HABARIHabariHABARI ZA ZAza NISHATINisNISHATIhati &MADINI &MADINI&madini http://www.mem.go.tz

Toleo No. 51 Limesambazwa kwaBulletin Taasisi na Idara zote MEM Tarehe - 23-29 Januari , 2015 NewsToleo No. 94 Limesambazwa kwa Taasisi na Idara zote MEM Novemba 20 - 26, 2015 Toleo No. 230 Limesambazwa kwa Taasisi na Idara zote (N&M) Juni 29 - Julai 5, 2018 WAZIRI WA NISHATI NA MADINI AZINDUA RASMI BODI YA TANESCO -Uk2 Wachimbaji waliofukiwa WAZIRI KALEMANI sikuATOA 41 MWEZI waokolewa MMOJA KWA TANESCO Walifukiwa baada ya kuopoa wenzao WabungeKUTATUA CHANGAMOTO YA KUKATIKA UMEME Waimwagia sifa MEM, TANESCO, REA UK 2 Soma habariUk. 2

Kikosi cha vijana 25 waliofanikisha zoezi la uokoaji wachimbaji wadogo 6 waliofukiwa katika mgodi Waziri wa Nishati, Dkt. (katikati), akizungumza wakati wa kikao cha kazi baina yake na Wenyevitiwa Nyangalata wa Bodi za TANESCOwakiwa na Wakala wa Nishati Vijijini (REA), Menejimenti za REA na TANESCO, Mameneja wa Kanda, Mikoa na Wilaya wa TANESCO,katika picha pamoja mara na baada Wafanyakazi wa Wizara, kilichofanyika Juni 24, 2018 katika ukumbi wa Hazina, Dodoma. Kulia ni Naibu Waziri wa Nishati Subiraya kumaliza Mgalu na zoezi Kushoto hilo ni kwa Kaimu kuopoa mwili wa mchimbaji KatibuMmoja Mkuu wa wa wachimbaji Wizara, Mhandisi wadogo Salum waliookolewa Inegeja. katika mgodi wa Nyangalata Amos Muhangwa mmoja aliyefariki katika akiwa katika hospitali ya wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga mara baada ya kuokolewaMkurugenzi Mtendmgodi- huo, Musa Spana. Waziritarehe wa Nishati 15/11/2015. Naibu Waziri wa Nishati na Naibu Waziri wa Nishati na Mkurugenzi Mkuu wa na Madini, Profesa aji wa TANESCO, REA, Dk. Lutengano Madini, anayeshughulikia Madini anayeshughulikia Mhandisi Felchesmi Sospeter MuhongoTume ya madini yapokea ripoti ukaguziMwakahesya Madini Nishati, Mramba Soma habari migodi ya madini ya vito, Kinywe UK 7Uk. 3 JWTZWezi wapongezwa wa kunusuru umeme mtambo wakukiona Msimbati-Uk4 Ofisi ya Mawasiliano Serikalini inapokea habari za matukio mbalimbali Ofisi ya Mawasilianokwa ajili ya Serikalini News Bullettin inapokea hii ya Wizara habari ya Nishatiza matukio na Madini mbalimbali Ofisikwa ya ajiliMawasiliano ya News Bullettin Serikalini hii ya Wizarainapokea ya Nishati habari na zaWIZAR matukio A YA Madini mbalimbali kwaWasiliana ajili nasi ya Kitengo News chaBullettin Mawasiliano hii kwa na simu Jarida Namba la +255 Wizara 22 2110490 ya Nishati Fax 2110389 na MadiniMob: +255 732 999263 Wasiliana nasiau Kitengo Fika Ofisi cha Mawasilianoya Mawasiliano kwa simuGhorofa Namba ya Tano +255 (MEM) 22 2110490 Barua Fax pepe: 2110389 [email protected] http://www.nishati.go.tz Wasiliana Mob:nasi Kitengo+255 732 cha 999263 Mawasiliano au Fika Ofisi kwa yasimu Mawasiliano Namba +255Ghorofa 22 ya2110490 Tano (E&M) Fax 2110389 Mob:http://www.madini.go.tz +255 732 999263 au Fika Ofisi ya Mawasiliano Ghorofa ya Tano (MEM) Barua pepe: [email protected] Habari za Nishati/madini http://www.mem.go.tz 2 Juni 29 - Julai 5, 2018 NewsBulletin WAZIRI KALEMANI ATOA MWEZI MMOJA KWA TANESCO KUTATUA CHANGAMOTO YA KUKATIKA UMEME

