NCHIJarida YETU la Mtandaoni Utamaduni, Sanaa na Michezo

TOLEO NA.2 Limeandaliwa na Idara ya Habari-MAELEZO TOLEO LA FEBRUARI 2017 TUNATEKELEZA: Mabilioni Yamiminika Miradi ya Maendeleo

787 Dreamliner Mchoro barabara ya juu Tazara

Mtambo wa Umeme wa Kinyerezi 1 Mtambo wa Maji Ruvu Juu

www..go.tz i Limeandaliwa na Idara ya Habari-MAELEZO

Bodi ya Uhariri

Mwenyekiti Dkt. Hassan Abbasi Mkurugenzi-Idara ya Habari-MAELEZO Wajumbe Zamaradi Kawawa Vincent Tiganya John Lukuwi Elias Malima Msanifu Jarida Hassan Silayo Benedict Liwenga

Huduma zitolewazo MAELEZO 1.Kuuza picha za Viongozi wa Taifa na matukio muhimu ya Serikali. 2.Kusajili Magazeti pamoja na Majarida 3.Kukodisha ukumbi kwa ajili ya mikutano na Waandishi wa Habari. 4.Rejea ya Magazeti na Picha za Zamani 5.Kupokea kero mbalimbali za wananchi. Jarida hili hutolewa na: Idara ya Habari-MAELEZO S.L.P 8031 Dar es Salaam-Tanzania Simu : (+255) 22 -2122771 Baruapepe:[email protected] Tovuti: www.tanzania.go.tz Limeandaliwa na Idara ya Habari-MAELEZO ii

TAHARIRI HONGERA JPM KWA VITA DHIDI YA DAWA ZA KULEVYA

Hivi karibuni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli ameonyesha dhamira yake ya dhati ya kupambana na dawa za kulevya kwa kumteua Kamishna Rogers William Sianga kuwa Kamishna wa Mamlaka ya Kuzuia na Kupambana na Dawa za Kulevya.

Akiongea mara baada ya kumwapisha Kamishna huyo, Rais Magufuli alimtaka Kamishna Sianga kupambana na dawa za kulevya bila ya kuogopa ili kuokoa nguvu kazi ya taifa inayoteketea kwa utumiaji wa madawa hayo

Katika kuonesha dhamira ya dhati ya kupambana na janga hili Rais Magufuli alisema ni vyema sasa vyombo vyote vya ulinzi na salama vikashirikiana kupambana katika vita hiyo ili kuondoa kabisa dawa hizo hapa nchini.

Kwa upande wake Kamishna Sianga alimuahidi Mh.Rais kufanya kazi kwa uaminifu ili kuweza kufanikisha azma ya Serikali ya kutokomeza biashara na utumiaji wa dawa za kulevya kwani zimekuwa zikipoteza nguvu kazi ya Taifa.

“Hatutajali mtu yeyote, hii vita ni kubwa hatuwezi kwenda nayo kwa mzaha hivyo nitasimamia sheria ili kuhakikisha dawa za kulevya zinabaki kuwa historia nchini,” alisema Kamishna Sianga.

Alisisitiza kuwa vita ndio kwanza imeanza kushika kasi, na itaendelea kupiganwa hadi imalizike hivyo Watanzania hawana budi kuunga mkono jitihada zinazofanywa na Serikali kwa kutoa ushirikiano kuhakikisha wanatokomeza uzalishaji, usambazaji, uuzaji na matumizi ya namna yoyote ya madawa ya kulevya, kila mmoja anatakiwa kushiriki kikamilifu katika vita hii ili hatimaye iweze kufanikiwa.

Sisi tunaamini kuwa vita hii ni ya haki na inapaswa kuwa ya kila mtanzania. Tumuunge mkono Rais pamoja na watendaji wapya aliowateua ili wafanikiwe. Ni jukumu pia la kila mwananchi mmoja mmoja pamoja na viongozi wa ngazi zote nao kushirikiana kwa pamoja katika kufanikisha vita hii. 1 Limeandaliwa na Idara ya Habari-MAELEZO

Inatoka Uk. 1 TUNATEKELEZA: Mabilioni Yamiminika Miradi ya Maendeleo

Waziri Mkuu, na Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo (kushoto kwake) wakitazama mfumo wa usambazaji umeme mbili aina ya Bombardier Q400 kuwa Serikali katika kuhakikisha (ambazo zimeshawasili nchini Na Mwandishi Wetu kuwa ahadi zilizoko katika Ilani ya na zimeanza kutoa huduma) na Uchaguzi, Mpango wa Maendeleo kiasi kingine ni malipo ya awali ya wa Miaka Mitano na zile za ununuzi wa ndege mpya nne (4). Rais, vinatekelezwa ipasavyo, UNATEKELEZA” ndilo neno inaendelea kuhakikisha kuwa fupi lakini linalobeba uzito Miongoni mwa ndege hizo nne “T fedha zilizotengwa zinatolewa ili wa kazi kubwa inayoendelea mpya ambazo zitaanza kuwasili kuinua maisha ya Watanzania. kufanywa na Serikali ya Awamu nchini mwishoni mwa mwaka ya Tano chini ya Rais Dkt. John huu na kukamilika mwakani Uchambuzi wa NCHI YETU Pombe Magufuli. Mafanikio hayo ni ndege kubwa yenye uwezo unaonesha kuwa miradi mingi makubwa yanakuja ikiwa ni wa kubeba abiria takribani 260 ya maendeleo kama vile maji takribani miezi 15 tu sasa tangu ya aina ya Boeing Dreamliner. (mijini na vijijini), usambazaji wa Serikali yake iingie madarakani. umeme, ujenzi wa barabara na Umeme na Maji Takwimu ambazo jarida hili miundombinu mingine, kilimo na Katika kuhakikisha wananchi limezipata zinaonesha kuwa miradi mingine mikubwa kama hasa walioko vijijini wanaendelea mpaka kufikia Januari mwaka huu, vile ununuzi wa ndege mpya kupatiwa huduma ya uhakika ikiwa ni nusu ya mwaka huu wa za kisasa, yote imeendelea ya nishati ili kuinua maisha yao, fedha, miradi mingi ya maendeleo kupokea mabilioni ya fedha takwimu hizo zinaonesha kuwa imeshapokea mabilioni ya fedha ili kuharakisha utekelezaji. kiasi cha shilingi bilioni 267 za utekelezaji. Hali hii inaonesha kimeshatolewa ili kutekeleza miradi dhamira ya wazi ya Serikali. ya usambazaji wa umeme vijijini. Ununuzi wa ndege mpya Akiwasilisha baadhi ya takwimu Kwa mujibu wa takwimu hizo, Katika sekta muhimu ya maji (mijini hizo Bungeni mapema Februari, Serikali imeshatumia kiasi cha na vijijini) Serikali nako imeendelea 2017, Waziri wa Fedha na Mipango, shilingi bilioni 234.937 kwa ajili kutekeleza ahadi zake kwa kutoa Dkt. Phillip Mpango, amebainisha ya ununuzi wa ndege mpya kiasi cha shilingi bilioni 165. Kiasi

InaendeleaInaendelea Uk.Uk.2 3 Jarida la Nchi Yetu 2016 “Tuunge Mkono Jitihada za Kupinga Rushwa na Ufisadi na TuimarisheLimeandaliwa Uchumi na wa Idara Viwanda ya Habari-MAELEZO kwa Maendeleo Yetu” 2

