Mhe. Prof. Palamagamba J.A.M Kabudi (Mb), Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki akimshukuru Mhe.Tehindrazanarivelo Djacoba A.S Oliva, Waziri wa Mambo ya Nje wa Madagascar baada ya kukabidhiwa zawadi ya dawa ya Homa Kali ya Mapafu inayosababishwa na virusi vya corona (COVID-19). Mhe. Prof. Palamagamba J. A. M. Kabudi (Mb), WAZIRI Mhe. Dkt. Damas D. Ndumbaro (Mb), NAIBU WAZIRI Balozi Kanali Wilbert A. Ibuge, Balozi Ramadhan M. Mwinyi, KATIBU MKUU NAIBU KATIBU MKUU HOTUBA YA MHESHIMIWA PROF. PALAMAGAMBA JOHN AIDAN MWALUKO KABUDI (MB), WAZIRI WA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA AFRIKA MASHARIKI AKIWASILISHA BUNGENI MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA WIZARA KWA MWAKA WA FEDHA 2020/2021 YALIYOMO 1.0 UTANGULIZI................................................................. 1 2.0 MAFANIKIO YA WIZARA KWA KIPINDI CHA SERIKALI YA AWAMU YA TANO ................................ 7 3.0 MISINGI YA TANZANIA KATIKA MAHUSIANO YA KIMATAIFA ................................................................. 20 4.0 TATHMINI YA HALI YA DUNIA KWA MWAKA 2019/2020 ................................................................... 21 4.1Hali ya Uchumi Duniani......................................... 21 4.2Hali ya siasa, ulinzi na usalama............................ 24 5.0 NAFASI YA TANZANIA KIMATAIFA NA KIKANDA.... 47 6.0 KUJENGA NA KULINDA TASWIRA YA NCHI KIMATAIFA ................................................................. 53 7.0 WATANZANIA KWENYE NAFASI ZA KIMATAIFA .... 58 8.0 MAPITIO YA UTEKELEZAJI WA MAJUKUMU YA WIZARA KWA MWAKA 2019/2020 ............................ 62 8.1Kubuni na Kusimamia Utekelezaji wa Sera ya Nchi ya Mambo ya Nje.......................................... 66 8.1.1Ushirikiano wa Tanzania na Nchi za Afrika........ 66 8.1.2Ushirikiano kati ya Tanzania na Nchi za Asia na Australasia .................................................... 71 8.1.3Ushirikiano wa Tanzania na Nchi za Mashariki ya Kati ................................................................ 81 8.1.4Ushirikiano wa Tanzania na Nchi za Ulaya na Amerika.............................................................. 86 8.1.5Ushirikiano wa Kikanda...................................... 92 8.1.6Ushirikiano wa Ubia Kati ya Tanzania na Nchi Nyingine ........................................................... 128 8.1.7Ushirikiano wa Kimataifa.................................. 133 8.2Kufuatilia na Kusimamia Utekelezaji wa Mikataba iliyosainiwa .......................................... 137 i 8.3Kuratibu Mikutano ya Tume za Pamoja za Kudumu za Ushirikiano na Kufuatilia Utekelezaji wa Makubaliano .................................................. 141 8.4Masuala ya Diplomasia, Itifaki, Uwakilishi na Huduma za Kikonseli .......................................... 144 8.4.1Kuratibu Ziara za Viongozi Wakuu wa Kitaifa Nje ya Nchi....................................................... 144 8.4.2Kuratibu Ziara za Viongozi wa Kitaifa na Mashirika ya Kikanda na Kimataifa kutoka Nje ya Nchi ............................................................. 147 8.5Kuanzisha na Kusimamia Huduma za Kikonseli. 149 8.6Ushirikishwaji wa Watanzania wanaoishi ughaibuni ............................................................ 151 8.7Elimu kwa Umma ................................................ 154 8.8Mpango Mkakati wa Wizara kwa Kipindi cha Mwaka 2020/2021- 2024/2025 ........................... 155 8.9Utawala na Maendeleo ya Watumishi................. 155 8.9.1Uteuzi wa Viongozi .......................................... 156 8.9.2Mafunzo ........................................................... 156 8.9.3Upandishaji Vyeo Watumishi ........................... 157 8.9.4Uhamisho......................................................... 157 8.9.5Umiliki wa majengo .......................................... 158 8.10Kuratibu na Kusimamia Utekelezaji wa Miradi ya Maendeleo ya Wizara na Taasisi zilizo Chini ya Wizara ............................................................ 159 8.10.1Utekelezaji wa Miradi ya Maendeleo ya Wizara.............................................................. 159 8.10.2Utekelezaji wa Majukumu ya Taasisi zilizo chini ya Wizara............................................... 160 9.0 CHANGAMOTO ZILIZOPO NA HATUA ZILIZOCHUKULIWA ........................................... 167 10.0 SHUKRANI ......................................................... 169 ii 11.0 MALENGO YA WIZARA KWA MWAKA WA FEDHA 2020/2021.............................................. 175 12.0 MALENGO YA TAASISI ZILIZO CHINI YA WIZARA KWA MWAKA WA FEDHA 2020/2021 178 13.0 MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA WIZARA KWA MWAKA WA FEDHA 2020/2021 180 14.0 HITIMISHO ......................................................... 