Mkutano Wa Kwanza

Mkutano Wa Kwanza

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA BUNGE LA TANZANIA MKUTANO WA KWANZA YATOKANAYO NA KIKAO CHA PILI 18 NOVEMBA, 2015 MKUTANO WA KWANZA YATOKANAYO NA KIKAO CHA PILI - TAREHE 18 NOVEMBA, 2015 I. DUA: Spika wa Bunge, Mhe. Job Y. Ndugai alisomwa dua saa 3.00 asubuhi na kikao kiliendelea. II. KIAPO CHA UAMINIFU KWA WABUNGE WOTE: Wabunge wafuatao waliapishwa na Mhe. Spika:- 1. Mhe. Sophia Mattayo Simba 2. Mhe. Munde Tambwe Abdalla 3. Mhe. Alex Raphael Gashaza 4. Mhe. Esther Nicholas Matiko 5. Mhe. Hafidh Ali Tahir 6. Mhe. Halima Abdallah Bulembo 7. Mhe. Halima James Mdee 8. Mhe. Hamad Yussuf Masauni, Eng. 9. Mhe. Hamida Mohammed Abdallah 10. Mhe. Hamisi Andrea Kigwangalla, Dkt. 11. Mhe. Hasna Sudi Katunda Mwilima 12. Mhe. Hassan Elias Masala 13. Mhe. Hassani Seleman Kaunje 14. Mhe. Hawa Abdulrahman Ghasia 15. Mhe. Hawa Subira Mwaifunga 16. Mhe. Hussein Nassor Amar 17. Mhe. Innocent Lugha Bashungwa 18. Mhe. Innocent Sebba Bilakwate 19. Mhe. Issa Ali Mangungu 20. Mhe. Jacquiline Ngonyani Msongozi 21. Mhe. James Francis Mbatia 22. Mhe. James Kinyasi Millya 23. Mhe. Janeth Zebedayo Mbene 2 24. Mhe. Jasmine Tisekwa Bunga, Dkt. 25. Mhe. Jasson Samson Rweikiza 26. Mhe. Jitu Vrajlal Soni 27. Mhe. John John Mnyika 28. Mhe. John Wegesa Heche 29. Mhe. Joseph George Kakunda 30. Mhe. Joseph Michael Mkundi 31. Mhe. Josephat Sinkamba Kandege 32. Mhe. Josephine Johnson Genzabuke 33. Mhe. Josephine Tabitha Chagula 34. Mhe. Joshua Samwel Nassari 35. Mhe. Joyce Bitta Sokombi 36. Mhe. Joyce John Mukya 37. Mhe. Juliana Daniel Shonza 38. Mhe. Juma Kombo Hamad 39. Mhe. Juma Selemani Nkamia 40. Mhe. Jumanne Abdallah Maghembe, Prof. 41. Mhe. Kasuku Samson Bilago 42. Mhe. Katani Ahmad Katani 43. Mhe. Khadija Hassan Aboud 44. Mhe. Khadija Nassir Ali 45. Mhe. Khatib Said Haji 46. Mhe. Kunti Yusuph Majala 47. Mhe. Lathifah Hassan Chande 48. Mhe. Lazaro Samuel Nyalandu 49. Mhe. Leah Jeremiah Komanya 50. Mhe. Leonidas Tutubert Gama 51. Mhe. Livingstone Joseph Lusinde 52. Mhe. Lolesia Jeremia Bukwimba 53. Mhe. Lucy Simon Magereli 54. Mhe. Lucy Thomas Mayenga 55. Mhe. Luhaga Joelson Mpina 56. Mhe. Magdalena Hamis Sakaya 3 57. Mhe. Maida Hamad Abdallah 58. Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa 59. Mhe. Mahmoud Hassan Mgimwa 60. Mhe. Makame Mashaka Foum 61. Mhe. Margaret Simwanza Sitta 62. Mhe. Maria Ndila Kangoye 63. Mhe. Mariam Ditopile Mzuzuri 64. Mhe. Grace Sindato Kiwelu 65. Mhe. Mariam Nassoro Kisangi 66. Mhe. Martha Jachi Umbulla 67. Mhe. Martha Moses Mlata 68. Mhe. George Boniface Simbachawene 69. Mhe. Mary Machuche Mwanjelwa, Dkt. 70. Mhe. Mary Pius Chatanda 71. Mhe. Mashimba Mashauri Ndaki 72. Mhe. Marwa