
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA HOTUBA YA WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA, MHE. PROF. KITILA ALEXANDER MKUMBO (MB.), AKIWASILISHA BUNGENI MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA FEDHA KWA MWAKA 2021/2022 Dodoma. Mei, 2021. YALIYOMO ORODHA YA VIFUPISHO ........................................ vi DIRA, DHIMA NA MAJUKUMU YA WIZARA ................x 1. UTANGULIZI ..................................................... 1 2. UMUHIMU WA VIWANDA NA BIASHARA KATIKA UCHUMI WA TAIFA .............................. 7 3. MCHANGO WA SEKTA YA VIWANDA NA BIASHARA KATIKA UCHUMI ........................... 10 3.1. Sekta ya Viwanda ......................................... 10 3.2. Sekta ya Biashara ........................................ 11 4. TATHMINI YA MPANGO NA UTEKELEZAJI WA BAJETI YA WIZARA KWA MWAKA 2020/2021 12 Bajeti Iliyoidhinishwa na Kupokelewa kwa Mwaka 2020/2021 ......................................... 12 4.1. Tathmini ya Utekelezaji wa Malengo ya Bajeti kwa Mwaka 2020/2021 ............................... 12 4.1.1. Utekelezaji wa Mpango wa Kuboresha Mfumo wa Udhibiti wa Biashara- BLUEPRINT ..............................................12 4.1.2. Mapitio na Utungaji wa Sera na Marekebisho ya Sheria na Kanuni ........ 14 4.1.3. Sekta ya Viwanda .................................. 19 4.1.4. Sekta ya Viwanda Vidogo na Biashara Ndogo .................................................... 41 4.1.5. Sekta ya Biashara .................................. 48 4.1.6. Sekta ya Masoko .................................... 69 4.1.7. Maendeleo ya Rasilimali Watu ................ 92 iii 4.1.8. Ukaguzi wa Ndani .................................. 96 4.1.9. Ununuzi na Udhibiti wa matumizi ya fedha .................................................... 96 4.1.10. Mawasiliano Serikalini .......................... 98 4.1.11. TEHAMA na Takwimu ............................ 98 5. MIPANGO NA BAJETI KWA MWAKA 2021/2022 5.1.Malengo Makuu ya Mpango wa Bajeti ........... 99 5.2.Misingi ya kuzingatia katika kutekeleza malengo makuu ya Bajeti ..........................................100 5.3. Vipaumbele kwa Bajeti ya Mwaka 2021/2022 ..................................................100 5.4. Mwelekeo wa Sekta ya Viwanda na Biashara kwa Mwaka 2021/2022 ...............................103 5.5. MALENGO MAKUU YA WIZARA ....................106 5.5.1. Sekta ya Viwanda .....................................106 5.5.2. Sekta ya Viwanda Vidogo na Biashara . Ndogo .........................................................107 5.5.3. Sekta ya Biashara .....................................108 5.5.4. Sekta ya Masoko .......................................110 5.5.5. Maendeleo ya Rasilimali Watu ..................111 5.5.6. TEHAMA na TAKWIMU ..............................113 5.5.7. Ununuzi na Udhibiti wa Matumizi ya Fedha .........................................................114 5.6. MALENGO YA TAASISI ZILIZO CHINI YA WIZARA KWA MWAKA 2020/2021 ...........115 5.6.1. Taasisi za kuendeleza Uwekezaji ..............115 5.6.2. Taasisi za Utafiti, Maendeleo ya Teknolojia na Mafunzo ..............................117 iv 5.6.3. Taasisi za Ushindani na Udhibiti wa Ubora wa Bidhaa na Huduma....................122 6. MAKADIRIO YA MAKUSANYO NA MAOMBI YA FEDHA KWA MWAKA 2021/2022 ................. 133 6.1. Makusanyo ya Serikali ................................133 6.2. Maombi ya Fedha ........................................134 7. SHUKRANI ................................................... 134 8. HITIMISHO ................................................... 135 9. MAOMBI RASMI YA FEDHA ........................... 136 10. MWISHO ..................................................... 136 VIAMBATISHO .................................................... 137 v ORODHA YA VIFUPISHO ACP African, Caribbean and Pacific ACT Agriculture Council of Tanzania AfCFTA African Continental Free Trade Area AGOA African Growth and Opportunity Act ALAF Alluminium Africa AMCOS Agriculture Marketing Cooperative Society ASDP Agricultural Sector Development Programme BAP Blue Print Action Plan BLM Balaza la Mawaziri BOT Bank of Tanzania BRELA Business Registration and Licencing Agency B2B Business to Business CFC Common Fund for Commodities CFTA Continental Free Trade Area CGS Credit Guarantee Scheme DIT Dar es Salaam Institute of Technology EAC East African Community eGA e Government Authority EIF Enhanced Integrated Framework EPA Economic Partnership Agreement EU European Union FOB Free on Board FAO Food Agriculture Organization FCC Fair Competition Commission FCT Fair Competition Tribunal vi FSDT Financial Sector Deepening Trust FTA Free Trade Area GCLA Government Chemistry Laboratory Authority GePG Government Electronic Payment Gateway GIZ Germany Development Agency GN Government Notes GPSA Government Procurement Services Agency ICDs Inland Container Deport