kulishughulikia ndani ya mwezi mmoja. Hadi ni wenye kuridhisha kwa kiasi kikubwa na Na Veronica Simba – Dodoma kufikia Julai mwishoni, tuwe tumerekebisha.” hivyo aliwapongeza watendaji wake wote na aziri wa Nishati Dkt. Medard Aidha, Waziri aliwaagiza watendaji kuwataka waendelee kuboresha zaidi utendaji Kalemani, amewaagiza hao kuhakikisha wanaendelea na zoezi la wao. Mameneja wa Shirika kuwaunganishia wateja umeme nchi nzima Kwa upande wake, Naibu Waziri wa la Umeme Tanzania huku wakizingatia kanuni zinazowezesha Nishati, Subira Mgalu, pamoja na kuungana (TANESCO) wa Wilaya ufanisi wa kazi ambazo ni kasi, nidhamu na na Waziri katika kupongeza utendaji wa na Mikoa yote nchini, kushughulikia usahihi. TANESCO; aliwataka watendaji hao kuiga changamotoW ya kukatikakatika kwa umeme, Vilevile, aliwataka kufanyia kazi kwa mbinu kutoka kwa wale wanaofanya kazi ndani ya kipindi cha mwezi mmoja. haraka masuala ya ulipaji fidia wananchi vizuri zaidi ili kuendelea kuboresha huduma Alitoa maagizo hayo jana, Juni 24, 2018 ambao maeneo yao yamechukuliwa kwa ajili wanazotoa kwa wananchi. wakati wa kikao cha kazi baina yake na ya kutekeleza miradi mbalimbali ya umeme Wakizungumza kwa niaba ya wafanyakazi Wenyeviti wa Bodi za TANESCO na Wakala nchini kote. wote, kwa nyakati tofauti, Kaimu Katibu wa Nishati Vijijini (REA), Menejimenti za Pia, Waziri alisisitiza suala la ubunifu, Mkuu wa Wizara, Mhandisi Salum Inegeja, REA na TANESCO, Mameneja wa Kanda, hususani katika utoaji huduma kwa wananchi. Mwenyekiti wa Bodi ya TANESCO, Dkt. Mikoa na Wilaya wa TANESCO, pamoja “Mathalani, yako maeneo ambayo mahitaji Alexender Kyaruzi pamoja na Mwenyekiti wa na Wafanyakazi wa Wizara ya Nishati, ya umeme kwa wananchi ni makubwa lakini Bodi ya REA, Dkt. Gideon Kaunda, waliahidi kilichofanyika katika ukumbi wa Hazina, hakuna ofisi za TANESCO. Maeneo kama kuwa, watatekeleza maagizo yote yaliyotolewa Dodoma. hayo hayapaswi kusubiri uwepo wa Jengo na viongozi hao ili kuleta ufanisi zaidi katika Dkt. Kalemani alisema kuwa, kero la Ofisi ndipo yapelekewe huduma. Ofisi utendaji wa sekta ya nishati. inayosumbua zaidi wananchi ni kukatikakatika siyo Jengo bali ni huduma. Hivyo, tuandae Katika kikao hicho cha kazi, wajumbe kwa umeme, hivyo ni lazima ishughulikiwe utaratibu wa kupeleka huduma katika maeneo mbalimbali walipata pia fursa ya kuwasilisha kikamilifu na kuitatua mapema iwezekanavyo. hayo.” changamoto na maoni yao kuhusu utendaji “Naagiza kila Meneja afuatilie chanzo Pamoja na changamoto hizo, Waziri alikiri kazi, ambazo zilijadiliwa na mwishoni cha kukatika kwa umeme katika eneo lake na kuwa utendaji wa TANESCO umekuwa kutolewa mwongozo na Waziri.

Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu (kulia), akizungumza wakati wa Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Mhandisi Salum Inegeja, kikao cha kazi baina ya Uongozi wa Wizara na Wenyeviti wa Bodi za akizungumza wakati wa kikao cha kazi baina ya Uongozi wa Wizara TANESCO na Wakala wa Nishati Vijijini (REA), Menejimenti za REA na na Wenyeviti wa Bodi za TANESCO na Wakala wa Nishati Vijijini (REA), TANESCO, Mameneja wa Kanda, Mikoa na Wilaya wa TANESCO, pamoja Menejimenti za REA na TANESCO, Mameneja wa Kanda, Mikoa na Wilaya na Wafanyakazi wa Wizara, kilichofanyika Juni 24, 2018 katika ukumbi wa wa TANESCO, pamoja na Wafanyakazi wa Wizara (hawapo pichani), Hazina, Dodoma. Katikati ni Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani na kilichofanyika Juni 24, 2018 katika ukumbi wa Hazina, Dodoma. kushoto ni Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara, Mhandisi Salum Inegeja.

Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu wa Wizara ya Nishati, Lusius Baadhi ya Maafisa wa Wizara ya Nishati (mbele – kutoka kushoto), Alex Mwenda (mbele), akiwa katika kikao cha kazi baina ya Uongozi wa Wizara Nduye, Sebastian Shana na Mhandisi Christopher Bitesigirwe, wakiwa katika (hawapo pichani) na Wenyeviti wa Bodi za TANESCO na Wakala wa Nishati kikao cha kazi baina ya Uongozi wa Wizara (hawapo pichani) na Wenyeviti wa Vijijini (REA), Menejimenti za REA na TANESCO, Mameneja wa Kanda, Mikoa Bodi za TANESCO na Wakala wa Nishati Vijijini (REA), Menejimenti za REA na Wilaya wa TANESCO, pamoja na Wafanyakazi wa Wizara, kilichofanyika na TANESCO, Mameneja wa Kanda, Mikoa na Wilaya wa TANESCO, pamoja Juni 24, 2018 katika ukumbi wa Hazina, Dodoma. na Wafanyakazi wa Wizara, kilichofanyika Juni 24, 2018 katika ukumbi wa Hazina, Dodoma. http://www.mem.go.tz Habari za nishati/madini NewsBulletin Juni 29 - Julai 5, 2018 3

Maeneo 50 kufanyiwa utafiti jotoardhi mpanda Na Mwandishi Wetu erikali kupitia Kampuni ya Uendelezaji wa Jotoardhi Tanzania (TGDC) inatarajia kufanya utafiti wa kina katika maeneo zaidi ya 50 yenye viashiria vya jotoardhi likiwemo eneo la Majimoto lililopo mkoani MpandaS kwa mwaka wa fedha 2018/2019 Hayo yalielezwa tarehe 26 Juni, 2018 na Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu kwa niaba ya Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani bungeni jijini Dodoma wakati alipokuwa akijibu swali la Mbunge wa Kavuu, Dkt. Pudenciana Wilfred Kikwembe aliyetaka kufahamu mpango wa Serikali wa kuwekeza kuzalisha umeme unaotumia chemchem ya maji ya moto yanayopatikana katika Kata ya Majimoto na mikakati ya Serikali katika kupeleka umeme katika Jimbo la Kavuu. Alisema Mkoa wa Katavi ni mojawapo ya Mikoa inayopitiwa na Bonde la Ufa la Afrika Mashariki, hivyo kuwepo na uwezekano wa kuwa na hifadhi kubwa ya Jotoardhi. Aliendelea kusema kuwa, Serikali inaendelea kufanya tathimini ya rasilimali ya nishati ya jotoardhi ili kujiridhisha na uwepo wa rasilimali ya jotoardhi ya kutosha kabla ya kuchoronga visima vya majaribio. Naibu Waziri Mgalu alisema kuwa, sambamba na Serikali kufanya utafiti katika maeneo husika pia imewekeza nguvu nyingi katika usambazaji wa umeme hasa katika maeneo ya vijijini kupitia Wakala wa Nishati Vijijini Awamu ya Tatu (REA III) Akielezea kuhusu mpango wa Serikali kupeleka umeme katika Jimbo la Kavuu, Mgalu alisema kuwa, Serikali imeanza hatua za awali za utekelezaji wa mradi kusafirisha Umeme wa Gridi kV 400 kutoka Mbeya - Sumbawanga – Mpanda – Kigoma hadi Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Mhandisi Salum Inegeja, Nyakanazi na kuongeza kuwa, ujenzi wa mradi Naibu Waziriakizungumza wa Nishati, wakati Subira wa Mgalu kikao cha kazi baina ya Uongozi wa Wizara na Wenyeviti wa Bodi za TANESCO na Wakala wa Nishati Vijijini (REA), huu unatarajiwa kuanza mwezi Machi, 2019 na Menejimenti za REA na TANESCO, Mameneja wa Kanda, Mikoa na Wilaya kukamilika mwaka 2021. wa TANESCO, pamoja na Wafanyakazi wa Wizara (hawapo pichani), Alifafanua kuwa, mara baada ya kukamilika kilichofanyikaKWA H AJuniBARI 24, P 2018IGA SIMkatikaU ukumbi wa Hazina, Dodoma. Five kwa mradi Jimbo la Kavuu litaanza kupata kitengo cha mawasiliano Pillars of umeme wa uhakika na kuwataka wananchi Reforms kujiandaa na matumizi ya umeme kwa fursa mbalimbali za kiuchumi ikiwa ni pamoja na TEL-2110490 uanzishwaji wa viwanda vidogo vidogo. increase efficiency Akielezea vijiji vinavyopata umeme katika FAX-2110389 Jimbo la Kavuu, Naibu Waziri Mgalu alisema Quality delivery kuwa ni pamoja Kibaoni, Usevya, Ilalangulu MOB-0732999263 of goods/service na Manga vinavyopata umeme kutoka satisfAction of Sumbawanga Mkoani Rukwa kupitia Mji wa the client Namanyele Wilayani Nkasi. Bodi ya uhariri Aliongeza kuwa vijiji vya Majimoto, satisfaction of Msanifu: Ikupa Mwakiteleko business partners Mbende, Chamaland, Mkwajuni, Ikuba, Waandishi: Veronica Simba, Asteria Muhozya, Greyson Mamba na Kasansa vinatarajiwa kupata Mwase, Teresia Mhagama, Mohamed Saif, Rhoda James , satisfAction of umeme kupitia mzunguko wa kwanza wa Nuru Mwasampeta na Zuena Msuya shareholders Mradi wa Kusambaza Umeme Vijijini Awamu ya Tatu (REA III Round I). Habari za nishati/madini http://www.mem.go.tz 4 Juni 29 - Julai 5, 2018 NewsBulletin YAJUE MAENEO YA KIPAUMBELE YA WIZARA YA MADINI KWA MWAKA WA FEDHA 2018/19

