM nambari fuli kwa kumchagua kumpa jumla ya kura 944,463 kati ya kura halali 1,050,311 zilizopigwa Jumatano ili- yopita. Kura hizo ni sawa na asilimia 89.92 ya kura zote halali za urais zilizopig- ‘one’ Mwanza wa katika majimbo tisa ya uchaguzi ya mkoa wa Mwanza yaliyokuwa na jumla la vituo 4,996 vya kupigia kura. Majimbo hayo ni Ukerewe ili- yokuwa na vituo 522, Magu iliyoku- wa na vituo 540, Kwimba iliyokuwa na vituo 310, Sumve iliyokuwa na vituo 265, na Misungwi iliiyokuwa na vituo 549. Majimbo mengine ni Sengerema iliyokuwa na vituo 557, Buchosa iliyokuwa na vituo 563, Ilemela ili- yokuwa na vituo 795 na Nyamagana ambayo ilikuwa na jumla ya vituo 895. Kulingana na daftari la wapiga Matokeo ya urais Kitaifa yaliyotangazwa na NEC kura, wananchi waliojiandikisha kupiga kura walikuwa 1,845,816, aki- Mgombea Chama Kura asilimia ni waliojitokeza kupira kura waliku- Magufuli John Joseph CCM 12,516,252 84.40% wa 840,238. Katika idadi hiyo, kura Tundu Antipas Lissu 1,933,271 13.04% 11,174 ziliharibika. Bernard Kamillius Membe ACT Wazalendo 81,129 0.55% Aliyemfuata Rais Magufuli ni asilimia 0.78. kwa nafasi ya ubunge na udiwani. Ibrahim Haruna Lipumba CUF 72,885 0.49% mgombea wa Chama cha Maende- Mkoa wa Mwanza ni moja ya Wagombea wa ubunge wote tisa Hashim Spunda Rungwe Chauma 32,878 0.22% leo na Demokrasia (CHADEMA) mikoa ambayo Mhe. Magufuli alipa- wameshinda katika uchaguzi huo Mhe. ambaye alipata ta mapokezi makubwa mwezi Sep- akiwemo aliyekuwa Naibu Waziri wa Seif Maalim Seif AAFP 4,635 0.03% kura 95,409 sawa na asilimia 9.0 na temba wakati wa kampeni ambako Ardhi, Nyumba na Makazi Dkt Ange- John Paul Shibuda ADA-Tadea 33,086 0.22% kufuatiwa na mgombea wa CUF ali- maelfu ya wananchi walijitokeza lina Mabula. Mbunge mmoja kutoka Cecilia Augustino Mwanga D.Makini 14,556 0.10% yepata kura 1,216 sawa na asilimia katika mikutano yake, hasa mkubwa jimbo la Misungwi, Mhe. Alexander Yeremia Kulwa Maganja NCCR-Mageuzi 19,969 0.13% 0.13 na ACT aliyepata kura 1,151 sawa uliofanyika katika Uwanja wa CCM Mnyeti alipita bila kupingwa. Muttamwega Bhatt Mgaywa SAU 14,922 0.10% na asilimia 0.1. Kirumba na pia katika mikutano Twalib Ibrahim Kadege UPDP 6,194 0.04% Vyama vingine vilivyobaki (NCCR aliyokuwa akiifanya njiani baada ya Katika kinyaganyilo cha nafasi Mageuzi, Demokrasia Makini, ADC, kuzuiwa na wananchi wazungumze ya udiwani CCM imeshinda katika Queen Cuthbert Sendiga ADC 7,627 0.05% NRA, UDP, AAFP, CHAUMMA, ADA naye. kata 189 kati ya kata 191 zilizopo. Khalfan Mohammed Mazrui UMD 3,721 0.03% TADEAM UPDP, SAU, TLP, UMD na Katika mikutano yote ya kampeni Kata mbili zilizopo Jimbo la Sumve Philipo John Fumbo DP 8,283 0.06% DP) kwa ujumla wao vilipata kura hapa Mwanza, Rais Magufuli pia ali- zimechukuliwa na madiwani wa Leopord Lucas Mahona NRA 80,787 0.54% 8,072 sawa na asilimia 0.89 sawa na kuwa akiwanadi wagombea wa CCM CHADEMA.