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akipata maelezo ya namna mandhari itakavyokuwa baada ya kuweka jiwe la msingi kwa ajili ya ujenzi wa mradi wa barabara ya juu kwenye makutano ya barabara za Mandela na Nyerere eneo la Tazara Jijini Dar es Salaam hicho kimesaidia kuendelea na Kuhusu afya, taarifa ya hali ya na Jumuiya za Kimataifa (bilioni kukamilika kwa miradi mingi ya uchumi iliyowasilishwa na Dkt. 9.8); ruzuku kwa vyama vya siasa maji mijini na vijijini itakayosaidia Mpango inaonesha kuwa kiasi (bilioni 8.6) na uboreshaji wa shule sana maisha ya wananchi. cha shilingi bilioni 235 zimetolewa zenye mahitaji maalum (bilioni 2.5). kusaidia uboreshaji wa huduma za Ujenzi wa Miundombinu afya ikiwemo ununuzi wa dawa. Si ndege, maji na umeme tu, ripoti Katika elimu tayari kufikia nusu Dhamira ya Rais Iko ya hali ya uchumi ya nusu mwaka ya mwaka wa bajeti, inaonesha inaonesha kuwa Serikali ya Rais ripoti hiyo, kiasi cha shilingi bilioni Wazi Magufuli pia imeshatoa kiasi 277 kimeshatumika kwa ajili ya Akieleza siri ya mafanikio haya kikubwa katika ujenzi wa barabara mikopo ya elimu ya juu na shilingi makubwa katika kipindi kifupi, maeneo mbalimbali nchini. Tayari bilioni 124 zikiwa zimeshatumika Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu kiasi cha shilingi bilioni 916 kugharamia sera ya elimu bure. kilishatolewa kwa ajili ya ujenzi wa Rais, Mhe. , akichambua kwa ujumla utendaji wa miundombinu hii muhimu. Mbali ya sekta hizo, Serikali pia, na utekelezaji wa Serikali ikiwa ni Miundombinu mingine ambayo inaonesha ripoti hiyo, imetoa miezi 15 tu madarakani, ameliambia tayari imeshapewa fedha za mabilioni kugharamia masuala bunge hivi karibuni, kuna kutekeleza miradi iliyopangwa ni: mengine muhimu ambapo, ukiacha mabadiliko makubwa katika kila upanuzi viwanja vya ndege vya mishahara na stahili muhimu za eneo la utendaji wa Serikali ya Mhe. Dodoma na Mwanza (shilingi bilioni watumishi wa umma ambavyo Rais Dkt. John Pombe Magufuli. 12.352) na Mfuko wa reli (bilioni 58). vinaendelea kulipwa kwa wakati, masuala mengine muhimu pia Waziri Makamba anayatathmini Elimu na Afya ni yamepatiwa fedha kama ifuatavyo: mafanikio yote haya kiutekelezaji Nguzo Muhimu akiyanasibisha na siri moja kubwa; Ruzuku ya pembejeo (bilioni dhamira safi na ya wazi ya Rais 10); ununuzi wa chakula cha Serikali kwa kutambua umuhimu Magufuli kuenzi misingi aliyoiacha hifadhi (bilioni 9); posho za mfuko wa sekta hizi, imeainisha Bungeni Baba wa Taifa, Mwalimu Julius wa jimbo na Mfuko wa Bunge mapema Februari utoaji wa fedha Kambarage Nyerere, misingi (bilioni 35); michango ya taasisi za kutekeleza masuala mbalimbali. iliyoegama katika kuwatumikia watu. “Tuunge Mkono Jitihada za Kupinga Rushwa na Ufisadi na 3 TuimarisheLimeandaliwa Uchumi na Idara wa ya Viwanda Habari-MAELEZO kwa Maendeleo Yetu”

Ziara ya Rais Museveni Yafungua Milango ya Ushirikiano Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpokea mgeni wake Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni (kushoto) Ikulu Jijini Dar es Salaam, Rais Museveni alikuwepo nchini kwa ziara ya kikazi ya siku mbili.

Na Vincent Tiganya tumejadili mambo mengi huo kwenda pia Uganda hususani kuhusu mradi wa kuwapa maelezo ambayo ujenzi wa bomba la mafuta, waliyatoa kwa Tanzania,” ais wa Uganda Mhe. tumekubaliana na Mhe. alifafanua Dkt. Magufuli. RYoweri Kaguta Museveni Rais mambo mengi, na sasa amemhakikishia Rais wa tutakwenda kuweka jiwe la Kwa upande wake, Rais Jamhuri ya Muungano wa msingi la ujenzi wa mradi huo,”. Museveni alisema kuwa Tanzania Mhe. Dkt. John amesema Rais Museveni. ameongea na Rais Magufuli Pombe Magufuli kuwa yupo na wamekubaliana kutosaini tayari kuweka jiwe la msingi Awali Marais hao walikubaliana mkataba huo na kuongeza kuwa la mradi wa ujenzi wa bomba kutosaini mkataba wa mahusiano suala la EPA ni lazima lijadiliwe la mafuta kutoka Hoima ya kiuchumi na kibiashara kati na nchi zote za Afrika Mashariki nchini Uganda hadi Bandari ya nchi za Jumuiya ya Afrika ili kuwepo na msimamo wa ya Tanga nchini Tanzania. Mashariki na Ulaya (EPA). pamoja kwa nchi zote za Hatua hiyo inatokana na Jumuiya ya Afrika Mashariki. Rais Museveni alitoa kauli kuonekana mkataba huo katika Uwanja wa Ndege wa kutokuwa na faida bali ni Aidha Rais Muveseni Kimataifa wa aina nyingine ya ukoloni alimpongeza Rais Magufuli Jijini Dar es Salaam wakati ambao unataka kurejeshwa kwa kulifufua Shirika la Ndege akiagana na mwenyeji wake kwa nchi za Afrika. Tanzania (ATCL) kwa kununua Mhe. Rais Magufuli baada ndege mpya Sita, hivyo ya kumaliza ziara yake rasmi “Nimeongea na Rais Museveni amekaribisha shirika hilo kutoa ya Kiserikali ya siku mbili amekubali kutosaini mkataba huduma za usafiri wa anga nchini wa EPA, nitawaagiza wataalamu Uganda kutokana na nchi hiyo “Tulikuwa na mazungumzo waliosaidia kutupa maelezo kuwa na uhitaji wa huduma hiyo. mazuri na Mhe. Rais Magufuli, juu ya madhara ya mkataba Inaendelea Uk. 4 Limeandaliwa na Idara ya Habari-MAELEZO 4

wa kutumia tani milioni moja pekee, hivyo ni fursa kwa wafanyabiashara wa Kitanzania kwenda kuwekeza nchini humo.

“Tunawahamasisha wafanyabiashara wa Uganda na Tanzania kuwekeza katika nchi zao ili kuzalisha, bidhaa na ajira za kutosha kwa wananchi” alisema Waziri Mwijage.

Waziri Mwijage alitoa Wito kwa Watanzania kushiriki katika uchumi wa viwanda Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika kwa kufanya uzalishaji Mashariki kutoka Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa wa bidhaa zinazotumika Tanzania, Balozi Dkt. Augustine Mahiga (kulia) na Waziri viwanda mfano kwa kulima wa Mambo ya Nje wa Uganda Oryem Henry Okello matunda au mbogamboga.