Mpango wa Bajeti wa Wizara ya Madini kwa Mwaka wa Fedha 2018/19 umezingatia Dira ya Taifa ya Maendeleo 2025, Ilani ya uchaguzi ya ya Mwaka 2015-2020; Mpango wa Taifa wa Maendeleo ya Miaka Mitano 2016/17-2020; Malengo Endelevu ya Maendeleo 2030; Ahadi za Serikali Bungeni za Mwaka wa 2017/18; Mwongozo wa Kutayarisha Mpango na Bajeti wa Mwaka Fedha 2018/19 na Maagizo ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. aliyoyatoa nyakati tofauti. Pia, imezingatia ushauri na Maoni ya Kamati Maalum zilizoundwa na Rais Magufuli.

KAZI ZILIZOPANGWA KUTEKELEZWA KWA MWAKA 2018/19

Kuimarisha ukusanyaji wa Mapato ya Serikali yatokanayo na rasilimali madini.

Kuwaendeleza wachimbaji wadogo na wa kati wa madini.

Kuhamasisha shughuli za uongezaji thamani madini.

Kuimarisha ufuatiliaji wa ukaguzi wa usalama, afya, mazingira na uzalishaji wa madini katika migodi midogo, ya kati na mikubwa.

Kaimu wa Nishati, Mhandisi Innocent Luoga (wa kwanza kushoto), Kuendelea kuhamasisha uwekezaji akifafanua jambo wakati wa kikao cha Naibu Waziri wa Nishati katika miradi ya kimkakati ya Sekta ya Subira Mgalu (wa kwanza kulia) na Balozi wa Sweden nchini, Katarina Rangnitt (wa pili kutoka kulia). Kikao hicho kilifanyika Juni 12, Madini. 2018 Makao Makuu ya Wizara jijini Dodoma. Wengine pichani ni Afisa kutoka Ubalozi wa Sweden nchini, Jargen Eriksson (katikati) Kuendelea kuboresha mazingira ya na Mkurugenzi wa Masuala ya Kiufundi kutoka Wakala wa Nishati Tanzania (REA), Mhandisi Bengiel Msofe. kuwawezesha wananchi kufaidika na rasilimali madini.

