IMAM MAHDI (A.S.) IMAM WA ZAMA HIZI NA KIONGOZI WA DUNIA Kimeandikwa na: Mulabbah Saleh Lulat ©Haki ya kunakili imehifadhiwa na: AL-ITRAH FOUNDATION ISBN: 978 – 9987 – 17 – 089 – 0 Kimeandikwa na: Mulabbah Saleh Lulat Kimehaririwa na: Alhaji Ramadhani S. K. Shemahimbo Kimepitiwa na: Mbaraka A. Tila Kimepangwa katika Kompyuta na: Al-Itrah Foundation Toleo la kwanza: Decemba, 2014 Nakala: 1000 Kimetolewa na kuchapishwa na: Alitrah Foundation S.L.P. - 19701, Dar es Salaam, Tanzania Simu: +255 22 2110640 / 2127555 Barua Pepe: [email protected] Tovuti: www.ibn-tv-com Katika mtandao: w.w.w.alitrah.info “Yeyote anayekufa bila ya kumjua Imam wa zama zake basi amekufa kifo cha kijahiliyyah (zama za kijahiliyyah: zama kabla ya Uislamu).” Mtukufu Mtume (saww) Kwa jina Lako tukufu Kimeanza kila kitu Peke Yako twakusifu Wote watu Mola Wetu Uwezo na utukufu Ni Wako Mola wa watu Ewe Rasuli, Mkweli na Mwaminifu, Rehema kwa wote alamina, Rehema na amani za Mola zipo daima juu yako toka alipoumba nuru yako, Malaika wote wanakutakia rehema na amani, Na wote kaumu ni wajibu kukusalia, Nani kama wewe ewe mbora wa viumbe wa Mola? Huyu ni Al Mahdi nuru na fakhari ya kizazi chako, Kwa upanga wako, joho lako na kilemba chako atatokomeza wote ukafiri, Kila aina ya ukoma na udajali: ufalme, demokrasia, ukomunisti, ubepari, ulahidi, ushirikina, utaghuti, dini mseto,… vyote vitatoweka na kubaki Nuru ya Mwenyezi Mungu. Wanaokukejeli Abtaru1 na wakapambana na wewe, wote hawa batili wa- metoweka zahakani2 kama povu la baharini, Mola alikupa Kauthari, Aali Muhammadi, kizazi kilicho bora minal Awwa- lina wal Akhirina, Yawatosha utukufu kwamba asiyewasalia, yake sala ni batili, Sana umemtaja na kumbashiri huyu mtukufu wa kizazi chako, Katika kitabu hiki nimeyakusanya ya hamu ili Waislamu wayafahamu, Na pia wote kaumu, wenye akili huru na nyoyo zenye harara, Nataraji wako uombezi na radhi zako. Ya Qaima Aali Muhammad, Ya Saahibaz Zamaan 1 Abtaru: katika kiarabu asiye na kizazi. Makafiri walimkejeli Mtume kwamba hana watoto wa kiume. Kwa hiyo hana kizazi cha kumrithi na kuendeleza kazi yake. Pia wako Waisl- amu wanaoshikilia fikra hiyo. 2 Zahakani: latokana na ‘ZAHAQA’ yenye maana ya kuangamia, kutoweka iii Ewe Khalifa wa Mwenyezi Mungu na Hakika watetezi wako ndiyo wenye Khalifa wa baba zake walioongoka! kufuzu! Ewe Wasii wa Mawasii waliotangulia! Na maadui zako ndiyo wenye hasara! Ewe mwenye kuhifadhi siri za Mola Na hakika wewe ni hazina ya kila wa walimwengu! elimu! Ewe Bakisho la Mwenyezi Mungu Na mfunguaji (mpasuaji) wa kila kili- kutokana na wabora walioteuliwa! chofungwa! Ewe mtoto wa Nuru zing’arazo! Na msimamishaji wa kila haki! Ewe mtoto wa Mabwana watukufu Na muondoshaji wa kila upotofu! wenye nuru! Ewe Bwana wangu mwelekezaji! Ewe mtoto wa kizazi kilichotoharika! Nimekuridhia wewe kuwa ndio Imamu Ewe machimbo ya elimu ya Mtume wangu, kiongozi, na bwana! (saww)! Kamwe, simtaki yeyote badili yako Ewe mlango wa Mwenyezi Mungu, na wala sitamchukua bwana mwigine (mlango) wa pekee wa kuingilia zaidi yako! Kwake! Nashuhudia ya kwamba wewe ndiyo Ewe njia ya Mwenyezi Mungu am- haki iliyo thabiti na isiyo na kasoro bayo asiyeipita lazima ataangamia! yeyote! Ewe mwenye kutazama Mti wa Neema Na kwamba ahadi ya Mwenyezi (Tuba) na Mkunazi wa (upeo wa) Mungu kuhusu wewe ni haki. Kamwe mwisho kabisa! sina chembe ya shaka kwa urefu wa ghaiba hii na umbali wa zama! Ewe nuru ya Mwenyezi Mungu isiyo- zimwa! Nasubiri na kutegemea siku zako (za kudhihiri)! Ewe Hujjah (Hoja) ya Mwenyezi Mungu isiyofichwa! Na wewe ni mwombezi usiye na upinzani! Ewe Hujjah wa Mwenyezi Mungu kwa wote walio ardhini na mbinguni! Na mpenzi (wa Mwenyezi Mungu) usiyerudishwa nyuma! Ewe Hujjah juu ya waliotangulia na kwa watakaokuja! Tafadhali pokea kazi hii dhalili kutoka kwa mja dhaifu! Ewe Mtukufu ambaye nyuma yako atasali Neno na Roho wa Mwenyezi Ushike mkono wangu, ili nibusu Mungu! mikono yako mitakatifu! Ewe Kiongozi wa Hizbullahi, ambalo Inua yako mikono yenye tohara, kubuli ndilo kundi la wenye ushindi! na kila utukufu Niombee dua… iv IMAM MAHDI IMAM wa ZAMA HIZI NA KIONGOZI wa DUNIA SHUKRANI Al Mahdi Centre, Nyinyi ndio chemchemi Ya haya maji matamu Hisani haina tarjumi Haya shikeni hatamu Mola awape uchumi Mfanye kazi karimu Umm Zahra, Juhudi zako si haba, Nyingi ndani ya kibaba Mola akupe mahaba, Ya wakweli masahaba Akujaze mara saba, Kwa kila punje ya haba Alhajj Kurban Khaki Mwenyezi Mola wadudi kwa zako nyingi juhudi Akupe mengi ya sudi mazuri yasiyo rudi msaada wako umewezesha kazi hii. Kwa Kila mwanafunzi wa dini, Kila mwenye kumuamini Mwenyezi Mungu, utume na Kiyama, Kila mwenye kutaraji amani na haki duniani, Kila mwenye akili huru na moyo wenye harara, Kila Mwislamu anayekerwa na umadhehebu, na anatamani umoja wa Umma wa Kiislamu, Kitabu hiki ni nuru na mwongozo, kisomeni. v YALIYOMO Neno la Uchapishaji ................................................................................. 