Vilevile alimpongeza Rais alisema Rais Museveni. Rais Yoweri Museveni aliwasili Magufuli kwa ujenzi wa Reli nchini jana kwa ziara ya kiserikali ya Kiwango cha Kimataifa Kwa upande wa Mkurugenzi ya siku mbili ambapo akiwa (Standard Gauge Railway) wa Mahusiano wa Kampuni za nchini alifanya mazungumzo na kutoka Dar es Salaam mpaka Bakhresa Hussin Sufiani alisema Mwenyeji wake Rais wa Jamhuri Mwanza na Isaka mpaka kuwa Kampuni hiyo hivi sasa ina ya Muungano wa Tanzania Rwanda ambapo itasaidia kiwanda kimoja nchini Uganda Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli ujenzi wa bandari kavu katika ambacho kinazalisha unga wa na kutembelea Viwanda Mkoa wa Mwanza hivyo ngano tani 1,100 kwa siku. vya Said Salim Bakhresa wafanyabiashara wa Uganda vya Tazara na Vingunguti. kunufaika na bandari hiyo Alisema kuwa lengo ni kutaka ambayo itakuwa karibu zaidi kuongeza uzalishaji kutoka kuliko ilivyo kwa Dar es Salaam. tani 1,100 hadi kufikia 2,000 ambapo uwekezaji huo umetoa Wakati huo huo Rais Museveni ajira 650 kwa Waganda. “Nimeongea na Rais alitoa wito kwa wafanyabiashara Museveni amekubali wa Kitanzania kwenda Kwa upande wa Waziri wa kutosaini mkataba kuwekeza nchini Uganda Viwanda, Biashara na Uwekezaji wa EPA, nitawaagiza mara baada ya kutembelea Mhe. anasema viwanda vya Kampuni ya Uganda na Tanzania zimeingia wataalamu waliosaidia Bakhresa vinavyozalisha Unga makubaliano ya ushirikiano kutupa maelezo juu ya na Juisi vya Buguruni na katika sekta mbalimbali madhara ya mkataba Vingunguti jijini Dar es Salaam. ikiwemo sekta ya viwanda. huo kwenda pia Uganda “Nawakaribisha wafanyabiashara wa Kitanzania Amesisitiza Watanzania kuwapa maelezo kuja nchini Uganda kuwekeza wanaweza kwenda kuwekeza ambayo waliyatoa kwa kwani kufanya hivyo kutasaidia nchini Uganda kwa vile nchi Tanzania,” alifafanua kuzalisha bidhaa, upatikanaji hiyo inalima tani milioni 4 Dkt. Magufuli. wa soko pamoja na ajira” za mahindi lakini ina uwezo 5 Limeandaliwa na Idara ya Habari-MAELEZO Bonde la Mto Nile Muhimu kwa Uchumi wa Tanzania

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akizungumza wakati wa sherehe za Siku ya Mto Nile hivi karibuni Jijini Dar es Salaam.

Mashariki ya Bara la Afrika na Na Jacquiline Mrisho Duniani kote ukiwa na urefu Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi wa kilomita 6,695 ambapo inayosimamia shughuli za Maadhimisho ya 11 ya Siku ya beseni ya Nile hukusanya wanachama wa Bonde la Mto Nile Nile kwa mwaka huu yamefanyika maji ya eneo linalojumuisha (NBI), Innocent Ntabana anasema nchini Tanzania kwa ushirikiano 10% za eneo la Afrika yote. kuwa azma ya kusimamia na wa Wizara ya Maji na Umwagiliaji kuendeleza rasilimali za Bonde la pamoja na Sekretarieti ya Nile Mto huo ambao unaanzia Ziwa Mto Nile limepewa kipaumbele na Basin Initiative (NBI) ambapo Victoria nchini Tanzania, ni nchi zote zinazozungukwa na mto mgeni rasmi wa maadhimisho chanzo kikubwa cha maji kwa huo, jambo hilo ndilo limesababisha hayo alikuwa Makamu wa Rais, ajili ya matumizi ya nyumbani, kuanzishwa kwa Sekretarieti ya NBI Mama Samia Suluhu Hassan. viwandani, kilimo cha umwagiliaji mwaka 1999 jijini Dar es Salaam. na kuzalisha umeme kwa Maadhimisho hayo yalihudhuriwa wakazi wa nchi za bonde hilo. “NBI ina jukumu la kusimamia na na watu zaidi ya 600 wakiwemo kuendeleza rasilimali za maji za Mawaziri wa nchi wanachama Kutokana na nchi nyingi Bonde la Mto Nile kwa niaba ya nchi kutoka kwenye nchi husika, mabalozi kuzungukwa na mto Nile, suala wanachama zipatazo 10 ambazo ni mbalimbali, wabunge, watu kutoka la ushirikiano katika kusimamia Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, taasisi na mashirika mbalimbali na kuendeleza rasilimali za Burundi, Ethiopia, Sudan, Sudan ya pamoja na wanafunzi wa shule za Bonde la Mto huo limepewa Kusini, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Msingi, Sekondari na Vyuo Vikuu. kipaumbele ili kuzuia migogoro Kongo na Misri,” anasema Ntabana. Mto Nile ni miongoni mwa mito inayoweza kuzuka baina ya nchi mikubwa iliyopo upande wa ambazo wanatumia mto huo. Kwa upande wa Mratibu wa Kanda

Inaendelea Uk. 6 6 Limeandaliwa na Idara ya Habari-MAELEZO Bonde la Mto Nile Muhimu kwa Uchumi wa Tanzania

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akipata maelezo kuhusu Miradi mbalimbali inayotekelezwa kupitia Program ya Nile Basin Initiative alipotembelea mabanda ya taasisi mbalimbali wakati wa sherehe za Siku ya Mto Nile hivi karibuni Jijini Dar es Salaam.

wa Kitengo cha Uratibu cha Bonde umeme wa Rusumo na umwagiliaji ajili ya matumizi ya majumbani, la Mto Nile (NELSAP-CU), Elicad katika mabonde ya mito Kagera mifugo na shughuli za umwagiliaji. Nyabeeya anasema mto huo na Ngono iliyopo mkoani Kagera. una manufaa makubwa kwa nchi Wakati huo, Bwawa la Borenga wanachama kwani muunganiko Anaendelea kufafanua kuwa litakuwa likisambaza maji katika wa nchi hizo umeleta mawasiliano mradi wa umeme wa Rusumo Bonde la Mara kwa wakazi wa mazuri ambayo yanapelekea utazalisha megawati 80 za vijiji 13 kwa ajili ya umwagiliaji kuinua uchumi wa nchi hizo pia umeme ambazo zitatumiwa na 17 vitapata maji kwa ajili ya kwa upande mwingine uwepo na nchi za Tanzania, Rwanda matumizi ya nyumbani na mifugo. wa ushirikiano huo umesaidia na Burundi ambapo Tanzania Madhumuni ya miradi hiyo nchi wanachama kufahamu inatarajiwa kupata megawati 16. ni kuhakikisha kunakuwa na tamaduni za watu tofauti tofauti. Miradi mingine ni ya kuunganisha upatikanaji wa maji ya uhakika, umeme kutoka Ethiopia, kuimarishwa kwa soko na Nyabeeya anasema “Tanzania Kenya hadi Tanzania ikiwa ni mahusiano na kukuza sekta inafaidika kutokana na uwekezaji pamoja na mradi wa umeme binafsi, kilimo, usalama wa mkubwa uliofanywa na NBI kupitia kati ya Tanzania na Zambia. chakula na kupunguza umaskini. utekelezaji wa miradi mbalimbali ikiwemo miradi ya ujenzi wa Aidha, NBI wanatarajia kukamilisha Tanzania inafaidika bwawa la Bisrawi na usanifu wa upembuzi yakinifu wa kina wa kutokana na uwekezaji bwawa la Borenga, mkoani Mara”. miradi ya Mara na Ngono ifikapo mkubwa uliofanywa na mwezi Aprili mwaka huu ambapo NBI kupitia utekelezaji Kwa mujibu wa Nyabeeya, wananchi 20,000 pamoja na hekari wa miradi mbalimbali Tanzania itanufaika na miradi ya 13,630 katika vijiji 21 vinatarajiwa ikiwemo miradi ya ujenzi maji na nishati ya umeme, pamoja kunufaika na mradi wa Ngono wa bwawa la Bisrawi na miradi mingine mingi ambayo wakati Bonde la Mara litanufaisha na usanifu wa bwawa la NBI inaendelea kuitekeleza kama wanachi 10,000. Miradi hiyo Borenga, mkoani Mara”. vile ujenzi wa mradi wa kuzalisha itahusisha usambazaji wa maji kwa “Tuunge Mkono Jitihada za Kupinga Rushwa na Ufisadi na 7 TuimarisheLimeandaliwa Uchumi na Idara wa ya ViwandaHabari-MAELEZO kwa Maendeleo Yetu”

Serikali Yadhamiria Kutokomeza Dawa za Kulevya Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa akizungumza na Mawaziri na Wajumbe wa Baraza la Taifa la Udhibiti wa Dawa za Kulevya Nchini wakati akifungua kikao cha Baraza hilo leo Jijini Dar es Salaam.