Kuelimisha umma na kuboresha mawasiliano. Waziri wa Madini Angellah Kairuki http://www.mem.go.tz Habari za nishati/madini NewsBulletin Juni 29 - Julai 5, 2018 5 YAJUE MAENEO YA KIPAUMBELE YA WIZARA YA NISHATI KWA MWAKA WA FEDHA 2018/19

Itakumbukwa kuwa kuanzia tarehe 1 Julai, 2018 Serikali inaanza utekelezaji wa Mpango wa bajeti kwa Mwaka 2018/19. Katika mwaka wa Fedha wa 2017/18 yapo mengi yaliyotekelezwa na Wizara ya Nishati ikiwemo miradi mikubwa ya maendeleo ambayo imeleta tija kwa Taifa. Katika Mwaka 2018/19 Serikali kupitia Wizara ya Nishati imeweka maeneo ya kipaumbele ambayo yanatarajiwa kutekelezwa kama ifuatavyo;

Kuongeza uzalishaji wa umeme kwa kutekeleza miradi mikubwa ikiwemo, Mradi wa kuzalisha umeme katika Mto Rufiji wa MW 2,100.

Kuzalisha umeme kwa kutumia gesi asilia ya Kinyerezi I – Extension MW 185, Kinyerezi II MW 240, SomangaFungu mkoani Lindi MW 330 pamoja na MW 300 mkoani Mtwara.

Kuimarisha mifumo ya usafirishaji wa umeme mkubwa nchini.

Kuendelea na utekelezaji wa Awamu ya Tatu ya Mradi Kabambe wa Kusambaza Umeme Vijijini REA III.

Kuendelea na utekelezaji wa Mradi wa Ujenzi wa Bomba la Kusafirisha Mafuta Ghafi kutoka Hoima nchini Uganda hadi Bandari ya Tanga Tanzania.

Kuimarisha shughuli za utafutaji wa mafuta na gesi asilia

Kuendeleza miradi ya upepo na umeme jua Maeneo mengine ni pamoja na:

Kuendelea kuwajengea uwezo watumishi wa Wizara na Taasisi zilizo chini yake katika kusimamia Sekta ya Nishati.

Kuboresha mazingira ya ofisi kwa watumishi wa Wizara na Taasisi zake ili kutoa huduma bora zaidi na;

Kuendelea kuelimisha umma na kuboresha mawasiliano na wadau mbalimbali kuhusu masuala ya nishati.

Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kaleman Habari za nishati/madini http://www.mem.go.tz 6 Juni 29 - Julai 5, 2018 NewsBulletin IFAHAMU WIZARA MPYA YA MADINI

Dira ya Wizara ya Madini ni kuwa Wizara za uchimbaji pamoja na utafutaji wa madini inayoheshimika Afrika katika kuendeleza rasilimali kwa kutumia tafiti za kijiofizikia na kijiolojia za madini ili ziweze kuchangia kwa ufanisi katika (Geophysical na Geological surveys). uchumi wa Taifa na ustawi wa Watanzania. Dhima ya Wizara ni kuzibadili rasilimali za Kuratibu na kusimamia uongezaji kwenye madini ziweze kuchangia katika ukuaji wa uchumi biashara ya madini, kukuza ushiriki wa Wazawa wa Taifa na maendeleo endelevu. ( local content) kwenye shughuli za utafutaji, uchimbaji na biashara ya madini nchini. Majukumu ya Wizara; Kusimamia na kuratibu shughuli za maendeleo Kulingana na Hati Idhini Na.144 ya tarehe 22 ya wachimbaji wadogo; kusimamia Taasisi na Aprili, 2016 iliyofanyiwa marekebisho tarehe 15 Mamlaka zilizo chini ya Wizara na; Oktoba 2017, majukumu ya Wizara ya Madini ni; Kuratibu na kusimamia maendeleo na Kubuni, kuandaa na kusimamia Sera, Mikakati utekelezaji wa majukumu kwa watumishi wa na Mipango ya kuendeleza Sekta ya Madini. wizara. Kusimamia migodi na kuhamasisha shughuli http://www.mem.go.tz Habari za nishati/madini NewsBulletin Juni 29 - Julai 5, 2018 7