Wanawake, vijana Mwanza wakopeshwa Sh. bil 2.1 Ukurasa 5 habari 4 /Mwanzakwanza Toleo: Novemba, 2020 Ubunge, udiwani vyote CCM Mwanza inatoka Uk 1 Alexander Mnyeti alipita bila kupingwa na hivyo kufanya vitu vyote vya ubunge katika mkoa wa Mwanza vyote kwenda cha CCM. Mbali na nafasi hizo za ubunge, CCM imezoea pia viti karibu vyote vya udiwani katika kata zote za mkoa huo isipokuwa kata mbili zilizopo katika Jimbo la Sumve ambazo zimechukuliwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).Kata hizo ni za Nkalalo na Mwabomba. Mkoa wa Mwanza unajumla ya kata 191 ambazo kati yake, CCM imechuka kata 189. Majimbo hayo ni Ukerewe yenye kata 25, Magu (25), Kwimba (15), Sumve (15) na Sengerema (26). Majimbo mengine ni Buchosa (21), Ilemela (19) na Nyamagana (18). Kulingana na daftari la wapiga kura, Mkoa wa Mwanza ulikuwa na wapiga kura 1,844,641 na kulikuwa na jumla ya vituo vya kupigia kura vipatavyo 4,996.

Mwanza

Bonaventura Kiswaga Shanif Mansoor

Eric Shigongo Dkt. Angelina Mabula Alexander Mnyeti Slanslaus Mabula ujasiliamali 5 /Mwanzakwanza Toleo: Novemba, 2020 Wanawake, vijana Mwanza wakopeshwa Sh. bil 2.1 Mwandishi Wetu

uala la uwezeshaji kiuchumi ni kati Katika kuhakikisha ya mambo yanayopewa kipaumbele kwamba Sna Serikali kwa nia ya kuwezesha Watanzania wengi kushiriki shughuli za Halmashauri uzalishaji na ujenzi wa uchumi wa Taifa. zinaendelea Mikopo kwa makundi ya vijana, wan- awake na walemavu kupitia asilimia 10 ya kutenga fedha bajeti za halmashauri ni moja ya mikakati kwa ajili ya Mfuko hiyo inayiotekelezwa na Serikali. wa Maendeleo ya Mkoa wa Mwanza ni kati ya mikoa nchi- ni ambayo siyo tu inatekeleza mikakati ya Wanawake kwa ambapo jumla ya wanawake 1,161 kutoka masharti nafuu, mkoa umetenga jumla kuwawezesha wananchi kupitia mikopo, mujibu wa Sheria halmashauri nane za mkoa wa Mwanza Jumla ya vikundi ya Sh707.3 milioni kwa mikopo kwa bali pia kutenga maeneo maalum ya kibi- wamepata mikopo. vikundi 491. ashara kwa makundi husika. ili kuwezesha 215 kutoka Idadi ya wanufaika kwa kila hal- Vikundi hivyo ni 12 kutoka Ukerewe, Katika taarifa ya mkoa wa utekeleza- upatikanaji wa halmashauri za mashauri ni Magu-152, Ilemela-285, Sengerema (18), Kwimba (27), Magu ji wa Ilani ya CCM, mkoa wa Mwanza mkoa wa Mwanza mikopo yenye Misungwi-94, Ukerewe-56, Sengerema- (25), Ilemela (145), Misungwi (9), umetenga maeneo maalum kwa ajili ya vimenufaika kwa 105, Kwimba-120 na jiji la Mwanza ili- Buchosa (65) na Jiji la Mwanza (190). shughuli za kibiashara na uwekezaji kati- masharti nafuu, kupokea mikopo yopesha wanawake 351. Baadhi ya shughuli za kiuchumi zina- ka kila halmashauri. mkoa umetenga Aidha vikundi hivyo vilifundishwa yenye thamani ya zofanywa na wanawake katka makun- Maeneo hayo kiwilaya ni pamoja na mada mbalimbali kwa nadharia na Zaidi ya Sh695.1 di yaliyonufaika ni pamoja na Mama Sungura katika halmashauri ya Ukerewe, jumla ya Sh707.3 vitendo pamoja na namna ya kuanzisha milioni Lishe, ushonaji, kuuza vifaa na bidhaa Nguduluguu na Icheja kwa Halmashauri milioni kwa biashara; kutunza mahesabu, uten- mbalimbali, kilimo na ufugaji wa kuku. ya wilaya ya Kwimba na Nyegezi, Mako- mikopo kwa