Na Daudi Manongi ilitungwa na kuanzishwa Tume namba 5 ya mwaka 2015 ya undwaji wa Mamlaka ya ya kuratibu na kudhiti dawa za udhibiti wa dawa za kulevya na UKupambana na Dawa kulevya ambapo sheria hiyo matumizi ya vifaa vya utambuzi za Kulevya ulifuatiwa na ilitumika hadi mwaka 2015. wa awali wa dawa za kulevya. kuundwa kwa Baraza la Taifa la Kudhibiti Dawa za Kulevya Pia kilianzishwa kikosi kazi “Serikali imeendelea kutoa ambalo lina wajibu mkubwa chenye wadau kutoka vyombo matibabu kwa kutumia dawa ya wa kutekeleza vita dhidi ya vya usalama na tume yenyewe methadone kwa watumiaji wa biashara hii haramu kwa vitendo. ambapo kikosi kazi kilifanya kazi dawa za kulevya aina ya Heroin nzuri ya kukamata dawa za kulevya na pia watumiaji zaidi ya 2223 Baraza hilo limeanzishwa chini na kudhibiti kwa kiasi kikubwa wanapata huduma za matibabu ya kifungu cha 5 cha Sheria ya waingizaji wa dawa za kulevya. katika Hospitali ya Taifa ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa Muhimbili,Mwananyamala na za Kulevya namba 5 ya mwaka Kipindi cha januari 2015 hadi Temeke”alisema Mhe.Kassim 2015 Kwa mujibu wa Sheria Waziri Desemba 2016 vyombo vya dola Majaliwa alipokua akizindua Baraza Mkuu ndiye Mwenyekiti wa Baraza vilikamata kiasi cha kilo 77 za heroin la Taifa la kudhibiti dawa za kulevya. hilo akiwa na wajumbe wengine 11. zikihusisha kesi 703 na kilo 32.3 za cocaine zikihusisha kesi 259. Pia alisema huduma za nyumba Wajibu wa Baraza hili ni kusimamia Mbali na hayo kilo 78,656 za za upataji nafuu zipatazo 11 kwa utekelezaji wa Sera ya udhibiti bangi zilikamatwa zikihusisha kesi Tanzania Bara zinatolewa na hadi wa dawa za kulevya nchini. 14323 na ekari 71 za mashamba sasa zimehudumia waathirika Aidha Serikali imefanya jitihada ya bangi ziliteketezwa pmaoja na wapatao 2325 na kwa upande mbalimbali katika kupambana na mirungi kilo 31463.615 ilikamatwa wa kuna nyumba 12 Biashara hii haramu ya madawa ikihusisha jumla ya kesi 2362. ambazo hadi sasa zimehudumia ya kulevya ambapo awamu Serikali imefanya mafunzo wathirika wapatao 7953. zote zimefanya jitihada kubwa kwa watendaji wa vyombo Aidha watuhumiwa mbalimbali wa ambapo mwaka 1995 Sheria ya vya udhibiti vilivyopo mipakani Dawa za Kulevya wamepelekwa Kupambana na Dawa za Kulevya kuhusiana na njia za usafirishaji mahakamani ambapo Mahakama wa dawa za kulevya,sheria mpya Kuu ya Tanzania imetoa hukumu Inaendelea Uk. 8 “Tuunge Mkono Jitihada za Kupinga Rushwa na Ufisadi na TuimarisheLimeandaliwa Uchumi na Idara wa ya Viwanda Habari-MAELEZO kwa Maendeleo Yetu” 8 kwa kesi kubwa za dawa za kulevya denis na wenzake ambao kabisa suala hili kwa pamoja. zilizowahusisha wafanyabiashara walihukumiwa kifungo cha miaka wakubwa zikiwemo kesi ya jinai 30 jela kila mmoja na kulipa faini Jitihada hizi za serikali ya awamu ya namba 47/2011 iliyowahusu ya shilingi bilioni 3 kila mmoja tano hazina budi kuungwa mkono watuhumiwa Fred William na kesi ya jinai namba 91/2011 na wadau wote wa kupamabana na Chonde na wenzake ambao iliyomhusu mtuhumiwa miteka biashara hii haramu kwa manufaa walihukumiwa kifungo cha miaka Godfrey Mwandamele amabye ya kunusuru kizazi cha watanzania 20 jela na faini ya shilingi bilioni 15. alihukumiwa kifungo cha miaka waoateketea katika janga hili. 20 jela na faini ya mara tatu ya Pili kesi ya jinai namba 87/2011 kiaisi cha dawa zilizokamatwa. iliyomhusu mtuhumiwa Said Kimaro Serikali inaendelea na vita hii ambaye alihukumiwa kifungo cha dhidi ya wauzaji na watumiaji miaka 20 jela na faini ya mara tatu wa madawa ya kulevya na ni ya thamani ya dawa zilizokamatwa. wito kwa wananchi kushirikiana Kesi ya jinai namba 53/2011 na Serikali katika kulitokomeza iliyowahusu watuhumiwa chukwudi UNESCO Yamuunga Mkono JPM Vita Dawa za Kulevya