TUME YA MADINI YAPOKEA RIPOTI UKAGUZI MIGODI YA MADINI YA VITO, KINYWE

Mwenyekiti wa Timu Maalumu ya Ukaguzi wa Migodi ya Vito na Madini ya Kinywe (Graphite) Profesa Justinian Ikingura akikabidhi Ripoti ya Ukaguzi huo kwa Katibu Mtendaji wa Tume ya Madini Profesa Shukran Manya, makabidhiano haya yamefanyika tarehe 28/6/2018 katika ukumbi wa mikutano wa GST. Wengine wanaoshuhudia tukio hilo ni Mwenyekiti wa Tume ya Madini Profesa Idris Kikula na Profesa Abdukarim Mruma pamoja na watalam wa timu hiyo.

Biteko aliyoyatoa hivi karibuni wakati wa ziara Tanzania (GST) kuweka mkakati wa kufanya Na Samwel Mtuwa - Dodoma yake mkoani Morogoro. Utafiti na tathmin ya madini adimu ya vito atibu Mtendaji wa Tume ya Madini Katika ziara ya Naibu Waziri Biteko mkoani katika eneo la Mahenge na maeneo mengine Prof. Shukran Manya leo tarehe humo, alipokea malalamiko kutoka kwa nchini ili kuwepo na takwimu sahihi za kuvutia 28 Juni, 2018, amepokea ripoti ya wachimbaji wadogo wa madini ya vito ambao wawekezaji katika uchimbaji wa madini hayo. Ukaguzi Maalum wa Migodi ya ni wanakijiji wa kijiji cha Epanko kilichopo Pendekezo jingine ni Mamlaka husika kuweka Madini ya Vito na Madini ya Kinywe katika eneo la mradi wa madini hayo. mpango wa kutoa huduma ya uthaminishaji wa (Graphite)K kutoka kwa Mwenyekiti wa Timu ya Aidha, kufuatia malalamiko hayo Naibu madini ya vito katika maeneo ya wachimbaji Ukaguzi Profesa Justinian Ikingura . Waziri aliahidi kuunda timu ya watalaam wa wadogo ili kuwezesha wachimbaji hao kupata Ripoti hiyo imetokana na Tume Maalum ya madini itakayofanya kazi ya ukaguzi maalum bei stahiki ya madini wanayozalisha na hivyo Wataalam Sita iliyoundwa na Katibu Mtendaji kwa lengo la kutathmin uendeshwaji wa migodi kuongeza kipato chao na kulipa tozo stahiki kwa wa Tume ya Madini Prof. Manya tarehe 17 ya madini ya vito na kinywe pamoja na biashara Serikali. Juni, 2018 ikilenga kufanya ukaguzi maalum ya madini kulingana na Sheria ya Madini ya Wajumbe wa timu hiyo walitoka katika katika maeneo ya uchimbaji wa madini ya Vito Mwaka 2010 pamoja na marekebisho yake. Taasisi ya Jiolojia ya Utafiti wa Madini na Kinywe katika wilaya ya Ulanga Mkoani Katika ripoti hiyo, timu ya wataalam wa Tanzania (GST), Chuo cha Madini Dodoma, Morogoro. madini imetoa mapendekezo mbalimbali Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Kamishna Aidha, ukaguzi huo ulilenga kutekeleza ikiwemo Serikali kupitia Wizara ya Madini Msaidizi Ukaguzi wa Migodi na Afisa Madini maelekezo ya Naibu Waziri wa Madini Doto na Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Mkazi wa Dodoma.

Mwenyekiti wa Timu ya Ukaguzi wa Migodi ya madini ya Vito na Kinywe Profesa Justinian Ikingura aliyekaa (katikati) akimsikiliza Mwenyekiti wa Tume ya Madini Profesa Idris Kikula mara baada ya kumaliza uwasilishaji wa Ripoti ya Ukaguzi kwa Tume ya Madini http://www.mem.go.tz Habari za nishati/madini NewsBulletin Taarifa muhimu Juni 29 - Julai 5, 2018 8

Baadhi ya shughuli zilizotekelezwa na Wizara ya Nishati kwa Mwaka wa Fedha 2017/18 katika picha

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli na Rais wa Jamhuri ya Uganda, Yoweri Museveni wakizindua Mradi wa Bomba la Kusafirisha Mafuta Ghafi kutoka Hoima nchini Uganda hadi bandari ya Tanga.