Ryoba Chacha 73. Mhe. Mbaraka Salim Bawazir 74. Mhe. Mbarouk Salim Ali 75. Mhe. Mboni Mohamed Mhita 76. Mhe. Medard Matogolo Kalemani, Dkt. 77. Mhe. Mendrad Lutengano Kigola 78. Mhe. Mgeni Jadi Kadika 79. Mhe. Miza Bakari Haji 80. Mhe. Mohamed Juma Khatib 81. Mhe. Mohamed Omary Mchengerwa 82. Mhe. Moshi Selemani Kakoso 83. Mhe. Muhammed Amour Muhammed 84. Mhe. Munira Mustapha Khatibu 85. Mhe. Musa Ramadhan Sima 86. Mhe. Musa Rashid Ntimizi 87. Mhe. Mussa Azzan Zungu 88. Mhe. Mussa Bakari Mbarouk 89. Mhe. Musukuma Joseph Kasheku 4 90. Mhe. Mwanne Ismail Mchemba 91. Mhe. Mwantakaje Haji Juma 92. Mhe. Mwatum Dau Haji 93. Mhe. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu 94. Mhe. Mwita Mwikwabe Waitara 95. Mhe. Charles John Mwijage 96. Mhe. Naghenjwa Livingstone Kaboyoka 97. Mhe. Najma Murtaza Giga 98. Mhe. Nape Moses Nnauye 99. Mhe. Nassor Suleiman Omar 100. Mhe. Neema William Mgaya 101. Mhe. Nimrod Elirehema Mkono 102. Mhe. Njalu Daudi Silanga 103. Mhe. Norman Adamson King Sigalla, Prof. 104. Mhe. Omari Mohamed Kigua 105. Mhe. Omary Tebweta Mgumba 106. Mhe. Omary Ahmad Badwel 107. Mhe. Onesmo Koimerek Ole Nangole 108. Mhe. Oran Manase Njeza 109. Mhe. Oscar Rwegasira Mukasa 110. Mhe. Othman Omar Haji 111. Mhe. Pascal Yohana Haonga 112. Mhe. Pauline Philipo Gekul 113. Mhe. Peter Ambrose Paciens Lijualikali 114. Mhe. Peter Joseph Serukamba 115. Mhe. Peter Simon Msigwa, Mch. 116. Mhe. Philipo Augustino Mulugo 117. Mhe. Prosper Joseph Mbena 118. Mhe. Pudenciana Wilfred Kikwembe, Dkt. 119. Mhe. Qambalo Willy Qulwi 120. Mhe. Raisa Abdallah Mussa 121. Mhe. Ramo Matala Makani, Eng. 122. Mhe. Raphael Masunga Chegeni, Dkt. 5 123. Mhe. Raphael Japhary Michael 124. Mhe. Rashid Abdallah Shangazi 125. Mhe. Rashid Ali Abdallah 126. Mhe. Rhoda Edward Kunchela 127. Mhe. Richard Phillip Mbogo 128. Mhe. Ridhiwani Jakaya Kikwete 129. Mhe. Risala Said Kabongo 130. Mhe. Riziki Said Lulida 131. Mhe. Riziki Shahari Mngwali 132. Mhe. Rose Cyprian Tweve 133. Mhe. Rose Kamil Sukum 134. Mhe. Ruth Hiyob Mollel 135. Mhe. Sabreena Hamza Sungura 136. Mhe. Sadifa Juma Khamis 137. Mhe. Saed Ahmed Kubenea 138. Mhe. Salim Hassan Turky 139. Mhe. Salma Mohamed Mwassa 140. Mhe. Salome Wycliffe Makamba 141. Mhe. Salum Khamis Salum 142. Mhe. Salum Mwinyi Rehani 143. Mhe. Saul Henry Amon 144. Mhe. Saumu Heri Sakala 145. Mhe. Savelina Silvanus Mwijage 146. Mhe. Sebastian Simon Kapufi III. KUSITISHA BUNGE: Mhe. Spika alisitisha Shughuli za Bunge hadi Jioni saa 11.00. IV. BUNGE KUREJEA: Bunge lilirejea saa 11.00 Jioni likiongozwa na Mhe. Spika. Wabunge wafuatao waliendelea kuapishwa na Mhe. Spika:- 6 147. Mhe. Seif Khamis Said Gulamali 148. Mhe. Selemain Said Bungara 149. Mhe. Seleman