Na Judith Mhina pia kuwawezesha Waandishi wa uwezo,pamoja na kuwaimarisha Habari, kumudu majukumu yao na ili waweze kutoa habari na kuhakikisha haki ya mwanahabari kupata habari bila vikwazo. hirika la Kimataifa la Elimu ya kufanya kazi yake kwa weledi Akitoa taarifa ya Kikao cha SSayansi na Utamaduni bila kubughudhiwa inaenziwa. Paris Ufaransa kwa kamati hiyo UNESCO Tanzania limeadhimia ya mpango wa mawasiliano kuwajengea uwezo wa Kamati ya kitaifa ya mpango wa Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Dkt Eva Waandishi wa Habari nchini mawasiliano inaundwa na wajumbe Msangi alisema kikao kilisisitiza ili kutekeleza majukumu yao saba ikiongozwa na Mwenyekiti juu ya Usalama, ulinzi dhidi ya kwa ufanisi na kwa kufuata Dkt. Eva Solomon Msangi, Mhadhiri Waandishi wa Habari uimarishwe na Sheria Kanuni na taratibu kutoka Shule Kuu ya Mawasiliano kuzingatiwa, kwa kuwa Waandishi zinzosimamia taaluma yao. ya Chuo Kikuu cha Dar-Es-Salaam, wengi duniani wako katika na wengine wanne ambao ni, hatari ya kuteswa au kuuwawa Hayo yamesemwa na Kaimu mjumbe mmoja kutoka Wizara wakati wakitekeleza wajibu wao. Katibu Mtendaji wa UNESCO Taifa za Habari, Utamaduni Sanaa na Dkt. Moshi Kimizi katika uzinduzi Michezo, Wizara ya Mambo ya Dkt Msangi aliongeza kuwa baraza wa Kamati ya Kimataifa ya Mpango Ndani ya Nchi, Wadau muhimu wa la Maendeleo la Mawasiliano la wa Maendeleo ya Mawasiliano Habari kutoka Baraza la Habari Dunia lilipendekeza na kuchagua – IPDC iliyokutana Magogoni Tanzania – MCT na Media Institute mwenyekiti ambapo Bi Albana Shala Jijini Dar-es-hivi karibuni. of Southern Africa – Tanzania - kutoka Netherlands alichaguliwa MISA TAN pamoja na Wawakilishi kuendelea kwa kipindi kingine cha Akizindua Kamati hiyo Dkt Kimizi wawili ikutoka UNESCO. miaka minne. Katika kuweka uwiano alisema, Kamati ya Kimataifa wakijiografia wa Baraza, washirika ya Mpango wa Maendeleo ya Dkt Kimizi aliwajulisha wajumbe wote wa UNESCO huwekwa katika Mawasiliano, ina jukumu kubwa kuwa wanajukumu la kuhakikisha makundi ya kikanda au kijiografia. la kuelimisha, kuleta mageuzi na sauti za waliopembezoni au maendeleo katika mawasiliano. waliosahaulika zinasikika, hivyo, Shirika hilo limedhamiria Kamati inapopanga mipango yake kuwajengea wanahabari uwezo iweke kipaumbele kwa kutenga katika nyanja za uhuru wa rasilimali kwa ajili ya kuwajengea upatikanaji wa habari bila vikwazo, “Tuunge Mkono Jitihada za Kupinga Rushwa na Ufisadi na 9 TuimarisheLimeandaliwa Uchumi na Idara wa ya Viwanda Habari-MAELEZO kwa Maendeleo Yetu” Bilioni 177.4 Kubadili Ubungo Kwa Barabara za Juu.

Muonekano wa Barabara ya juu(fly over) ya Ubungo (Ubungo Road interchange)

Na Mwandishi Wetu hadi kukamilika kwake. “Zaidi ya magari 65,000 yanapita kila siku katika katika makutano erikali ya Awamu ya Tano Akizungumza mara baada ya ya barabara za morogoro,Mandela Schini ya uongozi wa Rais kusaini mkataba huo Mtendaji na sam nujoma eneo la Ubungo John Pombe Magufuli kupitia Mkuu wa Wakala wa Barabara hali inayosababisha msongamano Wakala wa Barabara nchini nchini TANROADS Mhandishi katika barabara ya Morogoro (TANROADS), hivi karibuni Patrick Mfugale alisema kuwa ambayo ndio lango kuu la kuingia ilisaini mkataba na kampuni ya zaidi ya shilingi Bilioni 177.4 jijini Dar es salaam hivyo ufanisi M/S China Civil Engeneering zinatarajiwa kutumika katika ujenzi wa mradi huo utahuisha hali ya Construction Cooperation kutoka huo utakaowekewa jiwe la msingi usafirishaji katika jiji la Dar es salaam China (CCECC) kwa ajili ya ujenzi mwezi machi mwaka huu. na kuchochea ukuaji wa uchumi” wa barabara za Juu ‘Interchange’ alisisitiza Mhandishi Mfugale. katika makutano ya barabara ya “Hakikisheni mnaanza ujenzi Sam Najoma na Mandela Ubungo mara moja kwani Serikali Kwa upande wake Mkurugenzi jijini Dar es salaam. imeshakamilisha taratibu zote na Mtendaji wa kampuni ya CCECC tayari kiasi cha shilingi bilioni 2.1 Bw, Jiang Yigao amemhakikishia Hatua hiyo inalenga kuondoa kimelipwa kwa ajili ya fidia kwa Mhandisi Mfugale kuwa msongamano wa magari katika wananchi walioguswa na mradi huo” wataanza maandalizi ya ujenzi makutano ya Ubungo. alisema Mhandishi Mfugale. huo mara moja na watafanya kazi hiyo kwa wakati. Chini ya Mkataba huo, Mkandarasi Ujenzi wa Ubungo interchange kutoka Kampuni ya CCECC ya unajengwa kwa fedha ya China kuanza ujenzi huo mara mkopo kutoka Benki ya Dunia moja na ujenzi huo unatarajiwa ambapo Serikali kwa upande kutumia takriban miezi 30 wake imeshalipa fidia ya zaidi ya shilingi bilioni 2.1. Limeandaliwa na Idara ya Habari-MAELEZO 10

Dkt. Abbas: Maafisa Habari Tangazeni Mafanikio ya Serikali Mkurugenzi wa Habari na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbas akizungumza na Maafisa Habari na Tehama wakati wa Mafunzo elekezi ya matumizi ya tovuti katika Mikoa na Halmashauri za Wilaya nchini yaliyofadhiliwa na Shirika la Misaada la Marekaani (USAID) na kusimamiwa na Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Wakala ya Serikali Mtandao. Mafunzo hayo yalianza tarehe 9-20 Februari, 2017, kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Ofisi ya Rais -TAMISEMI, Rebecca Kwandu.

Na Ismail Ngayonga hivyo ni wajibu waAfisa Habari kutmia Maafisa HabariHabari hawana nyenzo za kisasa za mawasiliano budi kutengeneza mtandao wa mawasiliano baina yao ili aafisa Habari na Mawasiliano ikiwemo tovuti ili kuhakikisha Mkatika sekretarieti za Mikoa kuwa wananchi na wadau wa kuwawezesha kutatua changamoto na Halmashauri za Wilaya nchini maendeleo wanapata taarifa sahihi mbalimbali zinazowakabili wametakiwa kujitokeza na kuwajibika na zilizozingatia wakati. katika maeneo yao ya kazi. kikamilifu ili kuwawezesha waajiri wao kutambua wajibu na majukumu “Zipo taarifa za miradi mbalimbali Dkt. Abbas alisema Serikali yao ya msingi katika kutangaza ambayo Serikali imeifanya, pamoja inatambua changamoto shughuli na mafanikio ya Serikali mbalimbali zinazowakabili katika maeneo yao ya kazi. na taarifa za bajeti za halmashauri ambazo wananchi watanapenda maafisa Habari katika maeneo kuzifahamu, hivyo ni wajibu wenu yo ya kazi, ambapo baadhi ya Rai hiyo imetolewa hivi karibuni changamoto hizo zimeanza Jijini Mwanza na Mkurugenzi Maafisa Habari kuweka taarifa hizi” alisema Dkt. Abbas. kupatiwa ufumbuzi ikiwemo suala wa Habari na Msemaji Mkuu wa la miongozo ya majukumu ya Serikali, Dkt. Hassan Abbas Afisa Habari na Mawasiliano. alipokuwa akizungumza na Maafisa Aidha aliongeza kuwa ni wajibu Habari na TEHAMA katika mafunzo wa kila Afisa Habari aliyopo katika Mkoa na Halmashauri nchini Kwa Upande wake, Mkuu wa elekezi ya tovuti yanayofadhiliwa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini na Shirika la Misaada la Marekani aweze kujiwekea malengo ya utekelezaji ili aweze kujitafakari katika Ofisi ya Rais- TAMISEMI, (USAID) na kusimamiwa na Wizara Rebbeca Kwandu alisema katika ya Habari, Utamaduni, Sanaa na kwa kuwa kuwa kupitia malengo hayo ataweza kutatua changamoto mafunzo hayo yaliyotolewa kwa Michezo pamoja na Wakala ya Maafisa Habari na TEHAMA Serikali Mtandao (EGA). mbalimbali zinazomkabili katika eneo lake la kazi. yatasaidia kwa kiasi kikubwa kujibu hoja na kero mbalimbali za wananchi Kwa Mujibu wa Dkt. Abbas alisema ambazo zimekuwa zikiwasilishwa katika ulimwengu wa sasa suala la Akifafanua zaidi Dkt Abbas alisema ili kufikia malengo hayo mara kwa mara katika halmashauri teknolojia ni jambo lisiloupekika, mbalimbali nchini. 6 “Tuunge Mkono Jitihada za Kupinga Rushwa na Ufisadi na 11 TuimarisheLimeandaliwa Uchumi na Idara wa ya Viwanda Habari-MAELEZO kwa Maendeleo Yetu” TANZANIA februari HII