183 iii ORODHA YA VIFUPISHO AfCFTA African Continental Free Trade Area AfDB African Development Bank AICC Arusha International Conference Centre AMISOM The African Union Mission in Somalia APRM African Peer Review Mechanism AU Afican Union BADEA Arab Bank for Economic Development CFR Centre for Foreign Relations COMESA Common Market for Eastern and Southern Africa COVID – 19 Corona Virus Disease 2019 CPC Communist Party of China DRC Democratic Repubic of Congo EAC East African Community EADB East African Development Bank EPZA Export Processing Zone Authority FAO Food and Agriculture Organization of the United Nations iv FOCAC Forum on China – Africa Cooperation IAEA International Atomic Energy Agency ICGLR International Conference on the Great Lakes Region IFAD International Fund for Agricultural Development ILO International Labour Organization IMF International Monetary Fund IOM International Organisation for Migration IORA Indian Ocean Rim Association JKCI Jakaya Kikwete Cardiac Institute JNIA Julius Nyerere International Airport JNICC Julius Nyerere International Convention Centre KCMC Kilimanjaro Christian Medical Centre KfW German Development Bank KIA Kilimanjaro International Airport MSD Medical Stores Department MINUSCA United Nations Multidimensional Integrated Stabilisation Mission in Central African Republic v MONUSCO United Nations Organization Stabilisation Mission in the Democratic Republic of Congo OACPS Organization of Africa, Caribean and Pacific States OSBP’s One-Stop Border Posts PAIGC Political Party for the Independence of Guinea and Cabo Verde PAPU Pan African Postal Union RENAMO Resistência Nacional Moçambicana (Mozambican National Resistance) SADC Southern African Development Community STAMICO State Mining Corporation TANTRADE Tanzania Trade Development Authority TAZARA Tanzania - Zambia Railways Authority TCCIA Tanzania Chamber of Commerce Industry and Agriculture TEHAMA Teknolojia ya Habari na Mawasiliano TICAD Tokyo International Conference on African Development TIC Tanzania Investment Centre vi TRC Tanzania Railways Corporation UAE United Arab Emirates UKIMWI Ukosefu wa Kinga Mwilini UNAIDS Joint United Nations Programme on HIV and AIDS UNAMID African Union and United Nations Hybrid Operation in Darfur UNCDF United Nations Capital Development Fund UNCTAD United Nations Conference on Trade and Development UNDP United Nations Development Programme UNEP United Nations Environment Programme UNESCO United Nations Educational, Scientific and Cultural Organization UNFIL United Nations Interim Force in Lebanon UNFPA United Nations Population Fund UNHCR United Nations High Commissioner for Refugees UNISFA United Nations Interim Security Force for Abyei UNICEF United Nations Children's Fund vii UNIDO United Nations Industrial Development Organization UNMISS United Nations in the Republic of South Sudan UNRCO United Nations Resident Coordinator Office UNODC United Nations Office on Drugs and Crime UN Women United Nations Entity for Gender Equality and the Empowerment of Women VVU Virusi Vya Ukimwi WIOMSA Western Indian Ocean Marine Science Association WFP World Food Programme WHO World Health Organization viii 1.0 UTANGULIZI 1. Mheshimiwa Spika, kufuatia taarifa iliyowasilishwa leo katika Bunge lako Tukufu na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama (NUU), naomba kutoa hoja kwamba Bunge lako Tukufu likubali kupokea na kujadili taarifa ya utekelezaji wa mpango na bajeti ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki kwa mwaka wa fedha 2019/2020. Aidha, naomba Bunge lako Tukufu lijadili na kupitisha mpango na bajeti ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki kwa mwaka wa fedha 2020/2021. 2. Mheshimiwa Spika, awali ya yote napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu, mwingi wa rehema kwa kuniruzuku uhai na kunijalia afya njema ya kuniwezesha kusimama mbele ya Bunge lako Tukufu kuwasilisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara kwa mwaka wa fedha 2020/2021. 3. Mheshimiwa Spika, kwa kuwa Serikali ya Awamu ya Tano inahitimisha ngwe yake ya kwanza ya miaka mitano mwaka huu, niruhusu kwa namna ya kipekee kabisa kumpongeza, Mheshimiwa Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, 1 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa uongozi wake mahiri ambao umeliletea Taifa hili maendeleo makubwa katika kipindi hiki cha uongozi wake. Aidha, napenda kuwapongeza Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania; Mheshimiwa Dkt. Ali Mohamed Shein, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi; na Mheshimiwa Kassim Majaliwa Majaliwa (Mb), Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuiongoza vyema nchi yetu na kutekeleza kwa mafanikio makubwa Ilani ya Uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi ya mwaka 2015 - 2020. 4. Mheshimiwa Spika, mtakuwa mashahidi kwamba chini ya uongozi wa viongozi
Details
-
File Typepdf
-
Upload Time-
-
Content LanguagesEnglish
-
Upload UserAnonymous/Not logged-in
-
File Pages197 Page
-
File Size-