genezaji wa bidhaa kama sabuni za maji, Katika ziara zake kutembelea vikun- roboi, Sinai- Mabatini, Kituo cha Mabasi batiki utafutaji wa masoko ya bidhaa hizo di vya ujasiriamali vinavyonufaika cha na Temeke-Gerage Area vikundi 491. pamoja na vyanzo mbalimbali vya fedha na mikopo hiyo, Mkuu wa mkoa wa kwa Halmashauri ya Jiji la Mwanza. kwa ajili ya uwezeshaji wanawake kiu- Mwanza, John Mongella anasisitiza Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela chumi. uwajibikaji na matumizi ya mikopo umetenga maeneo ya biashara Kiloleli, Uwezeshaji wanawake Katika kuhakikisha kwamba Hal- kwa malengo yaliyokusudiwa pamoja Buswelu, Buzuruga, Kirumba na Pasiansi Mkoa umeendelea kuwawezesha wan- mashauri zinaendelea kutenga fedha marejesho kuwa miongoni mwa mam- wakati kwa Magu maeneo yaliyotengwa awake wanawake kiuchumi kwa kuwa- kwa ajili ya Mfuko wa Maendeleo ya bo muhimu yanayotakiwa kuzingatiwa ni Isandula, Ilula, Itumbili na Ilungu patia elimu ya ujasiriamali na biashara Wanawake kwa mujibu wa Sheria ili na wahusika kufanya mikopo hiyo kuwa huku Sengerema ikitenga maeneo ya ili kuwawezesha kuongeza ajira, ujuzi wa kuwezesha upatikanaji wa mikopo yenye na tija endelevu. Bujora, Bukala na Isungang’olo na Mis- kujiari, na fursa za kipato na kujikimu ungwi imetenga maeneo ya Usagara, Ide- temiya na Misungwi mjini.

Mikopo kwa vijana Jumla ya vikundi 215 kutoka hal- mashauri za mkoa wa Mwanza vimenu- faika kwa kupokea mikopo yenye thamani ya Zaidi ya Sh695.1 milioni. Vikundi hivyo na idadi kwenye maba- no ni Jiji la Mwanza (88), Manispaa ya Ilemela (33), Ukerewe (4), Sengerema (11), Kwimba (17), Magu (8), Misungwi (4) na Buchosa vikundi 50. Vikundi vya walemavu Aidha, jumla ya Sh663.7 milioni zime- tolewa kama mikopo kwa vikundi 67 vya watu wenye ulemavu ambapo wilayani Misungwi vukundi vitatu vimenufaika, Buchosa 7, Kwimba 14, Magu 2, Senger- ema 6, Ukerewe 3, Ilemela 5 na Jiji la Mwanza vikundi 27. Baadhi ya shughuli zza kiuchumi zinazofanywa na vikundi ni ununuzi na uuzaji nguo (mitumba), biashara ndogo ndogo, ufugaji wa kuku, kuuza samaki, uuzaji wa dagaa, vioski na upandaji miti kwa ajili ya biashara na kilimo cha bustani za mbogamboga. miundombinu 6 /Mwanzakwanza Toleo: Novemba, 2020

Uchukuzi na Mawasiliano Baada ya ajali MV. Nyerere kwa wakati huo, Mhandisi iliyozama Septemba 20, Isaack Kamwele alielezea mkakati wa serikali kupam- 2018 na kupoteza maisha bana na ajali zinazotokewa ya wananchi takribani 227, serikali majini kwa kuwaagiza Shiri- MV Ukara II: ka la Uwakala wa Meli Tan- iliamua kununua kivuko mbadala zania (TASAC) kuhakikisha chenye urefu wa mita 42 na upana linaweka maofisa usimamizi wa mita 10 na chumba maalumu cha katika maeneo yote ya usafiri kujifungulia hiyo ni kwa sababu serikali majini, na kutoa mafunzo kwa inawajali akinamama” wamiliki na waendeshaji wa Mtanzania kwa vyombo vya majini ikiwamo (Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA). Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Alisema hatua hiyo ita- Ujenzi), Elias Mwakalinga) saidia kuongeza ufahamu juu ya umuhimu wa kuzingatia Watanzania ma”, alisema. wananchi ambao serikali utaratibu na kanuni zinazo- Alisema tatizo la usafirisha- inawathamini sana kuanzia simamia uendeshaji wa vyo- Mwandishi Wetu wazawa kwa kuwawezesha na wananchi takribani 227, ser- ji na usafiri limetatuliwa na maisha yao pamoja na mali mbo hivyo kuepuka ajali. kuwapa nafasi ya kufanya shu- ikali iliamua kununua kivuko biashara zitafanyika kwa zao hivyo tusingependa masu- Aidha, aliagiza TEMESA V Ukara II ni kivuko ghuli za maendeleo. mbadala chenye urefu wa wingi zitakazo changia kukuza ala mengine kama yaliyotokea kusimamia kwa ukaribu uen- cha kihistoria katika Ujenzi wa kivuko hiki ni mita 42 na upana wa mita 10 uchumi wa wananchi wa mae- yatokee tunamuomba Mungu deshaji wa vivuko hivyo ili MZiwa Victoria ambacho sehemu ya jitihada za serikali na chumba maalumu cha kuji- neo hayo na uchumi watanza- atuepushe”, aliongeza. wananchi wafaidi matunda kinafanya safari zake kati ya katika kuhakikisha wananchi fungulia hiyo ni kwa sababu nia wote kwa ujumla. Akizungumzia katika uzin- mazuri ya serikali yao kwa fur- Mwanza na visiwa vya Uke- wake wanapata urahisi wa serikali inawajali akinama- “Kivuko hiki kinabeba duzi huo, Waziri wa Ujenzi, sa ya maendeleo yao binafsi. rewe. Ni cha kihistoria kwa kusafiri kwa amani na usala- sababu ya uamuzi wa serikali ma, hasa ikizingatiwa kwa kuthamini kazi za wananchi muda mrefu usafiri katika wake ambao kwa muda mrefu maeneo ya vivuko umekuwa hawakuwa wakipewa nafasi na shida. Ni sehemu ya ujen- katika kushiriki katika kazi zi wa vivuko saba zikiwemo kubwa nchini. Kwa serikali ya boti maalum ya wagonjwa awamu ya tano, kivuko hiki (ambulance) tatu kwa ajili ya ni zawadi ya Mtanzania kwa kusaidia usafiri katika mikoa Watanzania. mbalimbali hapa nchini vye- Kivuko hicho kimeten- nye jumla ya thamani ya Sh. genezwa na kampuni ya Kitan- bilioni 36.3. zania, Songoro Marine ya jijini Wakati kivuko hicho Mwanza kwa thamani ya Shi- kinazinduliwa rasmi katika ling bilioni 4.2. Iwapo kivuko Kisiwa cha Ukara, Katibu hiki kingetengenezwa nje ya Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Tanzania, kingeigharimu ser- Uchukuzi na Mawasiliano ikali Shilingi bilion 32. (Sekta ya Ujenzi), Elias MV Ukara si tu kinaelezea Mwakalinga alisema kwamba jinsi gani serikali ya awamu ya ndani ya miaka mitano serikali tano ilivyowajali na kuishiriki- imejenga vivuko saba pamoja sha sekta binafsi katika maen- na ambulance maalum tatu. deleo ya Tanzania, bali pia “Baada ya ajali MV. Nyer- ni kielelezo cha jinsi inavyo- ere iliyozama Septemba 20, wathamini wafanyabiashara 2018 na kupoteza maisha ya uwekezaji 7 /Mwanzakwanza Toleo: Novemba, 2020

Mwandishi Wetu

iongozi mwa maeneo muhimu katika huduma Mya maji ni ubora wa miun- dombinu ya majisafi na majita- ka kuanzia kwenye vyanzo hadi kwa wananchi. Kaimu Mkurugenzi wa MWAUWASA, Leonard Mse- nyele kutoka na umuhimu wa miundombinu, shirika hilo la umma linatekeleza mradi wa maboresho unaogharimu euro14.6 milioni ambayo ni sawa na Sh 38.9 bilioni. Mkataba wa utekelezaji wa mradi huo unaotekelezwa na Kampuni ya M/s. JOS. HAN- SEN & SOEHNE GmbH in JV with M/s. JR INTERNATION- AL BAU GmbH kutoka Ujeru- mani ulisainiwa Februari 16, 2017 kabla ya kazi kuanza rasmi Mei 26, 2017.