Mkuu wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa , Spika wa Bunge Jenerali Venance Mabeyo akila kiapo cha utii mbele Job Ndugai na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanznaia Dkt. Mawasiliano, Profesa wakibonyeza John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es Salaam. kitufe kuzinduzi teknolojia ya 4G LTE ya Kampuni ya Katikati ni Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi. (TTCL) hivi karibuni Mkoani Dodoma.Kulia ni Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa TTCL Bw. Waziri Kindamba

Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu Hassan Baadhi ya wafanyakazi wa Wizara ya Afya akionyesha tuzo aliyokabidhiwa wakati wa sherehe wakishusha vifaa vya ofisi mjini Dodoma vikitokea za Siku ya Mto Nile Jijini Dar es Salaam. Sherehe Jijini Dar es Salaam,kutekeleza ahadi ya Serikali ya hizo zimeshirikisha takribani nchi 10 zinazozunguka kuhamia Makao Makuu ya nchi,Dodoma mto Nile Limeandaliwa na Idara ya Habari-MAELEZO 12

NCHI YETU KATIKA HISTORIA

Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa , Spika wa Bunge Aliyekuwa Waziri Mkuu Hayati Rashid Mfaume Nyerere akishiriki shughuli ya ujenzi katika kijiji cha Job Ndugai na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Kawawa akiweka mchanga kwenye mashine ya wakati wa uongozi wake Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa wakibonyeza kufyatulia matofali wakati akiwa madarakani. kitufe kuzinduzi teknolojia ya 4G LTE ya Kampuni ya (TTCL) hivi karibuni Mkoani Dodoma.Kulia ni Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa TTCL Bw. Waziri Kindamba

Rais akimsindikiza Baba Baadhi ya wafanyakazi wa Wizara ya Afya Hayati Makamu wa Rais, Dkt. Omar Ali Juma(kulia) Mtakatifu, Papa John Paul II baada ya kuhutubia wakishusha vifaa vya ofisi mjini Dodoma vikitokea akiwa na aliyekuwa Rais wa Afrika Kusini, Mzee katika viwanja vya Jangwani Jijini Dar es Salaam,kutekeleza ahadi ya Serikali ya Nelson Mandela pamoja na mkewe Winnie Mandela kuhamia Makao Makuu ya nchi,Dodoma walipokuja nchini Februari 1990 Limeandaliwa na Idara ya Habari-MAELEZO 13 Treni ya Umeme Kuchagiza Bilioni 18 Kutumika Kumaliza Mageuzi Awamu ya Tano Changamoto ya Maji Dar Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni Hodhi Miliki ya Rasilimali za Reli (RAHCO), Masanja Kadogosa (wa tatu kutoka kulia), akibadilishana Mkataba wa awamu ya kwanza ya ujenzi wa reli ya Kisasa (Standard Gauge), na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Mota- Engil Africa, Bw. Manuel Antonio Mota

Anasema ujenzi wa reli hiyo maendeleo kwa wananchi wake. Na Benjamin Sawe utaongeza chachu ya maendeleo Nchi za Ethiopia na Djibouti tayari zimezindua reli ya kisasa anzania imedhamira ya kiuchumi na kijamii na kubainisha kuwa safari Dar es ya treni za kutumia nguvu za Tkufikia uchumi wa kati umeme ambayo inaunganisha na ifikapo mwaka 2025 ikiwa Salaam hadi Morogoro itatumia muda wa saa 1.16, wakati Dar es Mji Mkuu wa Addis Ababa na itawekwa miundombinu bora. mji wa Bandarini wa Djibouti. izara ya ujenzi ambayo Salaam hadi Dodoma itatumia muda wa saa 2.30 na safari ya Wimepewa jukumu la Ni wazi kwamba Serikali ya kusimamia sekta ya ujenzi, Dar es Salaam hadi Mwanza itatumia muda wa saa 7.30. Awamu ya Tano imedhamiria uchukuzi na mawasiliano kuboresha huduma za biashara ambazo ni kichocheo kupitia sekta ya usafirishaji, muhimu cha maendeleo ”Tunataka kuifanya nchi yetu iwe ndogo kwa kutumia hivyo kila mwananchi anapaswa ya kiuchumi na kijamii kuunga mkono juhudi hapa nchini imejikita katika miundombinu ya kisasa ndio maana serikali imeamua zinazofanywa na Serikali katika kuboresha mioundombinu kutatua changamoto mbalimbali. hasa reli na barabara. kujenga reli hii itakayotumia umeme na kwenda spidi kubwa kuliko nyingine zote Barani Nchi nyingine zenye treni Akishuhudia utiaji saini zinazotumia umeme mbali uliofanyika jijini Dar es Salaam, Afrika,”amesema Prof. Mbarawa. Naye Balozi wa Uturuki nchini na Ethiopia na Djibouti ni Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na pamoja na Misri ambayo ina Mawasiliano, Prof. Makame mtandao mkubwa wa reli za Mbarawa anasema ujenzi wa Yassemen Eralp, aliaidi kuendeleza ushirikiano na aina hiyo. Ni usafiri ambao reli ya kati itakayotumia treni ni wa uhakika na wa haraka za umeme na kwenda kwa Serikali katika mradi huo mkubwa na kuupongeza hivyo kuwa kichocheo kikubwa spidi ya kilometa 160 kwa katika ukuajia wa uchumi. saa ni mafanikio makubwa. uongozi wa Serikali ya Awamu ya Tano katika kufanikisha Limeandaliwa na Idara ya Habari-MAELEZO 14 Bilioni 18 Kutumika Kumaliza Aidha mradi huo utawezesha kiwango cha maji kufikia lita Changamoto ya Maji Dar milioni 196 kwa siku kutoka lita milioni 82 za awali. Kwa upande wake, Bw.Salum Hamis mkazi wa Mbagala amepongeza miradi ya maji inayotekelezwa na Serikali kwa kushirikiana na wananchi kwa kuwa imekuwa chachu ya maendeleo katika maeneo yao.

Aliongeza kuwa miradi hiyo imepunguza tatizo la maji na imewawezesha wananchi kutumia muda mwingi katika shughuli za kiuchumi na hivyo kuchochea ukuaji wa uchumi.