ICT Information and Communication Technology IFAD International Fund for Agriculture Development IGP Inspector General of Policy ILO International Labour Organization IPs Implementing Partners MSY Magonjwa Sugu Yasiyoambukiza OC Other Charges TAMISEMI Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa OSBP One Stop Border Post SADC Southern African Development Community SEZ Special Economic Zone SIDO Small Industries Development Organization SIDA Swedish International Development Cooperation SIDP Sustainable Industrial Development Policy vii SMEs Small and Medium Enterprises SPS Sanitary and Phytosanitary TAA Tanzania Airport Authority TADB Tanzania Agricultural Development Bank TANePS Tanzania Electronic Procurement System TANESCO Tanzania Electricity Supply Company Limited TANEXA Tanzania Exporters Association TANROADS Tanzania National Roads Agency TANTRADE Tanzania Trade Development Authority TBC Tanzania Broadcasting Corporation TBS Tanzania Bureau of Standards TBT Technical Barriers to Trade TCCIA Tanzania Chambers of Commerce, Industry and Agriculture TCDC Tanzania Cooperative Development Commission TDC Technology Development Centre TDU Textile Development Unit TEHAMA Teknolojia ya Habari na Mawasiliano TEMDO Tanzania Engineering and Manufacturing Design Organisation TIC Tanzania Investment Center TIRDO Tanzania Industrial Research and Development Organisation TKU Tanzania KAIZEN Unit TMDA Tanzania Medicine and Medical Devices Authority TMEA Trade Mark East Africa TMX Tanzania Menchantile Exchange viii TNBC Tanzania National Business Council TOR Term of Reference TPCs Training Cum Production Centre TPSF Tanzania Private Sector Foundation TRA Tanzania Revenue Authority TRF Trade Related Facility UAE United Arab Emirates UNCTAD United Nations Conference on Trade and Development UNDP United Nations Development Program UNIDO United Nations Industrial Development Organisation USAID United States Agency for International Development USD United State Dollas UVIKO-19 Virusi Vya Korona VAT Value Added Tax VVU Virusi Vya UKIMWI WCF Workers Compensation Fund WFP World Food Programme WMA Weights and Measures Agency WRRB Warehouse Receipt Regulatory Board ix DIRA, DHIMA NA MAJUKUMU YA WIZARA Dira Kuwa na msingi shindani wa viwanda, mazingira bora ya uwekezaji na ukuaji wa biashara unaowezesha kukua kwa uchumi shirikishi na endelevu. Dhima Kujenga msingi shindani na endelevu wa viwanda wenye kuwezesha biashara ulimwenguni kwa kuzingatia faida za mahala tulipo kijiografia na rasilimali zilizopo nchini kupitia sera, mikakati na mipango kwa mageuzi shirikishi ya viwanda. Majukumu Wizara ya Viwanda na Biashara ina dhamana ya kuandaa na kusimamia utekelezaji wa sera na mikakati inayoongoza maendeleo ya viwanda, biashara, masoko, viwanda vidogo na biashara ndogo. Majukumu mahsusi ni yafuatayo:- i) Kuandaa, kuratibu na kupitia sera na mikakati ya sekta za Viwanda, Biashara, Masoko na Viwanda Vidogo na Biashara Ndogo; ii) Kufuatilia na kutathmini utendaji katika viwanda, biashara, masoko, viwanda vidogo na biashara ndogo na taasisi zinazowezesha maendeleo ya viwanda na biashara; iii) Kubuni na kuandaa programu za kuendeleza sekta za viwanda, biashara, uwekezaji, x masoko, viwanda vidogo na biashara ndogo na taasisi zinazowezesha maendeleo ya viwanda na biashara; iv) Kukusanya, kuchambua, kusambaza na kutathmini taarifa za sekta za Viwanda, Biashara, Masoko na Viwanda Vidogo na Biashara Ndogo; v) Kukuza na kuhamasisha biashara ya ndani na nje na kuboresha upatikanaji wa huduma za kuendeleza biashara; vi) Kuimarisha ufanisi wa utendaji wa wafanyakazi wa Wizara na Taasisi zake; vii) Kusimamia utekelezaji wa sheria zinazosimamia viwanda na biashara; viii) Kuimarisha utafiti wa maendeleo ya Sekta ya Viwanda; ix) Kusimamia utendaji wa taasisi zilizo chini ya Wizara; x) Kuboresha mazingira ya utendaji kazi wa Sekta Binafsi; na xi) Kutafuta fursa za masoko ya mazao na bidhaa za Tanzania. xi 1. UTANGULIZI 1. Mheshimiwa Spika; Kutokana na taarifa iliyowasilishwa leo hapa Bungeni na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Mazingira, ambayo ilichambua Bajeti ya Wizara ya Viwanda na Biashara Fungu 44 (Viwanda) na Fungu 60 (Biashara) tarehe 28 Machi, 2021 Jijini Dodoma, naomba kutoa hoja kwamba Bunge lako tukufu sasa likubali kupokea na kujadili Taarifa ya Utekelezaji wa Mipango na Bajeti kwa Mwaka 2020/2021. Aidha, naliomba Bunge lako tukufu likubali kupitisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Fedha kwa Wizara ya Viwanda na Biashara kwa Mwaka 2021/2022. 2. Mheshimiwa Spika; Naomba kumshukuru sana Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema, baraka na fadhila zake kwangu na kwa kuniwezesha kuwa sehemu ya Bunge hili nikiwa buheri wa afya na kutuwezesha kukutana hapa leo kwa
Details
-
File Typepdf
-
Upload Time-
-
Content LanguagesEnglish
-
Upload UserAnonymous/Not logged-in
-
File Pages190 Page
-
File Size-