Jumanne Zedi 150. Mhe. Selemani Said Jafo 151. Mhe. Shally Joseph Raymond 152. Mhe. Sikudhani Yasini Chikambo 153. Mhe. Silafu Jumbe Maufi 154. Mhe. Silvestry Francis Koka 155. Mhe. Sixtus Raphael Mapunda 156. Mhe. Sophia Hebron Mwakagenda 157. Mhe. William Vangimembe Lukuvi 158. Mhe. Stanslaus Haroon Nyongo 159. Mhe. Stanslaus Shing’oma Mabula 160. Mhe. Stella Ikupa Allex 161. Mhe. Stella Martin Manyanya, Eng. 162. Mhe. Stephen Hillary Ngonyani 163. Mhe. Stephen Julius Masele 164. Mhe. Subira Khamis Mgalu 165. Mhe. Suleiman Ahmed Saddiq 166. Mhe. Suleiman Ally Yussuf, Dkt. 167. Mhe. Susan Anselm Jerome Lyimo 168. Mhe. Susan Limbweni Kiwanga 169. Mhe. Suzana Chogisasi Mgonokulima 170. Mhe. Susan Alphonce Kolimba, Dkt. 171. Mhe. Susanne Peter Maselle 172. Mhe. Sospeter Mwijarubi Muhongo, Prof. 173. Mhe. Taska Restituta Mbogo 174. Mhe. Tauhida Cassian Gallos 175. Mhe. Tunza Issa Malapo 176. Mhe. Twahir Awesu Mohammed 177. Mhe. Ummy Ally Mwalimu 178. Mhe. Ussi Salum Pondeza Amjadi 179. Mhe. Vedasto Edgar Ngombale 7 180. Mhe. Vedastus Mathayo Manyinyi 181. Mhe. Venance Methusalah Mwamoto 182. Mhe. Vicky Paschal Kamata 183. Mhe. Victor Kilasile Mwambalaswa 184. Mhe. Wilfred Muganyizi Lwakatare 185. Mhe. William Mganga Ngeleja 186. Mhe. William Dua Nkurua 187. Mhe. William Tate Ole - Nasha 188. Mhe. Yahaya Omary Massare 189. Mhe. Yosepher Ferdinand Komba 190. Mhe. Yussuf Haji Khamis 191. Mhe. Yussuf Kaiza Makame 192. Mhe. Yussuf Salim Hussein 193. Mhe. Zacharia Paulo Issaay 194. Mhe. Zainab Athumani Katimba 195. Mhe. Zainab Mussa Bakar 196. Mhe. Zainab Nuhu Mwamwindi 197. Mhe. Zaynab Matitu Vullu 198. Mhe. Zuberi Mohamedi Kuchauka 199. Mhe. Freeman Aikael Mbowe V. KUAHIRISHA BUNGE: Saa11.45 Jioni Spika aliahirisha Shughuli za Bunge hadi Alhamisi tarehe 19 Novemba, 2015 saa 3.00 Asubuhi. DODOMA DKT. T. D. KASHILILAH 18 NOVEMBA, 2015 KATIBU WA BUNGE 8 .

View Full Text

Details

  • File Type
    pdf
  • Upload Time
    -
  • Content Languages
    English
  • Upload User
    Anonymous/Not logged-in
  • File Pages
    8 Page
  • File Size
    -

Download

Channel Download Status
Express Download Enable

Copyright

We respect the copyrights and intellectual property rights of all users. All uploaded documents are either original works of the uploader or authorized works of the rightful owners.

  • Not to be reproduced or distributed without explicit permission.
  • Not used for commercial purposes outside of approved use cases.
  • Not used to infringe on the rights of the original creators.
  • If you believe any content infringes your copyright, please contact us immediately.

Support

For help with questions, suggestions, or problems, please contact us