Moja ya Mtambo unaotumika katika uchimbaji Visima Virefu Katika kukabiliana na tatizo la katika eneo la Kimbiji,mradi utakaosaidia kutatua changamoto miundombinu ya maji taka katika ya upatikanaji wa maji katika jiji la Dar es salaam. Jiji la Dar es Salaam mamlaka hiyo iko katika mchakato wa kuanza 2017”, alisema Mwangi’ngo. Na Frank Mvungi ujenzi wa mtambo mkubwa wa Aliongeza kuwa utekelezaji wa kuchuja maji taka katika eneo mradi huo umefikia asilimia 85 erikali kupitia Mamlaka ya la Jangwani na kuboresha na utakapokamilika maeneo mfumo huo katikati ya Jiji. SMaji Safi na Maji Taka Dar es ya Kigamboni,Temeke,Ilala Salaam (DAWASA) inatekeleza na Jiji la Dar es Salaam kwa mradi wenye thamani ya Mradi mwingine ni ule wa ujumla yatanufaika kwa kupata upanuzi wa Ruvu Chini ambao bilioni 18 unaolenga kuondoa huduma ya maji safi na salama. changamoto ya upatikanaji wa umekamilika kwa asilimia mia maji katika Jiji la Dar es salaam. moja na utawezesha upatikanaji Kwa upande wa miradi wa maji kufikia lita milioni 270 mingine kama ule wa ujenzi Kauli hiyo imetolewa hivi karibuni kwa siku kutoka milioni 180 kabla wa Bomba kutoka Ruvu juu ya mradi huo haujatekelezwa. na Mkurugenzi wa Ufundi na hadi Kimara ulikamilika mwezi Uendeshaji wa Mamlaka hiyo, Oktoba 2016 na uzalishaji Mamlaka ya Maji Safi na Bw. Romanus Mwangi’ngo wakati wa majaribio unaendelea wa ziara ya waandishi wa habari Maji Taka Dar es Salaam kwa ufanisi mkubwa,alisema. (DAWASA) inajukumu la kumiliki katika eneo la Kimbiji ambako mradi huo unatekelezwa. miundombinu ya maji safi na Mradi huo wenye thamani ya maji taka kwa niaba ya Serikali, dola za marekani milioni 59 ni “Mkandarasi anaendelea na kusimamia utoaji wa huduma moja ya mikakati ya Serikali ya maji safi na maji taka Dar es kazi na ameleta mabomba katika kuhakikisha kuwa yote na amechimba visima Salaam, kugharimia,na kupanga wakazi wa Jiji la Dar es Salaam mipango ya kusimamia upanuzi 15 ambavyo vitazalisha maji wanapata huduma ya maji safi yatakayotumika katika Jiji wa huduma pamoja na kuishauri na salama na kuondokana Serikali kuhusu masuala ya la Dar es Salaam na mradi na changamoto hiyo. unatarajiwa kukamilika Machi huduma ya maji safi na maji taka Jijini Dar es Salaam 15 Serikali Yabadili Maisha ya Wenye Mahitaji Maalum kujifunza kwa ufanisi.

Waziri Mkuu pia aliwataka wazazi wenye watoto wenye mahitaji maalum kuwapeleka shule badala ya kuwaficha majumbani. Wakati huohuo Mh. Majaliwa alisema Serikali inaendelea na jitihada za kuhakikisha upatikanaji wa vifaa vya kufundishia na kujifunzia na hadi sasa Serikali imefanikiwa kusambaza nakala 6,862,800 za vitabu vya kiada kwa Darasa la kwanza vya Mtaala Wanafunzi wa shule ya msingi uhuru mchanganyiko uliobereshwa wa shule zote wakiimba wimbo maalum za msingi Tanzania Bara. Vile vile uchapaji wa vitabu vya Na Lilian Lundo Darasa la pili nakala 6,862,800 erikali imenunua vifaa vya alifafanua Mh.Kassim Majaliwa. unaendelea na uchapishaji wa Skufundishia na visaidizi nakala 6,818,181 za Darasa tatu kwa ajili ya wanafunzi wenye Aliendelea kusema kuwa, katika umekamilika ambapo nakala hizo ulemavu wa kusikia, kuona kutekeleza dhana ya elimu za Darasa la Tatu zitasambazwa na wenye ulemavu wa akili jumuishi pia Serikali imenunua sanjari na vifaa vya Darasa la Pili. huku ikiendelea kuboresha vifaa kwa ajili ya upimaji ili kubaini mfumo wa elimu nchini. mahitaji mbalimbali ya kujifunzia Kwa upande wa shule za kabla na baada ya usajili wa Sekondari nakala 2,109, 683 Hayo yamebainishwa na Waziri watoto katika shule za msingi. zimechapishwa na usambazaji Mkuu Kassim Majaliwa katika umeanza Februari 7, 2017. hotuba yake ya kuahirisha Mh. Majaliwa amesema mkutano wa Sita wa Bunge kuwa vifaa vya watoto wenye Pia Serikali imeagiza vifaa la Kumi na Moja mapema mahitaji maalum ambavyo vya maabara kwa ajili ya shule mwezi huu, Mjini Dodoma. vimegharimu kiasi cha shilingi 1,625 za Sekondari nchini bilioni 3.6 vimekwishapokelewa ambapo hadi sasa asilimia 70 “Serikali imenunua vifaa vya na vitasambazwa katika shule ya vifaa hivyo imekwishawasili kufundishia na visaidizi kwa zenye wanafunzi wenye mahitaji nchini na usambazaji wake ajili ya wanafunzi wenye maalum kuanzia Machi 1, 2017. umeanza hivi karibuni katika ulemavu wa kusikia, kuona na kanda ya Dar es Salaam. wenye ulemavu wa akili, vifaa Aidha amesema kuwa hivyo vinajumuisha mashine kutokuwepo kwa vifaa vya Waziri Mkuu amesema 932 za maandishi ya nukta kufundishia na kujifunzia kuwa vifaa hivyo viwe chachu nundu, rimu za karatasi za kwa wanafunzi wenye ya wanafunzi kuchangamkia breli zipatazo 2,548 na shime mahitaji maalumu imekuwa masomo ya sayansi na hivyo sikio (hearing aids) 1,150,” ni changamoto kwao katika kulifanya Taifa kutengeneza wanasayansi wengi zaidi . 16 Kanuni za Sheria ya Huduma za Habari Zaanza Kutumika Rasmi

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Nape Moses Nnauye akioongea na Waandishi wa Habari kuhusu kutumika kwa Sheria ya Huduma za Habari ya Mwaka 2016 pamoja na Kanuni zake za 2017 katika Ukumbi wa Idara ya Habari Bungeni Mjini Dodoma 05/02/2017. Kushoto ni Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Dkt. Hassan Abbasi. inayoheshimika na kukubalika vitambulisho vya wanahabari Na Jovina Bujulu kama zilivyo tasnia nyingine (press card) vitatolewa kila hapa nchini”Alisema Dkt.Abassi. baada ya miaka miwili badala ya anuni za Sheria ya Huduma mwaka mmoja kama ilivyokuwa Kza Habari 2016 zimeanza Kanuni za Sheria ya huduma katika utaratibu wa awali. kutumika baada ya kutangazwa za habari ya mwaka 2016 katika Gazeti la serikali. zimeanza kutumika rasmi tarehe Katika Sheria hiyo ili mwana 3 Februari, 2017 baada ya habari atambulike na kupatiwa Kanuni hizi zitasaidia kusainiwa na Waziri mwenye kitambulisho cha kuwa mwana kutambuliwa na kuheshimika dhamana pamoja na kutangazwa habari “press card” ni lazima kwa sekta ya habari kama katika Gazeti la Serikali. awe ana elimu ya kuanzia taaluma rasmi inayofuata weledi Stashahada,lakini kwakuwa kama zilivyo taaluma nyingine. Kwa mujibu wa kanuni hizo sheria hiyo imeanza kutumika vitambulisho kwa wanahabari wakati wanahabari wengi Akizungumza kuhusu kanuni za (Press Card) vitaendelea wakiwa hawana sifa za kutosha, sheria hiyo Mkurugenzi wa Idara kutolewa kwa utaratibu uliokuwa Sheria inatoa muda wa kujiandaa ya Habari Maelezo ambaye pia ukitumika awali hadi hapo wa miaka mitano tangu ni msemaji Mkuu wa serikali bodi ya ithibati itakapoundwa. kuanza kutumika kwa sheria kwa mujibu wa sheria na kanuni hiyo ili kila mmoja anayetaka hizo,Dkt Hassan Abassi alisema Naye Kaimu Msajili wa Magazeti kuendelea kufanya kazi ya kwamba ni kanuni ambazo Patrick Kipangula alisema uandishi wa habari akasome zimekuja wakati Muafaka kanuni hizo zinaweka kiwango kwa ajili ya kufikia kiwango kwani zitasaidia sana katika cha elimu kwa waandishi wa hicho kinachotambuliwa. utekelezaji wa sheria hiyo. habari ambapo kwa sasa itakuwa ni kuanzia ngazi Stashahada. Aidha alisema kanuni hizo “Kanuni hizo ndio moyo wa zinaweka mfumo mzuri mafanikio ya sheria hiyo na Pia alisema kwa mujibu wa na rafiki kwa umiliki wa zitasaidia kufikia azma ya serikali utaratibu wa kanuni za Sheria ya vyombo vya habari ambapo ya kuwa na taaluma ya habari huduma za habari ya mwaka 2016 Watanzania wamepewa haki Limeandaliwa na Idara ya Habari-MAELEZO 17