Waziri wa Nishati Dkt Medard Kalemani akizindua upatikanajiwa huduma ya umeme chini ya mradi wa usambazaji wa umeme vijiji Awamu ya Tatu Wajumbe wa Kamati ya Nishati na Madini wakiwasha umeme vijijini kupitia (REA III) katika Kijii cha Magumbani Kitongoji chaMbuluni Kata ya Moa Mradi wa Usambazaji Umeme Vijijini REA III unaotekelezwa na Wakala wilayani Mkinga. wa Nishati Vijijini (REA) kwa Kushirikiana na Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO).

Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu, (wa pili kushoto) akikagua mitambo ya Umeme katika kituo Kipawa jijini Dar es Salaam wakati alipofanya ziara ya kukagua mradi wa uboreshaji wa Vituo vya Mitambo mipya ya kuzalisha umeme kwa kutumia Gesi Asilia ya Umeme na ujenzi wa njia za Umeme jijini Dar es Salaam.Wengine Kinyerezi II (MW 240) iliyopo jijini Dar es Salaam. katika picha ni watendaji kutoka TANESCO na Wizara ya Nishati. Habari za nishati/madini http://www.mem.go.tz 9 Juni 29 - Julai 5, 2018 NewsBulletin

Baadhi ya shughuli zilizotekelezwa na Wizara ya Madini kwa Mwaka wa Fedha 2017/18 katika picha

Serikali kwa kushirikiana na Chama cha Wafanyabiashara wa Waziri wa Madini Angellah Kairuki baada ya kuzindua Ripoti ya Madini (TAMIDA) iliandaa Maonesho ya Sita ya Kimataifa ya Nane ya TEITI ya Ulinganishi wa Mapato ya Serikali na Malipo ya Madini ya Vito ya Arusha (AGF). Kampuni za Madini, Mafuta na Gesi Asilia kwa Mwaka 2015/16

Serikali kupitia Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) ilijenga Ukuta wenye urefu wa kilometa 24.5 unaozunguka Migodi ya Madini ya Wahitimu wa Mafunzo ya Ukataji na Unga’rishaji madini ya Tanzanite uliopo Wilaya ya Simanjiro Mkoani Arusha. Vito yanayotolewa katika Kituo Cha Jemolojia Tanzania (TGC) kilichopo jijini Arusha.

Uchorongaji kwa njia ya Diamond Drilling (DD) katika eneo la Itumbi- Chunya. Mtambo wa uchenjuaji katika Kituo cha Mfano na Mafunzo cha Rwamgasa. http://www.mem.go.tz Habari za nishati/madini NewsBulletin Juni 29 - Julai 5, 2018 10

habari katika picha kikao cha kazi kati ya uongozi Nishati, rea, tanesco na wafanyakazi

Uongozi wa Wizara ya Nishati wakiwa katika kikao cha kazi Sekretarieti iliyoandaa kikao cha kazi baina ya Uongozi wa Wizara na na Wenyeviti wa Bodi za TANESCO na Wakala wa Nishati Wenyeviti wa Bodi za TANESCO na Wakala wa Nishati Vijijini (REA), Vijijini (REA), Menejimenti za REA na TANESCO, Mameneja Menejimenti za REA na TANESCO, Mameneja wa Kanda, Mikoa na wa Kanda, Mikoa na Wilaya wa TANESCO, pamoja na Wilaya wa TANESCO, pamoja na Wafanyakazi wa Wizara (hawapo Wafanyakazi wa Wizara. Kikao hicho kilichofanyika Juni 24, pichani), wakifuatilia kikao hicho kilichofanyika Juni 24, 2018 katika 2018 katika ukumbi wa Hazina, Dodoma. ukumbi wa Hazina, Dodoma. 1 2

4

3

Picha 1-4: Baadhi ya Wajumbe wa kikao cha kazi baina ya Uongozi wa Wizara ya Nishati na Wenyeviti wa Bodi za TANESCO na Wakala wa Nishati Vijijini (REA), Menejimenti za REA na TANESCO, Mameneja wa Kanda, Mikoa na Wilaya wa TANESCO, pamoja na Wafanyakazi wa Wizara, wakiwasilisha maoni yao katika kikao hicho kilichofanyika Juni 24, 2018 katika ukumbi wa Hazina, Dodoma.