Mwauwasa na upanu- zi, uimarishaji huduma Mhandisi Msenyele anafafa- nua kuwa kazi zinazotekelezwa na MWAUWASA ni uboreshaji na kupanua huduma ya majisafi katika maeneo ya milimani hususani maeneo yaliyo juu ya matenki ya maji ambayo haya- pati huduma kwa sasa ambayo ni Nyasaka, Bugarika, Nyegezi, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akikagua mradi mkubwa wa maji kwenye mji Nansio katika kisiwa cha Ukerewe mkoani Mwanza mradi ambao utahudumia Capripoint, Mjimwema, Nyaka- wananchi 61,000. bungo na Kitangiri. Anasema shughuli za mradi 2017 kati ya MWAUWASA ambazo kwa sasa zinaendelea na Mkandarasi, ambapo ni pamoja na ujenzi wa matenki utekelezaji wa kazi za ujenzi ya maji katika maeneo ya Kitan- wa mradi zilianza rasmi Mei giri (tenki moja la lita 500,000), Sh. bil 38.9 kuboreshaji 22 2017 kwa miji yote Mitatu Nyasaka (tenki moja la lita na umekamilika kwa asilimia 1,000,000), Mjimwema (tenki 85 na hadi kufikia Machi 31 moja la lita 1,200,000), Nyegezi 2019, utekelezaji wa shughuli (tenki moja la lita 1,200,000) na za mradi huo katika miji yote Bugarika (matenki mawili ya lita mitatu ulikuwa umekamilika 700,000 na 250,000). miondombinu ya maji kwa wastani wa asilimia 83. “Pia tunaendelea na kazi za utandazaji wa bomba za kusa- Furaha ya wananchi firisha na kusambaza maji zenye Huduma ya majisafi Mosi Richard mkazi wa vipenyo kati ya milimita 315 Anasema utekelezaji wa Mabatini jijini Mwanza anai- na milimita 50 jumla ya urefu mradi wa Majisafi na Usafi wa shukuru serikali kwa kuweze- bomba hizo ni mita 64,820,” Mazingira katika Miji Midogo sha ujenzi wa miundombinu anasema na kuyataja maeneo ya Misungwi, Magu na Lama- maji ya kisasa katika eneo yatakayonufaika na mradi huo di unatekelezwa kama seh- la Mabatini iliyowezeshwa kuwa ni Kitangiri, Kiseke, Nya- emu ya Programu ya Kubore- kupatikana sasa huduma ya saka, Nyegezi, Bugarika, Mahina, sha Huduma za Majisafi na maji ya bomba kwa wanan- Isamilo, Mjimwema/Nyakabun- Usafi wa Mazingira katika chi. go na Nyankurunduma. Miji hii Midogo (Misungwi, “Serikali imefanya kazi Kuhusu uboreshaji wa hudu- Magu na Lamadi). kubwa, sasa tumeyaona maji ma ya majisafi kupitia ubadilisha Anasema shughuli za ujen- ingawa iboreshe maana kuna wa mabomba ya zamani yali- zi wa mradi huo katika miji wakati yanakatika,” anasema yochakaa na kuongeza mtandao yote mitatu zinatekelezwa Kwa upande wake Godfrey wa mabomba, anasema kazi hiyo na Kampuni ya M/s. CHI- Maiko mkazi wa Nyakato inafanyika katika maeneo ya NA CIVIL ENGINEERING anasema serikali ya awamu Makongoro, Nyakato na Baraba- CONSTRUCTION CORPO- ya tano imejipambua kwa ra ya Kenyata (Jumla ya urefu RATION (CCECC) kutoka wananchi wanyonge, ambao wa mabomba ni mita 15,770) na China kwa Mkataba mmoja kwa sasa karibu maeneo men- jumla ya mita 2,000 za mtandao wenye thamani ya euro gi ya jiji la Mwanza wananchi wa mabomba zitaongezwa katika 16,096,951.21 sawa na shi- wanapata huduma za maji. eneo la Makongoro. lingi bilioni 42.657 ambazo Kwa upande wake God- Kazi nyingine kwa mujibu isha