mwenye dhamana ya Habari ya kumiliki vyombo vya habari kinyume cha taaluma ya habari. Mh.Nape Nnauye alitoa wito kwa asilimia 100 na wageni Kuanza kutumika kwa kwa wanahabari kuisoma wamepewa asilimia isiyozidi 49. sheria ya huduma za habari sheria na kanuni zake kwa kumefuta sheria ya Magazeti kina ili kama watabaini kuwa Kanuni zitasaidia waandishi ya mwaka 1976 ambayo kuna dosari za msingi ambazo wa habari kuwa na weledi wa imekuwa ikilalamikiwa zinahitaji marekebisho msingi ya maadili ya taaluma ya na wadau mbalimbali wa wasisite kuwasiliana na habari na Jamii hivyo wataepuka habari na imekuwepo wizara ili kuona utaratibu kufanya makosa ambayo ni kuwa zaidi ya miaka 40. wa kufanya marekebisho. Kwa upande wake waziri Mazoezi ni Tiba kwa Magonjwa Yasiyoambukiza –Makamu wa Rais

Makamu wa Rais Mh.Samia Suluhu Hassan akishiriki mazoezi mapema mjini Dodoma ikiwa ni sehemu ya kumuunga mkono Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa katika Uzinduzi wa Kitaifa wa Mazoezi ya Viungo kwa wananchi wote ya kupambana na magonjwa yasioambukiza,

Na Georgina Misama magonjwa yasiyoambukiza. kisukari, shinikizo la damu, kansa na magonjwa ya njia ya hewa. ivi karibuni viongozi Hatua hiyo ililenga kuwajengea Jitihada hizo za viongozi Hmbalimbali wa Kitaifa watanzania kuwa na utamaduni waandamizi waliopo madarakani wameshiriki mazoezi wa kufanya mazoezi ikiwa na wastaafu zinaunga mkono mbalimbali na kuwahamasisha ni njia ya kuimarisha afya kampeni iliyozinduliwa katikati wananchi kufanya mazoezi na kupunguza magonjwa ya Disemba mwaka jana na kwa ajili kupunguza yasiyoambukizwa kama vile Wizara ya Afya Maendeleo uwezekano wa kupata Inaendelea Uk. 186 Jarida la Wizara ya Habari “Tuunge Mkono Jitihada za Kupinga Rushwa na Ufisadi na TuimarisheLimeandaliwa Uchumi na Idara wa ya Viwanda Habari-MAELEZO kwa Maendeleo Yetu” 18

na Temeke kwa Jiji la Dar es Salaam ambavyo vimeundwa ili kuhamasisha wakazi wa maeneo husika kufanya mazoezi katika kuimarisha afya zao. Sanjari hiyo , Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ili kuunga mkono jitihada za viongozi mbalimbali za Serikali iliratibu bonanza lililoandaliwa na Chama Cha Maafisa Mawasiliano Serikalini, Wahariri wa Vyombo vya Habari nchini pamoja na Chama Cha Waandishi Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim wa Habari Dar es Salaam. Majaliwa (aliyevaa traksuti nyeupe) akiwa ameongozana na Viongozi mbalimbali kwenyeMazoezi ya Viungo kwa Wananchi Lengo la Bonanza lile ilikuwa wote yaliyofanyika Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma kuhamasisha wadau wa habari ya Jamii, Jinsia, Wazee na hayo Waziri Mkuu aliziagiza kuchangia damu, kupima afya Watoto ya kupambana na Halmashauri, Manispaa na pamoja na kufanya mazoezi ya magonjwa yasioambukiza Majiji yote nchini kutenga viungo katika kuimarisha afya kwa kufanya mazoezi. maeneo kwa ajili ya watu zao, ambapo wakazi wote wa kufanya mazoezi na kupumzika. Jiji la Dar es Salaam walialikwa Kampeni hizo zilizinduliwa na kushiriki bonanza hilo. Makamu wa Rais wa Jamhuri “Ni muhimu kufanya mazoezi ya Muungano wa Tanzania Mhe. kila siku, mazoezi yanasaidia Mwitikio kutoka kwa wadau Samia Suluhu Hassan na Waziri kuchangamsha mwili, wa habari waliopo Jijini Dar es wa Afya, kwa kufahamiana, kujenga urafiki Salaam haukuwa mzuri, na sio kuongoza mazoezi ya kutembea pamoja na kuwa na afya bora,” kwa wadau wa habari tu, bali yaliyoanzia viwanja vya Chuo alifafanua Kassim Majaliwa. hata kwa wananchi kwa ujumla. cha Muhimbili na kumalizia Viwanja vya Leaders Club Aidha, Kassim Majaliwa alisema Ni kutokana na hali niliyoiona kwamba muitikio wa ufanyaji nimeshawishika kuchukua Mbali na matembezi mazoezi ya viungo ni mkubwa, kalamu na kuwasihi watanzania yalioongozwa na Makamu wa watu wengi wamejiunga na wenzangu, tujenge utamadunu Rais wa Jamhuri ya Muungano vikundi mbalimbali vya kufanya wa kutumia vyema fursa wa Tanzania Mhe. Samia, mazoezi ya viungo na kuzitaka kama hizo za kufanya naye Waziri Mkuu Kassim Halmashauri, Manispaa na mazoezi na kupima afya Majaliwa akishiriki matembezi Majiji yote nchini kutenga bila malipo kila zinapotokea. ya mazoezi ya viungo kwa maeneo kwa ajili ya watu Mawaziri Wabunge pamoja na kufanya mazoezi na kumpizika. Najiuliza Watanzania tunahitaji wananchi yaliyofanyika katika msaada gani juu ya swala Uwanja wa Jamuhuri Dodoma Katika kuonyesha kuwa la kuimarisha afya zetu kwa yakiwa na lengo la kupambana wananchi wako tayari kuna kupima na kufanya mazoezi, ni na maradhi yasiyo ambukizika vikundi mbalimbali vya watanzania wangapi wamekuwa Mazoezi hayo yamefanyika mazoezi vinavyosimamiwa wakilalamikia gharama kitaifa Mkoani Dodoma. na Maafisa Utamaduni na kubwa za vipimo na matibabu Maafisa Michezo kutoka katika hospitali zetu, na kwa Akizungumza katika mazoezi Manispaa ya Ilala, Kinondoni nini tusubiri kuumwa ikiwa tunaweza kujizuia bila gharama. LIMEANDALIWA NA

Idara ya Habari-MAELEZO S.L.P 8031 Dar es Salaam-Tanzania Simu : (+255) 22 -2122771 Baruapepe:[email protected] Tovuti: www.tanzania.go.tz

@TZ_MsemajiMkuu Msemaji Mkuu wa Serikali Habari Maelezo