1 Utangulizi ................................................................................................. 3 MAIMAMU KUMI NA WAWILI: ..................................................... 6 Makhalifa wa Mtume (as) na Viongozi baada yake ................................. 6 Uislamu ni Mfumo kamili: ....................................................................... 6 Uongozi ni uti wa mgongo: ...................................................................... 6 Ukhalifa baada ya Mtume (saww): .......................................................... 8 Hadithi ya Ghadir Khum: ....................................................................... 11 Hadithi ya Thaqalayn (vizito viwili): .................................................... 11 Hadithi ya Safina: ................................................................................... 11 Hadithi ya Makhalifa Kumi na wawili: ................................................. 12 Muhimu kuzingatia: ............................................................................... 13 IMAM MAHDI (A.T.F.) NI IMAMU WA KUMI NA MBILI: ............................................................................................... 15 Dalili kutoka katika Qur’ani: ................................................................. 18 A - Imam Mahdi Katika Sahih Sita (Vitabu Sita Sahihi vya Hadithi): ............................................................................. 20 B - Maimamu wa Ahlulbait (a.s.) na Imam Mahdi .......................... 21 C – Uchambuzi wa Kitaalamu wa Hadithi kuhusu Imam Mahdi (as) ........................................................................ 27 Dalili za Kihistoria ................................................................................. 43 A – Baadhi ya watu waliodai UMahdi na Waliosingiziwa UMahdi ..................................................................................... 43 1 – Waliodai UMahdi ............................................................... 43 2 – Watu waliodhaniwa UMahdi .............................................. 49 vi IMAM MAHDI IMAM wa ZAMA HIZI NA KIONGOZI wa DUNIA B – Kauli za Ulamaa wa Kisunni kwamba Imam Mahdi ndiye bin Imam Hasan Askariy (as) .............................. 54 VITABU KUHUSU GHAYBAH VILIVYOANDIKWA KABLA YA KUZALIWA IMAM MAHDI (AS) ............................ 65 Bishara katika vitabu vingine ................................................................. 66 MLANGO WA 2: HISTORIA YA IMAM MAHDI (AS) ................ 71 1 – Imam Mahdi ni Nani? ................................................................ 71 2 – Kuzaliwa na Kuonekana ............................................................ 73 3 – Ghayba ndogo (Sughra) ............................................................. 79 4 – Ghayba kubwa (Kubra) .............................................................. 82 Visa vya kweli kuhusu kukutana naye ............................................. 90 Baadhi ya Miujiza ............................................................................ 98 MLANGO WA 3: ALAMA ZA KUDHIHIRI NA SERIKALI YA HAKI ...................................................................... 133 1 – Alama za kudhihiri Imam ........................................................ 133 Alama Thabiti, lazima zitatokea .................................................... 133 1 – Kuenea dhulma na ukandamizaji ........................................ 137 2 – Kuja kwa Dajjal .................................................................. 138 3 – Sufyaniy .............................................................................. 138 4 – Bendera Nyeusi kutokea Khorasan ..................................... 145 5 – Sauti kutoka Mbinguni ........................................................ 145 6 – Kuteremka Nabii Isa (as) na kuswali nyuma ya Imam Mahdi (a.t.f.) ............................................................. 146 7 – Al-Yamaniy ......................................................................... 146 vii IMAM MAHDI IMAM wa ZAMA HIZI NA KIONGOZI wa DUNIA 8 – Kupasuka ardhi hapo Baidaa............................................... 146 9 – Kuuliwa Nafsi Zakiyya ....................................................... 146 10 – Sayyid Hasaniy ................................................................. 147 SERIKALI YA KIISLAMU ZAMA ZA GHAYBA, KABLA YA KUDHIHIRI IMAM MAHDI (A.T.F.) .................... 147 2 – Mapambano dhidi ya Dhulma ................................................. 148 Vita vya Dunia ......................................................................... 148 Hali ya Hijaz karibu na kudhihiri Imam .................................
Details
-
File Typepdf
-
Upload Time-
-
Content LanguagesEnglish
-
Upload UserAnonymous/Not logged-in
-
File Pages259 Page
-
File Size-