wa mabomba ya zamani Anasema mradi huo freu Kiswene mkazi wa Waziri Mkuu, ni gharama za jumla za mradi wake ni kubadilisha viungio yaliyochakaa ambapo mabom- ambao tekelezaji wake kwa Miji yote mitatu (3). jijini Mwanza anasema maji katika mtandao wa majisafi ba yenye jumla ya urefu wa mita na Waziri wa Maji, Profesa umefikia asilimia 90 ambapo Anasema gharama za katika jiji la Mwanza sasa ni - “Valves and Fire hydrants” 4,775 na vipenyo kati ya 600mm (kulia) hadi kufikia Machi 31 2019, mradi huo kwa mji mdo- raha tupu na kwamba ile kero kwa ajili ya kuongeza ufanisi wa na 225mm yatatandazwa. wakimsikiliza, Mkurugenzi utekelezaji wa Shughuli za go wa Misungwi ni euro. ambayo wananchi waliyoku- kusambaza maji na kuongeza “Kazi hiyo inafanyika katika Mtendaji wa Mamlaka ya Maji Mradi ulikuwa umekamili- 4,850,914.54 sawa na shilingi wa nayo imetoweka ingawa wigo wa kitengo cha Zimamoto maeneo ya Mabatini “A” & “B”, na Usafi wa Mazingira Mwanza ka kwa asilimia 75 na pindi bilioni 12.855, Magu ni euro. kwa baadhi ya maeneo mach- kukabiliana na majanga ya moto Kilimahewa, Isamilo, Igogo, (MWAUWASA), Mhandisi Anthony utakapokamilika, mradi huo 6,404,169.56 sawa na shilingi ache huduma huwa maji na jumla ya vifaa hivyo ni 22. barabara ya Kenyatta na Makon- utanufaisha wakazi wapa- bilioni 16.971 na Lamadi euro. yanakatika. Anasema shughuli zingine goro. Pia kuongeza ufanisi wa Sanga (kushoto) alipotoa tao 105,649 waishio katika “Niiombe Serikali yangu maelezo kuhusu ujenzi wa Mradi 4,841,867.11 sawa na shilingi zinazoendelea ni pamoja na mitambo ya kusukuma majita- maeneo ya Jiji la Mwanza bilioni 12.831. iendelee kuboresha huduma kuboresha na kupanua mfumo ka katika kituo cha Makongoro, wa Maji na Usafi wa Mazingira yaliyotajwa hapo juu na hiyo za maji ili maji yamiminike wa Mji wa Misungwi katika kijiji Anasema mkataba wa wa majitaka kupitia utandazaji Kirumba na Mwanza South,” ni kwa tathimini ya mpaka utekelezaji wa shughuli za kwa wingi kwa wananchi,” wa mabomba mapya na ubadil- anasema. cha Nyahiti Mkoani Mwanza. kufikia mwaka 2028. mradi ulisainiwa Februari 16, anasema. Uchumi 8 /Mwanzakwanza Toleo: Novemba, 2020 Mapato, uchumi vyaimarika Mwanza

Mwandishi Wetu Tunapozungumzia Tanzania aendeleo ni mchakato yenye uchumi wa kati kupitia mrefu unaogharimu maendeleo ya sekta ya viwanda Mmuda, rasilimali fedha na utaalam. ifikapo 2015, tunalenga kumwezesha kila Kote duniani maendeleo Mtanzania pale alipo kuzalisha, kuuza na hupimwa katika misingi ya kufanya biashara kulingana na mahitaji, kuimarika na kuboreka kwa huduma za kijamii. mazingira na mtaji wake Ili kufikia maendeleo, ni lazima (Mkuu wa Mkoa John Mongella) pawepo mikakati madhubuti na endelevu ya utekelezaji wa mira- di ya kimkakati ya muda mfupi, na wakazi wa mkoa wa Mwanza mia 9.79 ya pato la Taifa mwaka kati na mrefu. kufikia malengo ya maendeleo 2017 kulinganisha na asilimia Tangu ilivyoingia madara- endelevu. 9.69 ya mwaka 2016. kani Novemba 5, 2015, Serikali Shughuli mbalimbali za kiu- “Wastani wa kipato kwa mwa- ya awamu ya tano chini ya Rais chumi zinazotekelezwa na wakazi ka kwa kila mwananchi ume- imejipambanua wa mkoa huo umewezesha mkoa ongezeka kutoka Sh2.2 milioni za Serikali. Ongezeko hilo lime- mia 10.3. Kwa mujibu wa mkuu Mbali na viwanda kuwa na nia thabiti ya kujenga wa Mwanza kushuhudia ukuaji mwaka 2016 hadi kufikia Sh2.3 shuhudiwa kati Julai 2018 hadi wa mkoa, hata makusanyo katika na sekta ya madini, Tanzania mpya, Tanzania ya wa uchumi kwa kwa asilimia 8 milioni mwaka 2017. Juni 2019 ambapo mapato TRA halmashauri nane za mkoa huo shughuli nyingine watu wanaochapa kazi. huku pato la mkoa likiongezeka “Ongezeko la kipato inaim- mkoa wa Mwanza imekusanya pia yaliongezeka kati Julai 2018 Katika kipindi cha miaka kila mwaka. Mongella anasema arisha uwezo wa wananchi wa zaidi ya SH173,456,148,241.79i hadi Juni 2019. za kiuchumi jijini minne ya uongozi wake, Rais kwa mujibu wa takwimu za Ofi- kununua na kuuza; hii inatoa kilinganishwa na shilingi 157.1 Ili kujiongezea mapato na Mwanza ni pamoja Magufuli amefanya mengi ya si ya Taifa ya Takwimu, Pato la ishara njema kwa uchumi wa bilioni kulinganisha na Sh142.6 kupunguza utegemezi wa ruzuku na kilimo na uvuvi kupigiwa mfano katika maende- Mkoa wa Mwanza limeongezeka mkoa na mtu mmoja mmoja,” bilioni zilizokusanywa kwa kip- kutoka Serikali Kuu, halmashauri leo ya sekta za afya, elimu, maji, kutoka Sh10.05 trilioni mwaka anasema Mongella indi cha Julai 2017 hadi Juni za mkoa wa Mwanza zimeanzisha usafirishaji, na miundombinu ya 2016 hadi kufikia Sh11.3 trilioni 2018. Ongezeko na kutekeleza miradi ya kimkaka- barabara. mwaka 2017. Makusanyo TRA hilo ni zaidi ti ambapo kwa Jiji la Mwanza na Kazi zote zimefanyika Kiwango hicho kimeufanya Mapato siyo tu yameongeze- ya Sh16.3 Manispaa ya Ilemela miradi hiyo kutekeleza ilani ya uchaguzi wa mkoa wa Mwanza kushika nafasi ka mifukoni mwa wananchi bilioni, inahusisha ujenzi na ukarabati Chama Cha Mapinduzi (CCM), ya pili baada ya Mkoa wa Dar es wa kawaida, bali hata Mamla- sawa na w a miundombinu katika ahadi za Rais Magufuli wakati Salaam. ka ya Mapato mkoani Mwan- asili- masoko, vituo vya wa kampeni za uchaguzi mwaka Mkoa pia umeshika nafasi ya za pia imeongeza makusanyo mabasi na maegesho 2015 pamoja na ahadi au mahi- pili Kitaifa kwa kuchangia asili- ya kodi na ushuru mbalimbali ya magari. taji mengine yanayotokea katika ziara mbalimbali za viongozi. Kwa mkoa wa Mwanza, kazi nyingi na kubwa zimefanyika kuhakikisha upatikanaji wa maendeleo endelevu kwa wanan- chi. Mkuu wa mkoa wa Mwanza, John Mongela anasema mikaka- ti hiyo ya maendeleo inahusisha mazingira wezeshi kwa wanan- chi kufanya na kushiriki shughuli za uzalishaji mali kuanzia ngazi ya msingi hadi Taifa. “Tunapozungumzia Tanzania yenye uchumi wa kati kupitia maendeleo ya sekta ya viwanda ifikapo 2015, tunalenga kum- wezesha kila Mtanzania pale ali- po kuzalisha, kuuza na kufanya biashara kulingana na mahitaji, mazingira na mtaji wake,” anase- ma Mongella Sekta za kilimo, uvuvi, uwekezaji na biashara ni kati ya maeneo muhimu yanayotumiwa